Nashukuru Sana kwa mafunzo mnayotupa, Ila nataka kuuliza sababu za kukata vifaranga manyoa, nimeona yakikatwa, Kuna faida gani, na Kama kuna sababu wanakatwa wakiwa na umri gani, Asante sana nitashukuru kupata majibu
Asante ndg kw kuteilimisha, swali langu, ? Je hyo magazeti yalitandikwa kw vifaranga, mwisho wa kutowawekea tena hyo magazeti ni baada ya kutimiza cku ngapi
Asante kwa kutuelimisha. Naomba kuuliza kwa vifaranga vya kienyeji. Baada ya kuwatoa kwa mama yao siku ya tatu, chanjo ya kwanza nitawapa siku ya ngapi? Asante
nimependa na mm nahitaji kupata elimu zaid maana nataka kuanza hi biashasha ya kuku ila kwa sasa nipo nje ya nchi yani dubai na nahitaji kufanya mradi huu wa kuku zanzibar na tayri nimesha tafuta eneo zuri la kufanya mradi hu ila siwezi kufanya bila ya kupata elimu ila nimeona kwako ninaweza kupata elimu na kufanikisha ndoto zangu kama itawezekana kupata mawasiliano yako itakua vizuri sana itakua vizuri sana
Kuku village is the best TH-cam poultry farming!!!
Thank you very much. We asure you to walk on your talk.
Kuku Village niunganishe wasap 0786569365
@@KukuVillagemko wapi
Napenda kujua mko maeneo gani
Sijawahi kufuga natamani
Nitapate vifaranga wa nyama
Tupigie au wasiliana nasi kwa WhatsApp 0621063255
Nimepata shule nzuri, naamininitakua mfugaji bora kabisaa
Nimepata elimu yakutosha kuku village ni zaidi ya chuo kikuu.
Bravooooo
Habari nashukulu sana kwa elimu yenu ya ufugaji wa kuku bora
Nashukuru Sana kwa mafunzo mnayotupa, Ila nataka kuuliza sababu za kukata vifaranga manyoa, nimeona yakikatwa, Kuna faida gani, na Kama kuna sababu wanakatwa wakiwa na umri gani, Asante sana nitashukuru kupata majibu
Thanz for the info,i ave learned something,thank you
Amina UBARIKIWE KWA HUDUMA ASANTE SANA
Naomba kuunhanishwa kwenye group lenu la wasapu la ufugaji
Naqashukuru sana kwa ushauri. Mmenifaa sana
Great kuku village Av really learnt alot
Nimeelewa sasa hongera kwa maelezo yenu
Asante ndugu
Safi Sana nilikata tamaa ya kufuga kutokana changamoto ya kulea vifaranga
Usikate tamaa. Kuku village tupo kwaajili yako
Jeemnauzavifaranga Kunavifaranga nimevipenda
Tupigie 0621063255
aina gani
Asante sana, umeeleweka kiongozi, na ni kweli Kuku village ni zaidi ya shule
Tunashukuru boss
@@KukuVillage asante nadhani nitahitaji niwatafute Kuku village naweza kupata mawasiliano yenu?
Bonyeza link hapa chini
chat.whatsapp.com/DJcFvuv9cd05y59tf5Ab93
Nko vizuri
Ahsante kaka
Karibu
Nimeipenda safi sana
Napenda kujifunza
Ok. Karibu sana
Raphael from Kenya 🙋
Naomba kujua bei ya vifalanga
Mnapatikanaje
Napendakjjifu za
naomba kuuliza iyo chanjo ya kwanza unasema inaitwa marex wanapewa iyo chanjo kwa mda gan baada ya kuanza kuwalea hao vifaranga tangu cku ya mwanzo.
Hupewa siku ya kwanza. Wanapo totolewa
Jiunge hapa kwa maelekezo zaidi
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Naomba kuunganishwa Kwa group lenu la watsap
Tuma ujumbe whatsapp 0621063255
Naomba kuungwa kwenye group la whatapp
@rosekishinhi8246 0621063255
Asante ndg kw kuteilimisha, swali langu, ? Je hyo magazeti yalitandikwa kw vifaranga, mwisho wa kutowawekea tena hyo magazeti ni baada ya kutimiza cku ngapi
Wiki 2 , unaweza kuanza kuweka maranda au matandazo mengine
Jiunge hapa kwa maelekezo zaidi
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
@@KukuVillage mbona najiunga inasema only admin wanaweza kutuma msg
Good farming
Asante kwa kutuelimisha. Naomba kuuliza kwa vifaranga vya kienyeji. Baada ya kuwatoa kwa mama yao siku ya tatu, chanjo ya kwanza nitawapa siku ya ngapi? Asante
Siku utakayo watoa ndo itahesabika kama siku ya kwanza. Chanjo utawapa siku ya 7
Mm nime Toto lesha lakini nimem nyanganya mama nikawapa glucosi sikuu tano lakini wanapata vipele shingoni kwasababu gani
Wana umri gani?
niko burundi nakusikia miakwamia asante kaka
Karibu sana. Na nafurahi kupata watazamaji toka burundi.
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Unazungumza vizuri Ila kunamswali nataka kuuliza
Naomba kuuliza vitamini ya kuku na grucos unaweza kuwapa kwa wakati mmoja au kuchanganya pamoja ili kuwapa?
Changanya
Asante kwa simo zuri. Hiyo chanjo ya kwanza wanakua wamepata lini?
Shambani siku ya kwanza kabla ya kukufikia
Asante kwa somo zuri, je chanjo ya Marex wanaipata wapi? Au naipata dukani?
Kuku haoshin,gapi
Upendo lema hayo mafuta y yote kama dawa yanapatikana kwenye maduka gani
Kilimo na mifugo liquid parafin, dawa muhimu - mafuta ya Samaki
Nimekuelewa
Great
nimependa na mm nahitaji kupata elimu zaid maana nataka kuanza hi biashasha ya kuku ila kwa sasa nipo nje ya nchi yani dubai na nahitaji kufanya mradi huu wa kuku zanzibar na tayri nimesha tafuta eneo zuri la kufanya mradi hu ila siwezi kufanya bila ya kupata elimu ila nimeona kwako ninaweza kupata elimu na kufanikisha ndoto zangu kama itawezekana kupata mawasiliano yako itakua vizuri sana itakua vizuri sana
TUpigie
Sina number yenu
Nimeridhika.
Naomba mniunganishe na mm kwenye group
Mko na group la whatsap muniunge nijifundishe mengi,sababu mimi nimgeni kwa hii channel na nimewapenda sana kwa elmu yenu
Jiunge hapa
chat.whatsapp.com/DJcFvuv9cd05y59tf5Ab93
Nimejaribu kujiunga inasema provoked
Mpo vizur
Asante sana
Naomba elimu zaidi
Jiunge na darasa...
Asante sana kwa mafunzo, Mimi Niko Uganda nitatumaje pesa ili niunge what's up.?
Tumia kutuma pesa nje ya nchi
Guud
Niunge whasap group .
chat.whatsapp.com/BD4HjujlEYQHDSXBZ3h4wo
Vyombo vya kujitengenezea kulishia kuku wa kienyeji chakula ni vipi
Nice training
Naomba mniweke group yenyu
Naomba kuungwa kwenye group ufugaji
Habari za leo,kuku village,mimi kuku wangu wanavimba macho
Nitumie picha 0621063255
Habar nauliza vifaranga baada kutotolowa wapewe chanjo yandui baada ya sikungpi?
Itategemea na eneo ulilopo na ukubwa wa tatizo. Kama eneo lako lina maambukizi chanja wiki ya pili. Kama halina maambukizi chanja siku ya 35 au 90.
Mzima mimi nataka vifaranga wa kienyeji 50 niko dodoma kama nikiwapata tarehe 21 itakuwa poa ya mwezi huu
Tupigie 0744674406
Naomba mniunge kweny wasp
Nimeipendq Sana kwani nahitaji kuwa mfugaji.
Karibu sana boss
Best
Naomba namba zenu
0621063255
Hata Kama sijaanza kufuga kweli umenichochea hata moyo umefunguka .naamimi nitaweza kufanya ufugaji huu.Mola nijalie.
Utaweza Cha muhimu ni kufuatilia tu.
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Naomba kama itafaa ufungue group la ufugaji
Yapo
@@KukuVillage naomba uniunge 0786201086
Nimependa mafundisho yenu, Mbeya mnapatikana sehemu gani??
Hatuko mbeya. Ila kwa siku zijazo tutaweka tawi huko.
Naomba namba ya simu kwa maswali binafsi kuhusu kuku
0621063255
Vifaranga wangu Wana miez 2wanaumwa macho ukibinya jicho kunatoka utango mweupe niwape dawa gani
Tuwasiliane kupitia WhatsApp 0744674406
Je unaweza kunitembelea ktk banda langu?
Unapatikana wapi
Naomba mniunge kwa group wasp
Naomba mtume video ya jinsi ya kuandaa na kuchanja mareks
Ok tutalifanyia kazi
@@KukuVillage Ntashukuru sana sana
viafaranga kuwekewa magazeti haithari endapo akinya na kinyesi kikaliwa na kuku wenziwe?
Kuna dawa za kuwaanzishia
Ninaomba Marelekezo, jinsi ya kuwe joto kwenye vifaranga je kuna aina za Taa?zinazo tumia umeme?
Zipo
Vifaranga kuku Wa kienyeji unapowatenga na mama yao nao wanahitaji kuwekewa taa
Nataka vifaranga mnapatikana mkoa gani?
Mafua makali kwa vifaranga dawa yake ni ipi?
Tupigie 0621063255
Namba za mawasiliano?
naomba uunganishwa kwenye group la watsap
Niunge kwenye group
naomba namba yako
Ninahitaji vyungu vya kuwekeya makaa ili niwawekee vifaranga
Nahitaji hyo variety ya kuku mabuga jee mnao?? Na mnauzaje?
Sijaelewa fafanua
Nice
Dah umenitime! 😂😂
Exellent
@@KukuVillage cheki pia wewe u subscribe channel wangu
Nahitaji contact zako...
Bonyeza link hapa chini
chat.whatsapp.com/DJcFvuv9cd05y59tf5Ab93
Swali langu naweza muachia mama kuku vifaranga kwamda gani kwausalama wajoto laawali
Mwezi 1. Kama unataka alee mwenyewe. Ila pia itategemea na msimu
Yap,,
Niko arusha napenda sana kufuga ila changamoto ni kule vifaranga
Fuatilia vipindi vyetu hasa katika mada za uleaji wa Vifaranga . Utapata suluhisho
Kaka zipi Changa moto zinazo sababisha vifaranga kufa
Mmenifungua macho nitaendelea kufuata maelezo yenu
Kifaranga Cha siku 2 unaweza kuwapa OTC ya mg 30?
Tumia 10%
Hii nyumba ya vifaranga inafaa kua nyumba aina gani??
Habari naitaji kuku ao wenye manyoya miguuni au mayayi yao nokatotoleshe
Abaliyali ya kazi nilifanya ivyo ila nilishindwa vifalanga vilidumaa nakufa na taa yajoto ikawa inaungua kilasiku nipe ushauli
Uko vzul kaka zidi kutu elimisha Niko nkinga tabola
Asante sana
Chakula kizuri cha kuwapa vifaranga vya kuanzia siku ya tatu hadi saba ni chakula gani naomba kufahamu?
Broiler starter crumble
samahani naomba kuuliza uleaji huu wa vifaranga kuanzia siku ya 1 mpk siku 7 ni wa kienyeji tu au hata hawa wa kisasa? namaanisha broiler
Vifaranga wote. Inafaa sana
Vifaranga wote. Inafaa sana
Tunahitaji group LA WhatsApp LA kuku village
Nanijivania channel ya Kuku vileg
Dah... asante sana kwa ujumbe wako
Mbona mm nimesubscribe lakn sipati taarifa ya vipindi vyako? Kama hapa nimekuja baada yakutumwa kwa video kwenye group
nachanganyikiwa nikisikia kuku anakitovu naomba nijui kama wanavyo kweli basi mwilini mwao inakaa sehemu gani
Chini ya sehemu ya haja
@@KukuVillage Niunge kwenye lako la WhatsApp
Nataka nijifunze kwako
Naomba no y'a mawasiliano
0621063255
Asnte sana
Karibu
naomba namba ya whats up ya group ya kuku village
chat.whatsapp.com/F0jkcJ6LVkwD1k9DMb1lwp
Hi, ningependa nijoin hizo groups
Tutumie sms ya WhatsApp 0621063255
@@KukuVillage niunge WhatsApp 0769832950
Nimependezwa na elimu hii.
Kuku mwenyew wiki nane anapaswa Kinga tena? Kuku village nisaidie
Kama umemaliza kinga za awali. Ni mpaka baada ya miezi mitatu.
Is new castle a vaccine or it's for putting in the eyes?
Kuku wazuri sana
Sikua najua kuhusu merex hivyo nikaanza chanjo ya Newcastle baadae ya siku saba, je naeza wapa chanjo ya merex au nafanyaje