MCH.MSIGWA ATIMKIA CCM, CHANDEMA NI SACCOS ,ATAMWAGA UKWELI KUHUSU CHADEMA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 มิ.ย. 2024
  • #Msigwa#ccm#mwenezi

ความคิดเห็น • 56

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 17 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli njaa mbaya

  • @SmilingBuoy-kb1yn
    @SmilingBuoy-kb1yn 19 วันที่ผ่านมา +2

    Jaman hiyo ni njaa tu na hana uchungaji wowote huyo

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 26 วันที่ผ่านมา +3

    In actual fact huwezi kuwa mwanasiasa at the same time kuwa mchungaji, pia ustaarabu wa binadamu ni kwamba ukimwacha MKE au mme hutakiwi kueleza madhaifu yake, inabidi tufungue Tena darasa la ethics of leadership

    • @rukiamkwayo6302
      @rukiamkwayo6302 23 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani wewe hujawahi kwenda chooni kimya huku unapigamshwaki

  • @fauluonlinetv
    @fauluonlinetv 18 วันที่ผ่านมา +2

    Njaaa

  • @FratteMlay
    @FratteMlay 20 วันที่ผ่านมา +1

    Yan msigwa muogope mungu chadema imekulea kua na maneno ya akiba kumbuka kuna kesho pia

  • @clickway..
    @clickway.. 16 วันที่ผ่านมา +1

    Tuzingatie ushauri wa Warioba: alisema"tuache siasa za madaraka na turudi kwenye siasa za maendeleo" maana shida kubwa Afrika iko hapo.

  • @user-gp7es3sg3k
    @user-gp7es3sg3k 20 วันที่ผ่านมา +2

    Msigwa msariti miaka yote uriyo kaaa chadema mbona urivyo kuwa mbunge mbona urikuwa wapi wewe yuda msariti

  • @clickway..
    @clickway.. 16 วันที่ผ่านมา +1

    Changamoto mlizonazo Chadema ni kidogo sana kuliko mahali pengine popote, Msigwa na wenzio mlitakiwa kubaki chadema na kupambana kuondoa hizo changamoto mkiwa ndani ya chama na si kuondoka ,KUONDOKA NI UDHAIFU MKUBWA SANA.

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 19 วันที่ผ่านมา +1

    njaa kali

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 20 วันที่ผ่านมา +1

    Umepoteza ushuhuda Wewe kama Mchungaji 😢😢😢😢😢😢😢😢,ulisema ukienda ccm watu wachome nyumba yako na magari,sasa unamuhubiri Kristo anaye geuka geuka?daa ,ungeonesha uzalendo ukiwa Mbunge na kuacha ubunge lakini sio umeshindwa uchaguzi unasema kile kikundi ni saccosi?mimi sina chama ila umepoteza ushuhuda 😢😢😢😢😢😢

  • @michaelmfanga3084
    @michaelmfanga3084 18 วันที่ผ่านมา +1

    sasa tunaakili watanzania MUNGU ametuhurumia, tunajua upi ukweli upi unafiki

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 17 วันที่ผ่านมา +1

    Upupu amejimwagia mwenyewe!

  • @mlekwa
    @mlekwa 26 วันที่ผ่านมา +1

    Yangu macho😂

  • @NicolasSteven-zr2hx
    @NicolasSteven-zr2hx 26 วันที่ผ่านมา +1

    Msigwa nae ni mnafiki tu yaani kukosa uenyekiti wa kanda ya nyasa tu umeamua kusaliti mabadiliko kwelii!

  • @gtgmediaproduction764
    @gtgmediaproduction764 12 วันที่ผ่านมา

    Mzee mbona unatumia nguvu NYINGI kusukumwa hoja yako? Kiukweli umejichanganya aisee kilicho kupelekwa huko nimkate wa esau Asante

  • @TUMSIFU-em5te
    @TUMSIFU-em5te 13 วันที่ผ่านมา

    Ccm tumepigwa hapo, hakana lolote kanafiki hako. Njaa inakasumbua

  • @AbrahamMjema-di1li
    @AbrahamMjema-di1li 17 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji sio mwaminifu,unapotaja jina lake kivumishi mchungaji ni kuzalilisha taasisi ya wachungaji.

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 14 วันที่ผ่านมา

    Msigwa anasaka maokoto kwa nguvu😂

  • @dismaskalawa142
    @dismaskalawa142 17 วันที่ผ่านมา

    Ni haki kwake

  • @frankkessy6504
    @frankkessy6504 17 วันที่ผ่านมา

    Walikuwa 12 akatoka mmoja Yuda

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 17 วันที่ผ่านมา

    Ccm y sasa vchekesho ukiwa mbulula ndio unapewA cheo ukiwa mzalendo unawekwebenchi

  • @twahamaulid
    @twahamaulid 14 วันที่ผ่านมา

    Kwa mwenendo huu tutaendelea kuwapoteza viongozi wenye ITIKADI ya kweli ya CCM kwa kuwapokea wanachama wapya na ndani ya muda mfupi kupatia Vyeo iwe Serikalini au kwenye CHAMA.
    Ndani ya CCM tutaendelea kucheza ngoma yenye midundo mipya na kutenzgeneza matokeo Mabovu ya Itikadi ya Chama chetu.

  • @nedlly2
    @nedlly2 26 วันที่ผ่านมา

    Ni haki yake kikatiba lakini hana jipya! Eti Mbowe hana nuru! Nuru ya Mbowe imetoweka baada ya yeye kushindwa kwenye uchaguzi! Yeye mwenyewe hana nuru, akiongea utadhania analia! Walondoka kina Zito, Lowasa na wengine wenye majina makubwa itakuwa huyu mchungaji njaa!

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u 21 วันที่ผ่านมา

    Hao wote hawafai kabisa ni njaa zinawasumbua tu

  • @mathiasombella7516
    @mathiasombella7516 26 วันที่ผ่านมา

    Huna jipyaaza

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 23 วันที่ผ่านมา +1

    Msigwa Jiulize kwa nini hakufanya maamuzi kabla ya uchaguzi wa kanda?

    • @JosephMwaitete
      @JosephMwaitete 20 วันที่ผ่านมา

      Kwenye uchaguzi ndiko kaona ubovu

  • @polinatusmwemezi-pc2pl
    @polinatusmwemezi-pc2pl 19 วันที่ผ่านมา

    Kwa Nini unakaa kwenye saccos?

  • @Focusm-se2sd
    @Focusm-se2sd 26 วันที่ผ่านมา

    Msigwa eheeee we ni mnafiki

  • @polinatusmwemezi-pc2pl
    @polinatusmwemezi-pc2pl 19 วันที่ผ่านมา

    Anakuja kutuvuruga huyo nindumilakuwili.

  • @Edger-bn2mt
    @Edger-bn2mt 19 วันที่ผ่านมา

    Njaaa mbya jmn acheni 2

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 26 วันที่ผ่านมา

    Ni hali yake ila Kuna shida ya maadili

  • @user-xf7tl8jq9v
    @user-xf7tl8jq9v 26 วันที่ผ่านมา

    Hapo ndooo itakuwa mwisho wa kusikika nilimuona peneza saiv hatumuon pale geita

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 22 วันที่ผ่านมา

    Dudubaya anasema una mdeni huwezi kuyalipa na ndio maana Ccm wamekulipia na ukahamia huko Pole sana nyie wasiasi ni waongo tuuu

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 21 วันที่ผ่านมา

    Msigwa kasahau lisu alivyopigwa risasi na watu wasio julikana

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 26 วันที่ผ่านมา +1

    Msigwa apewe ukuu wa mkoa au apigwe kwenye wizara

    • @MWAMPAMBA
      @MWAMPAMBA 11 วันที่ผ่านมา

      Asipopewa cheo atahama

  • @ostenmwakasita6960
    @ostenmwakasita6960 26 วันที่ผ่านมา

    Kweli viongozi wa Chadema kinamapungufu makubwa sana ata wewe Msigwa umekosea sana basi ungeanzisha Chama chako Ili uwende na demokrasia na Tena unamtuhumu Marehe Makufuli hauna jipya na haupati chochote huko uliko enda

  • @user-ry8xf1no2s
    @user-ry8xf1no2s 24 วันที่ผ่านมา +1

    Ongela sana msigwa iyo ndio demoklasia una mamuzi saii kabisa
    Kalibu ccm chama imala

  • @evansdecaprio8196
    @evansdecaprio8196 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kwahiyo ccm ndio wanatenda haki watu watano wanatuchagulia rais

    • @user-wh3tb9ve8x
      @user-wh3tb9ve8x 15 วันที่ผ่านมา

      Nimeipenda hiyo😊😊😊😊😊😊😊

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 23 วันที่ผ่านมา

    Msigwa kweli Chadema hawana agenda au huna agenda. Samia anauza bandari, misitu, anawafukuza wamasai, anawalinda mafisadi, kweli hawana agenda? Nilikuona wa maana leo nakuona IQ yako ya kuku.

  • @MayalakusekwaNkwabi
    @MayalakusekwaNkwabi 26 วันที่ผ่านมา

    Huyu nae kawa Mchungaji wa CCM kawa CHAWA WA CCM kafika bei kawa boya huko CCM kumejaa Wizi , Rushwa, Ufisadi, Uongo na Ubinafsi ,acheni Ujinga CCM haina DIRA hii Nchi wamewashinda

  • @omaryyusuph7877
    @omaryyusuph7877 26 วันที่ผ่านมา

    Umeama wewe sisi raia auwezi kutubadilisha fikra zetu msigwa

  • @sjdbxjdhsudjxjhd615
    @sjdbxjdhsudjxjhd615 26 วันที่ผ่านมา

    Msigwa Wacha unfiki

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 23 วันที่ผ่านมา

    Baada ya kupata misimamo ya Wanachadema Iringa dhidi ya unafiki wa Msigwa akaamua kukimbia. Umesema upinzani wanadandia hoja, wewe juzijuxi huko Singida tumekuona ukiikosoa CCM , hoja zako za kudandia unaziacha wapi?

  • @ChrispiniBuruchard
    @ChrispiniBuruchard 23 วันที่ผ่านมา

    Yani wewe naupendo mnafaa kuchomwa moto sio watu kumbe wewe ndio walitaka wakutumie nyasa ccm lisu akayasema kuna hela imeletwa angalia

  • @bravebrain642
    @bravebrain642 19 วันที่ผ่านมา

    Msigwa ona hata aibu wewe ni mtu mzima...wewe kajenge tumbo lako....
    Kichefuchefu tupu..!
    Hiyo ndiyo legacy yako, kwa vijana wa Tanzania. Hauna moral kabisa...

  • @user-xk7wh4bn7q
    @user-xk7wh4bn7q 20 วันที่ผ่านมา

    Huna hoja yamsingi kenge wewe neenda ukafie huko

  • @placidpeter6775
    @placidpeter6775 13 วันที่ผ่านมา

    Mnafiki mkubwa

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 23 วันที่ผ่านมา

    Msigwa na Upendo Peneza ni njaa, hamna mapya, mmekosa kujiuza kwa wananchi, huko hatutawasikia tena. Hamna hoja. Wajinga nyie Rasilimali za wananchi zinauzwa mnaunga mkono?

  • @user-or5hm7nl7q
    @user-or5hm7nl7q 17 วันที่ผ่านมา

    Chiz kbs wewe