MKASA wa KWELI: MAMA TINA ATAPELIWA MIL 27 KWENYE 'UPATU' ONLINE - MUME AMSALITI KISA MWARABU...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 71

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  หลายเดือนก่อน +6

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @FBT146
    @FBT146 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu anapokupitisha kwenye jaribu mbele yako kuna kitu anakuandalia kadri ya jaribu lako lilivyo , nikumtegemea Mungu sana.

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 หลายเดือนก่อน +1

    Pole saana wanawake wengi wanaelea watoto wenyewe wamepitia changamoto nyingi saaana ila kila kitu kina Mwenyezi Mungu

  • @matagegnp8284
    @matagegnp8284 หลายเดือนก่อน +2

    Tamu❤

  • @naomilumolwa7864
    @naomilumolwa7864 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dd, Mungu akutie nguvu. Atakupa maisha mazuri zaidi.yote hayo ni mapito.

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 หลายเดือนก่อน +6

    Huyo aliomtapeli mwanae mambo ya mziki ni miriam migomba

    • @karimu4116
      @karimu4116 หลายเดือนก่อน

      Weee kumbee

    • @veronicakayungi
      @veronicakayungi หลายเดือนก่อน

      Mama Tina,pole sana mpendwa lkn umenipa nguvu natamani nipate namba yako kuna kitu kimenigusa my dear

    • @utyubish
      @utyubish หลายเดือนก่อน

      Aibu sana. Na ndo maana kazeeka miriam

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 หลายเดือนก่อน +3

    Mama Tina,wewe ni jembeeee❤ MUNGU kakupitisha hapo ili uwe baraka ya kubariki wengine,leo umenibariki kwa ushuhuda huu.Barikiwa sanaa

  • @stellanagib5631
    @stellanagib5631 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada kila aliyekufanyia ubaya atalipwa hapa hapa na atakuja kukuomba msamaha endelea kumuomba Mungu ana kusudi na wewe hongera kwa kupambana haukukata tamaa hongera sna

  • @utyubish
    @utyubish หลายเดือนก่อน

    Nimempenda mama tina .na mm nimefanya mishe migodini..nikawa tajiri kwakweli..mwakityolo hiyoo

  • @PendoXavery
    @PendoXavery หลายเดือนก่อน +3

    Big up mama your a super woman mpambanaj big up

  • @sungwaroserose4154
    @sungwaroserose4154 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mama Tina na sisi wa mwanza ulitusahau my

  • @shamiramsoke1365
    @shamiramsoke1365 หลายเดือนก่อน +1

    Pole na hongera sana mama tina

  • @zeyanaalgheithy6561
    @zeyanaalgheithy6561 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu alikupa mtihsn ni majaribio kutoka kwa mungu.alikua hataki uuze pombe .kwakweli mungu azidi kukupa uvumilivu

    • @LuluAquai
      @LuluAquai หลายเดือนก่อน +1

      Coment yako nzuri

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Mama Tina dah

  • @AsimweJosiah
    @AsimweJosiah หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza sana na nimeisikiliza na imekuja kwa wakati kwangu

  • @ShamimuKanju
    @ShamimuKanju หลายเดือนก่อน

    Pole sana mdogo wangu ma.Tina

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk หลายเดือนก่อน +4

    Pole mamatina ila binadamu siowatu

    • @SharyMary-s8t
      @SharyMary-s8t หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa 💯

  • @hadijaismail3619
    @hadijaismail3619 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mama Tina, kwa majaribu uliopitia

  • @TatoOman-s5t
    @TatoOman-s5t หลายเดือนก่อน +2

    Naijua inaumiza sana hio hali kulea watt mwenyew mimi kiĺa siku nalia😢

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn หลายเดือนก่อน

    Pole sana Bibie MUNGU atakupa maisha mengne

  • @angeljoseph8103
    @angeljoseph8103 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada malipo hapahapa dunia hao watu Mungu hata shughulika nao pole sana wanadamu nishida baadhi awana huru bora ukutane namnyama pole hawatu Mungu harashughulika nao mmojammoja

  • @rachelsika9588
    @rachelsika9588 หลายเดือนก่อน

    Mungu yu mwema, kupitia wewe sita kata tamaa, Mungu awe nawe,,Amina

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 หลายเดือนก่อน +2

    Gabi leo nakupongeza, maana comment yangu yangu ya mwisho ilikua kulalamika introduction ya wageni. leo umefanya vizuri sana, umetutambulisha kwa ufupi na kwa umakini sana, mgeni tume muelewa na story ime follow vizuri. Hao nyinyi mnao ona mastaa sisi wengine hatuwajui, uwe unafanya hivi hivi ili na sisi tusio wajua hawa watu tuwe tuna angalia vipindi. ahsante.

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada single mother tunapitia mengi sana muhimu ni uvumilivu

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน +1

    Ma Tina kapitia mitihan mimgi lakin ananenepa ngekuwa mie ngebaki na kilo 5 km mange 😢mungu atakupia dada hapahpa dunian haki ya mtu haipotei bure 😢

    • @utyubish
      @utyubish หลายเดือนก่อน

      Yaani mm nikiwa na stress hua nanenepa mnoo. Sikondagi eti

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 หลายเดือนก่อน +1

      @utyubish hongera mwaya

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 หลายเดือนก่อน

    Kumtanguliza Mungu maana wengine akijuwa wewe unapesa anakuja na njia nyingine ya kukushawishi sijui madawa ama ni nini😢😢

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +2

    Mama tina. Nami nimeaachiwa zawadi ya watoto. Wanaume baadhi yao. Wanarohombaya sana yani hata dam zao hawazitaki nistalehetu na wanawake wengine

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 หลายเดือนก่อน +1

    Pole jamn😢😢

  • @fatumaseif696
    @fatumaseif696 หลายเดือนก่อน +1

    Itoshe kusema wanawake tunachukiana sana na hatutakiani mema, na wanawake siku hiz ndo tunaongoza kutapeliana

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wengi walio na pesa Huwa wanatumia pesa zao kama fimbo yakuchapya wanaume wao wakisahau kama funguo za Riziki alibakinazo Mungu Mwenyewe Wanaume wanao owa kwenye familia za Matajiri wengi wao wanapitia Magumu sana 🙌

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p หลายเดือนก่อน

    Pole sana Dada

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 หลายเดือนก่อน

    pole sana dear mi nlijua tu alosababisha niyule alorecord lalipo nihapahapa dunianai

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sn mm

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 หลายเดือนก่อน +1

    Gaby 🎉

  • @PendoJm
    @PendoJm หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 หลายเดือนก่อน

    Mmh mitihani ni migumu Kwa kweli

  • @elizabethmwamdanga7377
    @elizabethmwamdanga7377 หลายเดือนก่อน

    nomba ya mama tina naomba

  • @angeljoseph8103
    @angeljoseph8103 หลายเดือนก่อน

    Wimbo asikilize kama mapito tumepita sana vita vyamaneno tumesemwa sana lakini mama Tina bado anasonga mbele

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 หลายเดือนก่อน

    napataje namba ya mam tina

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 หลายเดือนก่อน +3

    Pole mtu anaitwa dalali ni manyoko sana mwanaume dalali mwogope kama ukoma na nyoka cobra matako sana

    • @PendoXavery
      @PendoXavery หลายเดือนก่อน

      Mmm sio mchezo

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +1

    Kufanya biashala uwanjawamtu au nyumbayamtu wakiona unafanikiwatu. Mtihani unaanza wanakufukuza

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 หลายเดือนก่อน +1

    Polisi sio mbaya mbaya walimwengu mm

  • @petermangama330
    @petermangama330 หลายเดือนก่อน +1

    Punguza tamaa ya kutaka kufanikiwa harakaharaka utatapeliwa sana tena sana. Ila pole dadangu

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 หลายเดือนก่อน

    Nawe jinga,yaani nkachexe usenge,kwani ungekusanya mwenyewe ingekuwaje?

  • @arafatmbaruku8927
    @arafatmbaruku8927 หลายเดือนก่อน

    Ugomv wa wanawake hatuingilii😅😅

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 หลายเดือนก่อน

    Nchi haifuati Sheria, ndio maana mapolisi wanafanya wanavyotaka.

  • @creativity8292
    @creativity8292 หลายเดือนก่อน

    NAOMBA MAELEKEZO YA ACCOUNT ZAKE ZA SOCIAL NETWORKS TUMTAFUTE

  • @Husnasalim-f2g
    @Husnasalim-f2g หลายเดือนก่อน

    Ndiomaan sitak michezo wallah

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 หลายเดือนก่อน +3

    Nimegundua kitu kwako hutoi fungu la 10 nakusaidia wahitaji fanya hivyo utaona ukuu wa mungu

    • @marthadaniel4904
      @marthadaniel4904 หลายเดือนก่อน

      Kweli amtafut MUNGU atainuka

  • @JaneKabyemela-y5u
    @JaneKabyemela-y5u หลายเดือนก่อน +1

    No ya mama Tina atupe.coneckshen

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc หลายเดือนก่อน

    Mama tina nataka ushauri wabiashara

  • @happycharles2243
    @happycharles2243 หลายเดือนก่อน

    Heee huyu mwandishi anaongea kama profesa wa jua kali😂

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 หลายเดือนก่อน

    hahaa hapo kwenye tair nimepentsaa hahaaa wanaume wenye tamaa hao

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur หลายเดือนก่อน +2

    Mimi natafuta tu million mbili za mtaji duuh!

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh หลายเดือนก่อน +1

      Pole ndugu

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl หลายเดือนก่อน +2

      Mungunatakupa lnshaallah jitahidi.kupamba na kuomba Dua

    • @hawa6052
      @hawa6052 หลายเดือนก่อน +2

      Allah atufanyie wepesi ufanikiwe mpendwa

    • @hawa6052
      @hawa6052 หลายเดือนก่อน +2

      Usikate tamaa pia kuwa na Subra utapata

    • @munabalushi2964
      @munabalushi2964 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢