TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • SEE HOW TANZANIA ARE REACTING ON ONGOING KENYAN PROTEST

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @emmanueltemu3606
    @emmanueltemu3606 3 หลายเดือนก่อน +9

    Ni kweli Kenya wako vzr saana kielimu,ss tuliwafukuza waingireza baadae ya kupata Uhuru,,kwelirieee

  • @RozzyGoldmukami
    @RozzyGoldmukami 2 หลายเดือนก่อน +8

    I saw a clip where Tanzanian journalist asked their president samia about new constitution for TZ,the response made me realise that we are very different neighbours.

  • @brevanskimunguiwalukana7847
    @brevanskimunguiwalukana7847 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kenya unaeza pata shamba boy ni University Material

  • @ElizabethOsimba-x6u
    @ElizabethOsimba-x6u 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sisi Kenya Kila kukicha akili inaongezeka,,ss tunasoma Kila cku😂😂,sio lazima twende shule,akili ya kuzaliwa tunayo😂😂

  • @feswal22
    @feswal22 2 หลายเดือนก่อน +7

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪😂😂😂😂 Kenya, tunajielewa hakuna kulala

  • @Aswan-f8r
    @Aswan-f8r 2 หลายเดือนก่อน +7

    Dudu baya much love from Kenya , Kenny's they have respond to your speech you are so grateful man guys like back tujuane kwa kugonga like Apo chini 👇❤😂

  • @dickisoniryoba3989
    @dickisoniryoba3989 3 หลายเดือนก่อน +4

    Umeongea sana kaka dudu ..tz ..bado tumelala usingiz mzito ndomana viongoz wanatuamulia ..kila kitu ....sukali tununue ekfu 10 kwa kilo sawa tu Petroli tununue 5000 lita sawa ....sisituko busy na yanga .na simba ...😂😂😂😂ila tz 😂😂

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 2 หลายเดือนก่อน +9

    NAOMBA MLIO MWELEWA MWAMBA TUMPE LIKE ZAKE HAPO😂

  • @charlesmusyoka5890
    @charlesmusyoka5890 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mtuache sisi wakenya tung'oe Ruto kwenye ikulu kwanza. Tutafika TZ baadaye tuwafunze katiba.

  • @sandyravin254
    @sandyravin254 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ndio unaona atuezi ama kenya we love our country . Respect 🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @andrewtuva7797
    @andrewtuva7797 3 หลายเดือนก่อน +6

    Your contribution is realistic Andrew from Kenya.

  • @SelemanAthumani
    @SelemanAthumani 2 หลายเดือนก่อน +9

    Nikweli unaloongea Sheria atuijui wengi

  • @cristalclear2499
    @cristalclear2499 2 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu jamaa ametuelewa sana sisi. Huyu ni kati ya wale watanzania wako na akili timamu pila chuki yoyote.

  • @austinegambo2922
    @austinegambo2922 2 หลายเดือนก่อน +6

    In Kenya everybody knows his rights and what is expected from the government.

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tanzania tunawaza yanga na Simba tu na kucheza vigodoro

  • @lalaloena3170
    @lalaloena3170 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huo ni ukweri kabisa! Mimi sio mkenya lakini nillishi huko miaka takriban 20! Nilisomea huko pia! Kenya ni Nchi ngumu kuliko hata Nigeria! Kila mtu ni mjuaji!

  • @FaithMackena
    @FaithMackena 3 หลายเดือนก่อน +4

    THANKS SO MUCH FOR SPEAKING GOOD ABOUT KENYA 🇰🇪 NI KWELI KENYA'S WE ARE DIFFICULT

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wabongo ni ngono pekee wanajua na uchawi

  • @shimronnetia
    @shimronnetia 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya tunataka kukomboa Tanzania.. tunataka tusimame pamoja na tumalize viongozi bure hapa East Africa!!!

  • @agripinahwanyama3628
    @agripinahwanyama3628 2 หลายเดือนก่อน +6

    Dudu umeanguka nayo kabisaa😅

  • @martinnjeru3191
    @martinnjeru3191 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wakenya hatutaki upuzi,tunataka uwajibikaji ❤❤❤

  • @johnamani1461
    @johnamani1461 3 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂 wakenya tushakupata karibu Kenya ndugu yangu ❤❤

  • @PaulWafula-w2e
    @PaulWafula-w2e 2 หลายเดือนก่อน +5

    That's true bro,huku kwetu haki za binadamu zinafundishwa mitaani,tena unafundishwa haki yako na unapewa sitting allowance,huku kila mtu anajua haki zake

  • @ko3053
    @ko3053 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania is a real Nation State.
    Keep up your Unity and Non TRIBAL nature.
    Your country is in a good place under a clear leadership philosophy.
    Hio elimu ya Wakenya inayo zungumzwa hapa - INA FAIDA GANI ikiwa UKABILA TELE na Daamu kumwagika kila siku?

  • @nibeeboy6482
    @nibeeboy6482 2 หลายเดือนก่อน +7

    Dudu baya njoo uwe mkenya..umechambua vizuri sana..huku kenya hata mama nitilie ana degree

    • @samnice5ify
      @samnice5ify 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni mmoja wetu. Alifuzu kimaisha nchini Kenya.

  • @japhethbaalinda1756
    @japhethbaalinda1756 3 หลายเดือนก่อน +7

    ndiomaana bandali imeuzwa na mbuga za wanyama alafu tunasema mama kaupiga mwingi

    • @emmanuelmdawida504
      @emmanuelmdawida504 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @ascot.reception
      @ascot.reception 3 หลายเดือนก่อน

      Mungojeeni Roma mkatoliki aimbe mpige makose.Kwa hili mtasubiri sana watanzania

    • @w4058
      @w4058 3 หลายเดือนก่อน

      Hahaha Japheth big up mijizoga ndio inayopinga maneno ya maana

  • @saidnassormohammed9589
    @saidnassormohammed9589 3 หลายเดือนก่อน +5

    Leo umeongea vitu vya maana watanganyika wengi ni wajinga bado

  • @kennedymuchoki5208
    @kennedymuchoki5208 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya hutupendi ufala kuchezewa akili na viogozi. Hio ni laa asha. Tutawakosoa hadi msaaalani. We pay them n not the other way around.

  • @mosesnjaugrace3022
    @mosesnjaugrace3022 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hapo ni kweli wakenya wamesoma sana. Na wanajua haki zao kabisa.

  • @ascot.reception
    @ascot.reception 3 หลายเดือนก่อน +8

    I'm a kenyan and I do agree to this guy.Us here in kenya,we are fully sensitized about our rights as citizens.Even when our stupid president is lying tutamwambia openly,pole unatudanganya.Tanzania tunawaomba mtafute wakati and fight for true democracy.

  • @abrahamlainialex9683
    @abrahamlainialex9683 3 หลายเดือนก่อน +7

    Dudu baya njoo upo Sawa baba kaka upo sawa all from Kenya

  • @barazamatibila8412
    @barazamatibila8412 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi ni Mukenya nakubalian nahuyu ndugu amesema ukweli mtupu tena anaelimu kubwasana.

  • @JabamanJeve2015
    @JabamanJeve2015 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sisi kwetu tuko mandugu kumi naTano.
    Tukiwa kumi tumemaliza UNI.
    Na sisi ni wakenya Wasomali

  • @maryisler1924
    @maryisler1924 2 หลายเดือนก่อน +4

    He talk well Supporting ndundu mbaya... Go ahead mwezetu. God bless you. Ishalla

  • @OmarNuri-w7v
    @OmarNuri-w7v 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kenya is leading interms of democracy east and central Africa,tumekomaa kidemokrasia our democracy is in another level.

    • @rukoranyangabo9128
      @rukoranyangabo9128 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kama democracy n'iukabira matusi, kuchoma bunge Mungu aiputishembali.

  • @fundimangungu-kd9rn
    @fundimangungu-kd9rn 3 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂 dudu Baya the great, ATI hata mama ntilie Yuko na digilii ....siasa ngumu duniani 😂😂😂 Thank you bro

  • @kingngojea
    @kingngojea 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kwer uricho sema kabisa dudubaya elim apa bongo ndio tatizo

  • @JuliusKale-b9m
    @JuliusKale-b9m 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kiwango cha juu cha elimu si kuanzisha machafuko bali nikutatua changamoto za nchi

  • @suhailmasoud7891
    @suhailmasoud7891 2 หลายเดือนก่อน +5

    Tanzania hawana lolote porojo tupu kama ss Tanzania tungekua hv tungefika mbali sna

  • @rodgersmuyechi5102
    @rodgersmuyechi5102 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kenya n inchi ya wajaja viogozi n wakora,kubuka hustlers vs dynasty na yenye Yana fanyika sahi,katiba yetu Ina ruhusu serikali kuwajibika,Kama sahi Kuna Vita Kenya wabuge Wana pitisha bill ambazo zina tugandamiza,ndo tunasema #ruto must go

  • @Blackboy_Africa
    @Blackboy_Africa 2 หลายเดือนก่อน +6

    Tanzania hakuna education ya kuwafungua akili ndio maana viongozi wenu wanapeleka watoto wao kusoma nje...afu nyie mnasoma shule za government zenye zinawafundisha mambo yasiyo ya faida

    • @hassanihamisi6239
      @hassanihamisi6239 2 หลายเดือนก่อน

      Ww unaakiri nyinyi kenya amna akiri wote bangi zinawaribu kenya kunawasomi sio mwenye akiri msomi na mwenye akir watu tufaut kirakitu unatakiwa utumie akiri sio usomi

    • @kitaaofficial4119
      @kitaaofficial4119 2 หลายเดือนก่อน

      That's true brother✅️

  • @JudyPatience
    @JudyPatience 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya we are hero's,wapi nduru weweeeee.........

  • @EricUbalijoro-x1l
    @EricUbalijoro-x1l 2 หลายเดือนก่อน +5

    Umeongea point muhimu elimu nayo muhimu tz wapowapo tu kama mazombi

  • @Robust78
    @Robust78 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe Dudu ni mtu very understanding. Aliyoyasema ndiyo ukweli halisi na viongozi wanautumia umbumbumbu wa wananchi wengi kutojua lolote na kuamini kwao kuwa siasa haiwahusu. Itatuchukua muda mrefu sana.

    • @Majitamsanja
      @Majitamsanja 3 หลายเดือนก่อน

      VERY SMART DUDU BAYA. POLITICS HAS EVERYTHING TO DO WITH US ORDINARY CITIZENS. WE CAN'T BE IN A STATE OF I DON'T CARE. GOVERNMENT OFFICIALS AND PARLIAMENT IS MAKING DECISIONS AFFECTING OUR EVERY LIFE. EVERY TANZANIAN AS TO STAND UP AND ASK QUESTIONS ON GOVERNMENT MATTERS AND WHAT ELECTED MEMBERS OF GOVERNMENT ARE DOING 🇹🇿. OUR IGNORANCE IS SENDING US TO THE BOTTOM PIT OF LIFE AND DEVELOPMENT. WAKE ⏰ PEOPLE AND AFRICA 🌍. LOOK AT IBRAHIM TRAORE.

  • @4custaywithme
    @4custaywithme 3 หลายเดือนก่อน +4

    SPICE FM SIKIZA TU YALE MAZUNGUMZO YAMO HUMU UTAJUA HUYU MSANII ANASEMA NINI.

  • @SYMONNYANGACHAONYONI
    @SYMONNYANGACHAONYONI 2 หลายเดือนก่อน +4

    Apo tz ambiez rais alete free education ndo kila mtu asome. Najua watanzania wengi hawakasoma si eti wanaogopa masomo ni kwa sababu karo iko juu.
    Mimi cjatoka kwa familia yenye pesa lakini free education kwa shule ya upili ilinisaidia sana na ikaniwezesha kuingia chuo kikuu. Kwa ivo its high time wanainchi kuweka matakwa yao kwa viongozi wanaowachagua.

  • @husseinally6699
    @husseinally6699 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tanzania kwa sasa wengi hawasomi chuo wanaishia form six kwa sababu ya karo hawana

  • @msafiri85
    @msafiri85 2 หลายเดือนก่อน +3

    TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA....... Wou what a caption!!!! Yaani Dudu baya anawakilisha Watanzania???? Jamaa hajuwi anacho ongea. Si kweli kwamba Wakenya wote wanaijuwa KATIBA. Shindeni vita yenu!!!!

  • @johnmotheproject8719
    @johnmotheproject8719 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dudu umesema ukweli ss kenya kila kitu serkali ili ifanye lazima tukipige msasa

  • @hoseastephen4508
    @hoseastephen4508 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ameongea ukweli tupu Watanzania tunapenda vitu visivyoumiza kichwa kutokana na asilimia kubwa kukosa elimu na hata wenye elimu wengi wao hawajaelimika na huo ndio mtaji mkubwa sana wa wanasiasa. Wanasiasa hawapendi watu werevu, wanaofatilia masuala ya msingi na wenye kuhoji kila kitu. Jamii yetu waambie tu mpira, udaku na muziki hapo umemaliza kila kitu.

  • @Gamba177
    @Gamba177 3 หลายเดือนก่อน +6

    Watanzania wote maiti hawana ujanja watakandamizwa mpaka kiyama, Mwigulu karibu ataleta kodi ya kujamba

    • @AminaMuhammad-c7v
      @AminaMuhammad-c7v 3 หลายเดือนก่อน

      @@Gamba177 maiti niwewe nyau

  • @fatimafatuma4848
    @fatimafatuma4848 3 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂wakenya hoyeeeee❤❤❤❤❤❤❤

  • @lucylight9341
    @lucylight9341 3 หลายเดือนก่อน +4

    Umenena ingawaje nahofia jinsi wakenya tumesoma sana but twafanya kazi ya vibarua kweli hakuna kazi but anything to do with law kika mkenya ni msomi. Hatudanganyiki virahisi . Shinda kubwa iko hapa sasa wen every one is educated then the leaders cant do anything the way they want sababu walio chini wanaelewa wanafinyiliwa.
    Heli wanjinga kwingine at least .but we thank God 🙏 alitupea hekima tu. Hope hivi vita vitakoma siku moja . Wakenya hooooeeeee👊💪💪

  • @chriswamahiu8751
    @chriswamahiu8751 2 หลายเดือนก่อน +4

    I thought Dudu Baya was just a musician? How does he know all this, and how does he know about Kenyan politics and politicians? Must love the guy

  • @everlineakinyi72
    @everlineakinyi72 3 หลายเดือนก่อน +5

    I'm Kenyan... I like your reasoning

  • @tumpesoletipis1310
    @tumpesoletipis1310 2 หลายเดือนก่อน +6

    Tanzania wako na amani lakini hawana haki

    • @patrickkamaumugwe1341
      @patrickkamaumugwe1341 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amani yaeza kuwa ukandamizaji kama hujafungua macho

  • @agesag.m2476
    @agesag.m2476 2 หลายเดือนก่อน +6

    You are right bro🎉🎉🎉.

  • @stephenouda3509
    @stephenouda3509 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli KABISA, mimii ni mkenya, asante kaka, kweli kabisa

  • @eduhscott5998
    @eduhscott5998 2 หลายเดือนก่อน +5

    Watu hawapendi ukweli huyu kaka anaijua kenya kimwenyeji ndivyo tulivyou hapa kenya

  • @dank.b4123
    @dank.b4123 2 หลายเดือนก่อน +4

    ...I'm a Kenya.That true boss you're right every of us know his right under Chapter 4 of bill of right... Then under article 37 of our constitution each one of use have right to demonstrate peacefully.... The article 24 ....

  • @rosendunge4217
    @rosendunge4217 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani hamjui Africa 🌍 iko ndani ya Kenya 🇰🇪?kwa ujumbe wenu kiongozi wa Africa 🌍 yote..kama tz ni githurai tu na burudi ni korogocho tu..Kenya 🇰🇪 sisi ndio simba 🦁 wa Africa 🌍

  • @marykanyi4953
    @marykanyi4953 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani vitabu vya katiba hamna kwa maofisi ya Uma hapa kitabu cha katiba ni bure kupata twajisomea sisi

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 2 หลายเดือนก่อน +5

    True. Sisi waTz tumefutikwa ujinga wa ajabu

  • @AbduellHiyesa-wk8dl
    @AbduellHiyesa-wk8dl 3 หลายเดือนก่อน +4

    Its true brother from Tz tell them to know there right ✅️

  • @sammymwangi5216
    @sammymwangi5216 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tanzania ni bure waoga nyinyi kabisaa Kenya hoyeee

  • @ClarensJebet
    @ClarensJebet 3 หลายเดือนก่อน +4

    Karibu Kenya ndugu bado unanuka na itanuka zaidi, heri tufe wote.

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tanzania hatujuwi chochote kuhusu selikar lakini laiya wa Kenya Masha Allah ❤

    • @user-ic7felix
      @user-ic7felix 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kenya mtoto anaaza kusoma shiria na miaka kumi ama nane hapo sas uwezi imba chochote

    • @SiriNkya-z9m
      @SiriNkya-z9m 3 หลายเดือนก่อน

      @@Rehema-h6t unaweza kusoma ukakosa busara akili ni ywele kila mtu Ana zake,na kusoma sio kufaulu maisha

    • @SiriNkya-z9m
      @SiriNkya-z9m 3 หลายเดือนก่อน

      @@Rehema-h6t Tanzania ni nchi ya amani na serikali ni wewe ulieandika hii meseji hamasisha upendo maisha ni hayahaya wakenya ni wavivu itawakost

    • @AminaMuhammad-c7v
      @AminaMuhammad-c7v 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-ic7felix sio shiria ni sheria

  • @DominicOjwang
    @DominicOjwang 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dudu mbaya unajua siasa ya kenya tena unajua viongozi wote thanks bro

    • @davidbochela1441
      @davidbochela1441 3 หลายเดือนก่อน

      @@DominicOjwang Anawasaidia ulimbukeni wa kisomo kisicho na faida,kama mnaweza rudisheni grabbed land iliyoporwa na wanasiasa toka uhuru nitawaona wa maana..ardhi imekaa barely while majority mmebanana kwenye slams,bei ya mkate ikipanda mnachoma Kila kitu, kwetu mkate ikipanda naenda kulima viazi,shamba ninalo.Change your policies acha ubishi.

  • @sule_imani
    @sule_imani 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wa Tz bado hampo tayari. Huwezi kupigania haki msizojua mnazo. Cha kwanza, mjielimishe. Huku Kenya, wanasheria walichambua ile katiba wakairahisisha na ikasambazwa kwa WhatsApp. Tulipokuwa tunaingia mitaani tulijua tulichokuwa tunakipigania ndipo uwoga ukaisha. Mjinga akifinyika vya kutosha anafunguka macho anawacha kuwa mjinga

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya kusoma sheria na katiba yetu huwa tunaaza kusoma kutoka class 6

  • @abrahamlidholm9007
    @abrahamlidholm9007 3 หลายเดือนก่อน +3

    Elimu ya shule nchini Kenya ni bora kuliko Tanzania. Machafuko nchini Kenya yamezuka kwa sababu ya masa ya elimu ya kuwataka viongozi wafisadi katika serikali yao. Tanzania ina umati mtulivu kwani hawaruhusiwi kujieleza kwa uhuru, au kuandamana bila kupitia mashine nzito ya urasimu. Kupunguza umati wa watu wenye elimu na kuzuia uhuru wao wa kujieleza hufanya iwe rahisi kwa utawala kutawala bila kusumbuliwa.

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani hua ckuzote nilikua nakuelewa kwa mbaaali ila Leo nimetambua umuhimu wa mazungumzo yko

  • @user-ic7felix
    @user-ic7felix 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ukweli kabisa kaka karibu Kenya

  • @michaelwanyama541
    @michaelwanyama541 2 หลายเดือนก่อน +4

    Very true, Kenya is very enlightened than most eastern Africans.

  • @OmarNuri-w7v
    @OmarNuri-w7v 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya is a Democratic country not like Tz , Kenyans wanajua haki yao ya kikatiba don't compare kenya and tz

  • @kennedysuwa5910
    @kennedysuwa5910 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe acha uongo wale wakenya wana njaa kula chakula ni shida

    • @nastehasheikh8454
      @nastehasheikh8454 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ukweli kabisa kaka

    • @ETHANKIBET-s5q
      @ETHANKIBET-s5q 3 หลายเดือนก่อน

      Im a kenya we don't lack food or anything but striving to our gaols​@@nastehasheikh8454

    • @stephenmwaniki2803
      @stephenmwaniki2803 3 หลายเดือนก่อน

      Ulikua Kenya lini ukanjua hatuna chakula stupid

    • @alimasha-qh3vn
      @alimasha-qh3vn 3 หลายเดือนก่อน

      Dudu baya wewe unajuwa kuongeya ukweli mtupu

    • @user-ic7felix
      @user-ic7felix 3 หลายเดือนก่อน

      Kenya hakuna njaa kaka,,ni wizi tunakomesha

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dudu Baya unaongea pointi tupu! Wakati wa Bajeti Sisi tulikuwa bize na uhamisho wa Cloutus Chota Chama😂😂😂😂😂😂

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 2 หลายเดือนก่อน +5

    Siasa Kenya ni donda sugu.

  • @hategekimanamariespeciose5701
    @hategekimanamariespeciose5701 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kabisa wakenya nakwambia😢😢😢

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 3 หลายเดือนก่อน +3

    Umeongea ukweli mtupu dudubaya nimekubali sisi tanzania tumenyimwa elimu ndomaana hatujui hakizetu

  • @AquinoChogo
    @AquinoChogo 3 หลายเดือนก่อน +7

    All Kenyans let's gather here

  • @MagretMakokha
    @MagretMakokha 3 หลายเดือนก่อน +4

    But in every thing peace is important than anything else

  • @Esendi564
    @Esendi564 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kenya sio akina honzaambeee

  • @bhaijanali5092
    @bhaijanali5092 3 หลายเดือนก่อน +4

    Leo umeongea point

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kenya kisiasa iko moto sana.wananchi wanajitambua mno.Tofauti na nchi wanazotawala maiti.

  • @michaelngethe3108
    @michaelngethe3108 2 หลายเดือนก่อน +4

    Twaelewa enyi wa 🇹🇿 mna kijicho dhidi ya maendeleo nchini mwe2 🇰🇪,wikeni lkn cha muhimu mtachoka,jirani bwege!

  • @ellynnko6567
    @ellynnko6567 3 หลายเดือนก่อน +4

    Acha uongo mie nimeolewa kenya sema standard 8 yao ni form six yetu

    • @chingaboy1149
      @chingaboy1149 3 หลายเดือนก่อน +1

      Weee nawee 😂😂😂😂unaongea kina ukijijibu

  • @lyciakavumbi7294
    @lyciakavumbi7294 3 หลายเดือนก่อน +7

    Team +254 let's gather here. 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 #HAKI IWE NGAO.

  • @lopetoetaan6204
    @lopetoetaan6204 2 หลายเดือนก่อน +4

    Watanzania ebu mjaribuni dudu mbaya mara moja tukamuone maneno yake, namcheki amepikwa akapikika kwa siasa.

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania ukishamchagua kiongozi anakuwa BOSS wa mpiga kura . Kinyume na Kenya raia ndio BOSS wa kiongozi aliyechaguliwa

  • @SajjBizness
    @SajjBizness 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa ameisoma kenya ki ukweli,and thats true..what he says..its real

  • @joghindahsingh8420
    @joghindahsingh8420 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yani kwa pakiti ya juu mchele ni Basmart ndani ni sindano kubaabako oe mwandishi unaeka picha ya samia afu unatuletea dudu baya

  • @kennedymabongo6223
    @kennedymabongo6223 2 หลายเดือนก่อน +5

    On point kabisa

  • @eunicewaiyaki670
    @eunicewaiyaki670 2 หลายเดือนก่อน +5

    Very true every single vote count

  • @bossej1212
    @bossej1212 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dudu Baya nakupenda juu ya kuongea ukweli. Pili, wachache wa ndugu zetu wa TZ watadhamini huu ukweli kwa maana hauwelewi na hawaelewi unasema nini. Namaanisha uko mbele karne moja zaidi ya watu wengi. Njoo tuishi 🇰🇪 . Mahali unaeleweka

  • @ikeralejandro2215
    @ikeralejandro2215 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wonderful Dudu Baya, noted

  • @emily9744
    @emily9744 3 หลายเดือนก่อน +3

    Umeongea vizuri sana salamu zikufikie kutoka Kenya,,umeongea vizuri mtu wa kuelewa ataelewa ila naona. Comment za wengine apa bure kabisa amkeni nyinyi

  • @MaryNjeri-vy1he
    @MaryNjeri-vy1he 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sure 😀 Kenya we know our constitution. We're the bosses of our government. They can't misuse our fund and resources the way they want.

  • @thamani5842
    @thamani5842 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa, izo elimu zao za chuo kikuu na ayo wanayoyafanya si bora ao la saba?. "AKILI NYINGI HUONDOA MAARIFA".

    • @BjleonardBhianda
      @BjleonardBhianda 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni kweli naona upuuzi mtupu...km wangekuwa na akili na elimu ya kutosha si wangetumie maarifa ya kuongea kisomi...wanachoma magari..wanaharibu maduka ya watu wema nk.

  • @LilianIngosi-hh7ex
    @LilianIngosi-hh7ex 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi ni mkenya shida inatoke mahali ambapo tunakuanga tumefunzwa haki yetu kutoka shule hadi Nationality inaanzia primary school we know our rights kutoka baby class sa mtu huwa ana grow akijua right uake toka akiwa mdogo

    • @AminaMuhammad-c7v
      @AminaMuhammad-c7v 3 หลายเดือนก่อน

      @@LilianIngosi-hh7ex kwahio tuwasaidie nin na hizo aheria zenu za mauaji