Kuna kuku wangu ameanza kutaga, ila sehemu ya haja inaloa, imevimba na kuifanya ngozi kuwa na mgando rangi ya maziwa ambao unamfanya kuku kutoa harufu mbaya,, nfanyaje mkuu?
Nimesikia safari za kuku wa kutaga,aina 8 lkn mimi ninapenda kujua zaidi kuhusiana nakuru aina ya tanbro je,utagaji wake ukoje? Na je anaweza kutaga bila jogoo??
Nataka nifanye biashara ya mayai pamoja na kuuza kuku kwa ajili ya nyama kama kunakuwa na mwenye kuhitaji.utanipaa ushauri ya kufuga aina gani ya kuku.naishi kenya nairobi
Ahsante nimejifunza Sana
Barikiwa Sana ndugu
Okay
🙏🙏🙏
Pamoja sana mkuu
Barikiwa Sana ndugu
Asante sana kwa somo, ila swali langu nikwamba mayai yakinyeshewa na mvua yanaweza kutotoleka hasa kanga wanaotaga nje
Hayawez kama vp yachukue mwekee KUKU ayahatamie
Vp kuku aina ya kroiler n wazr kwa kufuga? Vp changamoto zake😊
Awa Kuku ni wazur sana. Changamoto kiukwel hawana , wavumilivu, ulaji wao ni WA kawaida
Mtaj wa kias gn nawez kuwanz ufugaji wa kuku wa mayai
Hutegemea na idadi ya kuku unataka kuanza nao pia banda unalo tayar
hao weupe wanpatikana wap
Ngoja tutazidi wasiliaana kwa sasa Wana uzwa wapi
Naomba namba yako
Wasp +255765467484
Kuna kuku wangu ameanza kutaga, ila sehemu ya haja inaloa, imevimba na kuifanya ngozi kuwa na mgando rangi ya maziwa ambao unamfanya kuku kutoa harufu mbaya,, nfanyaje mkuu?
Typhoid iyo kanunue dawa kwenye duka LA mifugo
Sawa nashukuru xnaa
Pamoja
Naomba namba Yako ya simu nahitajimayai
Mayai ya Aina gani
Nitapataje vifaranga vya brahma na nibei gani
Tuzid kukumbushana tukipata kampuni inayozalisha kwa sasa tutakujuza
Hao chotara wanapandwa?
Ndio
Ahsante sana kaka kwa somo.....NAOMBA KUULIZA HAWA KUKU WAPO HAPA TZ??
Baadhi zipo na watu wanafuga mfano brahma, Rhode Island, malawi n. K so wapo ndugu
Naihitaji hao weupe niwapate wapi
Ngoja tutazidi wasiliana
Kati ya hao kuku yupi anataga mayai meupe? Je black austrolop wanapatikana? Nitawezaje kutofautisha kati ya kroilor mweusi na black austrolop?
Ata astrolop kutaga.tofauti ipo ktk umbo Kuroiler ni wakubwa zaidi
Kuku wa malawi wanapatikana
Ndio wapo
Nahitaji vifaranga wa Malawi mnazalisha
Hapana ndugu kwa sasa uzalishaji umepungua
Nikiwataka nawapataje?
Aina gani apo
@@AGALUSTVhao wa Malawi hao au hao wa marekani nimewapenda maumbo yao
Unipe na bei kabisa
Ni wazur sana
Sawa ndugu
Kanga wangu anataga porini na mvua zinanyesha, je hayo mayai yataanguliwa!?
Hayawez
Nimesikia safari za kuku wa kutaga,aina 8 lkn mimi ninapenda kujua zaidi kuhusiana nakuru aina ya tanbro je,utagaji wake ukoje? Na je anaweza kutaga bila jogoo??
Nimefurahia mafundisho yenu.
Barikiwa Sana ndugu
Tanbol anaweza taga bila jogoo wanataga vzur ni lishe tu ya utagaji.
Niko na jogoo anawika saa mbili usiku nini tatizo jamani
Si shida ndugu kawaida.
Nataka nifanye biashara ya mayai pamoja na kuuza kuku kwa ajili ya nyama kama kunakuwa na mwenye kuhitaji.utanipaa ushauri ya kufuga aina gani ya kuku.naishi kenya nairobi
Alafu sisi huku tunatumia sana majina kama kroiler.sasso.broiler.ken bro.naomba msamaha kwa mawali mengi
Kati ya ao 8 ukipata mbegu waweza fuga
Ok ila ao ni kwa ajiri ya nyama sana
Sawa asante
@hassanismail2506 tupo pamoja
Mi naitaji hiyo mbegu tunaipata vp
Mbegu ipi Kati ya izo 8
mimi na taka kuku
Aina ipi apo
Kanga wangu anataga porini na mvua zinanyesha, je hayo mayai yataanguliwa!?
Hapana hayawez