SARAH - "NILIKAA KWENYE NDOA MIAKA 5 BILA MTOTO -NILIITWA MZEE NILIYEFIKIA UKOMO wa KUZAA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +2

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @Abubakarrashid-u1j
      @Abubakarrashid-u1j หลายเดือนก่อน +1

      Wewe uliohishi miaka ya ndoa naitaji tupigiane simu ilituongee vizuli

    • @EsmaHussein
      @EsmaHussein หลายเดือนก่อน

      Upo wap

  • @betsebaedwinmwenda
    @betsebaedwinmwenda 29 วันที่ผ่านมา +1

    Niko mbali sana na Dar niko Ruvuma lakini Kwa maelezo hayo nishamjua huyo mwanaume ni nani ila Mungu anakupenda sana wewe ni mwanamke jasiri sana nakupenda dada Sarah
    Wakati wa Mungu ni wakati sahihi.

  • @maryjosephat2885
    @maryjosephat2885 หลายเดือนก่อน +11

    Iily unaongea kuliko muhusika muache aongee yeye

  • @doricelugundiza4849
    @doricelugundiza4849 หลายเดือนก่อน +3

    Mtangazaji uwe una-chill mtu aongee

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wetu ni mkuu sana

    • @JosephKingwere
      @JosephKingwere 27 วันที่ผ่านมา

      Hakika Mungu nimuamnifu mimi nina mdg angu anataka kuolewa ila kule anakotaka kwenda roho yamgu zito yani na mpinga huyo mwanaume simjui mna mm sipo Tanzania mdg angu kang'ania hatri mpka kacha biashra zangu kamua kwenda kwa mwanaume

  • @zamdakimaro8040
    @zamdakimaro8040 หลายเดือนก่อน +5

    LILIAN ACHA KUONGEA BANA NINI MUACHE MTU AONGEEE

  • @tiffanymo9453
    @tiffanymo9453 หลายเดือนก่อน

    I love you sister lilian !!♥️so sorry for all happened sister sarah..God is always Good.

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน +6

    Dada mimi nilirudisha mpaka mahari nikakasirikiwa na familia mzima mpaka mashangazi nilikuwa kila nikivuta hisia na huyo atakae nioa sipati kwa kuwa alikuwa ana pendwa na family lakini sio mimi

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we หลายเดือนก่อน

    Lilian leo umependeza🎉🎉🎉🎉

  • @kadilamore802
    @kadilamore802 หลายเดือนก่อน +1

    Ongeeen kiswahili and mtangazaji unaongea sana zaidi ya mgeni

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 หลายเดือนก่อน

    I have a story to tell, itawafunza watoto na wazazi, i wish tuonane da lilian nikusimulie.

  • @Aisha-qd2rg
    @Aisha-qd2rg หลายเดือนก่อน +1

    Hapo da Sara kulia na uchawi ndani yako haiwezekani siku za hatar ndo ugomvi ndo utokee hmm pole Sana na hongera sana kwa kupata watot

    • @SakinaValy
      @SakinaValy หลายเดือนก่อน

      Dada Sara nipatie namba zako

    • @Aisha-qd2rg
      @Aisha-qd2rg หลายเดือนก่อน

      @SakinaValy ohooo love uko wapi

    • @SakinaValy
      @SakinaValy หลายเดือนก่อน

      ​@@Aisha-qd2rgnipo uganda

  • @Zahara-r7z
    @Zahara-r7z หลายเดือนก่อน

    Nyie mambo hayo msikie tu

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka หลายเดือนก่อน +3

    Stigma ni kunyanyapaa au kunyanyapaliwa

  • @sifaelimrutu
    @sifaelimrutu 22 วันที่ผ่านมา

    Duuuh dada Mtangazaji unaharibu utamu wa stor unaongea saaaanaaaaa

  • @SuzanPeter-gk5qm
    @SuzanPeter-gk5qm 28 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo inaongea Sana kuliko uliyemwitamambaye ndiye tunataka kumsikiliza yy punguza kuongea ww mwachie nafasi uliyemwalikamtujue story yake vyema

  • @Zahara-r7z
    @Zahara-r7z หลายเดือนก่อน

    Na mimi ipo ivyoivyo da Lili

  • @comulusnimbuss931
    @comulusnimbuss931 หลายเดือนก่อน +1

    Hii hali aliokua hana basi mungu amuepushe nayo..ickie tu isikufike

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU NI KILA KITU. LILIANI MBONA SASA UNALETA HABARI ZA KWAKO?ACHA HUYO DA SARA AONGEE UNAPOTEZA UZURI KWENYE CHANEL YAKO. UWE NA SUBRA USHAURI WANGU

  • @HappyTitus-ir4ch
    @HappyTitus-ir4ch หลายเดือนก่อน +2

    Hata Sara WA kwenye maandiko alizaa akiwa mzee

  • @Gratefulheart3188
    @Gratefulheart3188 19 วันที่ผ่านมา +1

    Unaongea sana

  • @JacquelineanyangoRayamo
    @JacquelineanyangoRayamo หลายเดือนก่อน +1

    Lilan u talk too much jamani mwache guest wko aelezee

  • @RachelMligwa
    @RachelMligwa หลายเดือนก่อน +1

    Ukipoteza pete ujue hakuna ndoa

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 หลายเดือนก่อน

      Weee!kweli habari hiyo ??!!

  • @zoey2635
    @zoey2635 หลายเดือนก่อน +3

    Da Lilian sisitizia haswa wanawake kupata muda wakupumzika ni muhimu sana , inasaidia kupunguza stress haswa baada ya kujifungua na mwili kupona, natamani nihadithie nilopitia baada ya kujifungua

    • @nadhifamustapha7557
      @nadhifamustapha7557 หลายเดือนก่อน +1

      Hello dear nihadithie mie manake in shaa ALLAH few weeks I’m going to be a mom

    • @zamdakimaro8040
      @zamdakimaro8040 หลายเดือนก่อน

      Pole sana inaumiza vitu vyote mwili na roho

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z หลายเดือนก่อน

      Mmmmmmmmmmmh​@@nadhifamustapha7557

    • @annakapolondo7771
      @annakapolondo7771 15 วันที่ผ่านมา

      Naomba namba zako tUwe marafiki mimi ni mama na napenda kujifunza kutoka kwako

  • @sebastianalbert2857
    @sebastianalbert2857 หลายเดือนก่อน +3

    Mtangazaji unaongea mwenyewe tuuuu

  • @Aisha-t2q
    @Aisha-t2q 28 วันที่ผ่านมา

    Sasa hapa mtoa story ni nanan. Mamaa mtangazaj Ana moto kuliko mtoa post

  • @marianabenangodi5522
    @marianabenangodi5522 28 วันที่ผ่านมา +1

    Mtangazaji unaongea sana kuliko mgeni. Punguza mchecheto. Kipindi kizur though

  • @happyfihavango4151
    @happyfihavango4151 หลายเดือนก่อน +4

    Mnauzi na vingereza vyenu ongeeni viswahili bwana

    • @RitahNash-yg3yf
      @RitahNash-yg3yf หลายเดือนก่อน

      𝘔𝘮 𝘮𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦𝘸𝘦 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘯𝘪𝘬𝘦𝘳𝘢𝘫𝘦?

  • @felisterjohn493
    @felisterjohn493 หลายเดือนก่อน

    Lilian naomba kipindi chako kifike mikoani