Hata serikali ya kujiji ndio ya kwanza kupata taarifa hiyo huyo Samia atafika mpaka vijijini. Kijiji kilishindwa tatua basi kuna kata kata wilaya, wilaya mkoa ndio itafika kwa serikali kuu acheni lawama kwa Samia
Allah awape subra, na makaazi mema hapa dunian na akhera. Kiukwel inauma sana, kwa wale ambao Allah amewapa uwezo wa kumiliki chakula chao cha siku au zaid ya hapo tusiwasahau ndugu zetu kama hawa kwani wapo wengi sana wanaohitaji. 😢😢😢
Uyu bibi alihojiwa last month na millard ayo, kumbe bado hajasaidika huu mtihan bas zenji izi media nyengine. Inshaa allah al fatah itamsaidiya kwa uwezo wake maana ni media yenye kuaminika
Huo ndio utukufu wa Allah! Kupanga riski na hali vile anavokadiria, na tukio hili ni ibada kwa wale wenye uwezo jee watafanyaje, wale wanaolala ktk magorofa, ma Acee nk, hakika dunia ni mchezo Akhera ndio makaazi ya Milele, Sura za watoto zinaonesha kahisa Utukufu wa Allah. Yaarab msaidie yeye na wengine wenye dhiki zaidi yangu. Ammin Yaarab
Mama tunakuomba tuondolee haya majonzi, kila anayetazama anatokwa na machozi, kuna watu wanateseka mama katika jamii, pesa za kuwapa wasanii, mara goli la mama ungeliangalia vzr, wapo wanaokusifia lkn ukifikiria maisha yetu tunashindwa kukufikishia ujumbe
😢😢😢 subhanallah heee viongozi mkowappi jamani masikini huyu mama pole Sana mama Millie mungu atakulipa na mama ulomsaidia mungu atakulipa heri inshaallah
Allah amfanyie wepesi mama huyu na akupe subra kwa uwezo wake na atakulipa ujira wako yaani nimeumia sana ni mtihani mzito 😭😭😭 niulize anaishi pemba sehem gani
Pole sn dd 😭😭kwakuwa alfata Imetumwa na Allah ikufikie basi naamini utapata msada kwa uwezo wa Allah mm nilijua ayo TV ulipata msaada lakini kwakuwa tumbo la kheri huzaliwa ndani ya tumbo la Shari Basi naamini utafika mbali na siku ukipata msaada Hilo janaume katili lisije likakurubuni aliki tena
Jamani serikali ipo wapi au imekwenda likizo? Viongozi wabunge wawakilishi na wanawake na watoto wapo wapie? Au serikali inaona sifa kwa haya mambo kutangazwa kila siku? Viongozi na taasisi mna kazi gani?
Kabla ya serikali jaman hyu hna ndugu hna familia pia mm nnavyojua kma familia hawakos jpo chumba kuwastiri lkn ss waswahili mtu amuona damu yke inahangaika yy hna hata huruma. Allah ampe uzima na afya amfanyie wepes inshallah inaumiza wallah.
Mnapenda kulaumu Sasa serekali ni watu na watu wenyewe ndio sisi tuungane tumsaidie sio tungoje viongozi .ww kma binaadam mwenye huruma msadie kw kidog chako atakuja n mwengine ataweka kidogo tutafikia lengo
Msaada atapewa mara ngapi na mpaka lini? Huyu anahitaji solution ya kudumu na sio ya muda mfupi. Kukaa kwa jirani si suluhisho la kudumu. Huyu ana haki zake amedhulumuwa, haki za msingi na huduma kutoka kwa mume wake au baba wa watoto wake kama ameachika. Mambo mengine hata ndugu wawepo wanaweza kushindwa. Panahitajika kupatanisha pia kifamilia, narudia tena viongozi wapo wapi na jamii ipo wapi au ndio tushuhudie kulia kilio tu. Basi kama napenda kulaumu ni juu yako kwa muono wako na kila mtu ana wake,😜
Ikisha anatokea mpumbavu 1 anasema hiyi kazi kubwa munayoifanga ni riya waulizeni wanajuwa nn maana ya riya wache ujinga shekhe wangu kama tunavoambia anaemstiri mwezake Allah na yy atamstiri jiulize umeshawastiri wangapi unakasiri yako peponi inshallah
Alf baba anakusubir umekuwa unakipat chako kdg anakuja kujion yy ndo mzazi najua hay maumiv ya baba kukataa mtt anakusubir unajiwez ss yy zk zimeisha Allah awafanyie wepes mama zet kw wanayoyapitia 😢😢😢😢😢
SubhanAllah kuna baadhi ya wanaume wana roho mbaya hawana roho ya utu hivi hawa watoto wadogo wamekukosea ni baba kama hilo watoto wakiwa na kazi zao ndio wanajishauwa mwanangu hanisaidii anamsaidia mama yake yaan acheni tu omba lisikukute
Kuna kitu ambacho kimejengeka ktk jamaan na sio kizuri cos kinakua kama sumu ktk maisha ya jamii . Kitu wenyewe ni kila serekali iko wapi. Allah ametujali nema watu wengi sana kuliko hiyo serekani muhimu ni tumeni na imani sote na kutatu majanga haya kwa pammoja sio kuhukumu serekali . Jamaaani ni muhimu kusaidiana Jamaaani tunahitajiana .tusiendekeze mamba ya serekali. Walah hili jamnagar ni la Jamaaani sote
Haya maisha hata mim nilipitia ila mie nilikuw na mtt mmoja tuy nililia machoz yote lakin mungu nae hakuniacha sai nipo oman dar nimejenga nyumban nimejenga alhamdullillah mam mlilie mungu tuy hawez kukuacha hata siku moja
Huyu ni baba wa aina gani jamani Kweli hata adhabu za Allah haziogopi kesho na kesho kutwa Allah kawagungulia maisha baba aanza kutoa laana watoto hawamtizami hii laana inaweza kuwashika kweli?
Mtihani wanaume wengi .hawanahuruma. mm watoto wangu hata wanamtaka babayao ilahuyo baba hataki hatakuwaona anakuwasalimiatu.hataki ajuiwanakaa wapi walamia hatoi. Ajuiwanahishi vipi huyo mdogo miaka 10. Sasa hamjui baba yake anatamani nayupo Dar.salam nawatoto wapo. Daresalam. I lakini ajali walaastuki kamaanawatoto. Ila mm nashukuru nipo Oman napambania wanangu. Kwani niliteseka sana
Sio kama tunawadiscuss wenye Uwezo wenu Ila mkiona mnaweza kuwapa pesa na kuwalisha kwa mualiko wenye fahari , BASI TUNAWAOMBA MUWE MNAFUATILIA KAYA MASKINI MUZISAIDIE
Buyu nguzo tatu ukishuka waambie boda wakupoleke banda la maturubai mashamba ya njugu ila kwa sasa ulizia kwa bi riziki ni mbele kidogo na alipokua anaishi
Huku mama samia anafiturisha matajiri kumbe wenye shida wapo ila viongozi hawaoni hila wakina mo dewji kazi kupeleka hela kwenye mipira hata kusAidia maskini hawawezi viongozi matajiri wanajifuturisha wenyewe kwa wenyewe wenye hela wakati maskini wapo mungu anawaona hawa wenye fedha
Hayo sio maswali kwa watu unaowaona ktk macho yako..maumivu makali hayoo.wasaidieni vijana wakubwa wapate vibarua..japo Shule waende lkn wanasoma..Dini iwe kushirikiana na watoto wote kumuelekea Mungu..waelekee ktk DINI PIA
Na akitokea mfadhili kukupatia hifadhi huyo baba fanya kama humjui hakika ubinaadamu hanaa huyo hata kama kusamehe ni vizur samehe ila usimkunali kuwakaribu yakoo abadan
Hee jamani serekali haipo ikamuangalia huyu mama alau akakodiwa japo nyumba ya kawaida Alfatah mwambieni bopar amsaidie huyu mama atapata fungu lake kwa Allah
Allah ni mwingi wa Subra ila inasikitisha sana! Damu yako unaitelekeza kweli , Unashindwa na mnyama , Unakua katili kwa kizaz chako . Niwaombe na wale wanaowalikana viongozi or Mwenye uwezo anafutarisha mwenye uwezo mwenzie, Washuke katik jamiii waone Hali halisi
A Alykum, tunaomba contact za wahusika, au mtuelekeze kijiji gan tunaweza kuwafikia, licha ya kuchangia kwa namba hizo tungependa kuenda kuwaona na kuwafarji uso kwa uso
Mama ulomsaidia Allah akulipe pepo na ukusamehe makosa yako
Amin
Samia afutarisha wasanii kina mondi nawashezi wengine ety ndio kuupiga mwingi huko
Hela azitoa ktk mipira ili mradi atengeneze legacy Kwa wananchi apate kura 2025
@@princesaha3262kura yangu ataisikilizia chooni😢😢😢😢😢
Mtihan wallh😢😢
Hata serikali ya kujiji ndio ya kwanza kupata taarifa hiyo huyo Samia atafika mpaka vijijini. Kijiji kilishindwa tatua basi kuna kata kata wilaya, wilaya mkoa ndio itafika kwa serikali kuu acheni lawama kwa Samia
Mm na ww tusichoke kumuombea madua ishaallah mola awapewepes aamiin
Mama Samia saidia mama huyu Achana naa hao wasanii hela yako inaenda kukuza haram. Allah ataskia kilio chako mamaangu
Mama yangu usikate tamaa mungu mbele yako dada yangu huyu mama angepatiwa nyumba mungu atawajalia
Wenye uwezo yaani kazi yao kusaidia mpira na wasanii tu, ujinga mtupu. 😢
Allah awape subra, na makaazi mema hapa dunian na akhera. Kiukwel inauma sana, kwa wale ambao Allah amewapa uwezo wa kumiliki chakula chao cha siku au zaid ya hapo tusiwasahau ndugu zetu kama hawa kwani wapo wengi sana wanaohitaji. 😢😢😢
Yaan inauma mpaka bas najiuliza huyo baba aliowabomolea hilo banda ana roho gan
Uyu bibi alihojiwa last month na millard ayo, kumbe bado hajasaidika huu mtihan bas zenji izi media nyengine. Inshaa allah al fatah itamsaidiya kwa uwezo wake maana ni media yenye kuaminika
Yaani ciku zimepita nyingi jamani
Hizo media nyengine ni contact tu wanataka awana msaada wwte
Hasa iyo Millard cjasikia imesaidia mahali imeshindwa hata na max tv ya Zahir
Allah atufanyie wepesi inshaallah hatuijui kesho yetu tusaidiane jaman
Allah atakufanyia wepes inshaallah katika kipindi hicho kigimu na mama samia mungu akufanyie wepes uwasaidie hawa
Pole mama,Allah (SWT) atakujaalia kila la kheir vuta subra mama.Inasikitisha kuna baba baba halafu kuna baba bora huyo wao baba baba
Huo ndio utukufu wa Allah! Kupanga riski na hali vile anavokadiria, na tukio hili ni ibada kwa wale wenye uwezo jee watafanyaje, wale wanaolala ktk magorofa, ma Acee nk, hakika dunia ni mchezo Akhera ndio makaazi ya Milele, Sura za watoto zinaonesha kahisa Utukufu wa Allah. Yaarab msaidie yeye na wengine wenye dhiki zaidi yangu. Ammin Yaarab
Mama tunakuomba tuondolee haya majonzi, kila anayetazama anatokwa na machozi, kuna watu wanateseka mama katika jamii, pesa za kuwapa wasanii, mara goli la mama ungeliangalia vzr, wapo wanaokusifia lkn ukifikiria maisha yetu tunashindwa kukufikishia ujumbe
😢😢😢 subhanallah heee viongozi mkowappi jamani masikini huyu mama pole Sana mama Millie mungu atakulipa na mama ulomsaidia mungu atakulipa heri inshaallah
Allah amfanyie wepesi mama huyu na akupe subra kwa uwezo wake na atakulipa ujira wako yaani nimeumia sana ni mtihani mzito 😭😭😭 niulize anaishi pemba sehem gani
Pole sn dd 😭😭kwakuwa alfata Imetumwa na Allah ikufikie basi naamini utapata msada kwa uwezo wa Allah mm nilijua ayo TV ulipata msaada lakini kwakuwa tumbo la kheri huzaliwa ndani ya tumbo la Shari Basi naamini utafika mbali na siku ukipata msaada Hilo janaume katili lisije likakurubuni aliki tena
SubhanaALLAH Allah atakuhifadhi inshallah mama kwa kweli nmetokwa na machozi hku watu wanakimbilia kujza mafriji na matumbo yao
Subhana Allah yharab mtihani mzito kwa dada huyu na wtt Allah akufanyie wepesi ameen
Subhana allah Allah awape subra na awaondolee mtihani huu
Subhanallah Allah atustiri waja wake
Jamani serikali ipo wapi au imekwenda likizo? Viongozi wabunge wawakilishi na wanawake na watoto wapo wapie? Au serikali inaona sifa kwa haya mambo kutangazwa kila siku? Viongozi na taasisi mna kazi gani?
Angekuwa na watto Wa kupiga kura wabunge na mwakilishi wangefika lkn wanawe wadogo waa hawatomjali
Eee Pana serekali apo kwa akili zako apo wapo wapiga hela tuu kuanzia raix mpaka sheha pumbavu zao
Kabla ya serikali jaman hyu hna ndugu hna familia pia mm nnavyojua kma familia hawakos jpo chumba kuwastiri lkn ss waswahili mtu amuona damu yke inahangaika yy hna hata huruma. Allah ampe uzima na afya amfanyie wepes inshallah inaumiza wallah.
Mnapenda kulaumu
Sasa serekali ni watu na watu wenyewe ndio sisi tuungane tumsaidie sio tungoje viongozi .ww kma binaadam mwenye huruma msadie kw kidog chako atakuja n mwengine ataweka kidogo tutafikia lengo
Msaada atapewa mara ngapi na mpaka lini? Huyu anahitaji solution ya kudumu na sio ya muda mfupi. Kukaa kwa jirani si suluhisho la kudumu. Huyu ana haki zake amedhulumuwa, haki za msingi na huduma kutoka kwa mume wake au baba wa watoto wake kama ameachika. Mambo mengine hata ndugu wawepo wanaweza kushindwa. Panahitajika kupatanisha pia kifamilia, narudia tena viongozi wapo wapi na jamii ipo wapi au ndio tushuhudie kulia kilio tu. Basi kama napenda kulaumu ni juu yako kwa muono wako na kila mtu ana wake,😜
Ikisha anatokea mpumbavu 1 anasema hiyi kazi kubwa munayoifanga ni riya waulizeni wanajuwa nn maana ya riya wache ujinga shekhe wangu kama tunavoambia anaemstiri mwezake Allah na yy atamstiri jiulize umeshawastiri wangapi unakasiri yako peponi inshallah
Masha Allaah sii haba mitihn yte huyu mama bdo ana am in muungu ndio kila kutu daa hii klip inaniliza snaa nabk nalia tu
Allah akufanyie wepesi na subira inshallah kusema kweli inasikitisha sana
Alf baba anakusubir umekuwa unakipat chako kdg anakuja kujion yy ndo mzazi najua hay maumiv ya baba kukataa mtt anakusubir unajiwez ss yy zk zimeisha Allah awafanyie wepes mama zet kw wanayoyapitia 😢😢😢😢😢
Weeeee na mtoa nduki😢😢😢😢😢😢
mama julie maida Allah akupe maisha marefu lnshallah
Ya Allaaaaaah alhamdulillah nimeshindwa kujizuia kwa kulia alhamdulillah 😢 😭
Sio Serikali... Wallah mattatizo yanaanza kwetu. Hapo Kuna mwanamme mzima anakimbia majukumu yake... Subhanallah. Wanaume wengine huruma hawana... Uyo baba anapaswa kupewa adhabu aliyewakimbia watoto.
Shubahanallah' Allah atakulipa kheir' inshallah.
Inshaallah mungu tawafanyia weps inshallah 🙏😭
SubhanAllah kuna baadhi ya wanaume wana roho mbaya hawana roho ya utu hivi hawa watoto wadogo wamekukosea ni baba kama hilo watoto wakiwa na kazi zao ndio wanajishauwa mwanangu hanisaidii anamsaidia mama yake yaan acheni tu omba lisikukute
Mungu atujalie jirani mwema
Kuna kitu ambacho kimejengeka ktk jamaan na sio kizuri cos kinakua kama sumu ktk maisha ya jamii . Kitu wenyewe ni kila serekali iko wapi. Allah ametujali nema watu wengi sana kuliko hiyo serekani muhimu ni tumeni na imani sote na kutatu majanga haya kwa pammoja sio kuhukumu serekali . Jamaaani ni muhimu kusaidiana Jamaaani tunahitajiana .tusiendekeze mamba ya serekali. Walah hili jamnagar ni la Jamaaani sote
Pole sana ndugu yangu ktk imani allah atakustiri
Allah atampa shiffa😭😭 na ww akupe uwezo umlee kwa mapenzi yote
😭😭😭Allahu Akbar
Yaa Allah have mercy on this family...😢
Zanzibar sehemu gani 😭😭😭dahhhh nimejikuta naliya sana pole sana mama angu
M mungu ataleta kheri ishallah😭😭😭😭
Subhannal-llah 😭😭😭😭😭😭😭ya Rabby ww ndo twakutengemeya
Subhanaallah mwenyezi mungu jalia huyu mama na wanae. Kwa kweli duniani ni mitihani
Haya maisha hata mim nilipitia ila mie nilikuw na mtt mmoja tuy nililia machoz yote lakin mungu nae hakuniacha sai nipo oman dar nimejenga nyumban nimejenga alhamdullillah mam mlilie mungu tuy hawez kukuacha hata siku moja
Subhana ALLAH 😢😢
Pole sana mama angu Kwa mtihani ulionao mungu akupe nguvu na moyo wa cubra
Subhanallah
Yapo Zanzibar sehemu gani huyo mama
Buyu
allah amjaze kheir sana huyo mama aliempokea mwanamke mwenzie i wish ningekuwa tajiri ambae kila kilio cha maskini kinifikie daah😢
Asante sana wewe mama uliye msaidia MUNGU ATAKULIPA
daa inauma sana mungu atamjalia mungu ampe moyo huohu inaskitisha sana mungu amjaaliy
Pole sana kioenzi Allah atakufanyia heri inshaAllah mbona hamjatuambia anaishi wapi?
Huyu ni baba wa aina gani jamani
Kweli hata adhabu za Allah haziogopi kesho na kesho kutwa Allah kawagungulia maisha baba aanza kutoa laana watoto hawamtizami hii laana inaweza kuwashika kweli?
Mtihani wanaume wengi .hawanahuruma. mm watoto wangu hata wanamtaka babayao ilahuyo baba hataki hatakuwaona anakuwasalimiatu.hataki ajuiwanakaa wapi walamia hatoi. Ajuiwanahishi vipi huyo mdogo miaka 10. Sasa hamjui baba yake anatamani nayupo Dar.salam nawatoto wapo. Daresalam. I lakini ajali walaastuki kamaanawatoto. Ila mm nashukuru nipo Oman napambania wanangu. Kwani niliteseka sana
Allah awape malipo mema AL Fatah TV
Wapo Unguja maeneo gani hawa, halafu tunaomba namba ya mawasiliano yao na Namba ya Mchango pia.
Hasbiyallah huyu mwanaume alieyafanya haya Allah yupo
Hee. Subhanallah
😭😭😭😭inna lilahi wanna ilayhi rajiun
Pole sanaa mama etu
😭😭😭😭 Kakweli Allah ndie hakimu wa yote haya..
Namuomba Allah ampe subrah mama huyu na amlipe kwa subrah yake.
Pole sana Tena sana hakika Allah yupo na wewe huu mtihani mzito
Aya Allah 😢😢😢
Mtihani huu mungu atulinde
Inauma sana ...
Allah akutie nguvu akupe subra na akuondoshee matatzo haya na mengne😢
Subhannallah subhannallah
😭😭😭😭😭😭 huyu baba
Walah, nimelia xn😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 pole momy, mwnyz MUNGU atakusaidia
😢😢😢😢 yaa huzunisha jamani kesho kuna hesabu
Subhana Allah
Allah akupe subra na msimamo na dini
Sio kama tunawadiscuss wenye Uwezo wenu Ila mkiona mnaweza kuwapa pesa na kuwalisha kwa mualiko wenye fahari ,
BASI TUNAWAOMBA MUWE MNAFUATILIA KAYA MASKINI MUZISAIDIE
Viongozi mnajukumu kubwa mbele ya Allah mnakula vizur waku wananchi wenu wanateseka
Mungu mkubwa Mama Angu kipenzi Yupo pamoja Nawe
INNA LILAAHI WA INNA ILAYHI RAJIUNA
Mzee kam huyu akizeeka ataangaliw na nan wallah mungu hato muacha
Location tukamtembelee
Buyu nguzo tatu ukishuka waambie boda wakupoleke banda la maturubai mashamba ya njugu ila kwa sasa ulizia kwa bi riziki ni mbele kidogo na alipokua anaishi
Jaman mwanaume huyo nshetan wallah hataiman yawanawe hana
Huku mama samia anafiturisha matajiri kumbe wenye shida wapo ila viongozi hawaoni hila wakina mo dewji kazi kupeleka hela kwenye mipira hata kusAidia maskini hawawezi viongozi matajiri wanajifuturisha wenyewe kwa wenyewe wenye hela wakati maskini wapo mungu anawaona hawa wenye fedha
Yaa Allah😭🤲
Kweli waislamu tunashindwa kumsaidia huyu mwenzetu kweli?
Jamani kwanini bado hajasaidiwa? Daah bas tumchangieni
Hayo sio maswali kwa watu unaowaona ktk macho yako..maumivu makali hayoo.wasaidieni vijana wakubwa wapate vibarua..japo Shule waende lkn wanasoma..Dini iwe kushirikiana na watoto wote kumuelekea Mungu..waelekee ktk DINI PIA
Tatizo serikali, wanajenga majumba Mia mia wanasahau hawa watoto ndo taifa la kesho
Asalam aleikum. Kama hajapata mahali Mimi Niko tayari kumlipie nyumba aketi kujiskiza
Mashallh jirani mwema😭😭😭
Allah wafanyie wepesi kwa hili
Kweli sasa dunia imeharibika maana zanzibar watu wanalala nje zamani haikua hivi
Mama samia tu naomba msaidie huyu mama naamini mama yangu unamoyo wakujali wenzio ❤
Moyo wa kufuturisha matajiri na kununua magoli ya Simba yanga na taifa star 😢😢😢😢😢😢😢
Allah atakujalia
Wallah wanaume nyie mungu hatawaacha kwa machozi tunayo lia watuy wazanziba mnajifanya watuy wa din kwan hamjamuon huyu mam duuh pole san
NAFSI INAUMA SANA.
LAKINI WATU WANAFUTURISHA WENYE UWEZO WENZAO MASKINI WANALALA CHINI YA MTI WATOTO WADOGO WANATESEKA
Lakni baba yao yupo kila siku anawaona hapo hana ubinadam?angechukuliwa hatua man yupo na anajulikana ila anakwepa majukum yake.
Pole sana mama😢
Goli moja1milioni moja
Halafu kesho wakuja kuomba kura , watakuwa wamwagiwe kinyesi Cha nguruwe 😢😢😢😢
SubhanAllah 😭😭😭
Na akitokea mfadhili kukupatia hifadhi huyo baba fanya kama humjui hakika ubinaadamu hanaa huyo hata kama kusamehe ni vizur samehe ila usimkunali kuwakaribu yakoo abadan
Me nauliza wanakiwanja tumsaidie kujenga ata vyumba viwil ama hakuna kiwanja...ili tujue tunamsaidia vip..
Hee jamani serekali haipo ikamuangalia huyu mama alau akakodiwa japo nyumba ya kawaida Alfatah mwambieni bopar amsaidie huyu mama atapata fungu lake kwa Allah
Serikali iingilie Kati uyo baba aekwe gerezan Hana tofauti na muuaji sheitwan uyo ili iwe fundisho na kwa wenzie wenye tabia kama zake
Allah ni mwingi wa Subra ila inasikitisha sana! Damu yako unaitelekeza kweli , Unashindwa na mnyama , Unakua katili kwa kizaz chako . Niwaombe na wale wanaowalikana viongozi or Mwenye uwezo anafutarisha mwenye uwezo mwenzie, Washuke katik jamiii waone Hali halisi
A Alykum, tunaomba contact za wahusika, au mtuelekeze kijiji gan tunaweza kuwafikia, licha ya kuchangia kwa namba hizo tungependa kuenda kuwaona na kuwafarji uso kwa uso
Buyu nguzo tatu mashamba ya njugu kwa bi riziki au bi rii
Kila lifanywalo na mja litalipwa na mwenyezi hata kama ni kwa uzani mdogo mnoo. Na huo ndio mtihani
Allah atafanya kitu kwa ajili yako, naamini