*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA* TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo. wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
Maoni yangu... 1. Mama yao anapata shda kula. 2. Hiyo nyavu inaleta baridi kutoka chini hata kama wanakumbatiwa. Iwepo space ya isiyo na nyavu hapohapo ndani atakapolala na watoto. Iwe na insulation materials kama maranda. 4. Kuna kiasi cha chakula kinapotea kupitia wavu. 4. Upo vizuri kwenye kutumia local materials. Kudos..unatoa hamasa nzuri.. 👏👏👏👏👏
Hongera sana kaka. Video iko vizuri na maelezo yako yanaeleweka. Swali ,Je hicho chakula chao hakichanganywi na pumba? Na wanatakiwa kipewa hicho chakula kwa muda gani?
Napenda Sana ufugaji wa kuku lkn najua wanataka malezi ya hali ya juu ndio ufanikiwe. Nilijaribu na Nikawa naenda kwa kasi Sana ila nilipoondoka kumuachia mtunzi mwengine walikufa km nzige na sikujua sababu. Nn sababu ya kuku kufa kwa mpigo Tena wakubwa kwa wadogo
*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA*
TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo.
wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
Yt
D
W
Nimeshindwa kudowloard hiyo pdf nilikuwa naomba jinsi ya kudowloard nikijaribu kudowloard inaleta whattaapps
Maoni yangu...
1. Mama yao anapata shda kula.
2. Hiyo nyavu inaleta baridi kutoka chini hata kama wanakumbatiwa. Iwepo space ya isiyo na nyavu hapohapo ndani atakapolala na watoto. Iwe na insulation materials kama maranda.
4. Kuna kiasi cha chakula kinapotea kupitia wavu.
4. Upo vizuri kwenye kutumia local materials.
Kudos..unatoa hamasa nzuri..
👏👏👏👏👏
Niliambiwa kuwa kuku ukishawapa stata..ni makosa..inakuwa tayari umewabadili kuwa wa kizungu..ile nature ushaiondoa...
Nime.wapata.vizuri
Asante sana bro sharing is caring
Dawa ya macho mkuu macho yanafunga na hayafunguki
Ahsante
Njia nzur Sana nimependa
Sawa
Jee unaweza kuwachanganya vifaranga wa kienyeji na korila
Safin sana
Habari za kazi nahitaji kuwa mfugaji na Nina eneo kubwa sana naomba tuwasiliane
Karibu sana
ongera sana
Asante sana kiongozi
Asante sana sikujua kama maj ya bard huwafanya wakose raha asubuh kumbe tatizo ndo hilo
Asante kwa kufatilia vipindi vyetu
Uko vizuri
Pamoja sana
Nakubal Sanaa somoo zur Sanaa mkuu ja blessed
Asante sana
@@changamkiafursa 🙏🙏🙏mkuu tunajifunzaa kupitia ww ili tufikie malengo na ss
Very good explanation...Grrat work!!!👏👏...i love your innovations... Very creative...
Thanks 😊
Maashaallaah nimependa sana somo ubalikiwe
Amina
Nichakula gan icho na kinapatikanaje
Ahsante tuelimishen
Tunashukuru kwa kufatilia
Ningependa kufahamu hii pillet ni chakula aina gani
Crumps
Hongera sana
Asante sana
Oo sawa
Nmependa
Asante sana
smart
Hii piret ndio ile wanayokula kuku wa nyama au tofaut
Namba zako tupe
Nakukubali sana ndugu yangu yani kila nikitazama vidio zako napata kitu ambacho nilikua skijui au nakijua ila sikitumii kwa sana Allah akuongoze
Amin 🤲
Nzuri sana hii njia
Asante sana
Asante. Kwamafunzo
Tuko pamoja
@@changamkiafursa naomba namba yako ya simu
Hiyo sijui pilet ndio nini kwa kiswahili na inapatikana wapi
Naomba jina la hicho chakula cha vifaranga
8:18
Nimeipenda hiyo.
Pamoja sana
Pilent ninin
Napend sana muna patikana wap sasa
keep up bro
Saf kabisa nimejifunza kitu apo
Kwa nini chanjo ya matone hutolewa mara 1 halafu ya kunywa kila baada ya miezi 3?
Hogela sana nimepanda sana ufugaji wako vp nawaza nakapata namba yako tuwasiliane zaind
Kazi nzuri lakini hio nyumba ya kuku haijanipendeza..
Asante
😅😅😅
kuku wangu kazira mayaii
Nimepend na nimejifunza pia
Vizuri
Dawa uliyo weka kwenye maji nidawa gan
Tangu niijue hii channel nafurahia ufugaji niliteseka sana na vifo vya vifaranga
Pilat nn rafiki
Naomba unielekeze hicho chakula ni nini na nini unachanganya sijaelewa
njia gani ya kufanya kuku atage mayai mengi?
Nitatofautishaje kifaranga mtetea na jogoo?
Google
Tetea huwa anakuwa na nywele zilizofunika eneo lake la nyuma
Unauza vifaranga
Piret nini?....
Habari naomba kujua dawa ya vidonda vinavyowatoka vifaranga kichwani
Je wanapewa chanjo wakiwa na umri gani
kifaranga wa mwezi m1 shi ngapi
Unafanya Kaz nzuri sana,,,,ila naomba utuwekee video ya jins ya kutengeneza Banda Bora la kulelea vifaranga!
Asante sana
@@changamkiafursa nataka mniunge kwenye group la wasap
Napenda sn
Ongela kwa ufugaji Bora naomba namba yako ya simu
Nivizuri kuwapa dawa ya kinga wakiwa na siku moja?
Hizo chupa za patika na wapi
apo kwenye machupa ya maji bdo cjaelewa vzr mkuu
Sawa nitandaa tutorial yake
Asante mkuu
Have
Mimi naomba namba zako mtaalam mimi niko Zanzibar nahitaji msaada katika ufugaji
Naomba maelekezo kutengeneza chakula cha vifaranga nisinunue vya kiwandani
Naomba namba yako kaka kunamaswali nataka kukuuliza
Naomba orodha ya chanjo anatakiwa kupew kifaranga mpk kufikisha miez 2
Nitumie namba yako
Kwann kweny band chini umewek wavu kwan mbao hazifai
Naomba unipe elimu usipoandaa banda la kulelea vifaranga wakashinda wanapolala na mama Yao inafaa kwa vifaranga ?
Habari, asante kwa somo zur, naomba kuuliza khs banda la kulelea vifaranga je hua hakina dirisha la hewa au linatakiwa kuwa je?
Linawekwa kwa juu ili kulinda joto
Namba ya Ili tufanye biashara
Hiyo antibaytic ni ipi Mbona hujataja Jina lake
Very beautiful chicks. 💜❤️💚💙💖
Unawachanganyia maji na antibiotic gani haswa?
Neoxychick formula
hao vifaranga ulowahamisha , wana siku ngapi
Walikuwa na siku 4
hicho chakula nikienda dukani nisema nataka chakula Gani?
Asant, nn kinasababisha kuku kuharibu mayai wakati anapolalia?
Vifaranga wa mama mwengine hawapigwi ns hy mama alokuwa sio wake?? Mama mlezi unampa hy hy starter wanayokula vifaranga??
Hapana, huwa nawaatamisha siku moja hivyo ukiwachangaya wanakua hawajajua kuwatofautisha
@@changamkiafursa hapo kuna maswali mawili kama sijakosea umejibu moja....mama kuku nae anatumia hiyohiyo starter na hayo maji ya vitamini
Ndio wala haina madhara kwake. Baada ya wiki 4, unamtoa nje aendelee na mzunguko wa utagaji
@@changamkiafursa shukran sana mkuu nimekuelewa
Tuko pamoja
Niko mazingira yenye baridi sana eneo la makete sasa kuku vifaranga havikui kabisa vya kienyeji na huwa sijui shida ni nini boss
Madawa za chanjo kwa vifaranga ni zipi
Pilet nini
Hongera sana kaka. Video iko vizuri na maelezo yako yanaeleweka. Swali ,Je hicho chakula chao hakichanganywi na pumba? Na wanatakiwa kipewa hicho chakula kwa muda gani?
Hakichanganywi, wanapewa kwa wiki 5-6
Bei ikoje ya hicho chakula?
Kuku mmoja jike anauwezo wa kutoto hadi mayai mangapi??
Itategemea na ukubwa wa umbo Lake, wengine ni kuanzia 14 - 18
Vifaranga wa kienyeji wanapewa chanjo au hiyo anti biotic tu ndo inatosha?
Pileti ni nini?
Chakula cha chengachenga
Hii chakula naeza pata wapi
Kipo maduka ya vyakula vya mifugo
Hongera brother nimejifanza jmbo kutoka kwako......✍🇴🇲🇹🇿
Je ktk hayo maji unatiya chonjo gani kuwapa vifaranga?
Asante brother
Hiv hiyo anti biotic haitohasiriwa na maji ya moto
Y
Pilet ni chakula kipo madukani special?
Ndio
Kwa siku huwa wanakula kuasi gan Cha chakula? Na janjo unawapa wakiwa na umri gan au siku ngap?
Wakiwa vifaranga siwapimii ila wakifikisha wiki 4 naanza kuwapumia.
Chanjo nawapa siku ya 7, 14, 21, 28 na wakifikisha wiki 8
Kuku wawil wanaanguaje vifaranga 33
Inawezekana kama umewapa 20 kila mmoja
Kazi ya wavu hiyo chini ya banda?
Kuondoa kinyesi
Inakuaje kuku wa kienyeji anataga mayai mengi
Pilet inatengenezwaje au inauzwa dukani
Kiukweli kuku wa kienyeji wakubwa ni wana mwamwa hikchakula una kabiliana aje naiyo changamoto
Mbona vifaranga ni vikubwa vina umli. Gani.pia mbegu gani
Hapo walikuwa na siku 6 toka kuanguliwa
chakula cha vifalanga nini na nini
Unakaa wapi? Namba yako tafadhali
0656528455
Maji hayo unachanganya na nini mkuu
Neoxychick formula ni antibiotiki yenye vitamins
Naomba kama una group whatsap niunge tafadhali
Hayo machupa umeyafanyaje mpaka yamekuwa hivyo natamani niwe na vyombo kama hivyo kwa kulishia vifaranga
hayo maji unabadiri kwa mda gani kiongozi
Kila ninapoona yamechafuka
hbr mkali hayo machupa ya maji unayatoboatoboa ili kutoa maji?
Naipata wap samahani nipo dodoma,
Hizi pellets za vifaranga 0 - 4 weeks hakuna namna ya kutengeneza, maana maeneo nlipo ziwezi pata
Hakuna kwa sababu ili kupata hizo punje unachukua stater ambayo imechanganywa tayari
What if nikitia maji starter ili isipotee nyingi??
Sio sahihi
Kuku hatakiwi kula chakula chenye unyevu
Napenda Sana ufugaji wa kuku lkn najua wanataka malezi ya hali ya juu ndio ufanikiwe. Nilijaribu na Nikawa naenda kwa kasi Sana ila nilipoondoka kumuachia mtunzi mwengine walikufa km nzige na sikujua sababu. Nn sababu ya kuku kufa kwa mpigo Tena wakubwa kwa wadogo
Ugonjwa wa Kideri
Chanjo ya ugonjwa wa kideri ni ipi na huchanjwa Kila baada ya muda gani ?
Hongera Sana naomba unielekeze kutengeneza hicho kidude Cha kuwekea chakula,kazi njema