ANAJALI MBWA NDIO MTOTO WAKE | KUISHI NA MZUNGU KUNAHITAJI KUJISIMAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ส.ค. 2023
  • Pungua kwa Afya (Aneth) ameeleza mengi kuhusu wazungu na maisha ya Marekani kiujumla
    Tofauti ya utamaduni na jinsi gani ya kuishi na Mzungu.
    Namba ya kujua kujisimamia wewe mwenyewe hata kama upo kuishi nchi ya mbali ambako sio kwenu.
    Pia anasaidia watu wanaohitaji kupungua kwa afya, unaweza mcheck kwa Instagram @pungua_kwa_afya na atakusaidia.
    Thank you Aneth for allowing this to be online
    www.Oda.international

ความคิดเห็น • 106

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi na mwanangu yani tunastaili kuishi huko marekan bcs tunapenda sana wanyama hususan mwanangu anapenda sana wanyama anapenda sana paka yan analia sana paka akifa or akiteswa..so inshallah we deserve to live there in America inshallah one day yes

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 11 หลายเดือนก่อน +10

    Dada anaeleza ukweli,,hata Tanzania maisha yapo tena mazuri tu,zaidi unakuwa huru,,,,tufanye kazi,,,,,

    • @gracenkembo8318
      @gracenkembo8318 10 หลายเดือนก่อน

      Shena naomba namba ya huyo dada nahitaji kupunguza uzito

    • @user-zt1hy3wm9z
      @user-zt1hy3wm9z 6 หลายเดือนก่อน

      Jidanganye

  • @benjaminmartin4548
    @benjaminmartin4548 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mi nipo Uingeleza nimeipenda sana hii chanel.

  • @feyk.6680
    @feyk.6680 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaniiiii weee huyu dada TUMTUNZE hahahahahahaha yani vigeregereeeee!!!! Wacha weeee yani huyu marekani ni YAKE!! I am tell y’all she’s going places wa marekani wanavyosema “she’s going places for sure” yani me nayajua haya yote kwakukaa kuhu na kulelewa huku sababu nimelelewa kwenye lifestyle ya kimarekani miaka 19 yeye anayajua haya kwa muda mfupiiii sana. I am blowing away. Mana wabongo ni sugu kwa kutotaka kujifunza. Ila huyu dada I am so so PROUD OF HER.
    Dada Shema huyu anatudanganya bwana kazaliwa huku

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 11 หลายเดือนก่อน +4

    Yaaan najifunza vitu vingi kupitia dada yangu shukran sijutii mb zangu

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 11 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu dada nimempenda sana anaelezea ukweli ❤

  • @salhamvungi1744
    @salhamvungi1744 11 หลายเดือนก่อน +4

    Daaaaah umejua kunifurahisha Madam Aneth😅 Umejua kusema yoteee wanasema Jasiri haachi Asili😅 umejua kusimama ki Africa hutaki masihara🙌😂

  • @shukurukisuguru6461
    @shukurukisuguru6461 11 หลายเดือนก่อน +1

    naomba umlete tena huyu dada...mweeeh❤❤ i just love her kwakwel..😂😂 n mkwel mpk raha

  • @judithlugongo8804
    @judithlugongo8804 หลายเดือนก่อน

    Dada huyu anaeleza vizuri sana hongera

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 10 หลายเดือนก่อน

    Nimeenjoy hii interview na mimi nimerelate na mambo mengi kweli wamarekani unaweza kuwageneralise kwa kusema wanapenda sana immediate family members and their pets.

  • @irenegilbert9883
    @irenegilbert9883 9 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooh! Huyu dada namjua na mzungu wake hata haringi alikuwa mteja wangu wa popcorn nime furahi kusikia historia yao.

  • @mariamswedy4291
    @mariamswedy4291 10 หลายเดือนก่อน

    Aiseeeh hii interview ni nzuri sanaaa tena mnoooo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JulieMJ
    @JulieMJ 11 หลายเดือนก่อน

    Was a nice pet you know,nimecheka sana

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 6 หลายเดือนก่อน

    Shena mtafute huyu dada for part 2 nmempenda jmn story nzuri❤❤❤

  • @user-yp1if8qm5s
    @user-yp1if8qm5s 11 หลายเดือนก่อน +4

    Ukweli mtupu hata huku uarabuni yani vipaka wanavifanyia manunuzi ya vyakula.

  • @zenajustus5731
    @zenajustus5731 11 หลายเดือนก่อน +2

    Me Mkenya naishi Croatia,na nafurahia hii channel yako,nimeiona si mbali but nikipata nafasi hua nasikiliza izi simulizi ni nzuri na za kuelimisha kwa sisi tuliopo huku na ambao wapo kule makwetu Afrika wanapata uelewa,big up siz!.

    • @shamsakiobia6421
      @shamsakiobia6421 11 หลายเดือนก่อน

      L0lpl0

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  11 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you very much 🙏
      I appreciate

    • @zenajustus5731
      @zenajustus5731 11 หลายเดือนก่อน

      @@AnnaKisongoro samahani Dada kama unaniuliza mm sijui jinsi ya kujiunga na izi official dating,nilipata wangu nikiwa kwetu kenya alikuja kama mtalii ivo ndo tulikutana.

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 2 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @lilianmasaki3596
    @lilianmasaki3596 6 หลายเดือนก่อน

    Dada hongera.umesema ukweli.wazungu maisha yao ni ghali lazima awe ba bajeti ambayo imenyooka.Ni utaratibu wao.Halafu mambo ya extended family kwao sio kihivyo.Hata ukiwa na hela yako mo hela ya familia lazima ibajetiwe

  • @MariamJumanne-ri1mc
    @MariamJumanne-ri1mc 17 วันที่ผ่านมา

    Shena sichoki kuangalia video zako,zinatufundisha mambo mengi

  • @clovicemusobozi3891
    @clovicemusobozi3891 7 หลายเดือนก่อน

    Anayosema ni kweli hata huku dubai wazungu wanapenda mbwa balaa ukienda kufanykz kwao lazima umpende mbwa mie ndio maana Siwez fanya kazi kwa mzungu wanalipa Mshaara Mzr Mashaa Allah lakin tatizo ni mbwa wana wathamin mbwa kuliko sisi

  • @feyk.6680
    @feyk.6680 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mimi huyu dada nime MPENDAAAAAA!! Nipo marekani 19yrs sasa na haya anayoongea ni ukweli wa hasilimi zuri sababu ana explaining vizuri sanaaa. Kwa muda aliokuwa nao huku na kujua haya yote yani inaonyesha ni jinsi gani yupo observe na life ya huku everyday. Haweki macho juu juu tuu nyani anaangalia mambo kiundani I AM SO PROUD OF HER WE ACHA TUU. Kuna watu wanakuja miaka na sio wa Tanzania or African tuu hata inchi zingine na hawajua mambo anayojua huyu. Hata wazawa wa huku ni ZERO hawajua kuelezea kufafanua life na situations na ku handle haka anavyojua huyu dada. Tunasema wa Dar wajanja naaah huyu dada ni prove of that statement ain’t 100% true 😂
    Nimeona videos za hii channel juzi tuu. But this lady gonna keep on learning about America in & out so well....ain't no doubt about that! Hahaha nothing will shake her or get on her way

  • @user-wm5lg8xg1c
    @user-wm5lg8xg1c 2 หลายเดือนก่อน

    Mko sawa

  • @gladnessmbise
    @gladnessmbise 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada nimempenda SANA amenipa funzo asante SANA mdada

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 9 หลายเดือนก่อน

    Umesema vizuri kabisa, wafundishe hao wanaotafuta wazungu kwa desperate . Wajifunze

  • @SuzanneMyles
    @SuzanneMyles 5 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤Aneth

  • @tinatilia1101
    @tinatilia1101 10 หลายเดือนก่อน

    Wote mwasikika sasa vizuri

  • @user-dn6wx7dv3l
    @user-dn6wx7dv3l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakusikia vizuri

  • @eganngowi727
    @eganngowi727 11 หลายเดือนก่อน

    Habari za huko, wow napenda sana kipindi

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 7 หลายเดือนก่อน

    Nice interview yaaan madini kama yotee😂😂

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada kaua interview nzuri balaa❤

  • @agnesgodsaviour5968
    @agnesgodsaviour5968 3 หลายเดือนก่อน

    Somo limeniingia asante sana

  • @blandinamrusha-pj2ro
    @blandinamrusha-pj2ro 6 หลายเดือนก่อน

    Hii nimeipenda kuangalia machoni 🥰🥰🥰

  • @janelugano1448
    @janelugano1448 10 หลายเดือนก่อน

    Tunasikia

  • @irenemboya7899
    @irenemboya7899 9 หลายเดือนก่อน

    Nimempenda uyu dada anaongea ukweli. ❤

  • @veronicankenja9061
    @veronicankenja9061 8 หลายเดือนก่อน

    Shida kwa Dada Aneth

  • @sabnaa9110
    @sabnaa9110 3 หลายเดือนก่อน

    Muko sawa

  • @mwanamkasiabdul4646
    @mwanamkasiabdul4646 9 หลายเดือนก่อน

    Nampenda uyo mdada mpk anajua nisalimie watoto wako

  • @user-yp1if8qm5s
    @user-yp1if8qm5s 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mi kweri mzungu namtaka haka akiishi uko African nipo nitainjoyi kabsa wala staki mapesa 😂❤

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea ukweli mtupu bora mm najua kusuka namshukuru mzungu

  • @babyboy6310
    @babyboy6310 2 หลายเดือนก่อน

    Habari gani. Jamanini..

  • @dayanabayabayadayana2103
    @dayanabayabayadayana2103 9 หลายเดือนก่อน

    👍

  • @SheilaMaregesi
    @SheilaMaregesi 3 หลายเดือนก่อน

    Nawasikia wote

  • @katejolly6752
    @katejolly6752 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha nakaa TABATA pia mmi 😍😍😍😍😍

  • @ZuwenaAlhabsi-ic5rv
    @ZuwenaAlhabsi-ic5rv 3 หลายเดือนก่อน

    Nipenda sn maongezi yk nitumie no ya huyu Dada napenda kupungua.

  • @tecratzmwakyambomwakyambo7243
    @tecratzmwakyambomwakyambo7243 11 หลายเดือนก่อน

    Tunakusikiaa

  • @feyk.6680
    @feyk.6680 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaniiii weeeee yani hii video hata haija isha i hato to comment again. Huyu dadaaaa heee yani arudi tena experience yake ikiwa kubwa so we can witness the new growth and more experience. Katika video zote yupo top 5 anayejua kuelezea the REALISTIC ya nchi, maisha na hawa wanaume dada zetu wanao pata huko kuja huku. Mimi nilikuja nikiwa 13yrs old na familia yangu that why ananifurahisha sana nipo 32yrs old sasa

  • @fadumayusuf3018
    @fadumayusuf3018 10 หลายเดือนก่อน

    Dada umesema kweli haswa

  • @user-im7el6gz3t
    @user-im7el6gz3t 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu dada nimemupenda bure jamani 😂😂😂😂

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sawasawa....mambo ni mazuriii sana.

  • @ElizaSimbeye
    @ElizaSimbeye 28 วันที่ผ่านมา

    Wote mnasikika dada shena

  • @miryamjohn4995
    @miryamjohn4995 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kupungua tu na je ukitaka kunenepa kidogo

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 10 หลายเดือนก่อน

    Mbwaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @Alice-Gyunda
    @Alice-Gyunda 8 หลายเดือนก่อน

    Ati tunapiga na mawe mbwa daaa😅😅😅😅😅😅

  • @AishaHamad-xe5hs
    @AishaHamad-xe5hs 9 หลายเดือนก่อน

    Mom H mwambie desire kafa huku Ili alie vzr😆😆😆😆😆

  • @kilwadreamsbeachresort9319
    @kilwadreamsbeachresort9319 หลายเดือนก่อน

    Hii program nahitaji nakupataje

  • @ElizaSimbeye
    @ElizaSimbeye 28 วันที่ผ่านมา

    Tunamsikia

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Huyu dada anawajua vilivyo

  • @user-sy6gx3nl9y
    @user-sy6gx3nl9y 10 หลายเดือนก่อน

    Habri shenna ,tuunganishe na huyo mtaalamu wa lishe.

  • @Charles-gj7dl
    @Charles-gj7dl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Din vipi aisumbui

  • @user-je5wd1uo6r
    @user-je5wd1uo6r 10 หลายเดือนก่อน

    Tupo😂😂

  • @Rukia-zd8xn
    @Rukia-zd8xn 11 หลายเดือนก่อน

    Na sisi pia

  • @khadija5761
    @khadija5761 11 หลายเดือนก่อน

    Tunakusikiya

  • @KudraMgimwa
    @KudraMgimwa 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakusika shena

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wazungu Wana mambo ya ajabu sana

  • @user-xp5re3bt5d
    @user-xp5re3bt5d 7 หลายเดือนก่อน

    Tunawasikia

  • @user-hq6nv6fw3q
    @user-hq6nv6fw3q 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mkweli saana

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂yani nimecheka

  • @evellinerupia5537
    @evellinerupia5537 9 หลายเดือนก่อน

    Ahh nimependa hiyo program yake,Naomba No yake ya Whatsup

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 9 หลายเดือนก่อน

    Na siku akikuchoka , anakuambia anataka divorce na hakina discussion 😅😅

  • @kilwadreamsbeachresort9319
    @kilwadreamsbeachresort9319 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba plzz I need kupunguza weight

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 10 หลายเดือนก่อน

    Mh hatari

  • @fridageorge2809
    @fridageorge2809 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nope contact zako madam Aneth ili nipungue

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 8 หลายเดือนก่อน

    Ndo maana sipendi MTU anaependa mbwa,paka ,no thank you!
    Asimchukie ila niwe kawaida tu

  • @user-dn6wx7dv3l
    @user-dn6wx7dv3l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ninawapata

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 9 หลายเดือนก่อน

    Wote mnasikika endeleeni kurupa story

  • @glorymasy7687
    @glorymasy7687 11 หลายเดือนก่อน

    Hi

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 10 หลายเดือนก่อน

    Hasikiki

  • @ashafaulkner
    @ashafaulkner หลายเดือนก่อน

    Uko mji gani marekani?

  • @maromaikobi4342
    @maromaikobi4342 9 หลายเดือนก่อน

    Wote mnasikika

  • @janethrichard2748
    @janethrichard2748 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimecheka sana 😂😂

  • @rehemaothuman3764
    @rehemaothuman3764 7 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @miriamahmadi1356
    @miriamahmadi1356 8 หลายเดือนก่อน

    Mambo shela nitumie number yako

  • @betricemainoya4176
    @betricemainoya4176 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hi hello shena ni kweli yule kijana Ely hiyo egent ameanzisha kusaidia watanzania kwenda Canada ni kweli, sbb naogopa matapeli wengi

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  11 หลายเดือนก่อน +3

      Hi Beatrice, Mimi nafanya mahojiano ya mahusiano lakini wageni wangu wananafasi ya kusema wanafanya nini endapo watapenda kushare na wengine wanachokifanya.
      Kuhusu hilo naomba umtafute Elly mwenyewe ili uamue kufanya nae kazi kuendana na wewe mwenyewe ulivyojiridhisha. Mimi nilikuja Austria kwa ndoa na sio Agent. So sijui chochote kuhusu agents
      Thanks 🙏

    • @tecratzmwakyambomwakyambo7243
      @tecratzmwakyambomwakyambo7243 11 หลายเดือนก่อน

      Kiukweri dada yangu nisaidie nipate namba yako naitaji kupunguaaa

    • @PureSoul-rf4xd
      @PureSoul-rf4xd 11 หลายเดือนก่อน

      Sawa fursa zipo,je elimu niya ngazi ngani?

    • @DativaEligi
      @DativaEligi 11 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDatingAssistance huhuhu mbavu zangu jamani,😂😂

  • @tinatilia1101
    @tinatilia1101 10 หลายเดือนก่อน

    Unqàsikia shena

  • @neemasalema1546
    @neemasalema1546 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh huyu Dada ameniweza kweli kabisa kuwa wewe ni muhimu sana natamani hata waafrika wangeelewa hivyo

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf 11 หลายเดือนก่อน

    Dear wee ni wa kwetu Geita nini?

  • @mauamabunda7385
    @mauamabunda7385 7 หลายเดือนก่อน

    Mnasikika

  • @piusnyarugenda516
    @piusnyarugenda516 3 หลายเดือนก่อน

    Tunakusikia

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 10 หลายเดือนก่อน

    Wazungus huwa sana udungu

  • @Rukia-zd8xn
    @Rukia-zd8xn 11 หลายเดือนก่อน

    Tunakusikia

  • @user-sy6gx3nl9y
    @user-sy6gx3nl9y 10 หลายเดือนก่อน

    Tunakusikia