MBUTANANGA |WATANZANIA WA UINGEREZA WANASHARE MAPENZI| NILIJUA NI MUME KUMBE ALIKUA NA MIPANGO YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 เม.ย. 2024
  • Mbutananga ameeleza Safari ya maisha yake kutokea kua house girl mpaka kua mcheza muziki ambao muziki ulimfikisha UK kwa mara ya kwanza
    Kwasasa anazaidi ya miaka 35 Ulaya, na anamiliki maduka na ametoa ajira nchini Uingereza.
    Ameeleza Safari yake ya mahusiano na changamoto alizokutana nazo, Umaarufu wake ulipoanzia na ametoa darasa kwa vijana kujituma kutafuta pesa.
    Thank you Mbutananga for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 190

  • @Rhobimdenish
    @Rhobimdenish 3 หลายเดือนก่อน +23

    Hii interview uirudie imekatakata sana

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 3 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🥰🥰

    • @Fabulousmom509
      @Fabulousmom509 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nakubali nimeshindwa kuifuatilia kwa sababu hiyo

    • @fatmarais4076
      @fatmarais4076 2 หลายเดือนก่อน

      P😅 people ❤ clothes on IMVU Ohio and 😊😅ß g😢 case w.xx All Qqqqqppppppqqppp​@@Judy-dy4zt

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nimempenda huyu dada❤moyo wake mzuri umemponza maskini wanaume wetu hawaaminiki hata kidogo japo naamini waaminifu wapo japo sijakutana nao. God bless you Mbuta

  • @LettyMasota
    @LettyMasota 21 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani Hongera sana mbutananga uko vizuri sana una roho nzuri

  • @user-tp4jq9ij5m
    @user-tp4jq9ij5m 3 หลายเดือนก่อน +16

    Iam addicted to this channel 😘😘

  • @elizamushi-yv4iz
    @elizamushi-yv4iz 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mchaga Mungu moyoni,akili kichwani,pesa mfukoni,kipaumbele kazi,mume anakuja mwenyewe,mbutananga pole na hongera.bikiramaria mbele.

  • @Uplifiting
    @Uplifiting 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu dada hajui anakotoka na anakokwenda na story yake! Hivyo akajipange upya na mipango yake, ndipo arudi tena na Story mpya, siyo hii! Inaonekana hana mipangilio mazuri ya njia zake. Tumemsikiliza na hatukupata chochote, tulichopata, ni kuwa yeye ni nanihii! Hatukuelewi mpendwa wetu! Hongera kwa mafanikio yako….

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 หลายเดือนก่อน +13

    Yaani nilivyosikia jina la mbutananga nikamkumbuka mange na Story zake,jamani mbona ni mmama mwenye hekima na mpole,tena mpambanaji mwenyewe, nimempenda mnooo

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mange ni mtu mbaya sana yaani kakuaribia reputation yako sana kwa mitusi yake 😢 dada wa watu ni very clever tena anajitambua hasa. Hongera mbutananga kwa maendeleo yako ya kibiashara huko London ❤

    • @roseatieno6691
      @roseatieno6691 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mange ni wivu unamsumbwa na kuchafua reputation ya wliyo nje ugaibuni .

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mbutananga! Shena umeamua kufukua ya zamani umempata Gigimoney wa zamani🎉

  • @hadijajaicy2507
    @hadijajaicy2507 2 หลายเดือนก่อน +1

    I see me on her story, wanawake wapambanaji hawajawahi kubahatika kwenye mahusiano,,and God has blinded loose men.. ujanja wowote unaofanyika ni suala la muda utajulikana na kurudi ulikotoka,, big up na tumejifunza pakubwa, mwenyezi mungu ampe shifaa mama ako...

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana dada happy birthday Mungu akutunze🎂🍷🍾🎉🎉❤❤❤❤

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 หลายเดือนก่อน +3

    Chagga girl from Kilema to the world. Mpambanaji sana hongera.

  • @user-vn7qm2xx8w
    @user-vn7qm2xx8w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana dada uko vizuri. ... Mchagga halali bwana mpaka kieleweke. Nikimaanisha ni WASAKA TONGE KWELI KWELI.... mimi mchagga wa Marangu.

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 หลายเดือนก่อน +1

    Interview zako ni nzr zinatufungua tatizo sauti na picha siyo guarity sometime, au cm yangu cjui

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mbutananga nimekupenda bure❤

  • @NattiePeter
    @NattiePeter 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nzuri sana
    Ubarikiwe Shena,
    Tunajifunza mengi..

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 3 หลายเดือนก่อน +5

    Happy birthday to you my dear 🎉🎉🎉🎂🎁🌹♥️

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila mara zote wenye moyo mzuri ndio Mungu huwabarik zaidi na zaid yan ule moyo wao wa kutoa hujikuta wanapata zaid 😊😊😊
    Mungu awabariki watoaji wote na happy birthday flora 🎉🎂🎂🎈❤

  • @sattarsalum
    @sattarsalum 3 หลายเดือนก่อน +3

    Allah barik flora lymo ( mbutananga)❤

  • @marykatunzi2613
    @marykatunzi2613 3 หลายเดือนก่อน +3

    Unastaili kubarikiwa zaidi maana una moyo wa kutoa kirahisi. Mungu atakuzidishia mara dufu. Nimekukubali dada.

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika mungu akutangulie

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 3 หลายเดือนก่อน +5

    Happy birthday Mbutananga

  • @adelaidethomas6714
    @adelaidethomas6714 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimekupenda dada yangu

  • @zainabubakari319
    @zainabubakari319 3 หลายเดือนก่อน +6

    Love you dada Mbutananga❤❤

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 3 หลายเดือนก่อน +2

    Enjoy your special day baby girl,life is too short..happy Birthday and thanks for sharing your story❤❤❤

  • @user-ef2gv8ny7l
    @user-ef2gv8ny7l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukweli wanaume waki Africa wengi wao hiyo ndiyo tabia yao qapo kqa àjili ya maslah na ndiyo maana kinachotakiwa katika mahusiano usimhidumie mwanaume hata kama una kipato kikubwa zaizi yake huwa hawana shukrani tena hawajali kabisa maumivu yako,

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani huondo hatujaufaidi mtandao hujatulia very sad

  • @vero57
    @vero57 3 หลายเดือนก่อน +2

    Siku nyingi sijakuona mbuta, Happy birthday 🎂 🍹💐🍾🍺🥂🌺🥳🎂🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊

  • @mariammajiba
    @mariammajiba 3 หลายเดือนก่อน +4

    The Mbutananga herself ❤

  • @dollymogosi6899
    @dollymogosi6899 2 หลายเดือนก่อน

    I love you so much sis Mbutananga you are a powerful woman! I have learnt alot today

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kipindi kizuri sana, ingawa Internet ilikuwa inasumbua na kukata kata❤❤❤❤❤

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 3 หลายเดือนก่อน +2

    Happybirthday dada maish marefu yenye baraka💜💙

  • @pendojuma8075
    @pendojuma8075 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nafurahi kuona channel inakua mungu akufikishe mbali da shena

  • @user-mq7xp2so6z
    @user-mq7xp2so6z 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekupenda jamani mdada happy birthday❤

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nice interview da shena na da mbutananga💐🥰🥰❤️

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ila Mbutananga ana drama 🤣🤣😂😂😂😂😂😂kaona aweke mapulizo Yani huyu Ni Comedian 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @omary909
      @omary909 3 หลายเดือนก่อน +2

      Jamani ni birthday yake

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 3 หลายเดือนก่อน +2

      @@omary909 drama tu humjui vizur kumbe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣hapo alisahau wine 🍷 na picha za bikira Maria tuombee Neema 🫣, huwa nampenda lkn yani nkiona post zake napita nacheka sana

    • @debbiethomas9825
      @debbiethomas9825 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waaume wa bongo dio walivyo. Umefanya vizuri.

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 3 หลายเดือนก่อน +2

    Waaaiiii ,mchaga gani wewe bana ,wanaume wanakutapeli, watu wanakutaka kwa documents tu , una skili ya biashara sema mapenzi zero .pole. muombe mungu akupatie wa ukweli

    • @user-tp4jq9ij5m
      @user-tp4jq9ij5m 3 หลายเดือนก่อน +1

      Dont judge my dear

  • @trueone_tz
    @trueone_tz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Happy birthday 🎉 story nzuri

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 3 หลายเดือนก่อน +7

    Da shena mambo naomba utuletee wale mastaa wa Zaman waliohamia ughaibuni tupate kujua maisha yao ya sasa yakoje na familia zao

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  3 หลายเดือนก่อน +2

      InshaAllah

    • @shereheabdallah8571
      @shereheabdallah8571 3 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@OfficialDatingAssistancemambo vp... Alafu mbona story yake yule kaka haipo tena?

    • @OlipBeautyCorner
      @OlipBeautyCorner 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅 mungu anakuzumu

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@OfficialDatingAssistance 😘

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@OlipBeautyCorner kwann 😅😅😅

  • @hilarykimario5075
    @hilarykimario5075 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbitananfa akunda sana
    Ure roho nshå sana
    MUNGU AKSAIJE

  • @Jammie626
    @Jammie626 3 หลายเดือนก่อน

    Happy birthday Buntananga.Njoo inbox nikupatie mtu mwema

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni uchaguzi wa znz mwaka 1995, maalim sefu alilianzisha baada ya salmini amour kushinda

  • @sarahsamila4936
    @sarahsamila4936 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dada Shena tuletee boss koku wa sweden

  • @sund2553
    @sund2553 3 หลายเดือนก่อน +7

    Waoooooo asante shena uliona comment yangu ya kumleta mbutanangaaaa 😅

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dada hayo mambo ya kuvu
    nja vitu haisaidii unapopata tatizo kuwa mtulivu kwanza tafakali kabla ya kutenda unapokuwa na hasila jizuie

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mtu mzima hivyo hajielewi hata kujieleza pia kama gari bovu enzi hizo kulikuwa hamna viza yoyote miaka hiyo 1990 ,95,96,97,98,,99 nakumbuka ilikuwa haina visa miaka hiyo tulikuwa tunakuja na kuondoka huyu dada ni mwingi funza anamuwaisha ndio maana niva alimpatia mpaka wameenda polisi hovyoo kabisa hajielewi kwanza alivyosema watu wanashea mabwana uk labda yeye kwa kungangania wanaume za watu sisi tuku huku wala hatu share hawo mabwana ni yeye huyo anapita kuhangaika na mabwana ili wamsaidie kutumia hela sababu. Hajielewi

  • @ladymacollection
    @ladymacollection 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ongera ❤❤❤

  • @dominaferuzi3901
    @dominaferuzi3901 3 หลายเดือนก่อน +1

    Happy Birthday Florah

  • @samtushi1759
    @samtushi1759 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wow lovely teachings

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 3 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana, operation ya tonsils.

  • @berthatz
    @berthatz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mpora wangu amecheza kama Messi😂..Rudisha ile mbuzi kijijini..Well done Mchaga wangu mwenye maduka yake Mtaa wa mihela😂👏🏾

  • @lorgiuslongino6087
    @lorgiuslongino6087 3 หลายเดือนก่อน +1

    Happy birthday dadaa

  • @user-vm5yf8cs2r
    @user-vm5yf8cs2r 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza umependeza sana

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole lakini lugha uliyotumia badilisha SIYO watanzania wote SEMA baadhi ya watanzania kwa sababu unatudharirisha wote ni hai uliowaona tu narudia Kuna watu wanajiheshimu na wanayo hofu ya MUNGU.

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi kichwa cha habari tu kimenitoa jasho mimi mwenyewe nipo uingereza mwaka 23 na mume wangu na watt ukiona hivo hao wote ni madunga embe kwani yy katulia si kuna mwaka mmoja huyu alianzisha bifu huko Tz na yule bongo movie Niva watu tunamzoom😅😅

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 3 หลายเดือนก่อน +2

    Happy birthday 🎂 🥳

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 2 หลายเดือนก่อน +1

    Happy birthday to you Florah 🎂 🎉❤

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pole,operesheni yako ya tonsils ulifanyiwa na wanafunzi madakatari..ndo zao wazungu

  • @ilakozasembumende1975
    @ilakozasembumende1975 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kabla sijaanza hata kusikiliza nimeanza kucheka tuu mbuta wetuu jamani tulikumis😂

  • @phibymakuyu5056
    @phibymakuyu5056 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nimekupenda bure

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefulahi sana hadi raha

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 3 หลายเดือนก่อน +1

    nakupenda flora.

  • @felistermorungu7976
    @felistermorungu7976 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada yangu Flora lyimo

  • @user-tl9mx6sw4o
    @user-tl9mx6sw4o 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii interview hainogi kuna wakati haina sauti

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mambo Shena kwani yule kaka part 3 sijasikia Bwana, mtafute Bwana tuujue anaendelea na je alifika marekani?

    • @peterkaale6977
      @peterkaale6977 3 หลายเดือนก่อน

      Hio interview inaitwaje nami nifuatilie inaonekana ni nzuri

  • @user-tl9mx6sw4o
    @user-tl9mx6sw4o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu yangu,, tupe mambo ..mchaga wangu

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 3 หลายเดือนก่อน +1

    Da Flora mi mchapakazi kweli nikachukue Mimi Bwana , niajiri utafurahi

  • @Bifa_2024
    @Bifa_2024 3 หลายเดือนก่อน +2

    Na ungemshauri kwa nini hajafikiria ktumia dating app?

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu 29 วันที่ผ่านมา

    Nimependa jina kwa historia yako lazima mshangao

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dada mzuri Sana jamani,

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameacha kuvaa michupi na kutupia picha mitandaoni?

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 3 หลายเดือนก่อน +2

    Duuu dolla 300 😂😅 ama kweli uliliwa

  • @faridahjuma2000
    @faridahjuma2000 3 หลายเดือนก่อน +1

    Happy birthday da florah

  • @RuthBukuku
    @RuthBukuku 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nalijia hilo duka hapa togo kinondoni vitu vyake ni og jaman hongera kwahilo

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 3 หลายเดือนก่อน +1

    Flora ni mchati amazing 😂😂😂😂

  • @GodfreyIsaya-gc7hi
    @GodfreyIsaya-gc7hi 2 หลายเดือนก่อน

    Happy birthday,mawasiliano Jamani Dada

  • @rosemunisi818
    @rosemunisi818 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safiiii

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shena we mstaarabu mnoo hongera sana

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน

      Shukran dear 🙏

    • @TheresiaKiritta-fi4rr
      @TheresiaKiritta-fi4rr 2 หลายเดือนก่อน

      Smhn DD Shena tangu mimefahami kipindi chako nimekipenda sn haafu pia nakufananisha na DD mmoja jmn yaani utafkiri ni Pacha wako

  • @cleopatrahenry7541
    @cleopatrahenry7541 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo msukuma alikuloga jamani ,upendo sana unagarama

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 28 วันที่ผ่านมา

    Huna visa wala passport lakini una ticket 😂 kali hio

  • @OlipBeautyCorner
    @OlipBeautyCorner 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kugoogle kichaga😅

  • @user-th9nc2om2x
    @user-th9nc2om2x 3 หลายเดือนก่อน

    Ilikatika sound

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน

    Hao watanzania wanaoshare mapenzi ni hao madunga embe tupo huku na heshima zetu na waume zetu na family zetu mpaka tushaozesha huku badilisheni kichwa cha habari hao wanaoshea ni hao madunga embe😢😢

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 3 หลายเดือนก่อน +2

    DADA MBUTA NAMPENDA SANA AJIPENDA MPAMBANAJI

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน +2

    Umesahau na wewe ulivotoka uingereza kuenda Tanzania kuenda kuolewa na Niva ukamchafua mpaka Eshe Buheti tunakufatilia wewe dada ndio maana muna share wanaume wewe mwenyewe hukutulia au umesahau ukanunua mpaka pete ya uchumba wewe mwenyewe 😂😂😂

  • @StellaSanga-wq4po
    @StellaSanga-wq4po 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba kaz dear maana napenda nije huko

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 28 วันที่ผ่านมา

    Utapewaje ticket na pp huna, apo flo umetupiga

  • @TheresiaKiritta-fi4rr
    @TheresiaKiritta-fi4rr 2 หลายเดือนก่อน

    Hasikiki vzr Dada.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hatusikuu

  • @kevinmushi8209
    @kevinmushi8209 2 หลายเดือนก่อน

    Sister samahani mimi nipo zangu arusha naomba unisadie websites zuri za kutafuta wa chumba wa USA

  • @samniza1763
    @samniza1763 3 หลายเดือนก่อน

    Sema nipo hapa UK Ila Sina mazoea ya kwenda kukutana na kila mbongo so hicho anachokiongea kwa kweli sikijui, na hata Sina mwenza mbongo pia.

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rosembwambo6079
    @rosembwambo6079 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hatusikiii

  • @TheresiaKiritta-fi4rr
    @TheresiaKiritta-fi4rr 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani huyo ni jirani yng Klema naomba na yake ni miaka mingi imepita.

  • @sylviakyesi8699
    @sylviakyesi8699 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anakatika katika. Hasikiki

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 3 หลายเดือนก่อน +1

    KILEMA NI KILEMA TUU SIO MARANGU NI MARANGU

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 3 หลายเดือนก่อน

    Katika interview zote jaman hii network ya mbuta imetutoa raha ila tunataman kuisia vizur

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂eeh kuiba mume wa mtu tena?????

  • @violethnatai7890
    @violethnatai7890 หลายเดือนก่อน

    Shena rudia hii interview

  • @sezarinamtenga795
    @sezarinamtenga795 3 หลายเดือนก่อน +1

    How young are you my dear????🎉

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbutananga Kama Kichaga vilee 😂

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mbutananga ni Mchaga wewe

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 3 หลายเดือนก่อน +1

      Naelewa hili neno and I am chaga as well sikuwahi interview that nimeshangaa kidogo 😂

    • @rosemery3017
      @rosemery3017 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli ni Chaga girl😅

    • @yusrasalum
      @yusrasalum 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hongera sana mbuta and happy Birthday 🎂 kikubwa hakuna kukata tamaa