GPS: RAIS Ruto bado yupo KIKAANGONI! Wakenya wakerwa na ANASA za Viongozi, wataka AJIUZULU!

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 260

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 11 วันที่ผ่านมา +18

    Kipindi changu pendwa aisee mnanipa burudani na elimu kubwa sanaa we love you ❤️ SNS

  • @farusaimon3490
    @farusaimon3490 10 วันที่ผ่านมา +3

    Ni Bonge la Darasa! Hongereni sana na thanks 🙏!

  • @fahmanalbulushi2925
    @fahmanalbulushi2925 11 วันที่ผ่านมา +9

    Dj smaa umeongea kitu ambacho. Mm ninakifanyia research na kukiandika na Mada mnayonzungumza hapa ninkama mpo kwenye mind yang bigup

    • @Gody360
      @Gody360 10 วันที่ผ่านมา +1

      Unarusha wapi

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 11 วันที่ผ่านมา +14

    Wakenya wapewe maua yao tu 💐💐💐

  • @amriseleman9395
    @amriseleman9395 11 วันที่ผ่านมา +15

    SKY MUALIKE HAPO MPOKI BUYAMWANAGASYA, ISAYA BENSON MWAKILEMBE NA GPS TEAM KWENYE HIYO COVERAGE YA AFRICAN HISTORY HISTORY 👏

    • @user-hx2if3ep2m
      @user-hx2if3ep2m 10 วันที่ผ่านมา

      Comment yangu brother, 😂😂 Nasistiza Mpoki na Mwakilembe waalikwe tule miwa pamoja

    • @ilalikilimo440
      @ilalikilimo440 10 วันที่ผ่านมา

      Sema amualikee thabit mrangi yule ndio kasomea geopolitics na anafanana na hao.... Lile jembee

    • @GraceMashinga-be9wb
      @GraceMashinga-be9wb 10 วันที่ผ่านมา

      Yes thabit mlangi anatakiwa pia siku Moja moja

    • @bishweko
      @bishweko 10 วันที่ผ่านมา

      Asimuache pia Price Katega

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@GraceMashinga-be9wbMuda wake mchache sana yule, ni mhadhiri wa chuo kikuu Mwlm NYERERE.

  • @user-gb1hn5ml8y
    @user-gb1hn5ml8y 11 วันที่ผ่านมา +10

    From south Africa Durban tunawapata vizuri sana SMS tunaomba makala ya Sisi wakimbizi huku kwa serikali hii iliyopo maderekani tutaendelea Ku ishi vizuri kama Zamani maana kamata ime Kua nyingi kwa kipind hiki cha karibuni

  • @jonathanshamazi9821
    @jonathanshamazi9821 10 วันที่ผ่านมา +3

    Big love from Uganda 🇺🇬 GPS is the best

  • @graciouskazuri2327
    @graciouskazuri2327 11 วันที่ผ่านมา +8

    Nawapendaga sanaaa sns ❤watching from kenya

  • @hassanmkufya2867
    @hassanmkufya2867 11 วันที่ผ่านมา +7

    Historia ya mkwawa safi sana tuletee kwa kina. Nasikia alisilim huyo bingwa

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 11 วันที่ผ่านมา +6

    Yaani hii kitu Cha history imekaa vizuri sana

  • @user-ui1cj5re9k
    @user-ui1cj5re9k 11 วันที่ผ่านมา +5

    Hongereni sana tukopamojaa nawapenda🎉

  • @yasminmustafa2282
    @yasminmustafa2282 11 วันที่ผ่านมา +5

    Today l listened to dudubaya and he is very knowledgeable on kenyan politics l think inviting him as a guest to the panel on this issue would be good

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 10 วันที่ผ่านมา

      do you have that link or title nikamsikie kaka yangu? dada yako hapa toka Tanzania

    • @yasminmustafa2282
      @yasminmustafa2282 10 วันที่ผ่านมา

      ​@jedidahbam not sure which channel it was just type dudu Baya am sure itakua tu

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 10 วันที่ผ่านมา

      @@yasminmustafa2282 thank you sir

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 10 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤mnafanya kazi nzuri sana. Love tokea Kenya

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 11 วันที่ผ่านมา +6

    Tutasapoti innshaala kwamana tunapenda kujifunza Kila siku

  • @omarsheha566
    @omarsheha566 11 วันที่ผ่านมา +6

    Mimi Niko Netherland ila nikirudi kazini kama sijaona hamuja jadili hamujaweka kipindi chocolate TH-cam bas nakua sina amani maana mukiwa munakadili hizi GPs bas niona Africa kuna future ❤❤

  • @simonlunyelekwe5520
    @simonlunyelekwe5520 10 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤ sns🇰🇪🇰🇪

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 11 วันที่ผ่านมา +6

    Daah aisee leo nimefurahi sana kwa kugusia mambo ya kihistoria na tunayoyasoma mashuleni na vyuoni.
    GPS imulikie hili na mfanye kipindi kirefu, nadhani tutafaidika sana

  • @okoyostephen6335
    @okoyostephen6335 3 วันที่ผ่านมา

    I like the way you people express your opinions and analysis of current circumstances in Kenyan politics.Good job... watching from Eldoret Kenya

  • @hamimhassan9354
    @hamimhassan9354 8 วันที่ผ่านมา

    Tukiwa na nguvu in shaa Allah tuta support. Allah akuhifadhini na akuongozeni kila hatua zenu za maisha na maisha yenu.

  • @broamz
    @broamz 8 วันที่ผ่านมา

    Very smart people with a candid conversation. Kazi nzuri majirani

  • @yasminmustafa2282
    @yasminmustafa2282 10 วันที่ผ่านมา +3

    Also please note in kenya we have a new constitution so we are learning as we go

  • @esterkimath1214
    @esterkimath1214 4 วันที่ผ่านมา +1

    Waoo wapo vizur hawa

  • @matanohassan9667
    @matanohassan9667 11 วันที่ผ่านมา +4

    MI MKENYA MOJA KATIKA CHANEL PENDWA NI SNS NAPENDA SANA NEWS ILA SNS NDIO MAMA CHANNEL KWANGU NYENGINE PEMBENI NAPATA ILIMU AMBAZO SIKUWA NAZO SASA HIVI KATIKA KATIKA VIKAO VYA SIASA ZA WEST NA AFRICAN NIKIONGEA WATU HUNIULIZA NINESOMA WAPI NAWAMBIA NIKO ACADEMIC YA JD SMA

  • @MohamedSalum-kr6nz
    @MohamedSalum-kr6nz 10 วันที่ผ่านมา +2

    Yani tangu nianze kufatilia sns na mm kitaa na bishana kwa fact na wanakaa mpak wanajiuliz nimeanz kufatilia lini iv vitu kumbe kumbe na copy uku na pest kule😂

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 10 วันที่ผ่านมา +2

    Insha'Allah tuko pamoja One love
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    +254

  • @karirekinyana9759
    @karirekinyana9759 11 วันที่ผ่านมา +3

    Nawapenda sana ❤
    tunawafuatilia hapa Danmark ❤

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 10 วันที่ผ่านมา +1

    Sema Ali kaongea point nzuri Mabunge YETU yanatakiwa yaendelee nasisi wananchi tushilikishwe kwenye maamuzi ya kitaifa weka mkataba unda application tuzipigie kura hii inatakiwa ifanyiwe kazi 💯💯💯

  • @jafaribori5428
    @jafaribori5428 10 วันที่ผ่านมา +2

    DJ nakupata vizuri sana nipo hapa England

  • @nsabimanaabedi541
    @nsabimanaabedi541 11 วันที่ผ่านมา +6

    Kwali na wapata GPS

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 9 วันที่ผ่านมา

    Asanteni sana wote vichwa na Henry leo nampa maua yake kaua💐💐💐

  • @oscafrica1
    @oscafrica1 8 วันที่ผ่านมา

    Im proud of this crew guys.Keep it up

  • @adronicokalumna
    @adronicokalumna 9 วันที่ผ่านมา

    Mi lazima niwasaporti maana mnatudisha vingi sanaa big hug all member👊

  • @abel_esam
    @abel_esam 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nyinyi ni LULU kwa taifa hili
    Mnatupa maarifa ambayo tunakosa kuyapata sehemu nyingine
    You complement each other
    SKY you moderate the team very well
    DJ SMA and MWINUKA are the best kwenye kutengeneza hoja na kuwa watulivu na pia wanajua mambo mengi sana.
    ALLY MASUBI is also good, changamoto yangu ni hakubali ku-learn and ku-unlearn, lakini pia ana interrupt wenzake sana. Not all the time you can be right
    Nawapongeza Sana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 11 วันที่ผ่านมา +3

    Dj smaa ..na kaka sky..wakati mwingine mualikeni dokta sure mje mdiskasi kuhusu history ya Africa history ya binadamu nakazalika ..hata kuhusu mambo ya sayansi ya dunia ..yule jamaa dokta sure anamadini Sana mualike kwenye kipindi

  • @arkei4003
    @arkei4003 10 วันที่ผ่านมา +1

    Dj sma ......angali historia ya ruto vizuri utamjua 😂

  • @abrahamhabarugira2483
    @abrahamhabarugira2483 11 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi napenda sana ici kipindi niko Switezerland ndacangiya kwa kweli kitu tunapitiya uku Europ itakuwa Sawa

  • @sharifahabsi5004
    @sharifahabsi5004 11 วันที่ผ่านมา +2

    Pamoja frome Oman 🇴🇲

  • @mrdocta3106
    @mrdocta3106 5 วันที่ผ่านมา

    I agree with Ali, mfano kwa Korundiil bendera ni bendera. Ndege ya abiria ni bado ni ndege kwa kirundi. Mfano mwengine ni kiswaili tu nasema miaka kwa Kirundi ni imyaka! Kuna maneno mengi sana…. Msalimie Mzee wa Facts and Logic. From 🇨🇦 ila asili ni mbirundi

  • @fahmanalbulushi2925
    @fahmanalbulushi2925 11 วันที่ผ่านมา +3

    Na kuhusu kalenga nimefika ni pahala pazuri Sana

  • @Gody360
    @Gody360 10 วันที่ผ่านมา +1

    Yaan mnaongea point kinoma kama ungepata nafasi serikalin upande wa ushauri mmgeupiga mwingi sana 🫡

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 10 วันที่ผ่านมา +1

    Baada ya kuangalia mahojiano na Mh W.Ruto na waandishi wa habari natamani kuona SNS siku Moja watakaa kama ule mdahalo Amen

  • @mathayobmasunzu278
    @mathayobmasunzu278 10 วันที่ผ่านมา +1

    Introduction nzuri san...

  • @yasserhumphrey3295
    @yasserhumphrey3295 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nawaelewa sana wachambuzi, wakenya wakimpoteza Ruto watajuta, sababu namuona ni mtu mwenye maono ya mbali kama mwendazake awamu ya 5 wa Tz 😭😭😭

    • @MamyHamso
      @MamyHamso 11 วันที่ผ่านมา +1

      Mchukue ww akuonee wewe hayo maono😢

    • @yasminmustafa2282
      @yasminmustafa2282 10 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 10 วันที่ผ่านมา

    Nategemea Kufungua studio nikimaliza chuo. Henry lazima awe wakili wangu.(mwanasheria) yupo smart sana. Wenzake wakiongea anakaakimya kabisa sio anapata mhaho wa kutaka kuongea. Wote wapo sawa ila HENRY taaluma yake nntataka niitumie kwa kweli. Me ni Marketing degree holder mmoja ivi.❤

  • @billskeez92
    @billskeez92 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu awabariki sana Crew ao TEAM yenu iendelee kuwa hivo, MUNGU aepushe tu hewa mbaya isije tokea

  • @EliaSinkala-ou7po
    @EliaSinkala-ou7po 6 วันที่ผ่านมา

    This is so amazing guys🔥

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 10 วันที่ผ่านมา

    Henry has a point here 1:05:07- 1:16:21

  • @bishweko
    @bishweko 10 วันที่ผ่านมา

    Nashukuru sana kwa GPS hii. Nimejifunza mengi.

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 10 วันที่ผ่านมา

    Sema Henry Mwinuka anajua sana

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 10 วันที่ผ่านมา

    Intro ya leo nimeipenda sana. ❤❤

  • @3erffeoui86
    @3erffeoui86 10 วันที่ผ่านมา +2

    CC AFRICA HISTORIA YENYE IKO NI YA RWANDA NA UGANDA YA IDI AMINI TU

  • @3erffeoui86
    @3erffeoui86 10 วันที่ผ่านมา +1

    sasa hiyo mzee jomo kenyatta na moi ndio walianzisha apa kenya
    ndio maana hizo family mbili ndio tajiri na karibu arthi yote ya kenya wana miliki

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 10 วันที่ผ่านมา +1

    Round-table ya President Ruto na kina Linus mmeiskia ndugu zangu? tunaomba basi hiii mlete humu tuskie. alafu mkiweza tafuteni Mkenya muweze mpigia simu kwenye hiii discussion..that would be so cool

    • @kevicristian2738
      @kevicristian2738 10 วันที่ผ่านมา

      Mwijaku wa Kenya yule au?😂😂😂😂😂

  • @piussogoye
    @piussogoye 11 วันที่ผ่านมา +1

    wana sns mpo vizuri sana, Tanzania na Afrika kwa ujumla tunaponzwa na ukoloni mamboleo,, mfumo huu wa elimu tumeletewa, kama tungelikua na mfumo mzuri wa elimu elimu Hawa mashujaa wetu tungeliwaenzi kwa kuwasimulia vizur

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ruto must Go

  • @adamhatibu9993
    @adamhatibu9993 10 วันที่ผ่านมา

    Makin sana

  • @christianfinda7269
    @christianfinda7269 10 วันที่ผ่านมา

    Asante sn wana sns,nmeguswa sn na hiyo historia ya ma chief wetu...plz muingie deep zaidi tutawa support

  • @mwl.michaelsainethmlowe2641
    @mwl.michaelsainethmlowe2641 10 วันที่ผ่านมา

    Noma sana huku dododo!

  • @adnanomary1955
    @adnanomary1955 10 วันที่ผ่านมา

    Big up sana brothers

  • @mussamkanga3329
    @mussamkanga3329 11 วันที่ผ่านมา +1

    Salute GPS

  • @ilalikilimo440
    @ilalikilimo440 10 วันที่ผ่านมา

    Brother sky mtafuteee jamaa mmoja anaitwaa thabit mrangi ni mzuri sana kuchambuaa mambo ya geopolitics very interesting.... Ajee aongezee nguvuu hapoo mtakuwaa mko full...

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 11 วันที่ผ่านมา +1

    Zakayo must go 💔💔🇰🇪🇰🇪

  • @frankmushendwas37
    @frankmushendwas37 10 วันที่ผ่านมา +1

    Sky dj smaa ally mnafanya kazi nzuri sana yani mm mmenifanya nisiangalie tv wala chochote nikikosa gps nahisi kukosa raha kabisa

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 10 วันที่ผ่านมา

    Nawapenda sana wote big up sana wakali

  • @3erffeoui86
    @3erffeoui86 10 วันที่ผ่านมา +1

    hii katiba tuna tumia sahii ya 2010 ruto alikua anaipiga kwa kupiga NO wakati HIZO ni kibaki na raila ndio walisukuma sana ikapita

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 11 วันที่ผ่านมา +2

    Kiukweli tutawasapot GPS na SNS coz tunawakubali sana

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 11 วันที่ผ่านมา +2

    Ally mnigeria kweli ka change topic faster 😂

    • @mpjozzegalvanize4926
      @mpjozzegalvanize4926 10 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 aliona wanaenda mletea chawa wa migration

  • @Agath45
    @Agath45 11 วันที่ผ่านมา +1

    Pamoja sana nitasapoti

  • @yasminmustafa2282
    @yasminmustafa2282 10 วันที่ผ่านมา +1

    Dude does not even obey court orders..the judiciary declared the housing levy unconstitutional....huyu aende..we are tired

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 10 วันที่ผ่านมา

    mmenichaniua wasee✌️

  • @zulekhasaeed6046
    @zulekhasaeed6046 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ninasapot sana nikikanyaga tu tanzaniya nitasapot nduguzagu

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 10 วันที่ผ่านมา

    Brother's mambo ni mengi, kwanza mimi napenda Tujizoeshe kujita WABANTU kwanza na sio WA AFRIKA
    NA mukianza nyinyi apa sns itakua mwanzo mzuri wa kujikomboa.
    Chengine serekali zetu zinaongz kwa uwongo mwanzo hadi mwisho hakuna chengine, ndio maana historia ipo lakn wanadanganya. Wala hawajali.😢

  • @michaeljuma7764
    @michaeljuma7764 10 วันที่ผ่านมา

    Big up guys🎉

  • @user-vt2oj3sr4k
    @user-vt2oj3sr4k 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awape nguvu kutupa elim natutakua pamoja.

  • @yvesgrace_z7152
    @yvesgrace_z7152 11 วันที่ผ่านมา +1

    🔥🔥🔥❤

  • @Cabosport
    @Cabosport 10 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda hi historia 🇲🇿 nachangia shilingi 1.000

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 10 วันที่ผ่านมา

    Freddy Kuna min spiker kwaajili ya laptop unaweza ukatumia kwaajili ya kuongeza sauti lakini pia wakati wa editing unaweza ukaiweka ikaungana na video yote

  • @ChumanaSusi
    @ChumanaSusi 10 วันที่ผ่านมา +1

    Ruto mwizi na fisadi mkubwa tumemkataa. Mtu anongeo urongo kila siku na kufyonza pesa zetu. Tunataka sisi 🇰🇪 kujua kodi zetu zinaenda wapi,mikopo tunalipa ilifanya nini? Total audit ya deni yetu ndiyo tunataka period. Kisha ruto akanyange chini

  • @ShabanNyange
    @ShabanNyange 9 วันที่ผ่านมา

    Mabrooh mnamadini sana,Wanaotuongoza hatukuwachagua na tunaotaka wawe viongoz wetu Hawatakiwi na mfumo😢

  • @mohamedrashid6578
    @mohamedrashid6578 9 วันที่ผ่านมา

    Katika sehem pia tunapenda kujua historia yake ni KILWA

  • @fistonmakasi3803
    @fistonmakasi3803 10 วันที่ผ่านมา

    Kesho njoo mach

  • @Eng2460
    @Eng2460 11 วันที่ผ่านมา +1

    🎉🎉

  • @sarahonguso6187
    @sarahonguso6187 9 วันที่ผ่านมา

    Changing a Kenyan constitution is not easy, you have to go to the people and do what we call Referendum.... And going for referendum, is a lot of money.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 11 วันที่ผ่านมา +1

    Unajuwa dj sma mambo mengine yani yanatia hasira sana mambo ya uwongoz wakiafrika wanakuwa sio waadilifu..wanatia hasira kwer iv..yan wanakula keki yataifa wenyewe viongozi wakati wananchi wanahari mbaya..alafu wanatulimbikiza madeni makubwa mpaka wanatutia maden..wakati wao ndo wameenda kuchukua bila kutushirikisha...yan ni mambo ya ovyo sana hawa viongoz..yan yanatia hasira sana

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 10 วันที่ผ่านมา

    KAZI SAFI SANA, NAWAKUBALI

  • @shijakuligi2674
    @shijakuligi2674 10 วันที่ผ่านมา

    sawa nimekuelewa sana na vizuri mnoo sasa naomba kujuwa kutoka kwako ndungu zangu wana gps je hamuoni ulazima wa nyinyi kuweka historia ya kweli kwa kizazi kijacho? na siyo kusema bila kuweka kwa faida hijayo mwisho na wapenda sana na kuwa kubali kwa dhati yangu...

  • @billskeez92
    @billskeez92 10 วันที่ผ่านมา

    Bro Sky ni ndoto ya mda mrefu naona Sns one day itakua Radio&TV ila sijui itakua lini,Lakini one day kitu hiyo itatokea moyo wang na ndoto zangu zinanambia hivo

  • @novusengineering_tz4523
    @novusengineering_tz4523 10 วันที่ผ่านมา +1

    Wachambuzi wote wa GPS peponi😂😂😂😂....wa kwanza kuingia n mwanasheria wetu, umetema nondo vibaya mnooooo....anafaa kuwa mshauri wa Ruto na kenya

  • @dunstunnchimbi7994
    @dunstunnchimbi7994 10 วันที่ผ่านมา

    Nakuja kuungana tena na Ally Masubi katika hili. Ruto mwenyewe alisema kwa kama angepata nafasi ya kuwaelekeza wakenya nini kipo kwenye mswada huo wa fedha basi wakenya wangemuelewa na kuupitisha. Ndo mana nasema naungana na Masubi kwasababu yawezekana kwenye chama chao ambacho ndicho kiliunda serikali ya Ruto walikubaliana ndani ya chama wapitishe mswada huo wao wakiamini kwa maslahi mapana ya taifa. Kwahiyo mpaka hapo Ruto na chama chake pamoja na wabunge wake hawawezi kujitoa kwenye hiyo lawama.

  • @SerahGlam
    @SerahGlam 10 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @sarahonguso6187
    @sarahonguso6187 9 วันที่ผ่านมา

    Those members of parliament you're blaming, remember they were forced by being bribed 2M, to vote yes 😮😮😮

  • @joely58
    @joely58 10 วันที่ผ่านมา

    Subiti

  • @MariamMasunga-v7n
    @MariamMasunga-v7n 9 วันที่ผ่านมา

    Kiukweli yote mliyosema ni mazuri lakini lazima mfaham ukoloni Bado unaedelea Kwa njia zingine

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 10 วันที่ผ่านมา

    Sky,Ally,sma,Mwinuka, hongereni sn mumeanza kw kuongea kitu muhimu kuliko hiyo mada ya. Leo.hakuna uyatina umasikini lkn ujinnga km kuficha kufundisha historia ya ukweli ktk mashule na badala yake kupotosha haya ni maradhi yanayyofugwa ambayo mwisho wake ni kifo,lkn nii Zaidi ya ukoloni.

  • @aloycekomba1
    @aloycekomba1 10 วันที่ผ่านมา

    Kaka sky naomba nafasi nijitolee kufanya kipindi cha michezo

  • @salumadam2862
    @salumadam2862 10 วันที่ผ่านมา

    Dar Ina uma sana😢

  • @NuruAiwen
    @NuruAiwen 11 วันที่ผ่านมา +2

    Natamani siku mzungumzie historia ya mashujaa wetu wa tanzania

  • @bishweko
    @bishweko 10 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂Dj sma umenigusa . Yaani hata wasanii wetu wote. Hakuna ayewaza kaa Mchina anavyo igiza Gwarila war. Wasanii wetu historia zao ni Mapenzi tuu.

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kwenye ufisadi akikutwa kiongozi waweke sheria ya kukatwa kichwa

  • @abdallasaid5593
    @abdallasaid5593 11 วันที่ผ่านมา +1

    Watching from Kuwait....Ruto has not delivered anything... hatuna Imani na yy