BORA MZUNGU YOYOTE NIKIFIKA ULAYA NITAMKIMBIA |MAUMIVU YA KUFUNGIWA NDANI | WAZUNGU WA SOUTH AMERICA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 มี.ค. 2024
  • Eddie ameeleza kwa Experience yake na kutoa somo la mengi yanayoendelea kwa wengi ughaibuni. Matatizo wanayoyapata na namna ya kujikwamua.
    Usipotezee bendera nyekundu ( Redflags )
    Unapoona tabia zisizo za kueleweka hata kama ni Mzungu basi chukua hatua ya kuchagua amani yako zaidi.
    Na angalia sana nchi za kuamua kwenda kuanzisha mahusiano na kuishi kwenye hicho hizo.
    Thank you Eddie for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 193

  • @ginagigigg7
    @ginagigigg7 4 หลายเดือนก่อน +14

    Akili nyingi,kuomba Mungu,Usiignore red flags,usicompromise your values, Focus on being financially independent.SHENA YOU ARE DOING A GREAT JOB.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 หลายเดือนก่อน +8

    Yani hii interview wasichana wasipo helewa basi watakua namatizo,African girls wengi wanajua wazungu ni Malaika jamani abuse ya mzungu ninoma,thank you shena God bless you ❤❤ bro Asante kwa nondo

  • @vanessamshana4144
    @vanessamshana4144 4 หลายเดือนก่อน +7

    I enjoyed todays session .keep it up Shena tunajifunza sana be blessed .❤

  • @carolw7156
    @carolw7156 4 หลายเดือนก่อน +2

    I have always wondered who and when this conversation will come up within our African circles. This message needs to be shouted from the roof tops! I have literally seen this happen to my kin and it happened to me also but I got away and I didn’t realize it, until I was out of it. Think about it, why would someone hop on a plane thousands of miles away seeking a mate when in their own back yard the women outnumber the men. This is someone who cannot meet the bare minimum standard so in turn what does that say about your own standard as an African woman willing to lower herself for these Europeans? I’m glad we’re talking about it. I’m glad African people men and women alike are beginning to see what’s really going on. I’m hopeful and I see Africa rising economically socially etc We’re the continent with the youngest population in the world right now. Technology , innovation and entrepreneurship is the highest it’s been in the continent, and I believe we’re a force to reckon with. We believe in ourselves.If this trajectory continues, it’s only a matter of time.

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 4 หลายเดือนก่อน +7

    KAKA EDDIE tunaomba sana siku nyingine uongelee matatizo ya kiakili kwa undani, wazungu wengi sana (SIO WOTE), hawaweki wazi hizi hali, wanaoa/kuolewa na waafrica mwisho ni shida. Dalili ni zipi, uwachunguzeje n.k

    • @magrethmbaga1089
      @magrethmbaga1089 4 หลายเดือนก่อน +1

      Dada mm huwa. Napenda Sana kusikiliza interview zako . Lakini huyu kaka Eddie nimemkubali ananondo mno big up kaka . Mungu akulinde akuoe afya njema.

  • @tabithadaudi5960
    @tabithadaudi5960 4 หลายเดือนก่อน +2

    Interview nzuri sana,kaka ameongea vitu vya muhimu sana,mwenye masikio na asikie,sio kila mzungu ni mzungu na anaishi maisha mazuri,angalia na mzungu wa wapi,wengine njaa tu kuliko hata nnchi zetu za Africa

  • @sabrinarashid7990
    @sabrinarashid7990 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaume wengi wananynyaswa na wa nawake wa kizungu.ukiachana nae watoto huwaoni na hapendi uwasaidiye familiya yako na ukifanya kazi wanataka mshara auone wanaume wa kiafrica wanaonewa sana edi

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mmh 😢😢 Mungu wangu,kweli wanawake tunahangaika, Mungu atusaidie

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 4 หลายเดือนก่อน +8

    Kweli kabisa kaka umeungea ukweli mtupu,balozi za Tz hawana msaada kabisa,kabisa,huwa wanajifanya wako busy hawataki kabisa ushirikiano kabisa na raia zao

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana kaka! kwa kweli umetoa somo zuri sana kwa watu wanaotaka kuja Ulaya.

  • @jacklinemrina456
    @jacklinemrina456 4 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera shena kazi nzuri@shena

  • @user-ef2gv8ny7l
    @user-ef2gv8ny7l 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli sana kaka Eddie,wadada wawe wachunguzi kama huwezi kumjua vizuri mtu unayeenda kuishi naye ni heri kuolewa nyumbani kuna ndugu zako wengi wapo karibu nawewe watakusaidia Shena stay blessed thank you for the great interview

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 2 หลายเดือนก่อน +1

    Elimu kali kaka unatoa mungu akubariki sana

  • @LilianaBenad
    @LilianaBenad 4 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kaka umeongea point sana umetufundisha kit🙏🙏

  • @SawayaNm
    @SawayaNm 4 หลายเดือนก่อน +2

    Let assumed this guy is hater! But kitu ana sema is more than facts available today! Host I will come in and spit out same thing! Mimi I am American Tanzania! I have more 1000 experiences in life with all people, white, black, Africans, Tanzanians, Kenyans, Black peoples here in US! Sasa google all countries this guy mentioned if true or not! Even though I am proud American born in TZ! Google homelessness in USA! And uone ukweli of what he is talking about! Ikija mambo ya watoto btwn men, women and society etc! I went through all as single dad because I choose so! Literally I got control of everything around me! I am proud to be a man originated from Tz! Eddy nailed it down! He is legit guy! Na wewe Sheinah if I am very proud your work! God bless you all

    • @SawayaNm
      @SawayaNm 4 หลายเดือนก่อน

      I am proud of your effortless reach out everyone out there! Always remember poverty is the main thing affecting our lifestyle everyday as we live this life! Maskini dreams rich lifestyle doesn’t deserved!🤷🏼‍♂️

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 หลายเดือนก่อน

      Shukran sana na Karibu sana
      It will be an honor to have you +4367764790884

  • @user-zn9ep3hi5q
    @user-zn9ep3hi5q 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa elimu nzuri.

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nice interview da shena na kaka eddy ❤️

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 หลายเดือนก่อน +14

    Ni kweli mimi alikuja nyumbani kwa wazazi week mbili alilaka chumbani kwangu akamumbua mama anarska kunioa kurudi mipango ya arusi ikaanza sijawi kuombabpesa atoa abafanya kila kitu nimuombea asipukiwe na mjengo wangu kamalizia watu maombi usioatikia mzungu ishi wewe usifake maisha na kuwa furaha maisha yako ukiongezewa mshukuru mungu haya wadada msikate tamaa kila mtu anabahati yake

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 4 หลายเดือนก่อน +4

      Shogaangu hapo mwanzo mwa sms sijaelewa vizur😢

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 4 หลายเดือนก่อน

      Nimeelewa tu huku mwishon mpenz ila hapo mwanzo sijaelewa 😢

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 4 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@nicekweba9920mie 😅 nilijua mzungu anajifunza kiswahili😂

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 4 หลายเดือนก่อน

      @@fettyrashid9042 ila fetty wewe mkorofi🤣

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@fettyrashid9042 me kila nikijaribu kusoma sielewi,nimeelewa mwishon tu

  • @user-ef2gv8ny7l
    @user-ef2gv8ny7l 4 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani wa Italy siyo wasengenyaji ni machizi kupitiliza kingine ni wahuni ile mbaya bora kuolewa na mwa Frica mwenzako kuliko mi Italy

  • @komboko4143
    @komboko4143 3 หลายเดือนก่อน +2

    Unatoa darasa kubwa. Sana sawa na yule dada uliemuhoji ambaye alikua anatokea kenya aliongea point sana sawa na huyu ndugu yangu.anafahamusha ila mwenye kusikia na kuelewa aelewe

    • @JanethAndrew-ph5jp
      @JanethAndrew-ph5jp หลายเดือนก่อน

      Naomba kujua Ireland ikoje kwa kazi na kuishi

  • @zainabkazige7388
    @zainabkazige7388 4 หลายเดือนก่อน +3

    Very nice and educational interview, muhimu watu wazingatie values za mpenzi unaemtaka, ukifanya mahusiano transactional basi ndo utajikuta unaokota yyte. Unaweza kupata huyo mzungu anaepata euro 1000 ila akawa ni mtu mzuri.. muhimu watu wajuane kama ulivyosema na wajithamini, kukimbilia ulaya kusituponze!

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 หลายเดือนก่อน +1

      Well said 📌

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 4 หลายเดือนก่อน +2

      @@OfficialDatingAssistancekweli kabisa Mdogo wangu Shena na kaka mkubwa wadada wanateseka kweli humu na wazungu mie namjua mdada humu anaitwa kima mbele za watu zungu levi na akienda Zanzibar anajisifu mke ya Muzungu vitu anavyofanyiwa ni aibu sana mdogo wangu lakini kangangania mke wa mzungu hatari kutaka kuoesha watu ana mzungu

    • @Tausishaban-he5io
      @Tausishaban-he5io 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@hejmabohejhej9Mmmmmmh😪

  • @alimakatukwa4014
    @alimakatukwa4014 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka kwaushari ambao unatupa mungu akubariki. Hayo ni kweli kabisa.

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli kaka Eddy , mzungu pure hagusi ngozi nyeusi , wanaogusa Huku kwao ulaya wameshindikana , Niko Europe ,20 years . Sijahadithiwa ni kitu ninaona.

    • @priscillachristiansen4331
      @priscillachristiansen4331 4 หลายเดือนก่อน +1

      Thats is not true, sio wazungu wote wanaoa wageni wameshindikana.. sijui nchi gani mwenzetu upo.. wapo wazungu wabaya na wazuri ambao wanapenda wageni. Msikilize Kaka anachoongea.

  • @lucaslyaruu8244
    @lucaslyaruu8244 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza mengi. Dada Shena endelea kutupatia matukio tofauti tofauti yatu elimishe zaidi Thanks.

  • @user-xk4dk3rx2d
    @user-xk4dk3rx2d 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka eddy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JaniferMichael
    @JaniferMichael 4 หลายเดือนก่อน +2

    Samahani sana anaweza kuongeza sauti

  • @patricialuande9540
    @patricialuande9540 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani Bro.umeongea facts!

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kweli waambie, hata cleaning lazima usome japo miezi 6

  • @ayshariyami3472
    @ayshariyami3472 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsanteni sana kwa kuwaelimisha ndugu zetu mwenyezi atawaongozeni muzidi kuwafinua bogo wenzenu, amin

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂my brother ati B vibibi ni wanbea 😂😂😂,lakini ni kweli kabisa ,tena usiombe Mama mkwe asikupende,….Bro Eddy yuko sawa kabisa kwa hayo anayoeleza ,sio kila mzungu ni mwema

  • @successmbio878
    @successmbio878 3 หลายเดือนก่อน

    Ushauri mzuri wa kaka eddy

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤kipindi chako asante kaka eddy

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka yangu umeongea points sana ila wengi wagumu kulelewa ubalikiwe sana ❤❤

  • @hanswan1
    @hanswan1 3 หลายเดือนก่อน

    Eddy a.k.a Nyabange big up umetuwakilisha baharia umenikumbusha kitambo enzi za Alles goed met jou, prima😅😅

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unaongeya ukweli kabisa kaka yangu sisi wa dada wa ki Africa tuwe makini sana kwa kuchanguwa wanaume wa kizungu uku ulaya napenda sana intervju yako

  • @nyiranzimami728
    @nyiranzimami728 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo kaka anazungumza Ukweli ❤

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka namkubali Sana huyu anatupa ukweli kabsaa chukua💐💐

  • @user-ef2gv8ny7l
    @user-ef2gv8ny7l 4 หลายเดือนก่อน +2

    Achanane naye wasipoambiwa, wanasema watu wanaoishi nje ni wachoyo tena wanaringa sisi tunaelimika na mafundisho yenu asiyetaka asisikilize

  • @memaludy5714
    @memaludy5714 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi mnayoeleza yamenikuta, natamani kushare kwani mnayoongea yooote ni ukweli mtupu 1000%

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 หลายเดือนก่อน +4

    Shena na kaka yetu huyu kazi nzuri sana. Mwenye masikio na asikie.

  • @user-dk5of2jt3b
    @user-dk5of2jt3b 4 หลายเดือนก่อน

    Nmewapenda mno dada shena Mungu akutunze

  • @nadiahassan7993
    @nadiahassan7993 3 หลายเดือนก่อน

    Very insightful and educative interview. Kaka Eddy amejua kututoa masikio yetu taka. Plz share his TH-cam page or IG. Would like to follow him. I found him genuine, intriguing and hilarious

  • @joharimillanga1587
    @joharimillanga1587 3 หลายเดือนก่อน

    Umetuchamba kaka ila asante sana kwa kutuelimisha, ngoja nipambane tu nikienda ulaya ni kutembea na kurudi

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nimempenda huyu kaka anasema ukweli

  • @joejoshua7791
    @joejoshua7791 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka Eddy hujakutana na wafilipino ni wambea sana wanapenda kujipendekeza kwa mabosi

    • @WinWilly4162
      @WinWilly4162 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @africanchild4525
      @africanchild4525 4 หลายเดือนก่อน

      wafilipino wanatabia za kibongo kabisa. Af wanapenda kuomba ela wakishaona umefanikiwa kila mtu anataka kua ndugu yako. Ninafanya kazi na wafilipino yaani mambo mengi sana wanayofanyiwa na ndugu zao ni kama wabongo

    • @joejoshua7791
      @joejoshua7791 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@africanchild4525 hizo takataka ukizkuta USA au Canada wanajiona wazungu

    • @africanchild4525
      @africanchild4525 4 หลายเดือนก่อน

      @@joejoshua7791 Wanaringia ka ngozi kao ila wanajichubua wafanane na wazungu. Wale wanamaisha magumu kama wabongo tu ila wanajiona wa maana sababu wametokea Asia.

  • @brigitajohn8102
    @brigitajohn8102 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimefika italy mzungu hataki nifanye kz pia ni somee lugha hataki , anawachukia waafrica

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nigerian wako wengi snaaaa almost 15 to 20 million people ndio maana music na movies zao zinapenya US nigerians wako kama 10M na UK 5.6M

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu tusaidie

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kabisa

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 3 หลายเดือนก่อน

    Umeongea neno Moja brother Lina mantiki kwa madada wa kitanzania "TAMAA" Hadi kero sijui Wana tatizo gani

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 4 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wanafaa kuangalia nchi na kufanya uchunguzi wa Wazungu mnakutana nao nchi zao life style ikoje usitoke kwenye udongo ukaenda kwenye mchango ulioloa maji

  • @marykatunzi2613
    @marykatunzi2613 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee inatisha sana.

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka ameongea points sanaaa ila mbona kutuchamba ivo jamanii daaah kweki dawa imeingia mwenye masikio na asikie

  • @sabrinakamikazi2142
    @sabrinakamikazi2142 หลายเดือนก่อน

    Kaka yetu kanikumbusha mbali sanaa yalio nikuta Danmark paka leo.

  • @restyrose1574
    @restyrose1574 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ana point Sana Kaka Eddy

  • @lorahsalim4985
    @lorahsalim4985 หลายเดือนก่อน

    Uyu kaka kaongea truth adi cio poa. Mm niko huku but honesty tuwe makini xx .🤣🤣mm cioni ata wakumdate uku🤣🤣

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 4 หลายเดือนก่อน +1

    We are equal before God ,and in terms uman rights and social life but crystal different biologically and other life responsibilities

  • @nyiranzimami728
    @nyiranzimami728 4 หลายเดือนก่อน

    👍👍👍👍👍👍👍👍

  • @marykatunzi2613
    @marykatunzi2613 4 หลายเดือนก่อน +3

    Unamwaga sera za ukweli kaka yangu. Big up sana.

  • @deusdeditsimba4452
    @deusdeditsimba4452 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka Eddy hayo maneno ya KINGEREZA YATAFSIRI KWA KISWAHILI WAKUELEWE VIZURI

  • @willsonsamwel1158
    @willsonsamwel1158 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dada dieting gani unaiweza kuwasiliana Kwa kutumia bando maana nyingi wanataka ulipe pesa halafu ukilipa picha zinapauka na kupotea inakuweje ebu nifumbue macho hapo

  • @BabyfaiyaSalum
    @BabyfaiyaSalum 4 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda jamani

  • @ellawiik1048
    @ellawiik1048 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @ashaidei5680
    @ashaidei5680 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa ubalozi wetu Tanzania bure hata hiyo visa Una shida utasikia ingia online huko utaibiwa yaani sipati picha, wadada bora watu wakutete kuliko uishie kwenye freezer mimacho kodo😢😢😢😢

  • @memaludy5714
    @memaludy5714 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sikufahamu dada mwenye hiki kipindi jina lako ila ukitaka maelezo yangu nitafute nikupe ushirikiano teletext awareness zaidi .Watu wanaweza kudhani mnaongea hadithi but kuna wengine tumepigwa matukio dhahiri

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 หลายเดือนก่อน

      Shukran sana 🙏, naitwa Shena namba zangu za WhatsApp +4367764790884

  • @Juke995
    @Juke995 4 หลายเดือนก่อน +1

    Interview nzuri lakini usitukane na kuwaita majina mabaya wanawake/wasichana haipendez wafundishe vizuri

  • @ellawiik1048
    @ellawiik1048 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa 12:39

  • @salomekilavi6421
    @salomekilavi6421 4 หลายเดือนก่อน +1

    Waambie ukweli wajue

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dada zetu wanaolewa mpaka nawavuta bagi ulaya ila kwa sababu ilikuwa ndoto, anasema navumilia wengine kwa namna huwa nafatilia vipindi vya shena,unaona wanamatatizo ya akili na wanateseka hawana furaha ya kuwa ulaya
    Shida inakuja kwa mtanzania mwenzake, sifa nihizohizo anakataa, pambaneni muwe mnahadisia

  • @MissKaliz
    @MissKaliz 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ahh! Yani MADINI “ ELIMU “ ya bure hii, asiye sikia kiranja nipo mlangoni na mikwaju🤦🏾‍♀️.

  • @restyrose1574
    @restyrose1574 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pamoja Sana shena

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 หลายเดือนก่อน

    Usilaumu Balozi ana kazi za kitaifa mambo ya mapenzi na ndoa kuna vyombo vya sheria kila n hi, acheni kusema vibaya Balozi, ukurupue likora lako likikushinda ndio ulete lawana kwa Balozi? Hapana, kwanza wengi wenu mkienda ulaya hamripoti Balozini yakikukuta ndio unataka msaada wakati hata ubalozi hawajui uwepo wako

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli umeongea point kaka wazungu wengine sio matapel hajui thamani yako anakutumiatu sasa hapo nikweli wazungu kibao wapenda

  • @HappyMngale-tj8hv
    @HappyMngale-tj8hv 4 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani mzungu nilyenae bado tuko kwenye long distance relationship lakini kila wiki lazima aanzishe ugomvi na tunagombana mpk tunaanza kuvunja mahusiana lakini mwisho wasiku anarudi tena. Na ninasikitika sana kwasababu mara nyingi ananitukana. Shena naomba msaada nifanyeje.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 4 หลายเดือนก่อน

      Panya road uyo huna chakushauriwa sasa ugomvi siku mkiwa pamoja ndo aje kukukata masikio, mijitu mingine inashida na matatizo ya akili waarifu.

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 4 หลายเดือนก่อน

      Mzungu huyo anatoka nchi gani ??

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 4 หลายเดือนก่อน +1

      Tena mzungu akikutukana Kama una jina lake na nchi anayotoka mwambie nakuripoti, utaona anakavyotimua vumbii msiwaogopeee jamani hata Kama huna Mtimbishie msuliii

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@upendogreutert199 dada zetu wakiswahili hawewezi fanya hayo coz wako desperate sana

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 4 หลายเดือนก่อน

      Ukiwa hivyo ndo unakuwa mtumwa maisha yako yote

  • @user-pm8rj7hr7t
    @user-pm8rj7hr7t 4 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi sana kujua kitu

  • @leahchigugu7313
    @leahchigugu7313 หลายเดือนก่อน

    Mhhh nimeelimika saba

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli mabalozi awana msaada wowote mimi nipo ughaibuni but wsnafiki sana ukiomba msaada. wanaweza kukublock 😢nawachukia sana

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 4 หลายเดือนก่อน +1

      Mhn wakati ukiwakuta nyumbani pale usalama wapo bize kama watu😢😢😢😢😢

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 4 หลายเดือนก่อน

    Nawashauri tz wote mlioko nje muwe na group la wsp kila siku msalimiaane , hapo mtaweza saindiana zamani

  • @weveeernest9911
    @weveeernest9911 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli wazungu wambea sana hawajuhi kutunza siri

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 4 หลายเดือนก่อน +8

    Ishu sio mzungu ila angalia na mjue hata nchi wanazotoka kuna tendency ya kuona kila mzungu yuko sawa kumbe kuna wazungu toka bulgaria na Albania huko wana njaa mpaka huruma ila sie bora mzungu tu mkiwa na interest na wazungu fatilieni mjue hata nchi wanazotoka.

    • @user-ev8dg6yw4q
      @user-ev8dg6yw4q 4 หลายเดือนก่อน +1

      Point mimi niko na mczech hawana kitu nao njaa tu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 4 หลายเดือนก่อน +3

      @@user-ev8dg6yw4q ulaya mashariki wananjaa mnoo ndio wako ulaya magharibi huku nao wanaosha vyombo ka waafrika ishu sio mzungu ishu ni mzungu wa wapi Serbia, Czech, Albania, Bulgaria, cossovo, Slovakia Croatia etc labda uwe unataka rangi ila uko lazma ukale miogo ya kuchoma.

    • @hijamaulidi7382
      @hijamaulidi7382 4 หลายเดือนก่อน

      Yeah nchi za ulaya mashariki ni poor imagine Hadi ureno na russia ni poor

    • @user-ev8dg6yw4q
      @user-ev8dg6yw4q 4 หลายเดือนก่อน

      @@fahadfaraj6474 yaani nikaachaga kazi yangu bongo niko huku czech yaani hakuna issue

    • @user-ev8dg6yw4q
      @user-ev8dg6yw4q 4 หลายเดือนก่อน

      @@fahadfaraj6474 kwa rangi na uzuri tu ni wazuri sana shida ni iyo uwezo wao mdogo sana

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani anaongea kama mnigeria, anavyo waiga sauti 😂😂😂😂😂

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka wa Nondo alitunyambagaa interview yake ya mwanzo

  • @jeaninevumilia5917
    @jeaninevumilia5917 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi mu Congomani nitafutiye Mzungu kaka

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 4 หลายเดือนก่อน

    Me nataka kizee kama mimi

  • @chai_r
    @chai_r 3 หลายเดือนก่อน

    How is Holland a conservative country, sir?

  • @Ericzdeking24
    @Ericzdeking24 4 หลายเดือนก่อน

    je nursing home na care giver ni tofauti??

  • @CheerfulJackalope-uu9ls
    @CheerfulJackalope-uu9ls 3 หลายเดือนก่อน

    Niunganishe bac jaman na mm niende ugaibuni

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataka kazi ya pempas naitaka ninayo pasport buut wakuniunganisha tu

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 4 หลายเดือนก่อน +1

    Da sheina unipe iyo up ma je unatumia lugha gani mi najua kiswahili na arabic

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna interview nyingine nimeona bongo kwa maximum tv demu ya kibongo alipendana na kijana wa kibongo uk akawa anamtumia kinyume na maumbile na kumuharibu kabisa. Hivi anaomba mchango akatibiwe india. Wanaume mashetani wapo kila kona.,wadada ni kuwa makini sana.

  • @nyiranzimami728
    @nyiranzimami728 4 หลายเดือนก่อน

    👍👍👍👍👍🥰🥰😂😂😂😂

  • @user-xk3wo6cc9r
    @user-xk3wo6cc9r 4 หลายเดือนก่อน

    Watu wafanye uchunguzi wa kutosha.

  • @hassankhamis344
    @hassankhamis344 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka hapa unasema ukweli mtupu

  • @jennifersongani2734
    @jennifersongani2734 4 หลายเดือนก่อน

    Anaitwa Malaika Mihambo

  • @sharoncollince5094
    @sharoncollince5094 4 หลายเดือนก่อน

    Da Shena nisaidie namba ya uyu kaka please

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 3 หลายเดือนก่อน

    Sawa wanawake wasomee nursing na je wanaume tukija tusomee nini bro? Ukiongea ongea kwa jinsi zote koz hii chanel tunafatilia jinsia zote mbili

  • @marthamarijani9234
    @marthamarijani9234 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo Bantu Kuna Black Americans? Nawapenda sana jamani

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo kwa sex adventure ,umenikumbusha kuna dada mkenya huku mitandaoni anawaambia watu ukipata mzungu mpe kila tundu blaa blaa. Ni aibu kubwa sana. Mpaka huwa najiuliza kama amezaliwa na nani maana hata shetani anamshangaa

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 4 หลายเดือนก่อน

    Nursing or social work course

  • @Ericzdeking24
    @Ericzdeking24 4 หลายเดือนก่อน

    Waafrika kw unafiki tunatia kichefuchefu.