Kisa cha kweli cha Bibi Mchamungu na Mjukuu wake siku ya ndoa - Ukht Fatma Mdidi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 39

  • @user-wt8ek1yf7x
    @user-wt8ek1yf7x 8 หลายเดือนก่อน +8

    Mashallah mungu akupe maisha marefu uendelee kuwapa nasaha watu 🤝😟

    • @fabssaleh7273
      @fabssaleh7273 8 หลายเดือนก่อน

      SEMENI;
      MAA SHAA ALLAH.

  • @salmoomorefeelingproductio1744
    @salmoomorefeelingproductio1744 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kosa ni la wanazuoni ,kazi nzuri kwa kuyasema

  • @sweetylove9918
    @sweetylove9918 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Allah akulipe kheri kwamafunzoyako shukran

  • @mwanzegelekalu7092
    @mwanzegelekalu7092 8 หลายเดือนก่อน +2

    MaashaaAllah ukhti fatma.. baarakallahu fiiqa inshaAllah.

  • @feiruzahmed7524
    @feiruzahmed7524 7 หลายเดือนก่อน +1

    May ALLAH bless you for all your efforts.

  • @abdulragmababdulsalam5107
    @abdulragmababdulsalam5107 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah shukran ❤❤❤

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 8 หลายเดือนก่อน +1

    SUBHANA ALLAH! ALLAH Atusamehe Ya Rabb. Jazzaka Allahu Kheir. AMIIN

  • @MorganOyuech-wh9fz
    @MorganOyuech-wh9fz 8 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH ☝️akubariki ...

  • @Ibrahhaji
    @Ibrahhaji 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallh

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 8 หลายเดือนก่อน

    dah mtihani sana sisi binaadam mungu atusaidie

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 8 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana kutu fundisha

  • @AnasiAlly-oh8wb
    @AnasiAlly-oh8wb 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 8 หลายเดือนก่อน +1

    Subhanallah 😢

  • @sihammohamedthabit9832
    @sihammohamedthabit9832 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 8 หลายเดือนก่อน +2

    SUBHANALLAH 😢

  • @bakariomari4251
    @bakariomari4251 8 หลายเดือนก่อน

    Mashaallha

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 7 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah

  • @zaerajuma9159
    @zaerajuma9159 7 หลายเดือนก่อน

    Tuta kualika Burundi 🇧🇮 kwetu

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 8 หลายเดือนก่อน

    Dada kuna ambao wemeolewa kabla hajaachika wamesha funga ndoa mwanamke anasubiri talaka kwa mume wa kwanza anangojea akipewa talaka leo kesho ana hamia kwa mume mpya

  • @asyamgeni9819
    @asyamgeni9819 7 หลายเดือนก่อน

    Why bibi asiseme mapema kabla ya kufunga ndoa kasubiri mpaka ishangwa ndoa

  • @mwanashaali1109
    @mwanashaali1109 8 หลายเดือนก่อน

    Ukhty ungesema hao mawalii xahihii

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maustadha wakileo watafuta umaarufu kupitia mitandaoni.Rasul saw atufundisha1) mwanamke akisalimiwa na mwanaume si mahrimu yake hafai pia kuitikia salam kwa sauti na iwe kisiri.2)mwanaume akibisha tia nguo mdomoni ili sauti itoke vibaya 3) na walipokua wakiendewa wake za mtume na maswahaba kuulizwa swali ladini,wikua wakijibu nyuma ya pazia...huyu leo eti auza sura live,sauti ndio hio.fitna tupu hizi.makosa haya,sio mafundisho ya Rasul saw.

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 8 หลายเดือนก่อน +4

      Sio Kwa Ubayaa Ilaaa watu wengi Wanapenda Sanah Kuingilia mamboo ya dini,akiongea Mtuu mambo ya dinii,watuuu hutafutaa Kasoroo,tumuachie Allah Atuhukumie

    • @user-ec8rf2bp3b
      @user-ec8rf2bp3b 7 หลายเดือนก่อน

      Unachuki binafsi km kweli unataka kumkosoa ungemfuata na kumrekebisha,
      Hii ni sms Yako ya pili!!!

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 8 หลายเดือนก่อน +4

    Basi vaa ninja na sura lako ilo.fitna tu mingi.masheikh wamejaa,kaa utoletee wanawake wenzio darsa,sio kujianika tu

    • @hamidamangara3199
      @hamidamangara3199 8 หลายเดือนก่อน +1

      Subhanallah huwezi kumnasihi mtu kwa lugha nzuri

    • @mariamkai2705
      @mariamkai2705 8 หลายเดือนก่อน +1

      Acha kumkosoa ,Hana mapambo kabsa huyo

    • @bakariomari4251
      @bakariomari4251 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kwanza ukute yeye mkewe yupo wazi hadi kichwa wanafki tu hawa eti elimu mitandaoni fanya kwako.

    • @faizunmohd9839
      @faizunmohd9839 8 หลายเดือนก่อน +1

      Subhanallah Allah atakuongoza

    • @zaharangonyani2206
      @zaharangonyani2206 8 หลายเดือนก่อน +1

      Tumia lugha nzuri ndugu yangu bi fatma ni mzuri sana kama hujui hana makeup na mtu mzima lkn kama bint wa miaka 20 ana nuru tangu duniani haya ww mwenzangu ?mche Allah