Maashallah TabarakaAllah ukhty kipenzi,,Allah akulipe kheir..natumai sana nipate elimu ya dini sana niwe na ratba zangu inshaa Allah..naombeni dua zenu ndugu zangu katika imaan niweze kupata mda na kutojishughulisha na mambo ya kidunia.
Mashaallah Mashaallah ukht fatma❤ nimeipenda ratiba yako yani unajua kupanga wakati wako jamani. Ishaallah pia mm nataka niwe kama ww Ishaallah 💖 💕 mungu akuzidishie Imani na Baraka ww na family 👪 yako Allahuma amin 🙏 🙏 😊
Nikweli ustadha't tuambie na ss mungu atakulipa mana ss hatuna cha kkulipa mpaka ukatosheka. ila mungu ninaimani anacho cha kkupa mpaka ukaridhika😊😊❤❤❤you ddangu
Binafsi nimejifunza kitu kwa ukhti wetu fatwima Allah amlipe kila la khery nasi atuwezeshe tuwe kama yeye. Hizo si sifaa bali ni hali halisi ya maisha yake Allah amlipe jannah amirati wetu hakika tunajifunza mengi kupitia yeye.
@@rahmayusuph9973 point ni moja haijalishi anazungumzia nini lakini kwa mwanamke kuzungumza hadharani haijuzu dada na hata mwanaume ambae anamruhusu mkewe azungumze hadharani ni mpumbavu inatakiwa kama kuzungumza basi azungumze na wanawake wenzake hii haipo sawa
@@ismailissa3996 ukweli ni upi akhy nijuze mi jinavyofahamu kwa mwanamke kuzungumza hivyo ni kosa kisheria au kama kuna hadithi imeruhusu hicho anachofanya ukhty naomba nifahamishe
@@rahmayusuph9973 hata wewe ikitokea mumeo kakuruhusu kuzungumza hadharani kama hivyo hali ya kuwa si mtu mzima basi atakuwa ni dayuth na Mtume Allah ateremshe rehma juu yake na amani amesema haingii pepon mtu wa namna hii.

Maashallah Allah akujalie kher dunian na akher inshallah ❤❤❤🤲
MashaAllah angalia mfano wa mke mwema ❤ enyi wanawake wengi chukueni mfano huu
Mashaallah Mashaallah ukht fatma❤ nimeipenda ratiba yako yani unajua kupanga wakati wako jamani. Ishaallah pia mm nataka niwe kama ww Ishaallah 💖 💕 mungu akuzidishie Imani na Baraka ww na family 👪 yako Allahuma amin 🙏 🙏 😊
Mashaalah dad's tuambie izo adhkar zote tafadhal iwe topic yke ❤❤
Nikweli ustadha't tuambie na ss mungu atakulipa mana ss hatuna cha kkulipa mpaka ukatosheka. ila mungu ninaimani anacho cha kkupa mpaka ukaridhika😊😊❤❤❤you ddangu
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatu kuna kitabu au app inaitwa hisnul Muslim ndani mtaona adhkar za asubuh na jioni na nyengine nyingi
Ma sha Allah tabaraka Allah lakuwata ila bilah mungu atujaalie na sisi tuwafanyie watoto wetu insha Allah, jazakha Allahu kheiry ukhti
Mashallah ukht Allah azidi kukupa umri utuelimishe
MashaAllah may Allah increase you in Knowledge my sister
Masha Allah Allah akuzudishiye lakini ukhty unge hifadhi uso ingekuwa bora zaidi
Mash'ALLAH mda wako unautumia vzr kwe haya maisha ya mpito yakidunia namuomba ALLAH na mm anijaalie niwe km ww 🤲
MashaAllah Allah akulipe kheir kwa kuwasimamia vizuri watoto wetu ❤
Masha Allah
Ma Shaa Allah
MASHA ALLAH, Akupe afya na uzima ukhuty Fatma.
MASHAALLAH
Maa shaa Allahu... Najifunza ukhty.. na oia huna mambo mengi, maana wengine ndo tup
Asalamu aleikum ukhti nifanyie Dua pia Mimi niige mfano wako inshaallah
MashaAllah allah akujalie pepo ww na familia yako inshallah nasisi pia atujalie tuwe miongoni mwenu inshallah
Mashallah 🥰 nakupenda kwa ajili y Allah Ukhti wetu kipenzi ❤Somu wangu
Ma sha Allah uqti. May Allah blessings be upon you dhaiman in sha Allah. ❤❤❤
masha ALLAH mungu anijalie familia na mimi nisome haya maisha upendo wa familia ni raha mno, nimependa ratiba
Mashaa Allah ❤❤
Jazakallah khayran
MashaAllah 💕
Masha Allh ❤
Mashallah ukhuty fatuma alla akulipe Kila la kher
Mashaallah
Mashallh jazzakal kheir
Mashaa'Allah Mashaa'Allah 🥰
Masha allah
Mashaallah ❤❤❤
Manshallah tabaraka rahmani❤❤❤❤
Mashaa llah
Mashallah
ماشاء الله تبارك الرحمن
MashaAllah mkuwapi hapa Nairobi
Allahu akbar
Tunasimamia watoto n.k ila all in all jitihada binafsi zinahitajika hapa
Aslm Alkm Wrhmt Wbrkt naomba kumleta Msichana Wangu madhrasa na Niko Kenya. Naomba number yako tupate kuwasiliana
Sasa kwako unakaaa saaa ngapi
Tupo kwenye mambo ya biashara watoto wadog
Tuache kusifia ujinga ukhty mwanamke kuzungumza hadharani ni haram hiyo sauti yako
Waongopa mufti
Binafsi nimejifunza kitu kwa ukhti wetu fatwima Allah amlipe kila la khery nasi atuwezeshe tuwe kama yeye. Hizo si sifaa bali ni hali halisi ya maisha yake Allah amlipe jannah amirati wetu hakika tunajifunza mengi kupitia yeye.
@@rahmayusuph9973 point ni moja haijalishi anazungumzia nini lakini kwa mwanamke kuzungumza hadharani haijuzu dada na hata mwanaume ambae anamruhusu mkewe azungumze hadharani ni mpumbavu inatakiwa kama kuzungumza basi azungumze na wanawake wenzake hii haipo sawa
@@ismailissa3996 ukweli ni upi akhy nijuze mi jinavyofahamu kwa mwanamke kuzungumza hivyo ni kosa kisheria au kama kuna hadithi imeruhusu hicho anachofanya ukhty naomba nifahamishe
@@rahmayusuph9973 hata wewe ikitokea mumeo kakuruhusu kuzungumza hadharani kama hivyo hali ya kuwa si mtu mzima basi atakuwa ni dayuth na Mtume Allah ateremshe rehma juu yake na amani amesema haingii pepon mtu wa namna hii.
MashaAllah may Allah increase you in Knowledge my sister
Amiin yaa Rabbi 🤲🏼🤲🏼
Masha Allah
Mashaallah
Mashallah
Mashaallah