Utumwa huo wa kufunda Wana wake Ili wakawafurahishe wanaume ukome jamani. Hebu fundisheni bibilia Mungu anakomboa ,ukishajua maneno matakatifu ya Yesu, basi mwanamke utakua umejua nafasi yako hata Kwa mume pia. Acheni kujitesa maisha hayana marudio. Ishi asilia acheni kukimbizana na vya dunia hii
Naushuda kuhusu kuombea mtoto wamama nilirudi kazini nilimkuta mtoto wangu tumbo limejaa sana na nilimpeleka hospatali alipigwa Xry na Daktari aliniambia et nirudi kesho anaogopa kunipa majibu moaka awashirikishe wenzake na nilirudi nyumbani usiku wa manane niliamka nilijikuta namshika tumbo nililia sana huku nikiomba palikucha nikabadilisha hospital nikaoewa majibu kwamba mtoto anagesi nimpatie madafu ohh Mungu ni mwaminifu
😢😢😢😢😢pole dia mim mwenyewe ninamtoto wa miezi mi Tano sasa lkn naona nitakufa nimuache kabla ya mwaka yaani Hali yangu ni mbaya sana mwanaume ananipa mawazo kiasi kwamba ikifika saa Tisa ucku usiku mim usingizi Sina😭😭😭🙏
Mimi ni muhanga pia ,24yrs of marriage nilisepatate nikarudi baada ya kipigo na kuvutwa nywele zilizosukwa Kwa Rasta na kungo'ka, be blessed lily Kwa hiki kipindi kimenipa hatua nyingine ya maamuzi.
Mungu ndie mwanzilishi wa ndoa na shetani hupigana kwa jasho na damu kufuta ndoa zisiwepo mpango wa mungu ni kuheshimu ndoa na ni jambo jema sana kuingia katika ndoa na kwa habali ya changamoto hizo zipo kwa wenye ndoa na wasio na ndoa
Dada Lily ndoa ni taasisi iliyoanzishwa na Mungu na kazi za Mungu zote ni kamilifu.Mungu anasema ukiweza furahia useja wako,ukishindwa olewa au oa. Wanadamu ndio wamekuwa wabaya sana hadi tuone ndoa haifai kitu ambacho sicho.
Lilian jamani si unyamaze kidogo, yaani unashadadia sana sema tu bahati msimuliaji ni katulia. Interview nzuri ila unashtuka shtuka maneno mengi punguza
Dada ametulia sana anaposimulia,lkn huyu host chizi na ukristo wake,mwenzie anaongea point ye analeta mapepe,dada me binafsi nimekuelewa sana,baaraka llahu fik
Una kitu kikubwa cha Kimungu umebeba na endelea kumtumikia huyo Mungu wako wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima. Hao wana maroho machafu na hawajafunguliwa bado.
kwanza hapo kwa dawa ya kukonda, serikali ya tanzania ina bdidi ifanye tamka, hasa wizara ya Afya, duniani kote hakuna dawa ya kukukondesha, ila tanzania zipo zimezagaa. Wizara ya afya inafanya kazi gani.
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Asante kwa somo, wanawake wenzangu tujihadhari wanaume wanapiga hisia zetu, Mungu atusaidie
Utumwa huo wa kufunda Wana wake Ili wakawafurahishe wanaume ukome jamani. Hebu fundisheni bibilia Mungu anakomboa ,ukishajua maneno matakatifu ya Yesu, basi mwanamke utakua umejua nafasi yako hata Kwa mume pia. Acheni kujitesa maisha hayana marudio. Ishi asilia acheni kukimbizana na vya dunia hii
Wewe mchawi mkubwa ushindwe katika Jina la yesu ovyoo kinachokukera hapo nini
Wewe ubarikiwe umeongea point mnooo. Good good good
Hiki ktu cha kwamba mwanaume mwanaume wanaume kinaua wanawake wengi sana......swali moja ss tunafundishwa hivi wao wanafund8shwa nn kuhusu sisi...
Mungu atusaidie watoto wetu Hawa wakike wasipitie haya ambayo mama zao tunayapitia
Amen amen
Amiin 🤲
Naushuda kuhusu kuombea mtoto wamama nilirudi kazini nilimkuta mtoto wangu tumbo limejaa sana na nilimpeleka hospatali alipigwa Xry na Daktari aliniambia et nirudi kesho anaogopa kunipa majibu moaka awashirikishe wenzake na nilirudi nyumbani usiku wa manane niliamka nilijikuta namshika tumbo nililia sana huku nikiomba palikucha nikabadilisha hospital nikaoewa majibu kwamba mtoto anagesi nimpatie madafu ohh Mungu ni mwaminifu
Hakika maombi ya mama kwa watoto ni silaha kubwa🙏
Aipingwi iyo
Dada lily hii interview niyamgeni hayo maelezo yako nimazuri basi yaelezee mwisho wakipindi unaongea sana kuliko mgeni
Dada liliy nakupataje
Lilian reduce interjecting during the interview
😂too much
Thanks ccy lilian for this ❤❤
So sory ccy sarah ,your a very strong woman ,May Good lord keep protecting you!❤❤🙏🙏
Usiongee sn da mwasha mwache mgeni…unamtoa kwenye reli
Jamani maisha haya .Nina stress balaa na mtoto ana miezi 9.Mungu naomba nionekanie
Pole dear Mungu akuonekanie Kwa uweza wake🙏🙏
Polee dear, hata mim nilipitia jipe moyo mkuu, Mungu anakuona atakusaidia sana, ni kipindi kigumu sana lakini Mungu yupo anatupenda
Pole sana Kuwa kalibu na Mungu wakati huu wa huzuni ongea na Mungu mwambie shida zako utaona miujiza ya Mungu
😢😢😢😢😢pole dia mim mwenyewe ninamtoto wa miezi mi Tano sasa lkn naona nitakufa nimuache kabla ya mwaka yaani Hali yangu ni mbaya sana mwanaume ananipa mawazo kiasi kwamba ikifika saa Tisa ucku usiku mim usingizi Sina😭😭😭🙏
Pole sana ..
Mimi ni muhanga pia ,24yrs of marriage nilisepatate nikarudi baada ya kipigo na kuvutwa nywele zilizosukwa Kwa Rasta na kungo'ka, be blessed lily Kwa hiki kipindi kimenipa hatua nyingine ya maamuzi.
Poleeee
Weee😢😢
I'm just sending hugs 🫂 Mungu wetu mwema aendelee kukufariji na wote waliopotia haya .
Liliani wanawake tunapitia matatizo mengi mie natamani hata watoto wangu wawe masisita tu waishi hayo maisha kuliko kuolewa
Ungejua huo usister ulivyo na uovu mbaya kuliko!
Huwa namuomba Mungu rehema kwasababu nayajua maumivu yando yalinifanya nitamke mengi sana
Mungu ndie mwanzilishi wa ndoa na shetani hupigana kwa jasho na damu kufuta ndoa zisiwepo mpango wa mungu ni kuheshimu ndoa na ni jambo jema sana kuingia katika ndoa na kwa habali ya changamoto hizo zipo kwa wenye ndoa na wasio na ndoa
Mungu/MUNGU sio mungu
Sijui kwanini tunateseka ivi namimi nilijua pekeangu Ila wanaume wanatutesa sana
Mshukuru mungu kwa kilakitu ulikuwa dasani nimeyaishi hayo maisha
Dada Lily ndoa ni taasisi iliyoanzishwa na Mungu na kazi za Mungu zote ni kamilifu.Mungu anasema ukiweza furahia useja wako,ukishindwa olewa au oa.
Wanadamu ndio wamekuwa wabaya sana hadi tuone ndoa haifai kitu ambacho sicho.
Mungu tuhurumie wanawake😢😢, kweli kuolewa c lazima
Nami nilikumbwa na hiyo isikie kwa mtu nilitoka kwenye ndoa nikaanza maisha mengine
Eee Mungu Mwenyezi tusaidie hawa watoto wetu wasipitie tuliyopitia wazazi wao.🙏🏻
Tupo wengi Mimi nilikataliwa na kuolewa mdogo wangu kisa kazi dada nikupe kisa siku Moja
Namshukuru Mungu kwa ajili yako na elimu unayo tupa ni njema sana
Yes amuombee tu atapona aachane na dawa za kila siku
Our GOD IS GREAT❤
Wow God bless you
Mtihani tuwe pole wanawake mungu atusaidie
Wanawake wengi sana wanateseka mpaka leo, wengine mpaka wanauliwa, ee mungu wangu tusaidie BABA 🙏🏾🙏🏾
Mwanaume huyo hakuwa wa Mungu ni shetani aliyevaa umbo la mwanadamu
Lilian acha Sarah ajieleze wewe ni kama ndie unahojiwa muache binti ajieleze
Anakera
Nakupenda sana da lilian ,nimempenda huyo mama mpambanaji mungu azidi kumtia nguvu katika hiyo injos yake
Duh machozi yamenitoka pole Sana Sarah nimejifunza kitu kukubwa Sana kupitia wewe. Mungu akuzidishe na kukulinda na wanao. Hapo ulipofika ni EBENEZER
Nimelia😢😢
Ni sehemu ya Darasa ili wanawake wengine tujifunze.Maisha ni Darasa zaidi ya chuo kikuu.
Pole sana kipenz Sarah
Lilian😂unaongea yooh hajamaliza vizurii umeshaingiza jambo jipya 😅
Amina
Mtangazaji mh ,usivae viatu vya muhojiwa ,just cool
MUNGU Akutangulie
Marriage is not a must not an achievement
😢😢😢 jaman nilidhan nateseka pekeangu ktk kitu kinaitwa ndoa.
Pole
Jamn mim sijapata part 1
Kweli wale watoto nawajua wamefanana na baba yao mnooooo mnoooo mnoooo huuulizi
Mimi maisha yangu SIWEZI KUISHI KWA KMFURAHISHA MTU😢😢HAITOKAA ITOKEE
Lilian jamani si unyamaze kidogo, yaani unashadadia sana sema tu bahati msimuliaji ni katulia. Interview nzuri ila unashtuka shtuka maneno mengi punguza
Mbona we mtangazaji humuogopi mungu.
Liliani ww ni mtt WA Washe kute Tezo Kokotoni ama nimajinatu. ..naomba ukipata hii comment nijibu nikwambie kitu inshaaAllah
Ongea mwishoni toa ushauri mwishoni
❤❤❤ dd nimekupenda❤❤
Changamoto nyingi sana
Dada ametulia sana anaposimulia,lkn huyu host chizi na ukristo wake,mwenzie anaongea point ye analeta mapepe,dada me binafsi nimekuelewa sana,baaraka llahu fik
😂😂😂😂
Salama is the best! Huyu Lilian anashindwa kucontrol emotional
She talk to much
Nyie ndio wale mlitakiwa mfie kule Gaza hamna maana
wewe ni tahira sio siri
Ukiona mwanaume anakunyanyasa umuelewi siuondoke unangangania nini mwisho aje akuue bure
Lilian kipindi chako kizuri ukweli wanawake tunapitia matatizo mengi sana kwenye mahusiano na ndoa zetu.
Una kitu kikubwa cha Kimungu umebeba na endelea kumtumikia huyo Mungu wako wanaokudharau siku moja watakusalimia kwa heshima.
Hao wana maroho machafu na hawajafunguliwa bado.
Foundation yake inaitwaje??
Nimependa interview
Lord so what? Instead of Thanks God for my children.
Tunateseka wengi
Unakatiza mtu wakati anaendelea kuongea kwa faida ya wengine mtangazaji maoni toa mwisho wa kipindi
Pole sana dada na hongreaaa
Kuolewa sio lazima uku yeye anapete ya ndoa 🙌
Sio lazima kama hujapata mtu sahihi
Kapata mtu sahihi
Mwashi mwashi mwashi
MUNGU NI MKUBWA SAAANA
kwanza hapo kwa dawa ya kukonda, serikali ya tanzania ina bdidi ifanye tamka, hasa wizara ya Afya, duniani kote hakuna dawa ya kukukondesha, ila tanzania zipo zimezagaa. Wizara ya afya inafanya kazi gani.
Sahihiiiii. Dawa ni mazoezi na kula vizuri tu
Inaumiza
Pole nimeumia sana dadayangu nakupenda nina mdogowangu anapitia hayo maisha ila kutoka hawezi sijui nifanye nn naumia sana
Naomba namba ya huyo dada nataka nizungumze nae pls
@@xxxl-jf2ji aliitaja mwisho wa kipindi
@LuluAquai OK asante
Natumai wanawake tunajifunza sana hapa
Wanawake Wana drama Sana...tena ukimtazama utafikiri kaonewa...Ila ukimchungiza unakuta yeye ndio mbaya kupitiliza
Mume wake ni nani?
Hata nashindwa kuelewa kwnn walioana?na hawapendani kiasi hicho?na kwnn wakaishi huo muda wote na hawapendani
Liliañi mwasha natamani kukuona
Unayosema Dada lily ni kweli bora kuwa single kuliko kuolewa kwene ndoa mateso
My mom madam Sarah sikujua what ur going through aisee very sorry mama
Liliani mwasha naomba nimuone huyo mama jamani napitia majaribu makubwa nimelia sana kwa kusikiliza hayo
Jamani huyo dada alikuwa anataka nini kwa huyu baba?
😢😢😢😢😢
Dada Sara unamoyo kama wangu day pole sana nitakutafuta nikirudi safari yangu dada Lili pia nakupenda sana
😢😢😢😢
Kweli kabisa .. mama ni MUNGU wa mtoto duniani...Fanya kama rafiki yako anavyosema, mtoto atapona...
Jamani Da Lilian unashadadiaaa katikati ya interview..mfano Jesus...Yesu ni bwana ....but unanogesha tho😅
Hanogeshi chochote,anabore🤭!
Hahaaaa
Alikuwa anakuumiza ili itoke tu
Wanaume wajinga kam huyu walaniw kabsa
SAME AS SATAN"!
@lilianmwasha
Jamn mim sijapata part 1