- 404
- 4 463 861
AGALUS TV
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 13 มิ.ย. 2020
Hello 👋
Welcome to my channel . This channel for sharing some of ideas about Agricultural and poultry issues.
Welcome to my channel . This channel for sharing some of ideas about Agricultural and poultry issues.
TIBA ASILI YA NGUMBORO KWA KUKU/Organic treatment of infectious bursal disease /IBD
#uleajiwavifaranga #tibaasilizakuku #chicken #broilerchicken #poultryfarming #dawazakuku #farm
Tiba asili/Kienyeji za kuku Aina zote: th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL.html
✍️Ugonjwa wa gumboro ni Hatari kwa kuku . Dalili za ugonjwa wa gumboro ni pamoja na . Kuku kutoa kinyesi rangi nyeupe, kuku kushusha Mbawa, kuku kushusha mabawa na kutetemeka
🤝Chanjo ya ugonjwa wa gumboro utolewa siku ya 14 na 28 tangu kifaranga.
✍️Magonjwa ya kuku: th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0GpUnId1p34oe-1ciyFtxD_.html
🤝Follow us TikTok account vi www.tiktok.com/@agalusfarm?_t=ZT-8svf1bPS3x4&_r=1

มุมมอง: 1 547
วีดีโอ
FAIDA ZA UTOMVU WA PAPAI KWA KUKU/Benefits of unripe papaya water to chickens
มุมมอง 8K14 วันที่ผ่านมา
#tibaasilizakuku #uleajiwavifaranga #agalustv #papayaleaves Tiba asili/Kienyeji za kuku Aina zote: th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL.html 🫴 Follow us TikTok via www.tiktok.com/@agalusfarm?_t=8rqdWfvquGR&_r=1
JINSI YA KUONGEZA KINGA KWA KUKU/Natural ways of boosting chicken's body immunity
มุมมอง 886หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUONGEZA KINGA KWA KUKU/Natural ways of boosting chicken's body immunity
FAIDA ZA KARAFUU KWA KUKU/How to treat chicken by using Cloves powder
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
FAIDA ZA KARAFUU KWA KUKU/How to treat chicken by using Cloves powder
Faida za Maua kwa kuku/Benefits of hibiscus flower to your broilers
มุมมอง 5682 หลายเดือนก่อน
Faida za Maua kwa kuku/Benefits of hibiscus flower to your broilers
FAIDA ZA LIMAO KWA KUKU/Benefits of lemon juice to chickens
มุมมอง 4K2 หลายเดือนก่อน
FAIDA ZA LIMAO KWA KUKU/Benefits of lemon juice to chickens
FAIDA ZA MKONGE/KATANI KWA KUKU/How to use Sisal to treat your chickens
มุมมอง 2.8K3 หลายเดือนก่อน
FAIDA ZA MKONGE/KATANI KWA KUKU/How to use Sisal to treat your chickens
SABABU ZA KUKU KUTOKUNYWA MAJI/Causes of chicken stop drinking
มุมมอง 7053 หลายเดือนก่อน
SABABU ZA KUKU KUTOKUNYWA MAJI/Causes of chicken stop drinking
TIBU KUKU WAKO KWA MAJANI YA MCHAI CHAI/
มุมมอง 2K3 หลายเดือนก่อน
TIBU KUKU WAKO KWA MAJANI YA MCHAI CHAI/
Ugonjwa wa kuku Kuvimba macho/How to identify and treat Chronic Coryza in chicken
มุมมอง 3K3 หลายเดือนก่อน
Ugonjwa wa kuku Kuvimba macho/How to identify and treat Chronic Coryza in chicken
TIBA YA ASILI YA KUVIMBA MFUKO WA CHAKULA/How to treat sour crop in chicken
มุมมอง 9564 หลายเดือนก่อน
TIBA YA ASILI YA KUVIMBA MFUKO WA CHAKULA/How to treat sour crop in chicken
JINSI YA KULISHA MKAA KUKU WAKO/How to feed your chicken with Charcoal
มุมมอง 2.5K4 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KULISHA MKAA KUKU WAKO/How to feed your chicken with Charcoal
FAIDA ZA MWAROBAINI NA ALOVERA KWA KUKU/The Juice of Neem and Alovera plants to chickens
มุมมอง 1.5K4 หลายเดือนก่อน
FAIDA ZA MWAROBAINI NA ALOVERA KWA KUKU/The Juice of Neem and Alovera plants to chickens
FAIDA ZA MAJI YA MCHELE NA MAZIWA KWA KUKU/Benefits of a rice water and Milk to Chicken/broilers
มุมมอง 3.9K5 หลายเดือนก่อน
FAIDA ZA MAJI YA MCHELE NA MAZIWA KWA KUKU/Benefits of a rice water and Milk to Chicken/broilers
FAIDA ZA MAJIVU KWA KUKU/ Benefits and use of wood ash to poultry farm
มุมมอง 14K5 หลายเดือนก่อน
FAIDA ZA MAJIVU KWA KUKU/ Benefits and use of wood ash to poultry farm
FAIDA 10 ZA BAKING SODA KWA KUKU/Application of Baking soda to broilers and laying hens
มุมมอง 7K5 หลายเดือนก่อน
FAIDA 10 ZA BAKING SODA KWA KUKU/Application of Baking soda to broilers and laying hens
MAMBO 7 YA KUFANYA KWA KUKU MSIMU WA BARIDI/How to stop chicken's death during Winter season?
มุมมอง 5K6 หลายเดือนก่อน
MAMBO 7 YA KUFANYA KWA KUKU MSIMU WA BARIDI/How to stop chicken's death during Winter season?
MAMBO YA KUKUMBUKA KWENYE CHANJO ZA KUKU/How to vaccinate chicken?
มุมมอง 6396 หลายเดือนก่อน
MAMBO YA KUKUMBUKA KWENYE CHANJO ZA KUKU/How to vaccinate chicken?
ZIJUE TABIA MBAYA ZA KUKU NA JINSI YA KUZIKOMESHA/Most common chicken bad habits and how to them
มุมมอง 1.3K6 หลายเดือนก่อน
ZIJUE TABIA MBAYA ZA KUKU NA JINSI YA KUZIKOMESHA/Most common chicken bad habits and how to them
KILIMO CHA MAHINDI Vs MAHARAGE /Beans Vs Maize farming which has more profit
มุมมอง 2.4K6 หลายเดือนก่อน
KILIMO CHA MAHINDI Vs MAHARAGE /Beans Vs Maize farming which has more profit
FORMULA YA KUANDAA CHAKULA CHA NGURUWE/PIGS FEEDING FORMULA AT HOME
มุมมอง 1.5K6 หลายเดือนก่อน
FORMULA YA KUANDAA CHAKULA CHA NGURUWE/PIGS FEEDING FORMULA AT HOME
MAMBO 7 YA KUFANYA KWA KUKU WA KIENYEJI/ASILI/How to rise a local chickens farming
มุมมอง 1.4K6 หลายเดือนก่อน
MAMBO 7 YA KUFANYA KWA KUKU WA KIENYEJI/ASILI/How to rise a local chickens farming
FAIDA 7 ZA MAJANI YA MPAPAI/Benefits of pawpaw leaves to your broiler
มุมมอง 6K7 หลายเดือนก่อน
FAIDA 7 ZA MAJANI YA MPAPAI/Benefits of pawpaw leaves to your broiler
MAMBO 7 KWENYE BRUDA KABLA YA VIFARANGA KUFIKA/Brooder preparations
มุมมอง 9257 หลายเดือนก่อน
MAMBO 7 KWENYE BRUDA KABLA YA VIFARANGA KUFIKA/Brooder preparations
JINSI YA KUFUGA BROILA BILA VIFO / Broiler Chick brooding with zero death
มุมมอง 7047 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUFUGA BROILA BILA VIFO / Broiler Chick brooding with zero death
HUDUMA KWENYE MAHARAGE SIKU 30 ZA MWANZO
มุมมอง 2.2K7 หลายเดือนก่อน
HUDUMA KWENYE MAHARAGE SIKU 30 ZA MWANZO
❤❤❤❤ Asante
Ahsanteni kwa Elimu
Asante kaka
Napeda kufuga naomba senina navifalaga bolanamunako patikana
Napeda kufuga naomba senina navifalaga bolanamunako patikana
Napeda kufuga naomba senina navifalaga bola
Na. Vipimo vya mchanganyiko
Video hii itakusaidia Sana th-cam.com/video/ktstkGFm2Ik/w-d-xo.html
Jinsi yakujanganya chakula cha nguruwe wa miez mitano
Video hii itakusaidia Sana th-cam.com/video/ktstkGFm2Ik/w-d-xo.html
Habari naiwa Zaina Kijazi.Napenda kujua aina ya majani yanayomtibia kuku..wakienyeji..
Ook Andika Tiba asili za kuku by AGALUS TV zitakuja video zingine zaidi
Na je ni kuku aina zote au
Wote
oky
🤝
Nimeshindw kufanikiwa ktk ufugaji tatizo vifo vya vifaranga ningeshaku tajiri sasa
😭😭🤲
Asantee
🤝✍️pamoja ndugu
Nauliza hii grower unaweza iponda maana ni kubwa
Hapana kwani vp hawali
Ni jambo la kuzingatia sana , sababu magonjwa ndiyo chanzo kubwa ya kutofanyikiwa katika shuguli ya ufugaji
Hakika ndugu ✍️
Pongezi kwa kazi ya kuelimisha watu katika ufugaji wa kuku
Asante sana ndugu.. Tupo pamoja
Asante tuko pamoja
Amina ✍️🤝🔥
Hi unawezanyunyiza mafuta taa
Ndio
Kuku wangu amevimba kama tonsinsi hii n nnn
Ktk shingo au mdomoni
Uki kuku wachambe wenyewe haitakua na madhara kwa kuku
Una maana ipi ndugu
Una maana ipi ndugu
Tunashukuru kwa maelezo yako,je vifaranga vitakaa vyenyew kwa muda gani ? Mwisho wa kuwawekea joto la kwenye chungu ni wakiwa na umri gani?
Wakiwa na mabawa full. Yaani utaviona havihisi barid mara nyingi wiki 3+ japo hutegemea na aina ya kuku
Kuku wanakuwa awaone nayo ni dui? Japo nadui wanayo
Angalia mafua
Nahitaji muhogo kwa magunia je ipoo. Gunia bei gani? Contact za mwenye shamba
Sawa ndugu ✍️🤝🔥
Mimi kuku wangu wana hiy changamoto ya uvimbe A naambiwa niwatoboe j inawezekana
Usiwatoboe ila unasafisha macho kama Wana vitu vyeupe. Kama hawana wape dawa za mafua
@AGALUSTV ahsante je kuna uwezekan wa kuona tena
@Queen..113 yes atakaa sawa tu mpe na vitamins pia
Kuku zangu zinasumbuliwa na mafua ya mala kwa mala nitumie dawa gani ya asiri
Tiba asili ya mafua kwa kuku th-cam.com/video/WGT_dUPqrZM/w-d-xo.html
Tiba asili ya Mafua th-cam.com/video/WGT_dUPqrZM/w-d-xo.html
Joto kwa vifaeranga bira mama unafanyaje
Jiko tutatumia, au taa za joto
Nifanye nini ili nguruwe wangu awe anazaa watoto wengi maana ni mara ya pili anaazaa vitoto vinne, naomba msaada
Unatumia vitamins na madini aina gani?
Nahitaji box 5 za kroiler
Sawa ndugu ngoja tuwasiliane na walionao
Hasante lakin hamjatuelekeza vizuri sehem y kuchoma hapo kwA bawa
Ktk ya mbawa ndugu
Naomba tuwasiliane
Namba zenu
Ok
Je.kwa bata wawatenganishaje
Njia ni iyo kuweka viota karibu
Jamani nahitaji ramani ya ya banda la kuku na vifaranga pia napatikana Moshi
Sawa ndugu tutazidi wasiliaana tuone uwezekano
Hindi ya kupata kuku bora
Sawa ndugu
❤naomben maelekwz
Ndui Tiba asili th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html
Me nataka vifaranga wa wiki mbili je ni sh ngap? Mmoja na je naweza kuwapaje me nipo Mtwara masasi
Ok ngoja tuone uwezekano kw uko ulipo
Asante kwa some zuri
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Naomba dawa asili ya utitiri na viroboto
Tiba asili ya Utitiri kwa kuku th-cam.com/video/NEWUCCjobCw/w-d-xo.html
Umetisha bro
Asante Sana ndugu
Sifaham
Urea nkp au NPS, SA
Uko vizur broo nimekuelewa ndani yaukweli huoo
Tupo pamoja sana ndugu endelea kufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
Kupata kuku bora wa kuanza nao
Sawa ndugu ila unaweza Andika Jinsi ya kupata kuku Bora by AGALUS TV
ni vitamini gani niwape nguruwe baada ya kuachishwa kunyonya
Pig booster
Asante natumia maji ya vuguvugu au ya baridi
Ya uvugu vugu
Tiba asili ya ugonjwa wa kuku ndui
Fuatilia video hii itakusaidia Sana ndugu th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html
M nataka nijifunze kind ya kulea vifaranga
Uleaji wa Vifaranga vya kuku: th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT.html
Kaka wang wanay ndui na mafua je nifanyej
Video hii itakusaidia Sana th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html
Asante mkuu
Tupo pamoja sana ndugu
Shukran tuko pamoja
Amen 🙌🙏
Naomba nisaidie dawa ya utitiri ya kienyeji
Video ya Tiba asili ya Utitiri th-cam.com/video/NEWUCCjobCw/w-d-xo.html
Naomba nijue hizo dawa
Asante kiongozi
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi