PAMBALU AMVAA MSIGWA, "ANASEMAJE KUHUSU UTEKAJI,", KUBAMBIKIA KESI, VIJANA WA GEN Z KUKIWASHA MBEYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 36

  • @JacklineMahendeka
    @JacklineMahendeka 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera saana Kiongozi

  • @AbdallahHussein-of7wd
    @AbdallahHussein-of7wd 5 หลายเดือนก่อน

    Umenikumbusha home kanda ya ziwa✌️✌️

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jibu zuri kwa mwandishi wa msigwa

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaani mungu tusaidie nchi hii duu

  • @EmanuelMuna
    @EmanuelMuna 3 หลายเดือนก่อน

    hii ndo Tanzania yetu ira mungu anajibu muda si mlefu

  • @rucaserasto8154
    @rucaserasto8154 6 หลายเดือนก่อน

    Atali sana daa😅😅😅

  • @fabby1181
    @fabby1181 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Pambalu

  • @AlouiseNgenDanDumwe
    @AlouiseNgenDanDumwe 6 หลายเดือนก่อน

    Shenzi msigwa akirudi chadema nitaacha kufuatlilia siyasa 100%

  • @fabianmahenge301
    @fabianmahenge301 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nguvu ya mabadiliko ni SASA

  • @HamadAthuman-p2o
    @HamadAthuman-p2o 6 หลายเดือนก่อน

    Waisaidie polis tulia

  • @TM.Sullusi
    @TM.Sullusi 6 หลายเดือนก่อน

    Shida mlisema Magufuli ndo mtekaji, sa hivi nadhani mnaelewa shida sio mtu mmoja.😢😢

  • @jamesmsengi7483
    @jamesmsengi7483 7 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu kijana ana kitu kwenye ubongo wake, tusimdharau tumsaidie pale akienda kombo

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe kijana unafaa tunakuandaa kushika madaraka ya juu katika taifa letu

  • @SaidiMkome-qq7hy
    @SaidiMkome-qq7hy 6 หลายเดือนก่อน +1

    Katiba mpya aina tatizo wewe dogo tatizo usimamizi tyuu wa katiba yenyewe afu akuna kijana muasi tanzania hii

  • @nassibdoma5408
    @nassibdoma5408 6 หลายเดือนก่อน

    Kijana nakuona unapambana ila tu niseme usalama hapa haupo ukifanya siasa za kuondoa watu kwenye ugali unaweza kupoteza maisha na kupewa kesi fek

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 6 หลายเดือนก่อน

    Hizi siasa za kitanzani zisikuumize kichwa saana ni za kinafki tu na mipasho kama waimba taarab huyu aimbe vile huyu aimbe hivi basi mkono wende kinywani ukifuatilia siasa za kitanzani dah unaweza ukaugua wazimu

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pambalu uko vizuri sana, yy alisema ni chura asikii kelele

  • @wamojasanga5948
    @wamojasanga5948 6 หลายเดือนก่อน

    2025 gwajima ndani ya ikulu kupitia ticket ya chadema tunza hii utaniamini shalom

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 6 หลายเดือนก่อน

    Mie nilizani utasema watu mitaani tushieikiane ili tuwagundue na tuwashike kama wananchi nahisi ungekua umesema lamaana naona anaongea pumba tu dogo huyu sasa uyo masauni kafanya nini au uyo samia kafanya nini na matekaji nyinyi vijana si mpo mitaani si mshikamane mie siasa za Tanzania haswa ni za kipuuzi tu

  • @HassanKings-e7u
    @HassanKings-e7u 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu dogo nae keshapewa mikoba ya siasa za kisanii

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 7 หลายเดือนก่อน

    We,we,we, koma kama alama ya koma Yani Samia hawezi kabisa raha yake anapenda watu wakitekwa

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 7 หลายเดือนก่อน +3

    Pambalu unakitu mwanangu

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 7 หลายเดือนก่อน

    Swali km Hilo kwa msigwA ni sawa na kupandisha maji mlima Kilimanjaro hawezi jibu Hilo Hawaii msigwA can't answer that question is lmposible why is in ccm rooling part clouse his mouth under ccm leadership msigwA was voice in chadema not ccm forgot about msigwA on such question

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mdomo tuu mtaongea sana na mbuzi wamelala..

    • @mzeebabumzee
      @mzeebabumzee 7 หลายเดือนก่อน

      faida yake nini sasa daa aya mwezetu

    • @ceciliamagalabajimmy4391
      @ceciliamagalabajimmy4391 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo wewe huoni shida!!

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 6 หลายเดือนก่อน

      Kwa hiyo wakilipiza kisasi na wewe ukiwa miongoni mwa waliotekwa itakaaje kwa wapendwa wako?maana siyo kwamba hawawezi kuwateka hawawezi wanaweza ila we we Maneno yako hauyaelewi pamoja na kwamba umeandika wewe kwa kauli zako vita ikizuka mtachinjwa sana wajinga kama nyiye

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 7 หลายเดือนก่อน

    Sio mda mrefu wanakuja tuwachague tuwachague mnaotuteka maana kama viongozi wetu ambao madaraka yenu yametokana na wananchi lazima muwe wakalia Kwa watekaji mko kimy

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 6 หลายเดือนก่อน

    We nenda kanyonye hukumaliza maziwa ya mama yako

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 7 หลายเดือนก่อน

    Mjinga ni wewe. Lifisi emu acha tusikilize akili. Kubwa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน

    Nendenii zènu umechokwa na chama chenu Chadema Saccoss

    • @emmanuelymganga5737
      @emmanuelymganga5737 6 หลายเดือนก่อน +1

      Apo apo tunaona dawa inawaingia ndomaana inauma Pambalu chapa kazi kiongozi

    • @gangan4618
      @gangan4618 6 หลายเดือนก่อน

      Akili matakono mwa MaCCM wenzio. Kazi kujamba jamba tu HAKUNA UWEZO WA KUIJENGA TANZANIA.

  • @Jal210
    @Jal210 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe bwaja bwaja tu mjinga wewe sana

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nyie inawezekana ndo mnaosaidia kulinda watekaji, Haiwezekani watu wanatekwa Halafu weweeee unashadadia utekaji