Hivi ni mimi tu au nina wenzangu ambao tunaona CINDY anajua kuigiza hadi kwa body language, ni anajua kuwazidi wengine humu, yaani cindy is my favorite actor kwa hii series.❤
Sidi anachoka na mudi sasa anaanza mpa makashi sasa naomba like ata kumi tu yaku maliza christmas nzuri nomba jamani nawapenda sana kbs from drc congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤ back-san
Kuchelewa kupost movie kisycolojia inaitwa kuchelewa mlekezo manyanya,,, ebu mpost movie Kila siku bana tunaboeka jamani,,, kama uko na kuchelewa mlekezo konga like bwana allaaah
Kutoka mozambique 🇲🇿, leo nimekuwa wa kwanza kulike na kucomment. ❤❤❤❤ Namkuba sana mchepuko wa Babu Ali Manyanya, analugha nzuri kama mwanamke anavyotakiwa kuwa. lakini ule mcharuko wako kule nyumbani lazima atakuuwa kwa mawazo.
Kwenye hii movie ya Dunia nmejifunza kitu kwamba mwanadamu anaweza akakupangia mabaya na akategemea uanguke lkn sasa Mungu alivyo waajabu yale mabaya yanageuka kuwa daraja la mema kwako, wapendwa tukazane kuomba sana.❤🎉 Nawatakia Christmas njemaaah❤❤
Piga bao wanaume washenzi kama mudy (kuwaza kulelewa na pombe tu ila kufanya kazi aaaaaaah) iko kama mitoto huachi budget yoyote unataka kula leo pilau.... Kumbe leo mmeishut hii hongeren kwa kwenda na nyakati 🎉🎉🎉🎉
Mtumishi, mtumishi, mtumishi umetudanganya musa hakuichapa bahari aliinyosha fimbo juu maji yakagawanyika. (Uwe unasoma Biblia kweli sio kuvaa tu suruali za vitambaa)
Nawapenda sana, Manyanya endelea kukufundisha sisi wanawake ambao tupo kwenye ndoa, mi naangalia kuenjoy but napata mafunzo makubwa sana, hongereni sana waigizaji wote akiwemo Manyanya na mke wake na bi mdogo, mnatumia uhusika wenu vizuri🎉🎉
Adui ya Mwanamke ni Mwanamke mwenyewe, Wanawake wana husika kumsaidia Manyanya Kutoroka kwa mkewe, Pia mwanamke ( Cathe) anamroga mwanamke mwezie ( Mati) aachike. Dahh!!!
Sindi kama uvumirivu ukonao kama hata kwenye maisha yakawaida ndoo hivo ndoa yako itadumu sana mungu akurende san kipande chako unakitendea haki kiukweri wanawake wavumirivu wapo nawanaume wavumirivu wapo mubarikiwe sana munafundisha sana Tena sana mutu ambae hajaerea hii muvi hata erea kamwe kwenye maisha yake
Kwanza niwapongeze kwakazi nzuri mloifanya mmeyaishi maisha halisi tunayo yaishi kumbe watanzania tunaweza mungu awaongeze awape mafunuo mengine mungu ibaliki kazi hi nimewapenda bule
😃😃il Mudy w hunag nzima kbxaa yaan mkeo ndio akuhemelee ka vil yy nj kakuoa eeg😢😂Il Manyanya mbn unatufanya si wengin tujion ka vile mayatima w mapenz jmm😮😢hhh makof kw Cidy🎉🎉
HII NI ZAWADI YA CRISTMAS KWENU MASHABIKI ZETU,, TUNAWATAKIA HERI YA CRISTMAS MASHABIKI ZETU, TUNAWAPENDA MNO, ASANTENI 🙏🏻
Mnapunguza dakika
Mumenikwaza mbona mudi munampikia ugari badala ya ubwabwaaa hemu lekebisheni bac 😂😂😂😂
Numetoka wa kwanza nipeni like zangu tafadhali🙄
Tunaomba ya pili tena wakuu ili leo tule vizuri Christmas 🎄
Mamdo😅😅😅
KAMA UMEFANIKIWA KUIONA SIKU YA LEO GONGA LIKE HAPA PIA USISAHAU KUMSHUKURU MUNGU WETU, 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Amin🙏
Nakushukuru Mungu
Asante sana mngu🙏🙏
Alhamdulillah 🙏
Cindy Leo ameongea adi moyoni najisikia huzuni, 😄😄😄
Nampenda san mke wa mood kama mpo mnae mpenda gonga like
Lik
❤❤❤🎉🎉
Mudi anazingua, alafu anafanya makusudi kabisa
Nami nampenda ❤
Nampenda ila uvumilivu wake unanikata moto 😂😂
Wanaoamin kuwa manyanya ndio staring wa movie weka like apa tujuane🫡
Manyanya na matilda ❤
🎉
Na jambazi kuu ni cathe😂😂
😂😂😂@@mansourj0950
KABISA tena mweny roho mbya kinoma yaaan
Dah huyu jamaaa kwakweli manyanya umetisha mchepuko huyo jamani tutunzeni waume zenu jamani tusiende kunywa maji ya visima vingine......rispect manyanya.
Hivi ni mimi tu au nina wenzangu ambao tunaona CINDY anajua kuigiza hadi kwa body language, ni anajua kuwazidi wengine humu, yaani cindy is my favorite actor kwa hii series.❤
Mudy muzungu ana balaaa😂😂
Cind anaweza yuko ktk reality na sio acting ❤❤❤
Sure
Sure na manyanya pia
Wewe hujakutana na Mudy muzungu
Msimuache huyu mama jamn amecheza vizr sana nmempenda mnoo
th-cam.com/video/-ug7tFRSrGM/w-d-xo.htmlsi=hqSJgH16R7hRJaOk
😂😂😂😂😂Aaaaah yn alikuwa siriaz huwez Amin km n mchongo😂😂😂😂
Na mimi pia nimempenda xn kbx
Sidi anachoka na mudi sasa anaanza mpa makashi sasa naomba like ata kumi tu yaku maliza christmas nzuri nomba jamani nawapenda sana kbs from drc congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤ back-san
Movie ikichelewa
Kiutalaam inaleta
Mmomnyoko wa ubongo.
Ambao hupelekea mashabiki kukosa furaha😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂
Kabisa
Kabisa 😂😂😂😂
Nimeipenda iyo😂😂
Nani anaetaka maty awe mzima gonga like apa🇲🇿🇲🇿
th-cam.com/video/-ug7tFRSrGM/w-d-xo.htmlsi=hqSJgH16R7hRJaOk🎉
Nipo apa
❤❤❤
Muddy muzungu paka la baa linadai wali leo😅😂
😂😂😂na supu
😂😂😂😂😂😂
Kama alitoa hela vile😂@@MaryTarimo-i4o
@@minzaPoul😂😂😂
Paka la baa Leo litakula lilikopeleka mboga, Sindy anajilia zake ubwabwa kwa church boy
Huyu bibi alipoingia tuh basi nikaoza na kicheko nilijuwa ni deal ya manyanya😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
😂😂😂😂hata mm😂😂😂😂
😀😀🤣🤣🤣🤣mwenyeweee kablaaa ajaanzabkuongeaa tu ohiiiii🤣
Ndio maana haswa nimekimbia huku ni confirm 😅manyanya
WIFE NAOMBA UNIRUHISU NIENDE KWA MATI,
manyanya mwongi wewe
@Omoshkadori uliskia wapi eti nikuruhusu uende kwa mchepuko 🤣🤣🤣
Kuchelewa kupost movie kisycolojia inaitwa kuchelewa mlekezo manyanya,,, ebu mpost movie Kila siku bana tunaboeka jamani,,, kama uko na kuchelewa mlekezo konga like bwana allaaah
😂😂😂
😂😂😂
Umepigaje hapo 😂😂😂😂🎉
@@MillicentMukonesiumesemaje ety
Kweli
Sema manyanya unavujisha sana siri zetu😊😊
😂😂😂
😂😂😂😂injection
Ngoja Afundishe jamii
😂😂 na atatoa zoteeeee mpaka ziishe
😂😂😂 bd haujasema
WANAOSEMA MANYANYA ANAELIMISHA SANA KUHUSU MAHUSIANO GONGA LIKE APO❤
Acha namba hapa 😊
Andika namba hapa tukanunue keki
Wangapi tunaikubali couple ya manyanya na Matty tujuane kwenye likes🎉🎉
Tup
Achana na hiyo kidogo embu pastor Aman na Sindi wafanye jambo😅😅
Ndo kipande nachoangaliaga tyu
Wapi like za bodaboda hii couple ya manyanya na zinduna no one can separate it much love from kenya
Eeeee😂😂
Mme wangu kipenzi usijaribu hizi mbinu za kivita za manyanya.....kwa maana kitaalam inapelekea uchepukaji wa hali ya juu jamn khaaa manyanya wew
Kutoka mozambique 🇲🇿, leo nimekuwa wa kwanza kulike na kucomment. ❤❤❤❤ Namkuba sana mchepuko wa Babu Ali Manyanya, analugha nzuri kama mwanamke anavyotakiwa kuwa. lakini ule mcharuko wako kule nyumbani lazima atakuuwa kwa mawazo.
Unataka pilau mudi unatia aibu
Mama maandaz
Manyanya mtu atali sana nakubali sana kazi yako bigapu sana♥️🌹🌹💪
Kiukweli Manyanya Una Akili Nying Sana Yan Unajua Kucheza na akili Za Mkeo Alaf Napenda Sana Unavyosema Marhabaa
Mudi we mjinga kweli utake supu akuletee Nani au church boy😂😂😂🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿
𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚
😂
😂😂
ndio maana yake
yes
Hatimae Muddy muzungu anatamani kupikwe vyakula vizuri badala ya ugali wakati hajatoa hata hela kwa mkewe 😂😅😂
Muddy nimwehu❤❤❤
Alafu yeye ndio wakwanza kumrudisha nyuma na madeni
😂😂😂
Mudy ila hii nchi wali upi sasa??
😂😂😂😂anatafuta kuachwa,, amezidi uwiiii😢😂😂
Bibi ni mwana mchi💛💚💛💚mwengine alie gundua hili gonga link
Dah ila manyanya wewe nimwamba unajua kucheza na akili za mkewako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂
Moto waKorea mbali
Za mwizii ni arobaini
Mungu awalinde nyinyi nyote waigizaji na watazamaji wetu, na pia nawatakia mwaka mpya wa heri, furaha, na afya tele 🙏🙏🙏
Amin
Ameen
Christmas ooohyeee🎉🎉leo mudi hajalewa mpaka anawaza supu na pilau kwakweli ni sikukuu
th-cam.com/video/-ug7tFRSrGM/w-d-xo.htmlsi=hqSJgH16R7hRJaOk
😅😅😅
Kwakweli
Nimecheka na huyu bodaboda balaa 😂😂😂, walio cheka tujuwane
Mi nilijua tu plan b ya manyanya 😂😂
Ila uyo bodaboda anajua revenge
#mrkey038
😂😂😂
kkkkkk tupo😊
😂😂
😂😂😂😂jamani uyu bibi kaniliza kumbe ni dil ya manyanya muna hatari sana aki😂😂😂 but ongera sana manyanya ❤
Penzi la mati limenoga 😂😂😂😂
Duh kwelisiopoa
Jmn kwn movii yetuu inaitwajee
manyanya masound🤣
Jamn sijategemea Kam ni deal ya manyanya kutoka😅😅😂😂
Muddy ni boyaa kichizii yani atakula na visivyooliwaaa ❤😂😂😂😂😂😂
Waaooooh hatimaye imetoka wangapi tuna sherekea Christmas halafu huku tukiitazama movie yetu pendwa ya Dunia❤ tujuane hapa🎉
🎉🎉🎉❤❤
🖐️
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sikuu yangu imekuwa njema sana maana nimepata nikipendacho 🥰🥰🥰
Tunaendelea kujifunza zaidi zaidi.tumxhukuru allah atuvushe mwaka huu na atuvikishe mwaka mpya
Tunawapenda sana 🎄🎄🎉 ila wapenzi naomba mnifollow wapendwa na Nina surprise yenu Mwaka mpya kama mtanifollow wapendwa
Ilove you ❤
❤❤
Maty yan km niwe krbu na ww yan
Mama manyanya mbembelezo
Nkpenda mati san yan
Nimeipenda iyi movie noma... yani musikatishe ayo
Hahahaha manyanya anatufundiasha jinsi ya kuchepuka 😂😂😂
Hahahaha
Kwenye hii movie ya Dunia nmejifunza kitu kwamba mwanadamu anaweza akakupangia mabaya na akategemea uanguke lkn sasa Mungu alivyo waajabu yale mabaya yanageuka kuwa daraja la mema kwako, wapendwa tukazane kuomba sana.❤🎉 Nawatakia Christmas njemaaah❤❤
Am the first one here representing my fellow Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪,mkono juu kwa manyanya kwa kazi nzuri anayoifanya
th-cam.com/video/-ug7tFRSrGM/w-d-xo.htmlsi=hqSJgH16R7hRJaOk
Duh manyanya una hatari wew kila siku plan mpya jamani sindi na wew stukaaa huyo mudy atakukondesha
Manyanya una tufunza vibaya ndungu yetu ebu punguzeni unjanja nenda kasaidia Maman kisheria 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂wa kupewa lawama n Vai, maana yy ndo kasababsha yote haya mwisho wa siku kakutana na penz mgandano
Dah! Sindi ameongea kwa hisia had amentoa machozi, waigizaji wa hii dunia mkoserious sana hadi raha
upo swahihi kl yaan n wameitendea hakii wllh nisiw mnafki mtungan wa hii ameupigwa mwing🎉🎉Allah azid ku bless❤🎉na wachexej ss moto w kuotea mbalii🎉
Wapo vizur wote yani ... director yupo vizur sana
Mod Kam hajawek kikombe huwa anakuwa kiumbe mtulivu San goj wekee aweee utamkubali 🎉🎉🎉
Asanten sana kuachilia movie yetu kali sana tunaipenda sana inafundisha mengi
🙏🙏🙏
Mudy 😊😊😊 Umenifrahisha sana ulivyoanza Kumuuliza mkeo Kuhusu Christmas UMETISHA sana mudy muzungu Paka la baar
Merci beaucoup pour ces cadeau de Noël,asante sana kwa iyi zawadi ta christmas ,Kaka manyanya jitahidi sana usimuache mati kwenye ii movie
Piga bao wanaume washenzi kama mudy (kuwaza kulelewa na pombe tu ila kufanya kazi aaaaaaah) iko kama mitoto huachi budget yoyote unataka kula leo pilau.... Kumbe leo mmeishut hii hongeren kwa kwenda na nyakati 🎉🎉🎉🎉
I really admire your love Maty &Manyanya, Then Moody Nenda kwa bi Tausi unywe supu,pilau na vimaandazimaandazi,wacha kumsumbua Sindi.
We manyanya kiboko Sana Atari weeeeh Yani unacheza kama wewe Mzee 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Niiipe niiipe ichi kinyimbo bhn kikianza mi hua nachekaga tu,,, nawatakia sikukuu njema ya Christmas wakristo wote 👏👏👏
Asante kaka
@ALFAENOCK pamoja sana
Amin
manyanya hiyo trik ya leo imekaa poa hata ningekuwa mm ni mkeo ningeluhusu uende ukamsaidie huyo bibi🙌 nimependa ❤❤❤
😂😂😂😂😂 ila manyanya kwani lazma uchepuke
Ila manyanyaa ndoa yngu ikivunjika wewe ndo chanzo mna unamfundisha mume wangu ujambazi😢😢😢
Wenyee mabwana dereva bodaboda gonga like😂😂😂😂😂😂
kama umekula pilau siku ya leo bc gonga like mwanangu
Jameni yani dakika 2.kdogo nmekuwa wa mamia duuh kwan hv huwa mwafanya kudakia juu kwa juu😂😂😂😂
Kweli nimewakubalisana wachezaji wa DUNIA mungu awabariki sana kwakweli filamu yanu Ina maneno mazuri mno
Kazi nzuri vijana keep going guys 💃💃💃
Watching this from Kenya.....I love and learn more in this episodes ❤❤❤❤❤
Manyanya hajawai kuharibu kila episode. 🙌 Siombi likes mtanipa wenyewe 😂
Mtumishi, mtumishi, mtumishi umetudanganya musa hakuichapa bahari aliinyosha fimbo juu maji yakagawanyika. (Uwe unasoma Biblia kweli sio kuvaa tu suruali za vitambaa)
Heeee jmn ndo kumshushua hvy?!!!!😊😊😊
Mmmmm 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hapo kwenye nitambulishe tena niimependa aiseee 😂😂😂😂 kwaiyo manyanya kaona wivu
Nawapenda sana, Manyanya endelea kukufundisha sisi wanawake ambao tupo kwenye ndoa, mi naangalia kuenjoy but napata mafunzo makubwa sana, hongereni sana waigizaji wote akiwemo Manyanya na mke wake na bi mdogo, mnatumia uhusika wenu vizuri🎉🎉
Adui ya Mwanamke ni Mwanamke mwenyewe, Wanawake wana husika kumsaidia Manyanya Kutoroka kwa mkewe, Pia mwanamke ( Cathe) anamroga mwanamke mwezie ( Mati) aachike. Dahh!!!
Ogopa mwanamke…
Usaliti haujawahi kumuacha MTU salama
Manyanya anatumia pesa nyingi na nguvu kubwa kuficha usaliti wake
Ndio ikaitwa dunia 😂😂
Yaan daah tuombe sana vita hiv n maombi kuwaombea hawa wanaume
Wakwanza leo ❤ nn awatakia Christmas njemaa ebu like hapa kaupo kweli
Sindi kama uvumirivu ukonao kama hata kwenye maisha yakawaida ndoo hivo ndoa yako itadumu sana mungu akurende san kipande chako unakitendea haki kiukweri wanawake wavumirivu wapo nawanaume wavumirivu wapo mubarikiwe sana munafundisha sana Tena sana mutu ambae hajaerea hii muvi hata erea kamwe kwenye maisha yake
Wakwanza Leo jamon naombeni like zangu mapenzi ya matti na manyanya nimeyapenda sna manyanya kazi nzuli sna ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️😍😊🔥🌹🛍️🇹🇿
Vizuri kweli.
Aya wa kwanza Leo toka kongo drc naombeni like zangu
Kwanza niwapongeze kwakazi nzuri mloifanya mmeyaishi maisha halisi tunayo yaishi kumbe watanzania tunaweza mungu awaongeze awape mafunuo mengine mungu ibaliki kazi hi nimewapenda bule
Merry Christmas kwa wote ila ni uzuni kwangu hakuna mtu...😢😢😢
❤❤❤❤
I love you Cathy❤❤❤❤❤❤
Why cathe manyanya manyanya n baba ako au??😂😂
Jmani hakuna mtu vp mama
Una wivu Kwa shoga ako ndo mana huna😅
Uyu boda mshenzi 🤣🤣😁 minisinge mshika
Ungeulizwa tu unataka lifti au hautaki 🤣🤣🤣
Kwa mara ya kwanza Mudi Muzungu paka la bar hajalewa akisubiri pilau la sikukuu na bado akaambulia ugali😂😂
Wanawake na wanaume Kuna la kujifunza hapa kama unaamini
Gonga like twende sawa
Sana tu
Mudy alitakiwa kuchinjwa leo na Kathe alitakiwa achinjwe kesho ... 😂😂 sasa Mudy mbna bado yupo wazee
Tumemkosa kila ubanda tumemkosa😂😂😂
Mudy paka la bar
Na ndevu zake zile afu anatak supu 😂😂😂😂😂😂
Mudi mlevi tu maisha yake wangap tumeona🎉
Leo wakwanza nipeni likes 👍 zangu love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
😃😃il Mudy w hunag nzima kbxaa yaan mkeo ndio akuhemelee ka vil yy nj kakuoa eeg😢😂Il Manyanya mbn unatufanya si wengin tujion ka vile mayatima w mapenz jmm😮😢hhh makof kw Cidy🎉🎉
Wazinifu mnaochepuka kwenye ndoa zenu msijitafutishe sababu kuna maisha baada ya kufa 😂 HII NDIO DUNIA BWANA 😂 Yaliyopita kwenye Sheila
😂😂😂
@mariamibrahimsadakas unacheka 😁 hii ndio dunia bwana 😁
😂😂 ukorofi huo yaliyopita kwenye sheira imekujaje hapo??
@@paustephano 😁😁😁 hapo ndipo utajia HII NDIO DUNIA BWANA oo ooo! Oo oo ooo! Ooo ooo!
Na wanawake waliopo kwenye ndoa watulizemi waume zenu ila watulie
Manyanya nashukuru kwa kuwa unatugumbua macho michezo ya wanaumee ni wajanja sana daaah
Kabisa tuishi humoo
Katoa code kumbe
Abarikiwe
Wanaomwonea huruma sindi na kampongeza kwa uvumilivu wake gonga like 👍 apa❤😂
Kama unamkubali mudi mzungu gonga like ❤
Kw lipi huyu nae mwanaume sulual asituchoshe😅
Sana
@@VictoryClemence𝑗𝑎𝑚𝑎𝑛𝑖 😂😂😂😂😂𝑢𝑚𝑒𝑗𝑢𝑎 𝑘𝑢𝑛𝑖𝑐ℎ𝑒𝑘𝑒𝑠ℎ𝑎 𝑖𝑙𝑎 𝑠𝑐𝑒𝑛𝑒 𝑛𝑑𝑜 𝑎𝑙𝑜𝑝𝑒𝑤𝑎
Mudi kubwaa😅😅😅
Leo nimewahi jamani yaaani nasemaje brother manyanya tupo wote mpaka mwisho wa hiki kigongo ❤❤❤❤
Cindy ni mwigizaji Bora. Huuvaa uhusika hata lugha ya mwili hubeba taswira halisi.
Manyanya ni mwigizaji bora na kipaji dhahiri.
Safi sana
Tunashukuru sana toka Congo❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Manyanya super acteur number 1❤❤
Respect❤❤❤❤
Mipango ya manyanya ni noma sana aisee akitaka kuchepuka au kurudi kutoka kwa mchepuko
Kw hxhma kaka bichwa tunagupend xan kweli mungu azidi kuibalik kaziyenu kwa hexhima kubw xan
th-cam.com/video/-ug7tFRSrGM/w-d-xo.htmlsi=hqSJgH16R7hRJaOk
Kwani jamani mudy kubwa, mudy muzungu atabadirika kweli huyu mwamba😂😂😂😂😂😂😂
𝐻𝑎𝑙𝑖𝑤𝑒𝑧 𝑎𝑐ℎ𝑎 𝑡𝑎𝑏𝑖𝑎 𝑧𝑎𝑘𝑒😂😂𝑙𝑖𝑛𝑎𝑢𝑑ℎ𝑖 𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖😂😂𝐶𝑖𝑛𝑑𝑦 𝑑𝑎𝑑𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑠𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑛𝑎𝑗𝑎 𝑛𝑎 𝑏𝑜𝑑𝑎 𝑘𝑢𝑘𝑢𝑏𝑒𝑏𝑎
Dalili za kupokonywa mke tunaziona mwache aendelee kuomba supu apikiwe😂😂😂😂😂😂
Akumbuke aliondok na elfu kumi yetu ya chachi boy asijuzime data😂
@@MwanaidiSalehe 🤣🤣🤣🤣
@@MwanaidiSalehe 😅🤣🤣😂😂
Daaah Hio nyimbo wadau wengi wanaitaka please mtufanyie na hio
Mungu atubariki sote tunaotazama dunia siku hii ya crestimas
Asanteni kwa support yenu
Asante na wewe kaka Manyanya tunakufatilia kwa makini kubwa tunaburudika na kuelimika ❤❤
Nakukubali sana manyanya asante kwa kutuelimisha❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Pamoja sana
Good job
Mungu azidi kuwa bariki, manyanya na timu yako, jamani mume nifunza mengi katika video hii, niko shabiki kutoka kongo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wa Kwanza ama vipi wa Congo 🇨🇩 gongeni like apa
😮jamani kaka manyanya ana juwa mapenzi kweli
oyaaa! sindi pole sana ingekuwa mwanamke mwengine ingekuwa tzyari alisha muasha mudi Muzungu pokeya like syster from drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mungu asinipe mume kama manyanya ntamvunja taya 😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Utajuaje sio kama manyanya kwa jinsi alivyo mulimwengu vile
Jitahidi usiwee kama vaileth ila ukiwa kama vaileth lazma upate kama manyanya. Na zaid ya manyanya kabs
Manyanya Mzee WA kazi uko vzr kusimamia haki za raia kazi nzuri mwaaa🎉
Oya eeeh mnaompenda mke wake na mudi muzungu gongeni like
Jamani Mudi unaitaji Christmas njema nawakati wew ndo unapaswa kulitimiza hilo😂😂
Manyanya akipigwa vizur atasema nani kamfundisha misemo😂😂🎉❤
😂😂😂😂ya kitaalam
😂😂😂
😅😅😅
Ya kitaalamu😂😂😂😂😂😂
😂😂
Iyo ngoma kali uyo jamaa anajua sana
🎶Nipeee nipeeee nipeeee
Mimi mimi nimetekwa mimi mimi nimetekwaaaaaaaa🎶🎶🎶🎶BONGE MOJA LA SERIES 2024💥💥💥
First Kenyan to watch🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi likes za wakenya😊😊