HIVI NDIVYO SIMU ZINAVYOVUNJA NDOA (HUBBUL HALAL)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 34

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ushauri wa mtaalam umenikwaza kidogo. Japo sijiiti mtaalam wa Saikolojia, huwa mke wangu nami tunachangia masuala ya ndoa kwenye gazeti la Mwananchi. Ningeomba nishauri. Ukitaka simu isiwe kikwazo kwako na mwenzio, hakikisha huna simu iliyofungwa. Wanandoa wa kweli hawapaswi kufichana mambo yao hasa ikizingatiwa kuwa wao ni mwili mmoja. Sisi huwa hatufichiani simu. Naweza kuchukua simu ya mke wangu naye akachukua yangu kwa muda wowote atakao kwa sababu hakuna lolote tunalofanya. Wengi hujiingiza kwenye kadhia ya simu kutokana na kushindwa kuwa waaminifu katika ndoa na pia kushindwa kukabiliana na hali hii. Hata magari yetu hubadilishana bila hata kujali gari hili ni la nani. Yote ni yetu. Suala kubwa katika maisha na ndoa ni kuepuka kuwa na siri. Siri zinaua watu wengi tokana na ujinga.

  • @RashidiAshokee
    @RashidiAshokee 3 วันที่ผ่านมา

    Naomba ushauri wa ndoa yangu

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah madam ninavyokufatilia ningekuwepo Zanzibar ningefanya njia yeyote Kwa uwezo wa Allah nionane na wewe live

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Leo Umependeza Sana Mashaallah..

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah madam Unaongea kwa hikma Sana Allah akuje kher nakupenda Kwa ajil ya Allah 😍

  • @hawasuleiman5698
    @hawasuleiman5698 2 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri madam Allah akuzaidishie

  • @mohamedabdalla8402
    @mohamedabdalla8402 2 หลายเดือนก่อน

    Madam wetu Asante kila ukuwa redioni

  • @abdukhan4718
    @abdukhan4718 2 หลายเดือนก่อน

    *Sheh Rashid hapo umeongea point kubwa sana*
    Kua kuna dhana kubwa Ya kua Wanaume hawajtulia hii inaharibu ndoa kwa Asilimia 90%....
    Maana kila siku hakuna kuaminiana

  • @KhadijaOmary-rt5gv
    @KhadijaOmary-rt5gv 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah tabarakallah

  • @mwalimothman1680
    @mwalimothman1680 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @user-so9fo5tv3j
    @user-so9fo5tv3j 2 หลายเดือนก่อน

    Well said Madam

  • @JumaNassor-cj3zy
    @JumaNassor-cj3zy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wa Tanga wakarimu sana

  • @OmanGabbi-l9n
    @OmanGabbi-l9n หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa na asa awa wanaume wenye pesa wanapenda kuana madalali wa wanawake walembo kuliko mkewe Sasa awa wanaume nibora tuwaachetu tuwenao tu ila ni shida

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 หลายเดือนก่อน

    Madini...🎉🎉🎉

  • @MustyHamza
    @MustyHamza 2 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah hapo kwenye kifi cha ghafla na hizo cm za kudangiaa

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 2 หลายเดือนก่อน

    Maashallah kipindi kizuri

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 2 หลายเดือนก่อน

    maashallah

  • @user-ye3fy9kk6r
    @user-ye3fy9kk6r 2 หลายเดือนก่อน

    Makini kabisa,she is very intelligent

  • @abuuqamar58
    @abuuqamar58 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simu simu simu.

  • @abuuqamar58
    @abuuqamar58 2 หลายเดือนก่อน

    @Al fatah tv muda wa kipindi ni mdogo

  • @peterkibiriti5601
    @peterkibiriti5601 2 หลายเดือนก่อน

    Simu haivunji ndoa, kukosa uchamungu ndiyo Kuna sababisha,nyoyo hazija mkiri allah

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 2 หลายเดือนก่อน

    Kwekweli Mimi Nakufatili Sana Muda Mrefu Hiyi Nimependa Maagezi Yako Jee Kama Mwanamke Jee Utamulezea Vipi Anpokuwa Hataki Kuaagaliwa Sim Na Akuwa Anamuda Maalum Wakujitenga Kuwa Nasim Ikiwa Hananafasi Yumuweka Hata Akirudi Kazini au Imefikia Muda Wakulalah Nayeye Anakuwa Nakaawaida Huwo Unakuwa Mudawake...????Anakuwaje..

  • @juhudiyaislamiya2660
    @juhudiyaislamiya2660 2 หลายเดือนก่อน

    Swadkta sheikhat

  • @awatifsubeit4007
    @awatifsubeit4007 2 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba sehemu ya pili

  • @aliy3303
    @aliy3303 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Rashid Marekebisho jitahidi Unapotamka ktk utoaji wa Salaam

    • @juhudiyaislamiya2660
      @juhudiyaislamiya2660 2 หลายเดือนก่อน

      Mkumbushe anakosea wapi katika hiyo salam?

  • @youtuberheart1648
    @youtuberheart1648 2 หลายเดือนก่อน

    Kama mpk mmekubaliana mkaoana kwann mfichiane sim kama umeridhika kumuoa kwann uwe mambo mengine nje mm nahc tungeelimishana kwenye matumizi ya kwenye sim mn nhc km ndo tunawapa power ya kutufanyia wanavotaka 😢

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy 2 หลายเดือนก่อน

    Mbon unatuekea kipanda kidg mm namfatilia san madamu leyla

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 2 หลายเดือนก่อน +1

    tanga kama tanga hahahahaha

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 หลายเดือนก่อน

      kwa wajanja hawataki kuchimba vyoo aise na uzuri wote walionao wanawake

  • @fatemasalem9677
    @fatemasalem9677 2 หลายเดือนก่อน

    Tuli kimiss hichi kipindi

  • @user-if7ti3rn3u
    @user-if7ti3rn3u 2 หลายเดือนก่อน

    Unayo yasema ndivyo, wengi ujikuta kwenye ndoa isiyo na furaha kwa kutafuta makosa ya mumewe, mume atakuwa ata ana shughuli na kumchuguza mke hata anazo shughuli zake lakini ukifika nyumbani amekuwa mlalamishi, wa tabia zako..

  • @youtuberheart1648
    @youtuberheart1648 2 หลายเดือนก่อน

    Kama mpk mmekubaliana mkaoana kwann mfichiane sim kama umeridhika kumuoa kwann uwe mambo mengine nje mm nahc tungeelimishana kwenye matumizi ya kwenye sim mn nhc km ndo tunawapa power ya kutufanyia wanavotaka 😢