MAGONJWA YA MACHO KWA KUKU NA TIBA ZAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Magonjwa ya macho kwa kuku ni changamoto kwa wafugaji wengi. Macho ya kuku yanaweza kupatwa na changamoto hizi
    #magonjwayakuku
    ✍️Kuvimba
    ✍️Kutokwa na uchafu
    ✍️Kutokwa na machozi
    ✍️Kutokwa na machozi
    👉Kujua magonjwa mbalimbali ya kuku
    • Magonjwa ya kuku
    ✍️Dawa mbalimbali za kuku video ZOTE zinapatikana hapa
    • Dawa za kuku
    ✍️Tiba asili za kuku kwa kutibu magonjwa mbalimbali
    • Tiba asili/Kienyeji za...

ความคิดเห็น • 365

  • @loycejoyce8077
    @loycejoyce8077 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Sana kwa SoMo kwa kweli kuku wangu wamepata changamoto hiyo ya macho kuvimba na ndani Kama Kuna mtindi mzito kwa Somo hili niwashukuru nimekitunza Jambo na mengine nilikua sijui jinsi ya kuchunguza kuku mwenye tatizo kupitia macho yake nlmbarikiwe sanaa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Pole Sana ndugu ni upungufu wa vitamins. Wape kuku wako vitamins mara kwa Mara. Ondoa uo uchafu Machoni kisha wape vitamin na dawa ya mafua

  • @yasintalyimo5340
    @yasintalyimo5340 21 วันที่ผ่านมา +1

    Asante sana kaka Mungu akubariki

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  21 วันที่ผ่านมา

      Amina KUBWA sana ✍️🙏

  • @ESTERMFUGALE-wp5le
    @ESTERMFUGALE-wp5le 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante naomba mnitumie hiyo video niweze kuna.. Nimehangaika sana kuwatibia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 หลายเดือนก่อน

      Ya ugonjwa wenye dalili ipi

  • @ESTERMFUGALE-wp5le
    @ESTERMFUGALE-wp5le 7 หลายเดือนก่อน +1

    Was ssna nmejuelewa. Nitafanya hivyo kesho.
    Asante

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana ndugu

  • @kamugishatv2386
    @kamugishatv2386 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante. Katika ufugaji wa kuku wa kienyeji. Ni njia gani bora. Kuwaachia wazulule ndani ya fensi au kuwafungia bandani. Naomba faida ya kila njia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Njia nzuri ni Ile nusu huria yaani kwa fensi uku ukiwafungia ndani kw muda

  • @neemamateru4249
    @neemamateru4249 ปีที่แล้ว +2

    Asante. Sana Sana Mungu akubariki. Kwa elimu. Yako

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Amina🙏🏿✍️nawe pia

  • @ReaganSanga-y4r
    @ReaganSanga-y4r 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zuri na umeeleza vizuri, naomba dawa ya asili ya ndui huku niliko ni mbali mji kupata dawa hiyo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa Sana ndugu tupo pamoja

  • @EdithMndewa
    @EdithMndewa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante, naomba nieleleze kutengeneza hiyo dawa asili. Ya alovera na. alimao

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Limao na Alovera video
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @SamboySamboy200
    @SamboySamboy200 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera nimegundua dawa ya kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  8 หลายเดือนก่อน

      Hongera

  • @princekapocho2132
    @princekapocho2132 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana , ugonjwa huu umenipa hasara sana asante kwa somo.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Pole sana ndugu

  • @LinusChacha-cq3nl
    @LinusChacha-cq3nl 10 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba mniunganishe jamn nina tatizo sana la ndui kukuwangu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 วันที่ผ่านมา

      Pole Sana ndugu

  • @DavidNgonyani
    @DavidNgonyani 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo zuri Kwa kusaidia jamii

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Hakika ndugu

  • @benardzachariamdindi239
    @benardzachariamdindi239 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nitumie dawa gani nzuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tylodox mpe

  • @basulamarco8282
    @basulamarco8282 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante naomba video ya tiba ya ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Tiba ya Ndui video yake ni hii
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @ElardHauza-op2mh
    @ElardHauza-op2mh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani niipate pia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Pamoja ndugu

  • @NaomiNnko
    @NaomiNnko 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa somo zur

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa pia

  • @naftarinyakimwe4856
    @naftarinyakimwe4856 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante, naomba hiyo video ya kutibu ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Video ya ndui kitibu
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @magangamsafari4217
    @magangamsafari4217 ปีที่แล้ว +2

    Thanks

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Your welcome

  • @magrethjoseph-d1b
    @magrethjoseph-d1b ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Tupo pamoja ndugu

  • @hollojumannemlimi4496
    @hollojumannemlimi4496 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana nimekuelewa AGALLUS tv

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pamoja ndugu 🙏🤝

  • @mhesimarko8689
    @mhesimarko8689 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana nami nimepata elimu juu ya ugonjwa wa kuku macho

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Barikiwa ndugu

    • @gladnessmahenge6160
      @gladnessmahenge6160 ปีที่แล้ว +1

      Nitumie video ya jinsi ya kutibu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Tatizo LIPO Kati ya ayo ya macho

  • @basulamarco8282
    @basulamarco8282 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa msaada wenu naomba video ya ya

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Tiba ya asili ya ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

    • @gardianrichard522
      @gardianrichard522 11 วันที่ผ่านมา +1

      @@AGALUSTV

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 วันที่ผ่านมา

      @gardianrichard522 karibu

  • @salmabariye810
    @salmabariye810 2 ปีที่แล้ว +2

    asante sana kwakuni saidia kujua tatizo la kuku wangu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Barikiwa pia ndugu

    • @edgarezden9005
      @edgarezden9005 2 ปีที่แล้ว +1

      Jana mm naomba tu mniambie dawa ipi inaponyesha mafua nimehangaika sana napoteza pesa nyingi na vifaranga wengi mno

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pole ndugu

  • @mariaemaculatanjuu1163
    @mariaemaculatanjuu1163 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa maelezo kuku wangu wanatatizo hilo naomba video ya tiba

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      OK bt pole nenda dukani kachukue dawa muelekeze izo dalili

  • @TheresiaKwaslema
    @TheresiaKwaslema 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nashukuru jamani naomba video

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Video ipo apo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Video ipo apo

  • @ezboncharles1436
    @ezboncharles1436 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran, nitumie hiyo video ya tiba

  • @imaranoah10
    @imaranoah10 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana ndugu kwa msaada wenu, naomba msaada kama kuku ni wengi kwa tiba asili ya ndui nitaweza.... naomba kama kuna tiba nyingine kwa kuku wengi.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Okay kwa sasa ni tiba hii
      th-cam.com/video/lUh8uS8_x-Y/w-d-xo.html tu kumuudumia kuku 1 had mwingine

    • @ntulichanyatarimo4756
      @ntulichanyatarimo4756 2 ปีที่แล้ว +3

      Naomba nitumie dawa ya kienyeji ya ndui

    • @hildabetamasitsa
      @hildabetamasitsa 4 หลายเดือนก่อน +1

      Je, kuku wakiwa na vidonda mgongoni ni ugonjwa Gani huko?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Ngoja tufuatilie zaidi japo nawe chunguza zaidi ni majeraha au

  • @hassanismail2506
    @hassanismail2506 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wangu wengine naona manyoya kichwani inaondoka mpaka inakuwa kipara,alafu naona jicho moja ni mwekundu sana,tafadhali nielekeze

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Kupigana AU kudonoana AU wadudu kama utitiri chunguza vizur

  • @princekapocho2132
    @princekapocho2132 ปีที่แล้ว +1

    Asante

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Tupo pamoja ndugu 🙏🏿

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

    Habari je kuku anaumwa jicho lakini halina machozi walahalina uchafu mweupe kwenye jicho naomba unisaidie

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Liangalie vizuri jicho alafu Tuambie lipo vp yaani Dalili zipi unazoziona

  • @agneskisela8944
    @agneskisela8944 2 ปีที่แล้ว +1

    Naiomba hyo video

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Video ya ndui tiba yake
      th-cam.com/video/lUh8uS8_x-Y/w-d-xo.html

  • @eliamongoy7498
    @eliamongoy7498 ปีที่แล้ว +3

    Jendugu unaweza kuchanja ndui marambili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว +1

      No Tena no ni mara 1 tu

  • @JoseNtaho
    @JoseNtaho 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Sanaa kaka,vp hyo dawa inaitwaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  8 หลายเดือนก่อน

      Majina yapo mengi ndugu cha msingi nenda dukani mwambie izo dalili

  • @EmmanuelMruma-mu2py
    @EmmanuelMruma-mu2py 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nahitaji kujua majina ya dawa za kuwapa kuku kutokana magonjwa ya macho pia na hizo vitamini zinaitwaje?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Apo HADI duka LA mifugo ndugu WATAKUPA dawa walio nayo

  • @fredykifunge5081
    @fredykifunge5081 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi kuwapata,je kinyesi cha njano,cheupe ni dawa zipi nzuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      ESB3, Trimizine, Trilmuscine, OTC 30% n. K zipo nyingi tu mchek muuza daka atakushaur zaidi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Ok ndugu endelea video zinakuja

  • @Juma-v7k
    @Juma-v7k 20 วันที่ผ่านมา +1

    Naomba Tiba ya kuku Aina ya pil

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  19 วันที่ผ่านมา

      Ok

  • @Agape-fs2vy
    @Agape-fs2vy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba tiba ya ndui kaka,

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @modestamwalongo7927
    @modestamwalongo7927 ปีที่แล้ว +1

    Dawa gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Kwenye ugonjwa gani apo

  • @deogratiusjulian188
    @deogratiusjulian188 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba hiyo video ya ndui yalimao na alovera

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Video
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @IssaTwalbu-fp6ti
    @IssaTwalbu-fp6ti 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aise pia dawa ya ndui niliogundua kwakuku wangu huwa nahakikisha naomdosha maganda yote magumu katika vipele Kisha nachukua oili chafu na kuwapaka baada ya siku tatu mpaka nne anarudi katika hali yake...... Karibuni sana😅

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana ndugu

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye banda la kuku unaweza kupuliza dawa ya rungu au kuna dawa maalumu ya kupuliza kwenye banda la kuku ilikuwa vijidudu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Zipo dawa zake tembelea duka LA mifugo

  • @Dignamunuo
    @Dignamunuo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wangu wanavimba kwenye vifundo vya miguu.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      OK ngoja tufuatilie zaidi sababu ni nini

  • @RashidMtaita-or2vu
    @RashidMtaita-or2vu ปีที่แล้ว +1

    Mm wakwangu kuku ndio ameanza kuvimba nifanye uvimbe usiendelee au uishe kabisa?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      apo kwenye video hujaelewa wapi ndugu

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +1

    Habari mimi naazakufuga vifaranga nataka ushauri niwape chakula gani na chanjo gani iliwasiwe na magonjwa yoyote mpaka wanakuwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Fuatilia video za vifaranga Kujifunza zaidi
      th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT.html

  • @happymuya3609
    @happymuya3609 หลายเดือนก่อน

    Naomba kujia vitamini gani ni nzuri zaidi kwa kuku wa kienjeji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Wakubwa au wadogo ndugu

  • @harithshafii4439
    @harithshafii4439 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mm kuku wangu wanaumwq na ugonjwa wa macho ila wana vipel vya ndui nifanyaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Tiba ya asili Ndui video hii apa
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @FatihiyaIssa
    @FatihiyaIssa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Habari kuku wakienyeji vifaranga unawachisha na mama yao wiki ngapi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Angalau wiki 4

    • @FatihiyaIssa
      @FatihiyaIssa 2 หลายเดือนก่อน

      Habari vifaranga ukimuacha na mama yao unawapa chakula gani

  • @meshackmendamenda1824
    @meshackmendamenda1824 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nitumie video ya kutibu ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Tiba asili ya ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 3 หลายเดือนก่อน +1

    Habari vifaranga vya kuku wa kienyeji wanapewa dawa gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Ktk ugonjwa gani

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 2 หลายเดือนก่อน

      Siku ya kwanza hadi wanakuwa wakubwa

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 2 หลายเดือนก่อน

      Vifaranga vya kuku wa kienyeji wakitotolewa unawachisha na mama yao wiki ngapi

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +1

    Habari kuku wangu mimi wanapata ndui kabla ya mwenzi kufika kwaiyo nifanyeje nambiwa nisiwachanje mpaka wamalize nyukesto na gomboro nisaidie

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Tumia net AU wavu usiopitisha mbu Kufugia vifaranga. Inaonekana eneo lako Lina maambukiz MAKUBWA ya ndui. Pia wape vitamin Mara kwa Mara

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน

      Umesema kuwa kuna vitamin yenye dawa na nyingine hamna je ni vitamin gani yenye dawa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Apo muone muuza Duka la mifugo atakupa aliyo nayo maamna zipo aina nyingi

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

    Habari mpendwa mimi nitotoreshe vifaranga vya chotara naomba msaada wenu kwanzia saba ya kwanza na kuendelea unawapa dawa gani mpaka wafike chanjo ya ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Jifunze chanjo za kuku kupitia Channel hii ya AGALUS TV

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

      Naomba unitumie video za hizo chanjo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Chanjo za kuku
      Video zipo apa
      th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0Fddy6ANglB_HUAHuO0nkMi.html

  • @veronicakessy2233
    @veronicakessy2233 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba maelezo ya kuku kuwa na vipele machon

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Tiba ya ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @FatihiyaIssa
    @FatihiyaIssa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wakienyeji vifaranga unawachisha na mama yao wiki ngapi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Angalau wiki 4

  • @gladnesskivuyo8308
    @gladnesskivuyo8308 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama kukiwa na upele umefunga kwenye jicho unatakiwa kufañyaj, mana nliambiwa duka la dawa kama vipele vimefunika jicho nikamue vp hii imekaaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Ivyo ivyo ndugu 'kama ulivyo elekezwa dukani. Kama hutaweza muhudumia mwenyewe mwalike mtaalam wa mifugo

  • @priscapili4938
    @priscapili4938 ปีที่แล้ว +1

    Niliwatibu kwa limao na alovera wamepona

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว +1

      Hongera sana🙏🏿

  • @agripinagasper-ts1yx
    @agripinagasper-ts1yx ปีที่แล้ว +1

    Naomba unitumie video ya dawa ya mafua na vijipele au vidonda. Mbarikiwe

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Dawa ya mafua nenda daka la mifugo lililo karibu, na kuhusu tiba ya ivyo vipele ni alovera na limao .angalia video hii
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 8 หลายเดือนก่อน +1

    Habari je kuku kwenye chakula chao ukawachanyia chokaa inamadhara

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  8 หลายเดือนก่อน

      Ila iwe chokaa ya mifugo siyo ya kujengea nyumba

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 8 หลายเดือนก่อน +1

      Thanks you 🤲🏻

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  8 หลายเดือนก่อน

      Your welcome

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 9 หลายเดือนก่อน +1

    Habari je kuku ukiwapa masalo inamadhara kwa kuku wakapata minyoo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      Watapata pia magonjwa ya matumbo

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 9 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you 🤲🏻

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      Welcome

  • @hassansharifu652
    @hassansharifu652 ปีที่แล้ว +1

    Nitumie na mm video ya dawa ya ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      #tibaasili

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

    Habari kuku unawapa chakula vizuri lakini hawaachi kupigana nisaidie niwape dawa gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Punguza Majogoo. Pia Funga mboga mboga AU majani. Fuata uwiano wa Majogoo na matetea kama ufahamu tuambie

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sifahamu nielekeze

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Tetea 10 kwa jogoo 1 ila uyu jogoo awe vizuri kupanda 🤔 kama humuamini basi wawe jogoo 2 kwa tetea 10

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

      Bado wadogo wana miezi mitatu

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

      Bado majogoo mdogo wanamiezi mitatu

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dawa gani?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 หลายเดือนก่อน

      Kwenye ugonjwa gani apo ndugu

  • @AnnaNzali
    @AnnaNzali 9 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba video ya ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      Andika Tiba asili ya ugonjwa wa ndui by agalus TV

  • @LucyKipeja
    @LucyKipeja 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dawa ya duwi ya kienyenji na jisi ya kutumia

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Tiba ya asili ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @FatihiyaIssa
    @FatihiyaIssa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vifaranga vya kuku wakienyeji unawapa dawa gani kuazia ya kwanza hadi wanapokuwa wakubwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Dawa zote miez miwili ya mwanzo
      th-cam.com/video/bj5xRWqzhhM/w-d-xo.html

    • @FatihiyaIssa
      @FatihiyaIssa 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      @FatihiyaIssa tupo pamoja

  • @DianaSebastian-kq6us
    @DianaSebastian-kq6us ปีที่แล้ว +1

    Naomba maelezo kuhusu dawa ya macho kwa kutumia dawa ya asili.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @RashidMofi
    @RashidMofi หลายเดือนก่อน

    Jamani ninakuku wa cloila wa mwezi mmoja na wiki mbili lakini wanatokwa na vidonda au vipele vigumu mwisho hupungua uzito na kufa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Pole Sana ndugu ni ndui iyo fuatilia video hii
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @njitikessy1903
    @njitikessy1903 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba video kuhusu dawa ya asili ya ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Video ya ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @fatumaissa3503
    @fatumaissa3503 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba dawa yandui matumizi yake yalimao na alovela

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      Ndui kwa kuku
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @jumamakome1900
    @jumamakome1900 ปีที่แล้ว +1

    Nitumie hiyo link

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Ya video hii au

  • @paulmasele8177
    @paulmasele8177 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo-la-kuvimba-kichwa--kwenye-shingo-inaonekana-kama-damu-nyeusi-imejaa-ni-ugonjwa-gani-na-tiba-yake-nitumie-dawa-ipi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      'ngoja tunalifanyia kazi ndugu 🙏🏿

  • @albertrobert1640
    @albertrobert1640 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba nisaidie muongozo sahihi wa kulisha kuku chotara maana naona chakula nikichanganya kinaisha kwa muda mfupi sana mm ni mgeni katika ufugaji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Jitahidi uwe na mzani pia fuatilia kiasi anachokula kuku kwa cku Kupitia somo hili
      th-cam.com/video/eEdCdGU_53o/w-d-xo.html

  • @AidaMwakipesile-dg5bl
    @AidaMwakipesile-dg5bl 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba vidio ya dawa ya ndui ya asili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Andika you tube tiba asili ya ndui by agalus TV zitakuja video

  • @ApostoMollel
    @ApostoMollel ปีที่แล้ว +1

    Nitumie hiyo link mkuu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Link ya video gani

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +1

    Habari nisaidie kuku anayetaga akiumwa unampa dawa gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      ANAUMWA nini? Tujue kwanza

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +1

      Haarishi na hana mafua ukimshika wamoto asubuhi tulimpa mwalovela

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      MPE antibiotics kama OTC 20%

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      MPE antibiotics kama OTC 20%

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน

      Thank you huduma zenu nzuri sana

  • @bunuomary3547
    @bunuomary3547 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nitumie hiyo na video ya ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      OK ila waweza andika apo you tube tiba asili ya ndui by agalus TV zitakuja video

  • @issamnadamnada5502
    @issamnadamnada5502 2 ปีที่แล้ว +1

    Naikubali hii agalu TV

  • @tumsifumwakalinga2800
    @tumsifumwakalinga2800 ปีที่แล้ว +1

    Nitumie dawa gan wanatoa uchafu kwenye macho

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Uyatoe uo uchafu Kisha wape Vitamin na dawa za mafua

  • @chrispinelyimo6717
    @chrispinelyimo6717 ปีที่แล้ว +1

    Naiomba hiyo link ya kutibu kwa kientej alivera na limao

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Tafuta you tube tiba ASILI ya ndui by agalus tv

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kwa nini mnaziba dawa?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 หลายเดือนก่อน

      Sawa tundu tutalifanyia kaz

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nisaidie kuku wa kienyeji ukitaka watotoe vifaranga vingi unawaekea maranda au mchanga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Maranda

  • @Rosina-yv4wb
    @Rosina-yv4wb 5 หลายเดือนก่อน +2

    Heeei..naomba.hiyo.video..ya.limao.naalovera.jinsi.ya.kuchanganya.plz.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 หลายเดือนก่อน

      Ok

  • @benardzachariamdindi239
    @benardzachariamdindi239 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wangu 1 kavimba macho yote yani kama mduara jichon

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Pole Sana ndugu apo MPE dawa ya mafua makali

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

    Habari kuku analaliya mayai yanaharibika kabla ya siku 21

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Yana haribika je ndugu

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hayana viroboto wala utitiri nakitotoa yanaharibika tatizo nini nisaidie

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Yaan yanakua visa AU na maana anayaacha mengine au

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hayawi viza ukivunja mayai unaona vifaranga vimekufa na akitotoa mayai mengine anayaacha

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Apo ishu ni ubora wa tetea na joto ktk kiota

  • @vestinarutosha
    @vestinarutosha ปีที่แล้ว +1

    Nitumie hiyo video ya Tibaya ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Video ipo apa
      th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL.html

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

    Habari kuku akiwa anataga mayai marefu yanancha ndefu tatizo nini

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Si tatzo ilo ila ayo mayai Yana Majogoo kwa ndani

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you 😍

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      ✍️🔥👌🤝

  • @gisbethkidagayo9634
    @gisbethkidagayo9634 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba video ya ndui namna ya kutibu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 หลายเดือนก่อน

      Itafute video ktk channel hii jinsi y kutibu ndui by agalus TV

  • @RichardMapunda-k4t
    @RichardMapunda-k4t 9 หลายเดือนก่อน +1

    Elasmo arto naomba kutumiwa video ya somo la ugonjwa huuo wa macho kwa kutumia tiba aslili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      Apo Kuna magonjwa mengi sasa cjui upi apo ndugu

  • @kelvinpaul9669
    @kelvinpaul9669 2 ปีที่แล้ว +1

    Samahan naitaji kujifunza jinsi yakufuga na kulima . napataje namba kwaajili ya mawasiliano binafsi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Masomo yote tunajifunza kupitia kwenye channel hii. Jitahidi kuuliza maswali ya uhitaji nasi tutakusaidia Bure 🙏🏿🤝

  • @HalidMlola
    @HalidMlola 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jinsi ya kutibu ndui kwa dawa za asili

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      Video ya tiba asili ya ndui
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @Hosea-jd2rt
    @Hosea-jd2rt ปีที่แล้ว +1

    Tumeni video yadawaio

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Zipo kwenye channel hii tafuta tu dawa za kuku by Agalus TV

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona ulikua unaelezea kulikuwa na kivuli naomba niambie inaitwajwe hiyo dawa ya macho

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Ok

  • @RenathaNyimbo
    @RenathaNyimbo ปีที่แล้ว

    Aante naomba ya kuku ya macho

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Unaomba nini apo

  • @LuluDuma-jk1bg
    @LuluDuma-jk1bg 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba melezo ya dawa ya asili ya ugonjwa wa ndui kwa kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Andika you tube. Tiba, asili ya ugonjwa wa ndui by agalus TV

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

    Je ukiwapa kuku mwarubaini.mwalovela.majani ya mpapai .na majani ya mronge ukayatwanga pamoja nikaroweka jioni mpaka asubuhi nikawakamulia hakuna tatizo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Usichanganye vyote ivyo. Tumia kimoja kimoja

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 10 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you

    • @bonifacekalima5273
      @bonifacekalima5273 8 หลายเดือนก่อน +1

      Tunashukuru saana mtalaamu wetu shida niliyo nayo kuku wangu wamefika stege ya kuanza kutaaga lakini hawataagi na majogoo yapo,tatizo inakuwa ni nn

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  8 หลายเดือนก่อน

      OK Aina gani ya kuku?

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kuku wa kienyeji

  • @MAROCHENGE
    @MAROCHENGE ปีที่แล้ว +1

    Dawa ya macho haikuonekana kwenye video hii. Naomba jina la dawa hiyo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      OK japo kw ushauri dukani wanazo

  • @faridsuleimanmwazini5238
    @faridsuleimanmwazini5238 2 ปีที่แล้ว

    Habari nahitaji Tiba ya ndui

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Video ya Tiba ya asili ya ndui ni hii
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @JJ-hw8ob
    @JJ-hw8ob 2 ปีที่แล้ว +1

    Nitumie link au video ya magonjwa ya macho na dawa zake .

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Link yake ni hii
      th-cam.com/video/V_OsGbOnjgA/w-d-xo.html

    • @JJ-hw8ob
      @JJ-hw8ob 2 ปีที่แล้ว +1

      I have watched the video thanks but there was a shadow on part of medicines to use.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      OK we have noted it✍️sorry for Convinience🙏🏿 we have noted

  • @abdallahomary5782
    @abdallahomary5782 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hii dawa ya mafua na vitamin unaweza kuzichanganya

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Sawa tu

  • @FatihiyaSuleiman
    @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +2

    Vifaranga ukiwataka kuwachoma chanjo ya ndui ni wiki ngapi ili uwachanje nisaidie

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Miez 2

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 หลายเดือนก่อน

      Miez 2

    • @FatihiyaSuleiman
      @FatihiyaSuleiman 11 หลายเดือนก่อน +1

      Thank you

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Your welcome

  • @JamesJames-by5ft
    @JamesJames-by5ft 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tafadhali .....bizari ni nini?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      In English it's called Turmeric