Maa shaa Allah ❤, alhamdulillah kuna dua zengine mungu anazichelewesha hadi muda ifaao, huyo mama na wanawe kakaa wameweka subra na Allah kamlipa kwa subra yake, Allah awalipe wote walishiriki kumuombea na kumsaidia, alfatah Allah awalipe jannah❤
Mashaalah naipenda sana zazibar Allah azidishe heri na baraka aman na upendo hili nifunzokubwa tunalo jifunza maisha ni mafupi mno hakuna baada ya miaka 75 wengi wetu tutakua tumeondokDunian tuitumie vizur fursa yamaisha
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri, Mola awalipe wote mliemsadia huyu mama , kama mlivyomfurahisha mama huyu na familia yake , namuomba mola awafurahishe kesho peponi inshaallah.
Kilakitu kinasababu. Huyo baba nae sijui anajisikoaje kwaaloyafanya Mungu atamlipa Alfatah. Maashaallam munaiimani. Sana Allah atakipa pepo kwahurumawake
Wallah Allah Subhanna hacheleweshi malipo Kwa watendawo na Allah Subhanna kasemaanawapenda wafanyawo Muumba mwenyewe ushaambiwa unapendwa ❤❤❤ Subhanna llah
Wallah 😭😭 Maa Shaa Allah Allah awazidishie team nzima ya Al Fatah kwa kumrejeshea huyu mama furaha Allah awazidishie furaha zaidiiii hii familia Alhamdulillah
MaashaAllah tabaarakaAllahu..Allah awazidishie maisha ya amani na furaha..Allah s.w awalipe kheyr nyingi jumuiya ya Alfatah kwa kaz kubwa munayoifanya kusaidia wenye mitihan mbali mbali ktk jamii
Tena atapokelewa mikono 6 wallahi wanawake sijui tuna nini kuna vitu lazima tuwe na moyo mgumu lkn hapo mara mtu anasema alikosea tu kidogo nae binaadam...mi namuhesabu keshazikwa 💀

❤❤❤❤ mungu awalipe heri wote walomsaidia🎉🎉
Al fatah ni watu wa maana sana mashallah
MASHAA ALLAH
MASHAA ALLAH
MASHAA ALLAH
ALHAMDULILA
Mashaalah naipenda sana zazibar Allah azidishe heri na baraka aman na upendo hili nifunzokubwa tunalo jifunza maisha ni mafupi mno hakuna baada ya miaka 75 wengi wetu tutakua tumeondokDunian tuitumie vizur fursa yamaisha
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri, Mola awalipe wote mliemsadia huyu mama , kama mlivyomfurahisha mama huyu na familia yake , namuomba mola awafurahishe kesho peponi inshaallah.
Kilakitu kinasababu. Huyo baba nae sijui anajisikoaje kwaaloyafanya Mungu atamlipa Alfatah. Maashaallam munaiimani. Sana Allah atakipa pepo kwahurumawake
Munafanya kz nzuri ya kheri kwakweli mungu azidi kukumiminiyeni neema za kheri inshallah shukran sana
Subira, mama yangu, hii ni punje moja tu ya suke ya mahindi, Mungu akipenda☝☝🤲🏼🤲🏼☝☝
Wallah Allah Subhanna hacheleweshi malipo Kwa watendawo na Allah Subhanna kasemaanawapenda wafanyawo Muumba mwenyewe ushaambiwa unapendwa ❤❤❤ Subhanna llah
Mungu awahifadhi hawa waliofafanya kheri hii duniani na kiyama inshallah
Mashallah sheikh Rashid Allah akulipe kheri , usichoke kugusa maisha ya watu naamini ujira wake ipo siku utaouna
Mashallah niliona entevew yke ya mwanzo nililia wallah allah atakulipeni
M mungu awalipe kheri allfattah
mashallah mashallah. namuomba allah akulipeni kila la kheri duniani na akhera. hongera kwa alfatah.
Kaka Rashida mwenyezi mungu akubariki kwakwel unapiga kazi kweli kweli na timu yako
Wallah 😭😭 Maa Shaa Allah Allah awazidishie team nzima ya Al Fatah kwa kumrejeshea huyu mama furaha Allah awazidishie furaha zaidiiii hii familia Alhamdulillah
Allahu Akbar mjengeeni wallahi mungu atawalipa kheri
Mashaallah nimefurahi sanaaa😢😢
Maashaallah tabarakallah kwa wote walochangia
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar MashaAllah tabaraqallahu ❤❤❤❤Allah awalipe waliyojitolea kwakile mlichokito kwakweli❤❤❤❤❤❤
Mashallah Allah awape kila la kheri
Mashaallah Allah hamtupi mja wake Alhamdulillah .
Allah awazidishie Imani na hisani nawema Hadi mbele yake na akawakutanishe na kipenzi Cha waumin
MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika ❤❤❤❤❤
Alhamdulillah. RABBIL Alamiina
Allahu Akbar
Ndio kubwa Kushukuru Allah Subhana wa taala
MaashaAllah tabaarakaAllahu..Allah awazidishie maisha ya amani na furaha..Allah s.w awalipe kheyr nyingi jumuiya ya Alfatah kwa kaz kubwa munayoifanya kusaidia wenye mitihan mbali mbali ktk jamii
My blood brother,,,,Masha Allah
Mashaa Allah kazi kubwa Al fattah mnafanya hongereni
Maa Shaa Allah... Alhamdulillah... Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu....Allah awahifadhi na awalipe nyote jannatul firdaus
MashaAllah ni jambo zuri na Allah awalipe kheri na ziada. Binafsi nimefurahishwa na kila hatua wallah.
MashaAllah tabaraka llah Allah awalipe kheri kwa kila alie jitolea
Maa shaa Allah Alhamdulilah
Mungu atawazidishia pale mlipotoa mashaallah🙏
Masha Allah alhamdullillah ❤alfah Allah awahifadhi leo na kesho
Allah awazidishie barka wanaotoa mali zao kwa ajili ya kuwasaidia masikini
BARAKALLAHU FIIKUM.
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH.
Alhamdulillah 🤲
MashaAllah MashaAllah Allah barik
TabarakaAllah Ma Sha Allah Alhamdelilah
Maaasha Allahu laa haula walaa quwata illa billahy ❤️ ❤️
My brother l see you how you can help society,,,,Masha Allah
MASHAA ALLAH
Alhamdulillah ❤ MashaAllah ❤❤❤
Jazakallahu khairaa jazaa.
Mashallah 😊😊 hongereni alfatah
Kila alieshiriki katk kuwapa amani na furaha familia hii Allah awape nao furaha duniani na akhera
Alhamdulilah 👏
Alhamdulillah Allah Akbar🤲
Mashallah ♥️♥️
Alhamdulillah
Mashaallah allah awalipe ujira mwema inshaallah
Mashaallah mungu awazidishe kila lakhery
Masha Allah
Maa Shaa Allah
Allah awabarik san
MashAllah ❤❤❤❤❤❤❤
Nilikuwa namsubir huyu mama jmn mashllh
Mashallah, Mashallah, Mashallah ❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni MUNGU tu
Tupendane jmn hii dumia
maashallah
Mashallah tabaraqah ❤
Masha .Allah
Mashallah jmn
Alhamdulilah
Mashaallah ❤
Mashallah
Mashallh
Lile zimwi lisije kukuribuni kutaka kurejeana nae tena achana naye hana maana ukija fanikiwa yakileta kuomba msamaha kwa kufata pesa.yule sio mumeo shetani lile
Na huu ndio Uislamu
Hio kuumbwa na kua mtu ni Bure lkn kua binaadam ni Kwa mafunzo maalum nimekubali
Kwa ushaur wa.mie asije jengewa nyumba akamkubali mume kurudiana naye wanaume wajanja kabisa mwambien haswa asije huyo baba tena hee
Mashallaw 😂
Alafu jiume larudi walipokea weeeeh.. Na soon yatamkuta
Tena atapokelewa mikono 6 wallahi wanawake sijui tuna nini kuna vitu lazima tuwe na moyo mgumu lkn hapo mara mtu anasema alikosea tu kidogo nae binaadam...mi namuhesabu keshazikwa 💀
Shukran kwa juhudi mnayofanya pia ingekuwa busara akapatikana na huyu baba kwa akafanya hivi?
Mashaallah ❤allah akitaka kupa hakuletei barua
Masha ALLAH ❤ ♥ 💖
Mashallah ❤❤❤❤
Alhamdulilah