DKT ELLIE - ''MUMEO AU MKEO ASIPOKUWA KAMA KAKA AU DADA YAKO, NDOA YENU HAIWEZI KUDUMU'' | Hard Talk
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
- DKT ELLIE - ''MUMEO AU MKEO ASIPOKUWA KAMA KAKA AU DADA YAKO, NDOA YENU HAIWEZI KUDUMU'' | Hard Talk
HII ni sehemu ya kwanza ya mahojiano ya Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu Lilian Mwasha na Mshauri na Mwanasaikolojia Dkt Ellie ambapo wamezungumza maisha ya ndoa na mahusiano ndani ya kipindi cha Hard Talk, ambpo maswali mengi yamejibiwa ikiwemo ni kweli wapenzi wakiwa mbali ( long distance relationship) upendo unakuwepo?...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Huyu Dr napenda sana mafunzo yake, ni Dr kweli, siyo wa kubahatisha.
Da Lilian hako ka mziki usituwekee tena wasikilizaji wako tunakuomba sana tunataka tusikilize mazungumzo yaliyotuliaaaaa
Kweli aisee unatuchanganya na uko juu sana,
@@joycebosire3434 umeona eehhh mazungumzo yanapoteza radha aiseee
Kweli my
Uyu baba uwe unamleta sana ana mafunzo mazuri
I waited this for too long,I wish kila wiki kuwe na episode mpya😊can't get enough listening to this man
Ila uyu baba ninoma sana
Nashukuru Kwa kumlete Dr Elie nampenda sana huyu Baba Mungu azidi kumtumza Kwa wote wanaofuatilia mafundisho yake
Hunizidi Mimi navompenda
Ujanifikia mimi😂😂
My guy always look young .. my genius 🇬🇧🇬🇧🙏🙏
Nashukuru sana dada Lilian
Vp women matters unairudisha lini mamy tumewamiss mno jaman
❤🇹🇿🇺🇲Mashallah Elimu Ni Mwangaa! Elimu ya Philosophy Alotugeyaa leo Huyu BaBa ni directe Tiba Namkubalii Mno!! Mwangaa wa Philosophy yake Mkali si Mchezo.
2.UPENDO ABADANII HAUFI!MAPENZI YAFAAA JAMANII THAT FACT.
2.UKIMPENDA MTU HAUWEZI KUMGONGESHA.
3.JIWEKEE INTEREST YA WEWE SIO ULIVYONAVYO UTAHESHIMIKA. Ukweli ni huooo So Sweeet talking also it's Very Ahhhaaa Moment to me Dr. Thank you .
Lillian Thank you too for this.Dr Muamiana I appreciate your sharing knowledge God Bless you always! AMEEN.🇺🇲
Dr. Ellie 🔥😊
Elimu nzuri sana 💯🤝
Kwa kigezo cha ulimwengu/ universe na sio person experience
Lili Ukitulia utamuelewa Dr ,sisi tunamuelewa vzr tu,pia punguza ushabiki Bali mwanafunzi,
Jamani huo muziki usingekuwepo au uwe kwa mbali sana
Lil background yamuzik iko juu sana
❤❤asantee sanaa god bless you guys
Doctor ubarikie sana
Love so much Lilian mwasha
Seems your not fine today da lili Mungu akupe amani
❤ god did
The real genius🙏🙏
Wow hakiri nyingi
Hio background music iko juu sana,hatusikii vizuri,punguzeni au muiondoe
Umenitoa mbal asant
Napenda huyu baba anavyoongea ametulia ,yaan anaongea taratibuuuu,mkongo si mkongo,basi ni udambwi udambwi tu,Mungu akitunze na akuzidishie amani katika familia yako
Dah,haya madini adim sana.Mungu akubariki
Dr.Elie🙌
Somo zuri 😊
Uyu mzee anafaa sana kulea vijana anafaa sana naisi maadili yangekuwepo.
Na ili jambo limefanya wanawake wengi wameathirika ila udhaifu wanapeleka kwa wanaume kumbe tatizo liko kwao.
Background music throughout interview zinaharibu sana interviews. Dah!
This guy is something else … absolutely Gem Dr Ellie …your a star 🇬🇧🙏
Asante Sana Dr elie
Mie kwangu Ni lazima nifike kileleni na hata Kama simpendi nitajifikisha mwenyewe kileleni na Ni lazima nifike
Looking stunning ❤❤❤
Asante sana kwa ukweli wako
Waiting for this so long🙏🏾
Mbarikiwe, sana.
Asante saana kwa elimu nzuri !binafs inanipa majibu ya maswali yangu
Yaan Wewe kweli!!
Kanifanya Nijielewe Zaidii Na Zaidii na kupata jibu la Uhalisia wa Mimi km mimi. Mtazamo na Misimamo Niliojikea uhalisia wake sio kosa! Ni Heshima yangu Mimi. shukran dr. 😊🥰
Huyu baba namwelewa
Na ameongea kwa utulivu lakini watu hawatulizi akili. Sikiliza vizuri utaelewa
Yani hata mtangazaji mwenyewe hamuelewi maswali hayana mtiririko.
Tuleteeni Dr Chris Mauki na sukambi
Sukambi aje john
Kwann
Poa tu wote kwa mda wake
May you be blessed with many more years of life Dr. Elie, as your wisdom and guidance have been invaluable to me. I am grateful for the opportunity to learn from you, and I hope to continue benefiting from your presence for years to come
Take out that back ground muziki
Nice my
Part 2 lini Dr Lilian?
Haa mwanamke akiwa more than 3 men ni kahaba.big up doctor
Nilikua napenda ukimuhoji
Background music inaboa
Mtangazaji ana haraka..Dr akili kubwa
Uyu mama ashukur pesa
Kwanin!?
Acha kukufuru hujajiumba
Duh ila walimwengu
😮😮
Uyu ndio nini? Sema huyu......unaonekana shule huna , exposure huna, pesa huna, wala hofu ya Mungu huna. Amekuzidi mengi sana huyo kitulize
Uongo Huo. Mkiishi Kama Kaka Na Dada Hapo Sasa Ndoa Ni Nini, Je! Wewe Waweza Kulala Na Dada Au Kaka Yako Kitanda Kimoja?
Ata hujaelewa
Hujaelewa somo inaitaji utulivu sana
Sikiliza Kwa umakini ukiwa na Nia ya kujifunza utamuelewa lakini ukiwa na Nia ya kukosoa hutomuelewa
ndg yang jtahd sana kusikilza haya madini mwanzo hadi mwisho vngnevyo tutakuacha njia panda
Unaona ulivyo na akili ndogo, rudia kusikiliza na urudie tena