LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 8K

  • @IrambonaLaurence-u1o
    @IrambonaLaurence-u1o หลายเดือนก่อน +5

    EeeeMungu wangu naonba unilinde Mimi nawanangu maaduwi wasifanikiwe kwaubaya wote wako wanaandaa juu yangu piya uwondowe magonjwa yote ndani yangu unipe uzima amen 🙏

  • @lilianmnkondya150
    @lilianmnkondya150 หลายเดือนก่อน +3

    Eee Mungu Nahitaji Ulinzi wako katika Maisha yangu Kazi yangu niliyopata iwe ya kudumu nibariki katika mahusiano yangu yawe ya Amani na furaha na pia mbariki mme wangu Tuishi Katika Hofu ya Mungu na Tuzidi kukujua wewe Tunakataa kila madhabahu za kichawi Zinazotufatilia maisha yetu Utufunike na Damu Yako Milele Nakataa roho ya wasiwasi Na Kutojiamin Ubariki pia familia yangu Tuishi kwa kukujua wewe na kukutegemea wewe MUNGU Navunja kila roho za mauti Zinazotufatilia juu yetu Tulinde Eeh Baba Uliniponitoa ni mbali Baba Heshima na Utukufu ni vyako AMEN

  • @RukiaAmbari
    @RukiaAmbari ปีที่แล้ว +15

    Hitaji langu kwako MUNGU wangu naomba uinua IMANI yangu yangu nikuone wewe peke Yako BWANA nisione vitu Wala watu Amen.

    • @brochadada3595
      @brochadada3595 ปีที่แล้ว +1

      Naombanifanikiwe kwavyashara nakwendakubianza mina

    • @brochadada3595
      @brochadada3595 ปีที่แล้ว

      Amen Amen

    • @SalomeAlfd
      @SalomeAlfd 9 หลายเดือนก่อน

      Mungu tazama magumu ninayoiria

    • @محمدمحمد-ي1ض1ج
      @محمدمحمد-ي1ض1ج 8 หลายเดือนก่อน

      Jina la bwana lipewe sifa

    • @EnessiSosten-gd7yy
      @EnessiSosten-gd7yy 8 หลายเดือนก่อน

      Naomba usiku huu usinipite bwana naomba kupata na mume wangu maana pekeangu siwezi naomba mungu mume wangu aludi

  • @Mmbayacarol
    @Mmbayacarol 26 วันที่ผ่านมา +2

    God, through this prayer something new is going to happen in my life.🙏🏿🙏🏿... watching from Saudi Arabia,tukumbuke mungu wangu Kwa yote tunayopitia , this country not easy at all 😢🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @ispiyvette3664
    @ispiyvette3664 ปีที่แล้ว +45

    Mungu naomba mume mwema nimecoka kuka peke yangu😢

    • @FridaExaud
      @FridaExaud 10 หลายเดือนก่อน

      Naomba kuombea watoto namume na wazazi wangu.

    • @LilianAbasy
      @LilianAbasy 6 หลายเดือนก่อน

      Naomba mume mwema

    • @Mariam-dx7lr
      @Mariam-dx7lr 4 หลายเดือนก่อน

      Mm NATAKA nifunguliwe kiuchumi, niongee mkataba mengine KIRAHISI sana na niongezwe mshahara

    • @JcKasuzaguro
      @JcKasuzaguro 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu ajibu haja ya moyo wako!!!!!!!

    • @JcKasuzaguro
      @JcKasuzaguro 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu muweza yote, atulinde katika maisha ya ulimwengu wa Vita, tupate mwisho muzuri!!!!!!!

  • @Beatrice-z4c
    @Beatrice-z4c ปีที่แล้ว +16

    Mungu wangu naomba uwalinde watoto wangu mahali waliko pamoja na ndugu zangu na mamangu. Uwafunke kwa damu yako na mm pia naomba neema yako na kibali chako nikiwa huku inje ya nchi unilinde na unipe afaya nguvu, usiniache bwana

    • @Beatrice-z4c
      @Beatrice-z4c ปีที่แล้ว +1

      Aaaamen

    • @JackLaanyu
      @JackLaanyu 6 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @OscerNgede
      @OscerNgede 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu naomba nitetee nipate mtoto

    • @ElietikiswaNyiti
      @ElietikiswaNyiti 4 หลายเดือนก่อน

      Eee Mungu walinde watoto wetu kazini
      nakuomba Eee Mungu

    • @flavianarwebangira6726
      @flavianarwebangira6726 4 หลายเดือนก่อน

      Naomba uponyaji kwa mtoto wangu Devis mutabuzi ambaye amelazwa mlonganzila

  • @ValentinaNyanzura
    @ValentinaNyanzura หลายเดือนก่อน +5

    Eee mungu naomba unijaliee mme mwema katika maisha yangu , pia unijaliee kifungua njia za mafanikio yangu Amina

    • @MonicahAwuor-n4h
      @MonicahAwuor-n4h หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @MarryNgowi
      @MarryNgowi หลายเดือนก่อน

      Mary Njau. Kutoka Moshi Mjini. Nashukuru sana

    • @ValentinaNyanzura
      @ValentinaNyanzura หลายเดือนก่อน

      @MarryNgowi Amen 🙏 🙌

  • @gracemkella7656
    @gracemkella7656 หลายเดือนก่อน +2

    Namwomba Mungu aniondolee vifungo vyote nilivyo fungwa, magonjwa, mafarakano na ndugu yangu, biashara zangu zilizifungwa zifunguliwe. Mtoto wangu wa kiume aache kunywa pombe . Yesu naomba unisaidie.

  • @josephmatuwa6341
    @josephmatuwa6341 2 หลายเดือนก่อน +6

    Eeeeh Baba yaguse maisha yangu,gusa familia yangu,gusa watoto wangu,gusa wazazi wangu,fungua kila njia yangu ya mafanikio iliyofungwa,niinue km ulivyowainua mitume yako Baba...Yaguse maisha yangu eeeh Mungu wangu

    • @GodfreyMaiko-kq1mm
      @GodfreyMaiko-kq1mm หลายเดือนก่อน

      Naombea. Watoto wangu. Baraka

    • @paulsylvester3657
      @paulsylvester3657 หลายเดือนก่อน

      Naombea MAISHA yangu na uzao wangu kiujumla milango ifunguke ya baraka na ushindi uwe juu yang

    • @MariamuAkafuko
      @MariamuAkafuko หลายเดือนก่อน

      Mary tanga

    • @MariamuAkafuko
      @MariamuAkafuko หลายเดือนก่อน

      Ninguse baba na watoto wangu

  • @dazgtopnation8973
    @dazgtopnation8973 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu naomba unikumbuke katika kilajambo katika jina la Yesu amen

  • @lucasmwalukasa3237
    @lucasmwalukasa3237 5 หลายเดือนก่อน +17

    Nguvu za Giza zinazopambana nami ziharibiweee kwa damu ya YESU. 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @RachelMiroyo
      @RachelMiroyo 4 หลายเดือนก่อน

      Nguvu za Giza zinazopambana nawatoto wangu ziharibiwe kwa damu ya yesu

    • @ImmakulataKaombwe
      @ImmakulataKaombwe 4 หลายเดือนก่อน

      ameeeeeeee ameeeeeeee

    • @ImmakulataKaombwe
      @ImmakulataKaombwe 4 หลายเดือนก่อน

      👏🙌🙏🙏🙏🙏 ameeeeeeee ameeeeeeee

  • @GiftiLauti
    @GiftiLauti หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anikumbuke Mimi na familia yangu na uzao wangu tuzid kukua kiimani tuzid kupata nguvu ya maombi zaidi,Mungu azid kunikumbuka ktk maisha yangu,mungu akutane na maisha yangu

  • @blessedepiphany6067
    @blessedepiphany6067 ปีที่แล้ว +33

    Ee mungu naomba ulinzi na ukombozi juu ya familia yangu na watoto wangu.Amen

    • @ESTHERKACHE-r2t
      @ESTHERKACHE-r2t 10 หลายเดือนก่อน +1

      Eee Mwenyezi Mungu uponye afya zetu, utujalie bwana wokovu unaoleta matunda, ponya miili yetu, ndoto zakutisha Amen

    • @JudithZefa
      @JudithZefa 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu Nisaidie kwa hbr ya watoto wangu ulevi wizi unmaskini Mungu kwa Damu ya Yesu itukomboe

    • @MrsGloryMassam-id7dr
      @MrsGloryMassam-id7dr 9 หลายเดือนก่อน +1

      Naitwa Glory niko Mtwara naomba mniombee nipone marathon yote na uchumi wangu urudi

    • @MrsGloryMassam-id7dr
      @MrsGloryMassam-id7dr 9 หลายเดือนก่อน

      Nipate afya ya mwili na niinuke kiuchumi Amen

    • @Trizsal
      @Trizsal 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu naomba ulite familia yamgu ,naupaliki kasi yamikono yangu ,na kila maitaji yote iko mbele yangu,

  • @WarulyaSimeon
    @WarulyaSimeon ปีที่แล้ว +16

    Naomba UNIVUSHE kutoka magumu ninayoyapitia,nibadilishie historia ya maisha yangu,wanangu hawasongi mbela kimasomo, usituache an hewani mfalme wa amani,nguvu yako idhihirike sasa tatizo la kichwa changu ulimalize sasa.Mwanfu Sali aache pombe kuanzia sasa.Jovan umfinyange tena na mwenza wangu umtoe ktk magumu ana yoo opitia, nitoe ktk magumu BABA MUNGU unikwamue na kunihuisha upya ,wate de i wangu uwafungie wasinidhuru tena.

    • @AngeMuco
      @AngeMuco ปีที่แล้ว

      Amen Amen Amen

    • @neemakavugho6308
      @neemakavugho6308 ปีที่แล้ว

      Ok

    • @neemakavugho6308
      @neemakavugho6308 ปีที่แล้ว

      ​@@AngeMucouniombeye ni pate kufunguliwa na vifugo mbali mbali vifungo vaceliba umaskini kuangaika na ma mbo mengine yote aksante sana

    • @edithawilliam1191
      @edithawilliam1191 ปีที่แล้ว

      Mungu nami naomba uguse faili langu baba yapata miaka 10

    • @christinaoyye4059
      @christinaoyye4059 ปีที่แล้ว

      Nakusikia

  • @nzokatz3195
    @nzokatz3195 หลายเดือนก่อน +2

    Eeh baba uliye juu mbinguni
    Naomba yaguse maisha Yangu,gusa familia yangu,gusa watoto wangu, gusa wazazi wangu,kila kilichopotea kwangu naomba nirejeshee, lipangue kila lililopangwa na maadui zangu kwa ajili ya kuniangamiza.waponye wagonjwa waliopo ma hospitalin,bariki wenzangu waliopo safarini wafike salama.fungua milango yangu yote ya mafanikio kupitia jina la yesu kilisto

  • @KipoliceNaax
    @KipoliceNaax 5 หลายเดือนก่อน +10

    Napokea uponyaji mimi na familia yangu kwa jina la yesu kristo 4

  • @MiriamIbobo
    @MiriamIbobo 3 หลายเดือนก่อน +18

    Bwana Yesu asufiwe ,naomba Mungu anijalie kiwango changu Cha Imani kikue,Mimi na nyumba yangu yumtumikie Bwana, to unaomba Toba,tunaomba kufunguliwa familia yangu na mama yangu na mdogo wangu tupone,mwanangu atoke kwenye mapooza na Mume wangu kipenzi aache pombe ,naomba binti yangu apate kazi nami Mungu afungue milango yangu na wote wanaoitwa kwa majina yetu wafunguliwe

    • @LucyMmary-dm5vu
      @LucyMmary-dm5vu 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nakusikiliza kutoka katesh manyara

  • @anethjoseph355
    @anethjoseph355 8 หลายเดือนก่อน +24

    Jehova naomba ulinzi wako sehem yangu ya kazi hasa wafanyakazi wenzangu niepushe na mipango mibaya ya muovu shetani

    • @LucasMhanga-mu4kn
      @LucasMhanga-mu4kn 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu naomba uponyaji wako

    • @everlynemalisa1679
      @everlynemalisa1679 7 หลายเดือนก่อน +2

      Naomba ompi langu mungu simama namini Kwa yale mumewangu amenifanyia mabaya mungu asimame na mimi 😢🙏🙏

    • @ShadrackWalter-zt6qs
      @ShadrackWalter-zt6qs 6 หลายเดือนก่อน +1

      Nipo mtwara nakusikia vizuri

    • @ShadrackWalter-zt6qs
      @ShadrackWalter-zt6qs 6 หลายเดือนก่อน +2

      Naomba Mungu anitendee siku ya Leo napitia magumu mengi naomba Mungu anirenemu

    • @anethjoseph355
      @anethjoseph355 6 หลายเดือนก่อน

      @@ShadrackWalter-zt6qsMungu akutete utarud na ushuhuda

  • @WinnyMmbaga
    @WinnyMmbaga หลายเดือนก่อน +2

    Eemungu wa mbinguni naomba uuponye mwanangu mzaliwa wa kwanza ana teswa na pombe takrbani miaka 10 Sasa ameoteza kazi hajitambui Hana pakuishi wala pa kulala mungu wa mbinguni mtetee eeYESU ameni

  • @MaglethJovin
    @MaglethJovin 6 หลายเดือนก่อน +22

    Nafugua vifungo laana za ukoo wangu wote laana za mabibi namababu katika jina la yesu mungu akafaye jia katika mapito yangu.Naamini katika jina la yesu.

    • @LilianAbasy
      @LilianAbasy 6 หลายเดือนก่อน

      Namm mungu naomba niepushe na laaan za ukoo

    • @carolnyakundi5502
      @carolnyakundi5502 6 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba njia za KAZI zifunguliwe..in Jesus name Amen

    • @JanethFaustino-v8b
      @JanethFaustino-v8b 6 หลายเดือนก่อน

      Naamin hiyo kwa Jina la yesu

    • @JanethFaustino-v8b
      @JanethFaustino-v8b 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu naomba nifungulie Milango ya Baraka ktk maisha yangu

    • @JanethFaustino-v8b
      @JanethFaustino-v8b 6 หลายเดือนก่อน

      nipo garf

  • @gracehose8840
    @gracehose8840 ปีที่แล้ว +11

    Naomba Mungu ashuke ashuhulike na hii familia tunapita pagumu sana na Mume wangu Kwa sababu ya Mama yake

    • @AdMk-tf5ou
      @AdMk-tf5ou ปีที่แล้ว +1

      Milango lfunguke Mungu aniondee Kwa ngufu ya kiza.ndoa lfunguliwe Maisha yangu lrudi kawaida

    • @JulitaAndrea-nu6pz
      @JulitaAndrea-nu6pz ปีที่แล้ว +1

      @jwm Mungu kumbuka familia yangu,Naomba watetee watoto wangu katika ndoa ajira elimu ,uponyaji ,usinipite Mwokozi Wangu.

    • @devotaphilipo1945
      @devotaphilipo1945 8 หลายเดือนก่อน

      Ninkupata nikiwa DRC mwenyezi mungu akubariki kwa maombi ya usiku

    • @RobertMeshack-cf8lw
      @RobertMeshack-cf8lw 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu niondolee na rohoza made ni kwa jina layesu

    • @PaulmutungaMusyoka
      @PaulmutungaMusyoka 7 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 ปีที่แล้ว +139

    Naomba kila linalopangwa na maadui lisifanikiwe yote wanayopanga yawarudie wao wenyewe katika JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO Ameen!!

    • @dafrosagoliama-lo1mm
      @dafrosagoliama-lo1mm ปีที่แล้ว +13

      Naomba uponyaji wako yesu Kwa Binti yang

    • @DignaAndrea-iu2fw
      @DignaAndrea-iu2fw ปีที่แล้ว +5

      Nipo katesh manyara mungu akulinde mungu akutanglie

    • @tatunasoro838
      @tatunasoro838 ปีที่แล้ว +4

      Mungu wangu nipe mume naalie sahihi na wewe unakuja mapito yangu🙏🙏🙏

    • @tatunasoro838
      @tatunasoro838 ปีที่แล้ว +5

      Baba wakumbuke familia yangu wakumbuke watoto wangu walio mashuleni baba mguse mtoto hiyu walkie nirudishia kutoka shule haoni waka hasikii mimi mwenyewe sija lala nimebanwa na pumu baba niponue naomba mume mwema🙏🙏🙏🙏

    • @terrynjeru1330
      @terrynjeru1330 ปีที่แล้ว +1

      x

  • @magdalenamapunda-f2l
    @magdalenamapunda-f2l 7 หลายเดือนก่อน +7

    Ee YESU aniondolee roho za kufuatiliwa kwenye ulimwengu wa roho, kuna roho tangu muda naziona MUNGU aniondolee.

  • @RoseStephano-ir5hw
    @RoseStephano-ir5hw ปีที่แล้ว +14

    Ee mungu naomba usiku huu usipite bila kunigusa katika hitaji langu , naomba wale wote walionidhulumu pesa zangu wanirejeshee bwana,

    • @NaZ1-o5k
      @NaZ1-o5k 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu naomba Huyu mama aweze kusimamia yeye garama ya iyo passport yangu walipoteza.sasa wanitaka kunidukumu mm na garama ni zao mungu mguse moyo wake .aweze kulipa

    • @NaZ1-o5k
      @NaZ1-o5k 11 หลายเดือนก่อน +1

      Amen 🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa mungu I

    • @jafarimsigwa277
      @jafarimsigwa277 8 หลายเดือนก่อน

      Warehemu, na kuwahurumia wenye kulemewa na dhambi,wapate kutubu na kukulejea Mungu wangu.

    • @julianasuleman219
      @julianasuleman219 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu naomba nguvu zote za kichawi juu yangu na familia yangu zishindwe katika jina la Yesu. Damu ya Yesu itulinde

    • @RachelMiroyo
      @RachelMiroyo 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu naomba nikiaza kuomba maneno inapotea nanyamaza nisaidie amen

  • @LinnaBitrice
    @LinnaBitrice 5 หลายเดือนก่อน +8

    Naomba mungu anilinde mimi na watotowangu atufunike Kwa damu yake, naomba mungu anifungulie milango yaridhiki zangu popote zilipofungwa ziachiliwe na mabaya yote yanayopangwa na maadui zangu yasinipate kamwe Kwa jina la Yesu kristo Alie hai 🙏

    • @hassanjoho317
      @hassanjoho317 3 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja mtumishi wa Mungu,

  • @RehemaFesto-ig2zy
    @RehemaFesto-ig2zy หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye maombi ya usiku huu mahitaji yangu namkabizi mume wangu na watoto mbele za mungu pia katika maombi haya liziki na uchumi umekuwa mgumu sana mungu nifungulie milango ya liziki nipe afya njema nijifungue salama Amina

  • @MaglethJovin
    @MaglethJovin 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu najua unanisikia naomba nipate pesa nilipe and a yamwanangu aenderee na masomo.Nakwamini mungu. Uwezi kuniacha.Nivushe mungu wangu katika haya ninayopitia .Nitendee Eemungu wangu.

    • @husnamsangi412
      @husnamsangi412 6 หลายเดือนก่อน +2

      Naomba biashara zangu zifunguliwe mafanikio yakipesa nakiroho

    • @chibemsofe8252
      @chibemsofe8252 2 หลายเดือนก่อน

      Baba katikaa jinaa yesu naombaa nibomue nyumba yangu nijenge nyumba ya kisasa.

    • @chibemsofe8252
      @chibemsofe8252 2 หลายเดือนก่อน

      Nipatee pesa Kujengaa nyumbaa

  • @deborakamaze
    @deborakamaze 5 หลายเดือนก่อน +24

    Naomba kila adui anaesimaa kwa ajili ya kuzuia mafanikio yangu apigwe kupitia jina la YESU KRISTO na simama ktk zaburi ya 109.na zaburi ya 35 nimeteswa sana nimepitia mengi sana Mungu anijalie wema wake.pia awakumbuke dada zangu Wawili. Mungu akumbuke sadaka niliyoitoa katika madhabahu hii ya dada angu Rachel Mungu amujibu upesi amina

    • @azzaalmalki41
      @azzaalmalki41 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu naomba utazame watoto wangu na uchumi wa familia yangu. Naomba afya na Amani Mungu nitendee Kwa kadri ya rehema zako

    • @sarahjane1658
      @sarahjane1658 4 หลายเดือนก่อน

      Naomba mungu azidi kunikumbuka

    • @sarahjane1658
      @sarahjane1658 4 หลายเดือนก่อน

      Mwenyezi Mungu atupaye riziki ya kila siku Mungu naomba kusikia sauti yako kila saa.Mungu nimwanminifu utamponya Damaris kwa jina lako kesho atakuja kanisani na utankumbuka kwa matayarisho yote Amani tupiganie

    • @sarahjane1658
      @sarahjane1658 4 หลายเดือนก่อน

      Madeni yalikua na watu nakuachia wewe Mungu utanipigania madeni yangu Ndugu moja tu nachukua hatua kukuachia wewe

    • @sarahjane1658
      @sarahjane1658 4 หลายเดือนก่อน

      Ben yangu na kupenda

  • @Mercy-jl1pn
    @Mercy-jl1pn ปีที่แล้ว +6

    Nisaidie yesu niwapende watu wote.nisiwe nachuki baba yangu.nakuamini Mungu wangu Kwa Jina la yesu.ata walionikosea na naninaowawazia mabaya.nitakase yesu

  • @BernadethaNgeleja
    @BernadethaNgeleja 22 วันที่ผ่านมา

    Eeeh Mungu Baba Mwenyezi naomba afya njema mimi na familia yangu tuuone mwKa mwingine kwa kishindo na watu wajue wewe uko pamoja nasi siku zoote na Dunia nzima Ameen❤

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 ปีที่แล้ว +20

    Nataka mumewangu wangu apende na kuiamini madhabahu ya MUNGU ❤

    • @EmmyMabada
      @EmmyMabada 10 หลายเดือนก่อน

      Nipo chinangali nahitsji ulizi wako

    • @EmmyMabada
      @EmmyMabada 10 หลายเดือนก่อน

      Natala watoto wangu wamwamini mungu siku zamaisha Yao yote

  • @RahabuJohn-lk8bk
    @RahabuJohn-lk8bk ปีที่แล้ว +20

    Yesu naomba amani ya moyo wangu ,usiniache baba niguse na mm leo

    • @neemangoi1691
      @neemangoi1691 ปีที่แล้ว

      Naomba mungu anipe maisha mengine niweze kumtumikia mungu ipasavyo

    • @rosemarrymatemel2127
      @rosemarrymatemel2127 ปีที่แล้ว +1

      Nipo Zanzibar yesu naomba unipe amani ya moyo na hitaji la moyo wangu.ameen

    • @محمدمحمد-ي1ض1ج
      @محمدمحمد-ي1ض1ج 8 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu anipngeze pia mm na family yangu na kuniwezesha katika majaribu ninayo pitia kwa kazi yangu

  • @GlorySiriwa
    @GlorySiriwa 5 หลายเดือนก่อน +5

    Yesu naomba nifungulie milango ya baraka nifungue kila vifungo vyote nikumbuke ee bwana yesu amina🙏🙏🙏

    • @oman5875
      @oman5875 5 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏🏿

    • @GilbertMkanta
      @GilbertMkanta 5 หลายเดือนก่อน

      Ubalikiwe mtumishi wa mungu

    • @DanielKabangula
      @DanielKabangula 4 หลายเดือนก่อน

      Tukopamoja Niko Mozambique ni Daniel

  • @lucaschicongoye5638
    @lucaschicongoye5638 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana mungu kwa damu ya mwanao iliyomwagika msalaban kwa ajili yangu. Naomba hitaji yangu rohoni mwangu. Fungua maisha yangu sasa. Ondoa viapo vyangu

  • @emelivaly1720
    @emelivaly1720 ปีที่แล้ว +17

    yesu tenda kweye familia yangu tuponye majgnjwa yote na utuondolee umaskini katika familia yani ubarikiwe kwa maobi yako yesu akukumbuke Amen

    • @sylvesterlogo8511
      @sylvesterlogo8511 ปีที่แล้ว +1

      Yesu tenda kwenye family yangu. Ushindi wa changamoto zilizopo nipate ushindi kuelekea kuingia kwenye uchumi wangu ukasimame

    • @TatuNassoro-vy2qd
      @TatuNassoro-vy2qd 8 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 AMINA naamini mungu umejibu maombi yangu

    • @minzaharuni2820
      @minzaharuni2820 8 หลายเดือนก่อน

      Amina mungu naamini umetenda yote Kwa jina lako takatifu

    • @NiyonkuruEstella-m8o
      @NiyonkuruEstella-m8o 4 หลายเดือนก่อน

      Nina muombeya shangaziyangu aokoke shanisi

  • @user-josephine.3232
    @user-josephine.3232 ปีที่แล้ว +19

    naomba mungu amlinde mtoto wangu alietumboni azaliwe salama na mwenye kibali Cha kuishi

    • @josephatchachaeliakim3934
      @josephatchachaeliakim3934 11 หลายเดือนก่อน +1

      MUNGU awe pamoja nawe ktk jina la yesu kristo alie hai kulinde wewe pamoja na mtoto maana ni zawadi kutoka kwake...

    • @user-josephine.3232
      @user-josephine.3232 11 หลายเดือนก่อน

      @@josephatchachaeliakim3934 namshukuru Mungu nimejifungua salama jina la BWANA lihimidiwe

    • @Annamizengo
      @Annamizengo 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu niongezee nguv ya maombi piababa naileta familia yangu uiponye na magonjwa, mikosi, laana, vifungo na umasikini uliokisilikwenye familia

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 ปีที่แล้ว +21

    Naomba kila kilichopotea kirudishwe katika JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO Ameen

    • @ImmakulataKaombwe
      @ImmakulataKaombwe 8 หลายเดือนก่อน

      Naomba deus kwa mafanikio yeko kwaji layesu

    • @oreosmundi1967
      @oreosmundi1967 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu anayeongea asikie kila maombi ya watu wake, Yeye ni Mungu anaweza na anajua mahitaji yetu uwe na nguvu sana

    • @sifambingi7679
      @sifambingi7679 5 หลายเดือนก่อน

      Sifa mbingi nipo
      Dodoma

    • @MerryKashaija-jk9xh
      @MerryKashaija-jk9xh 2 หลายเดือนก่อน

      AMEEN

  • @EugeneJovin-v8x
    @EugeneJovin-v8x หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu naomba uniinue katika viwango vya juu
    Katika malango yangu
    Yote.
    Mungu kutana namaisha yangu .
    Gusa Kila hitaji langu
    Afya, uhai, Akili za watoto , uchumi, uduma, yangu
    Ee Mungu usinipite

  • @adammgendela357
    @adammgendela357 ปีที่แล้ว +14

    Badilisha historia ya maisha yangu nisaidie kutoka kwenye tamaa ya uzinzi na Roho ya madeni na nyumba zangu nizimalize kuzijenga.na huduma yangu karama ya uponyaji na uinjirishaji.nisaidie Yesu hata Kama sistahili ilatu kwaneematu itokayo kwako.

  • @etonaabwe5318
    @etonaabwe5318 ปีที่แล้ว +13

    I'm from Australia 🇦🇺 and I am happy to join this channel.

    • @IdaDeogratias-n6c
      @IdaDeogratias-n6c ปีที่แล้ว

      Naomba niamishwe nipelekwe kuishi nje yajimbo na sehemu yajoto

    • @IdaDeogratias-n6c
      @IdaDeogratias-n6c ปีที่แล้ว

      Naomba virijinia Deogratias afanikiwe kupata kazi nzuri namshahara mzuri 30:57

    • @IdaDeogratias-n6c
      @IdaDeogratias-n6c ปีที่แล้ว +1

      Naomba familia yangu ya mzee Deogratiasi ifanikiwa kuwanakipato na maendeleo

    • @IdaDeogratias-n6c
      @IdaDeogratias-n6c ปีที่แล้ว

      Naomba kakazamgu alistides na godiflei na stivini wafufuke na kujitambua

    • @IdaDeogratias-n6c
      @IdaDeogratias-n6c ปีที่แล้ว

      Naomba shamba la mipain lipate wateja na pesa nzuri YESU sikia maombi yangu

  • @FadhilahbonyBoniphancemgogosi
    @FadhilahbonyBoniphancemgogosi 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nafunga roho ya umaskini nateketeza kwa damu ya yesu... naomba mungu ubadilishe historia ya maisha yetu nyumbani nimechoka umaskini🙏🙏 nakupenda mungu najuwa utatenda🙏🙏

  • @namengekin3395
    @namengekin3395 11 วันที่ผ่านมา

    Bwana Mungu asifiwe, naomba MUNGU anilinde pamoja na familia yangu nzima myaka idjayo nakutupatiya mwisho muzuri kuliko mwanzi Amen amen amen 🎉🎉🎉❤❤❤😊😊😊

  • @MariamMabu
    @MariamMabu ปีที่แล้ว +10

    Yesu wangu naomba univushe katika magumu yaliyoko mbele yangu tizama nimekuwa mtu wa madeni Mungu naomba unisaidie sina mtu mwingine wa kumueleza shida zangu isipokuwa ni wewe Bwana usiniache nikaanguka nishike mkono yesu wangu, nimekuwa mtumwa wa madeni Mungu wangu niokoe, tizama maadui wamekuwa wengi wanataka kuniangamiza Mungu naomba unipigie bwana peke yangu siwezi, maisha yangu yamekwama najalibu kwa uwezo wangu lakini nimeshindwa Mungu usiniache moyo wangu unavuka damu Mungu naomba unisaidie

  • @PendoKibabi
    @PendoKibabi 4 หลายเดือนก่อน +12

    Ninaomba Mungu aniponye magonjwa yangu yote yanayo nisumbua na kunikosesha amani pia Mungu aifungue familia yangu wa mjue Mungu wa kweli

    • @EDINAIDDY
      @EDINAIDDY 4 หลายเดือนก่อน

      Naomba mungu amponye bibi angu maradhi yanayomsumbua na akawe mzima kwanzia sasa

    • @EDINAIDDY
      @EDINAIDDY 4 หลายเดือนก่อน

      Naomba mungu uwajalie watoto wangu afya njema nauwajalie katka Masomo yao wakawe vichwa wasiwe mikia

    • @elizabethmsocha4398
      @elizabethmsocha4398 3 หลายเดือนก่อน

      @@EDINAIDDY ninaomba mungu anipe utajiri,ufugaji Kuku mkubwa wenye faida.

    • @elizabethmsocha4398
      @elizabethmsocha4398 3 หลายเดือนก่อน

      @@EDINAIDDY Bwana niponye sukari,Pressure,vidonda vya tumbo.Niunganishe na watu sahihi.

  • @AliceMuthee-vg5tr
    @AliceMuthee-vg5tr 8 หลายเดือนก่อน +4

    Asante kwa neema yako yote umenitedea na kushukuru Mungu kwa uhai umenipa pokea sifa wewe ni Mungu mkuu unasitahili...

    • @FausterLawrence
      @FausterLawrence 3 หลายเดือนก่อน

      Namwombea mama Jothamu asafiri salama kesho na afike salama nyumbani .roho ya kukataliwa naifuta kwa damu ya Yesu

    • @tusubilegelwesya5319
      @tusubilegelwesya5319 หลายเดือนก่อน

      @@FausterLawrence
      Ñipo mbagala

  • @UmutesiJeannette-w3k
    @UmutesiJeannette-w3k หลายเดือนก่อน +1

    Eee Mungu nisameh Zambi zangu zote na unipe maisha mazuri kwenye famillia yangu in the name of Jesus amen

  • @sarafinasumailitrophine1614
    @sarafinasumailitrophine1614 ปีที่แล้ว +7

    Amen Amen 👏👏

    • @TheopistaAloyce-ht8kr
      @TheopistaAloyce-ht8kr ปีที่แล้ว

      Nipo lindi mingoyo

    • @TheopistaAloyce-ht8kr
      @TheopistaAloyce-ht8kr ปีที่แล้ว

      Nataka MUNGU AIKUMBUKE FAMILIA YANGU

    • @ruthelia7088
      @ruthelia7088 ปีที่แล้ว

      Mungu akanipe ufahamu wa rohoni

    • @ruthelia7088
      @ruthelia7088 ปีที่แล้ว +1

      Wafungue watoto wangu wafanikiwe maishani mwao

    • @rosemneney3244
      @rosemneney3244 ปีที่แล้ว

      Namleta binti yangu Sharifa Madhabahuni anashida ya tumbo

  • @anethjohnson4147
    @anethjohnson4147 ปีที่แล้ว +4

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏

    • @iangaudence
      @iangaudence ปีที่แล้ว

      Naitwa Elizabeth nipo morogoro naomba mniombee Mungu anirejeshee tena
      Kibali nimekuwa nakataliwa popote ninapofanya kazi

  • @FridaySiame-b3j
    @FridaySiame-b3j หลายเดือนก่อน +1

    Eee Mungu wajaalie watoto wangu, jaalia yatima, wajane wazazi wangu nakazi yàngu idumu nakipato changu, mmbadilishe mwanangu mawazo mabaya na awekaribu na wazazi wake aame

  • @gracemkella7656
    @gracemkella7656 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kila kilicho chukuliwa katika maisha yangu kirudishwe . Pia naomba amani katika mji wangu familia na ndugu zangu. Naitwa Grace S Mkella. Asante Yesu.

  • @JACQUILLINEMETHORD
    @JACQUILLINEMETHORD หลายเดือนก่อน +1

    Baba Mungu wa mbinguni naomba unisaidie kufungua uchumi wangu,fungua fursa zangu katika kazi yangu , nisaidie katika ndoa yangu maisha ni magumu tunajenga hatumalizi, kazini jina langu linatengwa katka fursa, Naamini Mungu wangu nami hutaniacha, Mambo yangu yote yayafunguliwa

  • @SumbawangamjiniCcm-bo5cu
    @SumbawangamjiniCcm-bo5cu หลายเดือนก่อน +1

    Mungu uwe taa na mwangaza wangu kwa mahitaji ya moyo wangu,kwenye uchumi,mahusiano na kibali kila utakaponipa wadhifa na nafasi.

  • @CatherineBoaz-j3p
    @CatherineBoaz-j3p หลายเดือนก่อน +1

    Eee Yesu wangu naombani nione uso wako katika maisha yangu...unitoe katika mateso yote

  • @UpendoGembe-k3q
    @UpendoGembe-k3q หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu ulieziumba mbingu na nchi unisamehe Mimi na familia yangu waponye na wagonjwa wote Amina
    Nipo morogoro naitwa upendo

  • @SmilingAstronomicalModel-jm1fh
    @SmilingAstronomicalModel-jm1fh 13 วันที่ผ่านมา

    Ee muumba Wa mbingu na nchi naomba uniongezee Imani katika jina lako pia naomba furaha mm pamoja mchumba wangu natufikie pale uliposema wewe

  • @CarolyneOnsongo
    @CarolyneOnsongo หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mipango ya madui wanapanga baba uingilie kati iwarudie wote wanaonisbua katika jina yesu kristo Amen 🙏

  • @estherkasua5645
    @estherkasua5645 หลายเดือนก่อน +1

    Usiku huu wa saa tisa, eee mungu wangu nakuomba uniponye vigo yangu. Na mtoto wangu James, mponye hiyo kifafa mungu wangu🙏🏿.

  • @ApenethNyagawa
    @ApenethNyagawa 12 วันที่ผ่านมา

    Eee Mungu unikumbuke Mimi kwenye maisha YANGU,wakumbuke watotio wangu kwenye ajira

  • @JosephineOmari-t5j
    @JosephineOmari-t5j หลายเดือนก่อน +1

    Eeeee Mungu wangu unapo gusa wengine naomba na mimi unikumbuke naomba uniguse katika maisha yangu yote nauni funguliwe milango ya baraka 🙏🙌 Eeee Mungu wangu sina msaada mwingine zaidi yako Eee Mungu wangu

  • @RoseJoseph-e7l
    @RoseJoseph-e7l หลายเดือนก่อน

    Eee mwenyez mungu asante kwa kila jema juu yangu. Naomba rehema na moyo wa uvmlivu pia nipe haja ya moyo wangu na kunipa roho ya maombi zaid

  • @ressakaruhije
    @ressakaruhije หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wang naomba ulizi kwenye fimilia yang na kuiepusha na roho fatilizi Amen

  • @YasintaGodfry
    @YasintaGodfry หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU naomba hekima na maarif katika kuitenda kazi yako ya utumishi niifanye kwa ajiri ya utukufu wako na iwe na matokea kwa wengine waweze kuipokea. Yabariki na maishA yangu ya ujana nipAte baraka na niwe baraka kwa wengine pia. Na ulinzi wako uwe juu yang na familia ndugu na jamaa kw ujumlaa. Asanteh YESU

  • @JosephineOmari-t5j
    @JosephineOmari-t5j หลายเดือนก่อน +1

    Eeee mungu mwenye rehema na fazili za milele naomba unihepushe na roho za mafwatilizi katika maish yangu naomba unihepushe na roho za mahangaiko katika maisha yangu yote pia niongoze kwakila atua na mahamuzi yangu nakila nihendapo uniondole roho za fedhea na aibu👏👏👏👏🙌

  • @CarolyneOnsongo
    @CarolyneOnsongo หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu wangu naomba unisaidie na familia yangu nisikose ufalume wambinguni ju ya mapito ninayo pitia magumu aba duniani, nateseka naugonjwa ambao ieleweki, pia nanyanyaswa haki yangu,nakutalauliwa, naomba baba unikumbuke wakati kama hu mugumu, shidha yaumasikini, naomba unisamehe mahali nimekosa, pia kwa kila jambo ninalofanya unifunglie milango, asante yesu, naomba nifunguliwe ndoto nikiota nikumbuke nionyeshe yote ninaota,mungu wangu nisaidie

  • @VidaMaghimbi
    @VidaMaghimbi 24 วันที่ผ่านมา

    Ee Mwenyezi Mungu naomba unijaze Roho Mtakatifu wako niweze kuombea

  • @WitnessesJulius
    @WitnessesJulius หลายเดือนก่อน +1

    Naomba maombi kwaajili ya familia yangu mume wangu watiao mungu awafunike pia kwaajili ya baba mkwe wangu ondoa roho ya mafarakano kati yetu na yeye ee mungu wangu naomba maombi kwaajili ya wazaz wangu wakwe zangu na pia afute laana za mababu na mabibi katika jina la yesu mungu sikia maombi haya

  • @johniarkyatika4858
    @johniarkyatika4858 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu naomba unikomboe na magumu niliyokuwa nayo katika familia yangu/uzao wangu ukawafungue watoto wangu, watched pombe na uzizi wamjue mungu, Ameen

  • @sabrinaramadhani332
    @sabrinaramadhani332 หลายเดือนก่อน +1

    Nahitaji kukuwa na kuimarika kiroho zaidi nataka pesa nyingi kwa ajili ya kutunza watoto wangu na kusaidia watu wengine Amani ya moyo wangu hapa duniani na mwisho mwema pindi mungu atakapo chukua roho yangu Ee Mungu wangu wa huruma nijibie na hili Asante Mungu kwa neema zote ulizo nipa Eemen 🙏

  • @KettiejuniorEstherjunior-v7l
    @KettiejuniorEstherjunior-v7l หลายเดือนก่อน +1

    Naomba mungu nifungulie njia katika maisaha yangu maana kila ninachofanya sijawai kufanikiwa chochote naomba mungu anifunguwe katika ili

  • @miskymassawe5756
    @miskymassawe5756 หลายเดือนก่อน +1

    BAba katika jina la Yesu Kristo naomba univushe katika kipindi hiki kigumu ninachokipitia.Uchumi wangu ulioibiwa,afya ya familia iliyoibiwa,vibali vyetu vilivyoibiwa .Mungu naomba ukaturejeshee.Amen

    • @upendokaluse2
      @upendokaluse2 16 วันที่ผ่านมา

      Bwana YESU asifiwe Niko kigamboni nami nashiriki maombi ya usiku huu nikiomba Rehema na toba MUNGU akanipe hitaji la moyo wangu natafuta kibali cha kazi kwa muda mrefu nami napokea kazi usiku waleo Amen 🙏

  • @lonhas-ye9go
    @lonhas-ye9go หลายเดือนก่อน

    Ee mungu itaji langu kukomboa uzao wangu wawe watoto wa Baraka tere kuwaepusha na mathira ya Dunia.. Kuombea familiya yangu

  • @AgathaKennedy-w8y
    @AgathaKennedy-w8y 10 วันที่ผ่านมา

    Naomba Mungu wangu unapogusa wengine na mm Mungu uniguse ee!! Yesu nmechoka sana nishike kwa mkono wako Mungu

  • @EvodiaNchimbi
    @EvodiaNchimbi หลายเดือนก่อน

    Ee mungu mwenye huruma na upendo unayeweza kusamehe naomba uniponye mwili wangu nijisikie vzr pamoja na kichwa

  • @RebeccaAmisi-l7z
    @RebeccaAmisi-l7z หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU uni saidiye wodowa umasikini Dani ya jama yangu na uzidishe myaka yangu ya kuishi baba yangu ❤❤❤

  • @FestonWilly-m5j
    @FestonWilly-m5j หลายเดือนก่อน +1

    Bwana YESU CHRISTO MUNGU Mkuu ULIYE mbinguni nakupata kufwatililia Nguvu alizo nazo Yehova Anijaze

  • @Williane-kq6ts
    @Williane-kq6ts 23 วันที่ผ่านมา

    Ee Bwana naomba uniponye na ugonjwa nilionao ni kansa ya titi.Ee Bwana Yesu naomba usipite usiku wa leo.Bwana nakuomba uniponye nashika pindo la nguo yako usiku wa leo ili nipokee uponyaji.Asante Yesu.

  • @bettymoshi
    @bettymoshi 25 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu ninakuomba umponye mjukuu wangu aweze kuwa mzima yesu nakutegemea sana kwenye maisha yangu maana watesi wamekuwa wengi mno.

  • @semwenda
    @semwenda 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bwana Yesu atukuzwe, naomba Mungu atengeneze ndoa yangu, simamia watoto wangu kwenye malezi mema. Ponya magonjwa kwenye familia. Simamia biashara zangu na kazi yangu.

  • @MaryamahmedMohammed-j8z
    @MaryamahmedMohammed-j8z 10 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu naomba itazame familia yangu tunayoyapitia, tunajikabidhi kwako tupo hitaji la moyo wetu maana ww ndo unayejua tunataka nn baba

  • @JOYCEELIAH-jl6qw
    @JOYCEELIAH-jl6qw 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba nikumbuke katika uzao mwezi huu shuhuda yangu itangazwe na jina langu libadilike na kuwa mama na mume wangu kuwa baba. Amina

  • @frolaPetro-m4n
    @frolaPetro-m4n หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu inua Imani yangu ikuwe zaidi.naomba Familia yangu yote imjue Mungu.gusa maisha yangu pokea Maombi yetu

  • @christinachaula2793
    @christinachaula2793 25 วันที่ผ่านมา

    Yesu naomba uniondole mgonjwa kwa mdogo wangu naomba wangu ukamponye mdogo wangu usiku huu nimiaka kumi sasa unasumbuliwa

  • @irenemlay1525
    @irenemlay1525 หลายเดือนก่อน

    Naomba maombezi juu ya mdogo wangu Jescka Mlay afunguliye 🙏🏻😭😭

  • @NellyKombe
    @NellyKombe หลายเดือนก่อน

    Asante bwana YESU ninaomba ukumbuke juu ya familia yangu pamoja na mume wangu

  • @emmynkurlu1005
    @emmynkurlu1005 25 วันที่ผ่านมา

    Shalom Wana wa Mungu Mungu
    Naomba MUNGU anipatie Imani maradufu aniamshe usiku kila siku nisali nipate nguvu ya roho mtakatifu ajae ndani yangu 🙏
    Anisaidie Mimi na watoto wangu familia yangu haiko sawa
    Ndoa yangu inamisuko suko
    Uchumi mbaya
    Madeni mengi sana
    MUNGU wangu nisaidie na univushe salama Amen🙏

  • @KanailaKalapwe-w5i
    @KanailaKalapwe-w5i หลายเดือนก่อน

    Amujambo mutumishi wa mungu Asante nikopa maleka napenda kufatuli maobi itadi yangu nikuwe muobadi mukubwa nakufanya kazi yangu mungu

  • @KettiejuniorEstherjunior-v7l
    @KettiejuniorEstherjunior-v7l หลายเดือนก่อน +1

    Eeee mungu yinguse familia yanga yiwongeze bwana mana wewe ndi kila kitu kwetu mungu na tunakuamini wewe bwana tuwongeze katika maisha yetu pia nashukulu kwakuwa tuko salama mungu wangu na sitoacha kukushukulu na kukuabudu

  • @paulinethadeus7912
    @paulinethadeus7912 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu naomba uniondolee ROHO ya imaskini naomba kibali Cha mafanikio yangu.

  • @judithmpepo5666
    @judithmpepo5666 หลายเดือนก่อน

    Naomba Yesu Kristu aniinue na kukua kiroho na kuwa na misuri ya Imani

  • @enifaangolwisye5796
    @enifaangolwisye5796 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba niombewe watoto wangu na familia yangu kwa ujumla,kufungua milango iliyo fungwa ifunguliwe,kila jambo jema lifunguliwe

  • @Agnessmsemwa-v3d
    @Agnessmsemwa-v3d หลายเดือนก่อน +1

    Amen Mungu Akulinde akuongeze moyo wakujitolea Nabalikiwa sana na ibaada zako🙏

  • @peaceadams5253
    @peaceadams5253 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana Yesu me naomba toba ya kweli ndani yangu geuza safisha kila aina ya mizizi ya dhambi ng'oa magugu ondoa vi kwazo vinavyozuia baraka ulizo niandalia katika jina La Yesu kristo na kuamini Ame 😭🙏

    • @ZanuraSondo
      @ZanuraSondo 29 วันที่ผ่านมา

      🙏🙏🇹🇿

  • @givenmlelwa841
    @givenmlelwa841 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu aniiinulie sauti kwenye mahusiano yangu aniiinulie sauti kwenye biashara yangu 😢😢😢😢😢 Mapito yangu yananiumiza ikiwa haya nayopitia nisababu ya makosa ya wazazi wangu Mungu aniuuhurumieee😭😭😭😭😭🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @florapolino3702
    @florapolino3702 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu na babayangu naomba univushe katika nyakati hizi ngumu ninazopitia wale wote walioribu maisha yangu wakapate kupigwa na kusambalatishwa kwa kila mabaya walionifanyia wakapate kuaibika

  • @AnnaKosta-e1v
    @AnnaKosta-e1v 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu naomba wote wanaokesha na mume wangu wakilewa wakapigwe ktk jina la yesu

  • @emanuelmasidy6017
    @emanuelmasidy6017 หลายเดือนก่อน

    EeMwenyezi Miungu usinipite .naomba unisaidie namimi nafamlia yangu.

  • @ceciliamfuko8045
    @ceciliamfuko8045 19 วันที่ผ่านมา

    Nawaombea wanangu na familia yangu Yote. Mungu atufungulie baraka zake, afungue vifungo vyote vilivyofungwa na ibilisi na kutuacha huru katika jina la Yesu Kristo 🙏🏿

  • @lonhas-ye9go
    @lonhas-ye9go หลายเดือนก่อน

    eeeee mungu nakuomba ukomboke kizazi changu pamoja na familiya yangu ubaliki na kazi ya Mikono yangu ameeni

  • @EugeneJovin-v8x
    @EugeneJovin-v8x หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu Kutana na k azi ya Yako yakutengeneza madhahu zako huko
    Magumuchila huko
    Masasi kwa Fr Mapunda.
    Mungu tunaomba utuinulie watu sahihi wa kufadhiri twakusihi
    Ee Bwana hujawahi
    Kushindwa

  • @AgnesLubisa
    @AgnesLubisa หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu juma akose usingiz atuwaze anithami anipende na towesha roho ya ukali kwangu kwa jina la yesu