BOSI WANGU ALIDIRIKI KUTAKA KUNIBAKA | CHANGAMOTO ZA KAZI UARABUNI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 110

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mwenyezi mungu aendelee kuwasimamia, mnapambana na kupambania familia zenu. Shukrani kwa kutupa muongozo wa yanayoendelea huko.
    Familia zijifunze kuwa na utu na pesa za ndugu zao wanaojitahidi kujitoa kutafuta ili kuendesha familia.

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa huyo mlevi ningemnyoosha wallah hawez kunidhalilisha Kwa kia's kikubwa ivyo kama ni hiyo kazi basiii😅😅😅😅

  • @zenajustus5731
    @zenajustus5731 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Dada na hongera kwa kutovunjika moyo.

  • @user-jw8ek2jt3v
    @user-jw8ek2jt3v หลายเดือนก่อน +1

    Hi sister Shena, sorry I lost your contact information but love you, sister 🎉🎉🎉Rahma Ali from Kenya 🇰🇪

  • @mwanaidikingazi4222
    @mwanaidikingazi4222 2 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wa huko ndio walivyo yaaani unabebwa kama zigo 😂😂😂 Mungu tulinde sisi watoto wako

  • @user-wu1bl6kl6t
    @user-wu1bl6kl6t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi hudhani ni ubalozi wa Kenya tu! 🇰🇪

  • @user-je5wd1uo6r
    @user-je5wd1uo6r 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shena atimae umetufikia makadama tupo😂

  • @asiasaid-y4h
    @asiasaid-y4h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maajent uarabun wanaroho mbaya ibilis hawa.shida tu ndo zinatuleta uku.

  • @shamzone388
    @shamzone388 2 หลายเดือนก่อน +2

    Msikae mkapigizana kelele
    Kila mmoja riski yake ipo kwa mungu…
    Kwakweli nilikuwa tanzania kwa madam nikaja oman kwa mtt ambae nilimlea mimi na sasa mwanae oia kaolewa ukiwa mzuri na madam atakuwa mzuri
    Ukiwa mfedhuli na madam na bos watakuwa hivyo hivyo
    Nimejijenga na familia yangu alhamdulilah

    • @user-gm4qi3nn9n
      @user-gm4qi3nn9n 2 หลายเดือนก่อน +1

      Weee tapika sababu hayajakukuta so huo ufedhuli wa zinaa mfanyakazi ndo anamuambukiza boss wake au

    • @annamussa185
      @annamussa185 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga wewe,si Kila mfanyakazi basi yeye ndo chanzo acha usenge kwanza inaonekana unafirwa shetani wewe na hao maboss zako Punda wa warabu mjinga wewe mpaka na makaburi ya ukoo wako kenge

    • @user-gm4qi3nn9n
      @user-gm4qi3nn9n หลายเดือนก่อน

      @@annamussa185 ni kweli waarabu wengine si wema kama tulivyo Sisi kuna wema na wabaya huyo nae nakosea kusema mfedhuli ye ashukuru Kwa kupata pazuri lakin na wewe usiruhusu kinywa chako kutoa matusi tumia hekima kumjibu mtu

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 2 หลายเดือนก่อน +1

    Namwelewa Sana

  • @kasembomasele5918
    @kasembomasele5918 2 หลายเดือนก่อน

    Hongeraaa
    Pambana

  • @regulashine8854
    @regulashine8854 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani Leo network ni shida😊

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii dunia ina shida jamani nyi acheni tuu

  • @mwanaidikingazi4222
    @mwanaidikingazi4222 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiiii inapat one

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dada shena jistir kama mwanke wa kiislam anavotakiwa ok

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 หลายเดือนก่อน +1

    Siku mtandao ukiwa mzuri mrudishe Prisca tumekosa mengi walahi, ukizingatia ni habari ya uarabuni

  • @hamidasaif4065
    @hamidasaif4065 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chena kisuil omani wanasema kisuili sana

  • @lovenessmallya816
    @lovenessmallya816 หลายเดือนก่อน

    Oman kuna Watanzania wengi sana .Ubaloz wa Tanzania sijui unafanya nini Pale Watanzania wanateseka sijui kama Serikal haisikii hizi lawama na manung'niko ya watu

  • @annamussa185
    @annamussa185 หลายเดือนก่อน

    Huko Kuna ushetani warabu wapumbavu hawana utu hata kama Kuna Wema ni wachache,wanabaka wafanyakazi akitoka hapo unamuoma anaswali Yani ushenzi tu

  • @frolarafaeli7956
    @frolarafaeli7956 2 หลายเดือนก่อน

    prisca kama prisca😅 nime furahi kukuona

  • @regulashine8854
    @regulashine8854 2 หลายเดือนก่อน

    Haisikiki vz

  • @user-qi4hn8lq1f
    @user-qi4hn8lq1f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Poole nahongera mimi mwenyewe nipo uku omani changamoto nyingi kikubwa subra tu mimi ndio siruhusiwi ata kutoka kwenda dukani nipo ndani kama msukule😅😅 yani kuna siku niliomba kwenda dukani jamani uyu mama aligomba balaa imebidi tu niwe mpole

    • @user-gm4qi3nn9n
      @user-gm4qi3nn9n 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂namimi lakin mwaka wa 4

    • @user-rl5qu4zj9b
      @user-rl5qu4zj9b 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ukitoka wanasema utabakwa

  • @anifamickidard4555
    @anifamickidard4555 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kumbe hata Sisi mashaghala tunaruhusiwa dada Shena

    • @thobiethalibutu1465
      @thobiethalibutu1465 2 หลายเดือนก่อน

      Shagala Nini best ??

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@thobiethalibutu1465mdada wa kazi za ndani shaghala co shagala😂

  • @hijamaulidi7382
    @hijamaulidi7382 2 หลายเดือนก่อน

    Wanawake tunapambania Sana 😭🙏

  • @NoraKedir
    @NoraKedir 2 หลายเดือนก่อน

    Yani sijui nitakupa aje

  • @KhadijaSaid-fq9rx
    @KhadijaSaid-fq9rx 2 หลายเดือนก่อน

    Mateso

  • @user-je5wd1uo6r
    @user-je5wd1uo6r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shena mimi namiaka 15 sasa dubai nina story ndefu sana

  • @Sararich.
    @Sararich. 2 หลายเดือนก่อน

    Busara haikutumika.

  • @NoraKedir
    @NoraKedir 2 หลายเดือนก่อน

    Dada shela nahitaji namba yako

  • @RosemaryKidiro-wz3ux
    @RosemaryKidiro-wz3ux 2 หลายเดือนก่อน +1

    Da sheina kuna watu wanapitia mengi uku uarabuni yani tunashukuru sn umetufika

  • @user-pt5qr6lp4q
    @user-pt5qr6lp4q 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mi nilijua Ni Mambo na dating site tu, much love ❤ nikiwa Dubai I wish na Mimi nishee experience yangu

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน +2

      Hapa ni mahusiano na maisha Karibu sana +4367764790884

    • @user-pt5qr6lp4q
      @user-pt5qr6lp4q 2 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDatingAssistance Asante

  • @user-gm4qi3nn9n
    @user-gm4qi3nn9n 2 หลายเดือนก่อน

    Maagent wa kitanzania wengi wa hovyo Sana ndo wanakandamiza wafanyakazi , yaani wametanguliza maslahi , mfilipino akipiga SIM ofisin hawarembi fasta wanamsaidia huyu anaewatetea ni muuwaji kama wengine Mimi nilishuhudia mauwaji ya mfilipino

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaokua mnahojiwa jaman muwe mnampa na da'shena nafasi ya kuongea mwee😢😢😭,ukiskia anakuuliza kitu skiliza ujibu story iwe tam zaidi😊

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน +1

      Network ilikua inasumbua that’s why 🥰

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 2 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDatingAssistance ooooh sawa shena wetu 🥰

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 2 หลายเดือนก่อน +7

    Enheee hatimae makadama/shaghala tumefikiwa sasa ngoja niweke siti yàngu Sheena akitoka huyo ni mie make kama umekuja upande huu dada hutamaliza sisi tuna kesi nyingi balaaa yan 🔥 🔥 😅😅
    Alafu Jmn ubalozini sijui Wana Kaz gan Jmn hawatiskilizi wa Tanzania wengi wanalalamika jaman badala watusaidie wanakua upande wa mabosi utadhan ubalozi uliwekwa Kwa ajil ya waoman na sio watanzania 💔

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน +4

      Pole sana
      Karibu sana kwenye kipindi +4367764790884

    • @englishman9855
      @englishman9855 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @winny973
      @winny973 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo umenena ndugu ubalozi wa Tanzania wanawasikiliza mabosi hii itapelekea kuwe na watorokaji wengi wakitanzania wanaoranda randa

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 2 หลายเดือนก่อน

      @@OfficialDatingAssistance Asante Sheena wetu mzuri 😘😘

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 2 หลายเดือนก่อน

      @@winny973 wapuuzi tu utadhan wataishi milele hapa duniani Mungu anawaona wallah Kila mtu anawalalamikia wao tu

  • @user-gm4qi3nn9n
    @user-gm4qi3nn9n 2 หลายเดือนก่อน +2

    Waarabu usipojua haki zako hata miili Yao utawakanda cha kushangaza wanakuongezea kazi hawakuongezei mshahara ,kuzimiwa AC niliyapitia hayo wee mbn nikabadi nyumba mpaka Leo miaka mi4 , we jehanam ya uarabuni MTU akuzimie AC si uuwaji uo

  • @giboncebarnabas9667
    @giboncebarnabas9667 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sorry to say this, nimefuatiliacsana story za uarabuni zote ni sad story . Ma agent nao wanawadanganya watu na mikataba yao. Waafrika tunafanyiana roho mbaya sana. If we are not united we will perish na tutafanyiwa vitu vibaya ( slavery mentality)

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 2 หลายเดือนก่อน

      Huko kwenu vp story zinafurahisha za wafanyakazi?

    • @user-gm4qi3nn9n
      @user-gm4qi3nn9n 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asilimia ya maagent wa kiafrica hovyo Sana Wana laaana

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  2 หลายเดือนก่อน

      🤝🤝🤝

    • @aishahamis1609
      @aishahamis1609 2 หลายเดือนก่อน

      Da shena mgeni wa leo 0

    • @aishahamis1609
      @aishahamis1609 2 หลายเดือนก่อน

      Wanapitia mateso kutokana na magroup ushauri mbovu

  • @user-fd4kj8jb9s
    @user-fd4kj8jb9s 2 หลายเดือนก่อน +1

    اقولك من آخر لا تغلطي على أهل عمان أهل عمان معرفين خيرهم أنتي كذابه مافيش خير
    لو صحيح كلامش ليش رجعتي مره ثانية؟؟؟ أتمنى أحد مسولين يتدخل وتتحاسب إساءة سمعة عمان وأهلها ويساعدها في ذالك

    • @Aisha-qd2rg
      @Aisha-qd2rg 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mbona ninyi mna roho mbaya namna hiyo??? Kwani kuzungumza yaliyomkutaa ana makosa gani angekua katukana nchi na viongoz ndio makosa,ila kwakua anazungumza aliyoyapitia si mbaya acheni wazanzibari roho hizo ,, mm mwenyew nina miaka 8 Oman kuna mengi nilipitiia ila nilibdili nyumb ndompk sasa nipo so km hujapitia acheni kuwanyooshea vidole

    • @Aisha-qd2rg
      @Aisha-qd2rg 2 หลายเดือนก่อน

      Mm mwenyew Boc WA mwanzo nilikua blade alikua natabia za kuonyesha sehem za Siri na niliwahi mpiga Kofi maan sio wote tumekuja kufanya mambo ya kijinga wengine tumekuja kutafut pesa nilivyompig nikatuma voice nyumbn kuwa Boc alitak kuninalii ila nimempiga Kofi asijetokea akanishtak police nionekan mbaya nikaiwek voice km ushahid ,, Mzee tabia Yake ilikua kama nguo so kama MUMEO na watot wako hawako hivyo usiseme MTU muongo NI Vile wadada tunkaa kimya hatutak shida na sio kila mtu ni Malaya ,, ukute wewe unaeandik huu ujumb upo Muscat lkn ukienda blade wazee na vijnan Wana tabia za ajabu sana