MITI 10 BORA AMBAYO NI TIBA KWA KUKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2024
  • #tibaasilizakuku #uleajiwavifaranga
    ✍️Jifunze tiba zingine za asili AU kienyeji za kuku kupitia video hizi
    • Tiba asili/Kienyeji za...
    👇follow us wasap channel
    whatsapp.com/channel/0029Va9g...
    👇follow us telegram via
    t.me/agalustv
    ⏩ other videos • Uleaji wa Vifaranga vy...

ความคิดเห็น • 47

  • @elibarikishukya-lf3sk
    @elibarikishukya-lf3sk 13 วันที่ผ่านมา +1

    Bando Langu halijaenda Bure ,God bless you

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  13 วันที่ผ่านมา

      Amen 🙏🏿 Same too

  • @johnkomba1639
    @johnkomba1639 2 วันที่ผ่านมา +1

    Asante

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 วันที่ผ่านมา

      Tupo pamoja ndugu

  • @EshaMnambye
    @EshaMnambye หลายเดือนก่อน +2

    Asante Kwa elimu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @user-vp2uh4jp2b
    @user-vp2uh4jp2b 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante kwa. Soma LA leo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @user-qn3hj6rz8i
    @user-qn3hj6rz8i หลายเดือนก่อน +1

    Habari ni mfugaji mgen na napenda sana ufugaji nitakusumbua sana ngoja nikufatilie

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Karibu Sana ndugu

  • @robertoyoussouf7679
    @robertoyoussouf7679 19 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kwakutujuza mtalaam wetu na mwalimu, sasa matumizi umesema nikiwa siku tano ama nne, sasa sali langu ni gili : ukiwapa dawa hizi, utawapa tena baada y'a mwezi ama miezi mi ngapi ili uhakukishe kuku wako wa naenda vizuri, tiba nikila baada y'a mda gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  19 วันที่ผ่านมา

      Angalau kila mwez

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  19 วันที่ผ่านมา

      Kama kuku haumwi angalau Kila mwezi mara 1

    • @jonisiamangewa-xn6uf
      @jonisiamangewa-xn6uf 11 วันที่ผ่านมา

      Asante kwa kutuelezea mtaalamu wetu mm ninatatizo moia ni vifaranga vyangu wanajisaidia kinyesi Cha kaki halafu ,wameanza kushuka mabega Nini shida nisaidieni

  • @devothaamatemu1316
    @devothaamatemu1316 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Kwa ufugaji na elimu nzuri, kuku wangu wana changamoto ya kuvaa Makoti, pia wanapata choo Cha brown nimewapa dawa ya dukani ila jee naweza kuwapa mmea kama saumu, majan ya papai na mpera???

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Ni coccidiosis iyo ndugu.Mbali na dawa zingatia usafi. Iyo mimea hakuna unaweza kuku saidia

  • @HenryRobert-wr3gl
    @HenryRobert-wr3gl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Matumizi ya mwarobaini kwa kuku yako

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Ngoja video yake inakuja

  • @BekaBoy-h4g
    @BekaBoy-h4g 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nina kuku wang ambao hawakui tang watotolewe n mamayo je Kuna miti gan ambay yawez ungez ukuaj wao tafadhal naomba kujuzwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  16 วันที่ผ่านมา

      Miti hapana ila boresha lishe na Hali ya joto

  • @GODSONMLINGA
    @GODSONMLINGA หลายเดือนก่อน +1

    Naomba unieleweshe nielewe

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Kwenye mti Gani apo ukaelewa

  • @wonderpersonhb3551
    @wonderpersonhb3551 หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu mm nakufuatilia sana kimya kimya
    Natumia mwarobain matokeo wanaacha kutaga
    Nn tatz

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Yaan ukitumia tu mwalobaini wanaacha kutaga? Na mwalobaini Unatumia kwa ajiri Ya kutibu nini?

  • @NazaelElias-hu7ow
    @NazaelElias-hu7ow หลายเดือนก่อน +1

    Je naweza kutumia dawa zote kwa mara moja

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Hapana

  • @lovenessmwaitege5324
    @lovenessmwaitege5324 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kujua mapalachichi je???

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Ngoja tufuatilie zaidi kujua

  • @FidelisErnest-de7fx
    @FidelisErnest-de7fx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mimea gani aumajani yanayohusika Sana kwenyekutibu minyoo?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Majani ya mpapai

  • @user-tw5lr5if3j
    @user-tw5lr5if3j หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zuri. Naweza kuchanganya majani hayo kwenye maji yao ya kunywa?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Yaani majani yote ayo 10?

  • @user-ts9jc5zt9f
    @user-ts9jc5zt9f หลายเดือนก่อน +1

    Molinga ndio mlonge?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Ndio

  • @user-jh5mz6gk8w
    @user-jh5mz6gk8w 4 หลายเดือนก่อน +1

    Majani ya muembe matumizi yake yakoje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Yaani una maana unataka kujua nini

  • @annamwinuka5898
    @annamwinuka5898 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba msaada wa faida ya majani ya magimbi kwa kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Mmmh ngoja tufuatilie tuone kama kuna faida

    • @EliaSindabakila
      @EliaSindabakila หลายเดือนก่อน +1

      Magimbi yanasaidia nn kwa kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Ni Kinga kwa magonjwa maana Yana vitamin pia

  • @emilianashirima7229
    @emilianashirima7229 6 หลายเดือนก่อน +1

    Za uzima Samahani vip kuhusu mmea WA mchunga unasaidia nini Kwa kuku?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน +1

      Ngoja tufuatilie zaidi ndugu tutakujibu

    • @veronicamwaseba2189
      @veronicamwaseba2189 6 หลายเดือนก่อน +1

      asante kwa masomo mazuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

    • @mamaelisha1685
      @mamaelisha1685 หลายเดือนก่อน

      Je nikichemsha majanihayo Kuna tatizo​@@AGALUSTV

  • @LoyceFundi-qf7iw
    @LoyceFundi-qf7iw 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu