HIZI NDIO SIFA ZA MWANAMKE AMBAYE HUTOJUTIA KUMUOA. EPISODE 02 (HUBBUL HALAL)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 20

  • @hidayamwinyi974
    @hidayamwinyi974 2 หลายเดือนก่อน +6

    Tupo pamoja na mwalim hassan Masha Allah

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 2 หลายเดือนก่อน +5

    Si kweli, kama mwanamke aweza ivunja ndoa. Wanaume wameongea vizuri. Ila siye wanawake twapenda jipendekeza sana, kutaka kujua siye ndiyo wabaya wa kuharibu mambo.
    Kweli usafi ni kila kitu na usafi wa nafsi ni muhimu sana. Jazakallah Khair 🙏🏽 ❤🎉

    • @fatmasaid9765
      @fatmasaid9765 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli maneno yako sio wanawake peke yake anaeharibu ndoa

  • @NajmaAli-yw9iv
    @NajmaAli-yw9iv 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akulipe kheri mwalim hasan na sheikh rashid salim

  • @NajmaAli-yw9iv
    @NajmaAli-yw9iv 2 หลายเดือนก่อน +2

    Masha Allah tabaraka Allah

  • @MonoMono-q7s
    @MonoMono-q7s 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna vitu najifuza vingi sanaaa

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 2 หลายเดือนก่อน +2

    I can't wait next episode ❤❤❤❤❤. Mashallah tabaraqah.
    Maalim Hassan Allah akuhifazi.
    Life is to short usinune nune ovyo wwe mwanamke. Ila na wanaume zawadii jamani . But hapo pa ushafiii. Watu mapka wende holini 😂

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwalim ni zaidi ya kungwi dume ❤

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 2 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe uliokwenda shule kbs tujitahidini na mungu atusaidie inshallah

  • @HawaaUmibrahim-um7zi
    @HawaaUmibrahim-um7zi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah mashallah 🎉🎉🎉

  • @aramm474
    @aramm474 2 หลายเดือนก่อน

    Maasha Allah tunajifunza sana

  • @NajmaAli-yw9iv
    @NajmaAli-yw9iv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu hasan uko vizur

  • @MyasaAbdullah
    @MyasaAbdullah 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah kipindi Safi kabisa

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah tunajifunza mengi aje tena na tena

  • @hafia.056
    @hafia.056 2 หลายเดือนก่อน

    Maaalim mboona 💯 fill 💯 uko sawa sawa kilasiku please 🙏 ♥️ njoooHaapo uipeDunia education for everyone asante tenaaa sana hongera babaaa

    • @BinTwahirinho-rw1nv
      @BinTwahirinho-rw1nv 2 หลายเดือนก่อน

      nakukubali sana mwalim hassan..🎉🎉🎉

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 หลายเดือนก่อน

    Masha ALLAH 🎉🎉🎉❤

  • @fatmam1997
    @fatmam1997 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah ❤

  • @FaidaKhamis
    @FaidaKhamis 2 หลายเดือนก่อน

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 2 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleykum wanawake waliowengi wanafurahia tendo la ndoa tena wala hachoki lkn mwanamme mkorofi hapendezi vile vile ugomvi saa nyengine mume fedhuli huyo anaudhi kweli kila unalomwambia kashika CM anachati ww ukotayari lkn yy habari hana kibri