NDOTO YA KUA MLIMBWENDE NA KUFANYA KAZI BRITISH AIRWAYS| USIINGIE KWENYE MAHUSIANO KWA KUPATA UNAFUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 88

  • @carolinekiiru9689
    @carolinekiiru9689 7 หลายเดือนก่อน +3

    Grounding yet lively interview. Looking forward to part 2

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      Part 2 tena!!No pressure

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 7 หลายเดือนก่อน +2

    ma shaa Allah kuna mengi yakujifunza hapa shukran kwa darasa nzuri sister

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @Sisterjemi1
    @Sisterjemi1 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ahsante hadija kwa maelezo mazuri

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      Unakaribishwa❤❤❤

  • @ZANAMBER12
    @ZANAMBER12 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hongeza khadija tunakupenda karibu kwenu zenjebar

  • @nacreahali9670
    @nacreahali9670 6 หลายเดือนก่อน +4

    Ohhh kanvaaa kisutuu!!😂😂😂😂wallahy wanichekesha hadija mimi mpemba safiii mwenzioo😂😂

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂Wabesaaaaaaa

    • @nacreahali9670
      @nacreahali9670 5 หลายเดือนก่อน

      Nabesaa shoga angu wee

    • @nacreahali9670
      @nacreahali9670 5 หลายเดือนก่อน

      Naomba account yako ya insta jirani yangu 😅

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 24 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah beautiful interview. Beautiful sisters 💕

  • @zuuomar4657
    @zuuomar4657 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana my lady 😊 raha jipe mwenyewe

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 6 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤Naam

    • @zuwenasalum4660
      @zuwenasalum4660 6 หลายเดือนก่อน +1

      Masha’Allah tabarak Allah huyu ni cousin wako Zuleikha? She’s very beautiful and smart Masha’Allah

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 7 หลายเดือนก่อน +3

    Interview nzuri yuko open sana.Unajifunza usikate tamaa fuatia ndoto yako

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤Shukran

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 7 หลายเดือนก่อน +5

    Great hadija

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤Shukran

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 7 หลายเดือนก่อน +5

    Amaizing Hadija🎉🎉 nilijua ni Mina Ally😊🌺🌺🇩🇪

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤

  • @saadamar6712
    @saadamar6712 6 หลายเดือนก่อน

    I’m soo proud of you Khadija🌹👏🏼👏🏼👏🏼🌹

  • @hasinaslim3056
    @hasinaslim3056 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah bi Khadija, I just like you

  • @shuu62
    @shuu62 5 หลายเดือนก่อน

    This is awesome 🎉 keep up the great work ladies 😊😊

  • @kshamte9582
    @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤Shukran 🎉🎉🎉

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaa Allah mcheshi sana unadarasika uku unacheka😃😃😃

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @AttiyaHassan_somomtoto
    @AttiyaHassan_somomtoto 7 หลายเดือนก่อน +3

    Bismillah ma shaa Allah ❤

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤Alhamdulilah-Shukran

  • @kshamte9582
    @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤Shukran

  • @NeemaKipande-hr9rz
    @NeemaKipande-hr9rz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana ghadijabyaani umejibu maswali yote kwaufasaha na Kama mtu ajaelewa niyeye mwenyewe thu

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @ruthmashambo373
    @ruthmashambo373 7 หลายเดือนก่อน +2

    Waoooh, hii nimependa.

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 6 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sister ❤❤🎉

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤Shukran

  • @ruwaydaali5144
    @ruwaydaali5144 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera khadija

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nice interview da shena na da

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤Shukran

  • @HellenOndiso-g6d
    @HellenOndiso-g6d 7 หลายเดือนก่อน +3

    Funzo n usijidharau nimependa sana

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 6 หลายเดือนก่อน

    Sauti yake nzuri sana..nene,inasikika,.. anafaa kuwa mwimbaji mzuri..

  • @eddiemohamed6618
    @eddiemohamed6618 6 หลายเดือนก่อน +1

    Khadija, Raya anakusalimu

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 6 หลายเดือนก่อน

      Waaleika salaam 😊

  • @mamii7935
    @mamii7935 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nice big dada

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤Asante

  • @NeemaKipande-hr9rz
    @NeemaKipande-hr9rz 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimempenda Sana mgeni dada shena

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 7 หลายเดือนก่อน +1

    Maswsla ya charity siyo kwamba watu wamekuwa wagumu kutoa, zamani watu walikuwa wakitoa sana lakini hao wa chsrity wanajinenepesha wao na wakwao. Sasa wengi wamekata tamaa maana nyingi haziwafikii walengwa. Mimi binafsi kuliko nitoe chochote kwenye charity bora nimsaidie niliyemkuta njiani akiwa na shida, au ninayemfahamu shida zake kwa nikazitatua kwa njia hiyo.

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน +2

      Nimekusoma unayoyasema ni maneno mazima na kila mtu na mapenzi yake kwenye kusaisiya ,Mola alete kheri zake Ameen

  • @BahatiRanga
    @BahatiRanga 4 หลายเดือนก่อน

    Woow darasa zuri kwelikweli

  • @kshamte9582
    @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน +3

    Naam!jipende-kua na love story yako mwenyewe hata akija mtu kutaka mahusiano atakukuta unajielewa

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 7 หลายเดือนก่อน +11

    HII NDIO TAFAUTI YA WAZANZIBARI NA WATANGANYIKA. LUGHA PEKE YAKE INAJIELEZA, IS A PURE SWAHILI AND ENGLISH LAGUAGES👀!

    • @moana4987
      @moana4987 7 หลายเดือนก่อน +6

      We nae embu tutolee unzanzibar na utanganyajika uko…

    • @Mimi_Nim572
      @Mimi_Nim572 7 หลายเดือนก่อน +3

      I second you on this!! English top notch, great kiswahili

    • @salmabasil385
      @salmabasil385 7 หลายเดือนก่อน +3

      Mlete mzanzibar anae ishi Zanzibar uje utupe ki English chako cha market kua markiti

    • @Mimi_Nim572
      @Mimi_Nim572 7 หลายเดือนก่อน

      @@salmabasil385 please calm down

    • @talentshow2024
      @talentshow2024 7 หลายเดือนก่อน +4

      Waafrica tukijibagua sio ubaguzi ila ila mzungu akiwabagua mnaandamana.. I always think this mentality is personal issue.
      Na ubaguzi uko popote.
      Uzuri mzee wetu alituweza watanzanzania tokea mwanzo na akajua akili za kibinadamu na Ile Ile principle ya Mungu ya Lugha kutuunganisha na yeye aliitumia Kubomoa hayo matabaka maana labda tungepigana sana😢😢😢

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kutoka kwenye urafiki kuwa wapenz na wanandoa ili muweze kutobowa inabidi msibadilishe kitu chochote wala msibadilike mbaki na vitu vyote 3 urafiki mapenz na ndoa piya mbaya zaidi ni ngmu sana kuvuka hapo ndiyomaana marafiki wengi wakiingia kwenye mausinao na marafiki zao wale mabest sana uwa wanaishia kupoteza na kuwa maadui wakubwa

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน

      Allah kareem 🙏🏾 wakati utaleta wajibu InshaAllah kheir

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ahahaahhaah hapa Uk ukiingia tu kutoka Tz unadakwa na kutangaziwa ndoa Sharp na wa Tz wenzako😂 before hujachangamka watakutangazia ndoa so wenyeji wako ulipofikia km hawajakusanua unendaaa....namaranyingi ndoa hazidumugu becouse c waliowana bila kujuana

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 6 หลายเดือนก่อน

      Neno nalo

    • @Omaralawy-x6e
      @Omaralawy-x6e 5 หลายเดือนก่อน

      Kumbeeee

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 7 หลายเดือนก่อน +3

    Zanzibar sis nchi Ni kisiwa the means of Tanzania 🇹🇿 the name came from Zanzibar as well

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน +7

      Hata UK-United Kingdom ni kisiwa na kina nchi 4 na bendera zake- na ukieleza unaeleza kuwa ni nchi nne zimeungana hali kadhalika Zanzibar ni muungano na Tanganyika-Tanzania bado ni kisiwa kilicho na bendera na raisi wake

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 7 หลายเดือนก่อน

      @@kshamte9582 dada etu msomi wa Kenya atakua kaelewa kuwa yeye ni Mtanzania aliyezaliwa Zanzibar 😉, sababu kwenye maelezo alieleza wakenya wanajulikana kama wasomi so vitu vidogo kama hivi visiwasumbue kabisa right?

    • @kshamte9582
      @kshamte9582 7 หลายเดือนก่อน +5

      Shida!mie ni Mzanzibari niliyezaliwa Kenya na wazanzibari pia ni wasomi ni kuwa tu hawajulikani sana

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 7 หลายเดือนก่อน

      @@kshamte9582Tena wingi Kuna Wazanzibar wasomi na wamefanya Mambo Makubwa Duniani sema wapo low key

    • @farhatfatma12
      @farhatfatma12 5 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo Japan, Malaysia, Madagascar na visiwa vyengine si kwasababu ni visiwa?

  • @alijuma7882
    @alijuma7882 4 หลายเดือนก่อน

    Mpemba fyoko amenifurahisha sana

  • @fatoomaaziz2549
    @fatoomaaziz2549 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤