ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

MAOMBI YA KUTOKA KWENYE NYAKATI NGUMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2023
  • Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/sirizabiblia
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

ความคิดเห็น • 270

  • @rosejustine
    @rosejustine หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema tuko pamoja madhabahuni

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 11 หลายเดือนก่อน +5

    Baba MUNGU pokea sadaka yangu ya shukrani madhabahu hapa,,

  • @BarekeTumaini
    @BarekeTumaini 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu utuhokowe Mimi nafamilia yangu utufungulie safari yetu iyo fungwa myaka mingi tukifikiliwa watesi wanainuka nakuziwia mungu tukombowe mungu wangu

  • @joyce-jj5jv
    @joyce-jj5jv 2 หลายเดือนก่อน

    Amen nahisi kubarikiwa mungu yu pamoja nami

  • @hopemakinda3048
    @hopemakinda3048 24 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba unisaidie ktk mapito yote uwe nami naomba unisamehe pale nilpokukosea Mjngu wangu

  • @annnjeri4121
    @annnjeri4121 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Mungu azidi kutushindania

    • @ShijaMayuma
      @ShijaMayuma 2 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante yesu wangu,kwa kunitumia mtumishi wako innocent mashauri,ju ya kuachilia neno lako la uzima kwangu.amen

  • @RuthBochere-nm5fi
    @RuthBochere-nm5fi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Eee Mungu wangu,unaujua uchungu uliko ndani yangu,niondolee kudharauliwa,umaskini,machozi na manjozi,nibariki Mungu wangu kupitia madhabahu haya,AMINA

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 11 หลายเดือนก่อน +3

    Asante MUNGU kwa kunifungua leo

  • @SubiraMgeyekwa
    @SubiraMgeyekwa หลายเดือนก่อน

    Aminaa aendelee kutupigania

  • @user-cy1zv6qn8r
    @user-cy1zv6qn8r 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nimwema sana Ameni

  • @aspetabwire-bh1nn
    @aspetabwire-bh1nn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unapo zuru wengine yesu usinipite kupitia kwa mathabao ya siri za biblia naomba amani, kibali na timizo la moyo wangu amen.

  • @JoanTheonest-dt5hm
    @JoanTheonest-dt5hm 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Bwana Yesu siku hii ya leo.

  • @user-ix1ep4vx3h
    @user-ix1ep4vx3h 9 หลายเดือนก่อน

    Mashauri mungu akutumie naguswa nakila punje ya neno mungu mpiganie pekee yke hawezi

  • @user-bh2iv2go1o
    @user-bh2iv2go1o 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen baba mungu akuzidishie nguvu uzidi kutubaliki

  • @FOCUSPETER
    @FOCUSPETER 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen mtumishi wa Mungu

  • @RachaelMbeyu
    @RachaelMbeyu 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen barikiwa sana mungu akuongoze kwa kila jambo

  • @user-oe1cg6tw7y
    @user-oe1cg6tw7y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Niombee sana baba mungu anakusia sana niombee haja ya maitaji yangu nitakushukuru baba ktk jina la yesu kristu

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wangu Naomba sikio la kusikiliza saudí yako kila secunde ya maisha yangu Baba

  • @graceboke4346
    @graceboke4346 4 หลายเดือนก่อน

    Usinipite Bwana Yesu

  • @angelnjiku1979
    @angelnjiku1979 10 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumish, be blessed

  • @anastanciaomusula3738
    @anastanciaomusula3738 11 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Yesu kwa maombi haya kweli unachunguza moyo wa mwanadamu. Asante mtumishi kwa maombi haya maana yote umenena ndio ninayapitia kwa sasa

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 4 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu nionekanie

  • @OrestaLuambano-bh8gp
    @OrestaLuambano-bh8gp 11 หลายเดือนก่อน +8

    Ee Bwana YESU mponye mama yangu cancer.🙏🏾🙏🏾🙏🏾

    • @kefrenbaraka
      @kefrenbaraka 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu uishie milele naomba umponye mama Huyo popote alipo,si Kwa ajili yetu bali kwa utukufu wa jina lako.

    • @user-vn5eg2mz3y
      @user-vn5eg2mz3y หลายเดือนก่อน

      😢😢Mungu usimpite mama yetu

  • @christinestemi1684
    @christinestemi1684 11 หลายเดือนก่อน +3

    Eeee mungu ponya nafsi yangu niondolee hii kikombe ya mahangaiko ya kazi simama namie hizi nyakati ngumu nipe neema yawezekana kupata nguvu mpya kwa jinalayesu

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtoto wangu atatembea kwa jina ya yesu

  • @NepayaMayombe
    @NepayaMayombe 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi ❤❤❤❤

  • @reaganhassan156
    @reaganhassan156 3 หลายเดือนก่อน +1

    Eeh MUNGU,kama ikikupendeza kupitia madhabahu hii,nipatie mke mwema,Amina

  • @judithmutio-mp6sn
    @judithmutio-mp6sn 3 หลายเดือนก่อน

    Eeee mungu wangu unajua shida zangu nitendee

  • @janetkanongo3265
    @janetkanongo3265 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen Neno La Mungu Ndio Uhai Maishani Wetu🙏

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 10 หลายเดือนก่อน

    Usiniache Ee Mungu wa mbinguni unisikie mfalme

  • @user-uc5qr5xb6d
    @user-uc5qr5xb6d 7 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba msada wamaombi

  • @kulwamihayo
    @kulwamihayo 11 หลายเดือนก่อน +2

    amina mungu ni mwema tupo pamoja kwenye mazabahu

    • @marykisiangani2470
      @marykisiangani2470 11 หลายเดือนก่อน

      Amen amena? Asante mungu wangu kwa kuzidivkunipigania, naomba ili uweze kuniondoa katika hizi nyakati ngumu za kimaisha

  • @JanetMihayo
    @JanetMihayo 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu ninaomba unitoe katika nyakat ngum

  • @mutakoalphonsine3240
    @mutakoalphonsine3240 10 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi

  • @agnesminde4081
    @agnesminde4081 9 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @shamsamramba7921
    @shamsamramba7921 11 หลายเดือนก่อน +1

    Najiungamanisha na mazabahu hii ya Siri za bibilia, Mungu nitoe kwenye nyakati ngumu katika jina la yesu😢😢🙏

  • @graceboke4346
    @graceboke4346 4 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu achia uamsho ndani yangu

  • @monicamandai3875
    @monicamandai3875 5 หลายเดือนก่อน

    Leo niko hapa naona haya maombi yanavy nitoa kwa Jina la Yesu Mungu akubariki Mtumishi

  • @user-fu7zx8qd4g
    @user-fu7zx8qd4g 3 หลายเดือนก่อน

    Hapa mtumishi wa Mungu umeniongelea mm toka mwanzo hadi mwsho

  • @eveabasi2469
    @eveabasi2469 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante bwana yesu kwa kunifungua

  • @kenmutethiamutethia8851
    @kenmutethiamutethia8851 11 หลายเดือนก่อน +3

    Amen 🙏🏼🙏🏼 Mama yangu atapona Kwa njina la Yesu 🙏🏽

  • @DianaAbel-j9w
    @DianaAbel-j9w 12 วันที่ผ่านมา

    Ee. Baba. Mungu. Naomba. Uniondolee. Maumivu. Makali. Ninayopata. Kupitia. Madonda. Ya. Tumbo. Naomba. Niponye.

  • @SalmaAs-wl5bn
    @SalmaAs-wl5bn 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho mazuri Mungu akubariki

  • @teresiaemmanuelmswamwajuma2464
    @teresiaemmanuelmswamwajuma2464 17 วันที่ผ่านมา

    Amen amen

  • @eveabasi2469
    @eveabasi2469 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba uguse maisha ya baba yangu Richard apone ugonjwa wa kupooza awe huru kupitia ibada ya leo

  • @graceboke4346
    @graceboke4346 4 หลายเดือนก่อน +1

    Najiunganisha na madhabahu ya Siri za biblia ya Mungu aliye hai amen

  • @user-pi1pw7oh7d
    @user-pi1pw7oh7d 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba ukanipe kazi,

  • @privaushaki7395
    @privaushaki7395 3 หลายเดือนก่อน

    Ee bwana Mungu wayajua mapito yangu nikumbuke utendee haja ya moyo wangu

  • @lenatamwakila4173
    @lenatamwakila4173 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nitetee kwenye uchumi wangu, ndoa yanguu eee mungu wa wokovu wangu 🙏

  • @user-lf4mq6xs1q
    @user-lf4mq6xs1q 8 หลายเดือนก่อน

    Amin bab naamin kw kushirk katik madhbau hii naamin mung atabadilsh maish yang

  • @furahamichael6047
    @furahamichael6047 28 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @HakizimanaBulos-lo5jr
    @HakizimanaBulos-lo5jr 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu anifunguw kwajina layesu

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu niokoe kupitia madhabahu hii napita wakati mgumu Sana katika masomo yangu.Yesu niokoe, amen

    • @ruthtito4699
      @ruthtito4699 11 หลายเดือนก่อน

      Napitia magumu Sana Mungu naomba unisaidie Yesu naomba usikie kumba kwangu nisaidie kumba mtumishi maombi ya wengi yananguvu

  • @FaidaWilly-du8ts
    @FaidaWilly-du8ts 10 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen

  • @official-daniel-daniellatw5654
    @official-daniel-daniellatw5654 9 หลายเดือนก่อน

    🙏 🙏 🙏 Amen

  • @saranelima691
    @saranelima691 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen Amen 🙏 mungu wangu unatosha

  • @NaumiBaya-wr7ri
    @NaumiBaya-wr7ri 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen. Amen

  • @user-fz7mt8xs2u
    @user-fz7mt8xs2u 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsant mungu kwa uliv nifungua hakika nmeona Jin's uliv nipigania mungu kutoka katka kifungoo

  • @user-qb7ej8cp5y
    @user-qb7ej8cp5y 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa mtumishi

  • @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
    @RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 3 หลายเดือนก่อน

    napokea uponyaji wa mme wangu kupitia maombi yako mtumishi wa mungu kuna mengi yanagusa maisha yangu lakin naamin mateso yayngu yote yatakwisha

  • @GraceNamulindwa-rk2ei
    @GraceNamulindwa-rk2ei 10 วันที่ผ่านมา

    Napitia wakati mgumu sana ktk maisha yangu

  • @RizikiSalva-eg6li
    @RizikiSalva-eg6li 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mutumishi

  • @jemapeter2261
    @jemapeter2261 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante YESU

  • @carolinejbaile817
    @carolinejbaile817 11 หลายเดือนก่อน +5

    Amen mtumishi wa Mungu, haya yote ndio ninayapitia niko mbali na Jamii yangu but nashukuru Mungu mafundisho yako yamenisaidia sana

    • @jafetpatrick9132
      @jafetpatrick9132 8 หลายเดือนก่อน

      Asante Mungu naomba unitoe kwenye nyakati ngumu Amen

  • @ndahabonaimanajeanclaude7092
    @ndahabonaimanajeanclaude7092 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwema

  • @marthaviana433
    @marthaviana433 10 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏼 I

  • @FeristaJohn
    @FeristaJohn 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie napitia mambo magum san mungu nisaidie mm

  • @user-ly3sv6gr5t
    @user-ly3sv6gr5t 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni noelah Munyakazi kutoka congo, papa usini saabu ku maombi ju mina pitiya wakati mugumu sana,vita ina simama sana kwenyi maicha yangu

  • @dorahalfayo355
    @dorahalfayo355 4 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor,ni ukweli kabisa hata mimi nimepitia maneno mengi'karibu nichoke na Mungu wangu,but kuanzia leo nimepata nguvu ya kusonga mbele na kidogo ambacho nimepaki nacho kwa imani.niombee pastor Mimi ni Dorah Alfayo kutoka malava kenya.

  • @user-py3qf8ig7u
    @user-py3qf8ig7u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Amina nimeelewa mtumish huwa Kuna kitu kinaniamsha usiku lakin nasinzia Sana ubarikiwe mtumishi sana

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ninakuomba umfanyie muujiza na umponye Ama ,please please God i am down on my knees begging you please 😢, Mungu tuhurumie kwa afya ya Ama.

  • @imeldakassoga6332
    @imeldakassoga6332 7 หลายเดือนก่อน

    Amina🙏🏼🙏🏼

  • @RachelLilanga
    @RachelLilanga 6 หลายเดือนก่อน

    Eeh mungu nimekwama sijuw ni nini kitatokea kweny kazi yangu mungu mm sijuw hatima yangu kazin maana ninaandanwa sana kazini kwangu nachukiwa na kila mtu natafutiwa sababu ya kufukuzwa kazi nimefika mwisho wa ufahamu wangu baba nivushe nitete baba mwanao

  • @AnneMwinamo
    @AnneMwinamo 2 หลายเดือนก่อน

    Ee bwana unajuwa machungu niliyonayo katika maisha yangu unapozuru wengine usinipite nisikie

  • @kevinwilliamu4757
    @kevinwilliamu4757 10 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @user-uc5qr5xb6d
    @user-uc5qr5xb6d 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @khadayetha4453
    @khadayetha4453 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wapendwa naombeni mniombee naandamwa na roho ya madeni kila nikilipa yanakuja sijui yanatoka wapii nmechoka jamani😢 Ee Mungu nisaidie mimi😢

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 หลายเดือนก่อน

      Pole utapita mm nilipitia hayo na sasa n8na unafuu

  • @GressGress-fd9xl
    @GressGress-fd9xl หลายเดือนก่อน

    Asante mungu naamini utaenda kuniondolea kila nyakati ngumu ninayo pitia nisaidiy bwana asant mungu

  • @biannapiter554
    @biannapiter554 10 หลายเดือนก่อน

    Kumwabudu mungu

  • @Diana-lf3nr
    @Diana-lf3nr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nayaweza mambo yote katika yeye anitiae nguvu yote yanawezeka katika jina la yesu kristo.madhabahu hii ya siri za Biblia mungu ngome yako

  • @LeahDesigner-ep6pn
    @LeahDesigner-ep6pn 11 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana Yesu kwa kunitendea

  • @gloryshayo7634
    @gloryshayo7634 9 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwakunitetea kwenye biashara yangu leo nimeono mkono wako ukitenda mambo makuu na makubwa kazin kwangu leo. Naomba uwapigania watoto wangu kielimu waweze kufanya vizur masomo yao

  • @user-be8ld6df4r
    @user-be8ld6df4r 10 หลายเดือนก่อน

    Asante mungu kwa maarifa yako na kunifungua katika Jina la yesu kristo.. AMEN

  • @abiyambilinyi3862
    @abiyambilinyi3862 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mtumishi maombi yako yamenifariji sana

  • @lisakuingwa7337
    @lisakuingwa7337 4 หลายเดือนก่อน

    Yesuuuu usinipiteeee 👏🙏Msaada wa karibu ni ww nafsi yangu yakuangalia ww bwanaaa usiniacheeee 😭roho mtakatifu pita kwenye maisha yangu pia nakuhitaji

  • @jacklinemutevu2470
    @jacklinemutevu2470 10 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏

  • @Mercy-jl1pn
    @Mercy-jl1pn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Yesu kwa ukombozi.Amen

  • @JustinaKambimbi
    @JustinaKambimbi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Aksanti Aksanti baba kwa yote unasema amene

  • @user-lq6mg6fh3y
    @user-lq6mg6fh3y 11 หลายเดือนก่อน +1

    Najuwa BWANA unaweza Kwan lisilowezekana kwa mwanadam kwako wwe yawezekana sikia kilio changu BWANA 😢😢😢.......🙏🙏🙏

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU,,,,kwa Imani nimefika kileleni ,,mlima nimeumaliza kwa jina la YESU KRISTO

  • @kyarose609
    @kyarose609 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu Baba naomba unitoe kwenye nyakati ngumu katika maisha yangu,katika kazi yangu..nakuomba pia uitoe familia yangu kwenye nyakati ngumu na katika kazi zao uzilinde ,, AMINA 🙏🙏

  • @user-kj4ik9bo5o
    @user-kj4ik9bo5o 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu kupitia madhabahu hii naomba unipe mume mwema,,unipe uchumi mzuri ,naomba mungu unitoe mikononi mwa adui wanaonizungukw

  • @carolinekageha1884
    @carolinekageha1884 9 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru pastor Kwa mafunzo yako Hakika nimepitia lkn Wacha nipaki na yesu pekee

  • @user-pq7nn3ed4u
    @user-pq7nn3ed4u 10 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli mtumishi umewekwa ili univushe nimekwama kila eneo Mungu nisaidie

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu nivushe kipindi hiki kigumu kwenye ndoa, shetani yupo kazini, watesi wetu wameinuka, baba tunakutegemea sana, wewe ndio kimbilio letu baba, naamini kabisa watajaribu lakini hawataweza, Mungu tutetee Amen

  • @dieudonnemarcel
    @dieudonnemarcel 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli papa hataa nami njia ninazo pitia Wenda kuna mda hataa kuomba niko nashindwa ajili ya Za madeni,uaminifu na zambi za uzinifu na maisha ya my famille ajakaa sw Ndio maana sina raha hata kuomba nashindwa kuwa sw ila naomba mnisaidie kwa maombi yenu 😢😢😢

    • @Ldm7846
      @Ldm7846 11 หลายเดือนก่อน

      Mungu akushindie katika Jina la Yesu🙏🙏

  • @AnneWambasi
    @AnneWambasi 10 หลายเดือนก่อน

    Amen mam yangu atapona

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amen and Amen 🙏 🙌 👏

  • @joanesbazily2869
    @joanesbazily2869 9 หลายเดือนก่อน

    Haleluya haleluya.. Mungu baba niokoe katika nyakti hiz nazo pitia ktik maishani yangu mausiano yangu mara nying baba ayaelewekii niokoee ktik vizuiz