POLEPOLE: MIMI KIROBOTO/NIKIFUKUZWA CCM/NAPE BASTOLA/BEN SANANE&AZORY/NILIOMBA HELA WAGOMBEA/BULEMBO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- --
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Polepole #Samiasuluhu
Nafarijika sana kumsikiliza Polepole
🔥🔥🔥th-cam.com/video/LrzMZcYdCvg/w-d-xo.html
i dont get enough to listern to this man polepole,very smart,ni mtu mwerevu sana.
Kwa maoni yangu, Mh. Polepole ni role model wa kuigwa. Kama na wewe unamuona yuko vzuri, bofya 👍
Upo vizuri
Hakika...🙌
❤
kataaa wahuni kataa kataaa!....hodari sana wakujieleza💪💪💪🤜🤛👋👍
🤣🤣😂😂 Huyu jamaa is very intelligent
Nakuombea maisha marefu polepole na wote wenyenia njema na nchi yetu .. I stand with my country . ..
Unamuombea heri gani muhuni tu uyo mpuuzi kweli wewe
Atoboi huyu
Sasa Tunauza Macho yote yalioangalia Nyimbo za Zuchu _ Macho yamejaa kwa hewa tembea nayo ufurahie Maisha♿🚻🚮
@@alimussa2655 Sasa Tunauza Macho yote yalioangalia Nyimbo za Zuchu _ Macho yamejaa kwa hewa tembea nayo ufurahie Maisha♿🚻🚮
@@sponsor7882 Sasa Tunauza Macho yote yalioangalia Nyimbo za Zuchu _ Macho yamejaa kwa hewa tembea nayo ufurahie Maisha♿🚻🚮
Mh. Polepole, hongera kwa kujibu maswali vizuri sana. You are very smart . Yani ni hatari. Nakuheshimu sana. Asante kwa kutuelimisha.
Hahahaaaaa. Virobo mu wengi
@@benswai8099 wewe ndo kiroboto.
🤣🤣🤣
th-cam.com/video/LrzMZcYdCvg/w-d-xo.html
Nakupenda mh polepole. Mungu akulinde. Mwandishi motive yake inaelweka yeye hakuwa ana penda Magu hata wewe hakupendi!
Lambart, polepole ni noma ubongo wako ukilinganishwa na wako, wako ni robo ya wakwako!! Mwancheni mtumishi huyowa watanzani.
Polepole, upo sawa, umeiva kimaadili, gombea uraisi msimu ujao.
I wish be next president of the Tanzania❤❤❤
Duuh! Hongera Mh. Polepole kwa kujibu maswali yotevkwa ufasaha. Una kipaji ambacho Mungu alikupatia na unakitendea haki.
Polepole nampenda, namkubali, namwamini, namheshimu, nampenda, namuona km mkomboz sawasawa na Nyerere, ni mzalendo
KILA ANACHOKIONGEA NAKUBALI ni kweli
SALUTE Humfrey Pole Pole
Polepole ni mtu mmoja adimu sana katika E. Africa ... aheshimiwe, atunzwe, awekwe kwenye historia ya nchi hii. Kizazi kipya kijacho kitakuja kumuishi nyendo zake, wanaompuuza kwa sasa wataonekana kituko kilichochelewesha mabadiliko waliyoyahitaji kizazi kijacho. Kina Polelpole wanazaliwa wachache sana kila karne lakini wanaompinga wanazaliwa wengi kama kumbikumbi wa msimu wa mvua ! Join Him , He is a Special One !
😂😂😋
Upo sahihi
Sijaona uadimu wake wowote, akiulizwa maswali magumu anakwepa. Ni muhuni kama wahuni wengine tu.
Facts
Sio kweli
Hamphrey, big brain👌
Pole pole your very smart. Huyu mwandishi ni zuzu katumwa na team Soga, kakutana na mtu mwenye hakili zaidi yake na akina nape. Hawa kuwezi kwahoja pole pole labda kwa mtutu only
Kweli Salim.
Kweli kabisa, huyo mwandishi ni team mzoga na kakutana smart boy.
HII NDIO INTERVIEW BORA ILIYO FUNGA MWAKA NA KUTUFUNGULIA MWAKA... VERY CONSTRUCTIVE AND DETAILED... SAFI SANA
Polepole upo vzr mwenyezimungu akupe afya njema
Hongera Mhe. Polepole Mimi nimependa hapo hata Ibilisi hawezi kukuroga.
Polepole ni muhuni sana
Na Tanzania hakuna Muhuni Kama pole pole
Mzembe tu
Polepole umemaintain calmness hata wakati huyu mwandishi alipo kuwa anakuuliza maswali very personal and unprofessional.
Umeweza kujicontrol vizuri. Hongera sana polepole, mwandishi hafai he need more trainingof treating people with respect.
th-cam.com/video/LrzMZcYdCvg/w-d-xo.html
Sasa kasema yupo vzr why asiulizwe maswali hayo af professionalism ya habari haiakisi mazingira yetu so mwandishi kajitahidi kutupa tunachopaswa kupata
Mungu akulinde ndugu yetu msema kweli ndy mjinga mwongo mnyanyasaji mjanja komaa kaka una mungu mbele yako 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Polepole wewe ni Mzalendo Shujaa, umejaa hekima. Simamia maadili uliokuzwa nayo. Mahojiano haya yalikusudia kukutia doa, lakini tunaona uwezo ulionao. I support you. Thanks Godda
Pole pole yupo vizuri Sana ukitaka kumhoji jipange
Wahuni Kwa Kweli ni hatariiii! 🆗
Lambat nimependa utulivu wako, hongera kwa focus, na consistency ya topic, mlikutana wote bigmind,# salute.
🤣🤣🤣th-cam.com/video/LrzMZcYdCvg/w-d-xo.html
Vizuri sana Polepole Mungu akulinde..
Sasa Tunauza Macho yote yalioangalia Nyimbo za Zuchu _ Macho yamejaa kwa hewa tembea nayo ufurahie Maisha♿🚻🚮
Mtangazaji ni mmojawapo wa wahuni.ila amekutana na nyagumi kakwama😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😁
Nimecheka sana 😅😅
Nakukubari sana mh. Hamphrey polepole umejibu vizuri sana, wahuni bado wapo ila ipo siku moja watajutia matendo yao.
Polepole mwenyewe muhuni tu njia zake zimezibwa hatulie tulii shindano imuingie vizuriiiii
Pole pole ni hazina ya hii nchi. Kama kuna mtu CCM wanamuhitaji Leo na kesho ni pole pole...
@@adrianmallyakibona.352 Wewe mfuatilie vizuri huyu jamaa utamjua vizuri tu ,hana ukweli kiasi hicho kama unavyo fikiri wewe .
@@jumamohamed3168ww juma Mohamed mbna umejaa husda??? Muacheni polepole bhana kwasababu anajua
Mtangazaji katumwa na wahuni
Polepole oyeeeeeee
Mh Polepole we ni mtu Makin Sana.Mungu akubarik na akutunze
Ndg Polepole umebarikiwe sana
Safi sana pole pole
Nice interview, Lambert is a very good Journalist who met a smart Leader
Hongera sanaa mbwana mwandishi upo vizuri Sana kwenye maswali , hongera sana
Polepole una akili nidhamu na busara sana. Kataaaaaa wahuniiiiiii
Uyo mwenye ndyo kubwa la wahuni
@@allyhusseni8149 sasa mbona hayupo kweny lile genge lao🤣🤣🤣
Mkubar mkatae polepole kabarikiwa kama mnabisha vaa viatu vyake utageuka chiz
Ongera.pole.pole
Umeongea ukweli mtupu
Chizimbona Umekuwa Wewe Sasa Make Anajibu Tofati Naalivo ulizwa
Polepole mwenyezimungu akuhifadhi. AMIIIN stay in humble brother. AMIIIN
Pole pole! ....mtu makini na mjanja sanaa anajua anachofanya.
Leo mwandishi amekutana na wakati mgumu haijawah kutokea....BIG UP JPM junior.... n suala la Muda tu
Yani kiukweli polepole wewe nikiongoz mwenye ekima nakwelewa
Polepole hongera kwa akili mingi upo vzri unajua na unajua tena.watanzania tuwe wakwwli polepole anajua na anajua tena.smart boy kama mimi.
Pole pole uko Sawa Sawa mkuu ila wahuni kweli wapo na Mungu atakulinda
very smart boy,R.I.P JPM umetuachia watu
Polepole kichwaa sana he's intelligent
Kichwa gani acha unafiki! Pole pole ni mjinga
Pole Pole ni mtu makini sana,nakupenda umebaki peke yako kwa watu makini
Mwandishi wa habari upo vizuri.
Pole pole popote ulipo kunywa pepsi baridi mi nitalipia
😂 unatoa ladha kama messi
# kataa wahuni....daima
Polepole tuko pamoja kataa wahuni mbona kigogo mlimwacha kapata alichokitaka mmeanza kumsonga polepole kwendaaà kataaa wahuni na genge lake
mwandishi nimependa sana mahojiano yako upo vizuri pia nampongeza mh Polepole kwa majibu yake yupo vizuri akurupuki thanks
Hongera polepole, achana na wahuni na bado wapo!!.
Hayo maswali ni ya msingi sana mwandishi wa habari Asante sana
Polepole uko vizuri sana
Mungu akulinde kaka Polepole kwa kila Baya,wachache hawataki kukuelewa lakini ipo siku watakuelewa tu
Ukimsikiliza Polepole kwa umakini utagundua ana akili saana na yupo smart saana...!! He is the kind of leader we should have...!!! Tukuacha siasa za mchumia tumbo tuna watu wazuri saana Tanzania
Muacheniiiiiii #hPolepole
Kama na wewe umegundua kwamba muhojiaji anakibuli na umetuma gonga like
Ni nini maana ya muhojiaji anakibuli
Kwa ninavoelewa muhojiaji ni mwandishi na anakibuli maana yake mkaidi kitu ambacho si kweli kwa mwandishi isipokuwa vice-versa
Polepole mtu makini sana!
Halafu ww mtangazaji kama umetumwa
Infact hakuna mtu muhuni kama polepole, this guy is loosing it sasa anaishia kuropoka tu.
Pole pole you are smart man. I salute you. Keep it up
Wahuni hawafai katika Taifa letu Mungu ibarik Tanzania Mungu bariki viongoz wawe wazalendo asante
Mwandishi umuwezi polepole ukitaka kumuuliza polepole Mwandishi ujipange na inatakiwa umeenda shule kajipange
Sasa Tunauza Macho yote yalioangalia Nyimbo za Zuchu _ Macho yamejaa kwa hewa tembea nayo ufurahie Maisha♿🚻🚮
Polepole umemjibu vizuri huyu muhuni aliyetumwana wahuni wenzake, mpe kavu zaidi
Waandishi wetu mnafeli yaani unauliza maswali yako na yanaonyesha uko upande gani na unataka majibu Gani ,,,,,huwezi kupata majibu mazuri ya maswali yako Kwa uulizaji huo wa maswali
Jamani ulitaka aulize vipi, hebu nitolee mfano
@@fahamnitwahir9249 huwezi kuuliza swali lenye majibu ya maelezo ukiwa swali umelifunga, unasema kuvamia shamba huu sio uhuni? Uliza mtu akueleza uvamizi ulifanywa kwa malengo gani, kosa lilikuwa ni nini, na lilikosa ufumbuzi hadi likavamiwa shamba?
Ukija kwa maswali ya style ya huyu mwandishi ,humpati huyu mtu ..Yuko mbali sana kiakili.
Ukosahihi polepole, ikosiku mungu atayasia tu, usikate tamaa.
PolePole ni mtu muhimu sana ktk hii nchi ingawa baadhi wanampinga ila itafika wakati ataeleweka kwa uzuri.
Kweli kabsa
hakika
Nonsense
Ndugu yangu Polepole ninakuelewa sana Mungu akutie nguvu
BIG UP, MH. POLEPOLE!
Ni kweli tutaishinda micron kkwa kufunga na kumuonba Mungu wetu wa mbinguni, we have tu be real repellent to our Almighty God Mungu alienda kumleta Magufuli Kama zawadi kwetu na Sasa amepanda mbengu mpya kea vizazi vya Sasa, raiis samia anajfanya vizuri isipokuwa anezungukwa na fence kubwa la walagai na ndo maana anaonekana kutofanya vizuri Aid ya mtanguliz wake hatar dr john pombe magufuli
🙏🙏
Huwa nakuelewa sana Pole pole mungu akulinde
Maswali ya muandishi wa habari ni ya kinafki , yeye anaonekana ni mpinga uongozi wa awamu ya 5. Pole pole upo sawa Sana hii nchi imejaa wwtu wa hovyo hovyo tu.
Kabisa kabisa ndugu yangu huyu yupo upande fulani
Wahunipia wanaweza kumtafuta mtumuadilifu kumchafua polepole uko vizuri
Nakubari sana Mh .polepole
Hata Mimi nakuunga mkono brother,nakataa wahuni Yani Ile kinyama ,Yani nawachukia Sana wahuni,kataa wahuni oyeee!
Hongera sana Mh Polepole Mungu akujalie maisha marefu ndani ya urokole, ulokole ni moto zaidi ya moto
Hivi mtu kama huyu unamwambiaje Mungu ampe maisha marefu ?
Heko pole Pole unajibu vizuri heko
Kataa wahuni kataa kataaa
Kataaaaa wahuni
Mwandishi katuharibia kipindi. Hajui maswali ya kumuuliza. Pole Pole sio wa kumuuliza maswali specific yaani una uliza swali upewe jibu unalotaka wewe
Utamuuliza swali gani atashindwa kujibu?,wakati mtu mwenyewe ni very smart
@@saimonmanyerezi7169 Nadhani hujanielewa nilichotaka kumaanisha sio kwamba aulize maswali ambayo hayana majibu No. Namaanisha alimuuliza maswali ambayo tayari pole pole alishajua mwandishi anataka majibu gani, hivyo huwezi kupata majibu sahihi zaidi utapewa porojo. Hapo mwandishi alitakiwa aulize maswali ambayo yapo jumla yaani not specific. Mfano. Unazungumziaje suala la bandali ya bagamoyo, SGR , Katiba mpya , Unazungumziaje kitendo cha baadhi ya viongozi kuchukia kauli yako ya wahuni nk. Hapo unampa nafasi kubwa ya yeye kuzungumza hasa kwa mtu ambaye yuko bright
Polepole mpwa wangu hongera, wahuni hatuwataki
#kataawahuni 😂😂😂wahuni wamekasirishwa na hili neno
Your a Clever man. really I do envy you. your words are so wise.
Nakukubali bro
Jamani.kuuliza.ski.ujinga.sipiriiani.musiba.yuko.wapii.
The wise leader
Polepole ameshajua maswali ya mtangazaji ni katumwa kuchotwa akili amekuta polepole yuko vizuri sana, wanaompenda polepole tujuane jamani
Wahuni kazini siwapendi ulizeni vitu vimepanda muliko maelezo kigogo na wahuni wako kimya
Kabsa yaani
Uko vizur sana mh polepole.
Big up sana Polepole mpole but sure and Very super master.
Wahuni ni pamoja na wewe mwandishi mhojaji
huyu kijana ni kichwa sana penda sana Mr PP #tuewakataewahunikwanguvuzote
Makini sana
Bila Polepole barakoa adi saiv tungekua tunalazimishwa wakati ni hiari hasa mabasi ya mwendokasi yalikua km biashara Et bila barakoa hupandi basi ni ujambazi kabsa,
ASANTE POLEPOLE bora ulizaliwa katika kizazi hiki, POLEPOLE wewe ni mkomboz kweli kweli
Sio kweli
Humphrey polepole ni HAZINA YA TAIFA !! Mungu mjalie Nape aje kuwa WAZIRI MKUU
NAMUUNGA MKONO MH/POLEPOLE //KWANI CHADEMA NA LISSU WAO WALISEMA WATAIFANYIA NINI TANZANIA? SANA SANA SERA YAO NI KUMTUKANA HAYATI MH/MAGUFULI SISI HATUWEZI KUMCHAGUA MTU ANAYETUKANA WATU HATUMTAKI HUYO TUNDU LISSU WENU MZEE WA KUROPOKA NA KUTUKANA TUKANA
Unamtaka Nani?
@@giftmlaki2887 YEYOTE KUTOKA CHAMA KINGINE CHOCHOTE ILA ASITOKEE CHADEMA
MWANDISHI WA HABARI, NI MPUMBAVU SANA! ANAULIZA MAMBO PERSONAL SANA! Ongeeni kuhusu nchi na wananchi sio mambo ya watu kupotea sasa yeye pole pole inamhusu nn !
Yani huyu mwandishi nadhani yupo naye nadhani ni muhuni ndiyo wale
We ndo mshenzi.
Raia kupotea ni jambo personal ? Je halihusishi wananchi ?
Mbona imetoweka sasa hivi. Akili fupi sana.
Jifunze maana ya personal.
Uyu mwandishi wakueka kwenye mabano ,() katumwa mbona maswali yake ni ya ajabu au anamueka kwenye mitegomitego
Katumwa na wahuni
Yani polepole kiukweli nimtu wamaana sana tanzania yetu mungu akusaidie sana
Mtangazaji Polepole ni muadilifu
Huyo Jama nilikuwa nakubali kabisa kwenye hawamu ya tano halikuwa hanatumika vizuri sana baba bona hatukuoni tena
Polepole uko vizuri mwandishi unachemsha
Asante Mwandishi wa habari
Mwandishi wa habari upo moto sana hoji kwa kutumia maadili
Why is he deflecting ?, kudos to the host he's very straight forward.
Mwandishi uko vizuri sana big up my brother.
Pole pole hutegeki kweli,unajua kupangua maswali Kwa namna ambayo hutaingia kingi.
Nimejifunza mengi na nimejua mengi asante Sante