MWALIMU WANGU ALIKUA MBAGUZI | NAJIVUNIA KUMPATA MUME WANGU | UKIFIKA ULAYA KIMBILIA KUSOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2023
  • Latifa Gloria ameeleza namna alivyokutana na mume wake baada ya kua na bahati mbaya na mahusiano kwa kipindi kirefu.
    Ameeleza maisha ya Ujerumani, ubaguzi wa rangi kutoka kwa mwalimu wake na maisha ya kusoma na kazi.
    Ametufungua juu na Mini Jobs ambazo ni muhimu katika kuongeza kipato.
    Thank you Latifa Gloria for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 63

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน +14

    Toka nitoke tumboni mwa mama yangu Leo ndo siku ya kwanza kuona mwanamke mkenya mwenye Hekima nahisi ana hofu ya Mungu😍 coz wakenya wanawake mmmmh😴

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน

      💯
      Umenena kweli

    • @marthageorge5043
      @marthageorge5043 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @mbajimargarette7146
      @mbajimargarette7146 9 หลายเดือนก่อน

      Mmh watuonea

    • @marthageorge5043
      @marthageorge5043 9 หลายเดือนก่อน

      Uyu alishakaa tanzania kwaiyo anauwo moyo wa ekima

    • @annamussa185
      @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน

      @@marthageorge5043 kabisa Tz adabu tunayo hata wao wanajuwa

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน +9

    Shida ya wanawake wanaotoka Africa wakifika Europe county hasa walioko kwenye Ndoa wanashindwa kuelewa hii ni ndoa yani wewe na mume wako mnatakiwa mtafute pesa kwa ajili ya maisha yenu,hilo hawataki kujuwa wengi wanakuwa kwenye ndoa lakini siku zote anawaza kumchuna huyo mzungu jamani hamtafika mbali chuna kistaarabu uwe na utu pia yeye mzungu anafanya kazi pengine kipato kidogo hawataki kuchangia chochote wapo tu kama bilinganya zilizooza badilikeni maisha kusaidiana.

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 2 หลายเดือนก่อน +1

    Smart masha Allah, Mwenyezi mungu awazidishie daima kutupa muongozo wa mambo mengi.

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 9 หลายเดือนก่อน +5

    On the course of the day... nime angalia interview.

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hata mimi lugha ya kijerumani, nilifundishwa na mtu kutoka Poland lkn alikuwa ananipenda mpaka wanafunzi wenzangu kutoka Ukraine na Russia wanaona wivu.
    Kisheria ni miaka mitatu kupata uraia.

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika dada ameongea vizuri sanaa na nimejifunza vingi mnoo

  • @latifamshana129
    @latifamshana129 9 หลายเดือนก่อน +5

    Thanks so much mdogo wangu .

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน +2

      Ahsante pia kwa darasa amazing ulilotupatia. Ubarikiwe sana 🙏

  • @user-gj7de4xt6z
    @user-gj7de4xt6z 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada Latifa nimejifunza kitu

  • @hildakilale7313
    @hildakilale7313 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dada umeongea vizur sana nimekuelewaa sana ,una hekima na busaraa sanaaa,kwa mkenya uko na hekima sanaaa

  • @eganngowi727
    @eganngowi727 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa ujumbe mzuri

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani naomba mnielekeze unajiunga vipi.natamani sanalkn hata sielewi.naomba kuelekezwa plz.

  • @NattiePeter
    @NattiePeter 2 หลายเดือนก่อน

    Nice interview
    God bless you

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana dada latifa mana nimejifunza kitu kikubwa sana

  • @mwanaidikingazi4222
    @mwanaidikingazi4222 9 หลายเดือนก่อน +3

    Anaongea kiswahili vzr

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 9 หลายเดือนก่อน +1

    This interview 🔥🔥🔥🔥

  • @RonaMussa-ge5im
    @RonaMussa-ge5im 9 หลายเดือนก่อน

    Marafiki shikamooni khaaaa 🙌🙌🙌

  • @magrethpeter6049
    @magrethpeter6049 9 หลายเดือนก่อน +2

    Umependeza Shena sikati Tamara huyo mama kaolewa Na mzungu😂😂

    • @waukweelinikkon6555
      @waukweelinikkon6555 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mzungu haangalii umri my dear,anaangalia upendo alionao kwako😍😍🥰🥰,so wee endelea kusubiri my dear 😂😂😂

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @laetitiamathe5779
    @laetitiamathe5779 9 หลายเดือนก่อน +3

    Thank you for this story tena❤

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน

      You are so welcome 🤗

    • @olympiamtenga8761
      @olympiamtenga8761 9 หลายเดือนก่อน

      Interview nzuri sana, Ujerumani ni nouma , mimi Lugha ni changamoto hakii ila napambana hahahaa, driving nikama unafanya diploma course😅.Hongereni sana Interview nimeipenda❤

    • @mamaabduly
      @mamaabduly 9 หลายเดือนก่อน

      Latifah.. In want talk to you plz

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 8 หลายเดือนก่อน

    Anaongea kama zari❤

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 9 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana Ratifa🎉🎉

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน

    Hawataki 50/50 lakini wanajua kuwalazimisha wazungu kulipa mahari ingawaje siyo desturi yao. Haya maisha hayana balance

  • @RuhaymaOmar-fj1jz
    @RuhaymaOmar-fj1jz 9 หลายเดือนก่อน +2

    Yes

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 9 หลายเดือนก่อน

    Dada umebarikiwa hekima 🎉🎉

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani leo kazini kwangu Mgerman mmoja kavua nguo zote eti ana relax jamani nimeangalia chini dk 10 basi mke wake alikuwepo anafurahia yani sasa hapo mbele ngoja ninyamaze ila wazungu duuuuuh!😃

  • @Oliva_Meela
    @Oliva_Meela 9 หลายเดือนก่อน +1

    hawa n kawaida yao kuna jirani yetu ameolewa na mjeruman na wanaishi bongo huyo mjeruman akiwa nyumbana huwa havaagi nguo na wanaishi na watoto wao wakike yaan wameshazoea hayo maisha

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada nimempenda

  • @mwanaidibakari3657
    @mwanaidibakari3657 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jee ikatokea munatengana mme na mke vp kuhusu joint account mtagawana pesa au vp

  • @francisaban3873
    @francisaban3873 9 หลายเดือนก่อน +2

    kwa ujerumani ni asilimia 30 mpaka 50, lakini inategemea na class yako

    • @PureSoul-rf4xd
      @PureSoul-rf4xd 9 หลายเดือนก่อน

      Class yako ya nini?

    • @francisaban3873
      @francisaban3873 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@PureSoul-rf4xd tax class, tuseme madaraja ya kodi

  • @user-sn3gh7bg9y
    @user-sn3gh7bg9y 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @justinatemba
    @justinatemba 25 วันที่ผ่านมา

    Una miaka mingapi dada latifa?

  • @mwanahamisimwelesi6682
    @mwanahamisimwelesi6682 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba nikutumie namba yangu namaongezi nawewe please

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 9 หลายเดือนก่อน

    Dada tafuta Ausbildung ufanye,hata ya muda mfupi, kama Pflege upate cheti chako,yaani ukiwa na cheti chako hawakusumbui kabisa wajerumani, wakikuletea shida unaweza acha kazi haraka ukatafuta nyingine haraka,ukiwa na cheti yako pia mshahara unakuwa mkubwa kidogo,halafu kazi ya pflege haina umri wala kuchelewa.

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 7 หลายเดือนก่อน

    Uko mkweli kabisa unachokiongea mapenzi ni bahati kupata ataedhamini moyo wako

  • @bernadethamlundebartlett387
    @bernadethamlundebartlett387 9 หลายเดือนก่อน

    Latifa una miaka mingapi mbona mdogo

  • @joycemhana2018
    @joycemhana2018 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kulipia online dating tunalipiaje na ni sh ngapi??

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu kwa ukurasa wetu wa Instagram I subscribe utakuta maelezo yote hayo
      @official_datingassistance

    • @divinedavid2830
      @divinedavid2830 9 หลายเดือนก่อน

      Yaani nimempenda sana huyu Dada ni mstarabu sana' anaongea vizuri ana hekima sana

    • @divinedavid2830
      @divinedavid2830 9 หลายเดือนก่อน

      Unaongea vizuri ahsante Ratifa

    • @priscangimba6194
      @priscangimba6194 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mm nimeshindwa kabisaa kujiunga toka mwez wa kwanza naumia