MUSUKUMA AMLIPUA MCHUNGAJI PETER MSIGWA IRINGA - "NITAKUWA NAMPIGIA BUNGENI"...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 พ.ค. 2023
  • MUSUKUMA AMLIPUA MCHUNGAJI PETER MSIGWA IRINGA - "NITAKUWA NAMPIGIA BUNGENI"...
    Mbungu wa chama cha mapinduzi Joseph Musukuma amezungumza na wananchi wa iringa katika ziara ya katibu mkuu wa chama hicho...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 19

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +1

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @jumamsechu
    @jumamsechu 10 วันที่ผ่านมา +1

    Wezi kazini

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm ปีที่แล้ว +2

    Msukuma Hana elimu ya kuelewa mambo. Anajipa udaktari bila elimu. Ni mbwembwe tupu. Hawa ndio wanaoliangusha Taifa. Elimu, elimu, elimu

  • @user-mo3ik6go6r
    @user-mo3ik6go6r 5 วันที่ผ่านมา

    Heti humewapa uhuru sawa mkoroni sijui mwarabu au mzugu

  • @kizitoleons6291
    @kizitoleons6291 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ufahamu wake mdogo sana badala anadi sera za chama chake anamuongelea mpinzani

  • @OmaryKikambaa
    @OmaryKikambaa 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mara pa msigwa yupo chichiem,,,, kumbe msukuma alikuwa anamaanisha

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 ปีที่แล้ว +1

    Nchi iko kwenye pandemic mbaya sana, kichaa, viongozi wote vichaa, mbwa koko wewe Musukuma. Hela hizo ni za watanzania siyo za mpemba Samia!

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 7 วันที่ผ่านมา +1

    Siasa za CCM hazina lengo la kumkomboa mnyonge

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe Mchungaji Pita Msigwa alikuwa anapewa pesa na ccm .

  • @edisonmjema2620
    @edisonmjema2620 6 วันที่ผ่านมา

    Akili mbovu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 9 วันที่ผ่านมา +1

    Mpumbavu ndiye aliwae. Hana lo lote anafanya siasa za kipimbavu tu

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 ปีที่แล้ว +2

    Wewe mbunge msukuma una ongea nini ...? Ety pesa inatoka kwenu una pesa gani ya kutoa kwa CHADEMA wewe , Pesa n za walipa Kodi wa kitanzania na Maliasiri za Tanzania 🇹🇿 , ko usijifanye wewe ndio unajua Sana wadanganye hao hao ..... ! Ambao hata darasa la 7 hawajafika

  • @shetanoathumani2904
    @shetanoathumani2904 ปีที่แล้ว +1

    Mkulima Nani wa nyanya amepelekewa mamilioni ya hela?

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu anayejiita msukuma kwa nini asiende shule kwanza ili awe anaongea facts bungeni maana michango yake yote huwa madudu tupu yaani uchafu na kuchafua watu.

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 4 วันที่ผ่านมา

    Mhuza nyanya kaperekewa pesa na kachukuwa

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wajinga wapo kwenye mfumo, wenye akili wanaogopa kuingia fursa za uongozi

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b วันที่ผ่านมา

    Mjinga mkubwawewe elimu huna ndoo mchawi shetani mama anatoapesa ni zake?siyo za watanzania?

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b วันที่ผ่านมา

    Eti wangekupa urais nani akupe wewe mbumbu mzungu wa reli nchi inauzwa bandari misitu mbuga za wanyama nyie mnashangilia yaani wewe msukuma umemgeuka JPM na Nyerere kuhusu Raslimali za nchi hakika mtakufa mkawakute na watawauliza maswali ambayo hamtayajibu kamwe