MAWAZIRI NA WABUNGE 15 WA CCM AMBAO WALISHINDWA 2020 LAKINI 'NEC' IKAWAPITISHA KUWA WAGOMBEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @AhmedAhmed-gf1rd
    @AhmedAhmed-gf1rd 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mm wa kwanza from Oman +++zungu 💯 naomba like

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me หลายเดือนก่อน

    Mpo vizuri sana nawafuatilia sana.

  • @sudyslaa8278
    @sudyslaa8278 13 วันที่ผ่านมา

    Hawa 2025 kurudi ni ngumu sana. Wakumbuke mzee hayupo

  • @sirajbakari104
    @sirajbakari104 3 หลายเดือนก่อน +1

    CCM ndio inaharibu Nch

  • @wilsonpastory706
    @wilsonpastory706 3 หลายเดือนก่อน +2

    mumefeli jimbo la busega mumesahau muwe makini tunawafatilia sana na tunawapenda

    • @day2newsTV
      @day2newsTV  3 หลายเดือนก่อน +1

      Ahsante sana kwa kutufuatilia. Tumetaja majimbo 15 tu katika makala hii ingawa yapo mengine mengi kama Moshi Mjini, Mvomero, Busega na kwingineko. Tutayataja zaidi katika makala zetu zijazo.🙏🙏

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 21 วันที่ผ่านมา

    Unajua wengi hawakuchaguliwa ndo mana wanafanya kazi kwa maslai yao binafsi

  • @DrjosephKingo
    @DrjosephKingo 3 หลายเดือนก่อน

    Zungu umenikumbusha mbali kidogo. Wengi wao ni manaibu mawaziri sasa. Kuna haja gani sasa ya kura za maoni? Nadhani huo mjadala tuuache hadi wakati mwingine thanks kwa makala hii

  • @CholoNassor-h8r
    @CholoNassor-h8r 3 หลายเดือนก่อน

    Tutajibu kwa itendo muhi kadi ya mpiga kura na kulinda kura mshindi wetu atatangazw hapohapo tumechoka kuibiwa kura zetu maana ndio maisha yetu

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chama Majanga /

  • @IssaKigwanya
    @IssaKigwanya 3 หลายเดือนก่อน

    Na nashoni wiliamu bidyanguze mbunge wa jimbo la kigoma kusini uvinza

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura1427 27 วันที่ผ่านมา

    Sasa kura za maoni za nini

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa ninyi ambao mliangukia pua kwenye kura za maoni: Katambi,Gwajima, Silinde,Biyabato,Festo,Paulin, Kimei,Katani,Doroth,Mwambe, Kimea na wengineo mliopitishwa na mkutano mkuu kwa upendeleo bila kura, mnategemea kura za nani 2025 baada ya uchafuzi wa 2020?! Sio halmashauri ya ccm wala wananchi majimboni wanaowatambua, labda Magufuli mwingine aibuke ndani ya moyo wa Samia mwkt wa chama taifa na Rais wa Jamuhuri ya muungano-mgombea. Pole yenu!

  • @ZakariaLazaro-z3w
    @ZakariaLazaro-z3w 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona sijaona jimbo la Busega

    • @kadokemarco9966
      @kadokemarco9966 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani na Mh. Songe alipata ushindi wa mezani??

  • @froma3732
    @froma3732 3 หลายเดือนก่อน

    Haya yote yaliamuliwa na Kiongozi wa Nchi lkn hkn alosema kama Kulikuwa hkn Wakili wasomi

  • @leonardsasita4634
    @leonardsasita4634 3 หลายเดือนก่อน

    Zungu Leo mkoromo ila Kazi nzuri

  • @mohammedmasoud5981
    @mohammedmasoud5981 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wapo wengine hawajatajwa

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna demokrasi huko

  • @kashiririrkaasongwisye9487
    @kashiririrkaasongwisye9487 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ndio maana bhn!

  • @RamadhaniMsagati
    @RamadhaniMsagati 3 หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu mtalia na kusaga meno

  • @westmanmoses541
    @westmanmoses541 3 หลายเดือนก่อน

    Ila haikukaa vzr mgombea akishinda maana yake Anakunalika na wananchi

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna wengine wanasambazaga bahasha kwa wajumbe kisa wana pesa kuliko wengine.Magu hakukurupuka alitumia akili.

    • @westmanmoses541
      @westmanmoses541 3 หลายเดือนก่อน

      Una uhakika waliopitishwa hawakutoa mlungula?​@@jamesmzaki6041

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 หลายเดือนก่อน

    Aise Gwajima ahadi alizo towa zilikuwa nyingi sana sijuwi atafanya je 2025?

  • @DevidAswile
    @DevidAswile 3 หลายเดือนก่อน

    Mvomero