Wallahi Aunty Ziyuni nakupenda kw ajili ya Allah upo sahihi kabisaa. Kuna mdada wa kazi aliunguza chakula na kusababisha moshi mkubwa mpk majirani kumpigia sim madam alikuwa nje. Kw sababu ya wifi
Ila binadamu nyie kwahiyo nje hakuwa nakaz nyingine au hakusikia harufu hadi majirani waone yeye asione iyo kawaida mbona madm alipika mchuzi kaaunguza nyumba moshi harufu mm ndo kwenda kumshtua sebuleni ila kwasbb shagala kosa looooo unasubir ufe uione pepo niko pale
@@dorcaskidoti249 madam alikuwa hayupo katoka na jiko lipo nje yaani uwani na dada wa kazi alivokuwa anapika akashika cm mpk chakula kimeungua na kuanza kutoa moshi mpk jirani akaona ndipo alipo mpigia madam cm. Wewe ukipika chakula chako utakiacha usikijali utoke jikoni hadi chakula kinaungua uko busy na cm?
@umahmed8273 ujaongea kwani kuunguza chakula yuanza yeye au yaanza Omani ili uzidishe chumvi binadsm.kazi sana aya slichoma kama wewe waitaji anyogwe au
@@AtifaIslam-t6g naomba unifaham sijaongelea kuunguza chakula hata mie naunguza. Naongelea point ya kuwa busy na cm. Na kuna kuunguza chakula ukajistukia. Yeye hakuna makini mpk jirani kuona moshi. No kusababisha pia kuunguza nyumba
Walllah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ habibti Zayuni umesema vizuri sanaaaa hongera kwanza.big up.All akuhifadhi yarabiii amin .kwasababu ana uzoefu mkubwa sanaaaa alikuwa agent mzuri sana sifa hiyo ipooo na haitoondoka.ukweli huo .zayuni kpe it up.
Alhamdulillah oneni sasa mambo mengi wanazucha wafanyakazi kuchafua wa oman ona haya sasa ugekua huja uliza na kupeleleza usinge jua ukweli wafanyakazi punguzeni uzushi
Wengine awawezi kazi walizowea mteremko na ukiamua kusafiri kutafuta rizki ni lazima ufanye kazi kwani uyo boss alikutafuta ili uende ukakae tu uwangalie
Na bi kadija na bi zari na global tv ❤❤❤❤❤❤❤ hongereni sanaaaa ♥️ 😆 💖 😄 mnafanya kazi nzuri nakufatilieni toka juzi. Lkn bado bado bado ukweli haujatoka .bado yatafuteni mtapata mengi ❤❤❤❤❤. Kazi nzuri sanaaaa endeleeni vizuri
We umzima lakini akili yako yafikiria au waongea ni kama waota miska 50 niajabu kutoroka aya toroka wewe ulie miaka 5 kila mtu yuajua kwa nji alisafiri
@@AtifaIslam-t6g jiulize ww kama una akili au huna ? Apo kuna baya gani nilosema au kazi yako kudandia treni kwa mbele, unikome dada eee, tena ukome kuvamia kama una stress zako za maisha peleka uko sio kwangu
@@AtifaIslam-t6g ningekuwa na miaka 5 ningekuwa hapa 🙄🙄🙄 kweli ww ni chizi bado kuokota makopo tu, umbea tu ndo ulokujaa au umekaa getoni huna kazi? Njoo inbox nikupe part time ili upunguze hasira
Kwa mfano wangu mie wabatoka mwanzo wa mwezi na mwisho wa mwezi mara mbili kwa mwezi..illa kama aba dharuri anataka kutoka hakuna kazi nyumbani etc etc .ni mafahamiano lkn kwa kuoumzika anapumzika sana tuuuu.illla okiwa mtu hajipangiii mwenyewe kazi zake
Nakumbuka Mimi mwaka 2015 tarehe 28 mwezi wa 8 ndio mara ya kwanza kukanyaga oman nilipata tabu sana mtu unakabiziwa jiko upike haya unapika alafu sahani na kikombe anakukabidhi ili usichukue wanacho tumia wao na sehem ya kukaa unaonyeshwa tena chini hata ule mkeka pia kufokewa kama mtoto sasa hayo ni maisha mtu huambiwa kwaupole ataelewa lakini ukimfokea hato kuelewa siyo wote lakin wapo hivo Kwenye kula pia hadi wale wao ndiyo Mimi nakula yao nikuchelewa siku moja nikachukua sahani yang nikapakua nile we mbona niliambiwa nikirudishe kwenye sufuria alafu wana masimango sana siyo weto lakin wengine wana roho nzur
Hiyo yote alie pewa alie nyimwa yote. Ni mipango ya Allah alafu unakuta mtu anakwambia nyie wa Afrika hamna akili wakati nayeye kazialiwa Afrika siyo vizur hivo kama kuna ajenti mmoja alisema wa Afrika mpo kama mazombi alinikera
😢😢😢 na bado upo hiyo hiyo nyumba? Wanakulipa ngapi hadi sasa? Mm huwa sikai na warabu jikoni chumbani kwangu nimemaliza sebuleni naenda kusafisha tu kuhusu chakula ndo wako ivo saaa nyingine wao wamekula kula vitu vingi wameshiba chakula kimeiva watapakuwa saa 9 unahisi njaaa utumbo unakutetemeka ukienda kupakuwa wanakuja wote jikoni mm sijali njaa ikiuma napakuwa wananuna kesho yake saa 6 watapakuwa ili nisibebe kabla yao, huyu wng kila siku anakuachia ukoko bwabwa lenyewe hili ukoko hauliki kama tz anapakuwa anajaza hotpot wanakula vinabak anamwaga ila ww ule ukoko, usiku kama tumepika nitakula ila wakinunua unalala njaaaa nishazoea mie
Mie nyumba yangu ya kwanz awakunifanyiga bataka miak2 yan hilikua mbinde kunisafilisha nili mshitakia kaseleh aliwambia mleten alaka sn ubaroz walin peleka nika pelekwa leba nika washitaki ndo sas walijua wenyewe garama zao walizo lipa uko ka selehe alini simamia mbaka nili ludi kwetu na mshukuru sn kasele sito msau kwa wema wake maan ndo mtetezi wetu wallah
Pia ikumbukwe Kama wanataka mkataba kwa mkataba basi watolewe ma house boy wanaowasaidia kupiga pass na ma gardener wanaotazama miti maana kazi hizi zote wamepunguziwa itabidi sasa wazifanye Kama mikataba inavyosema
Tanzania leo mama mmoja kazaa ndani ya bajaji kwasababu hana laki moja na hamsini lakini huyo dadaetu kachukuliwa na waarabu akaingizwa hospitali bila ya kuuliza operesheni ataulipia nani yaani wamtibu kwanza alafu ndio watafute mlipaji
Mm nlipatwa na hali kama hii ramadhani nlianguka nkajipiga kichwa na tiles wallah nlilala flat nusu saa siwezi kufunua macho wala kupumua vizur hski msiombe wala msiseme slisukumwa no mm nlipoenuka nliumwa nakichwa na mishipa ya shingo nliona nimepasuka kichwa
Asante Biziyooni uliyoyasema ya akili na busara kwa uzowefu wako ewe Zari usipokee malalamiko yeyote bila ya mtu kukupa jina lake kamili na nani boss wake
Kitu kimoja au viwili mie nitachangia kwenu bi wana vipindi .nilisikia kuhusu kutoka hijaza.fahamu yangu mie toka tumeanza wafanya kazi hijaza wafanyakazi hawatoki kila week.kitu hicho hakuna mie sokulisikia ndio kwanza saaa nilisikia. Mie ninavyojua mfanyakazi wako hijaza ni mara mbili kwa mwezi
،Jambo la kushangaza wengi ni hivi mfanya kazi ameletwa na m/mke menziwe na huyu mama hana wavulana ndani na mfanya kazi akapata uja uzito jee hapa atalaumika nani wakati anatoka kila Ijumaa au huu upepo wa Oman unafanya wanawake kupata mimba?
Huyu anty zuyuni kaongea point kabisa Hmn kaz ya rahis na kwann ukiwa unafanya kaz utumie simu. I am from uk. Huku kazn hutumi simu mpk breaktime cz hutoweza kuconstrate na kaz
Zari Tafadhali usiwe unaropokwa hakikisha nini unongea kabla huujarusha hewani huyo mdada katoroka kwa boss wake kwa Tamaaa zake binafsi kapatikana nani amsaidie boss hana haki tena Usijidharaulishe kwakuingilia ya ndani ya nchi za watu kaa Tulia
Mungu apendi jamani atuache mambo ayo jamani tunakaa kaa kwako na tunawakashfu ivi kweli jamani unafanya mambo mengi kupitia uku Oman kwanini tusiwape mauwa yao kunamtu alikuwa ana lalamika kuosha gali ivi adikuoshagali munashitaki kweli
Hebu jamani kwani Kuna ulazima wa kuleta Hawa watu. Leteni wahindi wasrilanka waphilipino Kuna Hawa wa Neymar wanakuja Sasa ivi Mashaallah wote Hao wa hodari Sana na wachapakazi haswa hawana mashart yoyote na kwa kweli wanakufanyia kazi Mashaallah hasa. Ukimpa off once a month anaenda zake church jioni anarudi zake hawana makubwa Tena unapumzika hasa.
Zari leo nilitamani kuwa na nyie live lakini nilitingwa Dana name kazi naomba Namba yako nikuchek inbox tuongee mimi nipo muda mrefu huku tena kwa boss
ICU - Intensive Care Unit. Ina maana mgonjwa anahitaji kuangaliwa na manesi na madactari kwa ziada Hairuhusiwi mtu kukaa na mgonjwa kwa maslaha ya wagonjwa. Ziara kwa dharura na watu wakaribu sana inaruhusiwa kwa masharti kuvaa plastic za hospital na kukaa kidogo. Ulizeni madaktari wenu, Madhali yumo ICU inamaana anatibiwa ila hali yake sio nzuri,
@@sophsoph4740 wanakera sana kinacho ongeleka naona ujinga tu wanaengemea upande mmoja nimewaambia waangaike hukohuko tanzania wafanyakazi wandani tanzania wanatesa wanakazania huku watuachw tumeridhika na hali ya huku
Hapo yupo kazini na ikifika mwisho wa mwezi anapokea mshahara wake nyie mnaosema kwamba hana kazi mnapoteza mda yy mambo yake yanamwendea na siku zinakwenda
Kwa mtu mwenye Akili Timamu. Ukimsikiliza hugo Aunty Zeun kuna Vitu anavyoongea ni vya kweli ila Vingi anatetea tuu wakati Wengi Wetu tunajuwa jinsi Wadada Wengi wa Kazi wanavyo Nyanyaswa. Huyo anae tumia Vyombo vya Njiwa hats mimi niliamini kabla hata ya kuonyesha Ushahidi. Huyo Aunty Zeun asikatae kila anacho Ambiwa. Awe anafuatilia!!
Sasa nikuulize iv anavyoambiwa atumie ivyo vyombo akikataa inakuaje ujue kingine ni kuwa na nidham ya uoga pia inachangia ukija kutafuta uku inatakiwa umkabizi mungu maisha Yako na useme lolote litakalokufika mungu kapanga ivyo usiwaogope waarabu wao ni binadam kama sisi ukiona ueleweki ondoka nenda ubalozi ukifika utaelezea ataitwa boss wako mambo ni mawili kuyamaliza au kuondoka na swala la kuondoka unatoa pesa yako inakata ticket unaondoka
@@saleemadhiyabalkhatri7800 NGOJA NIKUJIBU KWA HERUFI KUBWA MAANA NAONA AKILI YAKO IKO KISOGONI,, SIKU ZOTE KITU USICHOKIFAHAMU JIFUNZE KUKAA KIMYA USIONGEE ILIMLADI UMEONGEA UTAVISHWA SKETI WEWE OHOOOH.
Na maji pia yanapasua miguu mana kuna kazi ya kukosja vyoo kupiga deki uanjani kufua kupiga deki ndani yani mda mwingi unachezea maji na maji nayo yanapasua miguu ila dawa yake ikipasuka miguu paka vasrine mipasuko yote inatoka na miguu inakua milaini
@@khadijachacha3156 yani mm nikitembea bila viatu au socks napasuka hadi nasikia maumivu kukanyaga ila nikikaa sock nakupa mafuta vinaisha nikitoka kukosha vyoo navaa sock au nasaficha njee kumwaga magi nikimaliza najitia mijisockis yang
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Wamejaa au mbona haikubali kwangu kujiunga
kweli sijuwi
Haikubali
Aikubali
JAMANI ZAYUN NA KUPENDA SANA MAMA SHAMSA ❤❤❤❤❤NAKUKUBALIMMNNO❤❤🎉
Pole ngongwa. Mwenyexi mungu aku shufaa uponi haraka
Wallahi Aunty Ziyuni nakupenda kw ajili ya Allah upo sahihi kabisaa. Kuna mdada wa kazi aliunguza chakula na kusababisha moshi mkubwa mpk majirani kumpigia sim madam alikuwa nje. Kw sababu ya wifi
Ila binadamu nyie kwahiyo nje hakuwa nakaz nyingine au hakusikia harufu hadi majirani waone yeye asione iyo kawaida mbona madm alipika mchuzi kaaunguza nyumba moshi harufu mm ndo kwenda kumshtua sebuleni ila kwasbb shagala kosa looooo unasubir ufe uione pepo niko pale
Ni wengi Sana hio Tabia wanayo yaan sim ndio Kila kitu kwao
@@dorcaskidoti249 madam alikuwa hayupo katoka na jiko lipo nje yaani uwani na dada wa kazi alivokuwa anapika akashika cm mpk chakula kimeungua na kuanza kutoa moshi mpk jirani akaona ndipo alipo mpigia madam cm. Wewe ukipika chakula chako utakiacha usikijali utoke jikoni hadi chakula kinaungua uko busy na cm?
@umahmed8273 ujaongea kwani kuunguza chakula yuanza yeye au yaanza Omani ili uzidishe chumvi binadsm.kazi sana aya slichoma kama wewe waitaji anyogwe au
@@AtifaIslam-t6g naomba unifaham sijaongelea kuunguza chakula hata mie naunguza. Naongelea point ya kuwa busy na cm. Na kuna kuunguza chakula ukajistukia. Yeye hakuna makini mpk jirani kuona moshi. No kusababisha pia kuunguza nyumba
Walllah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ habibti Zayuni umesema vizuri sanaaaa hongera kwanza.big up.All akuhifadhi yarabiii amin .kwasababu ana uzoefu mkubwa sanaaaa alikuwa agent mzuri sana sifa hiyo ipooo na haitoondoka.ukweli huo .zayuni kpe it up.
@@aseelaisaa428 kabisa na Ana Imani kubwa sana na Allah. Hasemi uongo wala hafichi. Allah kubarikie ktk maisha yako Aunty Zayuni
Ma sha Allah zari na mdd hapo
Mmependeza Masha Allah
Allah awadumishe ktk kufuata amri za aliyetuumba
Mungu akulipe Kila la kheriii da zay kipenzi tunakupenda ❤
Alhamdulillah oneni sasa mambo mengi wanazucha wafanyakazi kuchafua wa oman ona haya sasa ugekua huja uliza na kupeleleza usinge jua ukweli wafanyakazi punguzeni uzushi
Wengine awawezi kazi walizowea mteremko na ukiamua kusafiri kutafuta rizki ni lazima ufanye kazi kwani uyo boss alikutafuta ili uende ukakae tu uwangalie
Mashallah tabakrallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Na bi kadija na bi zari na global tv ❤❤❤❤❤❤❤ hongereni sanaaaa ♥️ 😆 💖 😄 mnafanya kazi nzuri nakufatilieni toka juzi. Lkn bado bado bado ukweli haujatoka .bado yatafuteni mtapata mengi ❤❤❤❤❤. Kazi nzuri sanaaaa endeleeni vizuri
@@aseelaisaa428 nawapenda sana Zari na Hadija mbarikiwe ktk kazi yenu
Waongonjiwa hanasahani waongo acheni uwongo kama humuwezi kazi rudini kwenu hana kwenu pesa manapenda sana sasa tatizo lipi. ,👌👌👌
Mungu musaidie hapone
Masha Allah anty upo vizuli
Wewe usimseme zari yupo kazini huwelewi jukumu lake zari apewe mauw,,🌷🌹💐
Aunty zeuni uko vizuri sana wacha warudi
SubhanaAllah, stori ya huyu dada nliskiliza walisema ana miaka 50 sa umri wote uwo amekemboi jmn eee Mungu amsaidie kwa kweli
We umzima lakini akili yako yafikiria au waongea ni kama waota miska 50 niajabu kutoroka aya toroka wewe ulie miaka 5 kila mtu yuajua kwa nji alisafiri
@@AtifaIslam-t6g jiulize ww kama una akili au huna ? Apo kuna baya gani nilosema au kazi yako kudandia treni kwa mbele, unikome dada eee, tena ukome kuvamia kama una stress zako za maisha peleka uko sio kwangu
@@AtifaIslam-t6g ningekuwa na miaka 5 ningekuwa hapa 🙄🙄🙄 kweli ww ni chizi bado kuokota makopo tu, umbea tu ndo ulokujaa au umekaa getoni huna kazi? Njoo inbox nikupe part time ili upunguze hasira
Aunt Ziyun 👌👍❤️
Zali asante sana kwa ushiliano yaani huku Oman ukiwa salama sema alhamdulillah 😢😢tupo Oman tukiwa salama alhamdulillah 😢
Ziyuni kashika Dini hawezi kusema uwongo yeye anatoa Sadaka sana MashAllah
Hongera sana dada i unasema kitu cha ukweli wafanyakazi nasi pia tuna matatizo na maboss wapo pia wanamatatizo kwa hiyo akili kwenye mkichwa
😂😂😂😂nimekuelewa vzr t
Mashaallah tabarakallah waongea safi aunty ziyuni
Kwa mfano wangu mie wabatoka mwanzo wa mwezi na mwisho wa mwezi mara mbili kwa mwezi..illa kama aba dharuri anataka kutoka hakuna kazi nyumbani etc etc .ni mafahamiano lkn kwa kuoumzika anapumzika sana tuuuu.illla okiwa mtu hajipangiii mwenyewe kazi zake
Jamani ukiwa nchi za watu unatakiwa kuwa na imani na uvumilivu kingine ukiwa na adabu zako hawa watu wanaiman wachache wapo wanakua na shida kingine
Dada Zeyun nakupongeza kwa maelezo mazuri.
hongera sana dada zai
Kajitia naenda kusali kwanza. Kiukweli. Tunateseka laki ni kwa umasikini tulio nao nchini kwetu. Tunastahamili tuu. 😢😢 Alla karim
Nakumbuka Mimi mwaka 2015 tarehe 28 mwezi wa 8 ndio mara ya kwanza kukanyaga oman nilipata tabu sana mtu unakabiziwa jiko upike haya unapika alafu sahani na kikombe anakukabidhi ili usichukue wanacho tumia wao na sehem ya kukaa unaonyeshwa tena chini hata ule mkeka pia kufokewa kama mtoto sasa hayo ni maisha mtu huambiwa kwaupole ataelewa lakini ukimfokea hato kuelewa siyo wote lakin wapo hivo
Kwenye kula pia hadi wale wao ndiyo Mimi nakula yao nikuchelewa siku moja nikachukua sahani yang nikapakua nile we mbona niliambiwa nikirudishe kwenye sufuria alafu wana masimango sana siyo weto lakin wengine wana roho nzur
Hiyo yote alie pewa alie nyimwa yote. Ni mipango ya Allah alafu unakuta mtu anakwambia nyie wa Afrika hamna akili wakati nayeye kazialiwa Afrika siyo vizur hivo kama kuna ajenti mmoja alisema wa Afrika mpo kama mazombi alinikera
😢😢😢 na bado upo hiyo hiyo nyumba? Wanakulipa ngapi hadi sasa? Mm huwa sikai na warabu jikoni chumbani kwangu nimemaliza sebuleni naenda kusafisha tu kuhusu chakula ndo wako ivo saaa nyingine wao wamekula kula vitu vingi wameshiba chakula kimeiva watapakuwa saa 9 unahisi njaaa utumbo unakutetemeka ukienda kupakuwa wanakuja wote jikoni mm sijali njaa ikiuma napakuwa wananuna kesho yake saa 6 watapakuwa ili nisibebe kabla yao, huyu wng kila siku anakuachia ukoko bwabwa lenyewe hili ukoko hauliki kama tz anapakuwa anajaza hotpot wanakula vinabak anamwaga ila ww ule ukoko, usiku kama tumepika nitakula ila wakinunua unalala njaaaa nishazoea mie
Nili hama nyumba 150
@@jazirajazira8116unitafutie sasa uko ndg yangu 140 nije kipenzi
@@jazirajazira8116Pole kipenzi
Mie nyumba yangu ya kwanz awakunifanyiga bataka miak2 yan hilikua mbinde kunisafilisha nili mshitakia kaseleh aliwambia mleten alaka sn ubaroz walin peleka nika pelekwa leba nika washitaki ndo sas walijua wenyewe garama zao walizo lipa uko ka selehe alini simamia mbaka nili ludi kwetu na mshukuru sn kasele sito msau kwa wema wake maan ndo mtetezi wetu wallah
❤❤❤
Naomba kuuliza mshahala serikar ni bei gani
Pia ikumbukwe Kama wanataka mkataba kwa mkataba basi watolewe ma house boy wanaowasaidia kupiga pass na ma gardener wanaotazama miti maana kazi hizi zote wamepunguziwa itabidi sasa wazifanye Kama mikataba inavyosema
😊 1:05:36
Huyo mwenye kenya hajui kenya zaminguu.
Na la mwisho ikiwa sijakosea nilisikia kuwa time ya kazi .ningependa lirudiwe tena ili nisije kusema ikawa mie sikufahamu tukiweke wazi baina
Da Zari kuhusu mshara wa 120 omba ufafanuzi mzuri
1. Mwenye experience
2. Nyumba na family kubwa au ndogo?
Nyumba yoyote ile iwe kubwa iwe ndogo
Watanzania tumewachoka na uongo wenu bora mkafungiwa
Ubalozi kawaida hawawasaidii watu kama hao wanokimbia kwa waajiri wao, unasaidiwa ikiwa una matatizo ukakimbilia ubalozini.
😢
Tanzania leo mama mmoja kazaa ndani ya bajaji kwasababu hana laki moja na hamsini lakini huyo dadaetu kachukuliwa na waarabu akaingizwa hospitali bila ya kuuliza operesheni ataulipia nani yaani wamtibu kwanza alafu ndio watafute mlipaji
Yan mm nina kikombe changu kinaogopwa kama ukoma
Hayo yote yapo hata mimi hapa kwangu mlango hauna funguo,
Naona wengi wanasema ivyo
Tuko weng na mm pia vyumba vyote vina funguo ninamolal mm 2 hamna
Mm nlipatwa na hali kama hii ramadhani nlianguka nkajipiga kichwa na tiles wallah nlilala flat nusu saa siwezi kufunua macho wala kupumua vizur hski msiombe wala msiseme slisukumwa no mm nlipoenuka nliumwa nakichwa na mishipa ya shingo nliona nimepasuka kichwa
Sehem nyingne mfanyakazi apiki
Jamani achenimaneno mengi tufanye kazi
Huyo mtoto anasema uwongo hapa Oman vimejaa vyombo
Sisi ndoo tumekatwa Pesa RIALI 15 mwezi mmoja yaishuarensi
Asante Biziyooni uliyoyasema ya akili na busara kwa uzowefu wako ewe Zari usipokee malalamiko yeyote bila ya mtu kukupa jina lake kamili na nani boss wake
kuna waarabu wazuri nawengine wabaya wananyima chakula namanyanyaso hivo mschana aavolalamika msibishe pia pale penye mazuri yao wasifiwe
Kitu kimoja au viwili mie nitachangia kwenu bi wana vipindi .nilisikia kuhusu kutoka hijaza.fahamu yangu mie toka tumeanza wafanya kazi hijaza wafanyakazi hawatoki kila week.kitu hicho hakuna mie sokulisikia ndio kwanza saaa nilisikia. Mie ninavyojua mfanyakazi wako hijaza ni mara mbili kwa mwezi
Kwani mmelipwa na waarabu au mbona mmekomalia hii habari
Itakuwa
Wanawasafisha😢
😂😂😂😂 ukweli ndio huo
،Jambo la kushangaza wengi ni hivi mfanya kazi ameletwa na m/mke menziwe na huyu mama hana wavulana ndani na mfanya kazi akapata uja uzito jee hapa atalaumika nani wakati anatoka kila Ijumaa au huu upepo wa Oman unafanya wanawake kupata mimba?
Zari kwa hilo sizani kama tutapewa kiinua mgongo na kulipwa mshahara kwa likizo
Huyu dada anayelala kwenye kibanda na Yemen’s usimsapoti subiri aunt Ziuni atupe mrejesho na kwanini asikutafute ukamuone umerudi Tz ndio amekutafuta .
Huyu anty zuyuni kaongea point kabisa
Hmn kaz ya rahis na kwann ukiwa unafanya kaz utumie simu. I am from uk. Huku kazn hutumi simu mpk breaktime cz hutoweza kuconstrate na kaz
Alipoona. Ukweli. Mavi. Yamemshika hii ndio. Omani bwana😂😂
Zari Tafadhali usiwe unaropokwa hakikisha nini unongea kabla huujarusha hewani huyo mdada katoroka kwa boss wake kwa Tamaaa zake binafsi kapatikana nani amsaidie boss hana haki tena Usijidharaulishe kwakuingilia ya ndani ya nchi za watu kaa Tulia
Wewe.j.muonga sana😂
Mimi nimeletwa na ofisi ila na daiwa pesa ya mwezi mmoja na ajenty watanzania nayupo ofisin sijampa nakila siku ananitumia voic kama ananidai mmmmh
Nawauliza global Tv munayo rukhusa ya serekali kusema huyo upumbafu wenu mimi nitalifikisha juu kabisa
Mimi naona uyudada zali ahendelee na kaz nyengine tu
Akifika tu wanaomba wifi
Zuyuni upo vizuri sana wafanyakazi waongo sana jwiwa ale nawewe ule katika chombo kwani ndege wanakula katikasahani nimuogo😂muongo sana ote waogo sana
Maboss wa Oman wafungieni WiFi watu I’ve hela zao na Sasha hi I kila kitu iwe Kama mkataba unavyosema
Wanapenda simu sana na kama hamna wifi ananuna
Hata wewe unapenda sim ungekua hupendi usinge fatilia hizi habar
Na siyo wote wanatumia W i f i
Acha zako ww nyie wenyewe mnapenda sm masaa 24 upo na sima
Mbona mm nna miaka 6 hapa na natumia bando stumii wifi na sinuni??
Kweli Mimi nipo na mwaka 7 natumia bado hata sinuni kwanza wanachunguza kama nini kutizama kama upo online umetoka saa ngapi umeingia saa ngapi
Asilimia kubwa mnapenda tna mnatumia kwa umbea😂😂
Anty Ziyuni upovizuri bado lawama zipo kwa upande wako ukiangalia coment zawafanyakazi kwakweli mtihani
Mungu apendi jamani atuache mambo ayo jamani tunakaa kaa kwako na tunawakashfu ivi kweli jamani unafanya mambo mengi kupitia uku Oman kwanini tusiwape mauwa yao kunamtu alikuwa ana lalamika kuosha gali ivi adikuoshagali munashitaki kweli
Weenae ndowalewale iyo kuosha gari imeandikwa kwenye mkataba??
Si wafanyaji kazi jamani wafungiwe wasije tena Oman na wabakie huko huko Tanzania
Mnapoteza wakati wenu kwa kesi za akina amberuti😂😂😂
Afadhali leo ametokea mtu ambae amezungumzia na upande wa pili wamambo yalivyo
Nasisitiza wafanyakazi wenzangu tuachemaneno mengi tufanyekazi changamoto katika utafutaji haziachi kikubwa subra na uvumilivu baadae mukifungiwa munapiga kelele sisi tumetoka kwetu tunashida tufanye kazi ukishindwa rudi nyumbani tuache maneno
Kutafuta suku zote nikugumu sana subra
Zari waoman ambao hawajui kiswahili wala awangalii izi habari na mie nina boss namjua analaza mfanyakazi stoo
😢😢
Akimshtak atakaa swa
Dazari watanzaniya wanao ishi omni ndiyo wanao tukandamiza
No ya zayuni
Manyanyaso yapo ilawatu wanavumilia tuuu
Hebu jamani kwani Kuna ulazima wa kuleta Hawa watu. Leteni wahindi wasrilanka waphilipino Kuna Hawa wa Neymar wanakuja Sasa ivi Mashaallah wote Hao wa hodari Sana na wachapakazi haswa hawana mashart yoyote na kwa kweli wanakufanyia kazi Mashaallah hasa. Ukimpa off once a month anaenda zake church jioni anarudi zake hawana makubwa Tena unapumzika hasa.
Ukisema ivyo unakosea kuleta awo watu kila mtu na tabia yake jamani toka uko kwao
Lamsingi ikikipindi kingefungwa tu
Warabu ukimwa unanuniwa nyumba nzima na waifaa utakatiwa
Hakuna kitu kibaya kama Ubalozi kujikosha kwenye jambo ambalo hawafanyi chochote... Ningependa kuongea na huyu Mwandishi wa habari wa Global TV.
Chamsingi wafungiwe kuja jani kwani lazima na wewe zari siulikuja hapa kwanini hawakukutafuta ushaondoka wameanzaumbeq bhanae wafungiwe viza wasije bhana tumewachoka hebutuachieni kelele hamnakazi lohh mashtaka mashtaka tu umbea tu
Tunapitia mambo mengi nyie achatuu
Zari leo nilitamani kuwa na nyie live lakini nilitingwa Dana name kazi naomba Namba yako nikuchek inbox tuongee mimi nipo muda mrefu huku tena kwa boss
Huoni apo zinapita au?
Hao wafanyakazi kwanini wanakuja Oman na huku wanateseka
Duuuuu mmmh
Uyo VIYUNI mengi anayatetea tu huyo hasemi ukweli mengi anajikosha tu lkn changa moto zipo nyingi tu la kumshukuru ALLAH katupa subra
Si urudi kwenu?
Hapo sasa @@maryamkhamfar4029
Ndio hapo sasa@@maryamkhamfar4029
Yeye mwenyewe ana ajili mfanyakazi akuna mashine yakufulia kufuwa kwamkono ulipaji wake na yeye ndo hao hao mikazi kibao fikeni kwake
@@maryamkhamfar4029👌
Kitu chakwaza wanataka wifi kwao wanayo
Chefuu mtu awasiliana vp na Familia yakee😏😏
Omani kama jupaki mafuta miguu na kuvaa do kbs inapasuka kutokana nahaliya hewa
Jamani serikali imsaidie matibabu
ICU - Intensive Care Unit. Ina maana mgonjwa anahitaji kuangaliwa na manesi na madactari kwa ziada
Hairuhusiwi mtu kukaa na mgonjwa kwa maslaha ya wagonjwa. Ziara kwa dharura na watu wakaribu sana inaruhusiwa kwa masharti kuvaa plastic za hospital na kukaa kidogo.
Ulizeni madaktari wenu,
Madhali yumo ICU inamaana anatibiwa ila hali yake sio nzuri,
Kwani da zari umekosa kazi ya kufanya
😂😂😂😂kwann jamn
@@sophsoph4740 mi naona hana kazi ya kufanya uwezikila siku unaongelea mambo ya wafanyakazi ana maongezi mengine
@@sophsoph4740 wanakera sana kinacho ongeleka naona ujinga tu wanaengemea upande mmoja nimewaambia waangaike hukohuko tanzania wafanyakazi wandani tanzania wanatesa wanakazania huku watuachw tumeridhika na hali ya huku
Hapo yupo kazini na ikifika mwisho wa mwezi anapokea mshahara wake nyie mnaosema kwamba hana kazi mnapoteza mda yy mambo yake yanamwendea na siku zinakwenda
@@khadijachacha3156kabisa yaani
Kwa mtu mwenye Akili Timamu. Ukimsikiliza hugo Aunty Zeun kuna Vitu anavyoongea ni vya kweli ila Vingi anatetea tuu wakati Wengi Wetu tunajuwa jinsi Wadada Wengi wa Kazi wanavyo Nyanyaswa.
Huyo anae tumia Vyombo vya Njiwa hats mimi niliamini kabla hata ya kuonyesha Ushahidi.
Huyo Aunty Zeun asikatae kila anacho Ambiwa. Awe anafuatilia!!
Sasa nikuulize iv anavyoambiwa atumie ivyo vyombo akikataa inakuaje ujue kingine ni kuwa na nidham ya uoga pia inachangia ukija kutafuta uku inatakiwa umkabizi mungu maisha Yako na useme lolote litakalokufika mungu kapanga ivyo usiwaogope waarabu wao ni binadam kama sisi ukiona ueleweki ondoka nenda ubalozi ukifika utaelezea ataitwa boss wako mambo ni mawili kuyamaliza au kuondoka na swala la kuondoka unatoa pesa yako inakata ticket unaondoka
Wapo wanaotunyanyapaa asibishe walabu wana rohoo za ajabu japo sio wote.
Unanyanyapaliwa sasa kinakuweka nini rudikwenu msitupigie kelele mpaka ubalozi wenu wamewachoka
@@saleemadhiyabalkhatri7800we nae ovyo mwanaume mzima unaongea upuuz mfyuuuz 😏
@@saleemadhiyabalkhatri7800 NGOJA NIKUJIBU KWA HERUFI KUBWA MAANA NAONA AKILI YAKO IKO KISOGONI,, SIKU ZOTE KITU USICHOKIFAHAMU JIFUNZE KUKAA KIMYA USIONGEE ILIMLADI UMEONGEA UTAVISHWA SKETI WEWE OHOOOH.
Hhhh@@saleemadhiyabalkhatri7800
@@ReginaKaizirege-sd3hnhao kwavile wameshibaa waoo,, awajali wenzao 😢
Michango yote peleka Palestina
KIINUA MGONGO😂
NA KIINUA 🐒
Acha Upuuzi wewe😏😏😏 chefu,,,Usilopoke2 tu kama umepewa reyal 5 au reyal 10,,,,mtoe mwanao au ndugu yako 1 yakimkuta ndyo utaelewa vizuri shoga yng😂😂😂😂
Nikwel ukitembea bila soksi au viatu unapasuka miguu
Na maji pia yanapasua miguu mana kuna kazi ya kukosja vyoo kupiga deki uanjani kufua kupiga deki ndani yani mda mwingi unachezea maji na maji nayo yanapasua miguu ila dawa yake ikipasuka miguu paka vasrine mipasuko yote inatoka na miguu inakua milaini
@@khadijachacha3156 yani mm nikitembea bila viatu au socks napasuka hadi nasikia maumivu kukanyaga ila nikikaa sock nakupa mafuta vinaisha nikitoka kukosha vyoo navaa sock au nasaficha njee kumwaga magi nikimaliza najitia mijisockis yang
Ni kweli ajitie vasilin tu na socks juu
Hawa warabu Wajinga sana wafanyakazi wamejaa India, Philippines, Bangladesh,Serelanca
Tena wajinga saana na upumbavu hapo ndio wataka elimu
Pesa yako utukanwe
Hahaaa wanikome