WAZUNGU WANAPENDA KUKUHAMISHIA STRESS NA NDIO ZILISABABISHA TUTENGANE NA MWENZA WANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ต.ค. 2023
  • Francis anaishi Ujerumani ameeleza safari yake ya mahusiano kuanzia kukutana na mwenza wake mpaka kufikishana Ujerumani.
    Ni Baba wa watoto wawili lakini anakwambia Stress zilipelekea kutengana.
    Maisha ya kutafuta wazungu na maisha ya Ujerumani ambayo ameyaelezea kwa kina.
    Thank you Francis for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 130

  • @upendomahenge3802
    @upendomahenge3802 9 หลายเดือนก่อน +13

    yaani shena hii interview imenipa raha sana ,yaani huu ndo uhalisia tunahitaji experience tofauti kama hizi pia.yaani nimecheka sana aiseee

  • @atomphoton5000
    @atomphoton5000 9 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu jamaa yuko interesting, natamani ungembana maswali mengi kuhusu changamoto za mahusiano atuelezee kwa kina. Ila hiyo ya kufukuzwa na mjerumani kipindi cha Winter is very common.

    • @JohnSonda
      @JohnSonda หลายเดือนก่อน

      Hakiy

  • @AinekishaNyakato
    @AinekishaNyakato 9 หลายเดือนก่อน +7

    Hii interview yakibabe sana yaan nimecheka mwanzo hadi mwisho safi saaana tuletee watu dada tunafurahia na tunaelimika pia

  • @markmushi8940
    @markmushi8940 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nikiripoti kutoka italy mm ni mark mushi wa italy uyu brother francis.amenifuraisha sana mcheshi.na iyo style yake ya kila dakika si unajua...siunajua!

  • @halimamkuta5704
    @halimamkuta5704 9 หลายเดือนก่อน +3

    Very interesting story nmempenda kaka France anasisitiza kufanya kazi kwa bidii na hasa kwa watakaopata opportunity ya kwenda kuishi ugaibuni yaani najiona kama npo na kakaangu ananipa story za maisha ya ugaibuni very interesting

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 8 หลายเดือนก่อน +3

    Very good interview, nimependa utofauti wa hii story, imeeleza upande mwingine wa namna watu wanavyokutana na wazungu in Tz, na ikiwa watakuja kuishi nje then ameeleza upande mwingine wa life na wazungu.
    Point nyingi sana, mengi ya kujifunza, ila nimecheka sana maisha ni safari 😂😂😂😂
    Kila la kheri kaka Mungu akukuzie watoto, InshaAllah.Nimependa sana kufika tu ukaamua kupiga shule, hongera sana.Pole kwa kuugua kaka, baridi imeanza Europe mafua na vifua mwanzo mwisho.Get well soon.

  • @mshanatheblacksmith
    @mshanatheblacksmith 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nimefurahi sana dada @Shena 😂unafanya kazi nzuri sanaa 🔥

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna maisha unaweza kuyatamani lakini mwisho wake ni changamoto sana,nyumbani ni nyumbani TU kuna uhuru sana na ndoa zetu za kiafrika Zina unafuu

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 9 หลายเดือนก่อน +6

    Jamaa kanikumbusha bali 😅 struggles za beach 😅😅😅shena napenda ulivyo makini kusikiliza😁

  • @mwanjinzara8009
    @mwanjinzara8009 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera michomoko yako ni zaid ya kimondo na pia pole na mafua ila punguza viongeza sitmu vimezidi. Frani nn si unajua zingatia

  • @thequeenawifeofking8518
    @thequeenawifeofking8518 9 หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa yupo vizuri 😂😂😂😂😂he made my day ila wabongo mungu anawaona😅😅😅😅 dada shena cc wa Oman 🇴🇲 hututaki ila tunakupenda

    • @mariamkibindo1741
      @mariamkibindo1741 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂huku sio ulaya 😂😂

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 9 หลายเดือนก่อน +3

    Watching from Switzerland 🇨🇭

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 9 หลายเดือนก่อน +3

    Dah kaka kanikumbusha mbali kwa wale marasta dah kipepeo bia bei mbaya tunaenda tukirudi tushalewa tunasev 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @selabitariho1930
    @selabitariho1930 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda video zako sana. I’m learning a lot from watching them.

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 9 หลายเดือนก่อน +4

    Toka ujerumani nawasikiliza😊

  • @annamussa185
    @annamussa185 9 หลายเดือนก่อน +2

    Shena utaniua nimecheka hapo kwenye Elfu 10 inaning'inia🤗

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 9 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂 huyu kweli kigamboni moja

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 8 หลายเดือนก่อน

    Aisee the struggle is real 😂
    Eti na kazi hapa,maisha haya
    Yesu tusaidie
    Kumbe sio wadada tu hata wakaka wanapambana
    Safiii

  • @amneriyami2409
    @amneriyami2409 9 หลายเดือนก่อน +4

    leo storry inafuraisha sanaaaaa

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yuko vzr Sanaa unajua vitu vya ukwelii havinaga kuchosha

  • @azaransari7307
    @azaransari7307 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi kwa Huku ni Zaidi ya mume na mke mengine ndiyo yanafuata mimi nipo Germany
    Pia kuhusu Stress ni 100% true yaani wana hiyo Tabia sana kugawia watu stess zao yaani hata akikuona kama unapoga simu na watu wa nyumbani alf unaongea kiswahili na unacheka alf yeye ana stress ni hatari😊

  • @mohamedoman9344
    @mohamedoman9344 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mm naitwa Mohamed natokea nchi Oman napenda kusikiliza maujuano Manzuri sana na yanafundisha sana kweli hongera 😊❤❤😂😂😂😂

    • @shenjamamzingi7950
      @shenjamamzingi7950 9 หลายเดือนก่อน

      👌

    • @mohamedoman9344
      @mohamedoman9344 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@shenjamamzingi7950jamaa anazungumza ukweli kabisa pole sana kweli my bro MC kabobo elimu nzuri kabisa big up sana kweli my bro

  • @riosingingandmore8224
    @riosingingandmore8224 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ya Leo nzuri nimeipenda 😅😅😅😅😅 msela kama msela 😅😅😅😂😂😂

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA 7 หลายเดือนก่อน

    Jamaa safii sana

  • @lianaally7217
    @lianaally7217 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera kijana unaakili sana

  • @CiscaRecaps2015
    @CiscaRecaps2015 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nimempenda bure

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 8 หลายเดือนก่อน

    Madimples kuruka😊the narration style is the most interesting part😂😂

  • @lucymtitu3604
    @lucymtitu3604 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jamn uyu kaka amenichesha shenzii zakoo 🤣🤣🤣

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mmjerumany anaiwaza sana pesa yuko radhi afe pesa irudi kwa serikali

  • @immaculateakilimali7220
    @immaculateakilimali7220 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani jamanii nimechekaa huyu kaka amenipa raha,khaaa,very interesting story

  • @florahngonyani9514
    @florahngonyani9514 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaaa nimecheka kwa Sauti shena leo Mgeni amechangamka kweli

  • @fadumayusuf3018
    @fadumayusuf3018 9 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda anavyosema kwa wazungu hapa.

  • @user-to6dh2un9i
    @user-to6dh2un9i 8 หลายเดือนก่อน

    Yani...Nimekupenda Kaka Umetupa Ujumbe Mzito

  • @vivianmahoo8611
    @vivianmahoo8611 8 หลายเดือนก่อน

    Nataka kuandika ninaogopa, mimi ni Mtanzania na nilikua na ishi na Mtanzania na tumetengana, maisha ya hapa bila kusaidiana hayaendi, useme kiafrika afrika mwanamke afanye kila kitu,

  • @fauziasultanikilewa7602
    @fauziasultanikilewa7602 8 หลายเดือนก่อน

    Hii interview nimeipenda

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ya kukugawia stress ni kweli kabisa😅😅😅yani wana stress sana, hawajui kujicontrol

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 9 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni tabia ya wajerumany wanajipa stress za kifala sana

    • @zainabkazige7388
      @zainabkazige7388 9 หลายเดือนก่อน

      @@priscambwambo1030 🤣🤣🤣sana yani, tatizo pia ukiwa huishi katika kumjua Mungu unakuwa huna kabisa tumaini, kitu kidogo kinakuvuruga... kuishi nao inataka uwe sawasawa kiakili😅😅😅😅

  • @RonaMussa-ge5im
    @RonaMussa-ge5im 9 หลายเดือนก่อน +2

    Haha nyie baba wawili anachekesha sana

  • @johndismaselias5609
    @johndismaselias5609 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka uko sawa,

  • @mohamedoman9344
    @mohamedoman9344 9 หลายเดือนก่อน +1

    Story nzuri bro mc kabobo 😂😂😂😂🤣😅😅🤣

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa katisha😂😂😂

  • @amneriyami2409
    @amneriyami2409 9 หลายเดือนก่อน +1

    Habibt shena Nacheka tu hapa Nondoooooo

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 9 หลายเดือนก่อน +2

    interview imenipa furaha jamaa yuko wazi kijiwe nakijuwa sana icho pale kigambon

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 8 หลายเดือนก่อน

      Kwamba na ww ushatia maguu pale😂😂😂😂

  • @ukhtylatifa1062
    @ukhtylatifa1062 8 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka 😂 interview nzur kaka mcheshi ❤

  • @themanofgod7562
    @themanofgod7562 6 หลายเดือนก่อน

    Mwamba is very charming👊✊

  • @mayatione6
    @mayatione6 9 หลายเดือนก่อน +6

    dada shena tunaomba siku uzungumzie process za kusafiri baada ya kufunga ndoa na watu wa ughibuni.wengi wamekua wana stuck baada ya kufunga ndoa hawajui wapi waanzie

    • @rosenamilia4140
      @rosenamilia4140 9 หลายเดือนก่อน

      Nitumie full mail adress yako nikupe njia zote unazotakiwa wwna mwenzawako mfanye kuwakilisha hizo documents ubalozi husika.

    • @angelalyimo2862
      @angelalyimo2862 9 หลายเดือนก่อน

      Fungia tu huko uliko

    • @Byme6434
      @Byme6434 9 หลายเดือนก่อน

      Kaka Anapeng'a kimtindo🤧😆

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka unaonekana unakunywa sanaa.😂😂

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน

      💯 na apunguze kuvuta majani.

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 9 หลายเดือนก่อน

      Muache tu ndugu stress za ulaya , ulaya mume wako au mke wako aziii yako ni number moja. Mme mtu anakuwa spare tu

  • @yesesudjonga6321
    @yesesudjonga6321 9 หลายเดือนก่อน +5

    This man is so funny 😂 ❤jokes

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan leo nimecheka sana kiukweli

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wajerumani noma

  • @user-to6dh2un9i
    @user-to6dh2un9i 8 หลายเดือนก่อน

    Upo...Hambo Kaka Angu

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 9 หลายเดือนก่อน +2

    Daah yaani story ya huyu kaka umenichekesha sana😂😂😂

    • @elizabethmkude9452
      @elizabethmkude9452 9 หลายเดือนก่อน

      Yani unapiga pombe mpaka shetani anakuogopa

  • @paulaugustino3242
    @paulaugustino3242 8 หลายเดือนก่อน

    sawa baharia kwelii hio stant zenyewe japo kwa rasta nilikua naogopa sana kupandisha juu nembo mjani

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka namependa stori umeongea ukweli

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wazungu Wazungu tuko nao huku jamani unatakiwa kuwaelewa

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA 7 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paulaugustino3242
    @paulaugustino3242 8 หลายเดือนก่อน +1

    au zama keepleft nakusoma sana na casino palee skani

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila air port yetu mmmh

  • @mzalendomzalendo2567
    @mzalendomzalendo2567 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kila mtu ana malalamiko ya hiyo airport, serikali inatakiwa kuliangalia swala hili

  • @getrudahiasint3198
    @getrudahiasint3198 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaani huyu kaka nishidaaa

  • @user-sb2sb8ri6t
    @user-sb2sb8ri6t 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ulema ukweli Airport ya bongo wanazingua sana

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke alipigwa na kitu kizito.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 8 หลายเดือนก่อน

    Ila huyu kaka anachekesha😂😂
    Eti ule ht mate washikaji wajue wa kwako.
    Chakula tu na bia ,hela imeisha 😂😂 nimecheka jmn

  • @mwajumamohamed6426
    @mwajumamohamed6426 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimecheka tuhakikishe kama wako

  • @reginamanyangu7258
    @reginamanyangu7258 8 หลายเดือนก่อน

    Sema unajuanini kaka tumemuelewa sana achukue mauwa yake😅😅😅😅😅

  • @minzsasamson723
    @minzsasamson723 9 หลายเดือนก่อน +1

    The guy his funny

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 8 หลายเดือนก่อน

    Nimechekaa,eti Mamba😂😂😂😂😂😂

  • @vivianmahoo8611
    @vivianmahoo8611 8 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ya kuokota hela imenikumbusha mbali baba watoto kunasiku alikwama mahali hana hata sent moja, ananjaa gari imeisha mafuta na ni kipindi cha baridi , akashuka kwenye gari akawa anazungukazunguka , mara mbele yake akaona kitu cha kijani mbele yake mara pa Euro 100 , akasema hiyo siku ndio aliamini Mungu yupo.
    Unaweza bahatika siku ukaokota kaka Ayangu😂

  • @user-is7ot7bq9x
    @user-is7ot7bq9x 8 หลายเดือนก่อน

    Shena story zako sjui unaweka nn aseee nikianza sikiliza lazma nisinzie jmn😂zinabembeleza

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 9 หลายเดือนก่อน +1

    interview unacheka mwanzo mwisho 🤣🤣🤣

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 9 หลายเดือนก่อน +2

    Toka Italia 🇮🇹 nawasikiliza

    • @mohamedoman9344
      @mohamedoman9344 9 หลายเดือนก่อน

      Hongera sana kweli

    • @kazigembeleke5958
      @kazigembeleke5958 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa nn alienda na cheti cha kuzaliwa airport? Passport na viza basi tosha

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 9 หลายเดือนก่อน

    Kaka hawa raha yao unakuwa tu na kiu chako cha kiafrka pembena unakula raha nacho maana ujinga mtupu na hawa watu. 😂😂😂😂😂😂

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂et night spirt

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu kaka anavituko nimecheka sana

  • @ShayoZanzibar
    @ShayoZanzibar 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka unatoa siri za kambi

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 9 หลายเดือนก่อน

    Sijaelewa kitu. Mtu huweza kukatiwa ticket ya ndege kwenda nje bila kutumia passport?

  • @barhepaul4754
    @barhepaul4754 8 หลายเดือนก่อน

    huy jamaa anaishi maeneo gani Germany

  • @aprilrosaliapanda4895
    @aprilrosaliapanda4895 8 หลายเดือนก่อน

    Iyo ya waturuki ni mwaka gan maana mrad wa dege umessimamama muda

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nadhani hadi kazi yako ya Bongo uliikumbuka bro Wajerumany wanakupa stress na zisizo za lazima . Wanaboa sana . Na kupa stress anataka usiwe na furaha kaka unasema ukweli kabisa hakuna mttu mwenye mjerumany pasta kichwa japo Nina mume mjerumany namkimbza akiniletea upuuzi .stress wamezaliwa nazo

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  8 หลายเดือนก่อน

      Prisca naomba interview, manake sio kwa ungangari huo +4367764790884

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 8 หลายเดือนก่อน

    mbona km mtumia madawa ya kulevya

  • @neemamassawe8091
    @neemamassawe8091 9 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅

  • @ukhtylatifa1062
    @ukhtylatifa1062 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂.

  • @amneriyami2409
    @amneriyami2409 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @NattiePeter
    @NattiePeter 2 หลายเดือนก่อน

    Hahahah 😅

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 8 หลายเดือนก่อน

    Industry 😂😂😂

  • @rosematiku1059
    @rosematiku1059 9 หลายเดือนก่อน +3

    Yani kwa jinsi ninavyopenda story najihisi nipo na nyie hapo, Nimejikuta nacheka kwa sauti, hongereni kwa mahojiano mazuri pia kwa muda wenu.

  • @sylviakyesi8699
    @sylviakyesi8699 8 หลายเดือนก่อน

    Boring

  • @NyabayamaAlbert-nb5oc
    @NyabayamaAlbert-nb5oc 9 หลายเดือนก่อน

    Dada unatureteya magiga yavuta makamasi bereya wantu hayana marezi kawa u2afuze yadupa gicyefucyefu

    • @yusrasalum
      @yusrasalum 9 หลายเดือนก่อน +4

      Wewe unamalezi? au unajiona umetimia heshimu hisia za mtu!

    • @RamulaKabugho-bk8vk
      @RamulaKabugho-bk8vk 9 หลายเดือนก่อน +5

      Jua kuandika kwanza😂

    • @atomphoton5000
      @atomphoton5000 9 หลายเดือนก่อน +5

      nenda kajifunze kwanza kusoma na kuandika.

    • @francisaban3873
      @francisaban3873 9 หลายเดือนก่อน +5

      acha ujinga nnimefanya hii kipindi nikiwa naumwa.. endelea kupata msoto wenzako tunaishi, ningekutukatana ila naheshimu kazi ya dada shena

    • @francisaban3873
      @francisaban3873 9 หลายเดือนก่อน +3

      nimekuzidi kila kitu, kielimu mpaka kiuchumu.. mi nafanya PHD sasa hivi wewe una nini darasa la saba

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 9 หลายเดือนก่อน +2

    beach boy nimempenda

  • @ilhamjonas6986
    @ilhamjonas6986 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @dinnahdavid
    @dinnahdavid 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂