WAMENINYANG’ANYA MTOTO NIKIWA HOSPITAL NAUGUZA MTOTO WANGU MWINGINE ALIEUNGUA NA MOTO SWEDEN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 พ.ค. 2024
  • Selina ambao ni mwanamuziki wa injili ameeleza Safari ya maisha yake kutoka Tanzania mpaka Denmark na baadae kuishi Sweden
    Alikutana na mwenza wake kwenye mtandao wa kimahusiano na kuweza kumfikisha Denmark.
    Kwasasa ni Mama, mjasiriamali, na mfanyakazi
    Alipata mtihani wa kuunguliwa nyumba ambapo mtoto wake alipata kuungua na moto na kumuathiri vibaya.
    Ameuguza takribani mwaka mmoja, ambapo serikali imemnyang’anya mtoto na hivyo yuko kuzunguka mahakamani kudai mtoto wake.
    Subscribe kwa TH-cam Channel yake ‪@Selinawangusu‬
    Thank you Selina for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 68

  • @user-lp9uc1uw7v
    @user-lp9uc1uw7v 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mwenyezi Mungu akupiganie umpate mwanao. Naamini Mwenyezi Mungu ATATENDA.

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akusaidie umpate mtoto wako dada, hiloo kweli ni jaribu zito sana🙏

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Selina Mungu tunayemuita kwa jina la Yesu hajawahi kumuaibisha mwenye haki Wake simama ktk Imani TU Yesu anaweza atakupatia mwanao na ukipewa urudi kushuhudia na ukatoe sadaka ya kushukuru.

  • @neemasalema1546
    @neemasalema1546 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera sana Dada Shena Leo sauti ya mgeni wako Iko chini

  • @mwanonomohamed4688
    @mwanonomohamed4688 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dear Celina ❤
    Ingia google tafuta NOVENA YA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA..
    SALI HIYO UTASHANGAA MIUJIZA YAKE.
    NAOMBA SANA SANA USIZALAU HII

  • @giboncebarnabas9667
    @giboncebarnabas9667 2 หลายเดือนก่อน +7

    Daah! Mungu amsaidie huyu dada apewe mtoto wake maana hajafanya ukatili wowote

    • @Selinawangusu
      @Selinawangusu 2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana gibo, mungu amesikia ❤

    • @beatricejohnkomba3076
      @beatricejohnkomba3076 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@SelinawangusuPole sana

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu anaweza kugeuza hiyo sheria. Kwako tu, Soma. Neno fungu mdai Mungu , usiumie maana ni jatibu lako lazima ushinde

  • @user-zc8xd1hp1q
    @user-zc8xd1hp1q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana serina Mungu akutagurie kwa Kira Jambo ❤

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naweka maombi kwa kweli inauma sina mtoto machozi yatoka sad story pole sana sama dada usikate tamaakabisa

  • @neemasalema1546
    @neemasalema1546 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu wetu ni mwaminifu sana atafanya kitu kwa ajili yako usiogope Bwana Yesu atakushindia kwa hilo

    • @Selinawangusu
      @Selinawangusu 2 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏

    • @mwanonomohamed4688
      @mwanonomohamed4688 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@SelinawangusuTafuta Novena ya Mt Rita wa Kashia uanze kusali novena ya siku 9 na shukurani 3
      Ikiisha hiyo novena mtoto atarudi tuu❤❤

  • @anniafredrick8925
    @anniafredrick8925 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakuombea celina , Mungu ni mwaminifu utampata mwanao. Ila nimejifunza sana hii nchi ya sweden sio ya kuikurupukia kabisa, inaumiza sana.

  • @mwanaharabu82
    @mwanaharabu82 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana. Mwenyezi Mungu atakusaidia utapata mtoto wako InshaAllah 🤲🏽

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 2 หลายเดือนก่อน +3

    M/mungu atateda dada Kila kitu kitaenda Sawa inshaallah kheri

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mpenzi wangu kuwa mbali na mtt wako
    Nchi za wenzetu sheria zako tofauti na kwetu

  • @SawayaNm
    @SawayaNm 2 หลายเดือนก่อน +2

    I feel sorry for this mom! Especially about her child taken away for no good reason at all! I am parent too! Kitu una weza fanya is to open a civil case against that department which took your child! Use evidences you already have, sick child, request assistance you already applied, etc This kind of lawsuit can sound frivolous lawsuit which is very helpful when comes to deal with government mistreatment! I did this in USA and works in my favor! Mwalimu kakuchukia call DCF so to punish parent! That is very normal in first world countries! Now this issues mostly happened in public schools not Private schools! I have some of my kids went into private schools and some in Public schools! But soon after I filed these lawsuits they never did that again! And I am raising my kids accordingly to my term not government written laws on books! And I am not those parents scared about kids being taken away! Kama ulivyo sema is very important to get yourself familiarize with everything where you are! Mfano Mkubwa people on mostly different part of the world think when comes to court you need a lawyer! Or is illegal to sue the government! It is your human rights, doesn’t matter even if you’re not citizen of that country! I sue US government way back even before I became US citizen without using a lawyer! I think you can do the same if you’re fluent in Swedish and good reader and writer without using a lawyer! All government in the world don’t want their citizens have knowledge of citizens basic rights which is assured to them by laws of that land! Your case is very painful experience as parent! But your case is even more painful because you have another sick child, literally they are abusing you to your sick child situation! God be with you! 🙏

    • @SawayaNm
      @SawayaNm 2 หลายเดือนก่อน

      Remember Mchungaji Mtikila kila kukicha used to take TZ government to court! And government didn’t harm him because of those lawsuits! Pamoja ya kwamba a lot of lawsuits was thrown away but good lesson to everyone sue a government is not a crime! 😀

  • @anniafredrick8925
    @anniafredrick8925 2 หลายเดือนก่อน +2

    sweden is not a good country ya kwenda watz wananyang'anywa sana watoto, wanateseka sana , jitie nia sister utampata mwanao, we are playing for you.

  • @themanofgod7562
    @themanofgod7562 2 หลายเดือนก่อน +1

    She Iz very Spiritually woman. Big Up to Her.

  • @Terryhermajesty
    @Terryhermajesty 2 หลายเดือนก่อน +2

    Be strong my dear sis, God is in control. All your passing through right now one day will be just a testimony. Sending you cyber hug🤗🤗

    • @Selinawangusu
      @Selinawangusu 2 หลายเดือนก่อน

      Oooh thanks you soo much, for your kindness. Hata naona siku yangu itaisha vyema kabisa. Mmekua wakarimu sana , na maneno mazuri yenye kutia faraja.

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 2 หลายเดือนก่อน +1

    Oh my dear sister ,pole sana kwa mitihani iliyokukuta, our prayers are with you, and by God ,your child will be back in your hands soon. Mungu ni mwema na atakutendea miujiza , Amiin

  • @georginasadiki1556
    @georginasadiki1556 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana Mungu atakusaidia kupata mtoto wako

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada Celine kwa ushauri mzuri❤ tutakukumbuka kwenye maombi

  • @user-xt3yi8lw3c
    @user-xt3yi8lw3c 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama ndo mapozi hiyo sauti bhas simulizi bundle langu mie mfyuuu

  • @rukiashinen7634
    @rukiashinen7634 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akufanyie wepesi Selina....asante kwa somo zuri

  • @annamariajackson4842
    @annamariajackson4842 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Celina kwa matatizo ya kuuguliwa na kunyang'anywa mtoto. Mwenyezi Mungu atakuvusha kutoka kwenye matatizo. Mimi na familia yangu tunakuombea.

    • @Selinawangusu
      @Selinawangusu 2 หลายเดือนก่อน

      Woow, Nashukuru sana Anna, na nimefurahi kusikia utaniombea 🙏

    • @AnnaLambert-xn1ye
      @AnnaLambert-xn1ye 2 หลายเดือนก่อน

      Pole sn Selina kwa changamoto ya kuchukuliwa mtoto wako,tuko pamoja kwa maombi mwenyezi Mungu atatenda utarudishiwa mtoto wako🙏

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kwa mapito hayo mnayopitia. Shukuru Mwenyezi mungu na endelea kumuomba Mwenyezi mungu awasaidie katika kipindi hiki. Mna walimu na watoa taarifa wasio na huruma ambao ni wazi wamedhamiria hilo. Endelea kupambana.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 หลายเดือนก่อน +1

    Everything happened for reason pole kwakipindi iki unachopitia Mungu yupo nawe hakika Mungu atatia wepesi utapata mtoto wako

  • @TomLorg
    @TomLorg 2 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana Celina

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 2 หลายเดือนก่อน +2

    Story yako Shena imenifurahisha😂 yani huyo muhudumu ni zile type za wadada ambao hawawezi kubarikiwa na Mungu sababu ya roho zao mbaya, wao wanapenda kuwatumia watu wengine kujifaidisha, mie ningemsemea kwa manager wake!😂

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 2 หลายเดือนก่อน +1

    Me naenda kuchungulia TH-cam ili nilete majibu😂

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna watu wana sauti ndogo naturally jamani.,nina ushughuda.

  • @miriammollel8146
    @miriammollel8146 2 หลายเดือนก่อน

    I'm praying for you Selina❤️ sending you hugs & prayers💐

  • @margarethlushiku9063
    @margarethlushiku9063 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe amani na uweze kumrejesha mtoto nyumbani.

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana dada

  • @maimukanabora8751
    @maimukanabora8751 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Celine Mungu ni mwaminifu soon watakurudishia hope dear

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana Selina jamani. Viatu vyako havinitoshi. Pole sana Mungu akutie nguvu. Nitakuweka kwenye maombi yangu jamani. Moyo umeniuma jamani.
    Hizi nchi za watu ni mtihani sana haswa sisi wakuja.

  • @mwajutailor820
    @mwajutailor820 หลายเดือนก่อน

    Mungu amtie nguvu na ampate mwanae🙏🙏🙏

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 2 หลายเดือนก่อน

    Umenikumbuka mungu wangu=😂na atakukumbuka tu na utapata mtoto wetu In in sha Allah

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dada Mungu atakusaidia tu 😢😢

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 หลายเดือนก่อน

    Tafuta lawyer mzuri wa kufuatilia (family lawyer) usinyamaze kimya

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 2 หลายเดือนก่อน +1

    Toa na. Sadaka pia , sadaka itanene toa madhabahuni

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupiganie umpate mtoto wako umlee mwenyewe

  • @Selinawangusu
    @Selinawangusu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii interview irudiwe, ilinoga sana .

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 หลายเดือนก่อน

    Swali langu jmn kwani balozi zetu huwa zinasaidiaje km kwa Hilo tatizo Alishaenda?????

  • @esterkivaria8986
    @esterkivaria8986 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani dada anaongea sauti ndooogo

  • @saadasuleiman1427
    @saadasuleiman1427 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sanaa huwai mji si wakukaa jaman

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 หลายเดือนก่อน

    😢 pole mama

  • @irenematt8018
    @irenematt8018 2 หลายเดือนก่อน +1

    she should go to court

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 2 หลายเดือนก่อน

    Celine ukipata message hii please nicheki tuongee

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 2 หลายเดือนก่อน

    Hii sauti ndogo sikuweza kuangalia mpk mwisho jaman

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 หลายเดือนก่อน

    Daycare after school

  • @leilabuisha9976
    @leilabuisha9976 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe 0ngeza sauti

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 2 หลายเดือนก่อน

    In the name of Jesus Christ the son of the living God; your daughter will return back to you, Amen

  • @atuamohamed9664
    @atuamohamed9664 2 หลายเดือนก่อน

    Sauti yake haisikiki mwabiye aongeze

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hatukusikii

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน

      Ongeza sauti ya simu yako dear

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu atakusaidia lakini tuwe makini sana na watoto kwenye hizi nchi wao wanachoangalia mko wazazi wawili hawajui icho kitu wanachotaka mpange nyie wazazi lakini kutokana na uwezo wa maisha inabidi uriski tu mmoja afanyekazi mwengine apambane na mengine lakini Mungu ataleta miujiza utampata mwanao usichoke kufatilia dear

  • @NeemaMartin-om1cz
    @NeemaMartin-om1cz 2 หลายเดือนก่อน

    Anaongea sauti ndogo mno