Naitwa neema materu napatikana Moshi vijijini nawashukuru Sana kwasomo lenu laufugaji wakuku nimenufaika Sana nilikuwa nafuga kwakukata tamaa lakini sasa nimekuwa mfugaji Bora nanimeweza kuzalisha vifaranga wengi ndani. Ya mwezi mmoja nakuvimudu navinakuwa vizuri ninafurahia ufugaji wakuku wakienyeji tuko pamoja katika ufugaji
Asante sana jaman tumepata faida nitawambia pia na ndugu zangu wanaofuga na mimi pia napenda ufugaj nikifuga nitawapa nakumbuka kuku walikuwa wakiumwa zaman tulikuwa tunawapa tetesaklini
Asante kwa kibindi hiki ,kitunguu saumu upewa kuku sote za kienyeji na za kishungu na ikiwa unatumia hii kitunguu saumu ni vizuri kutumia dawa za agrovet ili kushuia magonjwa
Nimeshukuru sana kwa mawaiza yako ningependa kujua kama kuku wangu ni wanyonge na wanavimba jicho moja ama yote mawili shida anaweza kua nini naomba usaidizi
Asante sana kwa mafundisho mazuri mimi nina vfaranga vina siku ya tano leo nilianza kuwapa maji ya Alovela Mchanganyiko na Pilipili lakini asubuhi mpapa muda huu nasikia kama vinamafua nifanyeje?
Vifaranga angalau wafike wiki 3 ndio uanze tumia mimea. Kuhusu mafua inabid uwape dawa za dukani maana ao ni vifaranga pia angalia mazingira ya mzunguko WA hewa uwe mzuri
Ok ni dalili ya coccidiosis. Apo kachukue tu dawa dukani Zipo nyingi kama vile Amprolium n.k mwambie kuku wangu wanatoa kinyesi cha rangi ya tofari. Kuna somo hili kuhusu kila ugonjwa na dawa zake🙏👇👇 th-cam.com/video/DiG5lAtaZ88/w-d-xo.html
Asante kwa somo zuri kumbe dawa tunazo nyumbani lakini hatujui napiga hatua mbele kwa somo hili. Swali Kuna vitunguu vya kienyeji na vya kisasa je vyote vinafaa?
Ubarikiwe Saaana yaan kuku wangu walikuwa wanasinzia wamevimba macho na vifaranga nikawa asubuh nawapa pumba nawanyima maji...nawapa yaliyo na alovera na kitunguu swaumu...mme wangu alikuwa kakata tamaa....cku mbili tu wakanyanyuka jmn hili group limenisaidia.... halafu leo nmeangalia mayai n ya tofauti makubwa....halafu ilikuwa inaishia 11 inaatamia leo imefikisha 19...bado inaendelea...
Ndugu yangu sijui nimekosea au nimezidisha kuna kuku mmoja alikua analea nikamuekea asubuh kufika jion amekufa ila vifaranga havijafa ila wala kuku wengine hawajafa sasa sijui shida nn
Naitwa neema materu napatikana Moshi vijijini nawashukuru Sana kwasomo lenu laufugaji wakuku nimenufaika Sana nilikuwa nafuga kwakukata tamaa lakini sasa nimekuwa mfugaji Bora nanimeweza kuzalisha vifaranga wengi ndani. Ya mwezi mmoja nakuvimudu navinakuwa vizuri ninafurahia ufugaji wakuku wakienyeji tuko pamoja katika ufugaji
Barikiwa sana🙌 Mungu awe nawe🙏🙏🙏
Naitwa Mariam naomba kuuliza hata kuku wa mayai wale wa kizungu naweza kuwapa hivyo vitunguu swarm?
Mungu Baba wa Mbinguni akubariki mwanangu kwa mafundisho mazuri kwetu wafugaji
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
Asante kwa Somo mungu akubariki
Amina ndugu barikiwa pia
Asante sana jaman tumepata faida nitawambia pia na ndugu zangu wanaofuga na mimi pia napenda ufugaj nikifuga nitawapa nakumbuka kuku walikuwa wakiumwa zaman tulikuwa tunawapa tetesaklini
Barikiwa sana ndugu
Asante sana mwalimu kwa mafunzo yako.Hakika nimefaidika mno
Barikiwa sana🙏
Asante sana mtaalamu kwa somo zuri na linaloeleweka
Karibu Sana
Ubarikiwe, nimejifunza kitu
Amina KUBWA sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Asante sana ubarikiwe
Amina ndugu nawe pia
Asante SANA kwa faida hizi luluki, endelea kubarikiwa
Amina ndugu .iwe heri pia kwako
Asante kwa kibindi hiki ,kitunguu saumu upewa kuku sote za kienyeji na za kishungu na ikiwa unatumia hii kitunguu saumu ni vizuri kutumia dawa za agrovet ili kushuia magonjwa
Upo sahihi🙏🙏
Asante. Sana. Kk. Kutuelimisha
Pa1🤝
Asante kwa mafundisho nami nitafanya hivyo,
Barikiwa
Ubarikiwe Sana ndugu yangu katika hili mungu akufungulie milango ya mafanikio
Amina ndugu nawe pia iwe heri ktk kazi zako
Asnt, Mwenyeezi Mungu akujaalie kwa somo zuri
Amina ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Nimeipenda pia nahitaji kufika
@JacobMwaimu karibu sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Asante sana nimejifunza kitu
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi sana
Nimeshukuru sana kwa mawaiza yako ningependa kujua kama kuku wangu ni wanyonge na wanavimba jicho moja ama yote mawili shida anaweza kua nini naomba usaidizi
Angalia hii video ina magonjwa mbali ktk macho na dawa zake
th-cam.com/video/V_OsGbOnjgA/w-d-xo.html
Asante sana, nimefuata polepole.
Sawa Barikiwa🙌
Mungu akubariki sana
Amina ndugu 🙏🏿 Barikiwa pia
Nashukuru kwa somo zuri nimelielewa
Barikiwa sana ndugu tupo pa1 🙏
Mungu akubariki sana, kwa somo zuri
Amina KUBWA sana ndugu ✍️🙏🤲
Somo zuri sana best , ubarikiwe ,ALLAH akuzishie kila heri
Amina ndugu.iwe heri na kwako
Asanteni sana kwa elimu hii Nzuri kwetu sisi wafugaji
Amina kaz njema🙏
Asante Kwa elim
Tupo pamoja ndugu
Asante sn kwa ushauri
Tupo pamoja ndugu
Asante sana Mungu akubariki
Amina KUBWA🙏🙏✍️
shukrani kwa huo ujumbe
Barikiwa 🙌
Na shukuru kwa ushauri.ila ni nge pendelea kufahamu gisi ya kukuza vifaranga kupitia mfumo wa kisasa,
Fuatilila video ktk Chanel hii jinsi ya kulea vifaranga
Andika jinsi ya kulea vifaranga by agalus TV
Shukrani sana kwa mafunzo.
Barikiwa🙌🙌
Asante kwa somo.
Kama kitunguu saumu inafanya kazi kwa b'damu basi hata kuku.
Big up!
Pa 1 sana🙏🤝🤝
Asante kwa somo nzuri
Barikiwa pia ndugu 🙏🏿✍️🤝
shukran kwa somo
Pa1 sana🤝
Asante Sana kwa mafunzo
Pa1🤝
Asante Sikujua hili kuku wangu wanatokwa navidonda mdomon na kwenye macho has vifaranga je naweza kuwasaidiaje
Iyo ni ndui kwangua vidonda paka alovera
Unafundisha vizuri sana.
Tunashukuru kwa Hilo Mungu azidi kua NAWE pia iwe heri ktk kazi zako
Asante kwasomi
Pa1🤝
Mungu akubariki sana, kwa somo zuri 9:38
Amina KUBWA sana ndugu ✍️🙏🤲
Josephine kemunto. Asante kwa somo nzuri
Barikiwa🙌🙏
Mungu awabariki kwa kazi nzur mnayoifanya,
Amina kubwa sana🙏🙏
Asante sana, ngoja kesho niwape
Ok Kila la heri🙏
Asante kwa somo
Big up
Barikiwa🙌
Nakupa bigup mwalimu kutupatia lulu.
Barikiwa pia
Thanks sana Kwa hayo masomo! Lakini yai haitanuka zaumu juu ata MTU akila hua nuka
Hapana halitanuka
Ukwel nabarikiwa sana na somo la ufugaji Mungu na akubariki sana
Amen 🙏
Asanteeeeee
🙏🤝🤝
Shukran mpendwa
Barikiwa🙌
@@AGALUSTV Nawe pia mpendwa uenipa maarifa shukran
Pa1 🤝🤝🤝🙏🙏🙏
Somos nzuri tafata ushauri wako
Sawa
Thank you for your encourage.
Welcome🙏
Barikiwa sana
Amina ✍️ Nawe pia ndugu 🙏🏿
Umenifumbua macho,nimepoteza hela sana kwa dawa za dukan lakin pia naomba kuelekezwa njia sahihi ya kienyeji ktk kutotoresha kuku wa kienyeji
Kupata kuku zaidi fuatilia video hii.th-cam.com/video/SnlWEN3NgSA/w-d-xo.html pia zingatia CHANJO
Asante Sana kaka
Pa1🤝🤝
Asante sana somo nimelipenda
Barikiwa
Ahsante kaka
PA moja ndugu, 🙏🙏
Shukuran kabisa Akuvarik Mola
Amin🙏🙏Kubwa
Asante kwa somo
Je kitunguu maji najani yake naweza kuwapa na mara ngapi kwa wiki
Hapana iko ni sumu usiwape fuayilia somo hili👇 kujua vyakula 10 vyenye sumu kwa kuku
th-cam.com/video/hzsRQAAtlgU/w-d-xo.html
Asante sana,
Pa1🤝
Asante kwa somo zuri
Pa1 sana🤝🤝🤝
Asante sana kwa mafundisho mazuri mimi nina vfaranga vina siku ya tano leo nilianza kuwapa maji ya Alovela Mchanganyiko na Pilipili lakini asubuhi mpapa muda huu nasikia kama vinamafua nifanyeje?
Vifaranga angalau wafike wiki 3 ndio uanze tumia mimea. Kuhusu mafua inabid uwape dawa za dukani maana ao ni vifaranga pia angalia mazingira ya mzunguko WA hewa uwe mzuri
Uko vizur mwalim
Barikiwa sana ndugu🙏🤝
Kuku anatoa kinyes kinaMaj maji meng samahani shida
Rangi gani? Kama cha kawida angalia chakula chako
Chakul sijachangany nimenunua kiwandani muda mwingin maji Maj ya kawaida muda rang ya tofal so wot
Ok ni dalili ya coccidiosis. Apo kachukue tu dawa dukani Zipo nyingi kama vile Amprolium n.k mwambie kuku wangu wanatoa kinyesi cha rangi ya tofari. Kuna somo hili kuhusu kila ugonjwa na dawa zake🙏👇👇
th-cam.com/video/DiG5lAtaZ88/w-d-xo.html
Asante nimependa somo hilo
Pa 1🤝🤝
Ngoja nijaribu kwa vifaranga
Fanya ivyo🙏
Ilawenyew nisaso
Sawa tu wape kila mwez angalau mara 1 mfurulizo siku 5/7
Amina.
🤝
Ahsante kwahilo somo.
Barikiwa🙌🙏
Thanks
Welcome🙏
Duu Asante
Barikiwa sana
Naomba kujua majani yaliyo salama kuwapa kuku. Je naweza kuwapa majani ya mronge na ya mihogo. Monica
Majani yapo mengi Sana ndugu. Andika you tube tiba asili za kuku by agalus TV zitakuja.
Kuku wangu wanapenda sana vitunguu
Ni vizuri wape tu
Asante sana kwani hata nami niko na kuku lakini hawaongezeki,lakini nimejua wapi nilikua nakosea mungu akubariki.
Amen🙏🙏
Asante kwa masomo mazuri na ya kelimisha. Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, naomba namba ya simu kwa mawasiliano.
Sawa ndugu tutakutumia
Wanatumia siku ngapi
Kama tiba wanatumia mfululizo kwa siku 3 hadi 5 kama Kinga angalau kila wiki Mara 1 AU 2
Asantee
Barikiwa sana🙌
Na mm vifaranga wanakufa sana na kuku wanaharisha sana naweza kuwapa
Wape tu itawasaidia
Ahsante kwa somo zuri
Pa1🤝
Asante nimefaidika naomba kukuuliza je naweza kutumia kwa broilers
Yaaah unaweza ni kuwa zoesha tu
We no mwalim mzr saana
Barikiwa pia
Barikiwa
Amina .Tupo PAMOJA NDUGU
Asanti Sana
Barikiwa
Mnaenda mbali
Pa1🤝🤝
Kuku wangu nawawekea vitunguu swaumu kwenye maji nashukuru wana endelea vizuri ila mimi nawawekea kila siku je niendelee kuwawekea au niache.
Angalau kwa wiki Mara 2
Asante saaana..
Barikiwa🙌
Kuku wangu wanakula mayai nifanyeje ili kukomesha ilo tatizo?
Wape madini ya chokaa na mifupa au DCP zipo madukani 🙏
Tunashukur kwa somo
Tupo pamoja ndugu
Asante
Pa1 🙏
Katabazi killian kaka asante kwa shulen
Pa 1 sana🤝🤝
ASante Sana
Tupo pamoja ndugu
Asante kwa somo zuri kumbe dawa tunazo nyumbani lakini hatujui napiga hatua mbele kwa somo hili. Swali Kuna vitunguu vya kienyeji na vya kisasa je vyote vinafaa?
Hakika ndugu. Ila vitunguu vyote vinatumika tu
Na kifaranga kumpa sawa ama
Tena ndyo vizur
Ubarikiwe Saaana yaan kuku wangu walikuwa wanasinzia wamevimba macho na vifaranga nikawa asubuh nawapa pumba nawanyima maji...nawapa yaliyo na alovera na kitunguu swaumu...mme wangu alikuwa kakata tamaa....cku mbili tu wakanyanyuka jmn hili group limenisaidia.... halafu leo nmeangalia mayai n ya tofauti makubwa....halafu ilikuwa inaishia 11 inaatamia leo imefikisha 19...bado inaendelea...
Amen. Barikiwa sana 🙏
Asante kwa somo.
Kweli hata Mimi mimepata matokeo chanya kwa tiba ya vitunguu saumu na alovera
Barikiwa sana 🙏
Mnapatikana wapi
Mm Niko kenya,jee hiki kitunguu Saumu Kitasaidia kwa Bata au nikwa kuku tu
Ata kwa bata Sawa tu
Nashukuru kwa mada
Barikiwa🙌
@@AGALUSTV hbr yko Mimi kuku wangu mwezi wa 7 huu hawajawahi kutaga hata siku 1 nifanye nn naomba unisaidie
Ni wa aina gani kisasa au kienyeji kwa maelezo zaidi wasap+255765467484
I'll try this method
Welcome, 🙏
It is so helpful my little brother used to solve much problems facing his chicks
Ndugu yangu sijui nimekosea au nimezidisha kuna kuku mmoja alikua analea nikamuekea asubuh kufika jion amekufa ila vifaranga havijafa ila wala kuku wengine hawajafa sasa sijui shida nn
Tuzid fuatilila zaidi shida itakua ni nini
Asante sana boss. Hiyo mara kwa mara ni mara ngapi kwa wiki?
Angalau Mara 2 kwa wiki
Nko vzr
Barikiwa🙌
Aina aja ya chanjo
Chanjo ni muhimu sana ndugu. Maana magonjwa ya chanjo mengi ni ya virusi.
Samahani nataka kujuwa ni kuku wote hata wale.wa kizungu au ni kienyeji tu,by Mariam
Wote ndugu
Naenda Kuanza biashara ya kuku
Karibu sana🙏
Leo ndio nimeona nalala yako Kaka nikiludi tz nitajifuza ufugaji je ? Unapatikana wilayagani?
Barikiwa Sana ndugu
Vitunguu swaumu nisalama kwa vifalanga nakama nisalama nimalangapi kwa mwezi peter mafuru kutoka mwanza
Ni salama tena sana kwa vifaranga. Wape tu kuku wako angalau Mara 2 kwa wiki
Nauliza vitunguhu ivyo tunawapa kuku wa umri gani?
Kuanzia wik ya 4++
Safi sana!
Mwalimu mzuri! Nimeamua kusubscribe!
Asante sana🙏
Nimelipenda somo Sana!!
Karibu sana na ubarikiwe🙏
Namba zako
Ntakutumia
Unaweza wapa vifaranga vitunguu swaumu
Ndyo na nzuri sana kwao