MREMBO MTANZANIA AFARIKI INDIA - BADO SIKU 1 MWILI UCHOMWE MOTO, MILIONI 19 ZAHITAJIKA KUUCHUKUA...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • MREMBO MTANZANIA AFARIKI INDIA - BADO SIKU 1 MWILI UCHOMWE MOTO, MILIONI 19 ZAHITAJIKA KUUCHUKUA..
    GLOBAL TV imefunga safari hadi Chamanzi Jijini Dar kuzungumza na familia ya dada aliyefariki akiwa nchini India huku mama mzazi akifichwa juu ya kifo cha mwanaye..
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 739 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 548

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +12

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @chrisshonga
    @chrisshonga ปีที่แล้ว +9

    MUNGU akutie nguvu dada angu maisha yetu sisi wanadamu ni siri kubwa sana ambayo ni MUNGU peke yake anaeijua! MUNGU awape familia yote faraja yake ya mbinguni katika kipindi hiki kigumu familia inachopitia.
    Duniani tu wapitaji tu na maisha yetu tuzidi kumuangalia na kumtegemea YESU KRISTO peke yake ambae ndie MWAMBA wetu

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 ปีที่แล้ว +11

    Mkagueni figo kabla ya kumzika, polen sana

  • @لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه

    Subhanaallah innarillah wainailyh rajiun 😭😭😭pole sana wana familia

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 ปีที่แล้ว +9

    Da polen sana ndugu zetu mungu atabarik in sha Allah na ampe safari njema kaul thabit

  • @happyjohn7630
    @happyjohn7630 ปีที่แล้ว +24

    Nimekupenda sana sister l really love you ulivyo jielez mungu awatie nguvu tu

  • @sofi_1940
    @sofi_1940 ปีที่แล้ว +20

    Poleni Sanaa kwa msiba,,,, mungu ni mwema atasikia kilio chako

  • @siasia5469
    @siasia5469 ปีที่แล้ว +19

    Pole sana dada Allah awafanyie wepesi mumpate mpendwa wenu

  • @laprincessatokyo2188
    @laprincessatokyo2188 ปีที่แล้ว +6

    Dah poleni sana kwa msiba Mwenyezi Mungu awape subra katika hili na naomba msisahu watoto walioko na mama yao huko pia

  • @victormneney1475
    @victormneney1475 ปีที่แล้ว +34

    Wahindi ni maskini sana kwao usiwaone hapa bongo Tajiri nitajiri kweli na maskini nimaskini hasa bora maisha ya Tanzania
    Imba ule wimbo wa Tanzania x2 Nakupenda kwa moyo

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 ปีที่แล้ว +5

      Hao wahindi wamejaa uarabuni wanafanya kazi za ndani wengine wanafagia barara hawana lolote

    • @safiyatheonlything7848
      @safiyatheonlything7848 ปีที่แล้ว +3

      wapo uku uwarabuni kama wote wana fagia barabarani na kukota vitu kwenye maubala

    • @lifeinmiddleeast8179
      @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +2

      @@aishajuma18 na wanaroho mbaya

    • @nareensaleh4957
      @nareensaleh4957 ปีที่แล้ว +1

      We wahindi maskin hatari wengine wanazoa taka uarabuni wengine wajenzi wenginewanafukua mitaro kila siku wanarudishwa kwao walivyozidi Oman

    • @naythardarling1115
      @naythardarling1115 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa wahindi masikin sana tena nchi yao mbaya sana aina hata Maendeleo kabisa

  • @rashidkejo8666
    @rashidkejo8666 ปีที่แล้ว +17

    Innalilah wainnaillah!
    Poleni sana na Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
    Amin.

  • @ummohammed8380
    @ummohammed8380 ปีที่แล้ว +27

    Watoto wakaidi Sana wa siku hizi allah awahifadhi yarab
    Watoto wetu na awaongoze njia iliyonyooka
    Poleni sana

  • @faidhafaidha4587
    @faidhafaidha4587 ปีที่แล้ว +50

    Sio kwa ubaya lakin kama ikishindikana majivu yatumwe tu yazikwe kama mwili kuja inaleta ugumu..natamani ningekuwa na uwezo ningetoa hata pesa yote atumwe...mungu awatie nguvu

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว +6

      Huja kosea ikishindikana basi, je ? Huyo bwana aliye kuwa naye ni mhindi au kwahiyo Hana pesa ya kuchaniwa huko

    • @lisaanthony629
      @lisaanthony629 ปีที่แล้ว +7

      Ni mtanzania mwenzie alekuwa mume wake huku

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 ปีที่แล้ว +3

      @@lisaanthony629 na ww uko India?? Au sio?!

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 ปีที่แล้ว +3

      @@ziadasalimu1730 inavyoonekana labda ni muhindi

    • @lisaanthony629
      @lisaanthony629 ปีที่แล้ว +3

      @@kassimrajabu7805 ndio

  • @davidchengula3044
    @davidchengula3044 ปีที่แล้ว +9

    Polesana dadayangu mungu akupe wepesi na yote tumwachie mungu ndo atakaye Fanya njia pasipo njia polesana ndg yangu daaaa!!!!!!

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 ปีที่แล้ว +9

    Pole sana dada angu nafamilia yenu TU jaman maisha nipopote dada msamehe TU hata amtu akiishi kwenye nchi yake bado kifo kinaweza kumpata chamsingi nikumuombe mungu apunguziwe azabu zakaburi inshallah

  • @angeldejoice3202
    @angeldejoice3202 ปีที่แล้ว +11

    Mungu awajalie mambo yaende vizuri.

  • @rosechuma9873
    @rosechuma9873 ปีที่แล้ว +18

    Duuu poleni sana 😭😭😭 ngoja tutulie tu tulage ugali na maharage nyumbani kwetu TANZANIA,naipenda nchi yangu ,naipenda pia amani ya nchi yangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @linashayo2068
    @linashayo2068 ปีที่แล้ว +10

    Pole sana dada Mwenyezi Mungu awasimamie.

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +15

    Sio vitisho jamani nchi za wenzetu kuzikwa wana mipango yao,,,na wasichana wengi wanaokwenda India ,Turkey,China..kazi zao zinakuwa sio nzuri,,ukiongea nao vizuri warudi nyumbani wanakutukana na kusema uache na maisha yao,,WaNigeria wanawatumia vibaya sana na kuwatesa,

    • @naomisaid4366
      @naomisaid4366 ปีที่แล้ว +1

      Nimeliaa jaman khaaa maisha haya Uwiiiih 😭😭😭😭😭

    • @naomisaid4366
      @naomisaid4366 ปีที่แล้ว +2

      Poleni Jaman Pole Sanaa Dadaangu Mungu amekuskiaa Atatenda Mungu Si Kiziwi Dear Asisikie Vilio vyenu

    • @marysiasawaki3698
      @marysiasawaki3698 ปีที่แล้ว +4

      Kweli kabisaaaaa yaani Uneongea point sana yani wanawatumia vibaya sana sio siri .....

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +3

      @@marysiasawaki3698 yaani we acha tu,,,ukiona wanavyofanyiwa utalia,,lakini ndio tamaa wanataka high life

    • @zainabuhamisimmbaga1840
      @zainabuhamisimmbaga1840 ปีที่แล้ว

      Inatia Huruma sana

  • @kaluluu2011
    @kaluluu2011 ปีที่แล้ว +9

    DAH dada poleni xana. Mungu awafanyie wepesi . Dada ameongea vzr xana na ujumbe mzuri xana Kwa jamii.

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 ปีที่แล้ว +15

    Polesana my dear hii nimitiani itaisha mungu atafanyawepesi😭😭😭

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah mtangazaji uko makini kabisa na unaijuwa kazi yako

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว +4

    Tunaishukuru serekali yetu ya tanzania kwa kusimamia tatizo hili,,,, mwenyezi mungu amjaalie ndugu yetu makaz mema pepon amina,

  • @gililwise
    @gililwise ปีที่แล้ว +9

    Tumieni ubalozi wa Tz nchini India watawasaidia au balozi wa India hapa Tz.Mungu anaweza atarudishwa tu .

  • @LUCASRANGE-y7k
    @LUCASRANGE-y7k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kagueni Figo zake kwanza poleni sana Mola awajalie maisha marwfu

  • @cleverkifaluka4337
    @cleverkifaluka4337 ปีที่แล้ว +16

    Poleni sana dada Nora hili nalo litapita mtafanikisha kila kitu na Mtauona wema wa Mungu juu ya maisha yenu. Mungu hajawaacha atawavusha. Relax na umpe Mungu nafasi. Usilie sana tumia muda mwingi kuomba Bwana atawavusha. Sisi lilitukuta kama hili lakini Bwana alitupigania kwa namna apendavyo hata sasa yeye ni Ebenezer kwetu.

  • @calisterkikove1970
    @calisterkikove1970 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Dada ,pambana kwa ajili ya mdogo wako,Mungu akutie nguvu,poleni sanaaa

    • @elishadaniel4317
      @elishadaniel4317 ปีที่แล้ว

      Kama hajaoolewa huko kwa wahindi hawez kuchomwa Moto,msihofu ila kama ameolewa ndio Wana uhalali wa kumchoma,ivo msiigope

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 ปีที่แล้ว +8

    Poleni wanafamilia mungu awasaidie mwili wa marehemu urudishwe nyumban I🤲😭

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 ปีที่แล้ว +5

    Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu.

  • @albertlemau3980
    @albertlemau3980 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana Dadangu pole Sana Familia Mwenyezi Mungu awasimamie na kuwatia nguvu

  • @kanankirannko6174
    @kanankirannko6174 ปีที่แล้ว +7

    Mimi hili naona ni swala la kitanzania mi naamini watanzania tukatoa 2000 tutaona ni pesa ndogo Ila ni nyingi mnoo maana huo no msiba Wa Taifa sio Wa familia tena kwa ml 19

  • @oman7710
    @oman7710 ปีที่แล้ว +4

    Innalillaah wainna ilayh rajiuun, Mungu akupe subra dada

  • @nelliebwanga5428
    @nelliebwanga5428 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akutie nguvu dada inauma sana

  • @katealicios4437
    @katealicios4437 ปีที่แล้ว +14

    Poleni sana take heart may God strengthen your family at this time of the moment..🙏🙏🙏🙏

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว +14

    Pole Sana Dada ukubwa Ni jalala, Pole Sana Mungu akutie Nguvu🙏🙏

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 ปีที่แล้ว +12

    Poleni sana allha awape subra lnshallha Mungu atulindi atupe afya njema umri mrefu lnshallha tulio kuwa mbali na family zetu kifo kipo popote pale lakini vizuri ukifia nyumbani eeeeh Mungu tulinde ss watafutaji na uwape family zetu umri mrefu lnshallha 😭🙏

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb ปีที่แล้ว +17

    Mtihani jamani yarabbi atupe mwisho mwema yarabbi

  • @drallicemugasa3086
    @drallicemugasa3086 ปีที่แล้ว +6

    Poleni BABA wa MBINGUNI awapesi ktika Hili. Msiba huu umenifundisha kitu kikubwa,yakuwa Mzazi si wakuficha tatizo zito Kama ugojwa kwani sisi ni binadamu lolote baya laweza tokea ,aliefichwa akiujua ukweli, ataumia zaidi, pia awezapa Sonona nakupeleke mkupata natatizo ya strick.tuwe makini ndugu zangu.

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 ปีที่แล้ว +5

    Nimeumia sana pole sana dadaangu, lnauma ni mdogo wako.

  • @littlepie5914
    @littlepie5914 ปีที่แล้ว +14

    Poleni sana M/Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

  • @tato8979
    @tato8979 ปีที่แล้ว +8

    😭😭😭😭polen sana wanafamily mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigum mnachopitia

    • @zuchu3138
      @zuchu3138 ปีที่แล้ว

      Pole dada 😭😭😭

  • @steveagustino9368
    @steveagustino9368 ปีที่แล้ว +5

    Dada pole sana upande wangu hauna kosa.

  • @lilianmnyazikaililian446
    @lilianmnyazikaililian446 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awatie nguvu dadangu kifo kiko popote sio kwenye ichi yetu kila mtu alihesabiwa kifo chake chamhim nkumuomba mungu awapiganie kwa hili pigo kubwa lililowapata pole zangu za that kwa familia 😭😭😭

  • @dianafaith6623
    @dianafaith6623 ปีที่แล้ว +16

    Polen sana familia mungu awatie nguvu kwa kipindi hiki kigumu mnachopitia

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 ปีที่แล้ว +7

    Mungu awatie nguvu jamani.poleni sana.

  • @rehemalukali8326
    @rehemalukali8326 ปีที่แล้ว +1

    Apumzike kwa Amani Shamona 🥲mume wa shamona jmn upo wapi tia mkono wako hpo hta upunguze den familia ya shamona ipo kwenye wakat mgum sana daaahh mung tupe mwisho mwema 🙏

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +9

    Tamaaa, Za mabint loooh Bora mimi nipo. Zangu Omani muscat 😢pole sana my dear dada kule hakuna pesa India!! Marafiki zangu wana niambie japo wana niambie njoo n ww 😭

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 ปีที่แล้ว +3

      Mmmh huko nako sio salama

    • @zaitunhassan332
      @zaitunhassan332 ปีที่แล้ว

      😭 Maisha tu do yanasababisha. . Tumuombee Allah atujalie turudi salama makwetu

    • @aminahmusa3723
      @aminahmusa3723 ปีที่แล้ว +2

      Sio tamaa maisha tu usiseme hivo hakuna aijuae kesho yake ni kumuomba Allah tu

    • @julietymgallah3534
      @julietymgallah3534 ปีที่แล้ว

      Mmmh wote kutok njee n tatizo , mnawapa wengne shida jamaaan

    • @nareensaleh4957
      @nareensaleh4957 ปีที่แล้ว +1

      Wao wenye wengi maisha magumu India nyie bora ya tz Mara kumi

  • @devotafrances1876
    @devotafrances1876 ปีที่แล้ว +2

    Pole dada yupo Mungu asiyeshindwa anatenda muujiza

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 ปีที่แล้ว +2

    Pole dada Mungu awafariji tunawaombea mpate pesa insh Allah

  • @reubenshaban6488
    @reubenshaban6488 ปีที่แล้ว +1

    Dada umejieleza vzr sana sijui niwasaidieje hebu onana na stivu nyerere kwanza huenda akakusaidia

  • @mariammohammed5131
    @mariammohammed5131 ปีที่แล้ว +7

    Inalilah wainalajuhn mungu awatie nguvu katika kipindi iki kigumu Amina🙏

  • @aminamgaya7511
    @aminamgaya7511 ปีที่แล้ว +6

    dahhh inaumiza jamani kama dada wa familia nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia huyu dada poleni wafiwa wote mungu awatie nguvu mnooo😭😭

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +9

    Poleni wana familia.
    May her soul rest in peace 💕🤲

  • @EvaMfangavo
    @EvaMfangavo 2 หลายเดือนก่อน

    Duuu polen sana.mungu awatie nguvu

  • @ayubuiddi8563
    @ayubuiddi8563 ปีที่แล้ว +2

    pole Sana dada yangu mwenyewezi mungu atakufanyi wepesi lnshaallah 😭😭

  • @Boaz22
    @Boaz22 ปีที่แล้ว +3

    India ni bei rahisi kusafirisha mwili, china ni million 40... poleni sana,Mungu awape faraja

  • @siasalehe7808
    @siasalehe7808 ปีที่แล้ว +11

    Sioni Kama muda wa kulaumiana maisha popote na utafutaji popote so msiseme tamaa kwaiyo angefanikiwa mngelaumu Ni kuomba Mungu mwili urudishwe maisha yaendelee

    • @mkundemosha1046
      @mkundemosha1046 ปีที่แล้ว

      Maisha ni kokote na kifo ni mpango WA Mungu. Mm sijaona kosa la marehemu. Hata km hakurudi lakin huwezi jua alikuw na maisha gan huko. Na huko kutokuaga bongo ni kawaida TU mana mtu anaogopa kikatishwa tamaa na vikwazo kibao. So Mungu atusimamie TU tuwe na mwisho mwema . Maisha popote jamani .

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana Ndugu yangu Mungu awape subra

  • @rakiamohamed645
    @rakiamohamed645 ปีที่แล้ว +1

    Chozi limenitoka poleni sana wafiwa wote mungu awatie nguvu🙏

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 ปีที่แล้ว +14

    Niliwahi kusoma na happiness Balama, nae aliacha shule iringa girls form II
    alikua na tamaa ya misha mazuri,akafanya shortcut lkn mwisho wake ulikua mbaya sana,nae kwao palikua ni Iringa,najaribu kuwaza au ni ndugu. Na kama kweli ni ndg basi hiyo familia inahitaji sana maombi yetu watanzania😭

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 ปีที่แล้ว +1

      Kama sio familia hii basi huu ukoo utakuwa na hiyo hali ya kupenda mafanikio ya haraka

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 ปีที่แล้ว +1

      @@mdzainb3722 Haya maisha ukiyaendea haraka ndivyo utakavyo yaacha kama yalivo nikuruzika tu naunachokipata japo Mimi mwenyewe nipo mbali na Tanzania ila nipo kihalali

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 ปีที่แล้ว +1

      @@ameenaameena1224 nikweli ndugu ni kuwa na moyo wa kuridhika tu

    • @hejopantumsifusimon21
      @hejopantumsifusimon21 ปีที่แล้ว +1

      Mh unaroh mby kwan we ndio utaki maisha mazr nibinadam huyo kila mwanamk anahitaj maixh mazr mwanaum mwenye pesa kifo kipo mahali popote xiku yye nakam angejua kua atafia india angeenda mbaali ili kifo kisimkute.lkn kifo nisiri ymungu ach kuongea ujinga

    • @stellajohn5647
      @stellajohn5647 ปีที่แล้ว

      @@hejopantumsifusimon21 ni kweli mpenzi iyo familia ya balama Ina matatizo,Kuna bint nadhan ndo uyo happy walishilikiana na majambazi Iringa wakamuua taxi driver wakamtoboa na macho,nahisi alifungwa maisha na alikuwa mdogo km miaka20

  • @fausterwilliam1889
    @fausterwilliam1889 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana Mungu akupe nguvu mdogo wangu inasikitisha sana

  • @khamismohammed2582
    @khamismohammed2582 ปีที่แล้ว +8

    Mtihan sana ila india hakuna maisha wao wenyew kwanza wapo weng halaf maisha ni magum sana. Mtihan sana

  • @didamanyanya4893
    @didamanyanya4893 ปีที่แล้ว +9

    Dah mungu tusaidie

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +19

    Umesema kweli, vijana waache tamaa, waache kuforce maisha ya juu,kutafuta short cut,,,hakuna life ya short cut

  • @atuganilemwaigomole7512
    @atuganilemwaigomole7512 ปีที่แล้ว +4

    Poleni sana ndugu zangu Mungu awawezeshe

  • @aminahmusa3723
    @aminahmusa3723 ปีที่แล้ว +6

    Inna Lillah wainna Lillah rajyun 😭 poleni sana Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu inshallah

    • @rahmatambwe1069
      @rahmatambwe1069 ปีที่แล้ว

      Inna lilah wanna Lilah rajuun poleni Sana wanafamilia m/ mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu

    • @godfreyelleuther3624
      @godfreyelleuther3624 ปีที่แล้ว

      Ffofg my

  • @didamanyanya4893
    @didamanyanya4893 ปีที่แล้ว +23

    Umeongea kwa uchungu sana dada angu

  • @andrewamwali6611
    @andrewamwali6611 ปีที่แล้ว

    Poleni mungu awatie nguvu ktk kipindi hichi kigumu.sisi wana jumuiya ya mt.Anyesi tunawaombea.kwa mungu .Amen.

  • @dommybalama7423
    @dommybalama7423 ปีที่แล้ว +18

    Watanzania , mdg zangu nimeona Upendo wenu na nguvu ya maombi yenu. Furaha anarudi Kesho anarudi Kesho jamami.
    Meetup NI muujiza. Ni muujiza jamani. Naendelea kuwashukuru jamaniiiii. Ndg zangu jamani nawashukuru mmenisjika mkono. Wapi mliokuja mpaka nyumbani.
    Mungu senseless kututuzs watanzania sisi. Daah

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 ปีที่แล้ว +6

    Mungu akutie nguvu dada

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭 Huyo alikuw akiishi naye kamkimbia au Mungu awape faraj kweny Familia yenu

  • @kenedymboma6345
    @kenedymboma6345 ปีที่แล้ว +11

    Ubarozi nawao wanatiaibu wangelimaliza jamani maishahaya wanapatawapi hiyopesa

    • @reganshao
      @reganshao ปีที่แล้ว +3

      Kabisa kabisa kabisaaaa

  • @loserianlukumay5195
    @loserianlukumay5195 ปีที่แล้ว +6

    Poleni Sana watu wa mungu

  • @natashasergo119
    @natashasergo119 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mbona unamlaamu ndugu yako marehemu..?ameenda kutafuta maisha ya shortcut ila alikua na mume wamezaa jamani..!she’s full of complans yaani mdogo wako kafariki unamzodoa ..!kueni na maadili,usitafute shortcut ,mjitambue aisay…!sijafikiri ata mjudge hivo mwenzako hao hawatoto watakua tu kwa uwezo wa mungu..!sijapenda

  • @aminaomary4889
    @aminaomary4889 ปีที่แล้ว

    Pole san dada yngu inshallah mung hatawapa subr na nguvu pia mungu hailaze roho yke Pema pepon

  • @hadijaalpha7547
    @hadijaalpha7547 ปีที่แล้ว

    Poleni sana,mitihani tumeumbiwa sisi sio wanyama,mnyazi mungu atafanya msikate tamaa

  • @evamarydaniel1542
    @evamarydaniel1542 ปีที่แล้ว

    Poleni sana ndugu Na Jamaa Na Marafiki Walioguswa Na Huo Msiba

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 ปีที่แล้ว +12

    Poleni sana ndugu jamaa na marafiki wote mungu ampe nguvu mama 😭🙏

  • @ericphilipo4144
    @ericphilipo4144 ปีที่แล้ว +2

    Namfahamu sana shamona Niko pamoja na nyinyi

  • @mwashabanirashidimitumba7788
    @mwashabanirashidimitumba7788 ปีที่แล้ว +6

    Allah awafanyie wepes 🤲

  • @japharymagesa735
    @japharymagesa735 ปีที่แล้ว +4

    Ml 19 ni pesa nying zaid vip kama mkifanya Dua kwaajir yake mana hata mkimchukua hanafaida tena achen achomwe wataleta jivu tutazika lkn hizo pesa ni nyingi mno

    • @Kidia-yt3bm
      @Kidia-yt3bm ปีที่แล้ว +1

      We jamaa unaakili sana hata mie nilikuwa nafikiri hivyohivyo

    • @kipipakipipa5050
      @kipipakipipa5050 ปีที่แล้ว +1

      Japo kuna uzito kidogo ila zingesaidia watoto kwenda shule

  • @siasalehe7808
    @siasalehe7808 ปีที่แล้ว +1

    Short cut ipi angefanikiwa mngeongea Ayo jamani wewe dada Kama unajua maisha popote unamlaumu marehemu kwasababu gani

    • @merinajohn2534
      @merinajohn2534 ปีที่แล้ว

      Mwanaume ni mbongo mwezetu au mhuindi

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว +2

    Wabongo mnachanga mgonjwa aende kutibiwa India mimi naona familia ya mume wake walipie mwili ukuje

  • @allyhusseni3121
    @allyhusseni3121 ปีที่แล้ว +5

    Duuh mama k polenisana jamani Dada Domi juzitu nilikua ninamuulizia!!

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mmewe nae ni mzigo hajiwezi kabisa. dear God ndioalikuwa anatafuta mtoto wa Kihindi jamani. Pole Mhehe mwenzangu Mungu akupumzishe kwa amani

  • @AminaMdahoma-p7z
    @AminaMdahoma-p7z 2 หลายเดือนก่อน

    Inalilahi wainailayihi radjioune Alhamdoulilahi rabi lanlamine

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 ปีที่แล้ว +7

    Mh poleni familia maana inauma sana jamani duh.

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 ปีที่แล้ว +4

    Wasanii wa bongo movie. Hamnaga pesa. Ndo mana baba levo. Anawachana live. Sasa mmeshindwa kumchangia mwenzeni akudiswa bongo kweli akazikiwa kwao.

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +1

      Labda hata kuwaaga hakuaga wenzake 😂hivyo nyinyi kusafirisha maiti mnaona rahisi sana

  • @rehemanmkumbo5631
    @rehemanmkumbo5631 ปีที่แล้ว +3

    Kweli kabisa dada tunatamani kutafuta Tanzania lakini hatupati ndiyo maana inafika kipindi tunakimbia pole sana

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana ndug zetu kwa msiba

  • @AnnNduku-p4n
    @AnnNduku-p4n 3 หลายเดือนก่อน +2

    poleni sana familia ya shamona mungu awatie nguvu🙏

  • @hadiadaoman1981
    @hadiadaoman1981 ปีที่แล้ว +19

    Innallillah waainnaillaihii raajuhun Allah ampe kauli thabit na familia mungu awatie nguvu sana yaan nchi za ughaibun huku tukifanikiwa kurud nyumban salama ni jambo la kumshukuru mungu na mungu atusimamie inshallah 🤲🤲🤲🤲😭😭😭

    • @mbarakamakaro
      @mbarakamakaro ปีที่แล้ว

      Mambo

    • @mbarakamakaro
      @mbarakamakaro ปีที่แล้ว

      Oman sehemu Gani upo

    • @Chekibob
      @Chekibob ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa mi nipo Ughaibuni pia, tabu tupu nafuu ukae Tz ule ugali na mchicha

    • @hadiadaoman1981
      @hadiadaoman1981 ปีที่แล้ว

      @@mbarakamakaro poa

    • @hadiadaoman1981
      @hadiadaoman1981 ปีที่แล้ว

      @@mbarakamakaro sohar shinaz

  • @irenejustine2455
    @irenejustine2455 ปีที่แล้ว +7

    Mungu wangu shamona uwiiii

  • @tamarali8325
    @tamarali8325 ปีที่แล้ว +7

    Mungu awatie nguvu

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 ปีที่แล้ว +32

    😭😭😭😭Poleni sana familia Mungu afanye wepesi iyo hela ipatikane

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว

      Amiin😭😭😭😭😭😭😭

    • @happyjosephmwendowakulabat8348
      @happyjosephmwendowakulabat8348 ปีที่แล้ว

      Poleni sana kama alikuwa namume s azikwe jaman kuliko muanzi kuingia madeni jaman mungu awatie nguvu nyie ombeni watt maleemu anzikwe nakama alilipa mali x azikwe jaman

  • @saidaramadhan2099
    @saidaramadhan2099 ปีที่แล้ว +4

    Pole kwa familia

  • @SurprisedCamel-ow6md9
    @SurprisedCamel-ow6md9 27 วันที่ผ่านมา

    Pole

  • @daudkhatib4678
    @daudkhatib4678 ปีที่แล้ว +3

    Duuhhh. Jamani. Dada. Poleni. Ssannss. Wafiwa. Note. Kwa. Jumlaa. Mungu. Mkubwaa

  • @KhadijaNkya
    @KhadijaNkya 2 หลายเดือนก่อน

    Polen sana tumuombee duwa usilie

  • @devisdevisdevis8779
    @devisdevisdevis8779 ปีที่แล้ว

    Poleni sanaaa ndugu zetu Allah yupo hatatenda tu miujiza