TUMEFUNGA NDOA NA NILINYIMWA VISA | NDANI YA MWEZI NATAMANI KUPIGA MAKELELE KAMA NILIECHANGANYIKIWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Jacqueline Lasway, ametueleza namna alivyokutana na mume wake kupitia kaka yake.
Alikua kwa daladala lisiloenda likaja la kuenda akachomoka nalo 😁.
Ameeleza jinsi alivyonyimwa visa hali ya kua ameshafunga ndoa na baadae kufanikiwa kupata permit ndani ya siku moja tu.
Baada ya kuwasili Finland alipata shida ya sonona kwasababu ya upweke uliopo Finland.
Thank you Jacqueline for allowing this to be online
www.Oda.international
Thank you Shena for inviting me na hongera kwa kazi njema unayoifanya pia kwaajili ya jamii yetu, ubarikiwe 🌹🙏🏼.
Karibu Finland dada,niko Smedsby niko na mwaka na nusu 😊.
Mambo jackline karibu finland mimi dada yako kutoka kaskazini pia nipo espoo ukipenda kunitafuta karibu.Pia karibu nikuunganishe na chama cha watanzania wanaoishi hapa ufini. mimi kama mjumbe nakualika unaweza kutafuta hicho chama huko mtandaoni na kupiga simu kuuliza zaidi.🙏🙏
❤
@@misschagga8042ģv😮😮😮😮😮😮
Nice video....My Dream country am headed to Finland early next year
Huyo kaka yake nimempenda saana.,makaka wengine manyang'au ni kutoa wanaume mbio tu. Huyu anapeana connection 😅😅
Kaka katisha
Tumpe maua yake kwakweli
Dada angu unaongoza vizuri kipindi chako ila jaribu kwenda na mataifa mengine mana Kuna watu wanachangamoto Huku za watu weupe watu wanateseka wengine uwape elimu ili wajue Nini wanataka
😂😂😂😂kaka wakishua huyu
Ukiona hivyo jua hali ngumu sana kwetu.....hii aibu lakini tufanyeje The Center Can't Hold, Things Fall Apart.
Story tamu sana!
Ahsante sana!
God blass you!
Nami nimefuraiya
Lovely testimony
Mdogo wangu hongera kupata nafasi ya kuolewa. Pia nashukuru kaka yako kukusaidia kupata mume. Mungu akubaliki sana. Na pia dada shena hongera sana.
Shena asante kwa kutuletea wadada na kutusimulia mapito yao kimaisha hadi kufika Ulaya au Marekani. Ila kwa mtazamo wangu bado kuna dhana ya kuona wazungu siyo watu wa kawaida! Yaani wadada wengi niliowasikiliza walidhani wazungu ni watu wa tofauti. Wazungu ni watu kama sisi, na hawapendi au inawakera kuitwa wazungu kama vile sisi tusivyopenda kuitwa majina ya kibaguzi. Tabia zao hazipishani na wanaume wengine. Haijalishi asili zao. Ushauri wangu ni kwamba jaribuni kuepuka utambulisho unaoashiria ubaguzi. Ni bora mkatumia utambulisho wa mataifa yao.
Wow interview nzuri nimeipenda kumbe kuna process za kuafuata baada ya kufunga ndoa? Ni vyema kuzijua mapema manake kunyimwa visa it's so bad 😢. Siste Shena naweza kupata namba yako ya WhatsApp kuna mambo nataka kuongea na wewe.
Karibu +4367764790884
Hongera sana Dada sway Mungu akupe maisha mazuri huko na shemeji yetu huyo
Waaaaaaaaaaawwwwwww your story is very interesting ❤❤❤❤❤
Hongera shena tunajifunza sana kupitia harakat zako
😂😂😂 nakufuatilia dadangu Mimi kakako Toka Kenya najipata tu nasikiza interview zako ni nzuri
Shukran kaka 🙏
Pole ndugu , hauko peke yako , tuko wengi siku kwanza yalinikuta hayo hayo sema tu ukiiuliza , ni Bora kuliko kujifanya unajua.
Kapata kaka mshua😅😅
Nyie mnaomponda acheni ushamba nyie mlitaka asiolewe na mzungu ili abaki tz kucheza vikoba vyenu vya kausha damu kama nyie sheeenzi
Wawooooo very nice story and she's very beautiful
Many many thanks
Hi madam i need this datingsite bt i don't know how to join
Dada the way anavyoongea anaonekana kabisaaa hana mkubwa yupo very simple 😅 alikua kwenye mahusiano ambazo haujui yanahusiana na nini😂😂😂
Kw kweli nainjoe sana tunajifunza vitu vingi sana ktk mahisha haya
Amazing story umetisha kinoma🙌
I like the way she narrating
Huyu dada ni mimi kabisaa....visa yangu ilikuwa denied mara mbili ikabidi nishughulikie resident permit.. ila huo usumbufu wa maswali ya watu.. hee we siumeolewa mbona bado uko TZ huondoki.. jamaniii😂😂
Naweza kuuliza kitu
Mchanga mzuri hadi anakera,hongera Shena kwa interview zako 🙏
Dada yetu mtazania karibu Finland Hangera sana
Yaani huyu ni mimi kabisa,hakuna kucheza mbali na geti ,nisijeachwa buree😂😂😂😂
Interview amazing😊
dada shena naomba nimpatie namba yangu niwe na ongea nae mim napenda kupiga story san kam hatojali
Naomba connection na huyo dada mimi pia mgeni niko Finland tucheke wote nimempenda tu please
My classmate laswiyo 😍😍
Ohhhh jamaniiiiii kaka na dada ... Nimeipenda hiiii
Atuletee feedback kipindi cha winter hali ilikuwaje
Dada shena mbena mwenzangu mitandao inanishinda mimi
Amen
Nakupenda Sana dada sheli na naji funza mambo mengi sana
Karibu Oulu Jackline ,Finland 🇫🇮 nina 2 years sasa hapa.
Asante Edna😊
@@jacquelinelaswayinsta una acc?
Jmn nishachoka kukaa bongo uwiii Yesu nikumbuke😅
@@jacquelinelaswaynatamani rafiki wa nje unaweza kubali jack
@@jacquelinelasway unatumia accout gani intagram dada
Kusafiri nchi usiyoijua kiukweli ushamba lazima uwe nao kiukweli mdogo wangu. Dah! Umenikumbusha nilipofika Spain kwa mara ya kwanza njiani kuangalia pantalla ilitugharimu maana sikuwahi kusafiri popote. Japo tulikuja Spain kidini
Shena kindly link me with a genuine dating site.
😂😂😂😂😂😂😂 yababa story
Mwendo wa kucheza karibu na geti🤣🤣🤣🤣🤣🤣, I can relate lol
Pole sana na ongera sana hata ningekuwa mm ningekuwa mlinzi wake mbaka asubuhi, umepata mume bila shida wengine miaka 5 sasa tupo tunaangaika hatujapata😢😢😢
🤣🤣🤣🤣🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
@@sophiakassim6784 naumia kweli my siyo uongo miaka tano nipo dubai uko natafuta mzungu mbaka leo naishia kupewa namba unatumiwa picha ukifungua unakutana na vitu siyo video siyo naishia kulia sasa kwanini unipe namba yako kama haupo serious natumia simu 2 zote zimejaa app kila haina unaoijuwa wewe sipati nimeweka picha ya kawaida lakin matapa wahindi pakstani ndo wapo serious na mimi ndoto yangu mzungu mzungu jana niepata mmoja akanipenda kweli kutuma picha babu kibabu sikuamini kupiga video call nilichoka babu yule
Mm nimenyimwa visa mara mbili sasahivi nimetulia kidogo🥹🥹🥹 embassy wanazinguaaaa
Pole sana, ya kwenda nchi gani ?
jackline yuko vizuri
Aliona picha aki weeee
Wazungu wengi hawaelew mahari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nakumbuka mgermany wangu alikua hataki nkasema hutaki haya wasalimie mbona alitoa 😂😂😂😂😂😂
So you're a Finish Madame?. Pole kwa baridi. Tutumie samaki.
Eti ashamuelewa tayari😂
Bigup🎉
Wenye hatuna kaka
Tunapambana wenyewe😂😂😂
Nimempenda Jackline kaeleza vzr Sana hana maringo
Kiubaridi cha ukweli kweli. Karibuni hapa Finland. Mimi niko hapa Helsinki.
😂😂😂😂 yaani hizo heka za huyo dada za kusubiri kusafiri na kero za wabongo unaondoka lini hata mimi nilikereka, ila hizo hekaheka za airport ndio zimenichekesha. Hivi kumbe wabongo wengi tunakuga hatujui vitu vingi. Raha jamani 😂😂😂
😂😂yalinikuta OR Tambo SA🙌🙌mi ndo nilikuwa wa mwisho nasubiriwa dkk 1
😀😀😀 kwa kweli ni vichekesho. Mimi nilitaka kuachwa airport bongo jamani eti hawanioni kweli list ya tickets zao, weee mzungu alitaja ticket namba yangu kwa kichwa pale pale ticket ikaonekana😀😀
♥️♥️♥️
Muulize watu wa Finland ni watu wa aina gani? Namaanisha wanaroho nzuri ama
Interview ya leo hadi raha😂😂😂
Wadada mnahimizana mambo ya ajabu mno,hamfikirii kujiendeleza kimaisha,mkiamini wazungu watawatoa kimaisha,hadi kero
Kuusu simu bwana mtu asiejua au kama haijawahi kukutokea utadhani kuna ka mchezo flani ila mtandao inaingiliana sana unapiga dar mtu anapokea wa Somalia 🇸🇴 😅😅😅
Somalia tena 🤣
Natarajia kwenda Finland November ila naogopa mno nahc nitakua nachanganyikiwa kama huyu dada😅😂
Usiogope,
Kikubwa utakua unajichanganya na some activities tu
Usiogope step yako ya maisha, keep going 💪🏾
Amen
Dada anaitwa nani uyu jaman
Tervetuloa Finland
A360 Jackie hongera mama!!!!!
Yan nimepitwa na hii interview but imenifulaisha😅😅😅 uyu binti nimchangamfu
Hahaha 🤣 Nice interview
Nimeogopa sn aliposema neno upweke
Nimeingia kwenye dating site mojawapo duu.. hizo message nilizopata za application mpaka nimechanganyikiwa,simu mpaka inakaribia kujaa. Niko njia panda mdogo wangu shena nisaidie..
Hata mimi shoga nina wik kweny hiy app dating jmn hiz sms hat hujui wap uanze na tumalizie wapi kaaah
App ipi?
Maana ziko nyingi
App gani
Lasway au swai ? Wachaga ndiyo swai laswai siyo wachaga
Wote wachaga
@@lightnesselirehema1464 sawa mambo
Lasway tena ni wachaga warombo
wachaga ni pisi kali hatari
Dada yupo charming hatari,anaongea mpaka rahaa
Siku mkititumuuuana huko 😅mtuletee humu humu ! Kaka kishauza dadamtu duh sie wa east njaaa jamani 😅
Mind your language, aliponiuza ulikuwepo, ukiacha roho mbaya na gubu utafika mbalii
Na ukiendelea ivi ukizeeka utakua mchawiiiiii 😂😂
@@jacquelinelasway naomba nikuone in box nakupataje Nina shida nataka kukuuliza
😂😂😂😂❤❤
Wazungu wengi hawaelew mahari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nakumbuka mgermany wangu alikua hataki nkasema hutaki haya wasalimie mbona alitoa 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 mi nataka ng'ombe 20, mbuzi 200. Na kuku 300😂😂😂
Bado mashangaz hela zao
@@zaydelabay9776 hahahahaha chizi kweli
❤❤