RAS ARUSHA ATOA MAJIBU YUPO WAPI PAUL MAKONDA BAADA YA UVUMI KUA KAPEWA SUMU ANATIBIWA SOUTH AFRICA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • RAS ARUSHA ATOA MAJIBU YUPO WAPI PAUL MAKONDA BAADA YA UVUMI KUA KAPEWA SUMU ANATIBIWA SOUTH AFRICA
    #paulmakonda #ras #paulmakondaleo #Arusha

ความคิดเห็น • 126

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 หลายเดือนก่อน +26

    kwa staili hii tz ni nchi yang lkn kama kwel PAUL kapewa sumu..bc nitaichukia Tanzania milele

  • @CalmOmbreSky-iz2hj
    @CalmOmbreSky-iz2hj หลายเดือนก่อน +7

    Damu ya yesu ikufiche moto wa roho mtakatifu ukuzingile makonda mungu akure akutoe kwenye mikono yawatu wabaya tuna kupenda

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g หลายเดือนก่อน +8

    Lisemwalo lipo. Baadhi ya vyombo vya Habari haviwezi kukurupuka. Kikubwa Mungu ampe shifaa Mh Makonda. Amlinde huko aliko. Tushawajua mnaficha nini wakati mmeshampa sumu iliafe Mungu atawalaani.

  • @JulitaShirima
    @JulitaShirima หลายเดือนก่อน +7

    Mungu akuponye shujaa wetu tz ukisema ukweli unawekwaharini lakini mungu ndie msmamizi wako malaika walinzi wakulinde baba makonda

  • @user-og4df9jv8s
    @user-og4df9jv8s หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyez mungu popote alipo mh Makonda mjaalie mema

  • @EliothJoshua-z3g
    @EliothJoshua-z3g หลายเดือนก่อน

    Tuna imani Kubwa Sana Na Makonda mwenyezi Mungu akulinde

  • @lucyosima9470
    @lucyosima9470 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mlinde mkuu wetu makonda huko aliko amina

  • @user-vv4wo5fu9t
    @user-vv4wo5fu9t หลายเดือนก่อน +7

    M,MUNGU MLINDE RC PAUL MAKONDA

  • @elizageorge2414
    @elizageorge2414 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akuponye

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna Jambo linafichwa hapa, Mungu amlinde Makonda,

  • @LuluAbdi-sm9ie
    @LuluAbdi-sm9ie หลายเดือนก่อน

    Jmn muungu amujarie apone kbs binadamu Ana hurum jmn daah 🤲

  • @NeemaMpagike-k7i
    @NeemaMpagike-k7i หลายเดือนก่อน

    Namuomba Mungu aleje Arusha nakupenda sana baba WA wanyonge

  • @JosephJasson-fx6rq
    @JosephJasson-fx6rq หลายเดือนก่อน +1

    Eeee Mungu wa Mungu na nchi mlinde mtumishi wako,hawe salama

  • @glorywalter446
    @glorywalter446 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu amuepushe na hilarious zote!!

  • @AmanLaizar
    @AmanLaizar หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Mkuu wawanyonge

  • @MariamShomari-x7d
    @MariamShomari-x7d หลายเดือนก่อน

    Mariam shomari huyo kiongozi Jesus sio mtu mzuri

  • @nyamizimpangule8640
    @nyamizimpangule8640 หลายเดือนก่อน +1

    JASUSI KUFA MWENYEWE MAKONDA WETU HAFI YUPO NA MUNGU

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii inawatu wabaya sana,amani ipo midomoni lkn mioyoni mwa watu kuna ubaya sana

  • @wistonlaizer5124
    @wistonlaizer5124 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mwema wakati wote atamlinda Kwa jina la yesu kristo aliye haii milele amina poster wiston melakiti LAIZER diwani mstaafu kata ya sambasha Arusha DC

  • @EvalineSarakikya
    @EvalineSarakikya หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde popote ulipo Makonda

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b หลายเดือนก่อน

    Asipo pona makonda kazi kwenu mungu anaona

  • @MichaelEliasmwampamba
    @MichaelEliasmwampamba หลายเดือนก่อน

    Makonda mungu ndiye muweza wayote kama nimipango ya binadamu na sio mipango yamungu wiki hii utaoneka nautaongea mungu atakusimamia na amekusimamia simama na uongee mungu akuponye yote tumemwachia mungu

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania หลายเดือนก่อน +1

    Tz eti nchi ya Amani mnatiliana sumu yarabb mponye makonda 😢😢

  • @mussatabuji8245
    @mussatabuji8245 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu aendelee kukulinda Rc Makonda huko ulipo

  • @nembrismollel9615
    @nembrismollel9615 หลายเดือนก่อน

    Kikubwa ni kumwombea uzima na afya njema tunapenda sana

  • @juliuswerema3655
    @juliuswerema3655 หลายเดือนก่อน

    Eee mwenyezi mungu mtangulieh mweshimiwa makonda popote halipo

  • @user-kr8uw1co7v
    @user-kr8uw1co7v หลายเดือนก่อน

    Makonda wetu MUNGU akuponye katika jina la YESU KRISTO

  • @Zubaiba
    @Zubaiba หลายเดือนก่อน

    Mungu akuponye makonda wetu,bado tunakuhitajia

  • @Janeth-kv7pp
    @Janeth-kv7pp หลายเดือนก่อน

    Mungu ukuponye

  • @deusdedith
    @deusdedith หลายเดือนก่อน

    Mwacheni chapakazi wetu najemedari Mungu amlinde

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 หลายเดือนก่อน +1

    HAKIKA RC MAKONDA MUNGU ANAMPIGANIA KWA DHATI DHULUMA DHIDI YA MAKONDA MUNGU HATARUHUSU.

  • @fidelnkurunziza
    @fidelnkurunziza หลายเดือนก่อน

    kama nikweri amekunya sumu sikuzake zitakuwa zimefika kutakuwa hamuna shida

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt หลายเดือนก่อน

    Mungu tends haki!

  • @NeemaNey-mp2fi
    @NeemaNey-mp2fi หลายเดือนก่อน +2

    Mungu no mkubwa hata siwezamin habar ya likizo Kama kamanda wetu uko likizo tunakuomba ujitokeze hadharan tukuone tunakupenda Sana na mungu akulindepopote ulipo kipenz Cha watuhad Sina hata Aman jaman labda mungu amsaidie aonekane hadharan jaman Nchi yetu hii duu mnatupa wakat mgumu watanzania

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu mlinde makonda wetu

  • @sixMaduhu
    @sixMaduhu หลายเดือนก่อน

    Mungu musaidie

  • @gatsonmatiko8000
    @gatsonmatiko8000 หลายเดือนก่อน

    Rikizo tashidwa kunekana azalan

  • @SalmaSonga
    @SalmaSonga หลายเดือนก่อน

    Paulo makonda mtu wa watu mwenyezi mungu amuepushe na majangil8 watu

  • @fidelnkurunziza
    @fidelnkurunziza หลายเดือนก่อน

    nani anaye weza kupata wasiwa huyamakonda nanyie wandishi mnadanganya

  • @cvaginga9956
    @cvaginga9956 หลายเดือนก่อน

    Acheni kusikitika ili kumsaidia apone ombeni kwa bidii sana bila kukoma mikiibeba silaha ya IMANI kwani Mùngu wetu wa kweli na wa pekee tunayemtumikia ni MKUU kuliko miungu yao nasi tutashinda ķatika yeye anayetupenda

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 หลายเดือนก่อน

    Jamani Mungu msaidie mwanangu apone haraka. Kama ni kweli Mungu ataihukumu nchi yetu

  • @MissMadamoman
    @MissMadamoman หลายเดือนก่อน

    Jamani mungu amponye huko alipo

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmm.

  • @AlmasOmary-k6m
    @AlmasOmary-k6m หลายเดือนก่อน +5

    Mkonda.usile.chakula.hotelini.mtani.wangu.acha.mama.akupikie.utaniletea.presha.kaka

    • @anaclethmuyabaga8994
      @anaclethmuyabaga8994 หลายเดือนก่อน

      Ata microphone ya kuongelea atembee nayo mfukoni mwakoti lake

    • @melch3097
      @melch3097 หลายเดือนก่อน

      Hata chakula cha mke wake asile

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 หลายเดือนก่อน

    Aseme yeye wenyewe

  • @RuthiMbise
    @RuthiMbise หลายเดือนก่อน

    Mungu mlende hualiko

  • @MagdalenaShaudo
    @MagdalenaShaudo หลายเดือนก่อน

    Awe wapi likizo au kwingine tunachotaka kwake ni uzima tu

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 หลายเดือนก่อน

    Makonda Mungu wa mbinguni akulinde, huko ulipo, urudi salama uje unisaidie jambo langu, kwani wewe mungu kakuleta ututetee sisi wanyonge maana Arusha Kila mtu mbabe Makonda njooo nisaidie, Mungu atakulinda maneno Yao hayasaidii mungu ndio mlinzi binadamu washindweee

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t หลายเดือนก่อน +2

    Tuambie Makonda yuko wapi msitufanye kama jembe letu Makufuri

  • @kassangaibrahimisihaka2655
    @kassangaibrahimisihaka2655 หลายเดือนก่อน +1

    Naamini watu wasiopenda haki sikuzote huwa wanatafuta kashfa yoyote kumuharibia mpigania haki za watu mimi namuombea kila la heri mdogo wangu makonda ipo siku kwa uweza wa mungu atakabidhiwa nchi bila pingamizi kwa hayo anayotenda kwa wanaichi wanyonge wa hali ya chini ndio watakao mpa kula zote amin inshallah

  • @mwangasonimwanga5850
    @mwangasonimwanga5850 หลายเดือนก่อน

    Sema vizuri mbona Kama Kuna kitu unaficha

  • @Veni584
    @Veni584 หลายเดือนก่อน +2

    Endeleeni kutudanganya tu

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli mapumziko he deserves it amezunguka mno without a break i hope you are enjoying the break❤..kama mmemlisha sumu wanaohusika watangulie

  • @fidelnkurunziza
    @fidelnkurunziza หลายเดือนก่อน

    mbona sijaona anaye muriziya

  • @lawrence-xk1km
    @lawrence-xk1km หลายเดือนก่อน +2

    Akifa ndiyo utasikia alikuwa nzena

    • @kichenjekichenje2072
      @kichenjekichenje2072 หลายเดือนก่อน

      Na alikuwa anatibiwa na Janaba

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 หลายเดือนก่อน

      ati alikua wapi???? hahaha 😅😂

  • @user-ex9gt9np8i
    @user-ex9gt9np8i หลายเดือนก่อน

    Mungu mguze makonda apone

  • @JonathanKasigara
    @JonathanKasigara หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu popote ulipo

  • @DeusPaschal-g5q
    @DeusPaschal-g5q หลายเดือนก่อน

    Muhimu awe mzima!tunamuitaji zaidi

  • @ukumbushoadam5691
    @ukumbushoadam5691 หลายเดือนก่อน

    Mbn kama nyie wandishi wa habari na nyieee kama mnawogaaa sanaaaaa sasa mnasemajee kuwa hizo ni taarifaa za uongo wakati hamna uthibitishoo

  • @user-jf1sq7lk4g
    @user-jf1sq7lk4g หลายเดือนก่อน

    Mungu amponye uko aliko tunamuombea

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s หลายเดือนก่อน

    Nchi hii,ukitetea wananchi tu, mafisadi wanakuona ni adui wao,

  • @saididodi3988
    @saididodi3988 หลายเดือนก่อน

    Lisemwalo lipo

  • @veronicawilson4263
    @veronicawilson4263 หลายเดือนก่อน

    MUNGU awe pamoja na wew Makonda

  • @user-rq3ic3mt2j
    @user-rq3ic3mt2j หลายเดือนก่อน

    Yalianza kwa Magu sasa kwa Mako kisha kwangu. Aya mungu awepo ktk uwepo wake milele.

  • @nyamizimpangule8640
    @nyamizimpangule8640 หลายเดือนก่อน

    AKIWA LIKIZO JAJIHUSISHI NA MITANDAO? HAO NDIYO WAUWAJI WENYEWE FYUUUUUUUUUU

  • @user-wy3uc2cd8x
    @user-wy3uc2cd8x หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu peleka uponyaji ugh

  • @user-ui1cj5re9k
    @user-ui1cj5re9k หลายเดือนก่อน +1

    Nivema watujulishe alipo maana anawashabikiwengii

  • @muhengamakunga
    @muhengamakunga หลายเดือนก่อน +2

    yani trip hii kwa makonda hatuto kubari isiwe kama trik ya magu kwa shindwa kuandamana nita andamana mie familia yang

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 หลายเดือนก่อน

      Kwa vipi ushindwe kuandamana kwa watoto wadogo wanaotekwa nyara, kwa maiti zinazookotwa kila kikicha, unataka kuandamana kwa uvumi! Unafiki, unafiki, watanzania unafiki mwingi!

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 หลายเดือนก่อน +1

    Me nashauli makonda ajitokeze hadhalani akanushe mwenyewe mana kwatanzania hii ninavyoijua hii nchi maneno ayataisha mpaka wamuone

    • @christophershuma623
      @christophershuma623 หลายเดือนก่อน

      Ajitokeze kwenye ukurasa wake wa x kuondoa hayo maneno ya eti.....

  • @jeanmarieirankunda-ww4bn
    @jeanmarieirankunda-ww4bn หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mrundi lakini ninashukulu kazi za makonda ,viongozi kama makonda barani afrika niwachache ila wangekuwa wengi afrika ingekuwa bara lisilo na utata

  • @foibennjeje7730
    @foibennjeje7730 หลายเดือนก่อน +3

    Mnaanzaga ujinga

  • @salama1113
    @salama1113 หลายเดือนก่อน +4

    Lazima tuwe na shaka kwajili ya mliyotufanyia kwa magufuli hatuwezi kusahau

  • @thanksrjhood9508
    @thanksrjhood9508 หลายเดือนก่อน

    Yuko likizo Mars au Jupiter.
    Kwann asiseme yy yupo likizo wapi.
    Magu akiwa likizo kwake home Chato kila mtanzania alijua, sbb alionekana wkt huo akiwa na familia yake.
    Huyu vp!

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 หลายเดือนก่อน

    Mimi nawajua Watz kwa kuzusha na kusambaza wako fasta sana katika mambo ya kutengeneza yalikuja makoko bawa watu wakawa wanalala nje, ikaja Loliondo, na wanyweshaji vikombe nao na mengi mengineyo.

  • @user-lf5zp3ej4y
    @user-lf5zp3ej4y หลายเดือนก่อน

    Yaani hapo hatuta elewa lolote, mpaka Makonda aongee mwenyewe. Musitupotoshe

  • @JulietAiro-iv3nd
    @JulietAiro-iv3nd หลายเดือนก่อน

    Kwann atumuoni kijana wetu

  • @JonathanKasigara
    @JonathanKasigara หลายเดือนก่อน

    Mungu akujalie afya njema

  • @NeemaNey-mp2fi
    @NeemaNey-mp2fi หลายเดือนก่อน

    Ccm viongoz wenyewe hawapendan hawamtaki mtu mwenye hekima za kimungu ya kuwasaidia wananchi wanaoteseka jaman mungu uko wap jaman mrudishe makonda waaibishe wafedheshe wanaoinuka juu yake jaman

  • @MsafiriKadege
    @MsafiriKadege หลายเดือนก่อน

    Hi nchi ya kifala sana kama ni kweli basi kuna tatizo kubwa sana

  • @MagdalenaThomas-cz1qp
    @MagdalenaThomas-cz1qp หลายเดือนก่อน

    Tunamtakaa makonda wetu

  • @joshuac.mashida1378
    @joshuac.mashida1378 หลายเดือนก่อน

    Hatuwaamini

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi😢

  • @AlikomboAli-e3l
    @AlikomboAli-e3l หลายเดือนก่อน

    Wakenya sio wajinga kuandamana kumtoa kiongozi ambae hawezi kuwasikiliza wananchi ambao wao ndio waliomueka pale alipo kuna haja gani ya kua na amani then wachache wafaidi mali na matunda ya nchi na walio wengi wateseke kwa njaa na maradhi bila kupata msaad wanaostahik kupata kw sababu ya viongoz njaa

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 หลายเดือนก่อน

    ila mmh mmetuvunja mioyo jaman

  • @EmanuelKitokero
    @EmanuelKitokero หลายเดือนก่อน +3

    Mwamba anaumwa kweli acheni masiala

  • @RASHIDIALLY-ew3ww
    @RASHIDIALLY-ew3ww หลายเดือนก่อน

    Wapuuzi Kuna kipindi walimzulia mzee mpango

  • @filexkivuyo8383
    @filexkivuyo8383 หลายเดือนก่อน

    Tuelezeni yuko wapi tujue kwani nikipenzi chawengi kwasasa

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u หลายเดือนก่อน

    Mwisho wa yote ni neema yakupata nchi ya ahadi nchi yenye malaika nawatakatifuwaMungu wakiruka hapa napale tena waliozishinda nguvuzashetani baadae .Tanzania mpya nawatuwenye afyatele wakirukaruka kwafuraha .

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata หลายเดือนก่อน

    Sasa kweel jamani huyu jamaa anavyo kaa na watu vizuri halafu habari za sumu the a duuuuh binaadam wabaya jamani

  • @ngusawales2039
    @ngusawales2039 หลายเดือนก่อน

    Mm Huwa najiuliza kila sku tunasoma vitabu vya mungu inakuwaje viongozi wanakuwa hivyo????

  • @JulietAiro-iv3nd
    @JulietAiro-iv3nd หลายเดือนก่อน

    Ata kama anaumwa si angeonekana ata kwenye mtandao

  • @softrock7155
    @softrock7155 หลายเดือนก่อน

    Hata hivyo sioni jina la Paul Makonda, hapo anatajwa Bashite ambaye sio mkuu wa Mkoa wa Arusha.

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania หลายเดือนก่อน

    Mimi musukuma mwenzake wa mwanza nauriza njomba angu yupo wapi janani mimi nitakufa na putesha jamani makoda rikizo wapi aripo

  • @user-jj7qv7kh2s
    @user-jj7qv7kh2s หลายเดือนก่อน

    Tunataka makonda awe salama

  • @juliuszakayo6771
    @juliuszakayo6771 หลายเดือนก่อน

    Huyu chizi katatua Nini zaidi ya maigizo yaani watanzania wamelogwa na mwenge hamwezi kutofautisha maizo na kazi? Wahuni na wawajibikaji mnawafananisha ? Jamani Bashite ni muhuni tu wakawaida na CCM ya wahuni

  • @glorywalter446
    @glorywalter446 หลายเดือนก่อน

    Hila zote!!

  • @MzeewaslowHusseinAndrew
    @MzeewaslowHusseinAndrew หลายเดือนก่อน

    Jezi za yanga bei gani jamani?.

  • @user-mw9iv3yk7h
    @user-mw9iv3yk7h หลายเดือนก่อน

    ????????????????

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde kokote ulipo makonda kila baya liwarudie wenyewe chuki na weye

  • @bishoparronmgaya1749
    @bishoparronmgaya1749 หลายเดือนก่อน

    MUNGU TUNAKUSUBIRI WEWE.