Mungu wangu na baba yangu nitafunga ndani ya wiki mmoja ninaomba uniongoze vyema nisitetereke hatamaramoja kusikue nachangamoto yoyote yakunifanya mvungo wangu uharibiki kwajina la yesu uniongoze vyema na katika mfungo huu naomba Mlinde mama yangu familia yangu mpenzi wangu nawapenda wangu naomba uwape afya njema wape ujasir wafanye wakujue wewe zaidi Amen
Kupitia kufunga na kuomba kwa Leo na Kesho naomba Mungu ukaachilie Kila baraka zangu na familia yangu,,ukatende jambo juu ya maisha Katika Jina la Yesu wa Nazareth Alohai
Amina nimebarikiwa sana na mafundisho yako naimani katika mfungo wangu waleo nimepata kitu na ujuzi zaidi naimani kupitia mfungo huu nitafunguliwa vitu vingi
Asante sana mtumishi Mimi nipo kwenyemfungo wa siku Tano naomba mungu awafungue wanangu katika mitihani Yao ya kufunga shule wakafauli vema na waweze kukumbuka Yale yote ambayo wamefunfishwa 🙏🙏
Asanten sana nimetambua kwamba kira mafungo unayo funga uwe unatowa sadaka,mi napenda kufunga mafungo ya week siku 7 kila mwezi lakini sijajua kwamba ni lazima utoe sadaka kwajili ya hayo maombi,lakini najua kitu nacho simamia kuomba kwa mafungo nayo fanya, asante sana kutufunza,Mungu azidi kukubalik🙏
Mungu wangu naomba uniokoe na vifungi nimeota nimekimbizwa sn ni kakamatwa nikafungwa pingu, mungu naomba uniondolee ivo vifungo baba kwa kufungua na kuomba
Kupitia kwa kufunga na kuomba siku ya leo,Mungu wangu naomba breakthrough kwa kazi yangu haijalishi nimepitia mambo ngapi,haijalishi niko na deni kiasi gani,haijalishi imechukua mda gani,naomba siku ya leo ikuwe ndio mwisho wa mashida zangu na ikuwe muamko mpya in the mighty name of Jesus.... Amen 🙏🙏
Amina 🙏 Mungu naomba katika Mfungo wangu wa siku ya leo nikuone wewe.. bariki familia yangu na unifanyie wepesi katika yote ambayo ni magumu kwa wewe Mungu unaweza yote 🙏🙏
Kupitia kufung kwangu wiki mbili ee mungu naomba ukanionekanie katika maombi yangu ukajibu maombi yangu nikakuone ukinitendea miujiza kwang na katika familia yangu ameniii
Ubalikiwe mtumishi umenitoa gizani na kuniweka kwenye nululu make sikuwai kujua nini maana yaku funaga na sikujua ninamna gani nifunge ,ubalikiwe na bwana na mungu akutie nguvu

Amen amen 🙏📖 nimeyapenda sana mafundisho Yako MUNGU Akubariki sana 🙏🙏🙏🙏📖
Kweli ni vizuri kufunga na kuomba. Wacha Mungu atusaidie
Nlifunga mungu akaniokoa kutok kwa sumu nlikua nimeekewa bila kujua 🙏🙏🙏mungu ni mwema kuna nguv kw kufunga
Naomba mungu anisaidie mfungo wangu askie hitaj la moyo wangu Amina 🙏🙏
Naomba mungu anisaidie mfungo wangu askie hitaji lamoyo wangu ,ninaimani na wewe mungu wangu😭🙏
Amen mungu nipe imani ya kufungua nani kuimba niweze kupata jibu katika jina la yesu kresto amina
Vraiment tunashukuru sana kwakutusaidia kwa maombi haya tukiwa ndani ya magumu yakufatiliwa
Amen and Amen pastor tumboni mungu yupo nasi 🧎♂️🙏
Kupitia kufunga na kuomba kwa Leo na Kesho naomba Mungu ukaachilie Kila baraka zangu na familia yangu,,ukatende jambo juu ya maisha Katika Jina la Yesu wa Nazareth Alohai
Ukifunga usiambie watu fanya kisiri
@@leilakira❤ Ameeeni
Amina nimebarikiwa sana na mafundisho yako naimani katika mfungo wangu waleo nimepata kitu na ujuzi zaidi naimani kupitia mfungo huu nitafunguliwa vitu vingi
Asante sana kwa kutufahamisha gisi ya kufunga
Amen MUNGU akubariki
Asante sana mtumishi Mimi nipo kwenyemfungo wa siku Tano naomba mungu awafungue wanangu katika mitihani Yao ya kufunga shule wakafauli vema na waweze kukumbuka Yale yote ambayo wamefunfishwa 🙏🙏
Asante sana nimepata nilichokua natafuta kwa ajili ya mungo be blessed pastor 🎉😊
Amen 🙏 na mungu anisaidie nimalize mfungo wangu kwa jina la yesu
Asante mtumishi umenifumbua sasa naongezea maombi ya kumtafuta mungu ubarikiwe sana
Amen naomba Mungu anipe nguvu nauweza wa kufunga nz kuomba
Amen.. barikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏🏿🙏🏿
Barikiwa sana
Asanten sana nimetambua kwamba kira mafungo unayo funga uwe unatowa sadaka,mi napenda kufunga mafungo ya week siku 7 kila mwezi lakini sijajua kwamba ni lazima utoe sadaka kwajili ya hayo maombi,lakini najua kitu nacho simamia kuomba kwa mafungo nayo fanya, asante sana kutufunza,Mungu azidi kukubalik🙏
Mungu wangu naomba uniokoe na vifungi nimeota nimekimbizwa sn ni kakamatwa nikafungwa pingu, mungu naomba uniondolee ivo vifungo baba kwa kufungua na kuomba
Amen Amen, maelezo na mafunzo mema. Barikiwa sana Mtumishi, nimepata kufahamu Kufunga na Kuomba ni nini.
Ashunguli Mungu Kwa maombi na mafundisho mazuri God bless you
Amen and Amen more blessings
Amen Amen Mungu akubariki Mtumishi kwa Mafundisho haya
Kupitia kwa kufunga na kuomba siku ya leo,Mungu wangu naomba breakthrough kwa kazi yangu haijalishi nimepitia mambo ngapi,haijalishi niko na deni kiasi gani,haijalishi imechukua mda gani,naomba siku ya leo ikuwe ndio mwisho wa mashida zangu na ikuwe muamko mpya in the mighty name of Jesus.... Amen 🙏🙏
Mungu nimwema siku zote aliyonitendea wiki hii jamani mungu anafanya hadi tusivyotalajia
Amina 🙏 Mungu naomba katika Mfungo wangu wa siku ya leo nikuone wewe.. bariki familia yangu na unifanyie wepesi katika yote ambayo ni magumu kwa wewe Mungu unaweza yote 🙏🙏
Kupitia mfungo wangu namba mungu anifungulie milango ya mafanikio yangu
Amen... Nashukuru Kwa Mungu Kukutumia kutupitishia ujumbe..
Amen God bless you Pastor🙏🙏🙏
Ameni 🙏🙏🙏 nimebarikiwa sanaa
Pastor ni kweli kufunga na kuomba amen
Amen Pastor 🎉 kulingana na kufunga kwangu mungu atende miukisa kwa familia yangu na maisha yangu
Namini mungu katika kufunga kwangu kwa leo mungu utinda asante paste mungu akumbari tunapo kuwakwa kufunga leo tutia moho katika kufunga
Ubarikiwe sana mchungaji nimependaa mafundiho yako
Amen Amen barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Amen
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana, asante sana kwa NENO la Baraka
Ubarikiwe mtumishi nimebarikiwa na mafundisho haya
Honger mtumish kwa somo zuri
Bwana yesu kupitia funga yangu ya leo na kesho naomba ukaonekane katika maisha yangu na familia yangu
Thank you so much God bless you
Mtumishi nashukuru maombi haya yamegusa moyo wangu kweli.
Hallelujah hallelujah amen na yote yatendeka in Jesus Christ
Ninaomba mungu unitungue vifundo vyote kwenye mwili wangu
Nimefunga SKU 3 nauna mkono WA mungu akubark mtumishi
Ni kweli Mimi sijawah kufunga nakuomba ufunge pamoja na Mimi nimejifunza kuomba ata usiku wa manane la ulivyonifundsha
amen mtumishi
Kupitia kufung kwangu wiki mbili ee mungu naomba ukanionekanie katika maombi yangu ukajibu maombi yangu nikakuone ukinitendea miujiza kwang na katika familia yangu ameniii
Naomba mungu anipe wepes wa kufunga
Ahsante Mungu nisaidie katika funga yangu ya leo
Ee mungu kufunga na kuomba kwangu naomba mung ufungue milango yang yote
Mungu naomba kupitia mfungo wa tatu kavu Mungu nikomboe na vifungo vilivyo nishikilia ndan yangu kwa jina la Yesu
ubarikiwe sana,,nmejifunza kitu
Asante sana pasta hakika meelewa, Amina
Naomba Mungu akatende ktk ungamonisha na mfungo huu wa siku 14 anitendee hitaji la moyo wangu
Nataka mungu nifu guliwe kirahisi i nletee chaguo langu generali mng nivutie ylyl tukutane mtandaoni
Nimefunga Leo naomba mungu kubadilidsha maisha yangu
Amen and amen 🙏🙏
Mungu wangu aniwezeshe sana
Nafuga leo kutoka sai and kesho juu ya maisha yangu na family yetu
Eee mungu nafunga leo naomba nijiwe naombi yangu
MUNGU WANGU MEFUFUNGA LEO NAOMBA NIPATE UPONYAJI . AMEN
Bwana yesu asifiwe mchungaji mimi nipo kwenye mfungo wa siku 21 ila chakula nakula usiku tu je inaitajika hivo
eee mungu ktk kufunga kwangu leo ukanifungulie malango yangu ya fedha na mwanangu akafunguliwe akili zake aweze kumuelewa mwalimu anachomfundisha
Tuelekeze baba yetu wa kiroho🙏🙏
Amen Amen 🙏🙏🙏
Barikiwa sana.
Mtumishi mungu Akubariki
Ni kweli tunahitaji nguvu ya kuomba
Amina🙏
Mungu katika maombii yangu ya siku tatu mungu ingililiaa kati
Ubalikiwe mtumishi umenitoa gizani na kuniweka kwenye nululu make sikuwai kujua nini maana yaku funaga na sikujua ninamna gani nifunge ,ubalikiwe na bwana na mungu akutie nguvu
Mwenyezi mungu katika funga yangu ya Leo naomba ukanitrnganushe na kila vizuizi kwenye maisha yangu, na familia yangu🙏
Kifunga kwa leo mungu atatenda
Mungu naomba kibalichako katika sikuhizi naomba majibu kamili ya safari yangu
Kupitia maombi yangu ya leo ya kufunga naomba Mungu ukanifungulie kila vifungo vilivyofungwa ; ukaniinue kiuchumi mimi na familia yetu
Amen and amen
Amen🙏🏻
Naomba mungiu nitafunga nitafunga siku 21 uniongoze vyema unipe hotaji la moyo wangu
Mungu naomba kufunga na kuomba leo na kesho naomba ukanifungue nione siku zangu
Emen emen🙏🙏🙏🙏🙏
Amen🙏
Amen amen 🙏🙏
Jambon mutumishi wamungu
Jambon mutumishi wamungu nalomba namba zako za wtsp Niko wamupia.
Unaweza kufunga lisaa masaa Saba inawezekana
amen 🙏🙏
A Meni mungu nionekanie
Mungu akitubariki nasisi hatuwezi kukusahulika sababu unatuweka bidii yakuomba
Ni meelewa kitu apo pastor asanti
Ameen
Eee Mungu nisaidie nipate kujifunza jinzi ya kufunga na kuomba
Thank you mungu akubariki sana🙏🙏
Emungu naomba kufunga kwangu naomba uniondolee magonjwa mazitomwilin kwangu
AMEN
Hasante sana muchungaji
Amen and Ameen
Aminaa Sana
ni kweli
Aminaaaaaaa 🙏
Amen sana 🙏
True word
Amen 🙌🙌🙏
Ameeeeeen