3. MAOMBI YA KUVUNJA NDOA YA KIROHO | Spiritual Husband | Spiritual Wife | MWL. ISAAC JAVAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Watu wengi wamefunga ndoa za kiroho bila kujua, na nafsi zao zinashikiliwa mateka katika ulimwengu wa giza. Kutokana na hali hiyo, wamejikuta wanaishi maisha yenye mateso ya kiafya, kiuchumi, na kimahusiano. Lengo la somo hili ni kukupa maarifa ya kukusaidia kuomba ili uweze kuvunja ndoa ya kiroho uliyoingia, na uweze kutembea katika ushindi kwenye kila eneo linalogusa maisha yako. Karibu ujifunze na tuombe pamoja, na YESU atakufungua na kukuweka huru.
    Mungu akubariki na kukushindia. Amen!
    Isaac Javan | +255 745 76 45 72 |

ความคิดเห็น • 277

  • @Bahati-b1
    @Bahati-b1 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jana tu ndio nlipo anza kusikiza haya maombi na leo nmeomba na nyinyi tena sehemu ya 3, Mtumishi wa mungu ubarikiwe sana sana nimeteseka sana kwa hii hali ya maroho za giza yananifungia hadi milango ya kazi ila leo naamini nimefunguliwa na damu ya yesu kristo tena imenisumbua pamoja na watoto wangu. Ila nmepokea uponyaji leo 🙏 🙏

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 19 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana Yesu Kristo wanasareti asifiwe,mm nifwatikiya haya maombi usiku nikaoda ndodo picha yaku na picha ya mwanaume mwenye simujui siko Dani Ya Moto sinateketea

  • @halmashekalage2318
    @halmashekalage2318 ปีที่แล้ว +2

    Eeh Mungu wangu nakushukuru kwa ajili ya mtumishi wako nafatilia kila siku naomba naona Tofauti kwa jina la Yesu ....nmeteseka sana lakini mwisho wa jini mahaba umefika

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen nakuombea ushindi mkuu kwa jina la YESU

  • @abiangoroma8146
    @abiangoroma8146 18 วันที่ผ่านมา

    Ameeen, Ameeen Kwa jina la YESU na Kwa damu ya YESU 🙏🙏🙏🙏

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 25 วันที่ผ่านมา

    Amina amina amina amina umbarikiwe mtumishi wamungu sikuzote zamaisha yakomungu awenawewe❤

  • @ashurakigada
    @ashurakigada 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nime fanya maombi kwaimani jini mahaba kanitesa miyaka mingi naimani zazariwa una ubarikiwe mtumishi wa ngu kwa kutuongoza na haya maombi kwani wengine ni waisramu hatujuwe tuombe vipi nashukuru Nina barikiwa🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @user-zs6ze9hn6p
      @user-zs6ze9hn6p 2 หลายเดือนก่อน

      Namimi ni mwislam mzuri tena dua zote nimehifadh lakn nikisikiliza maombi ndo naona mwanga hata njozi za kupa hukimbia we fata moyo yesu alikuja kuukomboa ulimwengu dini isitufunge yesu hakuhubiri ushirikina wala uovu

  • @dgjkkkvbjkk6041
    @dgjkkkvbjkk6041 ปีที่แล้ว +8

    May God continue to lifty yu higher and higher and to keep yu alife..ndio uwendelee kusaidia watu wa mungu tumeteseka mchungaji ..ashukuriwe mungu kwa kukupa haya mufundisho ili ukatusaidie mungu aendelee kukuweka hai Amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว +3

      Amen Amen mwanangu sifa na utukufu kwa BWANA YESU. Mungu akubariki sana na YESU azidi kukuonekania na kukushindia katika mambo yote. Ubarikiwe sana

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

      Hakika tumeteseka sana ngoja mim nishare na kwa wengine wasaidike

    • @yunitamtaki9309
      @yunitamtaki9309 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@IsaacJavanMungu akubariki mtumishi

    • @witnesselkana
      @witnesselkana 20 วันที่ผ่านมา

      😢haya 😢 maombi ningepata baada ya ndoa Leo ningekuwa na WATOTO
      Hakika ni neema ya Mungu kukutana na haya maombi ajawahi yasikia popote
      Ee Yesu kupitia haya maombi Jini Mahaba akimbie Leo niwe huru nipate WATOTO wakike na wakiume
      Mungu akubariki mtumishi Kwa kujitolea uishi maisha marefu😢😢😢😢

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb 28 วันที่ผ่านมา

    Napokea kibali kwa damu ya Yesu niwe huru Amen

  • @rosemgaya9332
    @rosemgaya9332 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana kuhani wa bwana 🙏🏻, hakika kwa maombi haya tutafunguliwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @elizabethfregrin
    @elizabethfregrin ปีที่แล้ว +3

    Asante Yesu kwa kuniponya kutumia mtumishi wako..Glory to God 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว +1

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @EstherMalimi-nv1mn
    @EstherMalimi-nv1mn 2 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa kunikomboa kutoka katika haya maroho. Naamini Mungu umenifungu na malengo yangu yatatimia katika jina la Yesu Kristo Aminaa. Nimekombolewa

  • @OmethoTeam
    @OmethoTeam 28 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa mungu nimeanza jana lakini naona uwepo wa bwana amen

  • @komugishsophiaeasygril7670
    @komugishsophiaeasygril7670 ปีที่แล้ว +4

    Asante Yesu kwa kufungua nafisi yangu..

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @janetnaliaka-ew3yp
    @janetnaliaka-ew3yp หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa kazi nzuri unayofanya

  • @salimaechessa8933
    @salimaechessa8933 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Yesu kwa kuniokoa na kunikomboa kutumia mtumishi wako.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @aimeebusime5849
    @aimeebusime5849 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🖑🖑nashukuru sana kwa maombi haya nimeteswa muda murefu.ubarikiwe sana Mutumish waMungu Mungu👏👏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu, nakuombea YESU akupe ushindi mkuu katika hili. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote

  • @user-yi9sv9dn7j
    @user-yi9sv9dn7j 6 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akubariki mtumishi binafsi namshukuru MUNGU kwaajili yako nimejua namna kuomba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน +1

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele. Hivi karibuni kuanzia wiki ijayo tutakuwa na masomo ya biblia na maombi. Nakukaribisha uungane nasi. Tufuatilie kwenye WhatsApp status kuanzia Jumatatu, ili kuungana nasi

  • @mariammsangi5586
    @mariammsangi5586 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen Mungu Asante kwa maombi haya nakunifungua kupitia mtumishi wako mwl.isaac Javan kwa jina la Yesu Kristo mwana wa Mungu aliyehai.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu sifa na utukufu kwa BWANA YESU. Zidi kutembea kwenye ushindi na YESU akulinde daima. Ubarikiwe sana

  • @sophiamsuliche9487
    @sophiamsuliche9487 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana hakika nimefunguliwa katika vifungo vya majini mahaba yameshindwa kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU azidi kukutunza na kukulinda, usipatwe na shida hiyo tena

  • @Cisuminoabraham8581
    @Cisuminoabraham8581 ปีที่แล้ว +2

    Amen thanks you lord am delivered
    Nilikuya nasumbuliya na ma fibroids but now am delivered niko Zambia

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen to Jesus be the praise. God bless you and keep walking in victory

  • @WitnesJohn-yg6yg
    @WitnesJohn-yg6yg 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi was Mungu Kwa mafindisho na maombi mazuri yenye nguvu ya Mungu Mungu akutunze Baba.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen mwanangu zidi kubarikiwa na BWANA YESU azidi kukuhudumia. Damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako

  • @asminetaba253
    @asminetaba253 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen, asante sana yesu kwa kuniponya kunifunguakwa vifungo vyamajini mahaba, ubarikiwe sana mtumishi wa mungu ninabarikiwa sana 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @SELAH.239
    @SELAH.239 ปีที่แล้ว +1

    Asante Yesu kwa kunifikisha hapa.niko huru sasa. Asante Mutumishi wa Mungu.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @didoniwa4206
    @didoniwa4206 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Amen, Asante sana mtumishi wa yesu christo bwana wetu.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele

  • @asanianselm6759
    @asanianselm6759 6 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor may God bless you nimepokeya ufungulivu wa Maisha yangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen zidi kutembea katika ushindi.

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 6 หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu ni mwema, ahsante mtumishi wa Mungu kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu kutuletea maombi haya.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU atukuzwe sana. Ubarikiwe kwa baraka za milele

  • @EuniceMutua-wp2ur
    @EuniceMutua-wp2ur 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Kwa mafunzo na ubarikiwe sana nimeelewa mambo mengi na kuponywa pia

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe sana kwa baraka za milele

  • @mwajumadiike4974
    @mwajumadiike4974 6 หลายเดือนก่อน

    Amen,thanks pastor,barikiwa sana sana Mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen Mungu akubariki sana na kukutunza daima

  • @odettenzeyimana6278
    @odettenzeyimana6278 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mtumishi wa mungu ,Jina la yesu kristo libalikiwe milele Amen.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu zidi kubarikiwa na kutembea kwenye ushindi daima.

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 ปีที่แล้ว +1

    Asante YESU kwakunifungua Mimi na Mume Wangu ubarikiwe Mtumishi MUNGU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @millyandiva1657
    @millyandiva1657 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏,hiyo Maombi imekuwa msaada wangu,nimepona, Asante mwalimu Issac Javan.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 11 หลายเดือนก่อน +1

    Maombi mazuri. Sana Mungu aturehemu sana Mungu wetu ni mwema atusaidie

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @isaacochieng6354
    @isaacochieng6354 ปีที่แล้ว +1

    Asante YESU KRISTO kwaajili yako maana nilisubiri sana YESU akutunze

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote. YESU akushindie katika yote

  • @user-yn4uh6gd2b
    @user-yn4uh6gd2b 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu kwa kunifungua ubarkiwe sana mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen zidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele yote

  • @user-zs6ze9hn6p
    @user-zs6ze9hn6p 2 หลายเดือนก่อน

    Thanks alot my spritual father stay blessed in Jesus name realy you save my marriage

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 6 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen AmenMtumishi Wa Mungu.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 ปีที่แล้ว +1

    Ameen Ameen baba barkiwa kwa maombi haya namuona Mungu kwaviwango vyajuu kupitia masomo na maombi yako baba Mungu azidi kukufunulia maufunuo zaid 🙏🙏

    • @groliajohn5184
      @groliajohn5184 ปีที่แล้ว +2

      Ameen nimefunguliwa ktk Jina la Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว +1

      Amen Amen mwanangu, jina la BWANA YESU litukuzwe sana. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว +1

      Amen Amen mwanangu, sifa na utukufu kwa BWANA YESU. Zidi kubarikiwa kwa baraka za milele yote

  • @marybukuku1494
    @marybukuku1494 ปีที่แล้ว +1

    Ameen Asante sana mwanagu nashukuru sana kwa maombi Mungu akubariki sana ktk jina la YESU 🙏🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen Amen uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote. Amen Amen

  • @evainnocent9520
    @evainnocent9520 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Mungu wa Mbingun Akubariki sana naaendelee kukupa mafunuo zaid maana Huyu mdudu alinitesa sana lakin Leo ametoka napiga mieleka ndan nikiamka ninae mpaka katoka nasiachi kuomba tena natena yaan aliweka misingi kambi akajenga Na Nyumba nimezivunja ila nilikua nikiomba najiona nipo kijijin kwetu nawalinz wasimamiz wataenda simulia nimewatoa wote . piga moto Asant sana sana sanaaa.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen Amen mwanangu, jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Zidi kutembea kwenye ushindi daima, na YESU azidi kukulinda

    • @halmashekalage2318
      @halmashekalage2318 ปีที่แล้ว

      Eeeh Mungu na anitetee kwa Hilo

  • @kayitarecharles6993
    @kayitarecharles6993 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏 nagiunganisha na maombi haya kwajina la YESU 🙏🙏🇬🇦

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @neemadaniel9209
    @neemadaniel9209 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi wa Mungu naamini nimefunguliwa na nimekuwa huru sasa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 26 วันที่ผ่านมา

    U mbarikiwe mtumishi wamungu hiinishinda kwamu ndamrefu kunifatiria ninaimani tangureo shetaniame ameanguka kwajinarayesu

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa maombi naomba mungu anifungue katika vifungo vya jini mahaba inanitesa sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว +1

      Amen mwanangu. YESU akuponye na akupe ushindi kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana

  • @lucymwaisela9883
    @lucymwaisela9883 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana na maombi Asante Roho Mtakatifu kwakumtumia mtumishi was Mungu mhuyu,namuombea uzidi kumwezesha zaidi ainene Siri ya injili kama haya

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele

  • @esternselu-tq9uh
    @esternselu-tq9uh ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu Asifiwe mwalimu ,asantee kwa maombi mazuri kiukweli mm yamenisaidia sana,ila toka nianze maombi haya kuna changamoto nakutana nazo na nilipenda nikueleze ,nisaidie namba ili nikupigie mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. Wasiliana nasi kwa namba za simu tulizoweka kwenye comment iliyopita

  • @elizabethmwendwa7357
    @elizabethmwendwa7357 ปีที่แล้ว +1

    Amen Asante yesu kwa kunifugua na kufugua watoto wangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @upendochiwa25
    @upendochiwa25 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen ! Asante mtumishi kwa maombi haya

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @redemptamtui8665
    @redemptamtui8665 หลายเดือนก่อน

    Be blessed man of God!

  • @evajohn7627
    @evajohn7627 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe baba naamini Niko huru Mimi na ndoa yangu na familia yangu barikiwa Sana bayangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu, jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Mungu azidi kukubariki na kukushindia katika yote

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru Mungu kwa ajili ya maombi haya barikiwa sana mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu, uzidi kubarikiwa kwa baraka za milele yote. YESU azidi kukushindia katika yote

  • @marrynaftali7969
    @marrynaftali7969 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Yesu amenifungua,ubarikiwe Sana baba Ni Neno la wakati kwangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว +1

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU na uzidi kutembea kwenye ushindi daima

  • @Thierry561
    @Thierry561 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen nimefunguliwa kwa jina la Yesu alie hai

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU

  • @annbrendanalech7429
    @annbrendanalech7429 ปีที่แล้ว +1

    Amen thank you jesus najua umenifungua na husband spiritual

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akutunze na kukulinda daima

  • @evamsita9961
    @evamsita9961 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wa mbinguni akubariki mtumishi Kwa maombi haya

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @TwabwikeRuben
    @TwabwikeRuben 3 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @JosephineFerdinand-gp3oq
    @JosephineFerdinand-gp3oq ปีที่แล้ว

    Amen. Amen. Asante Bwana Yesu. Barikiwa mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @matridanyambo3747
    @matridanyambo3747 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina nayapokea kwa Jina la Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @blessedemily3652
    @blessedemily3652 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen...I am so blessed, thank you sir and God bless you.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen God bless you too

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 หลายเดือนก่อน

    Asante BWANA YESU ALIYEHAI kwa maombi haya
    Ninaamwamini MUNGU MWENYEZI ALIYEHAI mwingi wa rehema amenifunguwa
    Barikiwa mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI 🙏 🙏

  • @evajohn7627
    @evajohn7627 ปีที่แล้ว +1

    Asante mungu kwakinivua hii roho wakati wangu wakupokea nisasa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 6 หลายเดือนก่อน

    Amem Amen Amen. Namfumgua Mtoto Wangu Kwa Jina La Yesu Kristo.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU.

  • @JonlyMasawe
    @JonlyMasawe 2 หลายเดือนก่อน

    Ubbarikiwe sann nimeteseka. Na majini. Mahaba.i miaka. Mingi. Sana llakinikwa. Maombi haya yana. Ondoka.mtumish. ubarikiwe. Sana

  • @EmpressMary-mz6jj
    @EmpressMary-mz6jj 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sante yesu kwa uponyaji wako amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @augustinanemes1353
    @augustinanemes1353 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa MUNGU 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU

  • @ClementineKapagama-ml7ok
    @ClementineKapagama-ml7ok 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 6 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo hili mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen uzidi kubarikiwa sana pia na BWANA YESU milele yote

    • @valentinanduku8718
      @valentinanduku8718 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@IsaacJavanhili somo nilikuwa nalitaka sana asnte sana pastor

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      @@valentinanduku8718 Amen Amen YESU akutendee makuu na kukupa ushindi

    • @valentinanduku8718
      @valentinanduku8718 6 หลายเดือนก่อน

      @@IsaacJavan Amina

  • @halmashekalage2318
    @halmashekalage2318 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @user-yi2xy1fg2x
    @user-yi2xy1fg2x 6 หลายเดือนก่อน

    Machungaji ubarikiwe sana mimi nasumbuliwa na jini mahaba ila namsukuru mungu nimepona kwa imani

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele

  • @Joyceisaka
    @Joyceisaka 5 หลายเดือนก่อน

    Aaamenii ameeni 😢😢😢😢😢😢😢nimefungukaaa nakadri nitakavyo fanyaa maombi haya nafunguaaaa hallelujah

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU azidi kukushindia na kukubariki

  • @evajohn7627
    @evajohn7627 ปีที่แล้ว +1

    Asante yesu wewe ni mwema umenitetea yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @user-kb8wv6kg8g
    @user-kb8wv6kg8g 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen we thank u for this power food

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  10 หลายเดือนก่อน

      God bless you and thank you for joining us

  • @pauloadamu9492
    @pauloadamu9492 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi Bwana YESU asifiwe nimeludi tena wakati namalizia ujumbe wa tatu wa. maombi ya kuvunja ndoa ya kiroho usiku wa kuamkia Leo nimeota nikiwa na mwanamke nikamnyanganya cm na laini ya cm nikazivunja vunja mtumishi inamaana gani hii mtumishi

    • @user-ok3gy6nc7w
      @user-ok3gy6nc7w หลายเดือนก่อน

      Maana yake umekata mawasiliano na huyo jin 🎉 hongera

  • @esthermrema6218
    @esthermrema6218 10 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @user-mo3kl1zq2h
    @user-mo3kl1zq2h 6 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe pastor 🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe nawe sana pia

  • @user-ni4pg8ko4r
    @user-ni4pg8ko4r 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi wa mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @emmyhayanga9608
    @emmyhayanga9608 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika nimefunguliawa kwajina la YESU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen YESU azidi kukuonekania na kukushindia

  • @faithe4063
    @faithe4063 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen pastor May God bless you 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน +1

      Amen, God bless you too with everlasting blessings

  • @user-ux5es5jb4j
    @user-ux5es5jb4j 5 หลายเดือนก่อน +3

    Naamini nimefunguliwa Kwa jina la yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  5 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

    • @estherSamuel-o1j
      @estherSamuel-o1j 23 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@IsaacJavan Mtumishi naomba namba ya sadaka ya shukrani Kwa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  21 วันที่ผ่านมา

      @@estherSamuel-o1j Amen Mungu akubariki. Namba ni +255 745 76 45 72. YESU akutane na haja za moyo wako

    • @estherSamuel-o1j
      @estherSamuel-o1j 21 วันที่ผ่านมา +1

      @@IsaacJavan ameni Asante MUNGU azidi kukutumia Kwa kiwango Cha juu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  21 วันที่ผ่านมา

      @@estherSamuel-o1j Amen Amen

  • @Thierry561
    @Thierry561 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen nimefunguliwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen nimefunguliwa❤❤

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen jina la BWANA YESU litukuzwe na kusifiwa sana. Damu ya YESU ikulinde na kukutunza daima

  • @vanebichanga9466
    @vanebichanga9466 ปีที่แล้ว +1

    AMEN and AMEN GLORY to God am free 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว +1

      Amen Amen hallelujah! God bless you with everlasting blessings

    • @vanebichanga9466
      @vanebichanga9466 ปีที่แล้ว

      @@IsaacJavan haya maombi yana nguvu sana ila mungu alinitetea na Kunipa nguvu

  • @carrenbirundu2534
    @carrenbirundu2534 ปีที่แล้ว +1

    Amen be blessed pastor.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 หลายเดือนก่อน

      Amen thank you, God bless you too

  • @laurenetekopi4812
    @laurenetekopi4812 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana baba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 หลายเดือนก่อน

      Amen mwanangu ubarikiwe sana pia kwa baraka za milele yote

  • @marybukuku1494
    @marybukuku1494 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kutumia kwa kadri Mungu atakupatia mafundisho mengine ninasubiri kwa hamu kubwa sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu zidi kubarikiwa na BWANA YESU. Mungu ni mwaminifu na atatupa kibali tena cha mafundisho ya Neno la Mungu

    • @josephinekabisi6834
      @josephinekabisi6834 ปีที่แล้ว

      Napokea kwa jina la yesu

  • @leahmwakalambile1648
    @leahmwakalambile1648 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu! Naomba namba ya Sayaka ya ibada kwenye madhabahu ya Mungu aliye hai

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele yote. Zidi kutembea kwenye ushindi daima

  • @patriciafabiani1938
    @patriciafabiani1938 ปีที่แล้ว +1

    Asante mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @Nathyngwala
    @Nathyngwala ปีที่แล้ว +1

    Amen nime barikiwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @mercynadia3140
    @mercynadia3140 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiww mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว +1

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @Besmile27
    @Besmile27 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen am grateful 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen God bless you

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 ปีที่แล้ว +1

    Amen nimefunguliwa Mimi na Mume Wangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @dorcasasia2819
    @dorcasasia2819 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 be blessed pastor

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen God bless you very much

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  7 หลายเดือนก่อน

      Amen YESU akupe ushindi

  • @user-dk2iz6gs4k
    @user-dk2iz6gs4k ปีที่แล้ว +1

    Thanks a lot pastor

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Amen God bless you forever

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 ปีที่แล้ว +1

    Amen natangaza kufunguliwa Mimi na mume wangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu YESU akushindie na kukubariki kwa baraka za milele yote

  • @babiyremastula2735
    @babiyremastula2735 ปีที่แล้ว +1

    Amen asante yesu 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 19 วันที่ผ่านมา

    Nilioda mwanaume amekuja kwaku kwa zura ya mwanaume waku wa kitambo akisema nilimukataa na nilisaa nayeye watoto wawili nikamufunguza lakini akanilebu Kwa nguvu

  • @ManifuaMchele
    @ManifuaMchele 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Aman ❤️

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  4 หลายเดือนก่อน

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 ปีที่แล้ว +1

    Amen Jesus name kunifungua Mimi na Mume Wangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  ปีที่แล้ว

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

    • @maryciru
      @maryciru ปีที่แล้ว

      Ameen niko huru in Jesus mighty Name

  • @gamingcasbet1
    @gamingcasbet1 ปีที่แล้ว +1

    Ameen yananisaidia sana ila ndo naota ndoto za kupigana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  6 หลายเดือนก่อน

      Mungu akubariki sana na kukupa ushindi mkuu dhidi ya ndoto

  • @FarhO-r7m
    @FarhO-r7m 29 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen