Habarí yako asante kwa somo zuri la vifaranga naomba kujua ni chakula gani nimpe kifaranga hadi mwezi uishe na na ni dawa gani pia nitumie ubarikiwe kwamba utanpa jibu
Ni chakula cha vifaranga cha dukani yaaani Broiler stater. Na dawa kwa vifaranga anza na vitamins yenye anti biotic Fuatilia zaidi masomo ya uleaji w vifaranga th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b.html
Chakula cha kuku hutegemea umri Wao. Zipo formula za vifaranga, wanaokua na wanaotaga. Jifunze zaidi Kupitia masomo haya th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0Ettq9rfYN2okbgi0ionZdU.html
Je agalus mnauza vifaranga? Ninataka kuanza kufuga wa nyama hivyo nataka nianzie na angalau 100. Hivi sasa nimefuatilia masomo na mimeweza kuwa na kuku wa kienyeji wengi. Nahitaji nifuge wa kuuza maana hawa nafuga wakienyeji. Mimekuwa na uelewa wa chakula madawa ila nahitaji vifaranga wa mwendo kasi
Napenda sana kufuga kuku wa kienyeji nimepata elimu ya kuanzia nategemea kupata mengi mazuri kutoka kwenu.
Karibu Sana ndugu fuatilia channel hii Ina mambo mengi mazuri
Asante naomba niendelee kupata masomo haya maana nimepoteza vifaranga sana
@VeridianaLuhende karibu sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Ninashukuru kwa masomo kuku wangu wanaumwa macho,Ninaomba msaidie chajo na lishe ya vifaranga
Macho yanakua je ndugu. Angalia video hii 👇 magonjwa 5 ya Macho kwa kuku na dawa zake
th-cam.com/video/V_OsGbOnjgA/w-d-xo.html
Habari za jioni , nimefurahi kwa kujifunza, ninaomba msaada wako , kuku wangu wangu wanatoa kinyesi Cha damu,
Pole sana ndugu wape dawa inaitwa Amplolium
Asante Sana kwa elimu nzuri ya ufugaji wa kuku.
Barikiwa pia
Asante sana kwa somo zuri sana aisee kulikuwa na tatizo hilo sana la vifaranga kufa na tusijue ni kwa sababu gani
Pole ndugu na Karibu
Asante Kwa Drs naomba mafunzo ya vfrg wa kienyej na dawa za asil
Tiba asili/Kienyeji za kuku Aina zote: th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL.html
Uleaji WA vifaranga
th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT.html
Faida ya vitunguu swaumu
Faida za Vitunguu saumu kwa kuku
th-cam.com/video/2UFuBrIJA-A/w-d-xo.html
Habarí yako asante kwa somo zuri la vifaranga naomba kujua ni chakula gani nimpe kifaranga hadi mwezi uishe na na ni dawa gani pia nitumie ubarikiwe kwamba utanpa jibu
Ni chakula cha vifaranga cha dukani yaaani Broiler stater. Na dawa kwa vifaranga anza na vitamins yenye anti biotic
Fuatilia zaidi masomo ya uleaji w vifaranga
th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b.html
Vifalanga wangu wanakufa sana nifanyeje
Jifunze jinsi ya kulea vifaranga kwanza
Very useful.Thanks
Thank you be blessed
Kindly share video of caring vifaranga. Your lesson is very constructive. Shukran
Thank you for your advice 👏✍️🤝
Asante Sana
Barikiwa sana🙏🏿
Je mnauza vifaranga
Hapana kwa sasa
Je kifaranga anahitajika kupata joto la nyuzi ngapii
✍️🙏🏿
Nisaidue ndg vifaranga wangu wanaishiwa nguvu miguuni na kufa
Pole sana vp una dawa gani na je chanjo uliwapa? Na wana umri gani
Je vifalanga wakitotolewa kunadawa zao wangu wanakufa Sana ni chakula gan wapewe
Wape vitamins na chakula bora kile cha vifaranga
Barikiwa
Amina ndugu nawe pia
Nitumie
Nini ndugu tukutumie
Naomba video za kulea vifaranga
Video zote za kulea vifaranga
th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT.html
Habari ndugu mimi vifaranga wangu wanakufa sana wanava koti wanatetemeka wanakufa kwa siku wanakufa wa 5 mpaka 6 ni saidie ndugu
Pole Sana ndugu apo wape dawa za Coccidiosis. Vp uliwapa chanjo ya Gumboro?
Asante sana nimejifunza toka kwako ndo nimechukua vifaranga tar 1 mwezi huu nitazingatia hayo .asante sana
Amina ndugu 🤝🙏🏿
Naomba video
Jinsi ya kulea vifaranga
th-cam.com/video/4xqTBAKBHs4/w-d-xo.html
Kindly share more videos
Thanks ✍️alots
Napongeza mnatusaidia
Barikiwa pia ndugu kwa kua nasi
Inavutia
Hakika
Nitumie vyombo vya aina Gani kwa ajili ya vifalanga
Vipo MADUKA ya mifugo vyombo vya maji na chakula
@@AGALUSTV nashukulu kwa maelekezo yako
Je majb tunayapataje maana wangu anatotoa wk hii
Zingatia ayo tulivyo yaeleza kwenye somo
Nikweli tunashindwa kukuza vifaranga
Tutaweza tu taratibu ndugu
Naomba kutumiwa video hizo za kulea vifaranga na vyakulaa
Fuatilia video zote zipo kkt channel hii
Mimi nimetotolisha vifaranga 12 na vimekufa vyote
😭😭Pole Sana ndugu
Nilikuwa naomba video ya jinsi ya kulea vifaranga
Uleaji WA vifaranga
th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b.html
Nitumie video za kulea vifaranga
Somo LA kulea vifaranga
th-cam.com/video/4xqTBAKBHs4/w-d-xo.html
Mimi nashida vifaranga wangu wanamyezi miwili nanusu lakin wameanza kushusha mbawa na kutoa uhalo mweupe nakuteteneka vinakufa tu
Chanjo zipi uliwapa
Mmi wangu wanakufa ndani ya miezi 2 wanavaa koti na wanatowa maji midomini
Jifunze dawa kwa miez 2 ya mwanzo
th-cam.com/video/bj5xRWqzhhM/w-d-xo.html
Jinsi ya kulea vifaranga
Hello somo LA jinsi ya kulea vifaranga. Ni. Hilli
th-cam.com/video/4xqTBAKBHs4/w-d-xo.html
Shida au tatizo gani kuku anaatamia vizuri na anatotoa vizuri tu ila Sasa hufa zote vingali vidogo tu je huyo anatatizo gani?
Jifunze zaidi jinsi ya kulea vifaranga
Shukrani
Barikiwa sana
Asate ku tufunza
Tupo pamoja ndugu
Jinsi ya lulea vi faranga
Video zipo ktk channel hii andika jinsi ya kulea vifaranga by agalus TV
Jinsi ya kutengeneza chakula Cha.kuku
Chakula cha kuku hutegemea umri Wao. Zipo formula za vifaranga, wanaokua na wanaotaga. Jifunze zaidi Kupitia masomo haya
th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0Ettq9rfYN2okbgi0ionZdU.html
Naweza kupata namba yako
Wasap +255765467484
Duh alikufa 40 so sad
Mmmh pole sana ndugu🙆♀️
samahani tafazali sana munitumiye video zenu mafunzo yana ni vutia ; aksanti kwa yote
Enendelea kufuatilia video ktk channel hii zipo nyingi Sana
Je agalus mnauza vifaranga?
Ninataka kuanza kufuga wa nyama hivyo nataka nianzie na angalau 100.
Hivi sasa nimefuatilia masomo na mimeweza kuwa na kuku wa kienyeji wengi.
Nahitaji nifuge wa kuuza maana hawa nafuga wakienyeji. Mimekuwa na uelewa wa chakula madawa ila nahitaji vifaranga wa mwendo kasi
Kwa sasa hapana hatuuzi ndugu.
Jinsi ya kulea kifaranga mpaka akue
Video ya uleaji wa vifaranga ni hii
th-cam.com/video/4xqTBAKBHs4/w-d-xo.html
@@AGALUSTVAsante
Kweli
Mmi wangu wanakufa ndani ya miezi 2 wanavaa koti na wanatowa maji midomini
N
✍️
Kuaroni
Language please 🤷♀️ try to use English or swahili
Asante sana
Tupo pamoja
Jinsi ya kulea vifaranga
Uleaji WA vifaranga
Uleaji wa vifaranga vya kuku: th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b.html