UNAPOCHOKA,NANI ANAKUBEBA KATIKA MAOMBI?? // MUHIMU SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • MATENDO 12
    1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.
    2 Alimuua kwa upanga Yakobo, ndugu yake Yohane.
    3 Alipoona kuwa kitendo hicho kiliwapendeza Wayahudi, aliendelea, akamkamata Petro. (Hiyo ilifanyika wakati wa sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu).
    4 Baada ya kutiwa nguvuni, Petro alifungwa gerezani, akawekwa chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari wannewanne. Herode alikusudia kumtoa hadharani baada ya sikukuu ya Pasaka.
    5 Basi, Petro alipokuwa gerezani, kanisa lilikuwa linamwombea kwa Mungu kwa moyo.
    Malaika anamtoa Petro gerezani
    6 Usiku, kabla ya siku ile ambayo Herode angemtoa Petro hadharani, Petro alikuwa amelala kati ya askari wawili. Alikuwa amefungwa minyororo miwili, na walinzi walikuwa wanalinda lango la gereza.
    7 Ghafla, malaika wa Bwana akasimama karibu naye na mwanga ukaangaza kile chumba cha gereza. Malaika akamgusa ubavuni akamwamsha akisema, “Ondoka upesi!” Mara ile minyororo iliyomfunga mikono ikakatika na kuanguka chini.
    8 Malaika akamwambia, “Jifunge mshipi wako, vaa viatu vyako.” Akafanya hivyo. Kisha huyo malaika akamwambia, “Vaa koti lako, unifuate.”
    9 Petro akamfuata nje lakini hakujua kama hayo yaliyofanywa na huyo malaika yalikuwa ya kweli; alidhani alikuwa anaota ndoto.
    10 Walipita kituo cha kwanza cha ulinzi na cha pili, halafu wakafika kwenye mlango wa chuma wa kuingilia mjini. Huo mlango ukawafungukia wenyewe, nao wakatoka nje. Wakawa wanatembea katika barabara moja na mara yule malaika akamwacha Petro peke yake.
    11 Hapo ndipo Petro alipotambua yaliyotukia, akasema, “Sasa najua kwa hakika kwamba Bwana amemtuma malaika wake akaniokoa mikononi mwa Herode na kutoka katika mambo yale yote watu wa Israeli waliyotazamia.”
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 2.5K

  • @termankalendo1439
    @termankalendo1439 ปีที่แล้ว +10

    Nawapenda sana watumishi wamungu.munatutia moyo kila wakati God bless you always

    • @ElinuruKaaya-fz1vi
      @ElinuruKaaya-fz1vi 5 หลายเดือนก่อน

      Asante nashukuru kwa maombi y jioni hii yameribiki sana ubarikiwe

  • @bitihaywajean3563
    @bitihaywajean3563 ปีที่แล้ว +8

    Amen mtu wa Mungu, kwa Imani yote yawezekana

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 ปีที่แล้ว +70

    Sina chaguo Naamini umeomba Mengi kwa Ajili yangu kwaniliyokuwa nikiyapitia😭😢 maana Imani yangu Inaniambia Tayari Mungu Amemtuma Malaika wake kwa Ajili yangu Utunzwe na Bwana Yesu Mtumishi wa Mungu Na Ubarikiwe sana Na nitarudi kwaajili ya Ushuhuda kwaatakayoyatenda kwangu 🙏🙏🙏

    • @harrietmukhemba7680
      @harrietmukhemba7680 ปีที่แล้ว

      Amen Amen ubarikiwe sana mutumishi wa mungu

    • @renfridakomba7499
      @renfridakomba7499 ปีที่แล้ว +2

      Bwana Yesu asifiwe, nipo ktk mahusiano ambayo sio sahihi ila nashindwa kutoka naomba niombee niweze kutoka

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว +1

      ​​@@renfridakomba7499
      Omba Toba kwa kuingia kwenye hayo mahusiano
      Halafu Anza kujitoa Kwa kutumia damu ya Yesu, FUTA Kwa damu ya Yesu km umeingizwa kwenye maagano yyt usiyoyajua
      Zaburi 51,Isaya 1:18......tubu
      Halafu Kiri ,sema nafutaa Kwa damu ya Yesu haya mahusiano

    • @leontinaaugustine4337
      @leontinaaugustine4337 ปีที่แล้ว +1

      Mtumishi naomba maombi Kwa ajili ya changamoto yandoa nimarayakwanza kutuma ombihili la ndoa nilikuwanikiomba nawewekupitia yutyubu naomba msaada Kwa hili

    • @peninabensonpen870
      @peninabensonpen870 ปีที่แล้ว +1

      Bwana yesu asifiwe mtumishi wa Mungu roho ya talaka iondoke kwa familia yetu niombee mtumishi wa Mungu

  • @KombeJustine
    @KombeJustine หลายเดือนก่อน +2

    Praise the Lord! Ninahitaji maombi yako mtumishi wa Mungu

  • @AnnaChambo-m4c
    @AnnaChambo-m4c หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi, namshukuru Mungu kuniunganisha katika madhabahu hii amen

  • @Mr.HassanHussen
    @Mr.HassanHussen 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi nataka Mungu anisaidie kuiokoa familia yangu ilio katika maisha magumu na vita vya waovu amina🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @edithaabel7858
    @edithaabel7858 ปีที่แล้ว +6

    Asante mtumishi wa Mungu hakika neno hili limeyagusa maisha yangu, nami nimepokea maombezi haya na asante sana Mungu akubariki na madhabahu hii idumu daima katika kutukomboa🤲🙏

  • @hamidarose9019
    @hamidarose9019 4 หลายเดือนก่อน +11

    Bwana yesu asifiwe mtumishi , hakika wewe umetumwa na roho wa mungu , mungu aendelee kunipa kibali cha kuweza kukusikiliza , kwan moyo wangu umechoka sana , nipo ktk gereza lisiloelezeka , naomba msaada wako mtumishi , nazizidi kudidimia kiuchumi , kila nikifanyacho hakuna nachofanikiwa , mm ni wamagonjwa kila kukikucha , roho za kichawi zimenizonga kila sehemu ya maisha yangu , niokoe kwenye hili gereza 🙏🙏

    • @LatifaShabani-jl8ew
      @LatifaShabani-jl8ew 3 หลายเดือนก่อน

      Najua nmechelewa kupata haya main ila nime niko kwenyechangamoto ya familia tangu changamoto ya chini mshikaji kabsa mtu wa kukushika mkononi nmebanwa kwenye kona kabisa

    • @LatifaShabani-jl8ew
      @LatifaShabani-jl8ew 3 หลายเดือนก่อน

      Naomba uongee na mm kwa kina

  • @Salama-b6h
    @Salama-b6h 17 วันที่ผ่านมา

    Asante sana Mtumishi wa Mungu.

  • @elizabethwanjiru9543
    @elizabethwanjiru9543 3 หลายเดือนก่อน

    Baba watoto wangu kwa ajiri ya kazi pastor unanibariki sama

  • @mercychesang9749
    @mercychesang9749 ปีที่แล้ว +5

    Nakusia nikiwa Saudi Arabia nashukuru kwa mafunzo Yako umenifuza mengi mungu hakubariki sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MasaiTanzania-c3x
    @MasaiTanzania-c3x ปีที่แล้ว +4

    Thank you Lord

  • @zedrickwanjaza5263
    @zedrickwanjaza5263 ปีที่แล้ว +6

    Mtumishi wa mungu akika umeiguza moyo wangu ni zedrick kutoka western Kenya

  • @notburgamlelwa
    @notburgamlelwa หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi Mungu akubariki

  • @RozinaChami
    @RozinaChami 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi wa MNGU tunakushukuru kwa mafundisho yako

  • @herielizakayonyari71
    @herielizakayonyari71 ปีที่แล้ว +4

    Amen .Amen nashukuru kwa Mungu anavyoktumia tunapata ufaammu wa nano la Mungu na maarifa na nguvu iliyomo ndani ya nani la Mungu 37:41 37:41

    • @BellaBlue-do5pj
      @BellaBlue-do5pj 2 หลายเดือนก่อน

      Siriyabibilia12 ❤🎉😊37:41

  • @kawirajoseph8910
    @kawirajoseph8910 ปีที่แล้ว +7

    Mimi ni mjane bwana amekufa juzi nafanya kazi Kwa nguvu dio watoto wangu wasilale badala nihinuke katika kibiasara ina zorota tuu niombee nitoke katika umaskini Amen

    • @AliceBarasa-ko9ul
      @AliceBarasa-ko9ul 5 หลายเดือนก่อน

      Bwana asifiwe pst ni Alice mim mmoja ninaye pitia mambo mengi sana Sina ndoa usiku silali mchungaji naomba uniweke kwa maombi

    • @DeusdeditMathias
      @DeusdeditMathias 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@AliceBarasa-ko9ulMungu akujibu kwa wakati wake

  • @furahazero6559
    @furahazero6559 ปีที่แล้ว +4

    Acha Mungu anifungulie njia nyepesi nitoke hapa EE Mungu wayakobo Niko mbele Zako msalabani Na nyenyekea unitangulie unifinike Na damu ya mwanao yesu Christo Amen

    • @omegashuma6584
      @omegashuma6584 ปีที่แล้ว

      Nimimi mtumishi nipo chini sana kiuchumi nahotaji mtu anibebe kiroho

    • @victorwesamba2520
      @victorwesamba2520 ปีที่แล้ว

      😢😢😢😢😢😢😢 Mungu nikumbuke na family yangu roho yavumasikini nimekataa roho ya ugovi Kwa mausianovyangu aut😢😢😢

  • @GetrudeMasale
    @GetrudeMasale 2 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa neno na mafundisho hayo Mungu akubariki sana

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu หลายเดือนก่อน

    Nimepokea msimu mpya wa kucheko kipya tena Amina💞😘👏 God bless prophet 😘

  • @mariabasso7466
    @mariabasso7466 ปีที่แล้ว +5

    Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba uniombee mambo yangu yamefungwa kila nitakachokifanya hakionekani,na natamani mungu anijalie mume wangu nifunge ndoa

  • @aksamsemwa5302
    @aksamsemwa5302 ปีที่แล้ว +4

    Ameeen napokea uchumi mzuri, elimu, watoto, afya njema, kwa jina la Yesu

    • @lilianmagava6854
      @lilianmagava6854 ปีที่แล้ว

      Mungu anitoe kwenye magumu ninayopitia

    • @zawadsimon7940
      @zawadsimon7940 ปีที่แล้ว

      Eemungu nakuomb uniepushe n watu wabay kwenyefamiliy yang amina

    • @lidyanapegwa8154
      @lidyanapegwa8154 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa nahitaji mtu atakayenisaidia juu ya Afya yangu na afya za familia yangu

    • @lidyanapegwa8154
      @lidyanapegwa8154 ปีที่แล้ว

      Natamani Mungu anitie kwenye gereza la magonjwa mm pamoja na familia yangu

  • @stevelebanon8231
    @stevelebanon8231 ปีที่แล้ว +4

    Kweli kabisaa ninahitaji mtu wakunisaindia kwa maombi 😢..kwa ajiri ya doa yangu 😢🙏

  • @AnjelaKavishe
    @AnjelaKavishe 3 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi kwa maombi yako yamenijenga

  • @ElimwangaSule
    @ElimwangaSule หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi wa mungu hakika umenipa matumaini ya kumjua mungu.mungu akubariki

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 ปีที่แล้ว +4

    Mtumishi uliyoyaongea yote haya ndio ninayopitia mimi, naamini kupitia maombi haya MUNGU atafanya jambo jipya kwenye maisha yangu 😭😭😭😭😭😭😭 naweza kuwa na furaha siku 2 mwezi nalia Mungu nisaidie

  • @PeterKimathi-w1e
    @PeterKimathi-w1e ปีที่แล้ว +6

    Pastor ubarikiwe sana wewe MUNGU amekutumia kusaidia maisha yangu na maisha ya wengine asante sana

  • @mbusuromwita4724
    @mbusuromwita4724 ปีที่แล้ว +4

    Amen naomba Mungu anitoe kwenye gereza la magonnjwa yote ktka mwili wangu na familia yetu na ukoo wetu ,gereza la madeni yasiyoisha , ,naamini Maombi haya yatafungua Kila kitu

  • @RoseMjosh
    @RoseMjosh หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe Mtumishi Mungu, nashukuru kwa hayo maarifa ya neno. Naamini Mungu nami anaenda kunitoa katika gereza mateso

  • @Christina-dz7ff
    @Christina-dz7ff 3 หลายเดือนก่อน

    Aminaa 🙏🙏 mungu akubariki mtumishi wa mungu

  • @martherteresa8108
    @martherteresa8108 ปีที่แล้ว +4

    Ningependa mungu aniondolee gereza la kupendana na wanaume wa wenyewe ,anipariki na ndoa yangu mwenyewe ,anibariki na kifedha 😢🤲🙏

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 ปีที่แล้ว +4

    Natamani kufunguliwa nielewe neno la mungu pia kupokea uponyaji

  • @celinaduka3346
    @celinaduka3346 ปีที่แล้ว +5

    Naomba msaada wa Mungu anitoe katika gereza ya Magonjwa, Madhabahu ya kutofanikiwa ,kukosa Amani katika maisha yangu Mungu afungue familia yangu katika mateso.. Amen

    • @matildakilufi7739
      @matildakilufi7739 ปีที่แล้ว

      Amina 🙏🏽
      Naomba Mungu aniondolee roho ya mauti kwenye familia yangu, magonjwa ya kufanana ya akili yaliyofatilia watoto wangu waliotangulia mbele za haki, yasiendelee kwenye vizazi vijavyo vya uzao wa tumbo langu
      Nahitaji mtu wa kusimama na mimi kwenye maombi.
      Mungu akubariki sana Mtumishi 🙏🏽

    • @espesifa5661
      @espesifa5661 ปีที่แล้ว

      Amina mimi na zarauliwa saaanaaa na mme wangu kwajili ya wamalaya mpaka hameniacha mimi na watoto na hameenda kuhishi nao bali ni mengi saaaaaaaanaaaa

    • @akhanntahena2544
      @akhanntahena2544 ปีที่แล้ว

      '

  • @zakayomwashilindi-cf5kh
    @zakayomwashilindi-cf5kh 2 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa Mungu hakika Mungu ni mwema kila siku Mungu akuongezee mwaka 10000000 ❤❤❤❤

  • @JoyceMorogoro
    @JoyceMorogoro หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kwa mafundisho niombee Mungu anipe Kibali na anitumie apendavyo

  • @emohsteve2186
    @emohsteve2186 ปีที่แล้ว +4

    AMEN 🙏🙏

    • @rehemakiteu
      @rehemakiteu ปีที่แล้ว

      Naomba Mungu aguse maisha yangu

  • @miriamisaya3878
    @miriamisaya3878 ปีที่แล้ว +4

    AMEEEN AMEEEN AMEEEN 🙏🏼

    • @deborahkelvin4528
      @deborahkelvin4528 ปีที่แล้ว

      Shalom Mtumishi Ni kweli kabisa Mimi na Watoto wangu tunamuhitaji MUNGU maana Mimi Ni Mama Mimi na Watoto wangu tuna matatizo makubwa Ni kweli tunahitaji Maombi ya nguvu

    • @deborahkelvin4528
      @deborahkelvin4528 ปีที่แล้ว

      Tunapitia magumu Nina Mtoto wangu yupo Ujermani na ndio Msaidizi wa hatma yangu kafukuzwa kazi haya na mdogo wake kaolewa Mume wake pia kafukuzwa kazi wote Hawa wanawatoto nahuyu mdogo wake alikua amefungu Saloon lakini Wateja hakuna haya na mdogo wao wa mwisho nae pia Hana kazi inayoeleweka Mimi Mama sasa Niko njia panda kote naona Giza Mtumishi Naomba msaada wa Maombi

    • @deborahkelvin4528
      @deborahkelvin4528 ปีที่แล้ว

      Namshukuru Sana MUNGU Kwa Maombi haya Roho Mt ameyaleta kwaajili yangu na familia yangu Asante Roho wa MUNGU

    • @hildakahaso849
      @hildakahaso849 ปีที่แล้ว

      Naomba kufunguliwa katika pingu na minyororo pamoja na watoto wangu na mume wangu na jamii yangu yoote madhabahu ya ukoo kuteseka katika masomo yao naomba Mungu atukumbuke ameen

    • @hildakahaso849
      @hildakahaso849 ปีที่แล้ว

      Gereza ya mashetani magonjwa umaskini,madeni,ndoa uzinzi naomba kufunguliwa,masomo ya watoto wangu,huduma ya mtoto wangu

  • @adelasumaili8149
    @adelasumaili8149 ปีที่แล้ว +4

    Namimi naitaji msahada wamaombi kwashida ninazo pitiya katika maisha yangu mimi nilikuwa napenda sana kusoma neno la mungu naku funga siku moja moja nakuhenda ibadani kila ifikapo Sunday lakini kwasasa Sina hamu tena yaku soma neno lamungu nakwenda ibadani amu imenitoka kabisa lakini namshukuru mungu sana kwaku kuleta wewe mtu mishi wake ambaye maombi yako inayo patiya watu nguvu zakusimama imara bila kukata tamaha naamini iposiku kwaimani yangu nita funguliwa milango Asante sana na mungu aku bariki Amina 🙏🙏🙏🙌🙌

    • @lwambamiriam586
      @lwambamiriam586 ปีที่แล้ว

      Mimi ni maman miriamu Niko apa kongo naitaji maombi maisha yangu ikokatika jifungo jyagiza Mimi pamoja namume wangu

    • @adnesadnes8268
      @adnesadnes8268 ปีที่แล้ว

      Amen amen

    • @adnesadnes8268
      @adnesadnes8268 ปีที่แล้ว

      Hatamm nahitaji MTU wakunibeba n mefungu sana

    • @adnesadnes8268
      @adnesadnes8268 ปีที่แล้ว

      N mm Mtumishi niko Lebanon napitia changamoto sana nilikuja mwezi wakumi namoja lakini bass aliye nitoa kenya akanirejesha kwa office nimekua napitia shida mm nahitaji kurudi kenya plz nmeomba sana hatanakosa chakuomba tena nahitaj msada nrudi kenya sina msada wowote naomba

    • @blandinathomas4519
      @blandinathomas4519 ปีที่แล้ว

      Najua Mungu kupitia mtumishi wako, utafungua vifungo vyote katk maisha ya familia yangu na biashara yangu itakuwa kiuchumi

  • @HhMm-w3l
    @HhMm-w3l 3 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa mungu naitaji nisaidie kwa maombi

  • @monicamgwasa
    @monicamgwasa หลายเดือนก่อน

    Amina mchungaji Mungu azidi kukubari umebarikiwa uzidi kubarikiwa natamani niwe mwombaji wa viwango vya juu Nisaidie kuniombea

  • @NeimahNeimah
    @NeimahNeimah หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi kwa neno hili nina imani litanisaidia maana nlkofika n mbal

  • @jonakax
    @jonakax 8 หลายเดือนก่อน

    Asante aasnta mutumishi mungu akubariki.

  • @DamarisMuia-w5i
    @DamarisMuia-w5i 19 วันที่ผ่านมา

    Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mungu naomba ukanishike mkono kwa ajili ya kazi ygu na ndoa

  • @annbonareri
    @annbonareri 24 วันที่ผ่านมา

    Asante mtumishi..mimi ninaitaji mungu..anise kibali na kunifungua kwenye ndoa..na mtu atakae nisimami katika maisha yangu..niombee mchungaji niko na bidii sana ya kutafuta kweli nashukuru mungu napata aya lama ni kidogo.lkn kukaa na pesa ata shillings aikai kwa kibeti wala kwa Bank wala kwa simu..yaani nimekua kama mtoto tu sijui kujiekea pesa..na ilianza tu kwa mda miaka 14 yes sasa..sikai na pesa ataah..nisaidie kwa maombi mtumishi innocent.God bless you ❤🎉❤🎉

  • @gfcgghh9138
    @gfcgghh9138 5 หลายเดือนก่อน

    Amen amen, barikiwa zaidi ❤❤❤

  • @marklenana4394
    @marklenana4394 36 นาทีที่ผ่านมา

    God bless you my brother yote yanawezekan kwa mungu

  • @VeledianaKalolo
    @VeledianaKalolo หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Umekuwa baraka katika maisha yangu me napita sana katika gereza la magonjwa Mungu anikumbuke leo

  • @ElimwangaSule
    @ElimwangaSule หลายเดือนก่อน

    Bwana asifiwe mtumishi wa mungu mimi naomba maombi kwa ajili ya watoto wangu kuhusu Elimu wafanikiwe Amin

  • @esterminja5414
    @esterminja5414 2 หลายเดือนก่อน

    Amen napokea mabadiko kwà jina la yesu..naimani mungu atayendo yote🙏

  • @EmunguPaul
    @EmunguPaul 3 หลายเดือนก่อน

    Nashukurukwaufariji muchungaji laneno mungu akuinueju Sana nikonakufata APA Congo mji wa tenke Jimbo la Katanga asante kwaneno

  • @WANANZENGOCMG
    @WANANZENGOCMG 9 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi nimepokea

  • @SylviaKibaba
    @SylviaKibaba 3 หลายเดือนก่อน

    Nilisimamishwa job bila sababu naitaji mungu anisaidie Asante ndungu.

  • @faisalali8550
    @faisalali8550 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumichi wamungu nagufuatiria sana kwamafundicho mazulia Mungu akubariki sana mimi lengo langu naomba Mungu ainuwe nguvu niew sana sana muombaji na kuwa nahisi nimekwama lakini Mungu asikie ombilangu kabix ni inuke tena

  • @MussashilindeLichard
    @MussashilindeLichard 4 หลายเดือนก่อน

    Amin tunashukur mtumishi wa mung kwa neno hill mungu atusaidie amen mungu atufungulie milango ya amina

  • @FlorenceObed
    @FlorenceObed 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe mtumishi. Naomba ukomboz wa Familia yangu biashara yangu.umaskin. Maden. Watoto wangu.

  • @PatrickMysyoka
    @PatrickMysyoka 25 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa mungu Niko kateka vivungo nikama za laana ama za kimapepo kinizuilia kuendelea kihuduma umasiki mungu akiniaidi kitu kina zuiliwa nataka gari ya kufanya kazi ya mungu nikama imezuliwa lakini naamini Leo zimeachiliwa Kwa jina LA yesu my name is pastor Patrick musyoka nikubuke mtumishi wa mungu umbarikiwe sana nimeshukuru

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 4 หลายเดือนก่อน

    Amina kwa damu ya Yesu Kristo

  • @ShaniAbdalah
    @ShaniAbdalah 4 วันที่ผ่านมา

    Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu, naomba unibebe kwenye maombi nitoke kwenye gereza La kutohokewa, nimeteseka Sana kwenye mahusiano,

  • @jonakax
    @jonakax 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi hapa muzigo.umekua.asante sana kwasomo hiri.mungu amekutuma.kwamba.nifunguriwe.niripo aza.kusikiriza.asubuhireo.nimemuonamungu mukubwa akapitia.kwako

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 2 หลายเดือนก่อน

    Asente mungu kwa kunitumiya mtumishi wako kwa Jina la Yesu 🙏

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 2 หลายเดือนก่อน

    Amen. Mtumishi naomba unisaidie kwa hiyo hali napitia

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 7 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sanaaaana

  • @Stellanovatus751
    @Stellanovatus751 หลายเดือนก่อน

    Nipo katika gereza ma nguvu zagiza limeharibu maisha yangu kazi mahusiano mgonjwa kukosa Amani kujikataa nakukataliwa Sina msaada isipokuwa Mungu pekee🙌🙌

  • @margetmburu
    @margetmburu หลายเดือนก่อน

    Praise God man of God,nahitaji msaada kabisa kuhusu biashara yangu nimeomba sana nimetoa sadaka lakini bado haifinguki

  • @PatrickThomas-s5y
    @PatrickThomas-s5y 2 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi nahitaji kuombeewa kwa habari ya familia yangu

  • @AnnetSidi-cr2ze
    @AnnetSidi-cr2ze 4 หลายเดือนก่อน

    Amen ,naomba mungu amtembelee boss wangu anilipe mshahara wangu ,nimechoka kilio kila nikumbukapo

  • @salamasalama1428
    @salamasalama1428 6 หลายเดือนก่อน

    😢😢 amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @ZuenaMsuya-ub8wq
    @ZuenaMsuya-ub8wq หลายเดือนก่อน +1

    Bwana asifiwe🙏, naomba nisaidie kimaombi kutoka kwenye gerezan la umaskin na maden,mtume maden ni mengi,sana mtume😭😭🙏nisaidie baba

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu ninahitaji Mtu kama msaada wangu katika maisha yangu na familia yangu

  • @tabithamugure9920
    @tabithamugure9920 หลายเดือนก่อน

    Wao Mungu akumbaliki pia nimesaindika sana

  • @EVALISTERABEDNEGOITUNDA
    @EVALISTERABEDNEGOITUNDA 3 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina Mungu ni mwaninifu

  • @marialukumbi
    @marialukumbi 4 หลายเดือนก่อน

    Amina🙏

  • @Zubeda-h1m
    @Zubeda-h1m 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtimishi wangu kwa mafundisho naona leo kwangu ni siku ya neema ubarikiwe sana naomba unisaidie kwa maombi mtumishi wangu

  • @LynetWatson-fj7in
    @LynetWatson-fj7in 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen napokea msimu mpya

  • @fridashani6562
    @fridashani6562 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru Mungu kwa ajili yako Mtumishi wa Mungu
    Hakika nshitaji mtu atakae nineba kwenye hili pito langu 🙏😭

  • @DeogratiasEmanuel
    @DeogratiasEmanuel 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu

  • @Julita-y3c
    @Julita-y3c 5 หลายเดือนก่อน

    Nasikia kugusika sana barikiwa sana mtumishi

  • @LucyMakini
    @LucyMakini 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl 6 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji,kijana wangu.apate kazi Mungu nisaidie.nahitaji kushikwa mkono katika swala hili

  • @ElizabethSimon-uu7wh
    @ElizabethSimon-uu7wh 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumish wa mungu unafundish ile kweli ya mungu ni kweli tunapoteza muda ,miez, miaka kwa kuomba vibaya mpaka tunakata tamaa ya kuomba Tena Asante mungu kwa kukutumia ww kutufundisha jinsi ya kuomba vizuri na bila kupoteza miez mwaka na muda

  • @CatherineMchopa
    @CatherineMchopa 5 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @ZaifathAhmadnapokea
    @ZaifathAhmadnapokea 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa mungu niombee kuusu afya yangu, niombee mwana wa mungu, nimepofuka jicho Moja lakulia kwa ajiri ya situroko ya kichwa .

  • @AnithaJoseph-yr1mg
    @AnithaJoseph-yr1mg 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Mungu akubariki, natamani Mungu anivushe ndoa katika ndoa yangu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 8 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤Amina Ubarikiwe yalishanikuta baada ya kufiwa na wazazi wangu lakini Muñgu hakuwai kuniacha alisimama na alinipa ujasili wa Hali ya juu

  • @AnnaAmosi-xd9ok
    @AnnaAmosi-xd9ok 6 หลายเดือนก่อน

    Amina napokea

  • @loemabee3728
    @loemabee3728 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe,namuhitaji Mungu katika maisha yangu, Mungu atuponye mimi na mme wangu,

  • @alicembonde202
    @alicembonde202 3 หลายเดือนก่อน

    Shallom mutumishi wangu ....mimi maishanyangu nikama hayo ya petro naomaba mbaombi yako Mungu anifungue in jesus name

  • @RoseMapunda-qn3nm
    @RoseMapunda-qn3nm 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi

  • @dazboy-sl7cm
    @dazboy-sl7cm 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi

  • @norahogero8217
    @norahogero8217 4 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi was Mungu kwa kweli umenibariki sana Naomba Sana unibebe kwa maombi Mimi ni mgonjwa miguu inaniuma Sana siwezi kutembea naumwa

  • @JohnKanyika-xi1uw
    @JohnKanyika-xi1uw 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anitoe kwenye gereza la umasikini 🙌🙌

  • @FausterLawrence
    @FausterLawrence 3 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa Mungu Nibebe nami katika maombi haya, mwanangu amelazwa hospital anaumwa na Jumatatu anafanyiwa upasuaji wa kutoa kizazi

  • @agnessmwasumbi4965
    @agnessmwasumbi4965 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe, mahitaji mtu atakayenibeba kwenye maombi napitia changamoto ya kutopiga hatua kwenye maisha yangu, masomo ya watoto wangu

  • @DeusdeditMathias
    @DeusdeditMathias 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu anivushe kwenye vifungo vilivyo shikiria uchumi wangu

  • @isabellawonge1218
    @isabellawonge1218 28 วันที่ผ่านมา

    Nashukuru Mungu kwa ajoli yako myumishi, nisaidie maombi kwa ajili ya mzaliwa wangu wa kwanza.Yuko chuoni mwaka wa tatu lakini anasa za dunia zimemvaa kiasi cha kutoroka darasa.Ni binti wa miaka 23

  • @aminambuligu4571
    @aminambuligu4571 5 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen,Neno limenigusa kabisa,Nahitaji kushikwa mkono kabisa.

  • @Christina-dz7ff
    @Christina-dz7ff 28 วันที่ผ่านมา

    Ameeen🙏🙏 Aminaa 🙏🙏

  • @alindaalinda4897
    @alindaalinda4897 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba

  • @SesiliaNyakunga
    @SesiliaNyakunga 4 หลายเดือนก่อน

    Amina as mtumish wa bwana