A-Z Afunguka Binti Anayedaiwa Kulawitiwa na Aliyekuwa RC Simiyu, LHRC Yaingilia Kati

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024
  • #ijuesheria
    Video kwa hisani ya Haki TV

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @user-jg2dy4kb6j
    @user-jg2dy4kb6j 3 วันที่ผ่านมา +14

    huyo Binti anachangamoto ya akili apimwe Kwa maelezo yake

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 วันที่ผ่านมา +49

    Pamoja na kumpongeza Mhe. Rais na Jeshi la polisi. Baadhi ya mabinti wa vyuo vikuu wana tabia ngumu ngumu sana. Wanapenda wanaume wenye pesa bila kujali ni baba zao.

    • @angelistertarimo8215
      @angelistertarimo8215 3 วันที่ผ่านมา

      Hakika

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 วันที่ผ่านมา +1

      Haswa Sasa kumbe huyu Binti alikuwa ni mtu wake Sasa amembaka vipi jamani huyu si Malaya tayari jamani , na yeye mwenyewe amesibitisha kuwa alikuwa mwanaume wake

    • @muhsiniissa8151
      @muhsiniissa8151 2 วันที่ผ่านมา +4

      Uyu katumwa amchafue jamaa,,kwanini aingie nae kwenye mahusiano ilihali anajijua yeye Ni mwanafunzi?,uyu mwanafunzi Chenga 2

    • @ashangohi450
      @ashangohi450 2 วันที่ผ่านมา +4

      Tatizo wanaacha kilicho wapeleka wanafata tamaaa.hv angepewa ma v8 kabla ya hiyo kitu angeongea

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา +3

      Tatizo munatamaa ya pesa wewe ni mwanafunzi ilikuwaje ukawacha masomo ukafata dudu la yuyu la mtu mzima wa kumwita baba sasa hivi unamchafua na alikuwa mpenzi wako wacheni tamaa

  • @jackiefredrick586
    @jackiefredrick586 3 วันที่ผ่านมา +27

    Kufanyiwa kwa mara ya kwanza kwenye gari sio kweli. Ulishindwa kumng'ata na kumparua. Yaan utoe tako kabisa bila mapambano. Mi angeniua kabla ya kunila tako. Tena kwenye gari. Mdogo wangu kuwa mkweli acha kutuzungusha.

    • @barakaalecnathaniel3716
      @barakaalecnathaniel3716 3 วันที่ผ่านมา +3

      Kazoefu haka

    • @paschalmartin9598
      @paschalmartin9598 2 วันที่ผ่านมา +1

      Hivi vitoto jamani mtu ana miaka 21 anakuwa na uhusiano na mtu sawa na baba yake

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา

      Alimpa sasa hilo dudu la yuyu lilichana nguo itakuwa alivaa chupi na nguo zake nyingine labda aliwekea dawa ya usingizi kwenye drink ndio akatiwa

    • @williammbwambo79
      @williammbwambo79 2 วันที่ผ่านมา +1

      Amepangwa

    • @isakhamisi8923
      @isakhamisi8923 2 วันที่ผ่านมา

      Haya ndiyo yanayoendelea kwa watoto wetu wanapokuwa vyuoni .​@@williammbwambo79

  • @muhsiniissa8151
    @muhsiniissa8151 2 วันที่ผ่านมา +17

    Hana cha maana anachokieleza ni upuuz mtupu2,njaa mbaya sana,kumbe mtu alikua mtu wako na unasema alikua na tabia iyo kwanini usingemkataa moja kwa moja,,unaenda kupokea apology kwani mmeo huyo??,mjinga sana.acheni umalaya kaeni darasani msome

    • @isakaonehealthdigitallabor8630
      @isakaonehealthdigitallabor8630 2 วันที่ผ่านมา

      Huyu demu malaya mbaya zaidi alivyo mjinga baada ya kufilwa kwa maelezo yake alitoka rock city eneo alipokua amepaki Gali jamaa na kumfila Kisha kwenda nyumbani nyezi hostels kwake suala la kwenda police alienda kesho yake baada ya mama yake kumshauli aende police so nijinsi Gani ukiweka doti unaona kabisa demu alinogewa kifilo kwanini asingeenda Rock City Bank hapo mbele kuna askali muda ota wange mkamata jamaa hapo hapo usiku huo huo but isitoshe baada ya yote jamaa alituma watu 3 wakamuita hotel akaenda tena s msenge huyu demu alafu vingereza feki vingi mjinga mkubwa huyu mapumbu ya shangazi yake.....na akome kumuomba Rais wetu akusaidie muache Rais wetu atutaftie maendeo watakatifu wewe kaendelee kuuza mkundu mbwa huyu....eti nilipewa barua nikaikopi na kuweka Dole gumba PUMBAVU ZAKE

    • @MariamLigoha
      @MariamLigoha 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Upo wapi Kwani, kunywa soda kabisa nakuja kulipa, mitoto ya siku hizi hovyo sana

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jinsi ninavyonikera kama ningekuwa jilani ningedili nae

  • @YusufuMalila-b1d
    @YusufuMalila-b1d 2 วันที่ผ่านมา +15

    Binti Mungu anakuona acha kuharibu maisha ya watu kwa kutumikia watu

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 2 วันที่ผ่านมา +3

      Binti huyu ni binti shetani!

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 วันที่ผ่านมา

      RC mbakaji

    • @agathanyundo6798
      @agathanyundo6798 วันที่ผ่านมา +2

      Hivi ufanyiwe tendo la kikatili namna hiyo usahau tarehe kweli!!!???

    • @AmiriMchikirwa
      @AmiriMchikirwa วันที่ผ่านมา

      ​@@agathanyundo6798Akili yako haipo sawa

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@agathanyundo6798hujawahi kubakwa tulia yakikukuta ndio utajua

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g 3 วันที่ผ่านมา +33

    Huyu nae anatakiwa akamatwe na mke wa mkuu wa mkoa kwa kuzini na mume wake. Shenziiiii

    • @ayoubmtumishi50
      @ayoubmtumishi50 2 วันที่ผ่านมา

      Amelazimishwa huyu

    • @livingstonekabantega
      @livingstonekabantega 2 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@ayoubmtumishi50kivipi kwani alifatwa chuoni kufanyiwa hivyo Binti mwenyew SI ndo alienda Kwa Rc na mahusiano kwanin aliyakubal na yey ni mwanafunzi

    • @Namtumbo
      @Namtumbo วันที่ผ่านมา +1

      ​@@ayoubmtumishi50alienda kufanya nne fundisho kwa mabinti

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 วันที่ผ่านมา

      RC mbakaji

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz วันที่ผ่านมา

      RC c mbakaji huyo alisha liwa nyuma na w kwnza mku w mkoa n pili huyo n mzoefu,jambo gan we n x y pil,nyuma huyo alokula nyuma w kwanza, mbona humtaji we hii n dunia

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 วันที่ผ่านมา +8

    Hayo ni mapenzi yenu kwa nn uje kuyatangaza huku kwenye mitandao na kama ungekua hujakubali ungevunja hata kioo cha gari yaonekana ulikubali sema hajakufanya yale mliokubaliana ndio maana umekuja kumuanika huku

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 3 วันที่ผ่านมา +15

    Tubuni kwa Maana ufalme wa Mungu umekaribia ,YESU Anarudi

    • @francejuya1248
      @francejuya1248 2 วันที่ผ่านมา +2

      Yesu hajawahi kuwepo, amka mtu mweusi

    • @viwawakkuu_dodoma
      @viwawakkuu_dodoma 2 วันที่ผ่านมา

      Unajielewa kweli wewe​@@francejuya1248

    • @yassinhamza1969
      @yassinhamza1969 วันที่ผ่านมา +1

      Wayahud huko ndio usiseme mashoga kibao angekuwa karud

    • @Mina.15
      @Mina.15 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yesu akirudi niete jimbwa koko 😂😂😂

    • @theodorythobius3965
      @theodorythobius3965 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameen❤❤

  • @tosh7671
    @tosh7671 3 วันที่ผ่านมา +14

    Hivi hii sio comedy kweli mbona maelezo haya eleweki. Upuuzu tu huu

    • @user-zq7jb2ij4u
      @user-zq7jb2ij4u 2 วันที่ผ่านมา

      Umeona eee mm pmj ni mzazi na nina mtt wa kike kafungua saa ngapi mlango wa gari na pia police uende asubuhi jmn jmn hz kesi za mafunzo !!!

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 4 วันที่ผ่านมา +40

    Hivi kwanini IGP hajawapandisha cheo hao polisi wa Mwanza kwa kufanya kazi ya kizalendo?

    • @briankatani6770
      @briankatani6770 3 วันที่ผ่านมา

      Wakuu. Wa mikoaaaaa Hahahaaa.washitakiwe na yule aliyemsaidia

    • @user-yd1pc8uy8x
      @user-yd1pc8uy8x วันที่ผ่านมา +1

      Habar imetengenezwa

    • @johnsonsabanya5860
      @johnsonsabanya5860 วันที่ผ่านมา

      Hakika

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 วันที่ผ่านมา

      Walichokifanya Ni majukumu yao na police wote wanatakiwa kuwa hivyo.

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 วันที่ผ่านมา +2

      Ulipo amua kuwa na uhusiano na mume wa mtu ulikua na Nia gani? Unajiaibisha Bora ungetulia Sasa kila mtu anajua kua ushapitiwa huko!!

  • @raymond5175
    @raymond5175 3 วันที่ผ่านมา +7

    Ni mpenzi wake, ameingia mwenyewe kwenye gari tayari ni mapenzi ya hiari hayo mengine ni kuharibiana maisha

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 3 วันที่ผ่านมา +16

    KESI IPELEKWE MAHKAMANI UKWELI UJULIKANE HAKI IPATIKANE

  • @user13375
    @user13375 3 วันที่ผ่านมา +20

    RC arudishiwe u RC wake tuu😮😮

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 2 วันที่ผ่านมา +4

    Kidada chenyewe kibayaaa

  • @HappyAgilityPuppy-lg8wg
    @HappyAgilityPuppy-lg8wg 4 วันที่ผ่านมา +49

    kwa sisi' tulio soma quba tushaelewa hyo 😂 huyu dada kwakifupi RC alikuwa mtu wake sawa na hako kamchezo huwa nikao au au hyo dada alisha zowea Kuliwa nyuma asa wamepishana tu mambo Frani au Kafikwa bei na mahasimu wa RC so kaamua kumgeuka mwenzie, nahili gemu linawadau we wengi wanajua hata akipmwa atakutwa hana malinda so it's true. but kes hii wakikabiziwa polisi makini watabaini kitu

    • @issaidrisamusa5962
      @issaidrisamusa5962 3 วันที่ผ่านมา +3

      Iwe alifanya kwa hiari , au kwa lazima , ila kwa vile amesharipoti hiyo ni kesi kama kesi nyingine

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 3 วันที่ผ่านมา

      Upo sahihi

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 3 วันที่ผ่านมา +5

      Namchukia huyu binti kwasababu ameshindwa kumsitiri mama yake ameamua kumudhalilusha na mama yake kifupi amekosa busara kwasababu hayo mazingira yeye ndo aliyaanzisha

    • @user13375
      @user13375 3 วันที่ผ่านมา +5

      @@George-jz3jg kamalaya kubuu

    • @WaziriAbdallah-vr4xg
      @WaziriAbdallah-vr4xg 3 วันที่ผ่านมา +3

      Hicho kitoto huu ndo mchezo wake ila ukikaangaria ni.kama.hakapo.sawa inabidi atafutwe mtu wa kumuweka sawa pili tamaa hivi vibinti vya 2000

  • @vero57
    @vero57 3 วันที่ผ่านมา +8

    Hawa wanafunzi wana acha kusoma wanaaza mambo ya matusi mapemaa!!! Ovyo sana , eti mausiano wewe ndiyo kilocho kupeleka shule??? Alafu unatembea na mme wa mtu, na wewe kiongozi acha kutu alibis watoto tafadhali!!!!

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 2 วันที่ผ่านมา +5

    Kazinzi haka😂😂
    Mwaka wa kwanza chuo,kana miaka 21 kameshaanza kuchukua waume za watu...tumuiteje kama sio mzinzi...acha ball itembee.

    • @EdinaLaulent
      @EdinaLaulent วันที่ผ่านมา

      Kapumbavu Malaya mkubwa wewe unamharibia mwenzio maisha kumanina ingekuwa Mimi wewe Malaya wewe

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 3 วันที่ผ่านมา +26

    kwenda zako malaya ww kumbe ulienda mwenyewe ulijua unaenda kusuka au wewe inaonekana ulikua unampa siku zote sema kwa sababu mmegombana Ndio unataka kumkomoa kwenda zako uko Yani mpaka Nauli umetumiwa halafu unasema Nini wewe ulitaka mwenyewe sasa ivi eti samia akusaidie akusaidie Nini yeye Ndio alikutuma uende au Nenda zako endelea Nahiyo tabia yako2

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 วันที่ผ่านมา

      Kwani kuwa na mahusiano na mtu ni dhambi? Kutumiwa nauli ni dhambi? Kosa ni kumwingilia kinyumbe na maumbile mtu

    • @muhsiniissa8151
      @muhsiniissa8151 2 วันที่ผ่านมา +3

      Ni dhambi ndio,kwani wameoana!?,we hujui kua kuzini Ni dhambi???

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@anodearsulusi7536
      Kwani alimchoma sindano ya usingizi alipokuwa anatiwa nalo nyuma kwa sababu tuangalie yy alitoka akaako mpaka akafika kwa muheshimiwa na akamvulia nguo si kutaka huko au alimkuta njiani akamtia na nguo zake aibu mambo mengine

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@anodearsulusi7536siangekataa

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 2 วันที่ผ่านมา

      bora umenisaidia kumfahamisha huyu

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 3 วันที่ผ่านมา +6

    Kila siku mnaambiwa vitoto vya afu 2 sio hamuelewi,,, ona sasa kimemramba RC mstaafu.

  • @AMOSSILYVESTER
    @AMOSSILYVESTER 2 วันที่ผ่านมา +7

    Mama nae ni malaya anazibitisha kuwa umefilwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x 2 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni binti sio mama na ni mzoefu

    • @gracekagoma3231
      @gracekagoma3231 วันที่ผ่านมา

      NI kweli kabisa.uko Ndani damu yao😅

  • @victoriampunza1016
    @victoriampunza1016 4 วันที่ผ่านมา +45

    Ogopa sana vitoto vya efu mbili😂😂😂 havikawii kukuharibia kazi

    • @kefamwakipesile275
      @kefamwakipesile275 3 วันที่ผ่านมา

      Kwani huyu dogo alikutana wapi na Rc kama sio Rc kumfuata

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 3 วันที่ผ่านมา

      Anajiuza huyu​@@kefamwakipesile275

    • @MwamvuaKing
      @MwamvuaKing 3 วันที่ผ่านมา

      Hahahaaaa

    • @angelistertarimo8215
      @angelistertarimo8215 3 วันที่ผ่านมา

      Balaa.na milioni kumi juu bado kimekomaa huku nyumbani kunanuoa shida

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@kefamwakipesile275mwelewe huyo mtoto asema alikuwa mwanaume wake harafu akagombana ,baada ya hapo alipo pigiwa Tena sm akakubali kwenda akijuwa rc amebadisha mawazo ya kuto taka Tena mkundu, huyu Binti yeye alikuwa alishakubali kuwa naye Kwa jili ya kugombana tu , Sasa huyu si Malaya km Malaya wengine kabakwa vipi

  • @rachelsam8912
    @rachelsam8912 3 วันที่ผ่านมา +19

    Kiingereza chenyewe anaongea broken, but kama ni kweli Mungu akusaidie

    • @akwilaisseri5312
      @akwilaisseri5312 3 วันที่ผ่านมา

      Total broken 😂

    • @edithandunguru3405
      @edithandunguru3405 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@akwilaisseri5312
      Hata Kiswahili tu ni shida

    • @lucykristensen7145
      @lucykristensen7145 2 วันที่ผ่านมา

      Kingeraza shida sana. Aoge kiswahili tu😅😅

    • @Darian2550
      @Darian2550 2 วันที่ผ่านมา

      Ni first year bado...

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 2 วันที่ผ่านมา

      Hata kiswahili chenyewe broken,eti alfajil,unavofkilia,kusogerea

  • @johanessmwitamwita1723
    @johanessmwitamwita1723 3 วันที่ผ่านมา +7

    Mmmmh jmn huyu binti anatumiwa kwa jinsi navyijua tz kwa issue kama tayri alishapotezwa siku nyingi huyu anatumika tuuu sio yy

    • @xxxl-jf2ji
      @xxxl-jf2ji 3 วันที่ผ่านมา +2

      Nikweli kbs

    • @user-yd1pc8uy8x
      @user-yd1pc8uy8x วันที่ผ่านมา +1

      Kweli huyu mhhhh hakuna kitu.

    • @user-hj8sc7jv5m
      @user-hj8sc7jv5m 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Delila huyo

  • @kirotostima
    @kirotostima 3 วันที่ผ่านมา +18

    Shenzi kabisa kaongo kweli kashazoea kuliwa tigo haka

  • @peterlyimo6696
    @peterlyimo6696 4 วันที่ผ่านมา +55

    Unaingiaje mahusiano na mume wa mtu tena mwanafunzi wa mwaka wa kwanza?

    • @worldherotv
      @worldherotv 3 วันที่ผ่านมา +1

      Kama unavyona

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 3 วันที่ผ่านมา +3

      Dini inamruhusu kuongeza

    • @charlzmboya
      @charlzmboya 3 วันที่ผ่านมา

      0:19 ​@😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊worldherotv

    • @ivanamkapa2369
      @ivanamkapa2369 3 วันที่ผ่านมา +1

      Mbaya ni mwanamume kwa ninu asitulie na mkewe mpaka anarubuhi mtoto wa chuo si angeenda kwa magumegume

    • @ivanamkapa2369
      @ivanamkapa2369 3 วันที่ผ่านมา +1

      Binti karubuniwa mubaya ni mkuu wa mkoa wa simuyu mtu mzima anarubuni mtoto wa chuo amfire wewe kama mzazi utamlaumu mwanao au hilo lifilaji

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 วันที่ผ่านมา +6

    Kwa maelezo ya huyu dada anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo,,,,,ni bwana Nawanda tu, amekutwa dhahama!!

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x 4 วันที่ผ่านมา +8

    We mtoto umejiingiza mahali pagumu ambapo hujui mwanzo wake na mwisho Mungu ajuaye yote akusaidie na hata hyo mkuu wa mkoa alyesimamishw kazi Mungu amsaidie na familia yake maana hili pito ni gumu mnoo

    • @kokusimabayona4179
      @kokusimabayona4179 3 วันที่ผ่านมา

      Hii issue ni kubwa sana...huyu binti aisee ajilinde tu mwenyewe maana

    • @samwa9496
      @samwa9496 2 วันที่ผ่านมา +1

      Hili ni shushu limetumwa tuliosom Cuba tuelewa

    • @YusuphMwangobola
      @YusuphMwangobola วันที่ผ่านมา

      Mkuu wa mkoa ni raia tu kama raia wengine acha kumtisha binti.

    • @samwa9496
      @samwa9496 วันที่ผ่านมา

      @@YusuphMwangobola simtishi angekubali kuanikwa sura kama mabanda ya uwani yamebomolewa huo uzushi haoni haya aseme alikuwa mpenzi wake na alitaka fungu kubwa akalikosa ndipo akaamua kumuanika cheza na watoto wala bangi la Arusha

  • @MercySalmon
    @MercySalmon วันที่ผ่านมา +2

    Binti wa hovyo umeperekwa kusoma ww unafanya yoko

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 3 วันที่ผ่านมา +5

    WAKILI TV NIMEFURAHI SANA KUWAONA KAZINI. TETEENI WATANZANIA WANAONEA DAY N NIGHT😢😢😢

  • @EdwardMaziku-td2li
    @EdwardMaziku-td2li 3 วันที่ผ่านมา +7

    Huyu msichana ni muongo sana kuna jambo lipo limejificha maana toka mwanzo ni mpenzi wake,kwa fikira zangu walishindana tu kwa pesa aliyotaka na ndiyo maana akamugeuzia kibao mkuu wa mkoa na wanafunzi wa chuo ndivyo walivyo tania zao .hivyo muheshimiwa raisi alilichukulia haraka hili jambo kwani wengine wanatumwa na watu kumuharibia mtu.kwa maoni yangu muheshimiwa raisi wetu murudishe kazini nakuomba sana .asante

    • @machasofficialsite6221
      @machasofficialsite6221 3 วันที่ผ่านมา

      We akili huna chukulia angekuwa dada yako au mwanao katendewa haya ingekuwaje? Acha ujinga

    • @EdwardMaziku-td2li
      @EdwardMaziku-td2li 3 วันที่ผ่านมา

      @@machasofficialsite6221 we ndiye mjinga na mpumbavu usijua hata kumusikiliza mtu alichoongea pia hata hujui chochote baadhi ya wanafunzi wanayofanya,(wee mjinga nikuulize,alipelekwa chuo kusoma au kufanya mapenzi ?)maelezo yake yanaonyesha ni mwingi wa habari tokea mwanzo

    • @matallahkhamis9579
      @matallahkhamis9579 2 วันที่ผ่านมา

      Dada au Mwanangu anaongea huu uwongo anastahili​@@machasofficialsite6221

    • @israelmkaka2807
      @israelmkaka2807 2 วันที่ผ่านมา

      Pia amepokea 10ml..Mama yake kapokea 3ml. Pia anasema aliwahi kufanyiwa na kijana mwenzake enzi za Balehe,Mama akayamaliza

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu Dada kajieleza Vizuri kabisaaa tuache maneno ya ajabu Hawa watu ndo michzo yao hapo wanajiongezea vyeo na pesa kuingia kwa wingi, Sema ili liwefunzo kwa wadada wanaopenda pesa Sana, pole Sana mdogo wangu Mungu akusimamie.

    • @sakinayahya78
      @sakinayahya78 วันที่ผ่านมา +1

      Wanajuana ni mtu wake

    • @EmanuelMandoo
      @EmanuelMandoo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapo kametumika kisiasa

  • @damiankageba77
    @damiankageba77 3 วันที่ผ่านมา +8

    Ni upuuzi uliopitiliza

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 3 วันที่ผ่านมา +5

    HE! SIKIO LA KUFA MTUHUMIWA KAAHIDI ML5 KWA MAMA KAINGIZA ML3 BANK PILI YAELEKEA MLALAMIKIWA KALETA ZARAU POLISI! ILA BINTI MZOEFU!! NA KAPANGWA!!

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 2 วันที่ผ่านมา

      Inawezekana kabisa!

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 2 วันที่ผ่านมา +5

    Umelalamika kinyume na maumbile ingekuwa kawaida na maumbile tusingekusikia!

    • @user-hj8sc7jv5m
      @user-hj8sc7jv5m 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Anatafuta ada huyo mwaka wa kwanza tu shida je akihitimu

    • @bahatimashauri3945
      @bahatimashauri3945 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tusingesikia maana c alkuwa mtu wake ko walishakulana Sana ko mzee baba aliamua abadili kwingne baada ya kufanya Sana mbele

  • @omarymwenda1146
    @omarymwenda1146 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mwalimu Nyerere alisema ukipewa kazi ya Nchi ni lazima UJIHESHIMU, Ingawa hii issue ni very complicated so tusihukumu, TLS na LHRC mnafanya kazi nzuri sana. Tusubiri hatma ya Mahakama.

    • @SayyidAhmadBaalawy
      @SayyidAhmadBaalawy วันที่ผ่านมา

      Unaona wanafanya kazi nzuri kweli?? Atakapo potezwa huyu mschana ndio utajua kazi nzuri wanayo ifanya hawa watu ni wahuni sana mwanasiasa na mwana sharia wote niwatu wasio aminika. Mamake mwenyewe akipewa hela alikua akipokea nahakutaka kujua binty yake alipata wapi. Sasa ukiambiwa ana ukimwi ndio utajiona ukicho kifanya kilikua tamaa yako imekuponza

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t 2 วันที่ผ่านมา +2

    Pumbavu mnapenda ngono mno majbu yenu ndio hayo mnapenda maisha rahisi kwa kuuza miili yenu sasa mnalia nn hao mabinti wanaoenda wenyewe nao wapewe adhabu pia tofauti na wanaokamatwa kwa nguvu.

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 4 วันที่ผ่านมา +10

    Ulipata wapi no ya mkuu wa mkoa ulipata wapi mtoto mdogo mbona wa kawaida sn dd jamani mbona unajiaibisha ,tuone uwo muamala

    • @kokusimabayona4179
      @kokusimabayona4179 3 วันที่ผ่านมา +2

      Ila this generation.....🙌🏾🙌🏾🙌🏾

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kachafu sn kahovyo mno Malaya huyo yeye mwenyewe si alisema alikuwa bwana yake kwahiyo km asingefilwa wangeendelea kutombana , unajiabisha tu

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 วันที่ผ่านมา

      Huyo mwongo tu alipangwa ni kamchezo!​@@ziadasalimu1730

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 2 วันที่ผ่านมา +1

      @@ziadasalimu1730 yani kamejiaibiaha sn waache kujipendejeza kwa viongozi na kujipitisha pitisha ovyo aàaaa wanatuaibisha watt wetu htr

    • @bolelambunda6554
      @bolelambunda6554 วันที่ผ่านมา

      Je angetombwa kawaida isingekuwa ugomvi

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 3 วันที่ผ่านมา +5

    Nyie watoto mmejaa tamaa
    Mkikosa mnachotaka mnabadilisha maneno, unawezwajje, kulawitiwa ndani ya gari bila ya wewe kukubali?
    Kwani hakuna nafasi kama hujatulia, Unaongea uongo

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kishenxi hiki kibinti
      alikubaja au ulivua nguo mwenyewe ,panya rodi weee

    • @fatimahants1526
      @fatimahants1526 วันที่ผ่านมา

      Mtu mzima unalawitiwa muongo , kamuwa kuchafuwa huwara yake, akumbke hii interview itakutesa sana kwenye life yako

  • @justinealistides5146
    @justinealistides5146 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema utusamehe sisi tulio dhaifu na kwa haki yako utuponye.

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuuuuue, Mm nashangaa sana haya mambo kwa kweli.

  • @josephmoses5406
    @josephmoses5406 3 วันที่ผ่านมา +4

    Mkuu wa mkoa wa mwanza nae alitakiwa kuwajibika.

  • @shabanirashidi2486
    @shabanirashidi2486 4 วันที่ผ่านมา +5

    Shetani ibilisi tokaaa ,uyu dada Ata ongea yake anamchoma muheshimiwa hiv hiv dah

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 3 วันที่ผ่านมา

      Kama alimfira kwanini asimseme?

    • @user-du6bd3no2b
      @user-du6bd3no2b วันที่ผ่านมา

      Nyinyi sijui mpoje...mnamponda huyu dada ila ipo siku yatawarudieni na nyie...

  • @gervasatilio5683
    @gervasatilio5683 วันที่ผ่านมา

    Hapo hakuna aliye salama, kabla hujamuhukumu mtu aliye sababisha matatizo kwenye maisha yako jihukumu kwanza mwenyewe, Mungu haziakiwi apandacho mtu atavuna,

  • @festusmakanja3645
    @festusmakanja3645 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hapa kunajambo linafichwa,najiuliza,kwa nn ww tu ulawitiwe????kumbe ulishakua na kesi kama hiii na muhuni wa mtaan????

  • @titongholo6261
    @titongholo6261 4 วันที่ผ่านมา +11

    Napata mashaka makubwa sana na maelezo ya huyu binti. Hivi kwa kitendo cha kuingiliwa kinyume ni rahisi hivyo kama anavyoeleza. Kama ni kweli Mungu anajua

    • @gracemwailima1780
      @gracemwailima1780 3 วันที่ผ่านมา

      Hata mm sielew elew huyu bint yuko timamu kwel

    • @bonyngoyindengoyinde6139
      @bonyngoyindengoyinde6139 3 วันที่ผ่านมา

      Uyu n mzoefu na mhuni tu!😅

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 วันที่ผ่านมา

      Watt wetu hamuendi kusoma munafata mengi huko nje wazee wanahangaika kutafuta ada kama hamuwezi kusoma muolewe tu musiwapotezee wazee wenu pesa zao za mikopo wazazi tuna mikopo kila cona tunasomesha hatari hii

    • @georgeanyosisye2182
      @georgeanyosisye2182 วันที่ผ่านมา

      Mshenzi huyu kwanza jinga hata kizungu anachoongea kinaonesha serikali inapata hasara kama kapokea bumu.

  • @hassankhalid2465
    @hassankhalid2465 4 วันที่ผ่านมา +5

    Kaulizwa km alishatumiwa kupitia ac/au cm kakubali kuthibitisha karuka ilikua cash.

    • @deograsiassteven9262
      @deograsiassteven9262 3 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu dogo ni muongo

    • @saumsaid1966
      @saumsaid1966 3 วันที่ผ่านมา

      Sanaaa anaonyesha anadanganya​@@deograsiassteven9262

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc วันที่ผ่านมา

    Pole msichana siwezi kukuhukumu maana sikuwepo unapofanyiwa hayo

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sukuma ndani mama, binti na wengine wote waliohusika hata hawa waandishi wa habari hizi sukuma ndani

  • @kimwerihamza4152
    @kimwerihamza4152 3 วันที่ผ่านมา +3

    Tuliosoma cuba tumeshamuelewa huyo binti,mwanafunzi wa chuo anashindwa kutamka maneno ya kiswahili,tumuogope mungu kwenye kufitini

    • @user-zq7jb2ij4u
      @user-zq7jb2ij4u 2 วันที่ผ่านมา

      Kabisa

    • @alinanusweosward-ov2nq
      @alinanusweosward-ov2nq วันที่ผ่านมา

      Yaaan bint anajikanyaga na kiingereza kingi ,mabint wa sample hii wa hovyo sana na always wanajifanya wajuaji sana na nadhani wapelelezi watafanya kazi Yao kujua nn na vip ilikuwa

  • @brunomtweve8073
    @brunomtweve8073 4 วันที่ผ่านมา +19

    Mamayako nae tunamfunga kwakosa lakupokea rushwa mana umethibitisha hapa wewe mwenyewe

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 3 วันที่ผ่านมา +1

      Umeonaeeeh mshenzi huyu mtoto umelaya wake unamfanya mpaka hamuonei huruma mamaake.

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 2 วันที่ผ่านมา

      Sahihi mtowaji na mpokeaji wote ndani na mtenda kosa mwanafunzi kwenda gest

  • @NamalaPothino
    @NamalaPothino 2 วันที่ผ่านมา +2

    Naomba uchunguzi wa kina ufanyike ,duniani kuna mambo mengi mno

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 4 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana sana

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 4 วันที่ผ่านมา +6

    huu udokta ambao haufungui kichwa . bado kinakuwa na mambo ya kishenzishenzi tu unasaidia nn?

  • @stevenkuhanwa7819
    @stevenkuhanwa7819 3 วันที่ผ่านมา +7

    Duh! Kumbe walikuwa wapenzi awali!, inawezekana, lakini siku hizi hata mke halali anakwenda kushitaki kuwa kabakwa na mumewe halali!
    Kuna hofu ya kuwa aliahidiwa vitu fln ambavyo hakutekelezewa na ndio maana kaamua kulipa kisasi kwa mpenziwe!
    Kurudi rudi kwa X ndio hivyo unakutana na plan X!

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 2 วันที่ผ่านมา

      Watu Wana roho za kikatili sana

  • @user-hj8sc7jv5m
    @user-hj8sc7jv5m 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utaachaje kukumbuka tarehe uliyolawitiwa kama ni kweli, polisi na mahakama wachunguze kiuzalendo haki itajulikana tu, shida ya wanawake wa kibongo wakifika polisi wakilia kidogo tu polisi wa sehemu ya kijinsia hughafirika fasta na kuanza kuona huruma kwa asilimia zote kwa mlalamikaji ambae ni mwanamke tofauti na mwanaume akienda kulalamika kwa jambo lolote la udhalilishaji wa kijinsia.

  • @GidionKombe-h1p
    @GidionKombe-h1p 3 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana mpendwa lakn ujue hiyo issue kubwa

  • @user-fg8hg9fe1w
    @user-fg8hg9fe1w 3 วันที่ผ่านมา +5

    Kamesema kalianza kufirwa toka kapo form two kumbe kazoefu kasitupotezee muda😢

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 วันที่ผ่านมา

      Haswa Malaya huyo asipotezee muda watu

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 วันที่ผ่านมา

      Haswa Malaya huyo asipotezee muda watu

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 วันที่ผ่านมา

      Wanaume Huwa mnajitafutia wenyewe matatizo ,cheo chako kikubwa waenda pata zahma Kwa mchafu huyu Binti mnyooo wa chooni huo

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 วันที่ผ่านมา

      Waandishi wae wanamhoji mtu kabla il wabaini KULIKO kumalizia watu bundle na kuwachafulia watu!

    • @Lifebeaconuplift
      @Lifebeaconuplift วันที่ผ่านมา

      Wapi amesema kwamba tokea form two

  • @nestor384
    @nestor384 3 วันที่ผ่านมา +4

    Hongera nyingi sana kwa polisi na vyombo vyote vilivyojaribu kukabili hadaa za wakuu wa mikoa hawa wawili, Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu anapaswa kufungwa na mkoa wa Mwanza wa sasa alipaswa kufukuzwa kazi pia mshenzi kabisa!

    • @mkadammkadam
      @mkadammkadam 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ni peke yako uliyeonyesha mawazo yaliyokomaa. Kama kila mmoja wetu anatetea kwa nguvu zote uhalifu ambao kila siku tunalalamika kuwa vitendo hivi vimekithiri katika jamii zetu. Vipi tutaondosha kama hatutashirikiana kuvipiga vita?

    • @livingstonekabantega
      @livingstonekabantega 2 วันที่ผ่านมา +1

      Sio kweli afukuzwe kisa tamaa zake

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 วันที่ผ่านมา

    Yaani, hapana, upelelezi ufanywe na haki itemdeke ninamashaka, sipo upande wowote, kama kuna mchezo mchafu wa kumchafua mh. Basi huyu binti ashughulikiwe na watu walio nyuma yake. Na kama ni kweli basi mkuu ashughulikiwe kwelikweli.

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 วันที่ผ่านมา

    Why hamkuwa sawa? Oooooh! Hapa kuna wasiwasi naelewa maX walivyo. Mahusiano yakipata Injury, huwa kuna ajabu nyingi sana. Wapelelezi fanyeni kazi ya upelelezi. Naanza kuwa na mashaka.

  • @majutojackson5718
    @majutojackson5718 3 วันที่ผ่านมา +3

    msimshutumu huyu binti,acheni haki ipatikane, maana kama ni hela amepewa nyingi mno angepiga kimya

    • @MusaMapinda-ch6gz
      @MusaMapinda-ch6gz 2 วันที่ผ่านมา

      Binti ni malaya

    • @user-du6bd3no2b
      @user-du6bd3no2b วันที่ผ่านมา

      Si vibaya kuwa na mkuu wa mkoa...ila mkuu wa mkoa kumlawiti bila ridhaa yake kakosea sana

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 วันที่ผ่านมา

      hakuna acha kumtukana hyu Binti Bali ni jasili kwani mapenzi nikosa kufanya acha unafiki

  • @josephmoses5406
    @josephmoses5406 3 วันที่ผ่านมา +3

    Hawa polisi walau wamejaribu kuwajibika

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu binti naona anajiharibia maisha yake mwenyewe na RC
    Hakuna mme ataoa mtu ambae tyr hana malinda dunia nzima inajua,
    Pia ni vita nyingine na wanafamilia wa RC ambao wanamtegemea pia watoto wa RC
    Pia naona heri angekimbia na kujiweka mbali kbs pia sio kazi iliyomtuma chuo

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 วันที่ผ่านมา

    Umeipenda hela yake ukaebda Kwake kwenye gari nk, hotellin.Wewe ni mjinga Fulani 😢

  • @mchawaamanmchawa593
    @mchawaamanmchawa593 3 วันที่ผ่านมา +3

    Nawanda mara tatu kweli ulifanya mbona naona kuna namna hapo lambda kuna Siri nyingine

  • @abou.salimu1795
    @abou.salimu1795 4 วันที่ผ่านมา +3

    Khaa mkuu wa Mwz nae yuko upande upi sasa

  • @tausmoses7447
    @tausmoses7447 3 วันที่ผ่านมา +1

    Pole! Kama kweli vitendo hivyo vinakurudia rudia hiro ni pepo, Hiyo roho inayokunyemelea ikemee. Pole sana

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wallah mungu anakuona wewe binti

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y 4 วันที่ผ่านมา +6

    wakili TV please tunawezaje kumsaidia huyu binti ili apate haki yake

    • @florarwegerera8025
      @florarwegerera8025 3 วันที่ผ่านมา +1

      Anapataje haki yake wakati alikuwa mpenzi wake, alimfata wa nini? Huyu kaamua kumchafulia huyu baba

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@florarwegerera8025hata kama alikuwa mpenzi wake hana haki ya kumwingilia kwa nguvu na bila idhini yake huo ni ubakaji

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hana haki ni mwanaume wake na wanatoka kamefirwa huyu sasa kashawishiwa kumchafua.

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 วันที่ผ่านมา

      Ni mchezo tu kashawishiwa kumchafua mh!

  • @SalumFuraha
    @SalumFuraha 4 วันที่ผ่านมา +3

    Kingereza kingi mjinga we mwanafunzi unaingia kwenye mapenzi

    • @user-cm7yl9ej7i
      @user-cm7yl9ej7i 3 วันที่ผ่านมา

      Na mtaman mtoto wako wa kike kama umezaa

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 วันที่ผ่านมา

      hyo sio mtoto ndg ni mtu mzima mbona mnamshambulia bint wa watu acha aeleze ukweli

  • @al-bashirclinic3326
    @al-bashirclinic3326 วันที่ผ่านมา

    Hapa Kuna mlolongo mkubwa na issues hii inaonesha ni wapenzi wa muda mrefu sema huyo binti ameamua kujidhalilisha kweny media......ukweli tunaosomesha tunapitia wakat mgumu sana
    MUNGU ATUEPUSHE NA HIVI VITENDO VYA KIKATILI😢

  • @Moshiarusha360
    @Moshiarusha360 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mm simuhukumu hakuna hasiyekosea ,mtu kuwa mbaya haijustify yeye KUFANYIWA ubaya,,ubaya Ni ubaya tu..pia kabla hatuja hukumu tujiulize sisi Ni wema kiasi gani

  • @user-vf8wv8hi5b
    @user-vf8wv8hi5b 4 วันที่ผ่านมา +16

    Kaongo hako

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 3 วันที่ผ่านมา +3

    Kama anamkana mama yake huyu binti

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mmmmmm ninajiuliza maswali mengi sana hapa.

  • @festusmakanja3645
    @festusmakanja3645 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Most of ladies vyuo ndio michezo yenu,abortion imekua kawaida,then mnakimbilia kwa manabii na mitume feki,kuombewa!!!

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 4 วันที่ผ่านมา +4

    Kumbe alikuwa mtu wako sasa anakulawitije

    • @user-cm7yl9ej7i
      @user-cm7yl9ej7i 3 วันที่ผ่านมา

      Kwa hyo mama yako angeombwa na baba yako na kuachika siku Moja angekuelea huyo ni sababu ya kuachana na baba yako ungejiskiaje

    • @JuliusMahinya-wl7mq
      @JuliusMahinya-wl7mq 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-cm7yl9ej7ikwa nn usitolee huo mfano kwa mama Yako? Kwa nn mama yake na si mama Yako?
      Yaani jambo la kujadili kawaida unamhusisha mzazi wa mtu!!!

  • @shabanirashidi2486
    @shabanirashidi2486 4 วันที่ผ่านมา +3

    Ata kilivyo vaaa tu kimepangwa

  • @frankmtimbwa1290
    @frankmtimbwa1290 วันที่ผ่านมา

    Hili suala ni la kimaadili lishughulikiwe kwa mtazamo huo. Pili hili suala linahitaji uchunguzi wa kina ili kujua mambo mengi yaliyojificha nyuma yake. Tatu naomba kujua yeye huyu Nawanda walijuanaje? na tangu lini walianza uhusiano huu?.

  • @nzuna5049
    @nzuna5049 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii sio kweli

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 4 วันที่ผ่านมา +4

    Binti wewe

  • @marcoboniphace9733
    @marcoboniphace9733 4 วันที่ผ่านมา +4

    HATARI sana

  • @dizzosukariyaoSukariyao
    @dizzosukariyaoSukariyao วันที่ผ่านมา +1

    Chaaaaa kajitakia waafungwe wote

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 วันที่ผ่านมา

    Walikubalina ndiyo kupewa millions sasa anamgeuka.Huyu ni dada shetani mkubwa na ulaaniwe..Wanaume mjichunge sana.huyu ni professional malaya😢😢 Kwa kifupi walikubaliana .

  • @protasreshola9744
    @protasreshola9744 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mnyonge mnyongeni, haki yake apewe. Binti 😅anadai kulawitiwa na X RC na anadai alifika hospitali. Binti kama aliingiliwa kinyume hospitalini lazima mbegu za kiume zilionekana hivyo ilipaswa zipimwe vinasaba, DNA. Ikibainika ni RC aadhibiwe. Lakini pia binti anaweza kupanga mchezo na kuingiliwa na mtu mwingine ili kesi amtwishe X RC kwa vigezo kuwa walikuwa na ukaribu kimahusiani.

  • @shabantelack5716
    @shabantelack5716 3 วันที่ผ่านมา +4

    Ila mkuu wa mkoa ana Roho , na aka kambao mbao 😂😂😂😂😂😂😂😂 alikuwa naafanya nako nn 😂

    • @luganokitwika7359
      @luganokitwika7359 3 วันที่ผ่านมา

      Hahahahahaaaaaaa duh, umenifanya nicheke wakati nalengwa na machozi dah

  • @injilinjeyakutazakanisa
    @injilinjeyakutazakanisa 2 วันที่ผ่านมา

    Najuliza mambo mengi sana kwakweli katika hili, 1-umri wa huyu Binti, umri wa RC, 2-Maongezi yake Mi simuelewi elewi hivi, Silaumu, wala kuhukumu. Ye alielewa kuwa RC ni Mume wa mtu? kama aliridhia, kwanini ameamua kurudi hapa na kuinua tena hili tatizo? Sielewi kabisa mdogo wangu nini kilikukuta, anyway Yehova akusaidie.

  • @ednalugano2906
    @ednalugano2906 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Binti wa 21yrs, mwanafunzi wa university, wa mjini, mwenye kujulikana hadi na RC (wa mkoa asioishi). Anatendewa ukatili na udhalilishaji huu mahali penye ulinzi, na hajui hatua za kufanya, lkn anakubali kuficha ukweli? Ni fedha nyingi kiasi gani mama mzazi unalipwa kuficha ukatili aliofanyiwa binti yake ambao una madhara maisha yake yote? Hii kesi inahitaji uchunguzi wa kina na makini!
    Media hii kuweka picha ya binti public kwa case ngumu hii, mna mhakikishia usalama binti huyu?

  • @stevenmrama3123
    @stevenmrama3123 4 วันที่ผ่านมา +5

    Ulienda chuo kusoma ,hayo uliyoyatafuta una sababu ya kulalamika.

  • @bonifaceibunga9443
    @bonifaceibunga9443 4 วันที่ผ่านมา +6

    Wewe huo mchezo umeshauzoea hivo acha kutusumbua maana umekiri ni mpenzi wako kwa zaidi ya miezi sita sasa shida ni nini ?
    Maana hakuna kipimo cha kutambua lini ulianza kufirana.
    OVER

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 3 วันที่ผ่านมา

      Acha ujinga ,hilo jambo sio zuri kama unavyofikiria ,watu wengi sasa hivi ujinga tu unawasumbua wa kuchezea uchafu mavi .

  • @bernardmushi4869
    @bernardmushi4869 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni hukumu zenu.Huyu ni mmoja kati ya mabinti wengi wa vyuo wanaojiuza mijini kwa sababu ya umaskini wa familia zao.INATIA HURUMA SANA.Msihukumu kwa huyu peke yake bali tafakarini wahanga kama hawa ambao mambo yao hayajatokeza hadharani.GOD HAVE MERCY UPON THIS GENERATION.

  • @frankmtimbwa1290
    @frankmtimbwa1290 วันที่ผ่านมา

    Hivi kweli inaingia akilini Mh. Mkuu wa Mkoa kukosa pesa za hotel na kufanyia uchafu huu kwenye gari?. Tena mchana kweupe?. Tafadhalini endeleeni kutafiti zaidi maana kuna maswali mengi ambayo hayana majibu hadi sasa.

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 4 วันที่ผ่านมา +5

    Duh kwaiyo umefanywa nyumba duh

  • @isackyombe8410
    @isackyombe8410 3 วันที่ผ่านมา +1

    Imeisha iyooo...samaki aliliwa tangu zaman mmno sema ndo vile DD ZIMEFELI

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 วันที่ผ่านมา

    We umeanza haya mambo mapema sana binti, kwasasa yametoka nje ndio maana umekuja hadharani kujisafisha. Acheni uhuni watoto na tamaa ya pesa. Kwa maelezo yako tu yaonekana hujatulia.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 วันที่ผ่านมา +9

    Hivi ni kweli kalawitiwa mbona kama siamini hii siyo mambo ya Siasa kweli

    • @titongholo6261
      @titongholo6261 4 วันที่ผ่านมา

      Ni mambo ya Siasa

    • @damiankageba77
      @damiankageba77 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ni kapuuzi sana haka kadada

  • @user-lo8ef9qn2r
    @user-lo8ef9qn2r 4 วันที่ผ่านมา +6

    Uyo muongo iv ubakwe ulale kesho ndio uende kesho kweli iyo ni njama tu kumchafua tu uyo mtu ikitaka kujua anaujasili wa kuja midia kuongea uo upuuzi

    • @rodrickchonde
      @rodrickchonde 2 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli,angeenda usiku ule ule police,na hata taarifa angeanza kutoa pale pale reception!je hospital wana sumple ya manii za mtuhumiwa?ikiwa zinalingana na zilizotolewa kwa binti?je kama baada ya kutoka pale alienda kwa mwingine? maana ukifuatilia maelezo yake si mgeni wa huo mchezo.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 วันที่ผ่านมา

    Kinachomsumbua ni hela zaidi tu.Amenza umalaya tamgu shule ya.msingi.😢😢

  • @user-pv8iu6em6l
    @user-pv8iu6em6l วันที่ผ่านมา

    Pole sana mdogowangu Nazidi kusema Ukweli nakuombe Mwenyezi Mungu akusmamie malaika maelfu wakuzunguke nautashnda watu sasa wamekua mawakala washetan nawote wenyetabia hzo watajibiwahapahapa dunian iwekwao au Kwa family zao endeleen mtajuta haijalish ninani Wala nani kwamungu hakuna vyeo

  • @SelinaChares
    @SelinaChares 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mmmmh hata ongea yako inaonyesha siyo kweli ongea tu kiswahil