Classic Tv
Classic Tv
  • 747
  • 818 944

วีดีโอ

KAMATI YA SIASA KINONDONi YARIDHISHWA NA KASI YA USIMAMIZI WA MIRADI KINONDONI...
มุมมอง 82 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#Kinondoni#kamatiyaSiasaCcm
WATUMISHI MKOA WA DSM,WAKUU WA WILAYA NA MAMEYA WANOLEWA KIBAHA CHUO CHA MWL.NYERERE
มุมมอง 3919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#MafunzoWatumishiDsm
MUFTI ATANGAZA NEEMA KWA WANANCHI WATAKAOWAHI UWANJANI AUGUST 31...MASHINDANO YA QURAAN..
มุมมอง 12วันที่ผ่านมา
#Zawadikwawananchiwatakaowahi#
MWANDISHI ALAMBA LAKI 8 GHAFLA....KAMATI YA BUNGE YAMCHANGIA KUNUNUA CAMERA MPYA...
มุมมอง 46วันที่ผ่านมา
#KamatiyaBunge#mwandishi
HALMASHAURI NCHINI..JIFUNZENI KUTOKA MANISPAA YA KINONDONI..NAIBU WAZIRI TAMISEMI...
มุมมอง 22วันที่ผ่านมา
#KamatiBungeTamisemi#Dsm
CHAMA MAKINI..TUTASHIRIKI UCHAGUZI S/MITAA NA UCHAGUZI MKUU ..WAPATA VIONGOZI WAPYA
มุมมอง 57วันที่ผ่านมา
#ChamaMakini#Dsm
KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU -TAMISEMI YAFAGILIA MANISPAA KINONDONI UJENZI WA MIRADI...
มุมมอง 12วันที่ผ่านมา
#KamatiyaBungeTamisemi#kinondoni
BI,MWANTUMU ATOA ANGALIZO KWA NG,OS KUELEKEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA......KUWENI WAZALENDO
มุมมอง 1314 วันที่ผ่านมา
#UzalendoKwanza#vyamaVisivyoVyaKiserikali
BONANZA LA HAPPY CHILDREN LILIVYOKUWA KATIKA VIWANJA VYA DON BOSCO...
มุมมอง 1814 วันที่ผ่านมา
#Bonanza#happyChidren
RC CHALAMILA -ATOA SOMO WAKINGA SIO WACHAWI KATIKA BIASHARA NI ...
มุมมอง 1114 วันที่ผ่านมา
#dSM#Chalamila#
MEYA KINONDONI ATOA ANGALIZO KWA WENYEVITI WA MITAA..URIO NAIBU MEYA MPYA KINONDONI....
มุมมอง 1214 วันที่ผ่านมา
#Kinondoni#Kaziiendelee
KARIAKOO MAJI TAKA NI HATARI..MATUNDA,VYAKULA VINAUZWA NZI KIBAO..HARUFU KILA KONA...SWAHILI/MCHIKIC
มุมมอง 5614 วันที่ผ่านมา
#HALI YA MAJI TAKA KATIKA MTAA WA SWAHILI NA MCHIKICHI KARIAKOO JIJINI DSM IMEENDELEA KUWA TETE,HUKU WANANCHI WAKIHOFIA KUIBUKA MLIPUKO WA MAGONJWA YA MATUMBO NA KIPINDUPINDU...
WAZIRI GWAJIMA AKIRI QURAAN INA MAAJABU HATA IKIFUTIKA..WALIOHIFADHI WANAWEZA....
มุมมอง 3521 วันที่ผ่านมา
#Waziri DorothGwajima#mashindanoyaQuraan
HALMASHAURI YALIPUKA KUHUSU AGIZO LA KUFUTWA SHULE YA MSINGI MAMA SAMIA..SIASA ZADAIWA KUTAWALA...
มุมมอง 1321 วันที่ผ่านมา
#ManispaaKinondoni#
MUFTI ATANGAZA MASHINDANO MAKUBWA YA WASICHANA KUHIFADHI QURAAN NCHI 11 KUSHIRIKI..
มุมมอง 1021 วันที่ผ่านมา
MUFTI ATANGAZA MASHINDANO MAKUBWA YA WASICHANA KUHIFADHI QURAAN NCHI 11 KUSHIRIKI..
SIASA YAVURUGA UJENZI WA SHULE YA MAMA SAMIA PRIMARY WAZO...WAZIRI NDUMBARO APIGA STOP...
มุมมอง 1221 วันที่ผ่านมา
SIASA YAVURUGA UJENZI WA SHULE YA MAMA SAMIA PRIMARY WAZO...WAZIRI NDUMBARO APIGA STOP...
MBUNGE IKUPA ATAKA WALEMAVU KUTUMIA FURSA ZILIZOJITOKEZA,WAMPONGEZA DKT.SAMIA
มุมมอง 921 วันที่ผ่านมา
MBUNGE IKUPA ATAKA WALEMAVU KUTUMIA FURSA ZILIZOJITOKEZA,WAMPONGEZA DKT.SAMIA
KICHEKO,WAFANYABIASHARA TANDALE TANDALE WAINGIA RASMI KATIKA SOKO JIPYA,...
มุมมอง 3721 วันที่ผ่านมา
KICHEKO,WAFANYABIASHARA TANDALE TANDALE WAINGIA RASMI KATIKA SOKO JIPYA,...
H/JIJI YATANGAZA MAENEO 11 YA UWEKEZAJI -MJINI KATI ..UJENZI WA MALL,APARTMENT ZA BIASHARA ,UFUKWENI
มุมมอง 3121 วันที่ผ่านมา
H/JIJI YATANGAZA MAENEO 11 YA UWEKEZAJI -MJINI KATI ..UJENZI WA MALL,APARTMENT ZA BIASHARA ,UFUKWENI
AL-HIKMA YATIMIZIA AHADI VIJANA 100 WALIPIWA MAHARI WAOZESHWA...SHEIKH KISHKI
มุมมอง 2028 วันที่ผ่านมา
AL-HIKMA YATIMIZIA AHADI VIJANA 100 WALIPIWA MAHARI WAOZESHWA...SHEIKH KISHKI
LAZIMA TUPAMBANE NA VITENDO VYA UKATILI NA MAADILI KINONDONI WAWEKA MIKAKATI..DC SAAD
มุมมอง 1328 วันที่ผ่านมา
LAZIMA TUPAMBANE NA VITENDO VYA UKATILI NA MAADILI KINONDONI WAWEKA MIKAKATI..DC SAAD
KATA YA VINGUNGUTI KAZI ZINAENDELEA,WAMPONGEZA RAIS DKT.SAMIA UJENZI BARABARA,MITARO MAJI TAKA...
มุมมอง 4328 วันที่ผ่านมา
KATA YA VINGUNGUTI KAZI ZINAENDELEA,WAMPONGEZA RAIS DKT.SAMIA UJENZI BARABARA,MITARO MAJI TAKA...
IKUPA AMALIZA ZIARA MKOA WA DSM ..AHIMIZA KUSHIRIKI UCHAGUZI,APINGA UKATILI
มุมมอง 3728 วันที่ผ่านมา
IKUPA AMALIZA ZIARA MKOA WA DSM ..AHIMIZA KUSHIRIKI UCHAGUZI,APINGA UKATILI
MWALIMU MBARONI KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI..MKUU WA MKOA ATOA AGIZO WENGINE WAKAMATWE...
มุมมอง 4728 วันที่ผ่านมา
MWALIMU MBARONI KWA KUMLAWITI MWANAFUNZI..MKUU WA MKOA ATOA AGIZO WENGINE WAKAMATWE...
MBUNGE IKUPA ATOA MASHUKA,APONGEZA MABORESHO YA HUDUMA ZA AFYA KINONDONI,UBUNGO...
มุมมอง 19หลายเดือนก่อน
MBUNGE IKUPA ATOA MASHUKA,APONGEZA MABORESHO YA HUDUMA ZA AFYA KINONDONI,UBUNGO...
MBUNGE IKUPA ATOA SOMO KWA UWT KINONDONI..LAZIMA TUMTETEE DKT.SAMIA
มุมมอง 21หลายเดือนก่อน
MBUNGE IKUPA ATOA SOMO KWA UWT KINONDONI..LAZIMA TUMTETEE DKT.SAMIA
TUMUUNGE MKONO RAIS DKT.SAMIA ..MBUNGE IKUPA..ATOA VITI 360 UWT KATA 36 ILALA...
มุมมอง 134หลายเดือนก่อน
TUMUUNGE MKONO RAIS DKT.SAMIA ..MBUNGE IKUPA..ATOA VITI 360 UWT KATA 36 ILALA...
UZINDUZI SGR DSM USIPIME..WASANII MAARUFU,VIONGOZI WA DINI...
มุมมอง 109หลายเดือนก่อน
UZINDUZI SGR DSM USIPIME..WASANII MAARUFU,VIONGOZI WA DINI...
RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA USAFIRI WA SGR KUELEKEA DODOMA..WALIMU ELFU MOJA KWENDA MIKUMI...
มุมมอง 329หลายเดือนก่อน
RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA USAFIRI WA SGR KUELEKEA DODOMA..WALIMU ELFU MOJA KWENDA MIKUMI...

ความคิดเห็น

  • @AbdallahBukulu
    @AbdallahBukulu 26 วันที่ผ่านมา

    Tundu lissu Acha Allah amweke maisha marefu Anaakili sana hivi huyu MTU mbona Mwenyezi mungu Anamakusudio makubwa jamani

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666
    @fadhilikyandofadhilikyando5666 หลายเดือนก่อน

    Duu Mimi inaniuma ndugu yangu maiko aliye nununua gholafa hii lenye mgogolo suijui yameishajeee

  • @emmanuelkaminyoge4008
    @emmanuelkaminyoge4008 หลายเดือนก่อน

    Asante Rais shujaa mama wote Nape hafai kwa utawala wako mnafiki sana abaki mbunge tu.

  • @user-ud4qk8fh1v
    @user-ud4qk8fh1v หลายเดือนก่อน

    Kumbe unakuagampore

  • @TonyKase-q9l
    @TonyKase-q9l หลายเดือนก่อน

    Nchi ngum

  • @Nick16697
    @Nick16697 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili cha mwalim loh

  • @modenasayi
    @modenasayi หลายเดือนก่อน

    Ushungi ushungi wasije kujilipua hapo

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 หลายเดือนก่อน

      Sio Bule ITAKUWA UNAWASHWA, Mla NGURUWE😂

    • @modenasayi
      @modenasayi หลายเดือนก่อน

      @@rajabukipara3008 pole nilikuwa sijui mwenzangu ulibakwa na nguruwe rajabu jomoni sasa unamimba ya nguruwe ?

  • @yusuphmsumary7939
    @yusuphmsumary7939 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @user-hx3sd1my9i
    @user-hx3sd1my9i หลายเดือนก่อน

    Here we go, well done Premier 👏👏

  • @AntiMpinge
    @AntiMpinge หลายเดือนก่อน

    Waoooooo so attractive ❤

  • @user-pw9wc6hy3s
    @user-pw9wc6hy3s หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana

  • @annasasi8924
    @annasasi8924 หลายเดือนก่อน

    Enjoy your trip. We love you.

  • @jumacristv
    @jumacristv หลายเดือนก่อน

    hivi ni kweli machinga hawalipi kodi ? hizo bidhaa wanazouza wanatengeneza wenyewe ... ???

  • @WilliamMchele-kg7yo
    @WilliamMchele-kg7yo หลายเดือนก่อน

    SAWA KABISA MH MKUU WA MKOA , NA KWA KUANZA. NINGESHAULI UNGEANZA NA MWAKA MMOJA BAADA YA MWAKA NDIPO IFUATE MIAKA MIWILI KWA KUWA MACHINGA WALIOPO WALIISHA HITIM SIKU NYINGI,

  • @kombafocus6996
    @kombafocus6996 หลายเดือนก่อน

    Kigezo Chako hakikizi tra rules

  • @shmohd11
    @shmohd11 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa, safi. Lakini eneo tu litazalisha? Serikali itawawezesha mtaji wanayoimudu?

  • @KarumeKindamba-lk1px
    @KarumeKindamba-lk1px หลายเดือนก่อน

    Nchi ya Tanzania na baadhi ya taasisi ni tegemezi tangu Uhuru.Leo tunataka maendeleo ya mtu mmoja mmoja miaka miwili.Wamachinga hakuna haja ya kupinga na wawakilishi wa serikali.Niwakati wa kutoka kuwategemea wanasiasa na kuweka wataalam mbele.Viongozi wa machinga Dar taa imewaka ni wakati wakuwatoa wamachinga sawa alivyofanya Musa kuwatoa wanaisrael utumwani.Msisubiri miaka miwili laasha ni wakati wa kutafuta suluu ya wamachinga kitaalam.Taasisi imara na wataalam Bora watajenga mifumo itakayo toa matokeo mazuri.Amini,amini Mimi ninawaambia machinga ni matajiri ambao wahitaji kuheshimiwa

  • @gtgmediaproduction764
    @gtgmediaproduction764 หลายเดือนก่อน

    Mzee mbona unatumia nguvu NYINGI kusukumwa hoja yako? Kiukweli umejichanganya aisee kilicho kupelekwa huko nimkate wa esau Asante

  • @KarumeKindamba-lk1px
    @KarumeKindamba-lk1px หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa machinga hotuba ya mkuu wa mkoa iwenichangamoto ambayo italeta ubunifuni wa kutatua changamoto za machinga bila kutegemea serikali.Niimani yangu ktk kikao cha mkuu walikuwepo wamachinga ambao ni wazazi na pia wanaumri mkubwa kuliko viongozi wa serikali waliofika ktk kikao.Kama ni kweli hakunahaja ya kulazimisha kufanyabiashara eneo ambalo wazazi wenu watakumbana na dola n.k.Wamachinga nyinyi ni matajiri na iwapo mtakaa na wataalam wa fedha hatashindwa kuwa na maeneo yenu.

  • @issaramadhaniathuman
    @issaramadhaniathuman หลายเดือนก่อน

    Lakini hata. Kama ni eneo la serikali ivi kauli hizi n sahii?

  • @TUMSIFU-em5te
    @TUMSIFU-em5te หลายเดือนก่อน

    Ccm tumepigwa hapo, hakana lolote kanafiki hako. Njaa inakasumbua

  • @placidpeter6775
    @placidpeter6775 หลายเดือนก่อน

    Mnafiki mkubwa

  • @twahamaulid
    @twahamaulid หลายเดือนก่อน

    Kwa mwenendo huu tutaendelea kuwapoteza viongozi wenye ITIKADI ya kweli ya CCM kwa kuwapokea wanachama wapya na ndani ya muda mfupi kupatia Vyeo iwe Serikalini au kwenye CHAMA. Ndani ya CCM tutaendelea kucheza ngoma yenye midundo mipya na kutenzgeneza matokeo Mabovu ya Itikadi ya Chama chetu.

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 หลายเดือนก่อน

    Msigwa anasaka maokoto kwa nguvu😂

  • @KarumeKindamba-lk1px
    @KarumeKindamba-lk1px หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa machinga hamnasababu ya kulalamika ni wakati wa kuwatambua wamachinga wote wa Dar kwa kuwasajili.Pili Kuanzisha soko kubwa binafsi (machinga city) litakuwa na maduka ya jumla kwasababu mmachinga ni mnunuzi,muuzaji na pia ni mlaji wa bidhaa zinazouzwa na maduka ya jumla.Serikali itapata kodi halisi kutoka madukani na pia mchango wa kodi kwa machinga moja kwa moja.Wanaojihita wafanyabiashara siwalipa kodi na pia mnafaham hilo.Iwapo mnataka kufanikiwa ondoa neno sisi wamachinga wa kariakoo,weka siai wamachinga wa dar

  • @clickway..
    @clickway.. หลายเดือนก่อน

    Tuzingatie ushauri wa Warioba: alisema"tuache siasa za madaraka na turudi kwenye siasa za maendeleo" maana shida kubwa Afrika iko hapo.

  • @clickway..
    @clickway.. หลายเดือนก่อน

    Changamoto mlizonazo Chadema ni kidogo sana kuliko mahali pengine popote, Msigwa na wenzio mlitakiwa kubaki chadema na kupambana kuondoa hizo changamoto mkiwa ndani ya chama na si kuondoka ,KUONDOKA NI UDHAIFU MKUBWA SANA.

  • @clickway..
    @clickway.. หลายเดือนก่อน

    Siasa za Tanzania kwa mda mrefu zimejaa UJINGA ndio maana hata watu makini wakishaingia wanakuwaga wajinga, wanafiki ........

  • @AbrahamMjema-di1li
    @AbrahamMjema-di1li หลายเดือนก่อน

    Mchungaji sio mwaminifu,unapotaja jina lake kivumishi mchungaji ni kuzalilisha taasisi ya wachungaji.

  • @frankkessy6504
    @frankkessy6504 หลายเดือนก่อน

    Walikuwa 12 akatoka mmoja Yuda

  • @dismaskalawa142
    @dismaskalawa142 หลายเดือนก่อน

    Ni haki kwake

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mchungaji hapo, ameingia cha kike,

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli njaa mbaya

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 2 หลายเดือนก่อน

    Upupu amejimwagia mwenyewe!

  • @user-or5hm7nl7q
    @user-or5hm7nl7q 2 หลายเดือนก่อน

    Chiz kbs wewe

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm y sasa vchekesho ukiwa mbulula ndio unapewA cheo ukiwa mzalendo unawekwebenchi

  • @fauluonlinetv
    @fauluonlinetv 2 หลายเดือนก่อน

    Njaaa

  • @michaelmfanga3084
    @michaelmfanga3084 2 หลายเดือนก่อน

    sasa tunaakili watanzania MUNGU ametuhurumia, tunajua upi ukweli upi unafiki

  • @SmilingBuoy-kb1yn
    @SmilingBuoy-kb1yn 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman hiyo ni njaa tu na hana uchungaji wowote huyo

  • @Edger-bn2mt
    @Edger-bn2mt 2 หลายเดือนก่อน

    Njaaa mbya jmn acheni 2

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 หลายเดือนก่อน

    njaa kali

  • @bravebrain642
    @bravebrain642 2 หลายเดือนก่อน

    Msigwa ona hata aibu wewe ni mtu mzima...wewe kajenge tumbo lako.... Kichefuchefu tupu..! Hiyo ndiyo legacy yako, kwa vijana wa Tanzania. Hauna moral kabisa...

  • @polinatusmwemezi-pc2pl
    @polinatusmwemezi-pc2pl 2 หลายเดือนก่อน

    Anakuja kutuvuruga huyo nindumilakuwili.

  • @polinatusmwemezi-pc2pl
    @polinatusmwemezi-pc2pl 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa Nini unakaa kwenye saccos?

  • @user-xk7wh4bn7q
    @user-xk7wh4bn7q 2 หลายเดือนก่อน

    Huna hoja yamsingi kenge wewe neenda ukafie huko

  • @FratteMlay
    @FratteMlay 2 หลายเดือนก่อน

    Yan msigwa muogope mungu chadema imekulea kua na maneno ya akiba kumbuka kuna kesho pia

  • @user-gp7es3sg3k
    @user-gp7es3sg3k 2 หลายเดือนก่อน

    Msigwa msariti miaka yote uriyo kaaa chadema mbona urivyo kuwa mbunge mbona urikuwa wapi wewe yuda msariti

  • @esthermwaibasa4778
    @esthermwaibasa4778 2 หลายเดือนก่อน

    Umepoteza ushuhuda Wewe kama Mchungaji 😢😢😢😢😢😢😢😢,ulisema ukienda ccm watu wachome nyumba yako na magari,sasa unamuhubiri Kristo anaye geuka geuka?daa ,ungeonesha uzalendo ukiwa Mbunge na kuacha ubunge lakini sio umeshindwa uchaguzi unasema kile kikundi ni saccosi?mimi sina chama ila umepoteza ushuhuda 😢😢😢😢😢😢

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 2 หลายเดือนก่อน

    Msigwa kasahau lisu alivyopigwa risasi na watu wasio julikana

  • @user-ig5yn4zp2u
    @user-ig5yn4zp2u 2 หลายเดือนก่อน

    Hao wote hawafai kabisa ni njaa zinawasumbua tu