Samaki kaona hamna support from Nigeria karudi home nao kagundia tz ndio hot kwenye media ,ana issue anataka kupromote kanisa apate view za wabongo ,mama alisema usiamini wati wenye kengeza eyes is the window of someone soul sasa ukiona macho hayasomeki jiulize
Najisikia hadi kulia jmn❤❤❤ ... Nakupenda saana da vee,and nakufatilia jmnii najifunza piah vitu vingi kupitia shuhuda zako. Mm n shabiki ako wa kwanza EAST AFRICA nzima. GOD IS GOOD..... Tuimbie nyimbo za injiri sasa.
Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja. Yohana 10:16
Huyo Myles Munrore 🙌🏾🙌🏾🙌🏾Mungu aendelee kumrehemu ni mtu amekufa ameacha madini mengi huwezi msikiliza ukaacha kupata kitu chakubadilisha maisha yako! Hata wahubiri wengi wana mquote sana
Soma kutoka 20::1:17 amri kumi za Mungu amri ya nne inasema kumbuka ..... Hiyo nfio ibsda ys Mungu iliyohsi wengi wamesahau Mungu anasema tuikumbuke i nawe ikumbuke
This show is so spiritually oriented 🙏🏻 Divine protection and guidance to be crowned in the very last Day Our dear own Vanessa 👏🏻 You're already a blessing, embraceable and emulative 🙏🏻 blessings all-through 🤲
Wazinzi wengi kwenye comment ndo wanaongoza kunanga wenzao kuwaita wazinzi,kwahiyo mtu hajaolewa au hajaoa Asimtumikie Mungu??Utaoa au kuolewa huku ukiwa unamtumikia mungu acheni jealous😂😂😂😂
WABONGO JIFUNZENI KITU, KUOA AU KUOLEWA SIO LAZIMA KUTANGAZA, KUFANYA SHEREHE KUBWA NA KUPOSTI MITANDAONI. NI MAAMUZI TU YA WATU. WAKIJUA WAZAZI NA MUNGU NAYO INATOSHA PIA.
Mungu si babu yetu kama tunavyodhani. Formalities ni muhimu sana kwenye maisha ya kiroho. Kuishi maisha ya ndoa pasipo urasimishaji HALALI wa maisha hayo ni uhalalishaji haramu wa UZINZI tu ndugu yangu.
@@maximilianludovick5407POLE KUMBE HUJUI, VANESSA KAOLEWA ZAMANI MNO KABLA HAJAZAA HATA MTOTO WA KWANZA NA MAMAKE ALIKWENDA MAREKANI,.UPO? KUFANYA SIRI NI MAAMUZI YAO.
Amina veeee nimelipenda kwa kumchagua wakufanana nae ambae Ni Yesu,Yesu anapenda ndoa ukimukimbilia anakupa kazi hapohapo nyumbani,huku unaleta watoto wako
HAKIKA MADHABAHU YA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE INA NGUVU TUZIDI KUMWAMINI PIA MUNGU AZIDI KUKULINDA NA KUMTUNZA MTUMISHI DORCASS KWA HUDUMA TAKATIFU ATOAYO MADHABAHUNI IM HAPPY TO THE FULLEST
Wow, beautiful interview and i miss her podcast and Wa-Bongo, you did not ask her if there is another one coming? Wa-Bongo kwani hamusikiliza podcast bwana mbona hamukuuliza swali hiyo?
i remember my boy said to me mama wewe unaamini usilazimishe kila mtu aamini unavvyoamini ......sikuvunjika moyo after 10 years my boy anaamka yeye mwenyewe kwenda kanisani. situmii tena nguvu , when God touches someone everything changes. God bless you dear V , thanks for shearing,,,,,,,
Mungu aendelee kukutunza sana pamoja na Mume wako mzuri jaman Rotim unataji kubwa sana kwa Mungu kumleta kondoo aliekuwa amepotea umemrudisha zizini❤❣️❣️❣️
Wasaiidire na wasanii wenzio watoke huko hiyo ndishukrani kubwa kwa Mungu kuwatoa wenzio tuwasiliane kwa masomo zaidi yakumjua Mungu tuendelee kuwaombea wasanii watoke ktk magereza vifungo Yesu akimwaga damu yaje kuwaokoa
Mwanzo mwa interview kasema mamayake ni muislam,alaf kunamahala naskia anasem mamaake anaabud kanisani hii imekaaj au mamamzaz na mama mlezi By the way interview nzur sana love u vannesa❤
Eeehe YESU KRISTO ninaomba sana uzidi kumlinda na kumpigania mtoto wako huyu,,,na uzidi kumfundisha yaliyo mapenzi yako,,,mjaze hekima,maarifa,na ufahamu zaidi
Shetani umesikia Vanessa harudi tena huko. Praise God
Amen
Loud and clear
Samaki kaona hamna support from Nigeria karudi home nao kagundia tz ndio hot kwenye media ,ana issue anataka kupromote kanisa apate view za wabongo ,mama alisema usiamini wati wenye kengeza eyes is the window of someone soul sasa ukiona macho hayasomeki jiulize
Jesus is not GOD
shetani ameaibika😂 Na YESU ametukuka❤
Apostle Joshua Selman, Pastor Vlad, Stephanie Ike ukiwasikiliza hutoki bure. Hongera sana Vanessa
Kabisa yaani hata mimi hawa wote ndio nawafatilia pia kuna Priscilla Shirer
yes, unaweza pia mfuatilia Prophet Isaiah MacWealth
Apostle Arome Osayi,
Yes Joshua selman his an anointed man
Apostle Orokpo, Kenneth Hagee, Derek Prince . The list is long
Hongera sana Vanessa... Kumchagua Yesu ni kuwa mjanja sana... Big up
Kabisa pastor joshue seleman
He is a best pastor mafundisho yake mazuri sanaa ❤Mungu amtunze
Ongera sana Vanness ongera sana sana maisha ya kuwa na YESU NI YA AMANI SANAA SANA MUNGU AKUBARIKI NA FAMILIA YAKO
Hongera sn Vanessa kwa kumpokea Kristo.....Uzima na amani ni faida kubwa tunapata toka Kristo. Ng'ang'ana na huyo Yesu
Najisikia hadi kulia jmn❤❤❤ ... Nakupenda saana da vee,and nakufatilia jmnii najifunza piah vitu vingi kupitia shuhuda zako. Mm n shabiki ako wa kwanza EAST AFRICA nzima. GOD IS GOOD..... Tuimbie nyimbo za injiri sasa.
This interview is ..🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana Vanessa,Mungu aendelee kukuongoza...nimejifunza sana kutoka kwako siku ya leo ❤❤❤
Na kondoo wengine ninao, ambao si wa zizi hili; na hao nao imenipasa kuwaleta; na sauti yangu wataisikia; kisha kutakuwako kundi moja na mchungaji mmoja.
Yohana 10:16
Thank you so much woman of God, God bless you for sharing this testimony is so encouragement ❤
Wanawake zaifu zaidi kwenye mapenzi akipata wakumlea husaha ata kazi anayoifanya rotim roho wa bwana "alimwambia uyu dada apumzike" 👐
Amazing. Nimeipenda hii sana sana. MUNGU azidi kukulinda Vanessa na kukupa Neema ya Kuutunza Wokovu
Powerful.... Umetisha Vanessa hiyo ya Watoto kuzuia muziki kucheza hizo secular very powerful...
Vanessa nakufuraia maisha yako ya kiroho HAKIKA NI UNAWEKEZA UNAYOMFANYIA YESU HAKUNA CHA BURE MBELE YA YESU BWANA YESU ASIFIWE SANAAAA
Pastor Joshua Selman is really the best
Huyo Myles Munrore 🙌🏾🙌🏾🙌🏾Mungu aendelee kumrehemu ni mtu amekufa ameacha madini mengi huwezi msikiliza ukaacha kupata kitu chakubadilisha maisha yako! Hata wahubiri wengi wana mquote sana
Kweli kabisa na hao sasa ndio ma Legend
Soma kutoka 20::1:17 amri kumi za Mungu amri ya nne inasema kumbuka ..... Hiyo nfio ibsda ys Mungu iliyohsi wengi wamesahau Mungu anasema tuikumbuke i nawe ikumbuke
Itamfaidia Nini mtu kupata ulimwengu wote na kupata hasara ya nafsi yake mwenyewe Congrats Sis ❤
Kabisa
Congrats gal! You said bye to secular and indeed God has given you a lot peace of mind and you are bound to scale greater heights.God bless
Karibu wajina. Yesu ndio njia ya uzima na kweli. Congratulations 👏🎉 yesss yes yes yes yes yes yes tunashangilia na wewe.
Vanessa ,i love your interview so much, God bless you and your family too ma lovely daughter. Congratulations for choosing the right way ❤
Wow.Hongera sana Dada Vanessa hakika umechagua fungu jema kabisa....nina afadhali ulivyoachana na iyo miziki ya kishetani
This show is so spiritually oriented 🙏🏻
Divine protection and guidance to be crowned in the very last Day Our dear own Vanessa 👏🏻
You're already a blessing, embraceable and emulative 🙏🏻
blessings all-through 🤲
Wow! indeed broken things become useful in GOD'S hand. Thank you JESUS for your life, what an amazing grace. Glory be to GOD in the highest heaven.
Sure apostle Joshua selman....Nathaniel Bassey my favourite ❤
Wazinzi wengi kwenye comment ndo wanaongoza kunanga wenzao kuwaita wazinzi,kwahiyo mtu hajaolewa au hajaoa Asimtumikie Mungu??Utaoa au kuolewa huku ukiwa unamtumikia mungu acheni jealous😂😂😂😂
This is nice interview 👌 venassa Mdee all you say is the truth 🙌 thanks to Clauds media Amen
WABONGO JIFUNZENI KITU, KUOA AU KUOLEWA SIO LAZIMA KUTANGAZA, KUFANYA SHEREHE KUBWA NA KUPOSTI MITANDAONI. NI MAAMUZI TU YA WATU. WAKIJUA WAZAZI NA MUNGU NAYO INATOSHA PIA.
Mungu si babu yetu kama tunavyodhani. Formalities ni muhimu sana kwenye maisha ya kiroho. Kuishi maisha ya ndoa pasipo urasimishaji HALALI wa maisha hayo ni uhalalishaji haramu wa UZINZI tu ndugu yangu.
@@maximilianludovick5407hata aliesema ameolewa anajua anachokisema
Sana sana Tanzania jifunzeni . Nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia Vanessa. Imgine mtu maarufu hakupost ndoa . I love that life
@@maximilianludovick5407POLE KUMBE HUJUI, VANESSA KAOLEWA ZAMANI MNO KABLA HAJAZAA HATA MTOTO WA KWANZA NA MAMAKE ALIKWENDA MAREKANI,.UPO? KUFANYA SIRI NI MAAMUZI YAO.
@@maximilianludovick5407NANI HAJARASIMISHA WEWE ACHA KUJIFANYA UNAJUA SANA MAISHA YA WATU.VANESSA KAOLEWA ZAMANI, POLE.
Unampenda Yesu kuliko Mungu! Daaah pole sana aisee😮
Amina veeee nimelipenda kwa kumchagua wakufanana nae ambae Ni Yesu,Yesu anapenda ndoa ukimukimbilia anakupa kazi hapohapo nyumbani,huku unaleta watoto wako
HAKIKA MADHABAHU YA YESU NI BWANA NA MWOKOZI WA MATAIFA YOTE INA NGUVU TUZIDI KUMWAMINI PIA MUNGU AZIDI KUKULINDA NA KUMTUNZA MTUMISHI DORCASS KWA HUDUMA TAKATIFU ATOAYO MADHABAHUNI IM HAPPY TO THE FULLEST
Wow, beautiful interview and i miss her podcast and Wa-Bongo, you did not ask her if there is another one coming? Wa-Bongo kwani hamusikiliza podcast bwana mbona hamukuuliza swali hiyo?
Wow VANESSA STAY BLLESSING . I LOVE YOU IN DEED.❤❤❤❤❤
Nakupenda sn Vee! Go on with Jesus ❤
Nathaniel Bassey🔥🔥🔥❤️
Am proud of you Vee.
Wii keep in praying for u usirudi nyuma.
Interview yangu bora ya mwaka ukiacha ile ya Irene Uwoya...Mbarikiwe sana sana sana
Ni vyema dada huyu alitoka katika maisha hayo,kweli dunia hiyo haina furaha,Furaha nikumpata na kumjua Yesu,namtakia kila la heri
God give a job niweze kufanya kazi nyumbani. Amen Amen
Nampenda VEE sema hawa presenters sijawaelewa ...mic set up na sauti zao zinavyosikika sijapenda
i remember my boy said to me mama wewe unaamini usilazimishe kila mtu aamini unavvyoamini ......sikuvunjika moyo after 10 years my boy anaamka yeye mwenyewe kwenda kanisani. situmii tena nguvu , when God touches someone everything changes. God bless you dear V , thanks for shearing,,,,,,,
Apostle Joshua Selman🙌🙌jaman Nathaniel Bassey I like these men of God too, nataman kila mtu awajue
Kwangu hii ni EXCLUSIVE INTERVIEW for this weekend.hongera Vanessa,am your fan.be blessed and mungu awabariki pia.
Hongera sana kwa kuokoka
Congratulations for making the right decision. God bless you Vanessa
DAMU YA YESU IKUFUNIKE WEW NA FAMILIA YAKO.
Wow Stephanie Ike I like her too❤
Well said Vanessa...kama hujaamua ndani kutengeneza na Mungu,hakuna mtu atakayekwambia fanya ukafanya.
Perfect choice....my sister ALL GLORY AND THE HONOUR BELONGS TO HIM
another blow to the devil.halleluyah much love sister welcome to real life in Jesus
Well done Vanessa
You’re a true daughter of the Most High God. Love ya
Fantastic interview best of the year
I love Miles Munroe his Word Are massive for sure❤
V n mrembo jaman❤🎉
I love this word” mungu atusaidie”
Big Up Vanny hongera saan kwa maamuz mazuri
Mungu azidi kukuonekania
Hongera sana Yesu ni bwana hakika
Mungu aendelee kukutunza sana pamoja na Mume wako mzuri jaman Rotim unataji kubwa sana kwa Mungu kumleta kondoo aliekuwa amepotea umemrudisha zizini❤❣️❣️❣️
Vanesa Mungu anakupenda na nimefurahi kwa kuwa umelitambua hilo ila kunakusudi la Mungu ndani yako kwa nyakati hizi
Praise Jesus Christ, be blessed saana Vanessa
Amen nimebarikiwa na hii interview
Wooow nimekuelewa sana mama lmani
Wa kwanza Leo kama unamkubali Vanessa like twende🎉❤❤❤
Hallelujah! Mungu akubariki Vanessa! 🎉
My advise,, pray for the lost souls which followed you in the past , so that they become saved too in Jesus name.
Amen
I couldn't have said it any better
Watching from kenya
Mungu akubariki sana Vanessa🙏🏽
Apostle Joshua Selman 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana Vanessa na asante kwa kutumbukusha wanawake
Wasaiidire na wasanii wenzio watoke huko hiyo ndishukrani kubwa kwa Mungu kuwatoa wenzio tuwasiliane kwa masomo zaidi yakumjua Mungu tuendelee kuwaombea wasanii watoke ktk magereza vifungo Yesu akimwaga damu yaje kuwaokoa
Perfect Decision, God Bless you
She's amazing ❤
45:00 she talks about the secular music
Ushauri mzuri Vane ila unaowaambia ss, wa kuzungumza na Roho wa Bwnaa wakwapi na mashisha wamuachie nani
Aisee MUNGU anabadilisha nyie usimdharau mtu yeyeote hata kama yukoje kila mtu anakusudi la MUNGU
Nilijifunza kutohukumu Mtu hata leo sitaki kumhukumu Mtu,Mungu anaweza mtumia hata mtu muovu kwa macho ya kibindam
Alimtumia Saul hivo anaweza kumbadilisha yeyote chini ya jua hili
Mungu wa mbinguni akuzidishie karama yake ndani Yako . Umeugusa moyo wangu kweli Mungu yupo
Siwezi kuelezea, how am I happy for you Dada
Barikiwa sana Vanessa
Vanessa God bless you!
Barikiwa sanaVeee❤❤
Mwanzo mwa interview kasema mamayake ni muislam,alaf kunamahala naskia anasem mamaake anaabud kanisani hii imekaaj au mamamzaz na mama mlezi
By the way interview nzur sana love u vannesa❤
Aliokoka na ni mchungaji sasa
Wow Mungu akutunze vee
She is so cuteee
I'm very happy
Very powerful ❤❤❤❤❤❤❤❤
By the way, Vanessa lives in the state of Georgia. Please host her. I believe I will win a green card.
Hongera Vanessa MUNGU akusaidie uukulie wokovu
Nampenda uyu dada jamani ❤❤❤❤❤
Hongera mwanangu mungu akulinde sana
Don't dear DON'T usirudi kwenye music
Congrats sana sana Vanessa
❤❤❤❤hongra YESU AKUTUNZE
I live Atlanta ga Stone Mountain 20+ years ❤❤
Eeehe YESU KRISTO ninaomba sana uzidi kumlinda na kumpigania mtoto wako huyu,,,na uzidi kumfundisha yaliyo mapenzi yako,,,mjaze hekima,maarifa,na ufahamu zaidi
Nakupenda sanaa
VERY NICE GLORY TO JESUS
Glory to God .
I have experience big lessons today
Amina
Apostle joshua selman yuko vzr