LIVE: MAOMBI YALIYOBEBA MAJIBU YETU // KUFUNGUA MBINGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2023
  • Mathayo 18:20
    Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 904

  • @user-ru6gs3ms9c
    @user-ru6gs3ms9c 8 หลายเดือนก่อน +12

    Yesu wngu naomba unibariki nishinde majalibu ya dunia tizma maadui walivyo mizunguko wnasubili anguko langu na familia yangu bwana yesu nishinde mkono usiache bwana usiniache majaribu yamekuwa mengi niko mbele yako bwana usiku usiniache yesu wangu bariki kazi ya mikono yangu bariki familia yangu na mtoto wangu unibariki aweze kufanya mtihani wa kidato cha nne vizuri mpe ushindi yesu wangu maadui wamekuwa wengi wanataka kuangamiza maisha yangu Mungu simama nami bwana kila ninacho kufanya hakiendi bwana tenda miujiza kwangu bwana

    • @tullysanga453
      @tullysanga453 หลายเดือนก่อน

      nakusikia vizuri mtumishi naomba uponyaji katika afya yangu

    • @tullysanga453
      @tullysanga453 หลายเดือนก่อน

      nahitaji afya mtumishi nakusikia vizuri

  • @ScholarKadaso-ch3jx
    @ScholarKadaso-ch3jx 8 หลายเดือนก่อน +7

    Ninaomba. Mungu anitoe kwenye madeni na Mungu aikomboe ndoa yangu iliyoingiliwa na mwanamke suzy aamuachie mume wangu, namm Mungu anipe moyo wa kumsamehe mume wangu, Mungu atuwezeshe kumaliza ujenzi tulionao, na watoto wangu wasome wafikie viwango vya juu naomba uchumi wetu ufunguo iwe na Mungu a niwezeshe kupata biashara kubwa .

    • @magrethmicheal4663
      @magrethmicheal4663 8 หลายเดือนก่อน

      MUNGU AKUFANYIE WEPESI DADA ANGU, APIGANE NAO WANAO PIGANA NAWE.

    • @ChikiAbdallah
      @ChikiAbdallah หลายเดือนก่อน

      Nisaidie mungu wangu familia yao inipoke kwa furaha na uluma mm pamoja na uzao wangu

    • @ChikiAbdallah
      @ChikiAbdallah หลายเดือนก่อน

      Mungu nisaidie nijufungue salama amina

    • @RehemaRahima
      @RehemaRahima หลายเดือนก่อน

      Naksikia ktsoka qatar

    • @RehemaRahima
      @RehemaRahima หลายเดือนก่อน

      Ameeerrrn

  • @Ney01-vd7mk
    @Ney01-vd7mk 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kuwaunganisha watoto wangu wapendane wasaidiane na kushirikiana vzuri mimi ni mjane Mungu anipe nguvu zaidi niweze kumtumikia vema Mungu akuubariki mtumishi kwa kazi njema unaayoifanya

  • @MwaminiNoëlla
    @MwaminiNoëlla 26 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu wangu naomba unijibiye itajizangu mbili niko nakuomba mwa iyi mwezi tunaanza bitimilike kwa jina la Yesu naomba niki amini Amen
    17:01

  • @auleliamngongo2509
    @auleliamngongo2509 8 หลายเดือนก่อน +5

    Bwana Yesu nimekuja Tena mbele zako unisikie Nakuomba:¿Mwanangu Adamu afanye mitihani ya form four vizuri na kufaulu pamoja na wenzake wote,Mwanangu Cleah apate shule,Leo naenda kwenye kesi ya kiwanja nishindie,Imarisha Uchumi wangu,Ugonjwa wa UTI wa mgongo kwa mwanangu apone,nipate kazi nzuri nipate fedha nzuri inisaidie,Nilipie madeni yangu, Nipe Heshima Nitoe kwenye matatizo kwa ujumla kwenye nyumba yangu, Bwana umeona usinyamaze fanya hima inisaidie nope Amani AMINA

    • @ntulianyitike3472
      @ntulianyitike3472 8 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba Mungu anisaidie mwaka huu usipite ajitoe kwenye. Madeni na anipe kiwanja na watoto.wangu wapate maijati ya watoto ya shule na Mungu amuinue na mume wangu

    • @velmah_96
      @velmah_96 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu asikie dua zako na akujibu

    • @maseaJoe8676
      @maseaJoe8676 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu ni mwaminifu tumtumaini kwa lolote tuombalo na atatujibu kwa wakati wake tuko pamoja kwa haya majitaji nami naomba roho ya madeni iniondokee. Amen

  • @FayChalamila
    @FayChalamila หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu wangu naomba unisaidie kufungua ukoo wangu katika minyororo ya laana tuondolee roho ya umasikini,roho ya kukataliwa nikutanishe na watu sahihi bwana kanimilikishe vitu vya thaman kwa jina la yesu kristo nikawe msaada kwa watu wanaohitaji msaada bwana oooh jesus niinue naikataa roho ya umasikini utajiri,maarifa akili na ujuzi vikadumu ndani yangu na roho wa hekima akajazwe ndani yangu ee bwana kwa damu ya yesu kupitua maombi haya yanaenda kutimia kuazia sasa thank u jesus

  • @PiliSelemani-yr3dr
    @PiliSelemani-yr3dr หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu.naomba baraka ktk maisha yangu unifungulie vifingo vya mapepo wabaya unipe mtaji niweze kumiliki biashara kubwa . Amen

  • @SurprisedHopscotch-fw8rw
    @SurprisedHopscotch-fw8rw หลายเดือนก่อน +2

    Nina mahitaji mawili:1mungu anisaidiye ni pate mme bora 2unisaidiye nipate kazi nakingine niwe salama 👏👏👏👏👏👏👏

  • @pacificshuli5415
    @pacificshuli5415 8 หลายเดือนก่อน +2

    Goodmrng, Madhabaoni ya siri za Biblia
    "I want to be like Jesus christ inner my heart oh holy spirit take more of me and give me more of your holiness, love, goodness, kindness, fatherlyhood, mercy....
    Your are a Unique Almighty God, open our heart to knw you better oh my lord God, locate me in your mercy and your favor we're victorious having you my God on my side
    Thank you Jesus christ for the salvation of our souls and lives ❤❤❤🙏🙏🙏🙌🙌👏💯💯

  • @FortunataMbwasi
    @FortunataMbwasi 4 วันที่ผ่านมา

    Naomba Mungu anikumbuke watoto wangu waokolewe wamjue Mungu pia naomba Mungu anisaidie kiuchumi nahitaji mtaji afungue milango yangu pia Mungu amsaidie Mume wangu alipwe mafao yake ya ustaafu tangu astaafu ana miaka mingj hajalipwa pesheni yake na anaumwa Mungu aondoe roho ya umaskini naomba Mungu anijibu amina

  • @pendomaloda2849
    @pendomaloda2849 11 วันที่ผ่านมา

    Eeeh mungu asante kwa kibali pekee naomba usikie maombi yangu naomba unisaidie kunifungua vifungo vyote nilivyofugwa naomba nifungue njia ya kujifungua, nijifungue salama nijifungue kwa njia ya kawaida, roho ya oppression naikataa kwa damu ya yesu naamin mungu utatenda na nitajifungua kawaida na salama naomba usikie maombi yangu ezzh mungu

  • @user-ez9ve7nz7n
    @user-ez9ve7nz7n 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu wa mbinguni naomba niepushe na roho ya kucheleweshwa uniepushe na roho ya usingle mother nakataa katika jina la Yesu kristo alie hai, naomba uinue roho ya maombi juu yangu Mungu wangu neno lako likawe kiu na njaa maishani Mwangu.

  • @FredericovalentiBanda
    @FredericovalentiBanda 5 วันที่ผ่านมา

    Bwana asifiwe"Naitaj Nipate uwezo wakusimamisha ujenzi WA nyumba yangu kwazia na mwezi kwa jina la yesu amen 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏

  • @amjedsalam2856
    @amjedsalam2856 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mungu unisaidie usiniache nakataa maisha ya ufukara kumcha bwana ni chanzo cha maarifa bali wapumbavu wanao dharau hekima na adhabu nikiamini ipo siku utatenda jambo ni kwaajili ya familia yangu amen naitwa jesca niko iraq asante sana mtumishi wa mingu

  • @velonicacharles-6124
    @velonicacharles-6124 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba ukamfungue mtu ambae ninamdai hela yangu nyingi aweze kunilipa kwa uwezo wako baba na shukuru baba kwa neema zako baba na nguvu zako baba ukaniomgoze katika safari yangu niende salama na nifike salama baba

  • @marthakimati8913
    @marthakimati8913 วันที่ผ่านมา

    Naomba Mungu akumbuke watoto wangu wapewe ulinzi kwenye Maisha yao wawe wanamtumania Mungu kwa kila jambo.

  • @ElizaAmisa
    @ElizaAmisa 25 วันที่ผ่านมา

    Natakata mungunanisaidie nizahe vozuri Bila upasuaji na Itaji mungu anisaidie nipatekazi maumivu yatumbo yanihondoke kabisa namuone pia dada yangu amponye machoyake Yana muwasha nakuuma kwajina layesu kwristo anisaidie nipate kazi kwajinalayesukristo amen

  • @user-xm5bl5xd8p
    @user-xm5bl5xd8p 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba kwa ajili ya familia yangu uwape furaha na upendo na uwakutanishe wote wawe pamoja kwa ajili ya brother yangu naomba umpatilishe kwa yale anatenda na umwaipishe shetani katika maisha yetu siku ya leo naomba uyatende ...........na unifungulie njia za kupata na biashara

  • @ynobarrackmangia3953
    @ynobarrackmangia3953 2 วันที่ผ่านมา

    Nafunga roho za uzinzi nafunga roho za umaskini nafunga roho zote chafu katika maisha yangu Naomba na roho mtakatifu anisaidie kuomba vitu vyema nivipate kutoka kwa Mungu Baba pia nafunga roho za Magonjwa na roho za ndoto mbaya katika maisha yangu yote

  • @SaidLivigerixtics
    @SaidLivigerixtics 2 วันที่ผ่านมา

    Yesu nipe Imani mungu nifungue maisha yangu pamoja na uzao wangu

  • @velonicacharles-6124
    @velonicacharles-6124 5 วันที่ผ่านมา

    Ee Mwenyezi Mungu asante kwa kuniungamanisha kwa maombi naomba damu ya mwanao Yesu kristo ikawafunike familiya yangu ikavinje hila za maadui baba naomba wanangu wakarudi kwenye ndoa zao baba

  • @SafoBuke
    @SafoBuke 9 วันที่ผ่านมา

    Ehe mola wangu, ninaekuabudu usiku na mchana, naomba unitoe kwenye giza nene la madeni, na niweze kumaliza nyumba yangu iliyoshindikana kumalizika, na nakuomba umjalie mwanangu aweze kusoma vizuri katika masomo yake, ameen

  • @user-xs5zx6lp4o
    @user-xs5zx6lp4o 8 หลายเดือนก่อน

    Nakuitaji mungu katika maixha yangu uniepuxhe na ndoto za ngiza nakuitaji mungu huibaliki familia yangu ninakiu na ww yesu nakuitaji kabaliki KAZI yangu kapabaliki maali popote napo xhika nakuitaji mungu nina Imani mungu usiku waleo nikuone ww mungu ukitenda mtazame na mama angu mungu

  • @zawadiz482
    @zawadiz482 3 วันที่ผ่านมา

    Yes wangu naomba unibariki nishinde majaribu ya dunia tizma waona nizunguka wananisubiri ni anguko langu familia yangu bwana yesu nishinde mkono usiache bwana mm niko na shida pastor ya kichwa cha nisubuwa kweli cha tamba mududu hata kulala ni shida naomba uniombe pastor

  • @sharonafica1470
    @sharonafica1470 หลายเดือนก่อน

    Nakupata vzr,naomba mungu anifungue mimi pamoja na familia yangu mungu tuponye magonjwa tunaomba ulinzi wako nahitaji maisha mapya eeeh mungu wangu....anglia moyo wangu

  • @user-qt9nf2xp1b
    @user-qt9nf2xp1b 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba ukamponye dada yangu magonjwa yanayomsumbua ,naomba ukanisqidue niweze kusimama kiuchumi biashara zangu zikasimame pia ukanisaidie niweze kupata mwenza mwenye hofu ya mungu ukanipe moyo wa kusamehe madui xangu hata walionikosea mungu wangu pia ukanipe Kigali cha kumiliki chombo cha moto na viwanja na uwabariki wanangu katik masomo yao wakawe vichwa na si mkia naikaaaa hy roho ya kushindwa kwa Jina la yesu ameni

  • @user-yr2jr8wt6f
    @user-yr2jr8wt6f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aniponye jino linaniuma sana ugongwa wa meno naukataa kwa kizazi changu chote mungu anifanikishe nijifungue salama mungu aionekanie ndoa yangu ikawe na amani na furaha watoto wngu wakafunguliwe shuleni akawape uelewa vema mungu aniepushe na mawazo mabaya nayakataa hata kwa kizazi changu mungu akamwonekanie mume wangu akalipe madeni ya watu asiwe wakudaiwa mungu aniandalie biashara yakufanya nisiwe wakukaa bola kazi mungu akaguse kwenye ukoo wa baba yangu. Mungu akawaguse wazazi wangu wakawe na amanj na upendo wametengana ila mungu akawaunganishe mungu atuwezeshe tumalizie nyumba yetu.

  • @user-hb1kt5vs3s
    @user-hb1kt5vs3s 5 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu naomba nikawe funguo niweze kufungua Kila Lilo jema kwenye familia yangu.naomba nikutane na mwenza sahihi .Mungu naomba ulinzi kwenye uzao wangu na kazi yangu Ee Mungu naomba niondolee roho ya kisasi ndani yangu najua ni ngumu 😭😭😭 Bali Mungu niumbie roho ya msamaha ndani yangu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @FredericovalentiBanda
    @FredericovalentiBanda 5 วันที่ผ่านมา

    Naitaj ulinzi ktka mwenendo WA maisha yangu kwa jina la yesu Amen 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏

  • @emmanuelamaleo
    @emmanuelamaleo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Baba wa mbinguni naomba uibariki ndoa yangu, mlinde mume wangu, mlinde na mwanangu, uibariki familia yangu kwa jina la Yesu Kristo. Napokea

  • @faigel
    @faigel 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba msaada wako katika afya yangu na ndoa yangu na pia katika ulimwengu wa ndoto,pia mungu naomba uniondolee roho ya hofu baya,,ee mwenyezi mungu nisaidie🙏🙏

  • @SmilingArcade-xj7zg
    @SmilingArcade-xj7zg 8 วันที่ผ่านมา

    Emungu wangu naomba unisaidiee pia naomba uniongoze katika maisha yangu yotee ili nisikutendee dhambi mungu nisaidie bila wewe siwezi asante mungu kwa yotee 🙏🙏

  • @collethageorge512
    @collethageorge512 หลายเดือนก่อน

    Bwana mungu katika jina la yesu umesma katika kitabu cha isaya kuwa yuko adui ameiba lile sanduku langu la baraka mimi nachukua nafasi hii kurejesha kila kitu ambacho adui amekiiba kwatika uchumi ,uzao wangu ,mume wangu na ndoa yangu, utaua na utakatifu, karama yangu, maendeleo katika familia na narejeaha nafasi nyingine katika kazi yangu ,kibali ,afya katika mifupa yangu nimeomba na kushukuru amen ❤❤

    • @NeemaLupembe
      @NeemaLupembe หลายเดือนก่อน

      Naomba kujazwa roho mtakatifu na mwananguarundishiwe nyota yake

  • @alpq-sx6sr
    @alpq-sx6sr 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu naomba ubariki ndoa yangu ikawe ndoa YA furaha 🙏🙏🙌

  • @faigel
    @faigel 5 วันที่ผ่านมา

    Mungu nipiganie nimekuwa mtumwa wa ndoto baya,,nmekuwa mtu wakujiwazia mabaya,, nimekosa hamu ya tendo la ndoa mungu wangu😢nmekua mtu wa kukauka uke hdi nakosa raha ya ndoa😭😭mungu naomba uponyaji kutoka kwako🙏🙏🙏

  • @user-gt9tg2ir3k
    @user-gt9tg2ir3k 2 หลายเดือนก่อน

    Nataka mungu anisaidiye asikiye maitaji yangu namimi anisaidiye anipe ekima naguvu yakushinda majarimbu ❤ayodio maitaji yangu kwamungu namini mungu yupo mahalipote atatenda maitaji Yetu yakilasiku 🙏 Soma ZABURI 117:2nina imani mungu atajimbu maombi Yetu 👏 yakilasiku 🙏 mungu nimuweza wayote

  • @FredericovalentiBanda
    @FredericovalentiBanda 5 วันที่ผ่านมา

    Naitaj nipoke simo zakunipa mradi na watu saihi kwa jina la yesu Amen 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏

  • @elizabethmaturino705
    @elizabethmaturino705 หลายเดือนก่อน

    Mungu ninaomba unijaze roho wako mtatifu Zaid nina kiu nawe pia naomba baraka zako katka kaz yangu nipate wateja katika Jina la Yesu AMEN.

  • @AminaElMmanyi
    @AminaElMmanyi 12 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu naomba uibariki biashara yang,naomba pia Mungu Wang niingie kwenye ndoa takatifu,Mungu nawaombea watoto wangu wapate kaz na pia waondolee roho ya kukataliwa,naomba Kwa ajili ya ndugu zang Ee Mungu tuondolee roho ya magomvi tupe upendo wa kweli🙏🙏

  • @GaspardNdayiragije
    @GaspardNdayiragije 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu nipe bahati ya kupata pesa iri niripe madeni yote unipe bahati kazini uniepushe napombe nakuweza kua na akiba unirinde kuzurumiwa Tena amen😢

  • @juliethfrancis6170
    @juliethfrancis6170 9 วันที่ผ่านมา

    Leo nina Imani kabisa nitashinda katika mapito haya… yakusingiziwa juu yangu naomba Neema yako….Amini

  • @KabibiMure
    @KabibiMure 8 หลายเดือนก่อน

    Mathabahu ya achawi inanitesa saana mungu ni shuhulikia na kusihi babaa Ee Mungu wangu

  • @uwimbabaziesperance8478
    @uwimbabaziesperance8478 15 วันที่ผ่านมา

    BWANA Yesu,naomba unipiganie,naomba unijibu maombi yangu Bwana ❤❤

  • @user-os6pi2fd2c
    @user-os6pi2fd2c 22 วันที่ผ่านมา

    Yesu mim nimechoka kufanya kazi bila mishahara, uciku wa leo nikumbuke yesu, kaifungue milango yangu 😭 😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @FredericovalentiBanda
    @FredericovalentiBanda 5 วันที่ผ่านมา

    Naitaj kupandishwa cheo tarhe 24 ya mwezi huuu na kulipwa pesa zangu zote na kufunguliwa kiuchumi kwazia sasaivi kwa jina la yesu Amen 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏 🙏🙏

  • @Ney01-vd7mk
    @Ney01-vd7mk 5 วันที่ผ่านมา

    Naomba unsaidi kuomba juu ya watoto wangu wapapte ajira na kuwa karibu naMungu na kuponya wanougua nami kulipa madeni nakuskia vizuri sana ubarikwe mtumishi

  • @ramonamukhandi8899
    @ramonamukhandi8899 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu naomba ujibu maombi yangu leo katika Jina la Yesu Kristo.

  • @user-zw4dj5ux7e
    @user-zw4dj5ux7e 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unibariki namwenza mwema atakaye nipenda nakutebereya ndani yaamurizako sikumingi nikisubiyiya kwakuwa wame ninvujamoyo niwengi munguwangu nakumba mwenza anayejaa roho mutakatifu na kukutumikiya na anayejaa hakiri nahekima mwenye atakufuraisha namimi piya anifiraishe siku zote zamaisha yetu yote E Mungu wangu nisaindiye nimechoka mimi siweze nikubuke masia nanini unipariki nadowa takatifu nikubukemwana nimengi bwanayesu niungani she naye mwanayesu

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri หลายเดือนก่อน

    Eeee Mungu naomba uweze kunionyesha mume sahihi kwangu pia unifungurie mirango ya mafanikio yangu pia unirindie mwanangu kwa kira hari Mungu kwa jina la yesu kristo amen

  • @user-ld1uj2gz4z
    @user-ld1uj2gz4z 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu aniumbie roho mupya,aniwezeshe kuishi maisha matakatifu kwa jina la Yesu

  • @ZawadiMbatta-lt3yh
    @ZawadiMbatta-lt3yh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu wangu namuweka Mume wangu mbali na uyo mwanamke anaetaka kuivunja amani ya ndoa yangu,nawasambaratisha kwa jina la Yesu, namseta kuzimu uyo mwanamke,Ee Mungu aka ifanye ndoa yangu kuwa ndoa yenye amani na upendo,wafunike watoto wangu wa kiume,funika wazazi na ndugu yangu,bariki uchumi wetu ukanipe kibari kwenye biashara zangu, bariki kazi ya Mume wangu,usiniache Baba, nisaidie kukamilisha ujenzi wangu simama mwenyewe Baba yangu,nipe afya njema utukufu ni wako Bwana

  • @ImeldaJohn-qc2pl
    @ImeldaJohn-qc2pl 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu NAMI naomba nifunguliwe usku huu

  • @BahatiBahat
    @BahatiBahat หลายเดือนก่อน

    ninaomba mungu anipenguvu za kumba na mungu aniumbie moyo mzuri na aniongezee kiwango cha imani na anitowe kwenye umaskin na aniponye magojwa yote na anifungue ufaham wangu nipite kwenye njiya zimpendezayo

  • @user-kd1io7on6z
    @user-kd1io7on6z 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anibariki nichaguliwe na mimi nipate vizza ya U.S na anibariki niweze kujenga nyumba,awaongoze walinde watoto wangu usiku na mchana🙏

  • @marthakimati8913
    @marthakimati8913 วันที่ผ่านมา

    Namwomba Mungu ampe mwenzi wake wamaisha Mwanangu Jeweli

  • @user-fh8ri5qy2g
    @user-fh8ri5qy2g 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu nakuomba unipe ushidi wagushinda kira dhambi majalibu niw mutulivu unikosheshe nguvu zakujibu waliyo nisema vibaya ata namasikio yakuwasikia uyafunge nibaki naneno lako rila time niw nanyimbo zakuabudu your name thanks my God nigupitia uwezo wako yesu imanweli amen Amen ❤❤❤❤

  • @user-ez5jf1un7g
    @user-ez5jf1un7g 8 หลายเดือนก่อน

    Toa uzuni ndani ya moyo wangu ili furaha yako iwe ndani yangu mungu wa pastor innocent mashauri

  • @user-dg3si3rx1r
    @user-dg3si3rx1r หลายเดือนก่อน

    Mungu baba naomba ushugulike naku ingiliya Kati mafanyikiyo yangu naku ondowa roho ya mapo oza ingiliya Pia ndowa yangu kwa jina la Yesu Christo wa Nazareth

  • @hamalz
    @hamalz 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu anirejeshe kwenye njia nilikua nikiomba sasa sina iyo nguvu tena mungu anitie nguvu tena naomba kwa jina lake anirehemu

  • @hannyjohn6392
    @hannyjohn6392 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu anifungue mimi na mama yangu na atuponye maradhi atushibishe jwa miaka mingi sawa sawa na Zaburi 91

  • @tunuhaji
    @tunuhaji หลายเดือนก่อน

    Sharom mtumishi wa mungu naomba nisaidie tuombe kuusu biashara yangu nisaidie kuomba pamoja naitaji kuiamisha niamie sehemu nyengine kwa maombi haya ikatimie ameen 🙏

  • @tinahtinash6160
    @tinahtinash6160 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏🙏 nikumbuke yesu mahali nafanya kazi usiniache yesu wangu pekeangu sitaweza nipee nguvu mungu wangu nakuhitji kumbuka familiar yangu kwa kila changamoto za maisha 😢

  • @WinnyMwenda-dx4cu
    @WinnyMwenda-dx4cu 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏naomba mungu unikumbuke ktk hitaji langu la kutafuta kazi pamoja unitete ktk ndoa ninayoiingia maana maadui wamesimama kunitenganisha n mchumba wangu kwa maneno ya uongo mungu naomba unisaidie kupitia madhabahu hii 🙏

  • @ImeldaJohn-qc2pl
    @ImeldaJohn-qc2pl 2 วันที่ผ่านมา

    Ee mungu NAMI naitaji nikaongezeke kiuchumi na wateja wakaongezeke kazin kwangu

  • @anastellaanatory2870
    @anastellaanatory2870 27 วันที่ผ่านมา

    Naomba Mungu mafanikio ya masoma kwa watoto wangu hanifungue kwa uchumi wangu na kuniondolea madeni ya mikopo

  • @FrolaAlex
    @FrolaAlex หลายเดือนก่อน

    Ee mwenyezi MUNGU nakuomba uniondolee watu wasio sahihi katika maisha yangu napia nakuomba unikutanishe na mme sahihi wa maisha yangu naimani utanikutanisha nae Ameni

  • @rosendindi6634
    @rosendindi6634 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba mume wangu akaweze kurudi na watoto wangu wakaweze kuelewa suleni wakapate kibali juu yamasomo yao

  • @uwimbabaziesperance8478
    @uwimbabaziesperance8478 15 วันที่ผ่านมา

    Naomba Bwana uniponye magonjwa yote kwa jina la Yesu.

  • @SARAHMLELWA
    @SARAHMLELWA 29 วันที่ผ่านมา

    Naomba yesu usiku wa leo uniokoe katika roho ya kukataliwa,, madeni na kuimarisha ndoa yangu.

  • @teresiaemmanuelmswamwajuma2464
    @teresiaemmanuelmswamwajuma2464 19 วันที่ผ่านมา

    EE Mungu Wangu Wangu naomba unifunulia chenye kinaandele kwenye kazi yagu Kwa ajali Kuna Hali Sio za kawaida 🤲

  • @marthakimati8913
    @marthakimati8913 วันที่ผ่านมา

    Mungu nakuomba unipe mtu wa kunisadia wa kuniweze kwenye Ujenzi wa nyumba niliyoianza.

  • @HeriethKichumu
    @HeriethKichumu 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu nashukuru kwa amani na riziki unazonijalia kila siku kwenye Misha yangu,naomba Nuru iongezeke katika biashara yangu wateja waongezeke

  • @Stellanovatus751
    @Stellanovatus751 15 วันที่ผ่านมา

    Natoma Mungu akomboe ufaham wangu nakaziyangu pamoja na mahusiano yangu

  • @FredericovalentiBanda
    @FredericovalentiBanda 5 วันที่ผ่านมา

    Tunasikilizana vizuri kwa jina la yesu Amen 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu wewe ni mwema sana unakwenda kusikia maimbi yangu

  • @nahidarahima3889
    @nahidarahima3889 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu Naomba kibali na ulinzi na mafanikio ya maisha na afya yangu na watoto wangu na wajukuu Ameen

  • @user-vz5eh7rs3m
    @user-vz5eh7rs3m 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu arejesha afya yangu magonjwa leo ni mwisho amen😊

  • @user-ez9ve7nz7n
    @user-ez9ve7nz7n 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu neno lako likawe kiu na njaa maishani Mwangu niwe nguvu za kukuabudu katika roho na kweli niepushe na roho ya usingle mother nakataa roho ya kucheleweshwa katika jina la Yesu kristo alie hai.

  • @SarahAketch-cf6nf
    @SarahAketch-cf6nf 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu naomba aniondolee magonjwa kwa jina la Yesukristo

  • @user-xn3vq1gq3p
    @user-xn3vq1gq3p หลายเดือนก่อน

    Mungu fungua mlango wa kufinguliwa kiuchumi, hasa niweze kuanzisha kazi ya kufuga nguruwe, na mgonjwa ya familia yao doke Kwa Baba ile figo, na Mdogo wangu Agostino na mkewe Mungu kawaponye Sasa imetosha na uwasamehe makosa yao

  • @LwambanoRehema
    @LwambanoRehema 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba.watoto wangu ufahm wao shuleni.nami pia nipate ndoa na kazini nibali sehemu moja

  • @anniemwakampya704
    @anniemwakampya704 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anisaidie nipate moyo wakusamehe na kusahau atupe upendo kwenye ndoa yetu. Awasaidie watoto wangu wapate kiu ya kusoma na kujitambua .. Mungu anisaidie nisimame nafasi yangu kama mke na mama Bora.

  • @SesiliaIlanda-kk2ef
    @SesiliaIlanda-kk2ef หลายเดือนก่อน

    Nipone kisukari, nifunge ndoa na kuishi maisha ya kukupendeza wewe Mungu,watoto wangu wabarikiwe, Nikujue Mungu, niwe na Amani, Nijalie moyo wa shukrani

  • @user-kd1io7on6z
    @user-kd1io7on6z 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anipe afya njema na aniponye maradhi niliyonayo🙏

  • @joycehuchet972
    @joycehuchet972 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aijalie familia yangu afya njema,kufunguliwa kiroho,kiuchumi na kiafya.

  • @ImeldaJohn-qc2pl
    @ImeldaJohn-qc2pl 2 วันที่ผ่านมา

    Ee mungu naomba unifutie maagano ya ukoo na madhabahu ya familia

  • @daudindelembi6206
    @daudindelembi6206 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unijaze roho mtakatifu nitembee katika nuru yako siku zote. Uniondoe katika ndoto chafu zinazotesa moyo wangu. Na uponye ndoa yangu iliyoingiliwa na shetani hadi mahakamani na nioneshe mke sahihi wa maisha yangu. Nimechoka kuvunja ndoa kwa kukataliwa mara kwa mara.

  • @anniemwakampya704
    @anniemwakampya704 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu anisaidie ndoa yangu iwe na amani na tupendane sana na kuchukuliana madhaifu yetu. Mungu anisaidie nimalize deni na pia biashara yangu ikuwee

  • @renaldamchaki3306
    @renaldamchaki3306 7 หลายเดือนก่อน

    Nakupata vizuri Naomba uniombee watoto wangu wanisikilize. Niko kilimanjaro.

  • @karimathchantilal6565
    @karimathchantilal6565 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu afunguwe milango ya afya, kazi, ndoa, masikilizano kwenye familiya

  • @GraceMaliyao
    @GraceMaliyao 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu anisaidie kuiinua familia yangu kiuchumi na anipe mume sahihi

  • @user-hp7my3jt4t
    @user-hp7my3jt4t หลายเดือนก่อน

    Afungue uzao wangu kutokana na vifungo vya ajira ulevi na kusonga viwango vingine mungu tenda Kwa jina la yesu

  • @GloriaMillinga
    @GloriaMillinga 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba niolewe na mama yangu ashuhudie ndoa yangu, Baba yangu ashuhudie ndoa yangu kwa jina la Yesu kristo

  • @furahamichael6047
    @furahamichael6047 27 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba juni kumbuke mchezo wangu nnao ucheza wakupokea milioni 15 ndani ya miezi mi nne naomba unikumbuke nikamilishe amina

  • @SharonNelima-w6t
    @SharonNelima-w6t 10 วันที่ผ่านมา

    Naomba mungu anibadilishe kiroho nimtumikie yy Kwa maisha yangu

  • @ScolastikaNathan
    @ScolastikaNathan 8 หลายเดือนก่อน

    Ee mwenyezi mungu naomba unifanyie muujiza wakuweza kufungua biashara yangu wafungue watoto wangu fungua familia yangu gusa mioyo ya wazazi wangu wakujue wewe mungu wangu naamini huu mwaka naomba uwe wa baraka kwangu

  • @HamisijumaJuma-g2s
    @HamisijumaJuma-g2s 5 วันที่ผ่านมา

    Ugonjwa,uchumi,changamoto za familia mungu awe nami Niya shinde.

  • @JulitaAndrea-nu6pz
    @JulitaAndrea-nu6pz 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu msaidie Mjukuu wangu aliyeoko chuo ,aweze kupata mkopo na awe kichwa asiwe mkia tena

  • @annaurembo4544
    @annaurembo4544 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu naomba unishike mkono,uachilie ulinzi juu yangu na familia yangu,Baraka zako ziwe juu ya maisha yangu na familia yangu na ukaachilie ongezeko katika familia, uchumi,ndoa,,kazi,uzao na biashara

  • @user-kw6zy8rz5q
    @user-kw6zy8rz5q 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba uachilie kibali Cha afya juu ya familia yetu,Ustawi wa kila eneo,ulinzi, kibali Cha kazi,na kufunga kila Roho za madhabahu za Giza zinazotufwatilia katika Jina la Yesu Kristu wa Nazareth