Dah tazama dunia mama wakambo katokea kuwa mzuri baba mzazi kawa na roho ya ukatili daima kizuri hakidumu mungu mkubwa maskini mama wakambo katokea kuwamwema nandio mungu kampenda zaidi alhamdulilah
😢 Yani ume nikumbusha mengi sana nilio yapitia nikiwa mdogo! But you know what! MUNGU yupo Kwa ajili yetu😢 forgive and release them. Sio rahisi kusamehe but tell God to help & heal you.
Daaah!!! Sijawahi kutoa comment lkn leo nimelia sn imenibidi niandike...pole sn kpz umepitia mazito sn ktk umri mdogo...umenifanya nimkumbuke mama angu aliniachaga mapema sn nilipitia mengi magumu....ila kwa sasa namshukuru Mungu saaaana nimeuona wema wake...na ninazidi kuuona...usikate tamaa Bado Mungu anakuwazia mema
Ndio Mana biblia inasema tushukuru kwa kila Jambo Mungu nakushukuru Mungu kwa kila Jambo Mungu wasaidie watoto wote wanaoishi katika mazingira magum 😭😭😭😢😢hii imeniliza sanaa
Dad pole dada angu usilaumu mpk leo upo hapo ni mpng wa mungu, Mungu anakupenda sana na mm nakupenda umenifundish kitu kikubwa na kitaish moyoni mwang milele
Huyo shangazi ni mbwa kabisa kuna nafasi yake motoni na huyo baba yako ni mbwa kabisa binadamu sisi ni wakatili sana bora uishi na wanyama porini kuliko binadamu baba yako huyo mama wa kambo Mungu ampe baraka nyingi asante mama kwa upendo wako
@@victoriaelisante3351 kama ukivunja hayo madhabu hata sio lazima utupe na kuchoma moto kwa mfano mwili uliochanjwa chale vipi utautupa uweke mwingine ila sio mbaya kila mtu na anavyoamini
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Dah tazama dunia mama wakambo katokea kuwa mzuri baba mzazi kawa na roho ya ukatili daima kizuri hakidumu mungu mkubwa maskini mama wakambo katokea kuwamwema nandio mungu kampenda zaidi alhamdulilah
Haya mambo yapo mm mwenyewe nimeishi maisha kama sina wazazi ila namshukulu Mungu Nimekuwa 🙏🙏🙏🙏
The pain in this story heart wrenching. Na kuna watoto wanafanyiwa kila kitu lakini hawana shukrani. I wish some wangejua wanayopitia wengine
I saw this on tiktok, huwa napenda kusikiliza simulizi za watu tofauti, zinafundiaha sana. Thanks da Lily.
😢 Yani ume nikumbusha mengi sana nilio yapitia nikiwa mdogo! But you know what! MUNGU yupo Kwa ajili yetu😢 forgive and release them. Sio rahisi kusamehe but tell God to help & heal you.
Hii story inalizaa nyie 😭😭😭😭😭💔💔💔
Pole sana mdogo wangu grace naomba nipate no zako ntakacho jaliwa tugawane
Daaah!!! Sijawahi kutoa comment lkn leo nimelia sn imenibidi niandike...pole sn kpz umepitia mazito sn ktk umri mdogo...umenifanya nimkumbuke mama angu aliniachaga mapema sn nilipitia mengi magumu....ila kwa sasa namshukuru Mungu saaaana nimeuona wema wake...na ninazidi kuuona...usikate tamaa Bado Mungu anakuwazia mema
Yan mashangaz jmn khaaaa...Mungu anisaidie nisiwe shangaz mbaya maisha yangu yotee
Amiin
Pole sana dada yangu mungu Atakubariki Ameen 🤲🇹🇿🇬🇷
Pole sis story yako kama yang but mungu nimwema don't give up
May God bless you sis Lily kwa kumruhusu huyu dada kutoa ya moyoni ,,anapona kwa kuongea
Ndio Mana biblia inasema tushukuru kwa kila Jambo Mungu nakushukuru Mungu kwa kila Jambo Mungu wasaidie watoto wote wanaoishi katika mazingira magum 😭😭😭😢😢hii imeniliza sanaa
Dad pole dada angu usilaumu mpk leo upo hapo ni mpng wa mungu, Mungu anakupenda sana na mm nakupenda umenifundish kitu kikubwa na kitaish moyoni mwang milele
Kama uko vizur mwombee dua mwite shekhe aombe dua ya marehemu pls itakua bora sana
Pole sana dd angu Allah akuzidishie subraa afyaa njema na akufarij nafsi yako yarabiy
Chozi la mnyonge hulipwa na mwenyez Mungu
Pole Sana dear,,,watu wenye roho mbaya Kama uyo shangazi yako awatakiwi kufa mapema,,,wanatakiwa waone ukuu wa mungu
😢😢😢nusu ya maisha niloyapitia mm😢😢
pole dada umeniliza tangu umeanza kusimulia mpak unamaliza kusimulia
Pole sana najikuta naliya to😭😭
Alhamdulillah pole sana sana
Duuh pole kabisa Mungu ni mwema atakupanguza machozi
Pole sana da yangu
Pole sana dada japo NAMI nimeyapitia haya namshukuru Mungu na namuomba kila siku aniondolee roho ya uchungu na maumivu
Daaah😭😭😭
Mbona siioni pat tu
Ubarikiwe sana dada Lilian
Jamani ma shangazi hawa wakatili sana dah kuna watu wanapitia haya mambo mpaka leo hii pole sana Mungu amekuona yameisha hayo
Huyo shangazi ni mbwa kabisa kuna nafasi yake motoni na huyo baba yako ni mbwa kabisa binadamu sisi ni wakatili sana bora uishi na wanyama porini kuliko binadamu baba yako huyo mama wa kambo Mungu ampe baraka nyingi asante mama kwa upendo wako
Binadamu wengine ni hatari sana halaf ukute huyo mtu kwenye nyumba za Ibada hawakosi 😭😭
Haaaa mungu mtie nguvu uyu dada maana ndo nimeanza kusikiliza story lkn nimelia sana roho yangu inauma sana
Amiin
Pole sana dada tunaomba part 2
pole sana
SubhanAllah
Pole sn
Pole sana 😭💔 Maisha haya Dah 😢 watu wanapitia magumu sana.
Pole sana ❤️
😭😭😭so touching
Lini hiyo part 2 maana history nikari haswa mpaka kwa wanawake
Pole sana mdogo wangu
hii ni hard talk aswaaa
Pole dada kwa mitihani
Tunasubiri p2
Grace, umejua kuniliza😭😭😭😭😭
Nyie me nimeanza Kulia na haijaisha 🥺🥺🥺😭😭
Pore sana dada yangu
Kufiwa kuna uma sana pole mamy
Party 2 isichelewe jamani 😢
Mimi pia nimepitia asilimia nyingi ya maisha ya huyu dada na mm nilikuwa najihudumia mwenyewe
Pole sana Dada
Pole sana 😭😭😭😭
Amen
Jamani wacha nilinye jamani
Daaah kuna watu wanachangamoto sana yani unaona afazali yako
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Daaah maisha hayaa 😭😭😥😥
Kweli inauma sana mpka machozi yananitoka
Iseee nimeumia sana kupita kiasi pole sana mdogo wangu daaaa nimazito mnooo
WA!!! Is this true story? Lake really!!! Nimelia kichwa cha niuma. Ukifikiria unapitia, yapo mengine inakulazimu Yako uyawekepepeni
Yaani nimeumia sana machozi yananitoka
Maskini wee aah uchungu kweli kabisa pole mwanangu
Jamani party tuu
Part 2 ipo??
Party 2 mbona hatuoni
Subhan'Allah 😭💔
Daah nimelia mwenywe maana najua maisha bila mama inauma, wapumzike kwa Amani mama zetu waliotangulia
Amin Rabbil Alamiin
Ameen🤲😌
Amiin
Sioni party 2
Looo ADUI UYOOO MUNGU ATAKULIPIYA APA DUNIANI
huyo baba mzima
Subuhana llah
Huyo baba Yako Yuko hai???
Shangazi mmrembo sanaa napenda
Jamani ushuda huu unaimrisha wengine party2 lini hatuioni
sasa ndio umeficha sura nini mbona sasa hiko kivuli hakifichi sura anavyoongea akisogea sura inaonekana. aliyeedit hii video akajifunze upya
Uchunguuuuuuu jamaniii😭😭😭😭😭
Kuna shida iko mahali
😭😭
Mbona kama umri alotaja haviendani maana ana miaka 28 af mwaka 1998 akaanza shule sorry lakini no bad intentions
Yani binadamu hatuna huruma
Tunasubiri bado
Jamani mama zako wote 3 wanakufa kweli jamani dunia ina mitihani are you serious huyo baba sitaki hata kumsikia
Mungu wangu Kuna kitu hapo sio bure
😭😭😭😭😢😢😢
Kuna mama wa kufikia unawez sema ndo wazzi.
😭😭😭😭😭😭😭
Duuh hii Dunia ina mambo Lilian umekosea kumwambia atupe hiyo opena ni kumbukumbu tu ambayo atahadithia hata watoto wake
No hiyo opesa anatakiwa kuichoma nakuiteketeza kwa moto huku akivunja madhabahu yaliyonenwa . Maana hicho pia nikifungo.
@@victoriaelisante3351 kama ukivunja hayo madhabu hata sio lazima utupe na kuchoma moto kwa mfano mwili uliochanjwa chale vipi utautupa uweke mwingine ila sio mbaya kila mtu na anavyoamini
😭😭😭🙌
Ila nimefurahi huyu dada ana matumaini anaongea kwa furaha
Masikini
Lilian
😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
MUNGU ndo pendo la watu dada
😭😭😭😭
Duuu
Pole sana dadaangu
Pole sana
😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭
Yani binadamu hatuna huruma
Duuu
Pole sana dada