JINSI YA KULEA VIFARANGA VYA KUKU WA ASILI BILA MAMA YAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Jinsi ya kulea vifaranga vya kuku wa asili maeneo ya Kijijini bila kumtumia mama yao. Hata kama hakuna umeme.
    #kuku#ndui#vitunguusaumu

ความคิดเห็น • 562

  • @annahkariuki6962
    @annahkariuki6962 3 ปีที่แล้ว +12

    I'm much interested God bless you for educating us.

  • @AboabdulhakimAlfaleh-in7jo
    @AboabdulhakimAlfaleh-in7jo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana ndugu yangu lwa mafinzo......mimi huwa nkipata changamoto ya madawa ya vifaranga wakiwa wadogo,,,,kuna maduka mengi wanatuuzui madawa yenye sio halali.nengeomba uniambie majina madawa ya kila stage ya kuku.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Fuatilia dawa hizi
      th-cam.com/video/bj5xRWqzhhM/w-d-xo.html

  • @paulinas.3631
    @paulinas.3631 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana kwa somo zuri, nataka kujua ni baada ya muda gani kuku wa kubwa wanapewa chanjo na ni chanjo gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน +1

      Kuku wa umri gani na ni wa Aina gani
      Lakini chanjo za kuku ratiba video yake
      th-cam.com/video/uakD0dx61Rg/w-d-xo.html

  • @RenathaJames-e6s
    @RenathaJames-e6s หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi sana kupata somo hili kwa undani zaidi. Asante sana maelekezo yanajitoshereza. Naamini nitaanza hilo jaribio mara tu kuku wangu atakapo totoa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu 🙏🏿 Barikiwa pia

  • @WenesariaSwai
    @WenesariaSwai หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa mafunxo ya ufugaji wa vifaranga. Nimrpokea naamini nitakuwa na vigaranga ving8 hivi karibuni

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Hongera sana

  • @allyabdi5365
    @allyabdi5365 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nashukuru kwa elimu na nina amini kua nitafikia malengo ya ufugajimkuku wa kienyeji,malengo yangu ni kiua na kuku elfu moja

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana ndugu

  • @JeldaKayoka-w8b
    @JeldaKayoka-w8b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vizuri mwalimu wa ufugaji nashukuru sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia ndugu 🙏🏿

  • @kulwakipuga5487
    @kulwakipuga5487 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru kwa some zuri,je hiyo dawa ya asili uliotaja kama alovera unawezaa ukawachanganyia vifaranga kwenye maji siku ya kwanza ulivyowatoa kwa mama yao pamoja na hiyo vitamin

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน +1

      Vifaranga angalau wawe na umri wa wiki 3++

  • @erineosanga7125
    @erineosanga7125 หลายเดือนก่อน +1

    Nimesikiliza maelezo yako kwa umakini wa hali ya juu sana,Nimejifunza vitu vingi mno. niseme asante sana kwa elimu hiii. Naomba msaada wa haya maswali haya
    1.Mama wa vifaranga mara baaada ya kumnyang'anya wale watoto anachukua muda gani tena kunza kutaga ?
    2.Utagaji wake unaendelea kama awali au utapungua ?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Baada ya wiki 2 hadi 3 kuanza kutaga Tena japo utategemea na lishe utakayo mpa. Utagaji hautapungua kama lishe itakua nzuri. Tunashukuru pia na wewe kwa kutufuatilia

  • @seraphiammassy
    @seraphiammassy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki wewe si mchoyo wa elimu Hadi nimehamasika.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako

  • @blessedjolene1592
    @blessedjolene1592 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana...napenda kufuga Ila vifaranga vinakufa Sana Sasa nimeelimika

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Saafi sana kwa kuelewa karibu Tena ktk ufugaji kuku

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 3 หลายเดือนก่อน +1

    shukrani kwa kugawa maarifa huu ni mradi ninaoutamani Sana ila kwa sasa hivi niko juu juu bado nitakapokuwa nimetulia mbona nisiufanye

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

  • @MajaliwaTengule-rf2kt
    @MajaliwaTengule-rf2kt 7 หลายเดือนก่อน +2

    Samahani kaka, Mimi nimejenga Banda la banzi kwa ajili ya vifaraga, 16:35 kwandani ukutani nikaweka kapeti je ni sawa kwa afya ya vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 หลายเดือนก่อน

      Vitu vyenye kuteleza c vizur kw vifaranga vya siku 1 hadi 7 pia kapeti halivyonzi kinyesi. Ni vizur ukatumia magazet. Pia kuleta barid kwa vifaranga

    • @celestinermantenga2463
      @celestinermantenga2463 3 หลายเดือนก่อน +1

      Toa kapeti haraka sababu inasababisha baridi kali.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Yes tupo pamoja

  • @johnthairu8683
    @johnthairu8683 2 ปีที่แล้ว +3

    Thanks for your support, I have learned alot And trust you will be blessed.keep on updating us,
    You have become my resource person.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Welcome🙏🙏

  • @user-qh8kl9mu5w
    @user-qh8kl9mu5w 23 วันที่ผ่านมา +1

    We ni mwalimu mzuri nimeelewa ,asante kwa somo zuri ila nachangamoto ya kuku wangu hawatotoi mayai yote nayomwachia mpaka inatia uvivu inanilazimu kupeleka mayai kwenye mashine

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  23 วันที่ผ่านมา

      Ok Kuna mbinu hii ya kwa kuku kushindwa kutotoa mayai . Video
      th-cam.com/video/wgm_6tAEcLw/w-d-xo.html

  • @frolabaton2577
    @frolabaton2577 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zur napenda kufuga naomba kujua Zaid kuhusu dawa kuanzia kifaranga wasiku 1 had mda gan ana acha kunywa dawa mnisaidie

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Sawa ndugu fuatilia video hii apa. Pia angalia video za chanjo za kuku
      th-cam.com/video/bj5xRWqzhhM/w-d-xo.html

  • @mesikamesika3008
    @mesikamesika3008 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana mimi nimeanza ufugaji wa kuku asili tatizo vifaranga vinakufa sana najitahidi madawa na vyakula ila nafeli naomba msaada ya ratiba za chanjo na madawa na mchanganyiko wa chakula

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pole sana ndugu. Ebu tuanze apa jinsi ya kulea vifaranga👇
      th-cam.com/video/4xqTBAKBHs4/w-d-xo.html

  • @jpintrospection1315
    @jpintrospection1315 3 ปีที่แล้ว +2

    Mko vizur Sana kaka lakin hapo kwenye magazet Kuna changamoto kwasababu vifaranga wanapokuwa wengi hata kinyesi kinaongezeka,na hii naweza kusababsha vifaranga kupata magonjwa.Ushauri wangu Bora kuweka wavu pale chin sio gazeti!!!!

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว +1

      Yaaaah upo sahihi kabisa 🙏🙏

  • @Robert-ev5hp
    @Robert-ev5hp 3 หลายเดือนก่อน +2

    Great lessons

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Thank you

  • @amanikissanga2577
    @amanikissanga2577 3 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru sana kwa somo lenu na vipindi endelevu.
    Naomba munielekez vizuri kuhusu mchanganyiko wa vyakula bora vya kulea vifaranga na kuwap kuku watage bila kungoja msimu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว +1

      Ok 🙏

    • @jeremiahtartbu299
      @jeremiahtartbu299 3 ปีที่แล้ว +1

      Mm naitaji nijue vifalanga ninawaifaz vp napia naomba nijue kuku niaze na watot au wakubwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว

      Kwa wakienyeji anza na wakubwa saizi ya kat. Fuatilia somo hili👇 jinsi ya kuanza ufugaji mambo muhimu
      th-cam.com/video/N-DBOzac8pU/w-d-xo.html

  • @estherkadzo8143
    @estherkadzo8143 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante sana kaka

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @MadelinaLweganwa
    @MadelinaLweganwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zuri la utunzaji wa vifaranga nimefirahi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu

    • @VeronicaMakaranga
      @VeronicaMakaranga 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kaka mungu akubariki sana matamanio yangu ni kufuga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk iyo kaz

  • @mujob6746
    @mujob6746 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukrani father good job

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      💯 pa1 sana

  • @faidhasaidi4436
    @faidhasaidi4436 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo hili nimejifunza na nmeelewa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pa 1🤝🤝

  • @AlexFugason
    @AlexFugason หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni mstaraabu sana ubarikiwe broo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu iwe heri na kwako

  • @graceshoo6547
    @graceshoo6547 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana kwa somo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako

  • @noahuswege1232
    @noahuswege1232 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru Kwa elimu hii mungu awabariki

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu nawe pia iwe heri kwako

  • @AishaKechegwa
    @AishaKechegwa หลายเดือนก่อน +1

    Habar kaka naomba kuuliza vifaranga wangu wanashusha mbawa nawapa dawa lkn hawaponi wanakuwa kama wanasinzia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Dawa gani uliwapa

  • @Karata_og
    @Karata_og 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongera Sana kaka kwakutupa ujuzi mzuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว

      Pa1🙏

    • @mariamukahola3725
      @mariamukahola3725 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimefurahi sana tufafanulie vizuri ili tuweze kuinua kipato kiurahisi zId nimeipenda sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki nawe pia 🙏

  • @user-bb9nx6bg9y
    @user-bb9nx6bg9y ปีที่แล้ว +1

    Shukrani Sana,, lakini mnapatikana mkoa upi,, kwa anaehutaji kujifunza kwa kutazama physically

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Karibu Sana ndugu

    • @user-bb9nx6bg9y
      @user-bb9nx6bg9y ปีที่แล้ว +1

      @@AGALUSTV wapi mnapatikana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Dar.,bukoba,mbeya, moro, kote tunawatu tunafanya nao kazi

  • @floramakela3314
    @floramakela3314 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki kwa faraja zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Amin🤝🙏🙏

  • @wilfredjonas1796
    @wilfredjonas1796 2 ปีที่แล้ว +1

    Some zuri nimelipenda naomba kujua kuku anauwezo was kutotoa vifaranga vingapi kwa mwaka

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว +1

      Hutegemea utunzaji wa vifaranga kama atawalea vitoto yeye mwenyewe kuku atachelewa na apo utapata idadi y vifranga vichanche kwa mwaka ila kama uta lea vifaranga wewe. Kuku mara baada ya kutotoa atakaa wiki mbili ata taga tena sasa apo utahesabu siku 21 atatotoa tena na kurudia tena kutaga baada ya wik 2 tusaidiane hesabu kidogo ndani ya mwaka atataga mara ngapi?🙏🙏

  • @safariyainjilitv4110
    @safariyainjilitv4110 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo zuri jee kama kuku wanapiga sana chafya na wana kunya sana maji ttzo ninini??
    Na jee mimi nimekua nikiwapa sana mchunga jee hauna madhara kwao

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Ni ugonjwa wa mafua wape dawa za mafua na kikohoz. Kuhusu ayo majani si shida ila usiwape kila cku wape angalau kwa wiki Mara 1/2

  • @AmmarJuma-cz4qc
    @AmmarJuma-cz4qc 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asalamu alaykum mimi niko Zanzibar nahitajikufuga kuku wa kienjeji lakini wezi wa kuku ni wengi samahani nifaje ili nifuge kwasalama

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Pole sana ndugu apo ni kuboresha mazingira ya nyumbani kwako kama vile kujenga fensi n.k

  • @TheresiaTemu-ye1lm
    @TheresiaTemu-ye1lm 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee sana kaka kwa somo zur sana hongera kaka

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @UbatuHeri
    @UbatuHeri 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mwalimu tunashukuru kwa utaalamu, ila sasa hayo magazeti tutayapata wapi mara kwa mara hapa kijijini ? Na ningeomba unitajiye mitishamba ambayo yanasaidiya kutibu kuku wa asili , maisha ya kijijini ndo hayo tena wala duka la dawa labda hakuna

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Sawa ndugu ila waweza andika apo you tube tiba asili za kuku by agalus TV zitakuja video nyingi Sana za mimea kwa kuku

  • @ElizabethMtetema
    @ElizabethMtetema 16 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba kujua jinsi ya kujenga banda la vifaranga vya kuku saso ..kuku 50 linakuwaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  15 วันที่ผ่านมา

      Banda la vifaranga
      th-cam.com/users/shorts4lnSnguqLS0?feature=share

  • @miselemaninuri4415
    @miselemaninuri4415 2 ปีที่แล้ว +1

    Meseleman niko na kuku 7 na majogoo mawili lakini tatizo kila wakiangua mayaii kisha wanaacha mayai hawaya lakini shida nn pengine naomba ushauri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Yawezekana mazingira ya viota si Mazur au Aina ya kuku wana asili ya chotara

    • @miselemaninuri4415
      @miselemaninuri4415 2 ปีที่แล้ว +1

      @@AGALUSTV kwahiyo chakufanya ni nini

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Peleka kwa mashine mayai

  • @SaidAbdalla-gl2dp
    @SaidAbdalla-gl2dp 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wengi hupata maradhi na kufa kwa wingi suala je ifanyike nini kuwaokoa na janga hili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Zingati DAWA na CHANJO izi
      th-cam.com/video/bj5xRWqzhhM/w-d-xo.html

  • @idyusuph1924
    @idyusuph1924 2 ปีที่แล้ว +1

    Elimu nzuri Mungu awabariki

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Amina KUBWA 🙏🤝

  • @annamikamollel360
    @annamikamollel360 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana kaka masomo Yako yanatujenga mno

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi

  • @user-bd4uy4ck6y
    @user-bd4uy4ck6y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa somo zuri mmo hapo umenigusa sana je kwangu ni shida kupata jiko kama hilo je mbadala nitumie jiko gani? naitwa Veronica

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Taa za joto za kuku

  • @AllySengao
    @AllySengao 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kujua n aina gan ya chakula cha kulishia vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Crumble stater

  • @annastaziangowi4036
    @annastaziangowi4036 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ninashukuru Kwa hili SoMo endelea kutuelimisha ili kitusaidia Kwa ufugaji Bora kama wewe Mungu akubarriki

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako

  • @KaumbaKayumbacalvin
    @KaumbaKayumbacalvin 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi napenda ufugaji wa kuku lakini sina na ujuzi zaidi kuusu janjo yao na nama ya kukuza vifaraga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Fuatilila video zetu ratiba ya chanjo za kuku kupitia Channel hii ya AGALUS ONLINE TV. Na jinsi ya kulea vifaranga masomo yote yapo pia. Karibu Sana ndugu ktk ufugaji kuku

  • @hellenomar2177
    @hellenomar2177 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo lavifaranga,🙏

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana ndugu tupo pa1 🙏

  • @epiphankisava5175
    @epiphankisava5175 3 ปีที่แล้ว +1

    Aise nilikua na wazo la kufuga kuku sasa mmenipa hamasa zaidi mungu awabariki sana ipo cku ntawapa mrejesho wa masomo yenu ..thank you very much ❤

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว +1

      Barikiwa sana ktk hatua mpya ya uchaguzi 🙏

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe sana katka hatua mpya ya ufugaji🙌

    • @lusaelimu2580
      @lusaelimu2580 2 ปีที่แล้ว +2

      Hata mm leo ndio siku ya kwanza kupitia huku nimependa mungu awe nasi mafanikio tutayapata
      Amin

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Amina🙏

  • @SafuAzizi
    @SafuAzizi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi safu azizi nashukuru kwa elimu ya ufugaji wa kuku naomba Kila mnapotoa darasa nami nilipate

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu apo ni subscribe tu utapata taarifa

  • @samsonistephano2197
    @samsonistephano2197 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana somo zur nilkua nauliza ukiwa mazingira ambayo hayapatikan hayo majko ya joto hauwez kutumia njia nyingine kuleta joto?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว

      Tumia umeme na balbu iwe ni wat 100, au 200

  • @brightsilayo5164
    @brightsilayo5164 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante I Sana mmenishawishi kwel

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Karibu sana kwenye ufugaji. 🙏

  • @mariammwina2073
    @mariammwina2073 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana nimejifunza vya kutosha,endapo una banda ambalo lina sakafu ya saruji natakiwa kudandaza magazeti?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Ndyo mabox kwanza then gazet

  • @BintShaban
    @BintShaban 25 วันที่ผ่านมา +1

    naombeni mnisaidie dawa ya mapele kwa vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  25 วันที่ผ่านมา

      Video hii itakusaidia Sana
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @merinamkocha3818
    @merinamkocha3818 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zuri. Ni nini tatizo la kuku kula mayai yao,? Msaada please

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Sababu na Tiba ya kuku kula mayai. Video
      th-cam.com/video/g60lTm-IjT0/w-d-xo.html

  • @esterjohn1277
    @esterjohn1277 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante mkuu hilo jiko nitaliptaje sasa niko mwanza

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว

      Sisi tupo mbali nawe ila watafute wauze vyungu wanayo

    • @esterjohn1277
      @esterjohn1277 2 ปีที่แล้ว +1

      Haya asante mkuu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pa1🤝

  • @ombenikefa7342
    @ombenikefa7342 3 ปีที่แล้ว +11

    Bro ili somo umeelezea vizuri sana... yan ume reflect reality ya katika ufugaji wa kuku.. tofaut na video nyingine nlizoona mtandaon

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว +1

      Pa 1🤝 Barikiwa

    • @rosembwambo6079
      @rosembwambo6079 11 หลายเดือนก่อน

      Alovea nzuri kwa vifaranga...vifaranga vina wiki tatu naweza huvitenga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Yaaah vizuri TU sasa jifunze jinsi ya kulea vifaranga kwanza

    • @NathanielPeter-wv3wg
      @NathanielPeter-wv3wg 3 หลายเดือนก่อน +1

      Naweza muwekea kuku Mayai ya kisasa?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Kama Yana mbegu sawa tu waweza

  • @DelphinaCharles
    @DelphinaCharles 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm Nina changamoto kuku wanakula mayai nafanaje naomba msaada

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Ongeza DCP AU midini ya chokaa na mifupa ktk mchanganyiko wako, chakula

  • @user-ph7rk1bf1w
    @user-ph7rk1bf1w 3 หลายเดือนก่อน +1

    Je naweza kupata namba yako ili uje kwenye banda langu kwa maelekezo ya karibu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Upo wapi ndugu

  • @attokilwiye3088
    @attokilwiye3088 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana

  • @neemamalaki8512
    @neemamalaki8512 ปีที่แล้ว +2

    Kuku anatakiwa kupata chanjo kila baada ya muda gani?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Fuatilila video za chanjo zote za kuku ktk channel hii

  • @ruthnyabuto5460
    @ruthnyabuto5460 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni ukweli kabisa hata mimi nilikuwa nafuga vifaranga hadi 80 nilikuwa natumia madawa ya agrovet mahali pa kulala nilikuwa natumia box nanikatoboa mashimo shimo nakuwawakishia mwanga wa taa hadi asubuhi hilo funzo ni nzuri kabisa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Hakika🙏

  • @jumanjoro782
    @jumanjoro782 3 หลายเดือนก่อน +1

    Brother mie mfugaji mpya nimeelewa kwanza ila uku kwetu mkaa mzito ishu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tutafute namna ya kupata

  • @mzeesimba802
    @mzeesimba802 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi wengine ambao tuna tatizo la uziwi wapi tunapata bandiko la maandishi?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Sawa ndugu tunalifanyia kaz

  • @protaspaschal6675
    @protaspaschal6675 3 ปีที่แล้ว +2

    Vifalaga vina pokuwa na mwezi 0 sikuya kwaza Nita vifuga mdagani miezi migapi waze kutaga kuzwa kibiashala

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว

      Kuku wa kienyeji ni miez 7 hadi 8

  • @reubenmdoe717
    @reubenmdoe717 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongela kaka mambo yameiva kwaufundishaj wenu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana🙏

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว

      Barikiwa🙌

  • @user-ts9jc5zt9f
    @user-ts9jc5zt9f 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni mgeni wa kufuga nataka nianze kufuga je lazima niwe na banda kubwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 หลายเดือนก่อน

      Utegemea na mtaji wako pia na eneo lako

  • @happykazungumenzamenza1277
    @happykazungumenzamenza1277 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hili jiko nalipataje nikiwa Kenya nahitaji Jiko mbili maana sidhani kama kenya zapatikana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Sokoni kwa wauza vyungu

  • @brightonngerere5588
    @brightonngerere5588 2 ปีที่แล้ว +1

    Elimu nzuri nawashukuru

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Barikiwa pia ndugu

  • @sarahrhobi4487
    @sarahrhobi4487 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vipi nata wapi vifaranga vya kuku si broiler? Na ni bei gani kifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tutaendeleea kuwasiliana kukupa taarifa zaidi

  • @user-fd2fx8gz6b
    @user-fd2fx8gz6b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zuri,
    Baada ya kuwalisha starter kwa wiki nne hapo unawalisha Nini Tena?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Grower

  • @SaidiMabula-ec3jc
    @SaidiMabula-ec3jc 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukru sana kwa somo hili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  8 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @user-jh5mz6gk8w
    @user-jh5mz6gk8w 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa fundisho,je gazeti utakuwa unabadilisha baada ya siku ngapi?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 หลายเดือนก่อน

      Yakichafuka tu. Angalau wiki mbili

  • @PeterMatiko-rs9yv
    @PeterMatiko-rs9yv 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah brother

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu

  • @UpendoLema-jc5dh
    @UpendoLema-jc5dh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Samahanni wakiwa wadogo kamawiki mbili unawap chakulagani pamoja na dawa gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Ni kuku wa Aina gani... Kuhusu dawa Jifunze ratiba ya chanjo za kuku kupitia video ktk channel hii andika tu ratiba ya chanjo za kuku by agalus TV

  • @josephenias2184
    @josephenias2184 6 หลายเดือนก่อน +1

    He nikitaka vifaranga wa kienyeji nawapataje ni sh ngap

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Kwa sasa uzalishaji umepungua kdogo. Tulionao hatuuzi ndugu. Japo tutakutafuta wa kiongongezekq zaidi

  • @noelymollel8720
    @noelymollel8720 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Amen 🙏🏿 you too

  • @emmanuelmwaluko2404
    @emmanuelmwaluko2404 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba orodha ya kutengenez chakula Cha kuku hatua zote

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Video ya. Chakula cha kuku Aina ZOTE ipo apa
      th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0Ettq9rfYN2okbgi0ionZdU.html

  • @SarahBlack-ry7fe
    @SarahBlack-ry7fe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nili wapa chanjo wakafa wote. Ili kuwa sababu Gani?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Pole Sana ndugu walikua Wana umri gani na ni chanjo gani uliwapa

  • @onesmusmusembi5304
    @onesmusmusembi5304 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Ni Kwa mafuzo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Barikiwa sana🙏

  • @user-fb5tj5zy4z
    @user-fb5tj5zy4z 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nilipata changamoto ya vifaranga kudonoana sana. Nifanyeje?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Ongeza vyakula vya protein, Kisha Funga majani AU maboga mboga mara kwa Mara

  • @sarahmbonea1013
    @sarahmbonea1013 2 หลายเดือนก่อน +1

    Je nao wahitaji chanjo kila baada ya miezi mitatu?Naitwa Sara mbonea

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      'ndio ratiba ya chanjo ipo pale pale

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      'ndio ratiba ya chanjo ipo pale pale

  • @josephndunguru6552
    @josephndunguru6552 ปีที่แล้ว +1

    Nashukur kwa elimu ya ufugaj kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Barikiwa pia

  • @marykiula501
    @marykiula501 2 ปีที่แล้ว +1

    Habari za asubuh kaka sorry again nilikua nauliza kipindi bado wako na mama yao zile siku 3 za mwanzo watakua wanakula iyo iyo stata au ni kuku wa kienyeji nitaanza kuwapa chanjo ya sina gani na muda wa kuwapa iyo chanjo nianze wakiwa na week ngapi nisaidie pls nimevutiwa sana kaka pls.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pale kwenye kiota chakula si lazima ila maji waweza mpa mama mtu kwenye chombo kdogo tu akanywa na vifaranga waweza pia wawekea chakula kdogo sana. Vifaranga anakaa bila kula kw izo siku 2 bila shida. Kuhusu Ratba ya chanjo kuna somo tulitoa fuatilia hili👇👇
      th-cam.com/video/uakD0dx61Rg/w-d-xo.html

  • @HamisiNyaryanga
    @HamisiNyaryanga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Somo zuri. Kuna mawasiliano ya moja kwa moja kupitia Whatsapp?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tunaandaa utaratibu uo ndugu

  • @PaulinaMbunda
    @PaulinaMbunda หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kwa somo zuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @silvanusrobert895
    @silvanusrobert895 2 ปีที่แล้ว

    Nitapata wapi majiko ya udongo mimi Sina utaramu wa kutengeneza ni Silvanus Robert songambele urambo Tabora

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Kwa wauza vyungu

  • @user-gg7yi6nc4x
    @user-gg7yi6nc4x หลายเดือนก่อน +1

    Aki tuko Kenya nimependa aki kuku utajili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Hakika ndugu karibu Sana Katika ufugaji

  • @PaulKashinde-pi2cd
    @PaulKashinde-pi2cd 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nataka kujua tiba za asili kwakuku wakienyeji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tiba za asili za kuku videos
      th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL.html

  • @MathiasMboya
    @MathiasMboya 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna dawa gani za asilia kutibu magonjwa mbali mbali?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tiba asili za kuku jifunze zaidi kupitia video
      th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL.html

  • @user-dm1lo1hm4h
    @user-dm1lo1hm4h 9 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba uni add kwenye group ili nijifunze zaid

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      Hatuna group ndugu. Tukifungua ntaku add

  • @lawrencemayengo9416
    @lawrencemayengo9416 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn mm kuku wanakufa kwa utitiri nawek dawa lkn ikisha totoa baada y siku tatu vimepata vifaranga jmn nisaidieni

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Banda lako lipoje? Ila fuatilia somo hili tiba ya utitili ni kisamvu pia vitunguu saumu
      th-cam.com/video/3BpbwyWgSb0/w-d-xo.html
      Kuhusu vitunguu saumu👇
      th-cam.com/video/2UFuBrIJA-A/w-d-xo.html

  • @veronicamwaseba2189
    @veronicamwaseba2189 6 หลายเดือนก่อน +1

    asante kwa somo zuri mbeya mpo sehemu gani? naomba namba za simu ili niwatafute

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Ok

  • @user-ou7pe3mv6k
    @user-ou7pe3mv6k 2 ปีที่แล้ว +2

    Haki nimeipenda 🙏🙏🙏

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Karibu sana ndugu🙏🏿🙏🏿

  • @fatumamajambo8160
    @fatumamajambo8160 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kwa sote ila nauliza jiko huwa linakaaa waZi mda wte au inakuaje?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว +1

      ,hapana mfuniko wa jiko una achwa nafasi kidogo wazi si full opening

  • @anethrwebitara194
    @anethrwebitara194 หลายเดือนก่อน

    Je banda likifunikwa pote vip hewa maana banda hilo picha haijaonesha vizuri naomba nielewe vizuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Kwa vifaranga Sababu ya barid haina shida

  • @devothanzenga343
    @devothanzenga343 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi Niko kijijini nataka kusafirisha dawa ya new casto,na wanasema ikipata joto unakuwa imeharibika,nanikitoka mjini saa 8 mchana nakokwenda nifika saa 1 jioni ,je nitaisafirisheje Naomba msaada wa njia ya kuisafirisha

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 ปีที่แล้ว

      Kwa maelezo zaidi waweza muona muuza dawa. Lakini uwa wanatoa na barafu

  • @rosekhalid2953
    @rosekhalid2953 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimelisukiliza ili Somo umesema baada ya wk nne ndiyo tuwape chanjo na zile za asili tunawapa wakiwa na muda gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Dawa za asili hazina Ratba maalum yaani wewe uwe na tabia y kuwapa tu Mara kwa mara

  • @bakundaraphael3771
    @bakundaraphael3771 2 ปีที่แล้ว +1

    Samahani naomba kuuliza unapoona kifaranga kazubaa au kushusha mbawa utampa dawa gani yaasili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Vitunguu saumu utavisaga na kuviweka kwa maji baada kumenya

  • @user-uz3ge3tc5f
    @user-uz3ge3tc5f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteee

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu

  • @marykiula501
    @marykiula501 2 ปีที่แล้ว +1

    Samahani kidogo na dawa ya minyoo nitaanza kuwapa hao vifaranga wakiwa na umri gani usinichoke pls kaka na pia ktk hili kuna mtu kasema kuliko kuweka box au gazet tutumie wavu huo wavu ni wa aina gani ambao nitawawekea chakula nielimishe tusaidiane pls

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Wala usijali tupo kwa ajiri y kaz hii. Ila dawa za minyoo ni baada ya miez 3. Wire ni chicken wire ni ule wenye vitundu vidogo vidogo unapatikana Hard ware. Maduka y ujenz , 🙏🙏