Dada shena mm mtanzaniaa napenda sana uendeshaji wa vipindi vyako nakupenda sana siyo kimapenzi kama dada yang elim yang ndogo unanisaidieje nijue kuingia onilain😊
Hii interview nimecheka mwanzo mwisho jamani huyu Kaka ni jasiri . Kwanza hiyo visa feki hadi nimetetemeka. Ila msisahau mlikuwa n'a Mungu kabisa. Big up bro
I like that DJ, umeowa mtu sio awe mtumwa wako, but patner wako, hapo uliemuoa akiwa ni muelewa, na mwenye imani, kama hivyo, bila ya shaka mutasaidiana vizuri tu
Hiyo ni good idea Shena, kuleta hiyo mada na mzee ya kuhusu uzeeni, coz kuna baadhi yetu hufikiria tu pesa ya kustaafu nchi za nje, ndio itamfanyia kila kitu, ambayo kwamba hata utaratibu wake hawautafiti ki undani
Aunt yangu Sheina umeongea point kabisaa hata ukizaa na mwafrica hao watoto siwatakuwa Ukhty wataolewa au kuowa wazungu ndio hayo hayo tutaishia kambini tusijipangie hatujijui watoto pia wanaweza kukimbia
Shena nimependa sana ushauli wako wa kuhusu uzee na watoto, nikweli hata uko bongo kuna wazee wamezaa watoto wengi na wanaishi maisha ya peke yao,watoto wako busy na familia zao .Mama au baba anaumwa anatumiwa pesa tu.wachache sana wanawachukuwa wazazi wao.
Interview ili zinoge na kuwa murua watafute wazanzibar utakula store nzur nzur za kufurahisha na za kuchekesha pia za kuhuzunisha watafute huko ulaya marekani mpaka Arabuni utapata muendelezo nzur tu
Niligonga schnegn visa nikatembelea nchi 8.ikiwemo germany franfurt na berline.ila kwa upande wangu dharau iliyonikuta italy rome.sitakaa nikasahau na mm mzanzibar nasubiri nimuone mtaliano ana shida nimtemeee mate haswa
Sadakta nipo huku kuna wakati najikuta nashinda chumbani nalia kwa upweke najiuliza nitarudi lini huku kinachoumiza maisha ya upweke hususani ukiumwa watt wapo school huku watu wapo busy na kazi wakitoka alfajiri kiza wanarudi jioni kiza hakuna hata wakukuuliza hali wala kukupikia uji
Ujerumani sio masihala uwe kidume Kwanza usome lugha angalau utapata kibaua na unajua kuzungumza ,na hospital angalau la kama hujasoma lugha Moto utaowona yaani ujerumani wa Nigeria wamedundo huko mjerumani ana roho mbaya hawana masihala mtoto wa sister wangu yupo huko mzenji yeye alivyofika huko kasoma lugha
Hapo sasa, "kuzaa sio kuhudumiwa kwa mzazi" yategemea tu imani na akili ya mtoto, pamoja na majaaliwa Then mtoto kumzaa nchi za nje, je kweli atafuata wazazi wake Africa, au kuwa support ki fedha? tuombe tu angalau waweze kujisaidia wenyewe kwanza
Dada Shehina,samahani,hawa wazungu wanaotaka mpaka uwalipie apple card ili waje nchini ikoje hii,.tena si hela kidogo kuanzia milioni siyo matapeli hawa?
Shenaz omba mumgu kweli lkn kuzaa na mijitu ua nje watoto huna lako tegemea tu ukatupwe kambini ulelewe au utarud kwenu wakiwepo wa kukusaidia ..jamaa yupo sawa kuhusu future ya watoto
Kwa namna hadithi yake ilivyo, isingekuwa vizuri aonekane mubashara. Kawataja jamaa fulani hapa na mengi ambayo lazima ajifiche. Alimradi tunamsikia sineno. Kwani unachotaka ni mlio wa punda au punda?
Mimi naona sometimes mtoto kumuweka mzazi wake nyumba za wazee, ni vile huwa busy na maisha yake na kazi, then mzazi hutaka huduma, hii ni kama vile wazazi huwapeleka watoto wao wadogo kulelewa kutwa 'Day/Child Care' so yajirudia
Na hao wazungu sio woote wabaya ni baadhi ni binaadam woote tuko hivyo hivyo kila mtu na tabia zake, huko nyumbani wanaume au wanawake sipia vita kila siku kuachana jamani au
Yeah, nasikia kuwa Ujerumani, na kama mfano Belgium, kujiripuwa kwake pia ni tofauti na sehemu nyengine, kama hivyo huko kuwekwa camp mpaka ufanikiwe, tofauti na nchi nyengine, hupewa hela kiasi ya kukodi sehemu pa kuishi, ya kula, usafiri, pamoja na ID na work permit, ili utafute kazi, au na study permit, ili uende shule, huku ukijiandaa kusikilizwa kesi yako, ila wakikukatalia, na kisha ukitaka una appeal kwa gharama zako, then unaenda nayo process, ila ukikwama, mwisho hukuzuilia na hizo IDs wakikuandaa kukurudisha kwenu, ila Ujerumani, kwa hiyo kupewa sheria kupitia kwenda shule kama alivyosema amepata DJ ni afadhali basi
We nawe kwani wa tanzania sio ma selfish, katika kila nchi kuna wazuri na wenye roho mbaya, hao wazanzibar wenyewe wana wabagua wa bara f@@damariszuckschwert9489
@@OfficialDatingAssistance Da shena kuna yule mama alitoa story yake kama sikosei yupo marekani watu wali comment sana arudiwe, alikua anaongea kama mchaga naomba kufaham story yake naipataj coz siioni kwenye list
Kweli sio izo kesi tu Sema huyo alipata Zari la fake visa Lakini ukiwa na visa ya kweli jamni usijibadilishie utaifa maana watacheki kwa system wakuone unatokea nchi gani then unazidi kujikaanga Yaani inshort usiseme uongo kwa vitu ambayo viko kwa system Only ushoga danganya uwezavyo Iko siku nitahadithia hivi vitu kwa Shena maana namimi nimepitia hiyo procedure ya ukimbizi but sikubadilisha chochote!na mambo yalikuwa very smooth
@@merycianachangarawe8979 Ila watu wengi tu, hasa miaka ya nyuma, walijibadilisha majina na tarehe za kuzaliwa, kisha hawakuingia na document yeyote nchi waliojiripuwa, na pia wengi wao walivuka mipaka, hawakuingia nchi husika moja kwa moja, na wamefanikiwa kesi zao. Haya mambo hayatabiriki
@@merycianachangarawe8979 Kubadilisha jina na tarehe ya kuzaliwa pia yategemea umeingia vipi, kama nilivyotangulia kujibu hapo, then sio fake visa tu, kuna walioingia na "bandika banduwa" picha yako, passport ya mtu mwengine
Shena umeongea ukweli, kuzaa sio kujiwekea hao watoto watakusaidia .kuna watoto wako bongo na hawawasaidii wazazi wao au wanatangulia watoto wewe ukabakia
Wasomali kweli ni wagomvi sana halafu wasomali hawapendi watu wafanikiwe kwani kama sio msomali unamtakia nini au kusema sio msomali unataka nini mwezio anatafuta maisha
Hiyo nikweli tulienda kujiandikisha college mimi na wenzangu yule alietupokea akatwambia hapa kuna munira kutoka Somali ngoja niwatambulishe akaambiwa kuna wasomali wenzako njoo wapokee alipofika alianza kufoka hawa sio wasomali every country from Somali mbele za watu ukumbi umejaa sisahau akatuchambaa mpaka mpaka miguu imekufa nguvu shoga angu akasema mimi natoka kenya sitoki somali yule dada akatununia hatusalimiani nae mungu si athman dada yake msomali mimi shoga yangu namuuzia biashara zake mashuka mitandio na mapazia sasa akanikuta nae akamuuliza unajua huyu akamwambia my best friend mimi nikamwambia mimi na huyu hatuongei basi yule dada siku ya eid akatuita tulikuwa tunasali akasema peaneni mikono mukumbatiane yenye haki ya kujua nani msomali nani sie ni uhamiaji kuanzia leo muongee toka siku ile tukawa friend na watt wetu wakawa wanasoma nasary moja tukawa tunakutana ndio mpaka leo tunaongea ogopa wasomali 😢😢😢
This DJ brother is so deep...full of wisdom.He isn't living in an illusion.
The hastles was really 😊 watoto wa kiume bwana Mungu awasaidie.
Mashallah allah akuhifadhi jasiri sana maisha ni safari ndefu upo ngangariiiiiii nimependa unaongea kwa umakini
Hii nimeikubali sana maisha kwel popote muhimu kumtanguliza Mungu mbele💯💯
Best one. Ameeleza vizuri
Dada shena mm mtanzaniaa napenda sana uendeshaji wa vipindi vyako nakupenda sana siyo kimapenzi kama dada yang elim yang ndogo unanisaidieje nijue kuingia onilain😊
Hii interview nimecheka mwanzo mwisho jamani huyu Kaka ni jasiri .
Kwanza hiyo visa feki hadi nimetetemeka.
Ila msisahau mlikuwa n'a Mungu kabisa.
Big up bro
Ahsante sana kwa Elimu hii brother 🎉🎉🎉🎉
Story nzur kaka kaitowa inafundisha kitu kwenye maisha kwenda ulaya au kuishii ulaya
Hongera kwa Safar na pole Sana ulizamilia kutimiza ndoto zako haikuww rahisi 🎉
Mungu wabariki kaka hongera Kwa utulivu na dada Shena nimejifunza zaidi
I like that DJ, umeowa mtu sio awe mtumwa wako, but patner wako, hapo uliemuoa akiwa ni muelewa, na mwenye imani, kama hivyo, bila ya shaka mutasaidiana vizuri tu
MashaAllah tabaraka Rahman
Elim haimtupi MTU
Hapo kweli kabisa Shena, turudi kwa Mwenyezi Mungu si kwa watoto tu, yaani kwa kila kitu
Uko kama Michael Scofield unaakil nomaaaah
📌📌
@@OfficialDatingAssistancesister tafta na wengine wa nchi zingine ata thailand china Philippines korea japan
Hiyo ni good idea Shena, kuleta hiyo mada na mzee ya kuhusu uzeeni, coz kuna baadhi yetu hufikiria tu pesa ya kustaafu nchi za nje, ndio itamfanyia kila kitu, ambayo kwamba hata utaratibu wake hawautafiti ki undani
Mashallah ila yupo mdogo wangu huko katoka zanzibar ila hadi leo karatasi hajapata nipe mbinu
Kweli kabisaaa. WA Zanzibari. Wana. Hikma na. HESHIMA. ZA wazee. HONGERA. Sana
Karibu tena bububu kamanda
Wa Bububu mwenzetu pia kumbe huyo?
Jirani
Tatizo la mijitu ya tanzania mingii inaakili finyu mijuaji ina maisha ya shida ,kazi kupinga kila kitu ivi ukisikia ukajifunza kitu unapungukiwa nini?
shukran mr dj
Hii interview imenifanya hii ela ya kwenda ulaya ninunue kiwanja nijenge..😅😅😅😅
Nunua ulaya 🤸
😂😂😂 kwa kweli🙌🙌🙌
Jaribu wenzio tupo huku ulaya majaribu yapo kwa kila engo😂😂😂
Visa za Nairobi kenya 😢
Hahaha
Jamaa majiekti sana and..... and.......... and nyingi sana
Story kama inanivitia ivii 😊😊
Aunt yangu Sheina umeongea point kabisaa hata ukizaa na mwafrica hao watoto siwatakuwa Ukhty wataolewa au kuowa wazungu ndio hayo hayo tutaishia kambini tusijipangie hatujijui watoto pia wanaweza kukimbia
Wanasema wazee tembea uone na maisha ni safari life is Journey so kaza buti lakini usimsahau MOLA wako na Ibada.
Mmh mbona kama umetupinga changa la macho Inamaana skuli form ulimaliza ukiwa na 15yra old
Mwanangu alianza grade 1 na 5yrs so atamaliza form 4 na 15yrs
nawapata vizuri south Africa.
Nice interview
Hello mbona Hawa watu wanasema wamewapata dating site lakini hawami ni dating site ipo.
Story ya huyu dah ni fundisho kwa makaka zetu wenye ndoto za kujilipua wajifunze
Sasa hivi una umri Gani Dj
Shena nimependa sana ushauli wako wa kuhusu uzee na watoto, nikweli hata uko bongo kuna wazee wamezaa watoto wengi na wanaishi maisha ya peke yao,watoto wako busy na familia zao .Mama au baba anaumwa anatumiwa pesa tu.wachache sana wanawachukuwa wazazi wao.
InshaAllah biidhnillah taala Utapata
Nanyi mbona muko ulaya tutakuja sote uko😅😅
kaka ana akili huyuuu Maashallah
Nimejifunza kitu kaka umeeleza vizuri story Yako
Ww nidaraud hawi isak
Au nafal au hazrani auchanda
Koyama na chula ivyo visiwa
Huyo asiyesikia akapimwe
Nice
Umenikumbisha mbali
I recommend seminar machundo from Denmark for that dialogue😊.
I'll check it out, thanks for the suggestion
Watanzania baadhi kunaambao wanazarau wakimbizi lani kwaanao elea watanzaia wa nalitumia sana nawafika wanapotaka dunia ndohivyo
Kwa hiyo baada ya kutumika sana na wazungi je hivi Sasa umeona au una mahusiano yote?
Ogela kaka
Interview ili zinoge na kuwa murua watafute wazanzibar utakula store nzur nzur za kufurahisha na za kuchekesha pia za kuhuzunisha watafute huko ulaya marekani mpaka Arabuni utapata muendelezo nzur tu
Niligonga schnegn visa nikatembelea nchi 8.ikiwemo germany franfurt na berline.ila kwa upande wangu dharau iliyonikuta italy rome.sitakaa nikasahau na mm mzanzibar nasubiri nimuone mtaliano ana shida nimtemeee mate haswa
😂😂😂😂ilikuwaje
Jamaniiii,,
Maisha ya Africa ni mazuri unakuwa karibu na familia kuliko maisha ya ukaya
Kabisaa
Sadakta nipo huku kuna wakati najikuta nashinda chumbani nalia kwa upweke najiuliza nitarudi lini huku kinachoumiza maisha ya upweke hususani ukiumwa watt wapo school huku watu wapo busy na kazi wakitoka alfajiri kiza wanarudi jioni kiza hakuna hata wakukuuliza hali wala kukupikia uji
Pole kipnz pamban inshallah m/mng atakufnyia weps@@FatimaAli-of4gh
WATU UNAOWAHOJI WANAWEKA HANDLE ZAO KAMA FB AU INSTA KAMA MTU ANAHITAJI USHAURI KWA ALICHOELEZEA IWE RAHUSI KUMFATA.. ANATU INSPIRE NINI?
Wote mnasikika vizuri
Ujerumani sio masihala uwe kidume Kwanza usome lugha angalau utapata kibaua na unajua kuzungumza ,na hospital angalau la kama hujasoma lugha Moto utaowona yaani ujerumani wa Nigeria wamedundo huko mjerumani ana roho mbaya hawana masihala mtoto wa sister wangu yupo huko mzenji yeye alivyofika huko kasoma lugha
Wenye mupo ula naomba connection,,acheni kutukatisha tama
Wasomali wachafu kama warabu wanapenda kufanyiwa kilakitu kupelekesha wakiwa wanakula kama ugomvi
Na nyie nae mna roho mbaya, chuki na kutukana watu waliowazidi ndo maana zari huwa tusi nyie na uchafu wenu, wanuka chupi na vikwapa
@@Ilhamtube554 hujielewi paka wewe mpaka na makaburi ya ukoo wako 🐕🐕
@@annamussa185 we nguruwe tulia, changudoa mchafu wa bei chee, njaa zitakuua,🤣🤣🤣🤣
@@Ilhamtube554 huna maajabu sasa Nguruwe nalo tusi kahaba wa kizamani ww
@@Ilhamtube554 nimekuzidi kilakitu mpaka akili
Dj nitampata wapi shena.
Maisha dah! Mafunzo kila siku
Story za kijeshi sio vizuri kuziongelea Kama una story tulia kala kimya siri zingne ziache hivyo hivyo be strong sio kila kitu chakusimulia
Sasa yule rafiki yako mlikuja kuonana tena?
Watu tunaishi Germany tunakuelewa sana,its not easy tuna mengi ya kusimulia
Karibu sana kwa kipindi +4367764790884
Ndugu acha tu
Ahsante sana@@OfficialDatingAssistance
@@OfficialDatingAssistancemadam
Nawapata vyena naomba siku hiyoniarifuni
Nikupeni somo
Hapo sasa, "kuzaa sio kuhudumiwa kwa mzazi" yategemea tu imani na akili ya mtoto, pamoja na majaaliwa
Then mtoto kumzaa nchi za nje, je kweli atafuata wazazi wake Africa, au kuwa support ki fedha? tuombe tu angalau waweze kujisaidia wenyewe kwanza
Hivi Shena kuna baadhi ya videos huwa unazifuta!?
Mnasikika vizuri
Dada Shehina,samahani,hawa wazungu wanaotaka mpaka uwalipie apple card ili waje nchini ikoje hii,.tena si hela kidogo kuanzia milioni siyo matapeli hawa?
Mh! Kama hawezi kuja aache kwanini ww umlipie pesa?? Shtuka ndugu
Mh!
Shtuka ndugu jiongeze Kama hawezi kuja aache
Mzungu anatakwa kuhongwa na wadada wa Bongo. Aisee hii Dunia ina mambo kweli kweli. Achana na wanaijeria wewe utakuja kulia mchana kweupe
@@atomphoton5000 apo ashtuke mapema hamna kitu apo ukute uyo ni mbongo mwenzako😂😂
nahisi iyo sehemu inaitwa Barawa
Alafu awa wanzanzibar mbona wanapenda kujinadi sana wao ni wa Tz bwana
Tunawasikia
Shenaz omba mumgu kweli lkn kuzaa na mijitu ua nje watoto huna lako tegemea tu ukatupwe kambini ulelewe au utarud kwenu wakiwepo wa kukusaidia ..jamaa yupo sawa kuhusu future ya watoto
Mbona mimi simuoni mzungumzaji, nakuona Shena mwenyewe tu. Msaada plse!!
Kwa namna hadithi yake ilivyo, isingekuwa vizuri aonekane mubashara. Kawataja jamaa fulani hapa na mengi ambayo lazima ajifiche. Alimradi tunamsikia sineno. Kwani unachotaka ni mlio wa punda au punda?
Shena.. Naomba niwasiliane na huyo kaka plz... 🙏Pls
Mimi naona sometimes mtoto kumuweka mzazi wake nyumba za wazee, ni vile huwa busy na maisha yake na kazi, then mzazi hutaka huduma, hii ni kama vile wazazi huwapeleka watoto wao wadogo kulelewa kutwa 'Day/Child Care' so yajirudia
Wengine tunaishi miaka mingi na Alhamdulilah hatujapitia hayo mambo hayo jiongelee wewe bro
Unaishi kwa kuingilia njia ipi, au ki vipi ndugu?
Bahati yako
Na nyiyi wazanzibar mkiwa oman mnatufanya vipi msomali anaye zungumza kiswahili mnamweka ndani kwasababu wengi wenu ni immigration huko oman
Utantusemeya mbaya lakini wazanzibar tunawajua sana ndiyo sababu huwezi kukuta msomali zanzibar na tuko majirani
Na hao wazungu sio woote wabaya ni baadhi ni binaadam woote tuko hivyo hivyo kila mtu na tabia zake, huko nyumbani wanaume au wanawake sipia vita kila siku kuachana jamani au
True
Asilimia mia wazuri nko ulaya
Ukiwa mkimbizi kwa ujerumani ni shida mpaka uje kusimama.watu waje ulaya maisha ya ulaya sio kama nyumbani
Yeah, nasikia kuwa Ujerumani, na kama mfano Belgium, kujiripuwa kwake pia ni tofauti na sehemu nyengine, kama hivyo huko kuwekwa camp mpaka ufanikiwe, tofauti na nchi nyengine, hupewa hela kiasi ya kukodi sehemu pa kuishi, ya kula, usafiri, pamoja na ID na work permit, ili utafute kazi, au na study permit, ili uende shule, huku ukijiandaa kusikilizwa kesi yako, ila wakikukatalia, na kisha ukitaka una appeal kwa gharama zako, then unaenda nayo process, ila ukikwama, mwisho hukuzuilia na hizo IDs wakikuandaa kukurudisha kwenu, ila Ujerumani, kwa hiyo kupewa sheria kupitia kwenda shule kama alivyosema amepata DJ ni afadhali basi
❤
Soma kijana kichwa hakina madeni 😂😂😂
Dada sena hutukusikii
Shena, why should they mind their own business? Your people are using Somalis and, at the same time, insulting them. Really?
He said some somalis. Not all somalis. Chill my dear😅😂
You're known for your selfish 😢😢
😅😅😅😅😅Hatar@@damariszuckschwert9489
Who is selfish and vindictive? Some of us grew up in Tanzania, and we decided to leave because of your racism and zenophobic behavior.
We nawe kwani wa tanzania sio ma selfish, katika kila nchi kuna wazuri na wenye roho mbaya, hao wazanzibar wenyewe wana wabagua wa bara f@@damariszuckschwert9489
Akaa baada ya kumaliza form ukakaa dar 5yrs ukatafuta visa 2 to 3yrs baadae ukarudi tena Zenji na ukarudi miaka pia 😂 mara ukawq 19yrs 🏃♀️🏃♀️
Story nzima hayo tu ndio ulopata ya kukujenga?
😁
@@OfficialDatingAssistance Da shena kuna yule mama alitoa story yake kama sikosei yupo marekani watu wali comment sana arudiwe, alikua anaongea kama mchaga naomba kufaham story yake naipataj coz siioni kwenye list
Hata mimi sikuelewa hiyo miaka bado 😂😂😂😂😂
😂😂😂
Me Somali😀😀😀
Ipi
Mara nyingi hutokea hivyo, jamaa zetu back home, tukijibana sisi na kuwasaidia wao, wao hawajuwi hilo, hujuwa tunazo tu, na pia ni kama lazima tuwape
Samahani kwa kutoliandika vzr jina lako
Wow! ila for example wa TZ, yategemea ni kujiripuwa miaka ipi nyuma ndugu, so kesi sio Somali, na ushaga tu, za kisiasa ya TZ pia zilikuweko zamani
Kweli sio izo kesi tu
Sema huyo alipata Zari la fake visa
Lakini ukiwa na visa ya kweli jamni usijibadilishie utaifa maana watacheki kwa system wakuone unatokea nchi gani then unazidi kujikaanga
Yaani inshort usiseme uongo kwa vitu ambayo viko kwa system
Only ushoga danganya uwezavyo
Iko siku nitahadithia hivi vitu kwa Shena maana namimi nimepitia hiyo procedure ya ukimbizi but sikubadilisha chochote!na mambo yalikuwa very smooth
@@merycianachangarawe8979 Ila watu wengi tu, hasa miaka ya nyuma, walijibadilisha majina na tarehe za kuzaliwa, kisha hawakuingia na document yeyote nchi waliojiripuwa, na pia wengi wao walivuka mipaka, hawakuingia nchi husika moja kwa moja, na wamefanikiwa kesi zao. Haya mambo hayatabiriki
@@merycianachangarawe8979 Kubadilisha jina na tarehe ya kuzaliwa pia yategemea umeingia vipi, kama nilivyotangulia kujibu hapo, then sio fake visa tu, kuna walioingia na "bandika banduwa" picha yako, passport ya mtu mwengine
Shena umeongea ukweli, kuzaa sio kujiwekea hao watoto watakusaidia .kuna watoto wako bongo na hawawasaidii wazazi wao au wanatangulia watoto wewe ukabakia
Mnh kwani si unatumia nida au mlitumia nida za watu wengine?
Wasomali kweli ni wagomvi sana halafu wasomali hawapendi watu wafanikiwe kwani kama sio msomali unamtakia nini au kusema sio msomali unataka nini mwezio anatafuta maisha
Hiyo nikweli tulienda kujiandikisha college mimi na wenzangu yule
alietupokea akatwambia hapa kuna munira kutoka Somali ngoja niwatambulishe akaambiwa kuna wasomali wenzako njoo wapokee alipofika alianza kufoka hawa sio wasomali every country from Somali mbele za watu ukumbi umejaa sisahau akatuchambaa mpaka mpaka miguu imekufa nguvu shoga angu akasema mimi natoka kenya sitoki somali yule dada akatununia hatusalimiani nae mungu si athman dada yake msomali mimi shoga yangu namuuzia biashara zake mashuka mitandio na mapazia sasa akanikuta nae akamuuliza unajua huyu akamwambia my best friend mimi nikamwambia mimi na huyu hatuongei basi yule dada siku ya eid akatuita tulikuwa tunasali akasema peaneni mikono mukumbatiane yenye haki ya kujua nani msomali nani sie ni uhamiaji kuanzia leo muongee toka siku ile tukawa friend na watt wetu wakawa wanasoma nasary moja tukawa tunakutana ndio mpaka leo tunaongea ogopa wasomali 😢😢😢
Wasonji wana umimi sana... Mkikutana Nchi za watu utawajua vizuri😮
Tupo warabu huwa wanasema wana nyongana ila sisi bado twa pambana😂😂😂. Bariadi duniya lazima upitiyee changa moto ata uwanja una zulumiwa
Shena hata MIE pia nitafute naeshi umarekani natokeya bongo na Burundi nimechaga kihivyo ukinialika unatakiwa unipatie nikiwa home
Karibu sana
WhatsApp +4367764790884
Mnasikika wote tuendelee
Tuna wasikiya.
Abali mimi taka kuingia kwa lav yako nafanya vp
Tuwasiliane WhatsApp +4367764790884
Kionyesha vidole bado sijaelewa
Koyama
Kuddadeki mbogo mbishii ..lazima ulaya nitimbee tu
Ndugu sio wakuwaendekeza inapobidi unawacancel
Tunasikia wote
Anaskilizika tu
Tunawasikia vzuri dada Shena